0 Commentaires
·0 Parts
·14 Vue
-
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Patrick Agyemang hato jumuishwa kwenye kikosi cha Charlotte FC kwenye mechi leo usku dhidi ya NYCFC na tayari yuko mbioni kukamilisha uhamisho kwenda Derby County.
Vipimo vya afya tayari vimekamilika Alhamisi iliyo pita. Na dili limekamilika kwa ada ya $8M na nyongeza ya $2M...🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇺🇸 Patrick Agyemang hato jumuishwa kwenye kikosi cha Charlotte FC kwenye mechi leo usku dhidi ya NYCFC na tayari yuko mbioni kukamilisha uhamisho kwenda Derby County. Vipimo vya afya tayari vimekamilika Alhamisi iliyo pita. Na dili limekamilika kwa ada ya $8M na nyongeza ya $2M...0 Commentaires ·0 Parts ·149 Vue -
𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham
Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs
Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London
@theathleticfc reports.
#SportsElite🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham 🤍💣 Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London @theathleticfc reports. #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·148 Vue -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid haita usajili mbadala wa Rodrygo kama ataondoka klabuni hapo baada ya nafasi yake kuwa finyu..
@MarioCortegana @TheAthleticFC
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid haita usajili mbadala wa Rodrygo kama ataondoka klabuni hapo baada ya nafasi yake kuwa finyu.. @MarioCortegana @TheAthleticFC #SportsElite -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid inatarajia kukamilisha uhamisho wa Álvaro Carreras’ mwezi huu...
@TheAthleticFC
#SportsElite🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid inatarajia kukamilisha uhamisho wa Álvaro Carreras’ mwezi huu... @TheAthleticFC #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·86 Vue