• Chelsea imetoa ofa ya €40m kwa Barcelona ili kumsajili Fermin Lopez lakini bado Haijajibiwa.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    💰🚨 Chelsea imetoa ofa ya €40m kwa Barcelona ili kumsajili Fermin Lopez lakini bado Haijajibiwa.🇪🇸🔵 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·319 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Fermín López amefanya uamuzi wa Kuendelea kubakia Barcelona.

    Source The Touchline T

    #SportsElite
    🔐🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Fermín López amefanya uamuzi wa Kuendelea kubakia Barcelona. Source The Touchline T #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·237 Views
  • Fahamu Barcelona wako tayari kumuuza Fermin Lopez ila Si chini ya ada ya €100m.

    Chelsea FC leo walitoa ofa ya £50m pamoja na nyongeza lakini Barcelona wameona ni ofa ndogo kwa Lopez. ❎️

    Source The Touchline T

    #SportsElite
    🚨 Fahamu Barcelona wako tayari kumuuza Fermin Lopez ila Si chini ya ada ya €100m. Chelsea FC leo walitoa ofa ya £50m pamoja na nyongeza lakini Barcelona wameona ni ofa ndogo kwa Lopez. ❎️🔵 Source The Touchline T #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·173 Views
  • Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza

    Chelsea
    Paris Saint-Germain
    Eintracht Frankfurt
    Club Brugge
    Olympiacos
    Slavia Prague
    Copenhagen
    Newcastle

    Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu .

    #SportsElite
    🚨Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza ❤️💙 🔥 ✈️ Chelsea 🏠 Paris Saint-Germain 🏠 Eintracht Frankfurt ✈️ Club Brugge 🏠 Olympiacos ✈️ Slavia Prague 🏠 Copenhagen ✈️ Newcastle Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu 🥶. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·273 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Newcastle United iko kwenye hatua nzuri zaidi ili kukamilisha uhamisho wa Fermín López kutoka Barcelona.

    Newcastle wako tayari kutoa kiasi cha €100M [£86M].

    (Source: Jose Alvarez)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Newcastle United iko kwenye hatua nzuri zaidi ili kukamilisha uhamisho wa Fermín López kutoka Barcelona. Newcastle wako tayari kutoa kiasi cha €100M [£86M]. (Source: Jose Alvarez) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·127 Views
  • Moja ya mafundi wa Kibrazil Walioyeyuka Ghafla

    Philippe Coutinho na Thiago Alcântara walitazamwa kama almasi za kisasa kwenye soka wenye vipaji vya kipekee, akili ya uwanjani na mguso wa hatari. Waliwahi kung'aa Ulaya kwa kiwango kikubwa, lakini ghafla moto wao ukapoa.

    Coutinho alizimika Barcelona, Thiago akaelemewa na majeraha Liverpool. Sasa, wanabaki kuwa kumbukumbu tamu za vipaji vilivyo kadiliwa makubwa lakini vikatoweka kabla ya wakati.

    Nadhani Coutinho mnalijua kosa lake

    #SportsElite
    🚨🚨Moja ya mafundi wa Kibrazil Walioyeyuka Ghafla ✊🇧🇷 🌀Philippe Coutinho na Thiago Alcântara walitazamwa kama almasi za kisasa kwenye soka wenye vipaji vya kipekee, akili ya uwanjani na mguso wa hatari. Waliwahi kung'aa Ulaya kwa kiwango kikubwa, lakini ghafla moto wao ukapoa. Coutinho alizimika Barcelona, Thiago akaelemewa na majeraha Liverpool. Sasa, wanabaki kuwa kumbukumbu tamu za vipaji vilivyo kadiliwa makubwa lakini vikatoweka kabla ya wakati. 💔✨ Nadhani Coutinho mnalijua kosa lake 😀 #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·285 Views
  • “Mashabiki duniani kote walitarajia tufunge penalti. Lakini tunawezaje kuwa wazuri wa kufunga penalti ikiwa Ronaldo ndiye anayepiga penalti zote kwenye mazoezi?” .

    Dogo aliamua kuweka wazi tatizo la wao kushindwa kwenye mikwaju ya penalti .

    #fcbarcelonaswahilinews

    #SportsElite
    🚨🚨“Mashabiki duniani kote walitarajia tufunge penalti. Lakini tunawezaje kuwa wazuri wa kufunga penalti ikiwa Ronaldo ndiye anayepiga penalti zote kwenye mazoezi?” 😂🤣. Dogo aliamua kuweka wazi tatizo la wao kushindwa kwenye mikwaju ya penalti 😏. #fcbarcelonaswahilinews #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·285 Views
  • Ratiba ya michezo Barcelona Laliga
    🚨Ratiba ya michezo Barcelona Laliga
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·125 Views
  • Aston Villa iko mbioni kutuma ofa €30M ili kuona uwezekano wa kumpata Marc Casadó, ambae anatajwa kuondoka FC Barcelona dirisha hili.

    (Source: El País)

    #SportsElite
    🚨 Aston Villa iko mbioni kutuma ofa €30M ili kuona uwezekano wa kumpata Marc Casadó, ambae anatajwa kuondoka FC Barcelona dirisha hili. (Source: El País) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·82 Views
  • FC BARCELONA WOMEN'S
    FC BARCELONA WOMEN'S
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·72 Views
  • Kuna asilimia nyingi za Marc Casado kuondoka Barcelona Kwanini?

    Barca inabanwa na sheria ya matumizi ya pesa nyingi hivyo kuondoka kwa Casado kutawapa Barca angalau ahueni kwenye sajili zake.

    Vilabu vya Como, Wolves na Real Betis vimeonesha nia ya kumsajili.

    Isingekuwa hii sheria Barca wangekuwa na kikosi kimoja hatari sana

    #SportsElite
    🚨🚨Kuna asilimia nyingi za Marc Casado kuondoka Barcelona Kwanini? Barca inabanwa na sheria ya matumizi ya pesa nyingi hivyo kuondoka kwa Casado kutawapa Barca angalau ahueni kwenye sajili zake. Vilabu vya Como, Wolves na Real Betis vimeonesha nia ya kumsajili. ✍️Isingekuwa hii sheria Barca wangekuwa na kikosi kimoja hatari sana🤕 #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·374 Views
  • Barcelona imeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba kiungo wao #Frenkie_de_Jong, ambaye mkataba wake wa sasa unaisha mwaka 2026.
    Mchezaji huyo sasa anawakilishwa na wakala mpya na tayari amekutana na Deco kuzungumzia mustakabali wake. Klabu inataka kumpa nyongeza ya miaka miwili na chaguo la mwaka wa tatu, ingawa masharti ya kifedha ndiyo yatakayotoa mwelekeo wa mwisho.
    De Jong anaungwa mkono na rais Joan Laporta na kocha #Hansi Flick, jambo linaloonyesha nia ya kumweka Camp Nou kwa muda mrefu zaidi.

    Kifupi: Barça inataka kuongeza mkataba wa De Jong hadi baada ya 2026, na pande zote mbili zinaonyesha nia ya kuendelea pamoja.


    #SportsElite
    🚨🚨Barcelona imeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba kiungo wao #Frenkie_de_Jong, ambaye mkataba wake wa sasa unaisha mwaka 2026. Mchezaji huyo sasa anawakilishwa na wakala mpya na tayari amekutana na Deco kuzungumzia mustakabali wake. Klabu inataka kumpa nyongeza ya miaka miwili na chaguo la mwaka wa tatu, ingawa masharti ya kifedha ndiyo yatakayotoa mwelekeo wa mwisho. De Jong anaungwa mkono na rais Joan Laporta na kocha #Hansi Flick, jambo linaloonyesha nia ya kumweka Camp Nou kwa muda mrefu zaidi. Kifupi: Barça inataka kuongeza mkataba wa De Jong hadi baada ya 2026, na pande zote mbili zinaonyesha nia ya kuendelea pamoja. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·221 Views
  • Barcelona imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Oriol Romeu

    (Source: MARCA)
    🚨 Barcelona imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Oriol Romeu👋 (Source: MARCA)
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·75 Views
  • Siku kama ya leo mwaka 2020

    FC Barcelona walimtambulisha Pedri Gonzalez kama mchezaji mpya wa klabu hiyo

    #SportsElite
    📆 Siku kama ya leo mwaka 2020 🙌 FC Barcelona walimtambulisha Pedri Gonzalez kama mchezaji mpya wa klabu hiyo 💙♥️ #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·97 Views
  • Wolverhampton na West Ham United zinamtaka kiungo wa kazi chafu kutoka klabu ya FC Barcelona Marc Casado

    Lakini mchezaji huyo hana mpango wa kuachana na klabu hiyo

    🚨🚨Wolverhampton na West Ham United zinamtaka kiungo wa kazi chafu kutoka klabu ya FC Barcelona Marc Casado 🙌 Lakini mchezaji huyo hana mpango wa kuachana na klabu hiyo 🙌
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·97 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: FC Barcelona imetupia jicho kwa full beki wa Palmeiras Luis Benedetti, pia Arsenal FC na SSC Napoli zinavutiwa na huduma ya beki huyo kwa ada ya €10M.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: FC Barcelona imetupia jicho kwa full beki wa Palmeiras Luis Benedetti, pia Arsenal FC na SSC Napoli zinavutiwa na huduma ya beki huyo kwa ada ya €10M. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·235 Views
  • | BREAKING: Barcelona wanahaha kuhakikisha kuwa Joan Garcia na Marcus Rashford wamesajiliwa kwa wakati kabla ya mechi yao ya ufunguzi wa La Liga dhidi ya Mallorca !

    #SportsElite
    🚨🚨 | BREAKING: Barcelona wanahaha kuhakikisha kuwa Joan Garcia na Marcus Rashford wamesajiliwa kwa wakati kabla ya mechi yao ya ufunguzi wa La Liga dhidi ya Mallorca ! 🔥 #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·342 Views
  • Imeelezwa kuwa Klabu ya FC Barcelona inashika namba moja kwa Subscribers huko YouTube
    🚨Imeelezwa kuwa Klabu ya FC Barcelona inashika namba moja kwa Subscribers huko YouTube 🔵🔴
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·150 Views
  • #BREAKING

    Klabu imelazimika kuweka rehani vitu vyao vya thamani vyenye thamani ya £7m Ili waweza kufanikisha Mchakato wa kuwasajili wachezaji wao wapya waliosajiliwa katika dirisha hili la usajili.

    Mpaka kufikia Sasa hakuna mchezaji yoyote mpya wa FC Barcelona ambae ataruhusiwa kucheza mashindano yoyote msimu ujao, kwasababu jina lake halitambuliki na Laliga.

    Wachezaji ambao Laliga haiwatambui mpaka Sasa ni:

    - Marcus Rashford
    - Joan García
    - Roony Bardghi
    - Gerard Martín
    - Wojciech Szczęsny.

    Wachezaji wote hawa hawatoshiriki Mchezo wowote wakiwa na FC Barcelona mpaka klabu hiyo ikamilishe taratibu zote za kuwasajili kwenye mifumo ya Laliga,na Laliga wanahitaji Sheria zifuatwe tu,hawahitaji mazungumzo Wala busara.

    Source: [ The AthleticFC ]

    #SportsElite
    #BREAKING 🔴 Klabu imelazimika kuweka rehani vitu vyao vya thamani vyenye thamani ya £7m Ili waweza kufanikisha Mchakato wa kuwasajili wachezaji wao wapya waliosajiliwa katika dirisha hili la usajili. Mpaka kufikia Sasa hakuna mchezaji yoyote mpya wa FC Barcelona ambae ataruhusiwa kucheza mashindano yoyote msimu ujao, kwasababu jina lake halitambuliki na Laliga. Wachezaji ambao Laliga haiwatambui mpaka Sasa ni: - Marcus Rashford - Joan García - Roony Bardghi - Gerard Martín - Wojciech Szczęsny. Wachezaji wote hawa hawatoshiriki Mchezo wowote wakiwa na FC Barcelona mpaka klabu hiyo ikamilishe taratibu zote za kuwasajili kwenye mifumo ya Laliga,na Laliga wanahitaji Sheria zifuatwe tu,hawahitaji mazungumzo Wala busara. Source: [ The AthleticFC ] #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·439 Views
  • Wachezaji wa FC Barcelona ambao wanahitaji kuingizwa kwenye mfumo wa La Liga

    Rashford
    Joan Garcia
    Roony Bardghji
    Szczesny
    Gerrard Martin
    🚨🚨Wachezaji wa FC Barcelona ambao wanahitaji kuingizwa kwenye mfumo wa La Liga 🔵🔴 Rashford 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Joan Garcia 🇪🇸 Roony Bardghji 🇸🇪 Szczesny 🇵🇱 Gerrard Martin 🇪🇸
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·104 Views
Sponsorizeaza Paginile