• OFFICIAL Alejandro Garnacho atafanyiwa vipimo vya afya leo kama mchezaji mpya wa Chelsea kwa ada ya £40m na mkataba wa miaka saba hadi 2032.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ OFFICIAL Alejandro Garnacho atafanyiwa vipimo vya afya leo kama mchezaji mpya wa Chelsea kwa ada ya £40m na mkataba wa miaka saba hadi 2032. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท109 Views
  • ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Dili la Victor Boniface (24) kwenda Milan! rasmi limekufa baada ya straika huyo kufeli vipimo vya afya
    ๐Ÿšจ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Dili la Victor Boniface (24) kwenda Milan! rasmi limekufa baada ya straika huyo kufeli vipimo vya afya โŒ
    0 Comments ยท0 Shares ยท91 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea

    Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032.

    Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032.

    Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea ๐ŸšจKikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032. Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032. Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท232 Views
  • Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030.

    Source Sacha Tavolieri

    #SportsElite
    ๐ŸšจFahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030. Source Sacha Tavolieri #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท250 Views
  • BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand..

    Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐Ÿšจ BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand.. Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท223 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Douglas Luiz atafanyiwa vipimo vya afya Leo ili kukamilisha uhamisho kwenda Nottingham Forest hadi 2030 na atakuwa analipwa €5M/mwaka pamoja na bonasi zote

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Douglas Luiz atafanyiwa vipimo vya afya Leo ili kukamilisha uhamisho kwenda Nottingham Forest hadi 2030 na atakuwa analipwa €5M/mwaka pamoja na bonasi zote #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท94 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Newcastle imekamilisha usajili wa Jacob Ramsey kutoka Aston Villa,

    Uhamisho huo umegharimu £40m na Ramsey atasafiri kuelekea Newcastle kwaajili ya vipimo vya afya

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Newcastle imekamilisha usajili wa Jacob Ramsey kutoka Aston Villa, ๐Ÿค๐Ÿ–ค Uhamisho huo umegharimu £40m na Ramsey atasafiri kuelekea Newcastle kwaajili ya vipimo vya afya ๐Ÿ”œ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท213 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! AS Roma imekamilisha uhamisho wa kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens

    Ada ya uhamisho ikiwa ni €23m na nyongeza ya €2m kiungo huyo wa Morocco atasafiri kuelekea Roma Jumamosi hii kwaajili ya vipimo vya afya na mkataba wa miaka 5..

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! AS Roma imekamilisha uhamisho wa kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Ada ya uhamisho ikiwa ni €23m na nyongeza ya €2m kiungo huyo wa Morocco atasafiri kuelekea Roma Jumamosi hii kwaajili ya vipimo vya afya na mkataba wa miaka 5.. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท270 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! RB Leipzig imefikia makubaliano ya kumsaini winga Johan Bakayoko kutoka PSV

    Uhamisho huo umegharimu €22M na vipimo vya afya atafanyiwa ndani ya wiki hii..
    ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! RB Leipzig imefikia makubaliano ya kumsaini winga Johan Bakayoko kutoka PSV โค๏ธ๐Ÿค Uhamisho huo umegharimu €22M na vipimo vya afya atafanyiwa ndani ya wiki hii..
    0 Comments ยท0 Shares ยท247 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Patrick Agyemang hato jumuishwa kwenye kikosi cha Charlotte FC kwenye mechi leo usku dhidi ya NYCFC na tayari yuko mbioni kukamilisha uhamisho kwenda Derby County.

    Vipimo vya afya tayari vimekamilika Alhamisi iliyo pita. Na dili limekamilika kwa ada ya $8M na nyongeza ya $2M...
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Patrick Agyemang hato jumuishwa kwenye kikosi cha Charlotte FC kwenye mechi leo usku dhidi ya NYCFC na tayari yuko mbioni kukamilisha uhamisho kwenda Derby County. Vipimo vya afya tayari vimekamilika Alhamisi iliyo pita. Na dili limekamilika kwa ada ya $8M na nyongeza ya $2M...
    0 Comments ยท0 Shares ยท297 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petroviฤ‡

    Petroviฤ‡ atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petroviฤ‡ ๐Ÿ’ Petroviฤ‡ atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท289 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Morgan Gibbs-White yuko mbioni kujiunga Tottenham Hotspur baada ya vipimo vya afya hapo kesho.

    Tottenham Hotspur itatakiwa kulipa £60m kama Ada ya uhamisho Nottingham Forest.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Morgan Gibbs-White yuko mbioni kujiunga Tottenham Hotspur baada ya vipimo vya afya hapo kesho. โšชโšซ Tottenham Hotspur itatakiwa kulipa £60m kama Ada ya uhamisho Nottingham Forest. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท243 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham

    Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs

    Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London
    @theathleticfc reports.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham ๐Ÿค๐Ÿ’ฃ Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London @theathleticfc reports. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท303 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mshambuliaji wa Villarreal Thierno Barry (22) amejiunga na Everton! Kwa Ada ya £27m Na vipimo vya afya atafanyiwa leo
    @SkySportsNews.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Mshambuliaji wa Villarreal Thierno Barry (22) amejiunga na Everton! Kwa Ada ya £27m Na vipimo vya afya atafanyiwa leo @SkySportsNews. โœˆ๏ธ #SportsElite
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท274 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Arsenal imekamilisha usajili wa kapteni na kiungo wa Brentford , Christian Nørgaard.

    Arsenal watalipa £10m na nyongeza ya £2m kama bonasi.

    Vipimo vya afya tayari vimekamilika na rasmi atatangazwa ndani ya hii wiki[Via - @David_Ornstein].

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Arsenal imekamilisha usajili wa kapteni na kiungo wa Brentford , Christian Nørgaard๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ. Arsenal watalipa £10m na nyongeza ya £2m kama bonasi. Vipimo vya afya tayari vimekamilika na rasmi atatangazwa ndani ya hii wiki[Via - @David_Ornstein]. #SportsElite
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท323 Views
  • Winga machachari raia wa Sweden Roony Bardghji amekamilisha vipimo vya afya na kuwa mchezaji mpya wa FC Barcelona akitokea FC Copenhagen ya Denmark

    #SportsElite
    ๐Ÿ’ˆ๐Ÿ’ˆ Winga machachari raia wa Sweden ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Roony Bardghji amekamilisha vipimo vya afya na kuwa mchezaji mpya wa FC Barcelona akitokea FC Copenhagen ya Denmark ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ ๐Ÿ™Œ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท263 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Crystal Palace iko mbioni kukamilisha usajiri wa Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada ya €4M.

    Na ndani ya massa 48 atakuwa amekamilisha taratibu za uhamisho pamoja na vipimo vya afya...

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Crystal Palace iko mbioni kukamilisha usajiri wa Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada ya €4M. ๐Ÿ”ด๐Ÿ”ต Na ndani ya massa 48 atakuwa amekamilisha taratibu za uhamisho pamoja na vipimo vya afya... #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท252 Views
  • Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026!

    โ›”๏ธ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo.

    Mapendekezo yao ni pamoja na:
    • Kupumzika kila baada ya dakika 15
    • Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko
    • Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani
    • Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano
    • Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa

    Follow us Elly Sport
    ๐ŸŒก๏ธโš ๏ธ Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026! โ›”๏ธ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo. โœ… Mapendekezo yao ni pamoja na: • Kupumzika kila baada ya dakika 15 ๐ŸงŠ • Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko โฑ๏ธ • Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani ๐ŸŒฅ๏ธ • Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano ๐Ÿฅ • Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa ๐Ÿšจ Follow us Elly Sport
    0 Comments ยท0 Shares ยท509 Views
  • ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru

    Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya....

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru ๐Ÿค๐Ÿ–ค Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya.... ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท388 Views
  • ๐ƒ๐Ž๐๐„ ๐€๐๐ƒ ๐’๐„๐€๐‹๐„๐ƒ: Jayden Addai amekamilisha vipimo vya afya na atakuwa tayari kujiunga na Como muda wowote kwanzia sasa kwa ada ya €14m kutoka AZโšช๏ธ

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐ƒ๐Ž๐๐„ ๐€๐๐ƒ ๐’๐„๐€๐‹๐„๐ƒ: Jayden Addai amekamilisha vipimo vya afya na atakuwa tayari kujiunga na Como muda wowote kwanzia sasa kwa ada ya €14m kutoka AZ๐Ÿ”ตโšช๏ธ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท282 Views
More Results