• 𝐁REAKING NEWS!
    -
    Mshambuliaji Mohamed Youcef Belaïli wa Esperance anatarajiwa kufanyiwa Upasuaji wikiendi hii baada ya vipimo vya mionzi kubaini majeraha yake ya ACL (anterior cruciate ligament) kwenye mchezo baina ya Esperance na Club Africain.

    Pia klabu hiyo inatarajiwa kumkosa Fundi wao Yan Sasse kwa muda wa wiki 2-3 kwa maumivu ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo huo pia…!

    MUNGU yu pamoja na watoto wa Mudi huu mwaka !?
    Wananchi tuzidishe Maombi, hali ni ileile....
    𝐁REAKING NEWS! - Mshambuliaji Mohamed Youcef Belaïli wa Esperance anatarajiwa kufanyiwa Upasuaji wikiendi hii baada ya vipimo vya mionzi kubaini majeraha yake ya ACL (anterior cruciate ligament) kwenye mchezo baina ya Esperance na Club Africain. Pia klabu hiyo inatarajiwa kumkosa Fundi wao Yan Sasse kwa muda wa wiki 2-3 kwa maumivu ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo huo pia…! MUNGU yu pamoja na watoto wa Mudi huu mwaka !?😀 Wananchi tuzidishe Maombi, hali ni ileile....
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·237 Views
  • 🆕️ Baada ya uchunguzi wa kina wa jopo la madaktari imeonekana jeraha la Moussa Pin Pin Camara ni kubwa kuliko kawaida na huwenda akawa nje ya uwanja kwa muda mrefu zaidi, inaelezwa viongozi wa Simba wanamshawishi Camara wavunje naye mkataba ili waweze kusajili golikipa mwengine wa kigeni kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika.

    MANAGEMENT YA CAMARA WAMEOMBA KULIPWA FEDHA ZOTE BILA ZENGWE ILI ZOEZI LA KUVUNJWA MKATABA LIFANIKIWE!
    🆕️ Baada ya uchunguzi wa kina wa jopo la madaktari imeonekana jeraha la Moussa Pin Pin Camara ni kubwa kuliko kawaida na huwenda akawa nje ya uwanja kwa muda mrefu zaidi, inaelezwa viongozi wa Simba wanamshawishi Camara wavunje naye mkataba ili waweze kusajili golikipa mwengine wa kigeni kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika. MANAGEMENT YA CAMARA WAMEOMBA KULIPWA FEDHA ZOTE BILA ZENGWE ILI ZOEZI LA KUVUNJWA MKATABA LIFANIKIWE!
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·199 Views
  • RASMI:
    Klabu ya Napoli imethibitisha kuwa kiungo wa Cameroon Franck Zambo Anguissa amepata jeraha kubwa la misuli.

    Kwa mujibu wa taarifa za kitabibu, Anguissa atakuwa nje kwa miezi kadhaa, hali inayoweza kumfanya aukose AFCON 2025 nchini Morocco.
    Pigo kubwa kwa Cameroon.

    Anguissa ni mhimili mkubwa wa kiungo cha Cameroon, hivyo kutokuwepo kwake kunaathiri uimara wa timu katika presha kubwa ya mechi za AFCON.

    Unadhani Cameroon wataimudu AFCON bila Anguissa?
    Je, nafasi yake inapaswa kuzibwa na nani?

    🔵 RASMI: Klabu ya Napoli imethibitisha kuwa kiungo wa Cameroon 🇨🇲 Franck Zambo Anguissa amepata jeraha kubwa la misuli. Kwa mujibu wa taarifa za kitabibu, Anguissa atakuwa nje kwa miezi kadhaa, hali inayoweza kumfanya aukose AFCON 2025 nchini Morocco. Pigo kubwa kwa Cameroon. 💔 Anguissa ni mhimili mkubwa wa kiungo cha Cameroon, hivyo kutokuwepo kwake kunaathiri uimara wa timu katika presha kubwa ya mechi za AFCON. Unadhani Cameroon wataimudu AFCON bila Anguissa? Je, nafasi yake inapaswa kuzibwa na nani?
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·193 Views
  • Congo DRC wamezima ndoto za Bryan Mbuemo kukiwasha Kombe la Dunia 2026, baada ya kuwatupilia nje ya playoffs timu ya Taifa ya Cameroon kwa ushindi wa goli 1-0.

    🚨 Congo DRC 🇨🇩 wamezima ndoto za Bryan Mbuemo kukiwasha Kombe la Dunia 2026, baada ya kuwatupilia nje ya playoffs timu ya Taifa ya Cameroon kwa ushindi wa goli 1-0. 😅😅😅😅😅
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·173 Views
  • FC Barcelona wamepanga kujenga sanamu la Mchezaji wao Bora wa Muda Wote Mwamba Lionel Messi mbele ya Dimba lao jipya la Spotify Camp Neu.

    Rasi wa Barcelona Juan Laporta amethibitisha Hilo na kusema wanatambua mchango mkubwa wa Lionel Messi na hivyo sanamu Hilo litakuwa ni Heshima Kubwa kwao kwa Mwamba huyo
    🚨 FC Barcelona wamepanga kujenga sanamu la Mchezaji wao Bora wa Muda Wote Mwamba Lionel Messi mbele ya Dimba lao jipya la Spotify Camp Neu. Rasi wa Barcelona Juan Laporta amethibitisha Hilo na kusema wanatambua mchango mkubwa wa Lionel Messi na hivyo sanamu Hilo litakuwa ni Heshima Kubwa kwao kwa Mwamba huyo
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·158 Views
  • JUST IN

    Kocha wa Brazil Carlo Ancelotti amekanusha kuwa alimwambia mshambuliaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 19, Endrick, ambaye anakaribia kujiunga na Lyon kwa mkopo, kwamba alilazimika kuihama klabu hiyo ya Uhispania ili kupata nafasi ya kukipiga katika kikosi chake kwa ajili ya Kombe la Dunia la 2026.

    Via: AS - In Spanish
    🚨JUST IN🇧🇷 Kocha wa Brazil Carlo Ancelotti amekanusha kuwa alimwambia mshambuliaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 19, Endrick, ambaye anakaribia kujiunga na Lyon kwa mkopo, kwamba alilazimika kuihama klabu hiyo ya Uhispania ili kupata nafasi ya kukipiga katika kikosi chake kwa ajili ya Kombe la Dunia la 2026. Via: AS - In Spanish
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·169 Views
  • Klabu ya Al-Ahli Tripoli kutoka nchini Libya imetuma rasmi ofa ya Dola za Kimarekani 800,000 (sawa na takriban Shilingi bilioni 1.97 za Tanzania) kwa ajili ya kuvunja mkataba wa kiungo nyota wa Tanzania, Feisal Salum Abdallah (27).

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, Al-Ahli Tripoli imekuwa ikimfuatilia Feisal tangu mwezi Agosti 2025, baada ya kuvutiwa na kiwango chake cha juu katika Ligi Kuu ya NBC na timu ya taifa, Taifa Stars.

    Inadaiwa kuwa klabu hiyo ilituma barua ya kwanza rasmi ya maombi kwa klabu anayochezea Feisal mnamo tarehe 14 Septemba 2025, ikiwa ni hatua ya awali kuelekea mazungumzo ya kuhitimisha dili hilo.

    Endapo mchakato huo utakamilika, Feisal Salum ataungana na wachezaji kadhaa wa Afrika Mashariki waliowahi kucheza katika ligi ya Libya, ligi inayojulikana kwa malipo mazuri na ushindani mkubwa katika ukanda wa Afrika Kaskazini.

    Feisal, ambaye pia ni mchezaji muhimu wa Taifa Stars, ameendelea kuvutia vilabu kadhaa vya nje kutokana na ubora wake wa kiufundi, nidhamu, na uzoefu mkubwa katika soka la kimataifa.

    Kwa sasa, klabu anayochezea Feisal haijatoa tamko rasmi kuhusu ofa hiyo, huku mashabiki wakiendelea kusubiri matokeo ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili.
    Klabu ya Al-Ahli Tripoli kutoka nchini Libya imetuma rasmi ofa ya Dola za Kimarekani 800,000 (sawa na takriban Shilingi bilioni 1.97 za Tanzania) kwa ajili ya kuvunja mkataba wa kiungo nyota wa Tanzania, Feisal Salum Abdallah (27). Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, Al-Ahli Tripoli imekuwa ikimfuatilia Feisal tangu mwezi Agosti 2025, baada ya kuvutiwa na kiwango chake cha juu katika Ligi Kuu ya NBC na timu ya taifa, Taifa Stars. Inadaiwa kuwa klabu hiyo ilituma barua ya kwanza rasmi ya maombi kwa klabu anayochezea Feisal mnamo tarehe 14 Septemba 2025, ikiwa ni hatua ya awali kuelekea mazungumzo ya kuhitimisha dili hilo. Endapo mchakato huo utakamilika, Feisal Salum ataungana na wachezaji kadhaa wa Afrika Mashariki waliowahi kucheza katika ligi ya Libya, ligi inayojulikana kwa malipo mazuri na ushindani mkubwa katika ukanda wa Afrika Kaskazini. Feisal, ambaye pia ni mchezaji muhimu wa Taifa Stars, ameendelea kuvutia vilabu kadhaa vya nje kutokana na ubora wake wa kiufundi, nidhamu, na uzoefu mkubwa katika soka la kimataifa. Kwa sasa, klabu anayochezea Feisal haijatoa tamko rasmi kuhusu ofa hiyo, huku mashabiki wakiendelea kusubiri matokeo ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·232 Views
  • OFFICIAL Arsenal kwa sasa haina majeruhi kwenye chumba cha Wagonjwa kuelekea mchezo ujao wachezaji wote wamepona

    Kai Havertz
    Gabriel Jesus
    Gabriel Martinelli
    Viktor Gyokeres
    Noni Madueke
    Martin Ordegaard
    🚨 OFFICIAL Arsenal kwa sasa haina majeruhi kwenye chumba cha Wagonjwa kuelekea mchezo ujao wachezaji wote wamepona 🇩🇪 Kai Havertz 🇧🇷 Gabriel Jesus 🇧🇷 Gabriel Martinelli 🇸🇪 Viktor Gyokeres 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Noni Madueke 🇳🇴 Martin Ordegaard
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·203 Views
  • Lionel Messi usiku wa jana alitembelea tena Camp Nou kwa mara ya kwanza tangu alipoondoka FC Barcelona na kuandika ana furaha sana kufika hapo akiamini Kuna siku atarudi tena FC Barcelona

    The Best ever
    Lionel Messi usiku wa jana alitembelea tena Camp Nou kwa mara ya kwanza tangu alipoondoka FC Barcelona na kuandika ana furaha sana kufika hapo akiamini Kuna siku atarudi tena FC Barcelona💙❤️ The Best ever 🙌
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·171 Views
  • Cristiano Ronaldo amkingia kifua Garnacho: “Waacheni Watoto wafurahie mpira”.

    Cristiano Ronaldo ameibuka na kutetea kijana wa Manchester United, Alejandro Garnacho, kufuatia malalamiko kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Argentina wanaompinga kuiga mtindo wa kusherehekea mabao wa Ronaldo anapofunga mabao.

    Katika mahojiano yake ya hivi karibuni, Ronaldo alionyesha mshangao wake juu ya jinsi mashabiki wa Argentina wanavyomshambulia Garnacho kwa sababu ya kusherehekea kama yeye badala ya Lionel Messi, ambaye ni Mchezaji wa taifa lao.

    “Nchini Argentina, wanasema Garnacho asisherehekee kama Cristiano, kwamba si jambo jema. Ninaliona hilo kuwa la ajabu, ni Mtoto tu, waacheni acheze,” alisema Ronaldo kwa msisitizo.

    Nyota huyo mwenye mafanikio makubwa pia aliongeza kuwa hajawahi kuwazuia Wachezaji wa Ureno kumpenda Messi, akisema: "Sijawahi kumwambia Mchezaji yeyote wa Ureno asimpenda Messi.”

    Kauli hii ya Ronaldo imepokelewa kwa hisia tofauti mtandaoni, huku wengi wakimpongeza kwa kukubali tofauti na kuonyesha ukomavu wa hali ya juu katika soka. Ronaldo na Messi wamekuwa wakilinganishwa kwa miaka mingi, lakini kauli hii inaonesha dalili ya kuheshimiana zaidi kuliko ushindani.

    Mashabiki wanaendelea kufuatilia kwa karibu uhusiano huu unaoibuka kati ya kizazi kipya kama Garnacho na Wachezaji wakongwe waliowatangulia.
    Cristiano Ronaldo amkingia kifua Garnacho: “Waacheni Watoto wafurahie mpira”. Cristiano Ronaldo ameibuka na kutetea kijana wa Manchester United, Alejandro Garnacho, kufuatia malalamiko kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Argentina wanaompinga kuiga mtindo wa kusherehekea mabao wa Ronaldo anapofunga mabao. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni, Ronaldo alionyesha mshangao wake juu ya jinsi mashabiki wa Argentina wanavyomshambulia Garnacho kwa sababu ya kusherehekea kama yeye badala ya Lionel Messi, ambaye ni Mchezaji wa taifa lao. “Nchini Argentina, wanasema Garnacho asisherehekee kama Cristiano, kwamba si jambo jema. Ninaliona hilo kuwa la ajabu, ni Mtoto tu, waacheni acheze,” alisema Ronaldo kwa msisitizo. Nyota huyo mwenye mafanikio makubwa pia aliongeza kuwa hajawahi kuwazuia Wachezaji wa Ureno kumpenda Messi, akisema: "Sijawahi kumwambia Mchezaji yeyote wa Ureno asimpenda Messi.” Kauli hii ya Ronaldo imepokelewa kwa hisia tofauti mtandaoni, huku wengi wakimpongeza kwa kukubali tofauti na kuonyesha ukomavu wa hali ya juu katika soka. Ronaldo na Messi wamekuwa wakilinganishwa kwa miaka mingi, lakini kauli hii inaonesha dalili ya kuheshimiana zaidi kuliko ushindani. Mashabiki wanaendelea kufuatilia kwa karibu uhusiano huu unaoibuka kati ya kizazi kipya kama Garnacho na Wachezaji wakongwe waliowatangulia.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·295 Views
  • NASA yatahadharisha: uwezekano wa Dunia kukosa oksijeni Katika miaka ijayo.

    Shirika la Kitaifa la Anga na Nafasi ya Juu la Marekani (NASA) limetoa taarifa ya kisayansi inayoashiria uwezekano wa kutoweka kwa hewa safi ya oksijeni duniani katika kipindi cha miaka mingi ijayo.

    Kwa mujibu wa NASA, jambo hili halitasababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchafuzi wa mazingira pekee, bali linahusiana zaidi na mabadiliko ya kiasili ya Dunia na Jua. Katika uchambuzi wake, NASA inabainisha kuwa:

    "Katika mabilioni ya miaka iliyopita, Dunia haikuwa na oksijeni ya kutosha. Kwa hiyo, kuna uwezekano kuwa hali kama hiyo ikajirudia tena katika mamilioni ya miaka ijayo," wamesema watafiti wa NASA.

    Hali hii inaweza kuathiri sio tu maisha ya binadamu bali pia viumbe hai wote wanaotegemea oksijeni kuishi. Ingawa ni tukio linalotabiriwa kutokea baada ya mamilioni ya miaka, Wanasayansi wanasema ni muhimu kwa jamii ya kimataifa kulielewa na kuendelea na utafiti zaidi kuhusu maisha ya baadaye ya Dunia.

    Kwa sasa, hakuna sababu ya hofu ya moja kwa moja, lakini onyo hili linaongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kulinda mazingira na kuelewa kwa kina mfumo wa ikolojia wa sayari yetu.

    Toa maoni yako
    NASA yatahadharisha: uwezekano wa Dunia kukosa oksijeni Katika miaka ijayo. Shirika la Kitaifa la Anga na Nafasi ya Juu la Marekani (NASA) limetoa taarifa ya kisayansi inayoashiria uwezekano wa kutoweka kwa hewa safi ya oksijeni duniani katika kipindi cha miaka mingi ijayo. Kwa mujibu wa NASA, jambo hili halitasababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchafuzi wa mazingira pekee, bali linahusiana zaidi na mabadiliko ya kiasili ya Dunia na Jua. Katika uchambuzi wake, NASA inabainisha kuwa: "Katika mabilioni ya miaka iliyopita, Dunia haikuwa na oksijeni ya kutosha. Kwa hiyo, kuna uwezekano kuwa hali kama hiyo ikajirudia tena katika mamilioni ya miaka ijayo," wamesema watafiti wa NASA. Hali hii inaweza kuathiri sio tu maisha ya binadamu bali pia viumbe hai wote wanaotegemea oksijeni kuishi. Ingawa ni tukio linalotabiriwa kutokea baada ya mamilioni ya miaka, Wanasayansi wanasema ni muhimu kwa jamii ya kimataifa kulielewa na kuendelea na utafiti zaidi kuhusu maisha ya baadaye ya Dunia. Kwa sasa, hakuna sababu ya hofu ya moja kwa moja, lakini onyo hili linaongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kulinda mazingira na kuelewa kwa kina mfumo wa ikolojia wa sayari yetu. Toa maoni yako
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·292 Views
  • Premature ejaculation occurs when you ejaculate (cum) sooner than you or your partner desire during sex, usually within 2 to 3 minutes. Treatments are available for this issue and you can change your life. Common treatment options for premature ejaculation include behavioral techniques, medications, and counseling. At Dot Clinics, we provide non-surgical and medication-free treatments for premature ejaculation, such as the P-Shot, HA fillers, Shockwave Therapy, Exosome Therapy, and more, to safely and effectively improve overall male sexual health.


    Source: https://www.dotclinics.pk/premature-ejaculation
    Premature ejaculation occurs when you ejaculate (cum) sooner than you or your partner desire during sex, usually within 2 to 3 minutes. Treatments are available for this issue and you can change your life. Common treatment options for premature ejaculation include behavioral techniques, medications, and counseling. At Dot Clinics, we provide non-surgical and medication-free treatments for premature ejaculation, such as the P-Shot, HA fillers, Shockwave Therapy, Exosome Therapy, and more, to safely and effectively improve overall male sexual health. Source: https://www.dotclinics.pk/premature-ejaculation
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·434 Views ·1
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus imemfuta kazi kocha wake mkuu Igor Tudor baada ya kupokea kichapo kutoa kwa Lazio
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus imemfuta kazi kocha wake mkuu Igor Tudor baada ya kupokea kichapo kutoa kwa Lazio ❌
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·235 Views
  • Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo.

    Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao.

    Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M.
    Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M.
    Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M.
    Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M.

    (Source: Telegraph)
    🚨 Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo. Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao. 🇭🇺 Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M. 🇪🇸 Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M. 🇺🇦 Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M. 🇧🇫 Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M. (Source: Telegraph)
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·251 Views
  • Israel yasema itaendelea kusimamia usalama Gaza, licha ya makubaliano ya usitishaji vita.

    Katika taarifa mpya iliyoibua mijadala ya kisiasa na kidiplomasia, Serikali ya Israel imesisitiza kuwa haitakubali kuachia jukumu la usalama wa Ukanda wa Gaza mikononi mwa vikosi vya kimataifa, licha ya kusaini makubaliano ya usitishaji vita yaliyosimamiwa na Marekani.

    Kupitia kikao na Baraza lake la Mawaziri, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alinukuliwa akisema:

    “Israel itaamua yenyewe ni lini na wapi itaendelea kuwakabili maadui zake. Hatutakubali kabisa nchi yoyote kutuamulia kuhusu usalama wetu.”

    Kauli hiyo imekuja muda mfupi baada ya makubaliano ya muda ya usitishaji mapigano kuwasilishwa, yakiruhusu kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kitakacholinda amani na usambazaji wa misaada ya kibinadamu ndani ya Gaza.

    Kulingana na taarifa zilizotolewa, kikosi hicho kitapangwa kutoka mataifa ya Kiarabu au Kiislamu, na kazi yake kuu itakuwa kuhakikisha usalama wa Raia na kusimamia utekelezaji wa masharti ya kusitisha vita.

    Hata hivyo, Netanyahu ameeleza wasiwasi mkubwa juu ya mpango huo:

    “Tutashirikiana pale inapobidi, lakini hatutawahi kukubali Gaza kuwa chini ya mamlaka ya nje bila ridhaa ya Israel. Usalama wa Raia wetu ndio kipaumbele cha kwanza.”

    Kwa mujibu wa Afisa wa Marekani, makubaliano haya ni sehemu ya juhudi za muda mrefu kurejesha utulivu katika eneo hilo, lakini yanategemea ushirikiano wa pande zote mbili, jambo ambalo linazidi kuonekana kuwa gumu kutokana na msimamo wa Israel.

    Hii ni ishara kwamba licha ya mapendekezo ya kimataifa, Israel bado inashikilia msimamo wake wa kulinda mamlaka kamili ya usalama ndani ya Gaza, hatua inayoweza kuchelewesha utekelezaji wa makubaliano haya mapya.

    Je, Israel inaweza kusimamia amani Gaza bila msaada wa Jumuiya ya kimataifa? Au je, dunia inapaswa kuingilia kati kwa nguvu zaidi?

    Toa maoni yako
    Israel yasema itaendelea kusimamia usalama Gaza, licha ya makubaliano ya usitishaji vita. Katika taarifa mpya iliyoibua mijadala ya kisiasa na kidiplomasia, Serikali ya Israel imesisitiza kuwa haitakubali kuachia jukumu la usalama wa Ukanda wa Gaza mikononi mwa vikosi vya kimataifa, licha ya kusaini makubaliano ya usitishaji vita yaliyosimamiwa na Marekani. Kupitia kikao na Baraza lake la Mawaziri, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alinukuliwa akisema: “Israel itaamua yenyewe ni lini na wapi itaendelea kuwakabili maadui zake. Hatutakubali kabisa nchi yoyote kutuamulia kuhusu usalama wetu.” Kauli hiyo imekuja muda mfupi baada ya makubaliano ya muda ya usitishaji mapigano kuwasilishwa, yakiruhusu kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kitakacholinda amani na usambazaji wa misaada ya kibinadamu ndani ya Gaza. Kulingana na taarifa zilizotolewa, kikosi hicho kitapangwa kutoka mataifa ya Kiarabu au Kiislamu, na kazi yake kuu itakuwa kuhakikisha usalama wa Raia na kusimamia utekelezaji wa masharti ya kusitisha vita. Hata hivyo, Netanyahu ameeleza wasiwasi mkubwa juu ya mpango huo: “Tutashirikiana pale inapobidi, lakini hatutawahi kukubali Gaza kuwa chini ya mamlaka ya nje bila ridhaa ya Israel. Usalama wa Raia wetu ndio kipaumbele cha kwanza.” Kwa mujibu wa Afisa wa Marekani, makubaliano haya ni sehemu ya juhudi za muda mrefu kurejesha utulivu katika eneo hilo, lakini yanategemea ushirikiano wa pande zote mbili, jambo ambalo linazidi kuonekana kuwa gumu kutokana na msimamo wa Israel. Hii ni ishara kwamba licha ya mapendekezo ya kimataifa, Israel bado inashikilia msimamo wake wa kulinda mamlaka kamili ya usalama ndani ya Gaza, hatua inayoweza kuchelewesha utekelezaji wa makubaliano haya mapya. Je, Israel inaweza kusimamia amani Gaza bila msaada wa Jumuiya ya kimataifa? Au je, dunia inapaswa kuingilia kati kwa nguvu zaidi? Toa maoni yako
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·552 Views
  • Mtoto wa mchezaji wa zamani wa Brazil Thiago Silva ameitwa kwa mara ya kwanza kimataifa...

    Iago Silva, ambaye anachezea akademi ya Chelsea, ni beki wa kati kama baba yake maarufu na atakuwa akiichezea timu ya U15 ya Uingereza.

    Tuseme THIAGO SILVA Mpya Anakuja

    🇧🇷 Mtoto wa mchezaji wa zamani wa Brazil Thiago Silva ameitwa kwa mara ya kwanza kimataifa... Iago Silva, ambaye anachezea akademi ya Chelsea, ni beki wa kati kama baba yake maarufu na atakuwa akiichezea timu ya U15 ya Uingereza. 👏 Tuseme THIAGO SILVA Mpya Anakuja
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·279 Views
  • EXCL: Aston Villa inatupia jicho kwa Mjapan Takefusa Kubo (24) kutoka Real Sociedad!

    #TheAthleticFC
    🚨 EXCL: Aston Villa inatupia jicho kwa Mjapan Takefusa Kubo (24) kutoka Real Sociedad! #TheAthleticFC
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·327 Views
  • EXCL: Arsenal imetuma ofa kwa Barcelona kumuhitaji winga Ferran Torres kwa ada €50M.

    #SportsElite
    🚨 EXCL: Arsenal imetuma ofa kwa Barcelona kumuhitaji winga Ferran Torres kwa ada €50M. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·229 Views
  • OFFICIAL Kocha Wa Real Madrid Xabi Alonso amesema Dean Huijsen, Trent Alexander-Arnold, Dani Carvajal na Dani Ceballos wote wako tayari kwa mchezo wa El Clasco.

    Alonso amesema wachezaji pekee wataukosa mchezo wa El Clasco ni Antonio Rudiger na David Alaba wengine wapo.
    🚨 OFFICIAL Kocha Wa Real Madrid Xabi Alonso amesema Dean Huijsen, Trent Alexander-Arnold, Dani Carvajal na Dani Ceballos wote wako tayari kwa mchezo wa El Clasco. Alonso amesema wachezaji pekee wataukosa mchezo wa El Clasco ni Antonio Rudiger na David Alaba wengine wapo.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·367 Views
  • Klabu ya Al Ahli SC wapo tayari kutoa kiasi cha euro milioni 15 ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Pyramids, Fiston Mayele Kalala "Cyborg" .

    Klabu iyo kutokea nchini Saudia Arabia wapo tayari kumpa Mayele mshahara wa euro milioni 3 kwa mwaka !
    🚨 Klabu ya Al Ahli SC 🇸🇦 wapo tayari kutoa kiasi cha euro milioni 15 ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Pyramids, Fiston Mayele Kalala "Cyborg" 🇨🇩. Klabu iyo kutokea nchini Saudia Arabia wapo tayari kumpa Mayele mshahara wa euro milioni 3 kwa mwaka ! 💵
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·330 Views
Arama Sonuçları