• BREAKING: West Ham imekamilisha usajili wa Callum Wilson kwa mkataba wa mwaka 1

    #SportsElite
    🚨🚨BREAKING: West Ham imekamilisha usajili wa Callum Wilson kwa mkataba wa mwaka 1 🚨 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·46 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 𝐉𝐚𝐫𝐫𝐞𝐥 𝐇𝐚𝐭𝐨 𝐭𝐨 𝐂𝐡𝐞𝐥𝐬𝐞𝐚 .

    BREAKING - Chelsea imefika makubaliano kamili na Ajax kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya €40

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 𝐉𝐚𝐫𝐫𝐞𝐥 𝐇𝐚𝐭𝐨 𝐭𝐨 𝐂𝐡𝐞𝐥𝐬𝐞𝐚 . 🇳🇱 🔵 ✍️ BREAKING - Chelsea imefika makubaliano kamili na Ajax kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya €40🔐 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·91 Views
  • BREAKING 》Crystal Palace imewafahakisha Arsenal kuwa Wanatakiwa Walipe kiasi cha £35m kwa Eberechi Eze mapema alafu zingine watalipa taratibu.

    Fahamu kifungu cha Eberechi Eze kuuzwa ni £67.5m.

    Source Goal Side

    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨BREAKING 》Crystal Palace imewafahakisha Arsenal kuwa Wanatakiwa Walipe kiasi cha £35m kwa Eberechi Eze mapema alafu zingine watalipa taratibu. Fahamu kifungu cha Eberechi Eze kuuzwa ni £67.5m. Source Goal Side #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·91 Views
  • Man United Imewafahamisha RB Leipzig kuwa wako tayari kutuma Ofa rasmi kwa Benjamin Sesko ikiwa mchezo atakuwa tayari kujiunga na klabu yao.

    Newcastle United pia wako tayari kuwasilisha ofa yao kwa Sesko ila Uamuzi sasa ni kwa Sesko mwenyewe.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    💰🚨 Man United Imewafahamisha RB Leipzig kuwa wako tayari kutuma Ofa rasmi kwa Benjamin Sesko ikiwa mchezo atakuwa tayari kujiunga na klabu yao. Newcastle United pia wako tayari kuwasilisha ofa yao kwa Sesko ila Uamuzi sasa ni kwa Sesko mwenyewe. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·69 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Chelsea sasa inawataka Wote kwa Pamoja Alejandro Garnacho na Xavi Simons. .

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    💰🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Chelsea sasa inawataka Wote kwa Pamoja Alejandro Garnacho na Xavi Simons. 🇳🇱 🇦🇷. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·82 Views
  • OFFICIAL Galatasaray imethibitisha kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen kwa ada ya €75m na mkataba wa miaka minne 2029

    #SportsElite
    🚨 OFFICIAL Galatasaray imethibitisha kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen kwa ada ya €75m na mkataba wa miaka minne 2029 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·85 Views
  • ⚪️ Joao Palhinha kwenye njia ya kujiunga na Tottenham kwa mkopo!

    Kiungo wa Bayern, Joao Palhinha, amekubaliana masharti binafsi na Spurs — makubaliano ya mwisho kati ya vilabu yako kwenye hatua za mwisho

    Palhinha atasalia kuwa mchezaji wa Bayern hadi 2028 lakini sasa anakaribia kutua Premier League!

    #SportsElite
    ⚪️🔁 Joao Palhinha kwenye njia ya kujiunga na Tottenham kwa mkopo! 🇵🇹 Kiungo wa Bayern, Joao Palhinha, amekubaliana masharti binafsi na Spurs — makubaliano ya mwisho kati ya vilabu yako kwenye hatua za mwisho 🤝 📄 Palhinha atasalia kuwa mchezaji wa Bayern hadi 2028 lakini sasa anakaribia kutua Premier League! #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·56 Views
  • RASMI: Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Andy Bobwa Boyeli (24) kutoka Sekhukhune United ya South Africa kwa mkopo kwa msimu mmoja wenye kipengele cha kununuliwa mazima kwa $100,000.

    Msimu wa 2022/23 akiwa na Power Dynamos,Andy Boyeli alitwaa kiatu cha mfungaji bora wa ligi ya Zambia,baada ya kufunga goli 18,pia msimu huo alitwaa tuzo ya MVP.

    #SportsElite
    🚨🚨 RASMI: Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Andy Bobwa Boyeli (24) kutoka Sekhukhune United ya South Africa kwa mkopo kwa msimu mmoja wenye kipengele cha kununuliwa mazima kwa $100,000. Msimu wa 2022/23 akiwa na Power Dynamos,Andy Boyeli alitwaa kiatu cha mfungaji bora wa ligi ya Zambia,baada ya kufunga goli 18,pia msimu huo alitwaa tuzo ya MVP. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·88 Views
  • Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Hussein Daudi Semfuko (21) raia wa Tanzania kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Coastal Union

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Hussein Daudi Semfuko (21) raia wa Tanzania kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Coastal Union #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·94 Views
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Serge Aurier amejiunga na Persepolis FCya Iran kwa mkataba wa miaka 2. 🇨🇮

    (Source: FC Persepolis)

    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Serge Aurier amejiunga na Persepolis FCya Iran kwa mkataba wa miaka 2. 🇨🇮🇮🇷 (Source: FC Persepolis)
    0 Comments ·0 Shares ·39 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Sunderland imefikia makubaliano ya kumsaini Marc Guiu kwa mkopo akitokea Chelsea

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Sunderland imefikia makubaliano ya kumsaini Marc Guiu kwa mkopo akitokea Chelsea ❤️🤍🇪🇸 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·82 Views
  • Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 40 akitokea Ajax Amsterdam ya Nchini Uholanzi.

    Hato (19) raia wa Uholanzi ambaye anamudu kucheza kama beki wa kati na beki wa kushoto amekubali kusaini mkataba wa miaka 7 utakaombakisha klabuni hapo mpana Juni 2032.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 40 akitokea Ajax Amsterdam ya Nchini Uholanzi. Hato (19) raia wa Uholanzi ambaye anamudu kucheza kama beki wa kati na beki wa kushoto amekubali kusaini mkataba wa miaka 7 utakaombakisha klabuni hapo mpana Juni 2032. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·90 Views
  • BREAKING: Nottingham Forest
    imekamilisha usajili wa Dan Ndoye kutoka Bologna kwa kiasi cha £34m

    #SportsElite
    🚨🚨BREAKING: Nottingham Forest imekamilisha usajili wa Dan Ndoye kutoka Bologna kwa kiasi cha £34m ✅🌳 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·79 Views
  • Chelsea haitaweza kulipa zaidi ya £30M kwa Alejandro Garnacho.

    (Source: The Independent)

    #SportsElite
    🚨 Chelsea haitaweza kulipa zaidi ya £30M kwa Alejandro Garnacho. (Source: The Independent) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·63 Views
  • Rushine De Reuck Kitasa kipya cha Simba,jamaa yuko aggressive,muda wote ananusa hatari na kufika kwenye matukio ili kufanya interception,tackling,clearance n.k.

    Rushine De Reuck Ni dominant kwenye mipira ya juu na chini…jamaa akiwa kwenye siku zake ni ngumu kwa mshambuliaji kukabiliana nae.

    Yote kwa yote ukimtazama akiwa na mali mguuni uta-enjoy…jamaa ni ball-playing defender

    Wana simba hapa mmepata beki,jamaa ana uzoefu mkubwa pia ana uwezo wa kucheza maeneo yote ya nyuma

    Super Signing

    #SportsElite
    🚨🚨Rushine De Reuck Kitasa kipya cha Simba,jamaa yuko aggressive,muda wote ananusa hatari na kufika kwenye matukio ili kufanya interception,tackling,clearance n.k. Rushine De Reuck Ni dominant kwenye mipira ya juu na chini…jamaa akiwa kwenye siku zake ni ngumu kwa mshambuliaji kukabiliana nae. Yote kwa yote ukimtazama akiwa na mali mguuni uta-enjoy…jamaa ni ball-playing defender🙌 Wana simba hapa mmepata beki,jamaa ana uzoefu mkubwa pia ana uwezo wa kucheza maeneo yote ya nyuma🖐️ Super Signing🔥 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·99 Views
  • 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili beki wa kulia Israel Patrick Mwenda kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Singida Black Stars.

    Mwenda (25) raia wa Tanzania ambaye alicheza Yanga Sc kwa mkopo msimu uliopita ameamua kuendelea kuwatumikia Wananchi mpaka 2028.

    #SportsElite
    📝 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili beki wa kulia Israel Patrick Mwenda kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Singida Black Stars. Mwenda (25) raia wa Tanzania ambaye alicheza Yanga Sc kwa mkopo msimu uliopita ameamua kuendelea kuwatumikia Wananchi mpaka 2028. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·91 Views
  • ✍🏿RASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni

    Manu Rodriguez - kocha msaidizi

    Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo

    #BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc
    #SportsElite
    🚨📜✍🏿🔰RASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni Manu Rodriguez - kocha msaidizi Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo #BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·130 Views
  • ✍🏿RASMI:Klabu ya soka ya Al-Nassr imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji João Félix,kutoka Chelsea kwa uhamisho wa €30M kwa mkataba ambao utamweka katika klabu hiyo hadi Juni 2027.


    #SportsElite
    🚨📜✍🏿RASMI:Klabu ya soka ya Al-Nassr imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji João Félix,kutoka Chelsea kwa uhamisho wa €30M kwa mkataba ambao utamweka katika klabu hiyo hadi Juni 2027. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·57 Views
  • BREAKING

    Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake.

    Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M.

    Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2.

    #SportsElite
    🚨 BREAKING Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake. Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M. Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·94 Views
  • RB Leipzig imefikia makubaliano na mshambuliaji Romulo.

    Klabu ya Göztepe inahitaji €25M.

    Pamoja na hayo RB Leipzig inatarajia kumuuza Benjamin Sesko kwanza kabla ya kufanya uhamisho huo..

    (Source: @Plettigoal & @philipphinze24)

    #SportsElite
    🚨 RB Leipzig imefikia makubaliano na mshambuliaji Romulo. Klabu ya Göztepe inahitaji €25M. Pamoja na hayo RB Leipzig inatarajia kumuuza Benjamin Sesko kwanza kabla ya kufanya uhamisho huo.. (Source: @Plettigoal & @philipphinze24) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·104 Views
More Results