• BREAKING NEWS…..!!!!!

    FIFA itafanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na Migogoro ya kimaamuzi iliyotokea.

    Lakini pia imeiomba TFF kutoa ushirikiano katika masuala yote ili kuweza kupata uhalisia wa mambo yote yaliyotokea....

    #sportselite
    🚨BREAKING NEWS…..!!!!! FIFA itafanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na Migogoro ya kimaamuzi iliyotokea. Lakini pia imeiomba TFF kutoa ushirikiano katika masuala yote ili kuweza kupata uhalisia wa mambo yote yaliyotokea.... #sportselite
    Wow
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·596 Просмотры
  • BREAKING NEWS | Hatimae TS Galaxy ya Afrika Kusini imeshinda mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Afrika Kusini baada ya michezo yote sita chini ya German Machine, Saed Ramovic kupigwa nne na sare michezo miwili.

    Leo chini ya Kocha mpya Adnan Beganovic wameshinda 3-1 dhidi ya Shekhukune ambayo ipo nafasi ya sita kwenye PSL, hii pia ni mara ya kwanza kushinda ugenini na kuvuka mabao mawili.
    BREAKING NEWS | Hatimae TS Galaxy ya Afrika Kusini imeshinda mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Afrika Kusini baada ya michezo yote sita chini ya German Machine, Saed Ramovic kupigwa nne na sare michezo miwili. Leo chini ya Kocha mpya Adnan Beganovic wameshinda 3-1 dhidi ya Shekhukune ambayo ipo nafasi ya sita kwenye PSL, hii pia ni mara ya kwanza kushinda ugenini na kuvuka mabao mawili.
    Like
    Love
    3
    · 3 Комментарии ·0 Поделились ·744 Просмотры
  • UBAYA UBWELA Breaking News!

    Leo saa 11:30 jioni.

    Taarifa zaidi tumia Simba App #WenyeNchi #NguvuMoja
    UBAYA UBWELA Breaking News! Leo saa 11:30 jioni. Taarifa zaidi tumia Simba App #WenyeNchi #NguvuMoja
    Like
    Love
    4
    · 2 Комментарии ·0 Поделились ·839 Просмотры
  • BREAKING NEWS

    Uwayezu Francois Regis ambaye ni Raia wa Rwanda rasmi atakuwa CEO Mpya wa Simba sc kuanzia tarehe 1 August akichukua nafasi ya Imani Kajula aliyemaliza muda wake

    Francois, alikuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya APR ya Rwanda pia amewahi pia kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka cha Rwanda (FERWAFA) #paulswai
    🚨BREAKING NEWS Uwayezu Francois Regis ambaye ni Raia wa Rwanda rasmi atakuwa CEO Mpya wa Simba sc kuanzia tarehe 1 August akichukua nafasi ya Imani Kajula aliyemaliza muda wake Francois, alikuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya APR ya Rwanda pia amewahi pia kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka cha Rwanda (FERWAFA) #paulswai
    Like
    Love
    4
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·797 Просмотры
  • BREAKING NEWS

    Klabu ya Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu.
    .
    Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi.

    KARIBU UNYAMANI AUGUSTINE

    Follow ukurasa wetu

    .

    #cktvtanzania
    BREAKING NEWS Klabu ya Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria 🇳🇬 kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu. . Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi. KARIBU UNYAMANI AUGUSTINE Follow ukurasa wetu . #cktvtanzania
    0 Комментарии ·0 Поделились ·1Кб Просмотры
  • BREAKING NEWS
    Mikel Arteta anahitaji mshahara zaidi ya ano upata Arsenal, pia viongozi wako tayari na wame muwandalia mkataba mpya.



    Follow SSL.TV #socialpop
    📌BREAKING NEWS Mikel Arteta anahitaji mshahara zaidi ya ano upata Arsenal, pia viongozi wako tayari na wame muwandalia mkataba mpya. 👏👏 Follow SSL.TV #socialpop
    Like
    Love
    Haha
    8
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·1Кб Просмотры
  • BREAKING NEWS: Karim Benzema anataka kuondoka Al Ittihad.

    Sababu kubwa za Karim Benzema’s kutaka kuondoka ni hizi hapa .

    • kiwango Cha chini Cha mpira

    • ukosefu wa vifaa maalumu vya mazoezi

    • ukosefu wa watu maalumu wanaojua mpira ,mazoezi na afya .

    Sports view
    BREAKING NEWS: Karim Benzema anataka kuondoka Al Ittihad. Sababu kubwa za Karim Benzema’s kutaka kuondoka ni hizi hapa 🙄. • kiwango Cha chini Cha mpira • ukosefu wa vifaa maalumu vya mazoezi • ukosefu wa watu maalumu wanaojua mpira ,mazoezi na afya .😳 📰 Sports view
    Like
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·775 Просмотры