Upgrade to Pro

  • #Barcelona
    #Yamal
    #Mbappe
    #Barcelona 😁 #Yamal😆 #Mbappe😭
    Like
    Love
    2
    ·95 Ansichten
  • Matokeo ya michezo ya Jana.

    Real Madrid 3️⃣-0️⃣ Pachuca

    EFL CUP

    - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Crystal Palace
    - Newcastle 3️⃣-1️⃣ Brentford
    - Southampton 1️⃣-2️⃣ Liverpool

    LA LIGA

    - Espanyol 1️⃣-1️⃣ Valence
    - Villarreal 1️⃣-1️⃣ Rayo Vallecano

    COPPA ITALIA

    - Atalanta 6️⃣-1️⃣ Cesena
    - Roma 4️⃣-1️⃣ Sampdoria

    LIGUE 1

    - Monaco 2️⃣-4️⃣ PSG

    KNVB BEKER

    - Katwijk 2️⃣-3️⃣ Twente
    - AFC 0️⃣-8️⃣ Utrecht
    - ASWH 0️⃣-1️⃣ Heerenveen
    - Heracles Almelo 0️⃣-0️⃣ NEC (AP 1️⃣-0️⃣)
    - Sparta Rotterdam 1️⃣-1️⃣ Go Ahead Eagles (4️⃣-5️⃣)
    - AZ 3️⃣-1️⃣ Groningue

    TACA DE PORTUGAL

    - Sporting 1️⃣-1️⃣ Santa Clara (2️⃣-1️⃣)

    PSL

    - Stellenbosch 0️⃣-1️⃣ Mamelodi Sundowns

    UEFA Champions League (Wanawake)

    - FC Barcelona 3️⃣-0️⃣ Manchester City
    - St.Pölten 1️⃣-2️⃣ Hammarby
    - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Bayern Munich
    - Juventus 3️⃣-0️⃣ Valerenga

    SEGUNDA DIVISION

    - Ferrol 1️⃣-4️⃣ Almeria
    - Malaga 3️⃣-0️⃣ Eldense
    - Mirandes 1️⃣-1️⃣ Sporting Gijon

    Matokeo ya michezo ya Jana. Real Madrid 3️⃣-0️⃣ Pachuca 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 EFL CUP - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Crystal Palace - Newcastle 3️⃣-1️⃣ Brentford - Southampton 1️⃣-2️⃣ Liverpool 🇪🇸 LA LIGA - Espanyol 1️⃣-1️⃣ Valence - Villarreal 1️⃣-1️⃣ Rayo Vallecano 🇮🇹 COPPA ITALIA - Atalanta 6️⃣-1️⃣ Cesena - Roma 4️⃣-1️⃣ Sampdoria 🇫🇷 LIGUE 1 - Monaco 2️⃣-4️⃣ PSG 🇳🇱 KNVB BEKER - Katwijk 2️⃣-3️⃣ Twente - AFC 0️⃣-8️⃣ Utrecht - ASWH 0️⃣-1️⃣ Heerenveen - Heracles Almelo 0️⃣-0️⃣ NEC (AP 1️⃣-0️⃣) - Sparta Rotterdam 1️⃣-1️⃣ Go Ahead Eagles (4️⃣-5️⃣) - AZ 3️⃣-1️⃣ Groningue 🇵🇹 TACA DE PORTUGAL - Sporting 1️⃣-1️⃣ Santa Clara (2️⃣-1️⃣) 🇿🇦 PSL - Stellenbosch 0️⃣-1️⃣ Mamelodi Sundowns 🌍 UEFA Champions League (Wanawake) - FC Barcelona 3️⃣-0️⃣ Manchester City - St.Pölten 1️⃣-2️⃣ Hammarby - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Bayern Munich - Juventus 3️⃣-0️⃣ Valerenga 🇪🇸 SEGUNDA DIVISION - Ferrol 1️⃣-4️⃣ Almeria - Malaga 3️⃣-0️⃣ Eldense - Mirandes 1️⃣-1️⃣ Sporting Gijon
    ·110 Ansichten
  • 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢 (5) 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗦𝗨𝗣𝗘𝗥 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗢 𝗕𝗔𝗟𝗢𝗧𝗘𝗟𝗟𝗜

    haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa

    Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia.

    Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali?

    Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako.

    Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa.

    tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.
    𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢 (5) 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗦𝗨𝗣𝗘𝗥 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗢 𝗕𝗔𝗟𝗢𝗧𝗘𝗟𝗟𝗜 haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia. Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali? Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako. Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa. tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.
    Like
    1
    ·197 Ansichten
  • 𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔

    ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo

    ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.

    ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.

    ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.

    • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich

    • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).

    ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).

    ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.

    ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!

    ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.

    ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).

    ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.

    ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).

    ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake

    ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)

    ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).

    • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.

    ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) !

    ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.

    ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.

    ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City

    FACTS gani imekushangaza ?

    🚨𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi 🇦🇷 na Cristiano Ronaldo 🇵🇹 ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011. ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ⚽) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona. ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja. • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich 🇩🇪 • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23). ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3). ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia. ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !! ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !. ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015). ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league. ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5). ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake 😀 ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs) ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B). • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu. ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) ! 😀 ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima. ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card. ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City FACTS gani imekushangaza ? 😎
    ·313 Ansichten
  • Mchezaji wa klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal ameshinda Tuzo ya Golden Boy 2024 ambayo hupewa Mchezaji bora mwenye umri mdogo. Yamal ameingia kwenye orodha ya Wachezaji wa FC Barcelona ambao walishashinda Tuzo hii:

    - 2005: Leo Messi
    - 2021: Pedri
    - 2022: Gavi
    - 2024: Lamine Yamal
    Mchezaji wa klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal ameshinda Tuzo ya Golden Boy 2024 ambayo hupewa Mchezaji bora mwenye umri mdogo. Yamal ameingia kwenye orodha ya Wachezaji wa FC Barcelona ambao walishashinda Tuzo hii: - 2005: Leo Messi - 2021: Pedri - 2022: Gavi - 2024: Lamine Yamal
    Like
    1
    ·85 Ansichten
  • Barcelona

    Barcelona
    ·99 Ansichten
  • "Rodri alitoa hotuba ya kushangaza. Alizungumza kuhusu familia, Man City na soka ya Uhispania. Nadhani soka la Uhispania katika muongo mmoja uliopita lilifanya jambo la kushangaza, na wakufunzi tofauti wa kitaifa, na wachezaji wa ajabu hapo zamani, na kushinda Kombe la Dunia, Kombe la Euro, na kamwe, kamwe hawakuweza kushinda tuzo hii.

    "Na nadhani Rodri anawakilisha vyema, bila shaka City kwa sababu tunajivunia, lakini soka la Uhispania - ushawishi wao katika soka la dunia katika miaka 10, 15 iliyopita, umekuwa muhimu sana. Sio tu kushinda mataji, jinsi wanavyocheza, vizazi vya wasimamizi, vizazi vya wachezaji na nadhani labda wakati huo nakumbuka wachezaji watatu kutoka Chuo cha Barcelona, ​​La Masia, waliteuliwa, wote watatu, kushinda Ballon d'Or, na Xavi na Iniesta hawakuweza kushinda kwa sababu. kulikuwa na monster huko.

    "Na Messi, hakuna mtu angeweza kumshinda. Cristiano tu. Cristiano alikuwa mnyama mkubwa, na baba wa mnyama huyo ni Messi. Na wote wawili wamefanya kitu cha ajabu katika miaka 15 au 20 iliyopita. Na labda katika wakati huo, Xavi na Iniesta walistahili. Ballon d'Or pia, kwa hivyo nadhani Rodri, jana, alipata kile ambacho soka la Uhispania lilistahili duniani kote." - Pep Guadiola, Kocha Mkuu wa klabu ya Manchester City akizungumza kuhusu Rodri.
    "Rodri alitoa hotuba ya kushangaza. Alizungumza kuhusu familia, Man City na soka ya Uhispania. Nadhani soka la Uhispania katika muongo mmoja uliopita lilifanya jambo la kushangaza, na wakufunzi tofauti wa kitaifa, na wachezaji wa ajabu hapo zamani, na kushinda Kombe la Dunia, Kombe la Euro, na kamwe, kamwe hawakuweza kushinda tuzo hii. "Na nadhani Rodri anawakilisha vyema, bila shaka City kwa sababu tunajivunia, lakini soka la Uhispania - ushawishi wao katika soka la dunia katika miaka 10, 15 iliyopita, umekuwa muhimu sana. Sio tu kushinda mataji, jinsi wanavyocheza, vizazi vya wasimamizi, vizazi vya wachezaji na nadhani labda wakati huo nakumbuka wachezaji watatu kutoka Chuo cha Barcelona, ​​La Masia, waliteuliwa, wote watatu, kushinda Ballon d'Or, na Xavi na Iniesta hawakuweza kushinda kwa sababu. kulikuwa na monster huko. "Na Messi, hakuna mtu angeweza kumshinda. Cristiano tu. Cristiano alikuwa mnyama mkubwa, na baba wa mnyama huyo ni Messi. Na wote wawili wamefanya kitu cha ajabu katika miaka 15 au 20 iliyopita. Na labda katika wakati huo, Xavi na Iniesta walistahili. Ballon d'Or pia, kwa hivyo nadhani Rodri, jana, alipata kile ambacho soka la Uhispania lilistahili duniani kote." - Pep Guadiola, Kocha Mkuu wa klabu ya Manchester City akizungumza kuhusu Rodri.
    Love
    1
    1 Kommentare ·349 Ansichten
  • Barcelona is our favourite team #myhouse
    Barcelona is our favourite team #myhouse
    Love
    1
    ·160 Ansichten
  • .... 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦

    Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi

    Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga:

    Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM).

    ➜ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo.

    ➜ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda.

    Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ?

    Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2).

    MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi.

    Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?!

    By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO.

    Manchester United 0 - 3 Liverpool
    ➜ MOTM : Mohamed Salah.

    Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur
    ➜ MOTM : Alexander Isak.

    Man United 1 - 0 Fullham
    ➜ MOTM : Joshua Zirkzee

    Brentford 3 - 1 Southampton
    ➜ MOTM : Bryan Mbeumo

    Everton 2 - 3 Bournemouth
    ➜ MOTM : Antoine Semenyo

    Leicester City 1 - 2 Aston Villa
    ➜ MOTM : Jhòn Duran

    West Ham 1 - 3 Man City
    ➜ MOTM : Erling Haaland

    Real Madrid 2 - 0 Betis
    ➜ Kylian Mbape.

    Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!!

    Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!?

    Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
    .... ℹ️ 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦 Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga: Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM). ➜ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo. ➜ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda. ℹ️ Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ? Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2). MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi. Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?! By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO. Manchester United 0 - 3 Liverpool ➜ MOTM : Mohamed Salah. Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur ➜ MOTM : Alexander Isak. Man United 1 - 0 Fullham ➜ MOTM : Joshua Zirkzee Brentford 3 - 1 Southampton ➜ MOTM : Bryan Mbeumo Everton 2 - 3 Bournemouth ➜ MOTM : Antoine Semenyo Leicester City 1 - 2 Aston Villa ➜ MOTM : Jhòn Duran West Ham 1 - 3 Man City ➜ MOTM : Erling Haaland Real Madrid 2 - 0 Betis ➜ Kylian Mbape. ℹ️ Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!! 😀 Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!? Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
    Like
    3
    1 Kommentare ·538 Ansichten
  • Real Madrid yaichapa Barcelona goal 22--00. FT.
    Mwaka huu timu nyingi ziko serious na kazi
    #sokachampions
    #simbasc
    #yangasc
    #azamtv
    Real Madrid yaichapa Barcelona goal 22--00. FT. Mwaka huu timu nyingi ziko serious na kazi🏆 #sokachampions #simbasc #yangasc #azamtv
    Like
    2
    ·598 Ansichten
  • Baadhi ya watu klabuni tayari wanamwona Nico Williams kama mchezaji wa Barcelona. Wachezaji wa Barca waliopo kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Uhispania pia wanajaribu kumshawishi winga huyo ajiunge na Barca. Nico anafahamu kuwa atapokelewa vyema Barcelona.
    ##Sportsview
    ❗Baadhi ya watu klabuni tayari wanamwona Nico Williams kama mchezaji wa Barcelona. Wachezaji wa Barca waliopo kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Uhispania pia wanajaribu kumshawishi winga huyo ajiunge na Barca. Nico anafahamu kuwa atapokelewa vyema Barcelona. ##Sportsview
    Like
    Love
    4
    1 Kommentare ·428 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: "Mlango ni 𝐜𝐥𝐨𝐬𝐞𝐝 kwa ajili ya kurejea kwangu Barcelona", anasema Pep Guardiola ⛔️ "Naweza kuthibitisha msimamo wangu, mlango unabaki kufungwa". 𝗥𝗲𝗺𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿: Pep anaweza kuondoka Manchester City Juni 2025 kwani mkataba wake unaisha na ni hali halisi.
    𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: "Mlango ni 𝐜𝐥𝐨𝐬𝐞𝐝 kwa ajili ya kurejea kwangu Barcelona", anasema Pep Guardiola ⛔️ "Naweza kuthibitisha msimamo wangu, mlango unabaki kufungwa". ℹ️ 𝗥𝗲𝗺𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿: Pep anaweza kuondoka Manchester City Juni 2025 kwani mkataba wake unaisha na ni hali halisi.
    Like
    Love
    6
    ·223 Ansichten
  • Shirikisho la soka la Uhispania linafikiria kumwita Alejandro Balde kwa ajili ya mashindano ya Olimpiki msimu huu, lakini Barcelona wanapendelea apumzike baada ya kuumia kwa muda mrefu.

    #Sportsview
    ⚽Shirikisho la soka la Uhispania linafikiria kumwita Alejandro Balde kwa ajili ya mashindano ya Olimpiki msimu huu, lakini Barcelona wanapendelea apumzike baada ya kuumia kwa muda mrefu. #Sportsview
    Like
    Love
    5
    2 Kommentare ·477 Ansichten
  • ##Sports view
    Meneja wa Burnley Vincent Kompany, 38, ni miongoni mwa watu wanaopigiwa upatu kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel huko Bayern Munich . (Fabrizio Romano)

    Aston Villa wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua tena mchezaji wa Luton Town na kiungo wa kati wa zamani wa Uingereza Ross Barkley kwa mkataba wa kudumu, miaka minne baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 kujiunga kwa mkopo kutoka Chelsea(Guardian)

    Arsenal wanataka kusajili mshambuliaji kabla ya ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya, huku nyota wa Newcastle United na Uswidi Alexander Isak, 24, na mshambuliaji wa Ajax na Uholanzi, Brian Brobbey, wakiongoza orodha hiyo.(Independent)

    Chelsea na Manchester United zote zimewasiliana na mkufunzi wa Ipswich Town Kieran McKenna, huku raia huyo wa Ireland Kaskazini akiwa katika harakati za kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino au Erik ten Hag. (Manchester Evening News)

    Wolves itadai kiasi cha kuvunja rekodi ya klabu cha pauni milioni 60 kwa winga wa Ureno mwenye umri wa miaka 24 Pedro Neto, ambaye analengwa na Manchester City na Newcastle msimu wa joto(Telegraph )

    Aston Villa wako tayari kusikiliza ofa kwa mlinzi wa Brazil Diego Carlos, 31, huku wakitarajia kufuata sheria za faida na uendelevu(Telegraph)

    Mkufunzi wa Villa Unai Emery anataka kumsajili beki wa Barcelona na Uruguay Ronald Araujo, 25. (Sport kwa Kihispania)

    Stoke wameonyesha nia ya kutaka kumsajili beki wa Uingereza Conor Coady, 31, kutoka Leicester(Teamtalk),

    Leicester wanajiandaa kushindana na vilabu vya Ufaransa Lyon na Brest kumnunua fowadi wa Burkina Faso Mohamed Konate, 26, ambaye mkataba wake na klabu ya Urusi Akhmat Grozny unamalizika msimu huu. (Football Insider)

    Meneja wa Tottenham Ange Postecoglou ameiomba klabu hiyo takriban wachezaji watatu wapya msimu huu wa joto. (ESPN)

    Manchester United wanavutiwa na mlinzi wa Everton Muingereza Jarrad Branthwaite, 21, na The Toffees wanaweza kumnunua beki wa kati wa Galatasaray na Colombia Davinson Sanchez, 27, kuziba nafasi yake.(Caught Offside)

    Tottenham wako tayari kumuuza mlinzi wa Brazil Emerson Royal, 25, huku Juventus , AC Milan na Bayern Munich zikiwa na hamu ya kumnunua (Givemesport)

    Newcastle wanaweza kumnunua Lloyd Kelly, 25, huku beki huyo wa Uingereza akitarajiwa kuondoka Bournemouth kama mchezaji huru. (Fabrizio Romano)

    Chelsea itadai ada ya pauni milioni 25 kwa mlinzi wa Uingereza Trevoh Chalobah, 24, ambaye anatarajiwa kuvutia vilabu kadhaa (Telegraph)

    Rais wa Corinthians Augusto Melo atasafiri hadi Uingereza wiki ijayo kuzungumza na vilabu kuhusu uwezekano wa kuuzwa kwa mshambuliaji wa Brazil Wesley mwenye umri wa miaka 19. (Globo Esporte - kwa Kireno), ya nje...##Sports view
    ##Sports view Meneja wa Burnley Vincent Kompany, 38, ni miongoni mwa watu wanaopigiwa upatu kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel huko Bayern Munich . (Fabrizio Romano) Aston Villa wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua tena mchezaji wa Luton Town na kiungo wa kati wa zamani wa Uingereza Ross Barkley kwa mkataba wa kudumu, miaka minne baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 kujiunga kwa mkopo kutoka Chelsea(Guardian) Arsenal wanataka kusajili mshambuliaji kabla ya ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya, huku nyota wa Newcastle United na Uswidi Alexander Isak, 24, na mshambuliaji wa Ajax na Uholanzi, Brian Brobbey, wakiongoza orodha hiyo.(Independent) Chelsea na Manchester United zote zimewasiliana na mkufunzi wa Ipswich Town Kieran McKenna, huku raia huyo wa Ireland Kaskazini akiwa katika harakati za kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino au Erik ten Hag. (Manchester Evening News) Wolves itadai kiasi cha kuvunja rekodi ya klabu cha pauni milioni 60 kwa winga wa Ureno mwenye umri wa miaka 24 Pedro Neto, ambaye analengwa na Manchester City na Newcastle msimu wa joto(Telegraph ) Aston Villa wako tayari kusikiliza ofa kwa mlinzi wa Brazil Diego Carlos, 31, huku wakitarajia kufuata sheria za faida na uendelevu(Telegraph) Mkufunzi wa Villa Unai Emery anataka kumsajili beki wa Barcelona na Uruguay Ronald Araujo, 25. (Sport kwa Kihispania) Stoke wameonyesha nia ya kutaka kumsajili beki wa Uingereza Conor Coady, 31, kutoka Leicester(Teamtalk), Leicester wanajiandaa kushindana na vilabu vya Ufaransa Lyon na Brest kumnunua fowadi wa Burkina Faso Mohamed Konate, 26, ambaye mkataba wake na klabu ya Urusi Akhmat Grozny unamalizika msimu huu. (Football Insider) Meneja wa Tottenham Ange Postecoglou ameiomba klabu hiyo takriban wachezaji watatu wapya msimu huu wa joto. (ESPN) Manchester United wanavutiwa na mlinzi wa Everton Muingereza Jarrad Branthwaite, 21, na The Toffees wanaweza kumnunua beki wa kati wa Galatasaray na Colombia Davinson Sanchez, 27, kuziba nafasi yake.(Caught Offside) Tottenham wako tayari kumuuza mlinzi wa Brazil Emerson Royal, 25, huku Juventus , AC Milan na Bayern Munich zikiwa na hamu ya kumnunua (Givemesport) Newcastle wanaweza kumnunua Lloyd Kelly, 25, huku beki huyo wa Uingereza akitarajiwa kuondoka Bournemouth kama mchezaji huru. (Fabrizio Romano) Chelsea itadai ada ya pauni milioni 25 kwa mlinzi wa Uingereza Trevoh Chalobah, 24, ambaye anatarajiwa kuvutia vilabu kadhaa (Telegraph) Rais wa Corinthians Augusto Melo atasafiri hadi Uingereza wiki ijayo kuzungumza na vilabu kuhusu uwezekano wa kuuzwa kwa mshambuliaji wa Brazil Wesley mwenye umri wa miaka 19. (Globo Esporte - kwa Kireno), ya nje...##Sports view
    Like
    7
    1 Kommentare ·493 Ansichten