• Manchester United inatarajia kuanzia mazungumzo na Barcelona juu ya uhamisho wa Marcus Rashford.

    (Source: Sky Sports)

    #SportsElite
    🚨 Manchester United inatarajia kuanzia mazungumzo na Barcelona juu ya uhamisho wa Marcus Rashford. (Source: Sky Sports) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·23 Views
  • | JUST IN

    Barcelona na Frenkie de Jong wako kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba wa muda mrefu hadi Juni 2029, na chaguo la mwaka mmoja zaidi. Mazungumzo sasa yako katika hatua za juu na yanaendelea vyema.

    Ili kusaidia uthabiti wa kifedha wa klabu, De Jong anakubali kupunguza mshahara wake kwa kiasi kikubwa—kutoka zaidi ya €700k kwa wiki (kutokana na malipo yaliyocheleweshwa hapo awali) hadi kiasi cha kudumu kati ya €200k na €250k kwa wiki.

    Source [ Transfer News]

    #SportsElite
    🚨 | JUST IN Barcelona na Frenkie de Jong wako kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba wa muda mrefu hadi Juni 2029, na chaguo la mwaka mmoja zaidi. Mazungumzo sasa yako katika hatua za juu na yanaendelea vyema. 🔵🔴 Ili kusaidia uthabiti wa kifedha wa klabu, De Jong anakubali kupunguza mshahara wake kwa kiasi kikubwa—kutoka zaidi ya €700k kwa wiki (kutokana na malipo yaliyocheleweshwa hapo awali) hadi kiasi cha kudumu kati ya €200k na €250k kwa wiki. 💰 Source [ Transfer News] #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·56 Views
  • Frankie De Jong yuko karibu kuongeza mkataba Barcelona hadi 2029.

    (Source: @NicoSchira)

    #SportsElite
    🚨 Frankie De Jong yuko karibu kuongeza mkataba Barcelona hadi 2029. (Source: @NicoSchira) #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·40 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imekamilisha usajili wa Roony Bardghji mdogo wake Rayan Bardghji ambae pia amesajiliwa dirisha hili hapo hapo Barcelona..

    Kinda huyo mwenye umri 15 ni winga wa kushoto na ataanzia kujifua La Masia.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imekamilisha usajili wa Roony Bardghji mdogo wake Rayan Bardghji ambae pia amesajiliwa dirisha hili hapo hapo Barcelona.. Kinda huyo mwenye umri 15 ni winga wa kushoto na ataanzia kujifua La Masia. 🇸🇪 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·72 Views
  • 👋🏻 Iñaki Peña, anajiandaa kuondoka Barcelona majira haya ya joto baada ya ujio wa Joan Garcia pia kuongeza mkataba mkongwe Szczesny...

    #SportsElite
    🚨👋🏻 Iñaki Peña, anajiandaa kuondoka Barcelona majira haya ya joto baada ya ujio wa Joan Garcia pia kuongeza mkataba mkongwe Szczesny... #SportsElite
    Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·80 Views
  • ✍🏻 Szczesny amekubali kuongeza mkataba Barcelona mwezi huu hadi June 2027

    #SportsElite
    💙❤️✍🏻 Szczesny amekubali kuongeza mkataba Barcelona mwezi huu hadi June 2027 ✅ #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·65 Views
  • Winga machachari raia wa Sweden Roony Bardghji amekamilisha vipimo vya afya na kuwa mchezaji mpya wa FC Barcelona akitokea FC Copenhagen ya Denmark

    #SportsElite
    💈💈 Winga machachari raia wa Sweden 🇸🇪 Roony Bardghji amekamilisha vipimo vya afya na kuwa mchezaji mpya wa FC Barcelona akitokea FC Copenhagen ya Denmark 🇩🇰 🙌 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·84 Views
  • Barcelona inatarajia kufungua mazungumzo na Manchester United ili kuona uwezekano wa kumpata Marcus Rashford siku chache zijazo.

    Rashford yuko tayari kwa uhamisho huo na anaamini mambo yataenda sawa

    (Source: @Santi_J_FM)

    #SportsElite
    🚨 Barcelona inatarajia kufungua mazungumzo na Manchester United ili kuona uwezekano wa kumpata Marcus Rashford siku chache zijazo. Rashford yuko tayari kwa uhamisho huo na anaamini mambo yataenda sawa (Source: @Santi_J_FM) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·81 Views
  • Inter inamfuatilia kwa ukaribu Marc-André ter Stegen wa Barcelona ili kumsajiri kutokana na golikipa Yann Sommer atatimkia Galatasaray.

    (Source: El Nacional)

    #SportsElite
    🚨 Inter inamfuatilia kwa ukaribu Marc-André ter Stegen wa Barcelona ili kumsajiri kutokana na golikipa Yann Sommer atatimkia Galatasaray. (Source: El Nacional) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·71 Views
  • Kiungo wazamani wa FC Barcelona na Sevilla za Hispania ametangaza kustafu Soka akiwa na Umri wa miaka 37, Barcelona na Sevilla ndizo club alizo cheza Kwa mafanikio .

    Tutamkumbuka Kwa kua kiungo pekee wa Barcelona Alie kua ana uthubutu wa kupiga Mashuti nje ya box Kwa Ile Barcelona ya Tick-Tack .


    #SportsElite
    🚨✅Kiungo wazamani wa FC Barcelona na Sevilla za Hispania ametangaza kustafu Soka akiwa na Umri wa miaka 37, Barcelona na Sevilla ndizo club alizo cheza Kwa mafanikio .✅ Tutamkumbuka Kwa kua kiungo pekee wa Barcelona Alie kua ana uthubutu wa kupiga Mashuti nje ya box Kwa Ile Barcelona ya Tick-Tack ☑️. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·91 Views
  • #SPORTS_KWANZA

    - Kupitia katika ‘Insta Story’ yake, mshambuliaji hatari wa klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal “MISHANGAZI BOY” na yeye pia hakuwa nyuma kabisa katika kuomboleza msiba wa Diogo Jota.
    .
    .
    …Hakika msiba huu umewagusa wengi sana!

    -

    #RestInPeace, Diogo Jota.” 🕊
    #SPORTS_KWANZA 🇹🇿 - Kupitia katika ‘Insta Story’ yake, mshambuliaji hatari wa klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal “MISHANGAZI BOY” na yeye pia hakuwa nyuma kabisa katika kuomboleza msiba wa Diogo Jota. . . …Hakika msiba huu umewagusa wengi sana! - #RestInPeace, Diogo Jota.” 🕊
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·190 Views
  • Barcelona imerudi kwenye mfumo wa 1:1

    Javier Tebas amethibitisha kwa raisi wa clabu Joan Laporta imeweza kurudi kwenye mfumo huo

    Barcelona itaweza kufanya usajiri wowote bila kizuizi cha fair play .

    (Source: Diario Sport)

    #SportsElite
    🚨 Barcelona imerudi kwenye mfumo wa 1:1 🔙 Javier Tebas amethibitisha kwa raisi wa clabu Joan Laporta imeweza kurudi kwenye mfumo huo Barcelona itaweza kufanya usajiri wowote bila kizuizi cha fair play . 💰 (Source: Diario Sport) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·130 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imeacha na golikipa wake Wojciech Szczesny kuanzia sasa atakuwa mchezaji huru..

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imeacha na golikipa wake Wojciech Szczesny kuanzia sasa atakuwa mchezaji huru..🔴🔵 🔴🔵 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·119 Views
  • 𝐑𝐄𝐕𝐄𝐀𝐋𝐄𝐃: Ansu Fati ameongeza kandarasi Barcelona hadi JUNE 2028 kabla ya kujiunga AS Monaco kwa mkopo.
    🚨🚨 𝐑𝐄𝐕𝐄𝐀𝐋𝐄𝐃: Ansu Fati ameongeza kandarasi Barcelona hadi JUNE 2028 kabla ya kujiunga AS Monaco kwa mkopo. 💙❤️‍🔥
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·88 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Barcelona imetoa jezi yake ya nyumbani kwa msimu ujao 2025/26 .
    🚨🇪🇸 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Barcelona imetoa jezi yake ya nyumbani kwa msimu ujao 2025/26 . 🔴🔵
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·99 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Dinamo Zagreb imekamilisha usajiri wa Sergi Domínguez kutoka FC Barcelona kwa ada €1.2 million.
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Dinamo Zagreb imekamilisha usajiri wa Sergi Domínguez kutoka FC Barcelona kwa ada €1.2 million.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·140 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona iko mbioni kumnasa kinda wa Brazili miaka 17 gem Zé Lucas kutoka Sport Recife

    #sportselite
    🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona iko mbioni kumnasa kinda wa Brazili miaka 17 gem Zé Lucas kutoka Sport Recife💙❤️🇧🇷 #sportselite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·109 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona inampango wa kumuuza PABLO TORRE kwenda Mallorca
    🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona inampango wa kumuuza PABLO TORRE kwenda Mallorca 👀💸
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·97 Views
  • | BREAKING:

    Barcelona wako kwenye mazungumzo ya hali ya juu kuhakikisha wanamsajili Zé Lucas, mmoja wa vijana wanaovuma zaidi nchini Brazil.

    Kiungo wa kati mwenye umri wa miaka 17 anachezea Sport Recife.

    Makubaliano ya mwisho kati ya pande zote yanatarajiwa hivi karibuni.

    — Felix Diaz | Marca

    #sportselite
    🚨| BREAKING: Barcelona wako kwenye mazungumzo ya hali ya juu kuhakikisha wanamsajili Zé Lucas, mmoja wa vijana wanaovuma zaidi nchini Brazil. Kiungo wa kati mwenye umri wa miaka 17 anachezea Sport Recife. Makubaliano ya mwisho kati ya pande zote yanatarajiwa hivi karibuni. — Felix Diaz | Marca 🥇 #sportselite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·201 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona inafikiria kumuongezea mkataba kiungo wao Frenkie de Jong ndani ya wiki hii

    #sportselite
    🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona inafikiria kumuongezea mkataba kiungo wao Frenkie de Jong ndani ya wiki hii👀💙❤️ #sportselite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·120 Views
Arama Sonuçları