Результаты поиска
Все результаты
Socialpop Socialpop Socialpop
Главная
Группы
Страницы
Marketplace
Больше
Группы Страницы Marketplace Мероприятия Статьи пользователей Funding Offers Jobs Courses Форумы Кинозал
Вступить
Войти Регистрация
Theme Switcher
Ночной режим
Поиск
Записей
Статьи пользователей
Пользователи
Страницы
Группы
Мероприятия
  • Soccer Sports @2024pesa добавлены фото
    2024-12-08 21:40:52 ·
    ROBO FINAL 8%; Katika kundi "A" la Ali hilal, Mc Alger, Tp mazembe, na Yanga, linazidi kuwa gumu Kwa yanga mpaka sasa anaburuza mkia, But bado Kuna asilimia 8% za kufuzu Robo fainal je,? Unashauri nini/kipi yanga wafanye ili waweze kusogea kileleni zaidi!???.
    #sokachampions
    #cafchampionsleague2024
    #soccersportstz
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #milardayo
    #Sports
    ROBO FINAL 8%🌔; Katika kundi "A" la Ali hilal, Mc Alger, Tp mazembe, na Yanga, linazidi kuwa gumu Kwa yanga mpaka sasa anaburuza mkia, But bado Kuna asilimia 8% za kufuzu Robo fainal je,? Unashauri nini/kipi yanga wafanye ili waweze kusogea kileleni zaidi!???✍️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏. #sokachampions #cafchampionsleague2024 #soccersportstz #AzamTVBurudaniKwaWote #milardayo #Sports
    Like
    Love
    5
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·2Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Soccer Sports @2024pesa добавлены фото
    2024-12-07 22:47:48 ·
    SISEMI SANA MAANA NAOGOPA KUTUKANWA BUT TOMORROW 3:1.
    #sokachampions
    #milardayo
    #soccersportstz
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #cafchampionsleague2024
    #sports
    SISEMI SANA MAANA NAOGOPA KUTUKANWA🤐 BUT TOMORROW 3:1. #sokachampions #milardayo #soccersportstz #AzamTVBurudaniKwaWote #cafchampionsleague2024 #sports
    Love
    Haha
    3
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·2Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Soccer Sports @2024pesa добавлены фото
    2024-12-07 22:20:39 ·
    IMEKUWA KINYUME ( Vice versa ); Hii yanga itatuua yaani hakuna siku imechana mikeka kama leo
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #cafchampionsleague2024
    #sports
    IMEKUWA KINYUME ( Vice versa ); Hii yanga itatuua yaani hakuna siku imechana mikeka kama leo😭😭😭 #sokachampions #soccersportstz #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #cafchampionsleague2024 #sports
    Love
    Haha
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·2Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Soccer Sports @2024pesa добавлены фото
    2024-12-06 12:54:59 ·
    MC ALGER YANGA 0:2; Unaweza usinielewe kwanini nimeandika hivi ila ukiwa na D2 Utaelewa nilicho maanisha, kilicho chakweli tuseme tu ukweli yanga Wana timu kubwa sio timu yakufananisha na VITAL"0" hii yanga KIBOKO ya waarabu/Mwewe na kuku keshoYANGA BINGWA
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #sports
    MC ALGER 🆚 YANGA 0:2; Unaweza usinielewe kwanini nimeandika hivi ila ukiwa na D2 Utaelewa nilicho maanisha, kilicho chakweli tuseme tu ukweli yanga Wana timu kubwa sio timu yakufananisha na VITAL"0" hii yanga KIBOKO ya waarabu/Mwewe na kuku💪💚💛💚💛 kesho👏YANGA BINGWA✍️ #sokachampions #soccersportstz #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #sports
    Like
    4
    · 1 Комментарии ·1 Поделились ·2Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Soccer Sports @2024pesa добавлены фото
    2024-11-27 06:07:20 ·
    RADA YETU; Jana katika mchezo wa Yanga Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING), hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na Kono lanyani Back again .
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #uefachampionsleague2024
    #tanzania
    #sports
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #YoungAfricans
    #cafchampionsleague2024
    RADA YETU🌏; Jana katika mchezo wa Yanga 🆚 Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING)🫂, hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na 🖐️Kono lanyani Back again 🙏. #sokachampions #soccersportstz #uefachampionsleague2024 #tanzania #sports #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #YoungAfricans #cafchampionsleague2024
    Like
    Love
    Haha
    6
    · 3 Комментарии ·0 Поделились ·2Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
Обновить до Про
Выберите подходящий план
Обновить
© 2025 Socialpop
Russian
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
О нас Условия использования Конфиденциальность Свяжитесь с нами Каталог Разработчики