• BREAKING : FC Barcelona wamejipanga kimkakati kuhakikisha wanamsajili Beki kitasa wa Liverpool FC raia wa Ufaransa Ibrahima Konaté katika dirisha hili la usajili.

    FC Barcelona wanaamini ofa waliyoiandaa, haiwezi kataliwa na Liverpool FC

    #SportsElite
    BREAKING 🔴: FC Barcelona wamejipanga kimkakati kuhakikisha wanamsajili Beki kitasa wa Liverpool FC raia wa Ufaransa 🇨🇵 Ibrahima Konaté katika dirisha hili la usajili. FC Barcelona wanaamini ofa waliyoiandaa, haiwezi kataliwa na Liverpool FC #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·117 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Jules Koundé ameongeza kandarasi kuendelea kusalia Barcelona hadi 2030.

    @FabriceHawkins

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Jules Koundé ameongeza kandarasi kuendelea kusalia Barcelona hadi 2030. 🇫🇷 ℹ️ @FabriceHawkins #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·98 Views
  • SC Braga wamekamilisha usajili wa Pau Victor akitokea Fc Barcelona kwa ada ya €12M pamoja na nyongeza ya €3M.

    Pia kutakuwa na asilimia watakazopokea Barcelona kwenye mauzo yoyote ya Pau Victor hapo baadae kama sehemu ya makubaliano.

    #SportsElite
    SC Braga wamekamilisha usajili wa Pau Victor akitokea Fc Barcelona kwa ada ya €12M pamoja na nyongeza ya €3M. Pia kutakuwa na asilimia watakazopokea Barcelona kwenye mauzo yoyote ya Pau Victor hapo baadae kama sehemu ya makubaliano. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·109 Views
  • Marcus Rashford ameonekana kwenye mazoezi ya Fc Barcelona baada ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo akitokea Manchester united.

    #SportsElite
    Marcus Rashford ameonekana kwenye mazoezi ya Fc Barcelona baada ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo akitokea Manchester united. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·83 Views
  • Marcus Rashford ameanza safari kuelekea Spain kukamilisha taratibu zote za uhamisho wake kujiunga na Fc Barcelona.

    Rashford

    #SportsElite
    Marcus Rashford ameanza safari kuelekea Spain kukamilisha taratibu zote za uhamisho wake kujiunga na Fc Barcelona. Rashford ✈️ #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·107 Views
  • PAUL POGBA: "Rashford kwenda Barcelona? Ni nzuri. Ninafurahi kwa ajili yake. Manchester United imepoteza mchezaji mzuri. Hiyo ni nzuri sana kwa Barcelona."

    SPEED KWA PAUL POGBA: "Ikiwa ningekuwa kocha wa Barça, mimi binafsi Rashford asingekuwepo hata kwenye benchi langu"

    #SportsElite
    PAUL POGBA: 🗣️"Rashford kwenda Barcelona? Ni nzuri. Ninafurahi kwa ajili yake. Manchester United imepoteza mchezaji mzuri. Hiyo ni nzuri sana kwa Barcelona." SPEED KWA PAUL POGBA: 🗣️"Ikiwa ningekuwa kocha wa Barça, mimi binafsi Rashford asingekuwepo hata kwenye benchi langu" #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·117 Views
  • Marcus Rashford ameweka kila kitu vizuri ili kuanza mazoezi na Club ya Barcelona katika kiangazii hiki na pia Rashford amekataa offer zote alizopata katika timu zingine hususa timu yake ya Manchester united na kuchagua kwenda Barcelona,, Hivyo Manchester united wameheshimuu maamuzi yake na heshima yakee kama mchezaji

    #SportsElite
    Marcus Rashford ameweka kila kitu vizuri ili kuanza mazoezi na Club ya Barcelona katika kiangazii hiki na pia Rashford amekataa offer zote alizopata katika timu zingine hususa timu yake ya Manchester united na kuchagua kwenda Barcelona,, Hivyo Manchester united wameheshimuu maamuzi yake na heshima yakee kama mchezaji #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·91 Views
  • Club ya Barcelona itakuwa a inamlipa mchezaji wao mpya Marcus Rashford £325,000 kwa wiki katika msimu wa 2025/26

    #SportsElite
    Club ya Barcelona itakuwa a inamlipa mchezaji wao mpya Marcus Rashford £325,000 kwa wiki katika msimu wa 2025/26 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·74 Views
  • Marcus Rashford atakuwa mchezaji wa kwanza wa Kiingereza kuichezea FC Barcelona tangu Gary Lineker aliposaini mwaka 1986!

    #SportsElite
    🇬🇧🔥 Marcus Rashford atakuwa mchezaji wa kwanza wa Kiingereza kuichezea FC Barcelona tangu Gary Lineker aliposaini mwaka 1986! #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·76 Views
  • Siku kama ya leo FC Barcelona ilimtambulisha adui wa nyavu Robert Lewandowski haya ni mabalaa alio yafanya kwenye nyavu za wapinzani tokea ajiunge na Miamba hiyo 2022....

    - Mechi alizocheza:157
    - Magoli: 102
    - Asisti: 20

    - Makombe aliyoshinda:
    - La Liga: 2 (2022/23, 2024/25)
    - Copa del Rey: 1 (2024/25)
    - Supercopa de España: 2 (2022/23, 2024/25)

    Kwa jumla, Lewandowski amefunga magoli 102 na kutoa asisti 20 katika mechi 157 akiwa na FC Barcelona,

    #SportsElite
    Siku kama ya leo FC Barcelona ilimtambulisha adui wa nyavu Robert Lewandowski haya ni mabalaa alio yafanya kwenye nyavu za wapinzani tokea ajiunge na Miamba hiyo 2022.... - Mechi alizocheza:157 - Magoli: 102 - Asisti: 20 - Makombe aliyoshinda: - 🏆 La Liga: 2 (2022/23, 2024/25) - 🏆 Copa del Rey: 1 (2024/25) - 🏆 Supercopa de España: 2 (2022/23, 2024/25) Kwa jumla, Lewandowski amefunga magoli 102 na kutoa asisti 20 katika mechi 157 akiwa na FC Barcelona, #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·104 Views
  • Wachezaji wa Kiingereza Walio Wahi Kuvaa Jezi ya FC Barcelona!

    1️⃣ Gary Lineker – Mshambuliaji wa nguvu, aliichezea Barça kati ya 1986 hadi 1989, akifunga zaidi ya magoli 40!

    2️⃣ Marcus McGuane – Alisajiliwa kutoka Arsenal mwaka 2018, akawa Mwingereza wa kwanza baada ya miaka 29 kuonekana kwenye kikosi cha wakubwa!

    3️⃣ Louie Barry – Alijiunga na La Masia mwaka 2019 akiwa na miaka 16. Alikuwa Mwingereza wa kwanza La Masia lakini hakufika kikosi cha kwanza.

    4️⃣ Marcus Rashford – (2025) Sasa ni rasmi! Ametua Barcelona kwa mkopo kutoka Man Utd.

    #SportsElite
    🇬🇧🟦 Wachezaji wa Kiingereza Walio Wahi Kuvaa Jezi ya FC Barcelona! 🏟️🔥 1️⃣ Gary Lineker – Mshambuliaji wa nguvu, aliichezea Barça kati ya 1986 hadi 1989, akifunga zaidi ya magoli 40! ⚽ 2️⃣ Marcus McGuane – Alisajiliwa kutoka Arsenal mwaka 2018, akawa Mwingereza wa kwanza baada ya miaka 29 kuonekana kwenye kikosi cha wakubwa! 🔁 3️⃣ Louie Barry – Alijiunga na La Masia mwaka 2019 akiwa na miaka 16. Alikuwa Mwingereza wa kwanza La Masia lakini hakufika kikosi cha kwanza. 🧠 4️⃣ Marcus Rashford – (2025) Sasa ni rasmi! Ametua Barcelona kwa mkopo kutoka Man Utd. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·132 Views

  • Rasmi Club ya Barcelona imekamilisha asilimia 100%za kumsajili mchezaji Marcus Rashford,, Hivyo inasadikika masaa machachee badayee atajiunga na Club hiyo

    #SportsElite
    Rasmi Club ya Barcelona imekamilisha asilimia 100%za kumsajili mchezaji Marcus Rashford,, Hivyo inasadikika masaa machachee badayee atajiunga na Club hiyo #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·136 Views
  • Marcus Rashford amethibitisha ndio anatamani kwenda Barcelona baada ya kuhojiwa,, na pia anaimanii na Club hiyo ya Barcelona kwa mchango katika kumjali mchezaji kwenye maendeleo yake ya kisoka amethibitisha hilo bila ya kuwa na swali lolotee..

    #SportsElite
    Marcus Rashford amethibitisha ndio anatamani kwenda Barcelona baada ya kuhojiwa,, na pia anaimanii na Club hiyo ya Barcelona kwa mchango katika kumjali mchezaji kwenye maendeleo yake ya kisoka amethibitisha hilo bila ya kuwa na swali lolotee.. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·104 Views
  • Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen

    Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen .

    Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno na Ufaransa zilizochezwa Juni 4 na 8.

    Ripoti hiyo imeongeza:

    > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani ."

    Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa .

    Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo.

    Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay wakati wa Copa América 2024.

    Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni.

    #SportsElite
    🚨 Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen 💰 Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen 🤕. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno 🇵🇹 na Ufaransa 🇫🇷 zilizochezwa Juni 4 na 8. Ripoti hiyo imeongeza: > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani 🇩🇪." Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa 🏥. Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo. Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania 🇪🇸 mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay 🇺🇾 wakati wa Copa América 2024. Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·342 Views


  • Klabu Ya Fc Barcelona Imetuma Ofa Kwenda Kwa Manchester United Juu Ya Kumsajili Mshambuliaji Wao Na Taifa La Uingereza Marcus Rashford Mwenye Umri Wa Miaka 29.

    Barcelona Wametuma Ofa Ya Kumsajili Kwa Mkopo na Chaguo La Kumnunua Moja Kwa Moja Kama Wataridhishwa Nae.

    Tangu Mwezi June Marcus Alikuwa Anasubiria Ofa Hiyo Ya fc Barcelona Na Alikubali Kuhamia Huko Hispania.

    ILE SAFARI YA MANCHESTER UNITED INAENDA KUKATA KAMBA MUDA SIO MREFU

    #SportsElite
    Klabu Ya Fc Barcelona Imetuma Ofa Kwenda Kwa Manchester United Juu Ya Kumsajili Mshambuliaji Wao Na Taifa La Uingereza Marcus Rashford Mwenye Umri Wa Miaka 29. Barcelona Wametuma Ofa Ya Kumsajili Kwa Mkopo na Chaguo La Kumnunua Moja Kwa Moja Kama Wataridhishwa Nae. Tangu Mwezi June Marcus Alikuwa Anasubiria Ofa Hiyo Ya fc Barcelona Na Alikubali Kuhamia Huko Hispania. ILE SAFARI YA MANCHESTER UNITED INAENDA KUKATA KAMBA MUDA SIO MREFU🥶 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·169 Views
  • Sasa dili limetikiii rasmi club ya Barcelona imekubali kumsainii mchezaji Marcus Rashford wa Manchester united,, na club hyo ya Manchester imetoa tamko mchezaji huyo atajiunga na Club ya Barcelona hivi karibunii


    #SportsElite
    🚨 Sasa dili limetikiii rasmi club ya Barcelona imekubali kumsainii mchezaji Marcus Rashford wa Manchester united,, na club hyo ya Manchester imetoa tamko mchezaji huyo atajiunga na Club ya Barcelona hivi karibunii #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·135 Views


  • Mchezaji Marcus Rashford ameendelea kubaki na msimamo wake wa kutaka kujiunga na Club ya Barcelona katika msimu huu wa kiangazii Richa ya kuwa timu ya Juventus, bayern Munich, Chelsea na Liverpool kuonekana zinamwitajii lakn ameendelea kusimamia msimamo wake wa kwenda club ya Barcelona


    #SportsElite
    Mchezaji Marcus Rashford ameendelea kubaki na msimamo wake wa kutaka kujiunga na Club ya Barcelona katika msimu huu wa kiangazii Richa ya kuwa timu ya Juventus, bayern Munich, Chelsea na Liverpool kuonekana zinamwitajii lakn ameendelea kusimamia msimamo wake wa kwenda club ya Barcelona #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·242 Views
  • Xavi Simons anatamani kurudi FC Barcelona.
    Changamoto kwenye dili hilo ni ada yake ya uhamisho

    (Source: @monfortcarlos)

    #SportsElite
    🚨 Xavi Simons anatamani kurudi FC Barcelona. 💙❤️ Changamoto kwenye dili hilo ni ada yake ya uhamisho 💰 (Source: @monfortcarlos) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·141 Views
  • Bodi ya Utalii ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ipo kwenye mazungumzo na Fc Barcelona kwaajili ya kutangaza utalii kupitia klabu hiyo.

    Mundo Derpotivo imeripoti kuwa makubaliano kati ya Barcelona na DRC yapo katika hatua za mwisho.

    Barcelona itavuna kiasi cha €44m (Tshs Bilioni 133) kutokana na udhamini huo ambao Barcelona watatumia jezi za mazoezi zenye neno la Visit DRC Mgongoni kwa kipindi cha miaka minne.

    #SportsElite
    🚨Bodi ya Utalii ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 ipo kwenye mazungumzo na Fc Barcelona 🇪🇸 kwaajili ya kutangaza utalii kupitia klabu hiyo. Mundo Derpotivo imeripoti kuwa makubaliano kati ya Barcelona na DRC 🇨🇩 yapo katika hatua za mwisho. Barcelona itavuna kiasi cha €44m (Tshs Bilioni 133) kutokana na udhamini huo ambao Barcelona watatumia jezi za mazoezi zenye neno la Visit DRC Mgongoni kwa kipindi cha miaka minne. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·189 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool imekataa pendekezo rasmi la €67.5m kutoka kwa FC Bayern kwa ajili ya Luis Diaz

    Luis Diaz, yuko tayari kuondoka Liverpool msimu huu wa joto huku Bayern na Barcelona wakimtaka lakini klabu inaendelea kukataa.

    Hakuna makubaliano kuhusu ada ya uhamisho na Liverpool wanaona thamani ya Luis Diaz kuwa juu zaidi ya €67.5m inayotolewa leo.

    Liverpool walisema hapana, kama ilivyoripotiwa.

    (Fabrizio Romano)
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool imekataa pendekezo rasmi la €67.5m kutoka kwa FC Bayern kwa ajili ya Luis Diaz 🚫🇨🇴 Luis Diaz, yuko tayari kuondoka Liverpool msimu huu wa joto huku Bayern na Barcelona wakimtaka lakini klabu inaendelea kukataa. Hakuna makubaliano kuhusu ada ya uhamisho na Liverpool wanaona thamani ya Luis Diaz kuwa juu zaidi ya €67.5m inayotolewa leo. Liverpool walisema hapana, kama ilivyoripotiwa. (Fabrizio Romano)
    0 Comments ·0 Shares ·215 Views
More Results