• Eberechi Eze apewa jezi namba 10 ndani ya Arsenal

    Mashabiki wanatarajia makubwa kutoka kwake akiwa sehemu ya kikosi cha Mikel Arteta.

    Eze amesema: "Ninajua majina makubwa yaliyowahi kuivaa jezi hii kabla yangu. Nafasi hii naiona kama baraka kubwa. Kuwa hapa ni heshima, na nitatoa kila kitu nilichonacho kulipa heshima hii."

    #AFC #Eze10 #PremierLeague

    ---------follow Csmahona update

    #SportsElite
    🔴⚪✨ Eberechi Eze apewa jezi namba 10 ndani ya Arsenal Mashabiki wanatarajia makubwa kutoka kwake akiwa sehemu ya kikosi cha Mikel Arteta. 🙌🔥 🗣️ Eze amesema: "Ninajua majina makubwa yaliyowahi kuivaa jezi hii kabla yangu. Nafasi hii naiona kama baraka kubwa. Kuwa hapa ni heshima, na nitatoa kila kitu nilichonacho kulipa heshima hii." #AFC #Eze10 #PremierLeague ---------follow Csmahona update #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·5 Views
  • Hii ni picha inayoonyesha Son Heung-min akisherehekea katika dakika za mwanzo za pambano lao dhidi ya FC Dallas – ambapo alifunga goli lake la kwanza kwa LAFC.

    #SportsElite
    Hii ni picha inayoonyesha Son Heung-min akisherehekea katika dakika za mwanzo za pambano lao dhidi ya FC Dallas – ambapo alifunga goli lake la kwanza kwa LAFC. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·16 Views
  • Kesho wanakutana wakwanza na wapili nan ataendelezea kichapo Liverpool FC vs AFC Bournemouth sisi ni people
    🚨🚨Kesho wanakutana wakwanza na wapili nan ataendelezea kichapo Liverpool FC vs AFC Bournemouth sisi ni people
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·164 Views
  • Kutoka Nchini Qatar , Pande mbali hasimu katika mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa AFC/M23 wanaotuhumiwa kuungwa mkono na Nchi ya Rwanda wamekubaliana kusitisha mapigano mara moja, baada ya mazungumzo ya wiki moja yaliyoandaliwa Nchini Qatar. Makubaliano hayo, yaliyoelezwa kuwa ni hatua ya matumaini, yalitangazwa kupitia taarifa rasmi zilizotolewa na kila upande baada ya Wajumbe kurejea kutoka Qatar mapema wiki hii.

    “Pande zote zimethibitisha dhamira yao ya kusitisha uhasama, kupinga matamshi ya chuki na vitisho, na kuhimiza jamii kutekeleza ahadi hizi,” ilisomeka sehemu ya taarifa. Hata hivyo, tarehe ya duru inayofuata ya mazungumzo haikutajwa.

    Kundi la M23 ambalo limekuwa likijipatia nguvu upya tangu mwaka jana, limeshambulia na kuteka Miji kadhaa Mashariki mwa DR Congo, hali iliyosababisha vifo vya maelfu na kuwafanya mamilioni kuwa Wakimbizi. Hofu ya vita vikubwa vya kikanda imetanda, hasa kutokana na mvutano kati ya DR Congo na Nchi ya Rwanda. Rwanda imeendelea kukanusha kuhusika moja kwa moja na kundi la M23, ikisema Wanajeshi wake wapo kulinda mipaka dhidi ya mashambulizi ya Wanamgambo wa Kihutu waliokimbilia DR Congo baada ya mauaji ya kimbari ya 1994.

    Juhudi hizi za upatanishi zinafuatia mkutano wa mwezi uliopita ulioandaliwa pia na Qatar, uliowakutanisha Rais wa DR Congo, Félix Tshisekedi na Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wito wa pamoja wa kusitisha mapigano ulitolewa, na sasa mazungumzo kati ya Serikali ya DR Congo na Kundi la M23 yanaonekana kuanza kupewa nafasi, licha ya DR Congo kulitambua Kundi hilo kama la kigaidi hapo awali.

    Kutoka Nchini Qatar 🇶🇦, Pande mbali hasimu katika mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 na waasi wa AFC/M23 wanaotuhumiwa kuungwa mkono na Nchi ya Rwanda 🇷🇼 wamekubaliana kusitisha mapigano mara moja, baada ya mazungumzo ya wiki moja yaliyoandaliwa Nchini Qatar. Makubaliano hayo, yaliyoelezwa kuwa ni hatua ya matumaini, yalitangazwa kupitia taarifa rasmi zilizotolewa na kila upande baada ya Wajumbe kurejea kutoka Qatar mapema wiki hii. “Pande zote zimethibitisha dhamira yao ya kusitisha uhasama, kupinga matamshi ya chuki na vitisho, na kuhimiza jamii kutekeleza ahadi hizi,” ilisomeka sehemu ya taarifa. Hata hivyo, tarehe ya duru inayofuata ya mazungumzo haikutajwa. Kundi la M23 ambalo limekuwa likijipatia nguvu upya tangu mwaka jana, limeshambulia na kuteka Miji kadhaa Mashariki mwa DR Congo, hali iliyosababisha vifo vya maelfu na kuwafanya mamilioni kuwa Wakimbizi. Hofu ya vita vikubwa vya kikanda imetanda, hasa kutokana na mvutano kati ya DR Congo na Nchi ya Rwanda. Rwanda imeendelea kukanusha kuhusika moja kwa moja na kundi la M23, ikisema Wanajeshi wake wapo kulinda mipaka dhidi ya mashambulizi ya Wanamgambo wa Kihutu waliokimbilia DR Congo baada ya mauaji ya kimbari ya 1994. Juhudi hizi za upatanishi zinafuatia mkutano wa mwezi uliopita ulioandaliwa pia na Qatar, uliowakutanisha Rais wa DR Congo, Félix Tshisekedi na Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wito wa pamoja wa kusitisha mapigano ulitolewa, na sasa mazungumzo kati ya Serikali ya DR Congo na Kundi la M23 yanaonekana kuanza kupewa nafasi, licha ya DR Congo kulitambua Kundi hilo kama la kigaidi hapo awali.
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·778 Views
  • Kutoka Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Mke wa Rais wa zamani wa Nchi hiyo Joseph Kabila Kabange, Olive Lembe Kabila, ametangaza kwamba Wanajeshi wa DR Congo waliopelekwa kwenye Shamba la Ng'ombe la Joseph Kabila lililopo Mkoani Haut-Katanga, waliiba, kuchinja na kula Ng'ombe wao waliowakuta katika Shamba hilo.

    Olive Lembe amesema hayo kwamba Wanajeshi hao walikuwa kwenye Shamba la Kundelungu lililoko katika Mkoa wa Haut-Katanga na kwamba hawakuwa na ruhusa ya kuingia kwenye mali ya familia yao. Mbali na kuchukua kompyuta na simu za mkononi za Wafanyakazi wa shamba hilo, Mwanamama huyo alieleza pia kuwa Wanajeshi hao walikuwa wakichinja Ng'ombe wao kwa ajili ya kula kwa sababu hawakuwa na chakula walichobeba.

    "Wanajeshi hawa walikuwa wakiiba kompyuta na simu za Wafanyakazi wa shamba. Walikuja bila chakula, sasa walichinja Ng'ombe wetu ili kula." alisema Lembe.

    Ikumbukwe kwamba Serikali ya DR Congo ilitangaza kuchukua mali zote za Kabila (kustaafisha) baada ya ziara yake ya tarehe 18 Aprili katika Jiji la Goma linalodhibitiwa na Muungano wa AFC/M23. Serikali ilikuwa ilituma Wanajeshi wa upelelezi kwenye mali zake, ikiwemo Nyumba yake iliyo katika eneo la Limete Mjini Kinshasa, wakisema walikuwa wakitafuta vifaa vya kijeshi ambavyo vinaweza kuwa vimefichwa.

    Lembe anasema kuwa Serikali ya DR Congo inaendelea kufanya mateso kwa familia yao, na kudai kwamba ina mpango wa kuwaangamiza.

    Kutoka Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Mke wa Rais wa zamani wa Nchi hiyo Joseph Kabila Kabange, Olive Lembe Kabila, ametangaza kwamba Wanajeshi wa DR Congo waliopelekwa kwenye Shamba la Ng'ombe la Joseph Kabila lililopo Mkoani Haut-Katanga, waliiba, kuchinja na kula Ng'ombe wao waliowakuta katika Shamba hilo. Olive Lembe amesema hayo kwamba Wanajeshi hao walikuwa kwenye Shamba la Kundelungu lililoko katika Mkoa wa Haut-Katanga na kwamba hawakuwa na ruhusa ya kuingia kwenye mali ya familia yao. Mbali na kuchukua kompyuta na simu za mkononi za Wafanyakazi wa shamba hilo, Mwanamama huyo alieleza pia kuwa Wanajeshi hao walikuwa wakichinja Ng'ombe wao kwa ajili ya kula kwa sababu hawakuwa na chakula walichobeba. "Wanajeshi hawa walikuwa wakiiba kompyuta na simu za Wafanyakazi wa shamba. Walikuja bila chakula, sasa walichinja Ng'ombe wetu ili kula." alisema Lembe. Ikumbukwe kwamba Serikali ya DR Congo ilitangaza kuchukua mali zote za Kabila (kustaafisha) baada ya ziara yake ya tarehe 18 Aprili katika Jiji la Goma linalodhibitiwa na Muungano wa AFC/M23. Serikali ilikuwa ilituma Wanajeshi wa upelelezi kwenye mali zake, ikiwemo Nyumba yake iliyo katika eneo la Limete Mjini Kinshasa, wakisema walikuwa wakitafuta vifaa vya kijeshi ambavyo vinaweza kuwa vimefichwa. Lembe anasema kuwa Serikali ya DR Congo inaendelea kufanya mateso kwa familia yao, na kudai kwamba ina mpango wa kuwaangamiza.
    Like
    Love
    3
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·698 Views
  • Aliyetiwa hatiani kuwa Mhalifu wa kivita na Mahakama ya kimataifa ya (ICC) kwa makosa mbalimbali, Thomas Lubanga, ametangaza kuunda kundi jipya la Waasi lenye lengo la kuiangusha Serikali ya Jimbo la Ituri, lililopo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .

    Nchi ya DR Congo imekuwa ikikabiliwa na tishio la kiusalama katika Mikoa ya mashariki ambapo makundi ya Waasi ikiwemo Muungano wa Waasi wa AFC/M23 unaoshikilia Miji ya Goma, Bukavu, Nyabibwe na Walikale.

    Hata hivyo, uamuzi wa Thomas Lubanga ambaye ni Mzaliwa wa Mkoa wa Ituri Nchini DR Congo na anayeishi Nchini Uganda , kutangaza kuanzisha Kundi lake la Waasi alilolipa jina Convention for the Popular Revolution (CPR) ambalo litaongeza hofu ya machafuko Nchini humo wakati huu ambao Serikali ya Rais Felix Tshisekedi inatafuta maridhiano na M23 kwa njia ya mazungumzo.

    Shirika la Habari la Reuters, limeripoti leo Jumanne Aprili Mosi, 2025, kuwa Lubanga ambaye ni Mzaliwa wa Ituri, alihukumiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mwaka 2012 kwa makosa ya kuwasajili Watoto kama Askari na akapewa kifungo cha miaka 14 Gerezani, baadaye aliachiliwa mwaka 2020 na Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi kisha akamteua kuwa sehemu ya kikosi kazi cha kuleta amani Jimboni Ituri.

    Hata hivyo, mwaka 2022 alitekwa nyara kwa miezi miwili na kundi la Waasi, tukio analodai kupangwa na Serikali ya DR Congo kwa lengo kumpoteza ila kwa sasa anaishi Nchini Uganda.

    Aliyetiwa hatiani kuwa Mhalifu wa kivita na Mahakama ya kimataifa ya (ICC) kwa makosa mbalimbali, Thomas Lubanga, ametangaza kuunda kundi jipya la Waasi lenye lengo la kuiangusha Serikali ya Jimbo la Ituri, lililopo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩. Nchi ya DR Congo imekuwa ikikabiliwa na tishio la kiusalama katika Mikoa ya mashariki ambapo makundi ya Waasi ikiwemo Muungano wa Waasi wa AFC/M23 unaoshikilia Miji ya Goma, Bukavu, Nyabibwe na Walikale. Hata hivyo, uamuzi wa Thomas Lubanga ambaye ni Mzaliwa wa Mkoa wa Ituri Nchini DR Congo na anayeishi Nchini Uganda 🇺🇬, kutangaza kuanzisha Kundi lake la Waasi alilolipa jina Convention for the Popular Revolution (CPR) ambalo litaongeza hofu ya machafuko Nchini humo wakati huu ambao Serikali ya Rais Felix Tshisekedi inatafuta maridhiano na M23 kwa njia ya mazungumzo. Shirika la Habari la Reuters, limeripoti leo Jumanne Aprili Mosi, 2025, kuwa Lubanga ambaye ni Mzaliwa wa Ituri, alihukumiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mwaka 2012 kwa makosa ya kuwasajili Watoto kama Askari na akapewa kifungo cha miaka 14 Gerezani, baadaye aliachiliwa mwaka 2020 na Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi kisha akamteua kuwa sehemu ya kikosi kazi cha kuleta amani Jimboni Ituri. Hata hivyo, mwaka 2022 alitekwa nyara kwa miezi miwili na kundi la Waasi, tukio analodai kupangwa na Serikali ya DR Congo kwa lengo kumpoteza ila kwa sasa anaishi Nchini Uganda.
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1K Views
  • Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza rasmi kuondoa hitaji la visa kwa Watanzania wanaoingia Nchini humo, kuanzia tarehe 20 Machi, 2025. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa uanachama wa DR Congo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na jitihada za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili.

    Ikumbukwe kwamba Nchi ya Tanzania ilikuwa imeondoa utaratibu wa malipo ya visa kwa Raia wa DRC tangu Septemba 2, 2023, ikitarajia hatua ya kurudishiwa fadhila. Uamuzi wa sasa wa DR Congo unaimarisha mahusiano ya ujirani mwema na kufungua fursa zaidi za biashara na ushirikiano wa kikanda.

    Serikali ya Tanzania imesifu hatua hiyo, ikisisitiza kuwa inalingana na ajenda za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA). Hatua hii inaashiria ushirikiano bora wa kidiplomasia na unaleta unafuu mkubwa kwa Wafanyabiashara na wasafiri wa pande zote mbili.

    Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 imetangaza rasmi kuondoa hitaji la visa kwa Watanzania wanaoingia Nchini humo, kuanzia tarehe 20 Machi, 2025. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa uanachama wa DR Congo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na jitihada za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili. Ikumbukwe kwamba Nchi ya Tanzania 🇹🇿 ilikuwa imeondoa utaratibu wa malipo ya visa kwa Raia wa DRC tangu Septemba 2, 2023, ikitarajia hatua ya kurudishiwa fadhila. Uamuzi wa sasa wa DR Congo unaimarisha mahusiano ya ujirani mwema na kufungua fursa zaidi za biashara na ushirikiano wa kikanda. Serikali ya Tanzania imesifu hatua hiyo, ikisisitiza kuwa inalingana na ajenda za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA). Hatua hii inaashiria ushirikiano bora wa kidiplomasia na unaleta unafuu mkubwa kwa Wafanyabiashara na wasafiri wa pande zote mbili.
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·897 Views
  • Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC

    Anatokea mwehu mmoja anamdhihaki huyu Rais au kikundi cha vijana wa hovyo wanadhihaki Mamlaka za mpira wetu, Hii Nchi uhuru umepitiliza sana

    Wallace Karia, TFF na Bodi ya Ligi Wanapaswa kuheshimiwa, kuenziwa, kutunzwa na kulindwa maana wamefanya kazi kubwa na wanaendelea kufanya kazi kubwa kwenye mpira wetu

    Yote tuliyokua tunayaota kwenye mpira sasa hivi yanatokea, yale tuliyodhani ni magumu kwa Karia yamewezekana

    Na kama haitoshi tunaiona kesho njema ya mpira wa Tanzania chini ya Karia na wenzake

    President @wallacekaria na Uongozi wako wa TFF na Bodi ya ligi msirudi nyuma na msikubali mtu akaturudisha nyuma sasa hivi tunawaza World Cup tunawaza Utawala wa AFCON na Ubingwa Afrika ngazi klabu

    KAMA HUMPENDI KARIA PENDA MAFANIKIO YAKE"

    Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC ✍️ Anatokea mwehu mmoja anamdhihaki huyu Rais au kikundi cha vijana wa hovyo wanadhihaki Mamlaka za mpira wetu, Hii Nchi uhuru umepitiliza sana Wallace Karia, TFF na Bodi ya Ligi Wanapaswa kuheshimiwa, kuenziwa, kutunzwa na kulindwa maana wamefanya kazi kubwa na wanaendelea kufanya kazi kubwa kwenye mpira wetu Yote tuliyokua tunayaota kwenye mpira sasa hivi yanatokea, yale tuliyodhani ni magumu kwa Karia yamewezekana Na kama haitoshi tunaiona kesho njema ya mpira wa Tanzania chini ya Karia na wenzake President @wallacekaria na Uongozi wako wa TFF na Bodi ya ligi msirudi nyuma na msikubali mtu akaturudisha nyuma sasa hivi tunawaza World Cup tunawaza Utawala wa AFCON na Ubingwa Afrika ngazi klabu KAMA HUMPENDI KARIA PENDA MAFANIKIO YAKE"
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·979 Views
  • Muungano wa Waasi wa kundi la AFC/M23 umetangaza kutoshiriki mazungumzo ya amani huku wakiituhumu Serikali ya Kinshasa kwa kuendeleza vita. Katika taarifa ya Kundi hilo iliyotolewa Februari 17, 2025, Waasi hao wa M23 wameituhumu Serikali ya Rais Félix Tshisekedi kwa kuendesha mashambulizi ya ardhini kwa kutumia Ndege za kivita wakati wanajua fike wapo kwenye hatua za mwisho kuelekea kwenye mkutano wa amani Nchini Angola .

    Ikumbukwe kwamba Waasi hao wa AFC/M23 walikuwa tayari wameshawateua Wawakilishi wao na kuthibitisha kuwa watatuma Wawakilishi hao Nchini Jijini Luanda, Angola kwa ajili ya mazungumzo ya maani ambayo yamepangwa kufanyika Machi 18, 2025.

    Muungano wa Waasi wa kundi la AFC/M23 umetangaza kutoshiriki mazungumzo ya amani huku wakiituhumu Serikali ya Kinshasa kwa kuendeleza vita. Katika taarifa ya Kundi hilo iliyotolewa Februari 17, 2025, Waasi hao wa M23 wameituhumu Serikali ya Rais Félix Tshisekedi kwa kuendesha mashambulizi ya ardhini kwa kutumia Ndege za kivita wakati wanajua fike wapo kwenye hatua za mwisho kuelekea kwenye mkutano wa amani Nchini Angola 🇦🇴. Ikumbukwe kwamba Waasi hao wa AFC/M23 walikuwa tayari wameshawateua Wawakilishi wao na kuthibitisha kuwa watatuma Wawakilishi hao Nchini Jijini Luanda, Angola kwa ajili ya mazungumzo ya maani ambayo yamepangwa kufanyika Machi 18, 2025.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·638 Views
  • Katika hatua mpya ya mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , kundi la Waasi wa M23 likishirikiana na Muungano wa Mto Congo (AFC) limetangaza kuwa Wanajeshi wa zamani wa Jeshi la DR Congo (FARDC) waliokamatwa au kujisalimisha wamehitimu mafunzo ya kiitikadi na mbinu za kijeshi.

    Katika taarifa ya Kundi la M23 kwenye mtandao wao wa X leo Februari 18, picha zilionyesha Wanajeshi hao wakiwa na sare na silaha rasmi za wanamgambo hao. Ujumbe uliambatana na chapisho hilo ulieleza:

    "Wanajeshi wa zamani wa FARDC, waliokamatwa au kujisalimisha, wamemaliza mafunzo ya kiitikadi na mbinu huko Rumangabo Mjini Goma chini ya AFC/M23. Sasa wakiwa na vifaa kamili na wanaolipwa, wametumwa Lubero, ambako wanashiriki kikamilifu muungano wa serikali."

    Wakati huo huo, Uganda imetangaza kuwa vikosi vyake vya kijeshi vimeanza kuelekea Bunia, DRC, ikiwa ni siku chache baada ya Jeshi la Uganda kutoa muda wa saa 24 kwa Askari waliopo eneo hilo kujisalimisha.

    Taarifa nyingine kuwa, hapo jana Kundi la Waasi hao wa M23 wamefanikiwa kuteka eneo la Kamanyola na sasa hivi wanajipanga kuelekea Uvira, Fizi kisha Mkoa wa Tanganyika (Kalemie) kabla ya kwenda Mjini Lubumbashi. Kwa mujibu wa Wananchi wa Kamanyala wanasema kuwa Kundi la Wapiganaji wa Wazalendo ambao wanapigana kwa upande wa Serikali waliibwa Silaha zao kisha wakakimbia na kuwaachia M23 kuichukua Kamanyola.

    Katika hatua mpya ya mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, kundi la Waasi wa M23 likishirikiana na Muungano wa Mto Congo (AFC) limetangaza kuwa Wanajeshi wa zamani wa Jeshi la DR Congo (FARDC) waliokamatwa au kujisalimisha wamehitimu mafunzo ya kiitikadi na mbinu za kijeshi. Katika taarifa ya Kundi la M23 kwenye mtandao wao wa X leo Februari 18, picha zilionyesha Wanajeshi hao wakiwa na sare na silaha rasmi za wanamgambo hao. Ujumbe uliambatana na chapisho hilo ulieleza: "Wanajeshi wa zamani wa FARDC, waliokamatwa au kujisalimisha, wamemaliza mafunzo ya kiitikadi na mbinu huko Rumangabo Mjini Goma chini ya AFC/M23. Sasa wakiwa na vifaa kamili na wanaolipwa, wametumwa Lubero, ambako wanashiriki kikamilifu muungano wa serikali." Wakati huo huo, Uganda imetangaza kuwa vikosi vyake vya kijeshi vimeanza kuelekea Bunia, DRC, ikiwa ni siku chache baada ya Jeshi la Uganda kutoa muda wa saa 24 kwa Askari waliopo eneo hilo kujisalimisha. Taarifa nyingine kuwa, hapo jana Kundi la Waasi hao wa M23 wamefanikiwa kuteka eneo la Kamanyola na sasa hivi wanajipanga kuelekea Uvira, Fizi kisha Mkoa wa Tanganyika (Kalemie) kabla ya kwenda Mjini Lubumbashi. Kwa mujibu wa Wananchi wa Kamanyala wanasema kuwa Kundi la Wapiganaji wa Wazalendo ambao wanapigana kwa upande wa Serikali waliibwa Silaha zao kisha wakakimbia na kuwaachia M23 kuichukua Kamanyola.
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·934 Views
  • Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Félix Tshisekedi, amemshutumu kwa mara nyingine tena Mtangulizi wake Joseph Kabila kuwa anaunga mkono Kundi la Waasi la M23. Mnamo Agosti 2024, Tshisekedi alidai kuwa Kabila alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa muungano wa Wakuu wa kisiasa wa (AFC) unaoongozwa na Corneille Nangaa na Wapiganaji wa kundi la M23.

    Katika mahojiano, Tshisekedi alisema sababu iliyofanya Kabila kutoshiriki uchaguzi wa Desemba 2024 ni kwa sababu alikuwa na shughuli nyingi na AFC.

    “Tusimzungumzie Joseph Kabila. Amekataa kabisa kugombea uchaguzi na anajipanga kupambana na serikali kwa sababu yeye ni AFC.” - alisema Tshisekedi

    Rais huyo ameyasema hayo tena katika Baraza la Usalama la Kimataifa Mjini Munich Nchini Ujerumani Februari 14, 2025, ya kwamba Kabila alienda uhamishoni kwa sababu anafadhili Waasi wa (AFC) ikiwemo Kundi la Waasi la M23.

    Hata hivyo, Chama cha Joseph Kabila cha (PPRD) kimekanusha vikali matamshi ya Rais Félix Tshisekedi kwa kusema kuwa Kiongozi wao hausiki na Kundi hilo la Waasi.

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Félix Tshisekedi, amemshutumu kwa mara nyingine tena Mtangulizi wake Joseph Kabila kuwa anaunga mkono Kundi la Waasi la M23. Mnamo Agosti 2024, Tshisekedi alidai kuwa Kabila alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa muungano wa Wakuu wa kisiasa wa (AFC) unaoongozwa na Corneille Nangaa na Wapiganaji wa kundi la M23. Katika mahojiano, Tshisekedi alisema sababu iliyofanya Kabila kutoshiriki uchaguzi wa Desemba 2024 ni kwa sababu alikuwa na shughuli nyingi na AFC. “Tusimzungumzie Joseph Kabila. Amekataa kabisa kugombea uchaguzi na anajipanga kupambana na serikali kwa sababu yeye ni AFC.” - alisema Tshisekedi Rais huyo ameyasema hayo tena katika Baraza la Usalama la Kimataifa Mjini Munich Nchini Ujerumani 🇩🇪 Februari 14, 2025, ya kwamba Kabila alienda uhamishoni kwa sababu anafadhili Waasi wa (AFC) ikiwemo Kundi la Waasi la M23. Hata hivyo, Chama cha Joseph Kabila cha (PPRD) kimekanusha vikali matamshi ya Rais Félix Tshisekedi kwa kusema kuwa Kiongozi wao hausiki na Kundi hilo la Waasi.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·910 Views
  • TBT ya Haji Manara

    "September 2007 nikiwa kijana Mdogo na nikiwa kiongozi wa Chama changu na hapo ni fresh from School kule Beijing China.
    Kipindi hicho nna madini ya hatari kuhusu taaluma ya Propaganda na Uenezi,enzi ambazo nilikuwa naweza kukuaminisha Jiwe ni Keki

    Enzi ambazo nilikuwa naweza kuwavusha hata kuku barabarani kwa maneno tu,
    Ni zile zile zama nilizowaaminisha Barcelona haichomoki kwa Mkapa, tena Barcelona kweli ya Xavi ,Iniesta na kina Messi.
    Taaluma iliyonipa ujasiri wa kusema na kuamini tutafuzu kwa AFCON ya 2019 kule Misri,wakati huo tukiwa chini kwenye msimamo wa kundi letu, na Nchi nzima ikiwa imejikatia tamaa ya kwenda Cairo.

    Bila kusahau one day kule Paris France niliposahau Passport hotelini na siku hiyo tulisimamishwa na Manjagu njiani nikiwa na wenzangu ambao walikuwa Kamil Gado,
    Nikazuga kama naitoa kwenye mfuko wa koti, Askari wakaniamini kabla ya kuwaonyesha ,wakaturuhusu kilaini kabisa,inaitwa Blue Propaganda

    Yes: Pembeni yangu katika hiyo picha ni Marehemu Captain Barongo aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam,
    Na hii ilikuwa sherehe ya harusi ya DC wa Temeke hivi sasa Mh Sixtus Mapunda ambae wakati huo alikuwa Katibu wa Umoja wa Vijana ( UV CCM ) Mkoa huu.
    Hadi leo tumebaki marafiki wakubwa na hakosi mwaliko wowote kwangu

    Nb: Usicheke ukubwa wa koti,miaka ile ilikuwa ndio fashion na wenyewe tuliyaita Majumba "

    TBT ya Haji Manara "September 2007 nikiwa kijana Mdogo na nikiwa kiongozi wa Chama changu na hapo ni fresh from School kule Beijing China. Kipindi hicho nna madini ya hatari kuhusu taaluma ya Propaganda na Uenezi,enzi ambazo nilikuwa naweza kukuaminisha Jiwe ni Keki 😀😀😀 Enzi ambazo nilikuwa naweza kuwavusha hata kuku barabarani kwa maneno tu😀😀😀, Ni zile zile zama nilizowaaminisha Barcelona haichomoki kwa Mkapa, tena Barcelona kweli ya Xavi ,Iniesta na kina Messi. Taaluma iliyonipa ujasiri wa kusema na kuamini tutafuzu kwa AFCON ya 2019 kule Misri,wakati huo tukiwa chini kwenye msimamo wa kundi letu, na Nchi nzima ikiwa imejikatia tamaa ya kwenda Cairo. Bila kusahau one day kule Paris France niliposahau Passport hotelini na siku hiyo tulisimamishwa na Manjagu njiani nikiwa na wenzangu ambao walikuwa Kamil Gado, Nikazuga kama naitoa kwenye mfuko wa koti, Askari wakaniamini kabla ya kuwaonyesha ,wakaturuhusu kilaini kabisa,inaitwa Blue Propaganda 😀😀😀 Yes: Pembeni yangu katika hiyo picha ni Marehemu Captain Barongo aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Na hii ilikuwa sherehe ya harusi ya DC wa Temeke hivi sasa Mh Sixtus Mapunda ambae wakati huo alikuwa Katibu wa Umoja wa Vijana ( UV CCM ) Mkoa huu. Hadi leo tumebaki marafiki wakubwa na hakosi mwaliko wowote kwangu 🙏🙏 Nb: Usicheke ukubwa wa koti,miaka ile ilikuwa ndio fashion na wenyewe tuliyaita Majumba 😀😀😀"
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1K Views
  • Mahakama ya ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imeanza kusikiliza shauri la Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo dhidi ya Nchi ya Rwanda , ambalo limefunguliwa kwenye mahakama hiyo iliyoko Jijini Arusha Nchini Tanzania .

    Aidha, DR Congo ilifungua kesi dhidi ya Rwanda, Agosti 21 2023, ikiituhumu Nchi hiyo kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadamu. Kupitia kesi namba 007/2023, DR Congo inadai kuwa Nchi ya Rwanda inahusika na mgogoro unaeondelea Mashariki mwa Nchi hiyo hasa Mkoa wa Sud-Kivu.

    Mahakama ya ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imeanza kusikiliza shauri la Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 dhidi ya Nchi ya Rwanda 🇷🇼, ambalo limefunguliwa kwenye mahakama hiyo iliyoko Jijini Arusha Nchini Tanzania 🇹🇿. Aidha, DR Congo ilifungua kesi dhidi ya Rwanda, Agosti 21 2023, ikiituhumu Nchi hiyo kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadamu. Kupitia kesi namba 007/2023, DR Congo inadai kuwa Nchi ya Rwanda inahusika na mgogoro unaeondelea Mashariki mwa Nchi hiyo hasa Mkoa wa Sud-Kivu.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·927 Views
  • Mahakama ya Kijeshi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetoa hati ya kukamatwa kwa Kiongozi wa umoja wa makundi ya Waasi Nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa.

    Televisheni ya Taifa ya DR Congo (RTNC) imeripoti kuwa hati ya kukamatwa kwa Nangaa imetolewa Jumanne Februari 4, 2025, baada ya kuhusika katika mauaji ya maelfu ya Raia katika mapigano yaliyoibuliwa na Wapiganaji wake katika Jimbo la Kivu Kaskazini Nchini humo. Mahakama hiyo katika hati yake imesema kutekeleza mauaji ya Raia katika mapigano hayo ni kinyume cha sheria za Nchi na sheria za kimataifa.

    Mahakama imeamuru Nangaa akamatwe akiwa mahali popote atakapokutwa Duniani na kufikishwa katika Mahakama ya kijeshi Nchini DR Congo akituhumiwa kuhusika katika kile ilichokitaja kuwa ni uasi na uhalifu wa kivita dhidi ya Raia.

    Ikumbukwe kwamba Mahakama hiyo hiyo ya Kijeshi iliwahi kumuhukumu Corneille Nangaa miaka kadhaa iliyopita akiwa hayupo Mahakamani (alikuwa amekimbia nje ya Nji) kunyongwa hadi kufa kwa kosa la uhaini.

    Mahakama ya Kijeshi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 imetoa hati ya kukamatwa kwa Kiongozi wa umoja wa makundi ya Waasi Nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa. Televisheni ya Taifa ya DR Congo (RTNC) imeripoti kuwa hati ya kukamatwa kwa Nangaa imetolewa Jumanne Februari 4, 2025, baada ya kuhusika katika mauaji ya maelfu ya Raia katika mapigano yaliyoibuliwa na Wapiganaji wake katika Jimbo la Kivu Kaskazini Nchini humo. Mahakama hiyo katika hati yake imesema kutekeleza mauaji ya Raia katika mapigano hayo ni kinyume cha sheria za Nchi na sheria za kimataifa. Mahakama imeamuru Nangaa akamatwe akiwa mahali popote atakapokutwa Duniani na kufikishwa katika Mahakama ya kijeshi Nchini DR Congo akituhumiwa kuhusika katika kile ilichokitaja kuwa ni uasi na uhalifu wa kivita dhidi ya Raia. Ikumbukwe kwamba Mahakama hiyo hiyo ya Kijeshi iliwahi kumuhukumu Corneille Nangaa miaka kadhaa iliyopita akiwa hayupo Mahakamani (alikuwa amekimbia nje ya Nji) kunyongwa hadi kufa kwa kosa la uhaini.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·744 Views
  • Uamuzi huo ulizua sintofahamu kubwa, kwani upinzani ulidai kuwa matokeo hayo yalikuwa na mizengwe.

    Wapo waliodai kuwa Nangaa alihusika moja kwa moja kuhakikisha Tshisekedi anashinda ili kumaliza utawala wa muda mrefu wa Joseph Kabila.

    Lakini wakati watu walidhani kuwa jukumu lake katika siasa za Congo limeishia hapo, mambo yalibadilika ghafla.

    Badala ya kustaafu kwenye siasa, Corneille Nangaa aliibuka na Action for Change (AFC), chama kipya cha kisiasa ambacho kilionekana kuja na ajenda tofauti.

    Alianza kujenga ushawishi mkubwa ndani na nje ya Congo, huku akijitokeza kama mpinzani wa utawala wa Tshisekedi aliyechangia kumuweka madarakani.

    Lakini hatua iliyotikisa Congo ni pale ilipogundulika kuwa Nangaa sasa alikuwa na uhusiano wa karibu na kundi la waasi la M23, ambalo linajulikana kwa mapigano yake dhidi ya serikali ya Congo.

    Kwa muda mrefu, kundi la M23 limekuwa likipambana na serikali, likidai haki kwa jamii ya Watutsi wa Congo.

    Lakini sasa, kulikuwa na mabadiliko makubwa M23, haikuwa tu kundi la waasi, bali lilionekana kama jeshi binafsi la Corneille Nangaa.

    Uamuzi huo ulizua sintofahamu kubwa, kwani upinzani ulidai kuwa matokeo hayo yalikuwa na mizengwe. Wapo waliodai kuwa Nangaa alihusika moja kwa moja kuhakikisha Tshisekedi anashinda ili kumaliza utawala wa muda mrefu wa Joseph Kabila. Lakini wakati watu walidhani kuwa jukumu lake katika siasa za Congo limeishia hapo, mambo yalibadilika ghafla. Badala ya kustaafu kwenye siasa, Corneille Nangaa aliibuka na Action for Change (AFC), chama kipya cha kisiasa ambacho kilionekana kuja na ajenda tofauti. Alianza kujenga ushawishi mkubwa ndani na nje ya Congo, huku akijitokeza kama mpinzani wa utawala wa Tshisekedi aliyechangia kumuweka madarakani. Lakini hatua iliyotikisa Congo ni pale ilipogundulika kuwa Nangaa sasa alikuwa na uhusiano wa karibu na kundi la waasi la M23, ambalo linajulikana kwa mapigano yake dhidi ya serikali ya Congo. Kwa muda mrefu, kundi la M23 limekuwa likipambana na serikali, likidai haki kwa jamii ya Watutsi wa Congo. Lakini sasa, kulikuwa na mabadiliko makubwa M23, haikuwa tu kundi la waasi, bali lilionekana kama jeshi binafsi la Corneille Nangaa.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·864 Views
  • Katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), jina la Corneille Nangaa limepita katika nyanja tofauti.

    Kutoka kuwa msomi wa uchumi, mtumishi wa Umoja wa Mataifa (UNDP), msimamizi wa uchaguzi mkuu.

    Hadi sasa kuwa mmoja wa watu wanaoitikisa nchi hiyo kwa kiwango kikubwa.

    Mwanaume huyu ambaye aliwahi kuwa miongoni mwa watendaji wakubwa wa serikali, sasa anatajwa kuwa nyuma ya moja ya harakati hatari zaidi zinazoendelea katika ardhi ya Congo.

    Akiwa na historia ndefu ya kushika nafasi za juu serikalini, alifikia hatua ya kuanzisha chama chake cha kisiasa, Action for Change (AFC).

    Lakini hatua zake zilizoibua taharuki kubwa ni uhusiano wake wa karibu na kundi la waasi la M23, ambalo hivi sasa linatajwa kuwa jeshi lake binafsi.

    Lakini vipi msomi huyu wa uchumi alihamia kutoka kuongoza uchaguzi hadi kusimamia jeshi la waasi?

    Corneille Nangaa alianza kama msomi wa uchumi, akipata elimu yake kutoka Chuo Kikuu cha Kinshasa.
    Katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), jina la Corneille Nangaa limepita katika nyanja tofauti. Kutoka kuwa msomi wa uchumi, mtumishi wa Umoja wa Mataifa (UNDP), msimamizi wa uchaguzi mkuu. Hadi sasa kuwa mmoja wa watu wanaoitikisa nchi hiyo kwa kiwango kikubwa. Mwanaume huyu ambaye aliwahi kuwa miongoni mwa watendaji wakubwa wa serikali, sasa anatajwa kuwa nyuma ya moja ya harakati hatari zaidi zinazoendelea katika ardhi ya Congo. Akiwa na historia ndefu ya kushika nafasi za juu serikalini, alifikia hatua ya kuanzisha chama chake cha kisiasa, Action for Change (AFC). Lakini hatua zake zilizoibua taharuki kubwa ni uhusiano wake wa karibu na kundi la waasi la M23, ambalo hivi sasa linatajwa kuwa jeshi lake binafsi. Lakini vipi msomi huyu wa uchumi alihamia kutoka kuongoza uchaguzi hadi kusimamia jeshi la waasi? Corneille Nangaa alianza kama msomi wa uchumi, akipata elimu yake kutoka Chuo Kikuu cha Kinshasa.
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·900 Views
  • Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufuzu #AFCON2025. Mengine tuwe wapole kwa sasa na tujipange kwa kilicho mbele yetu. Kwenye football lolote lawezekana.

    #aulswai
    Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufuzu #AFCON2025. Mengine tuwe wapole kwa sasa na tujipange kwa kilicho mbele yetu. Kwenye football lolote lawezekana. #aulswai
    Like
    Love
    4
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·761 Views
  • ...||TANZANIA NJIA NYEUPE KWENYE KUNDI C AFCON 2025.

    Haya hapa Makundi yote ya Afcon 2025,

    KUNDI A
    Morocco
    Comoros
    Zambia
    Mali

    KUNDI B
    Zimbabwe
    Angola
    South Africa
    Egypt

    KUNDI C
    Tanzania
    Uganda
    Tunisia
    Nigeria

    KUNDI D
    Botswana
    Benin
    Dr Congo
    Senegal

    KUNDI E
    Sudan
    Equatorial Guinea
    Burkina Faso
    Algeria

    KUNDI F
    Cameroon
    Mozambique
    Gabon
    Cotê D'Ivoire 🇨🇮

    Kila la kheri Tanzania
    🚨...||TANZANIA 🇹🇿 NJIA NYEUPE KWENYE KUNDI C AFCON 2025. 💎Haya hapa Makundi yote ya Afcon 2025, KUNDI A Morocco🇲🇦 Comoros🇰🇲 Zambia🇿🇲 Mali🇲🇱 KUNDI B Zimbabwe 🇿🇼 Angola🇦🇴 South Africa🇿🇦 Egypt🇪🇬 KUNDI C Tanzania🇹🇿 Uganda🇺🇬 Tunisia🇹🇳 Nigeria🇳🇬 KUNDI D Botswana🇧🇼 Benin🇧🇯 Dr Congo🇨🇩 Senegal🇸🇳 KUNDI E Sudan🇸🇸 Equatorial Guinea🇬🇶 Burkina Faso🇧🇫 Algeria🇩🇿 KUNDI F Cameroon🇨🇲 Mozambique🇲🇿 Gabon🇬🇦 Cotê D'Ivoire 🇨🇮 💎Kila la kheri Tanzania 🇹🇿🇹🇿🙏👊💪💙🤍🖤
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·964 Views
  • GROUP A
    Morocco
    Mali
    Zambia
    Comoros

    GROUP B
    Egypt
    South Africa
    Angola
    Zimbabwe

    GROUP C
    Nigeria
    Tunisia
    Uganda
    Tanzania


    GROUP D
    Senegal
    DR Congo
    Benin Republic
    Botswana


    GROUP E
    Algeria
    Burkina Faso
    Equatorial Guinea
    Sudan


    GROUP F
    Ivory Coast 🇨🇮
    Cameroon
    Gabon
    Mozambique

    #AFCON2025
    GROUP A Morocco 🇲🇦 Mali 🇲🇱 Zambia 🇿🇲 Comoros 🇰🇲 GROUP B Egypt 🇪🇬 South Africa 🇿🇦 Angola 🇦🇴 Zimbabwe 🇿🇼 GROUP C Nigeria 🇳🇬 Tunisia 🇹🇳 Uganda 🇺🇬 Tanzania 🇹🇿 GROUP D Senegal 🇸🇳 DR Congo 🇨🇩 Benin Republic 🇧🇯 Botswana 🇧🇼 GROUP E Algeria 🇩🇿 Burkina Faso 🇧🇫 Equatorial Guinea 🇬🇶 Sudan 🇸🇩 GROUP F Ivory Coast 🇨🇮 Cameroon 🇨🇲 Gabon 🇬🇦 Mozambique 🇲🇿 #AFCON2025
    Like
    Love
    5
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1K Views
  • AFCON Kundi C
    Nigeria
    Tunisia
    Uganda
    Tanzania
    AFCON Kundi C Nigeria🇳🇬 Tunisia 🇹🇳 Uganda🇺🇬 Tanzania🇹🇿
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·483 Views
Sponsorizeaza Paginile