Upgrade to Pro

  • "Asante sana kwa swali lako. Ndio, mtindo wangu wa uchezaji, kama wengi wanavyojua sasa ni mtindo wa kiwango cha juu wa nguvu ambapo hatutaki kuwapa wapinzani nafasi au muda, kama ulivyosema.

    Ni vizuri pia kuona kwamba wachezaji wanajifunza na wanaamini katika mtindo huu wa uchezaji. Wanajitahidi mazoezini, umeshacheza mechi nne za ligi vizuri. Kwa ujumla, tuko kwenye njia sahihi lakini kesho ni mechi mpya tena, yenye changamoto tofauti" Sead Ramovic akijibu swali la mwandishi wa habari.

    #TimuYaWananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    "Asante sana kwa swali lako. Ndio, mtindo wangu wa uchezaji, kama wengi wanavyojua sasa ni mtindo wa kiwango cha juu wa nguvu ambapo hatutaki kuwapa wapinzani nafasi au muda, kama ulivyosema. Ni vizuri pia kuona kwamba wachezaji wanajifunza na wanaamini katika mtindo huu wa uchezaji. Wanajitahidi mazoezini, umeshacheza mechi nne za ligi vizuri. Kwa ujumla, tuko kwenye njia sahihi lakini kesho ni mechi mpya tena, yenye changamoto tofauti" Sead Ramovic akijibu swali la mwandishi wa habari. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
    ·180 Views
  • "Pengine watacheza kwa mtindo ule ule waliocheza kwenye mchezo wa kwanza dhidi yetu. Kwa mipira ya juu, kushinda mipira ya pili, na kurusha krosi nyingi kwenye eneo letu. Tutakutana na mechi ngumu lakini tumejiandaa vizuri kwa sababu tuna wachezaji binafsi wenye uwezo mkubwa na tumeanza kuwa timu. Hili linanifanya nijivunie sana kama Kocha" Sead Ramovic

    #TimuYaWananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    "Pengine watacheza kwa mtindo ule ule waliocheza kwenye mchezo wa kwanza dhidi yetu. Kwa mipira ya juu, kushinda mipira ya pili, na kurusha krosi nyingi kwenye eneo letu. Tutakutana na mechi ngumu lakini tumejiandaa vizuri kwa sababu tuna wachezaji binafsi wenye uwezo mkubwa na tumeanza kuwa timu. Hili linanifanya nijivunie sana kama Kocha" Sead Ramovic #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
    ·160 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    "Tunayo mechi muhimu sana mbele yetu, na tunajua tunahitaji alama tatu ili bado tuwe na nafasi ya kufuzu kwa raundi inayofuata. Tunaelewa hilo.

    Nilipofika wiki nne zilizopita, niliona kwamba timu haikuwa fiti kabisa, na hiyo ndiyo ukweli. Sasa katika hizi wiki nne lazima niwape sifa nyingi wachezaji wangu jinsi walivyofanya kazi, jinsi walivyovumilia kila siku kufikia kiwango ambacho ningependa kuwaona.

    Na tuna furaha kubwa kucheza mechi ya kesho tukiwa kwenye hali nzuri dhidi ya TP Mazembe" Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 "Tunayo mechi muhimu sana mbele yetu, na tunajua tunahitaji alama tatu ili bado tuwe na nafasi ya kufuzu kwa raundi inayofuata. Tunaelewa hilo. Nilipofika wiki nne zilizopita, niliona kwamba timu haikuwa fiti kabisa, na hiyo ndiyo ukweli. Sasa katika hizi wiki nne lazima niwape sifa nyingi wachezaji wangu jinsi walivyofanya kazi, jinsi walivyovumilia kila siku kufikia kiwango ambacho ningependa kuwaona. Na tuna furaha kubwa kucheza mechi ya kesho tukiwa kwenye hali nzuri dhidi ya TP Mazembe" Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    1
    ·169 Views
  • Tumefika hapa Kwenye mchezo wetu wa nne dhidi ya TP Mazembe tukiwa na alama 1, mimi naamini kama siyo upendo wake Mwenyezi Mungu pengine leo tusingefanya mkutano huu tukiwa na matumaini ya kufuzu kwenye kundi letu, na hii Wanayanga tunapaswa kuielewa, Siyo watu wote Duniani ambao Mwenyezi Mungu anawapa nafasi ya pili kwenye maisha yao.

    Sisi Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya pili ya kujiuliza na kufanya vizuri, si kila mtu anapata baraka hii, ukweli huu uliambatana na kejeli, dharau na kila aina ya neno baya kwetu, hakusemwa Eng Hersi pekee, hakusemwa Ally Kamwe pekee, Ilikuwa ni Fedheha kwa Wanayanga wote, Kufungwa kubaya ndugu zangu, kunaumiza, nawaeleza haya yote ili tuweze kutambua ni ipi inapaswa kuwa Hamasa namba moja kwetu sisi, ili tuelewe ni kitu gani kinatukabili siku ya Jumamosi, mimi ukiniuliza mechi hii siyo mechi ya kawaida, Hii ni Mechi iliyoshikilia Hatima yetu, tukipoteza Mchezo huu tutakuwa tumepoteza matumaini yote” Ally Kamwe.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    Tumefika hapa Kwenye mchezo wetu wa nne dhidi ya TP Mazembe tukiwa na alama 1, mimi naamini kama siyo upendo wake Mwenyezi Mungu pengine leo tusingefanya mkutano huu tukiwa na matumaini ya kufuzu kwenye kundi letu, na hii Wanayanga tunapaswa kuielewa, Siyo watu wote Duniani ambao Mwenyezi Mungu anawapa nafasi ya pili kwenye maisha yao. Sisi Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya pili ya kujiuliza na kufanya vizuri, si kila mtu anapata baraka hii, ukweli huu uliambatana na kejeli, dharau na kila aina ya neno baya kwetu, hakusemwa Eng Hersi pekee, hakusemwa Ally Kamwe pekee, Ilikuwa ni Fedheha kwa Wanayanga wote, Kufungwa kubaya ndugu zangu, kunaumiza, nawaeleza haya yote ili tuweze kutambua ni ipi inapaswa kuwa Hamasa namba moja kwetu sisi, ili tuelewe ni kitu gani kinatukabili siku ya Jumamosi, mimi ukiniuliza mechi hii siyo mechi ya kawaida, Hii ni Mechi iliyoshikilia Hatima yetu, tukipoteza Mchezo huu tutakuwa tumepoteza matumaini yote” Ally Kamwe. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    ·326 Views
  • “Ndugu zangu mashabiki, Wanachama na Wapenzi wa Klabu ya Yanga, naweza Kutumia maneno mengi kweli, naweza kutumia kila aina ya Sanaa ambayo Mungu amenijaalia kufikisha ujumbe huu mkafahamu umuhimu mkubwa wa mchezo huu, lakini ukweli ambao utaendelea kubakia na hapa nawaomba sana Wanachama wa Yanga Sc, huu ukweli ambao uko mbele yetu unapaswa kutupa Hamasa kubwa kuliko vitu vyote.

    Ukweli ambao hatuwezi kuuepuka ni ukweli huu unaoumiza wa hali yetu kwenye ligi ya Mabingwa msimu huu hasa tunapolitazama Kundi letu, haipendezi na haivutii lakini ndiyo ukweli, sisi tuna alama moja tu kwenye michezo mitatu, pia tunashika nafasi ya mwisho kwenye kundi letu, huu ni ukweli Mchungu ambao unapaswa kuwa Hamasa Namba moja kwa kila Mwanayanga kuelekea Mchezo wetu dhidi ya Tp Mazembe Jumamosi hii” Ally Kamwe.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    “Ndugu zangu mashabiki, Wanachama na Wapenzi wa Klabu ya Yanga, naweza Kutumia maneno mengi kweli, naweza kutumia kila aina ya Sanaa ambayo Mungu amenijaalia kufikisha ujumbe huu mkafahamu umuhimu mkubwa wa mchezo huu, lakini ukweli ambao utaendelea kubakia na hapa nawaomba sana Wanachama wa Yanga Sc, huu ukweli ambao uko mbele yetu unapaswa kutupa Hamasa kubwa kuliko vitu vyote. Ukweli ambao hatuwezi kuuepuka ni ukweli huu unaoumiza wa hali yetu kwenye ligi ya Mabingwa msimu huu hasa tunapolitazama Kundi letu, haipendezi na haivutii lakini ndiyo ukweli, sisi tuna alama moja tu kwenye michezo mitatu, pia tunashika nafasi ya mwisho kwenye kundi letu, huu ni ukweli Mchungu ambao unapaswa kuwa Hamasa Namba moja kwa kila Mwanayanga kuelekea Mchezo wetu dhidi ya Tp Mazembe Jumamosi hii” Ally Kamwe. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    ·280 Views
  • .“Tumewatazama kwa makini sana Dodoma Jiji, wanacheza vizuri wakiwa nyumbani, tunafahamu ni wagumu mno wanapocheza nyumbani hivyo tumeshajiandaa kukabiliana nao. Alama tatu kesho muhimu mno kwetu ili tuendelee kubaki kwenye mipango yetu” Sead Ramovic.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .“Tumewatazama kwa makini sana Dodoma Jiji, wanacheza vizuri wakiwa nyumbani, tunafahamu ni wagumu mno wanapocheza nyumbani hivyo tumeshajiandaa kukabiliana nao. Alama tatu kesho muhimu mno kwetu ili tuendelee kubaki kwenye mipango yetu” Sead Ramovic. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    Haha
    3
    1 Reacties ·310 Views
  • .Ushindi wa kesho una beba dhima nzima ya kujitoa kwa kila namna, kama tusipojitoa kwa kila hali hapo kesho matarajio ya ushindi yatakuwa madogo, kimsingi tumekuja hapa na tumeshajiandaa kisawasawa na tuna imani ya kuondoka alama tatu. Bila shaka mchezo umekaa kimtego kutokana na ratiba lakini hiyo haiondoi dhamira yetu ya kushinda” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .Ushindi wa kesho una beba dhima nzima ya kujitoa kwa kila namna, kama tusipojitoa kwa kila hali hapo kesho matarajio ya ushindi yatakuwa madogo, kimsingi tumekuja hapa na tumeshajiandaa kisawasawa na tuna imani ya kuondoka alama tatu. Bila shaka mchezo umekaa kimtego kutokana na ratiba lakini hiyo haiondoi dhamira yetu ya kushinda” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    3
    ·281 Views
  • .“Nina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyokamalika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .“Nina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyokamalika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    3
    1 Reacties ·294 Views
  • Habari za ahsubuh wananchi kutoka kwa mwana wa mfalme Prince Dube
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #daimambelenyumamwiko
    Habari za ahsubuh wananchi kutoka kwa mwana wa mfalme Prince Dube 😂😀💪 #timuyawananchi #yangasc #daimambelenyumamwiko
    Like
    1
    ·200 Views
  • #Daimambelenyumamwiko
    #Daimambelenyumamwiko
    ·130 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    "Malengo yetu ni kuonyesha uwezo wetu na kufanya vizuri kesho, Haijalishi wapinzani wetu wakoje, sisi tunafahamu TP Mazembe ni timu kubwa na ina Wachezaji wazuri hivyo kesho tutashuhudia mechi nzuri sana, nafahamu kuwa mchezo wa mwisho hapa Congo Young Africans ilishinda lakini hatuwezi kuzungumzia yaliyopita, tunautazama mchezo wa kesho kama mchezo mpya na tupo tayari kwa Changamoto hii" Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 "Malengo yetu ni kuonyesha uwezo wetu na kufanya vizuri kesho, Haijalishi wapinzani wetu wakoje, sisi tunafahamu TP Mazembe ni timu kubwa na ina Wachezaji wazuri hivyo kesho tutashuhudia mechi nzuri sana, nafahamu kuwa mchezo wa mwisho hapa Congo Young Africans ilishinda lakini hatuwezi kuzungumzia yaliyopita, tunautazama mchezo wa kesho kama mchezo mpya na tupo tayari kwa Changamoto hii" Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    1
    2 Reacties ·311 Views
  • “Tunamshukuru Mungu tumefika Salama, tupo hapa Lubumbashi kwaajili ya kupambana, ni kweli hatujashinda mechi zetu za Mwanzo lakini haimaanishi tukae vichwa chini, huu ni muda wa kurudi juu na kuwapa furaha wananchi, tunatambua Ukubwa wa Mazembe lakini tutapambana kwaajili ya kushinda kesho” @maxinzengeli

    #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

    “Tunamshukuru Mungu tumefika Salama, tupo hapa Lubumbashi kwaajili ya kupambana, ni kweli hatujashinda mechi zetu za Mwanzo lakini haimaanishi tukae vichwa chini, huu ni muda wa kurudi juu na kuwapa furaha wananchi, tunatambua Ukubwa wa Mazembe lakini tutapambana kwaajili ya kushinda kesho” @maxinzengeli #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    ·276 Views
  • Karibu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović💪🏽

    Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu.

    Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP

    #TimuYaWananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    Karibu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović🔰💪🏽 Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu. Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
    Like
    3
    ·330 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    Tunakwenda kucheza na timu ngumu, ina wachezaji bora na kocha mzoefu lakini upande wetu tuna kikosi chenye wachezaji bora sana, naamini itakuwa mechi nzuri yenye kuvutia. Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 Tunakwenda kucheza na timu ngumu, ina wachezaji bora na kocha mzoefu lakini upande wetu tuna kikosi chenye wachezaji bora sana, naamini itakuwa mechi nzuri yenye kuvutia. Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    1 Reacties ·348 Views
  • Kila siku mpya uwanjani inatupa nafasi wachezaji ya kujifunza kitu kipya, mechi mbili zilizopita, ya Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu zimetupa funzo na kesho tutakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri - Aziz KI

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    Kila siku mpya uwanjani inatupa nafasi wachezaji ya kujifunza kitu kipya, mechi mbili zilizopita, ya Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu zimetupa funzo na kesho tutakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri - Aziz KI #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    2 Reacties ·345 Views
  • .Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Algeria (FAF) ambaye pia Waziri wa michezo wa Algeria Mh. Walid Sadi akimpokea Mgeni wake Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA) Eng.Hersi Ally Said pamoja na Wajumbe wa bodi ya vilabu barani Afrika (ACA) walipotembelea Taifa la Algeria na kukagua miundombinu ya soka.

    Algeria imeialika ACA kuweka Makao yake makuu nchini humo, ikiwa katika kinyanganyiro na mataifa mengine mawili, Morocco na Afrika ya kusini.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Algeria (FAF) ambaye pia Waziri wa michezo wa Algeria Mh. Walid Sadi akimpokea Mgeni wake Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA) Eng.Hersi Ally Said pamoja na Wajumbe wa bodi ya vilabu barani Afrika (ACA) walipotembelea Taifa la Algeria na kukagua miundombinu ya soka. Algeria imeialika ACA kuweka Makao yake makuu nchini humo, ikiwa katika kinyanganyiro na mataifa mengine mawili, Morocco na Afrika ya kusini. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    7
    1 Reacties ·451 Views
  • .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Sisi kama Wachezaji tunatambua umuhimu wa Alama tatu kwenye Ligi, tumekaa chini na kuzungumza wapi kwa Kuboresha, tunamsikiliza Mwalimu na kujituma kwa dhati ili kuhakikisha tunapata matokeo mazuri, mchezo wa kesho ni mgumu lakini tupo kwaajili ya Kupambana na kushinda” Denis Nkane

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Sisi kama Wachezaji tunatambua umuhimu wa Alama tatu kwenye Ligi, tumekaa chini na kuzungumza wapi kwa Kuboresha, tunamsikiliza Mwalimu na kujituma kwa dhati ili kuhakikisha tunapata matokeo mazuri, mchezo wa kesho ni mgumu lakini tupo kwaajili ya Kupambana na kushinda” Denis Nkane #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    7
    2 Reacties ·430 Views
  • .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Kwakweli ni Jambo la Kujivunia sana, Nawashukuru sana mashabiki wa Yanga wanaotoka Dar Es Salaam leo usiku na Wanayanga Wote wanaokuja Kuisapoti timu yetu hapo kesho, mimi na Wachezaji wangu tunapaswa kuwalipa Furaha, Wameonesha Moyo na Mapenzi ya Dhati, tunajiandaa kuirejesha furaha yao” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Kwakweli ni Jambo la Kujivunia sana, Nawashukuru sana mashabiki wa Yanga wanaotoka Dar Es Salaam leo usiku na Wanayanga Wote wanaokuja Kuisapoti timu yetu hapo kesho, mimi na Wachezaji wangu tunapaswa kuwalipa Furaha, Wameonesha Moyo na Mapenzi ya Dhati, tunajiandaa kuirejesha furaha yao” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    2
    ·499 Views
  • .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Tuna mchezo mgumu na Muhimu sana hapo kesho, katika maandalizi yetu mpaka sasa kila kitu kipo vizuri, tunafahamu Namungo wana Wachezaji wazoefu lakini sisi hatupo hapa kutafuta kingine zaidi ya Alama tatu” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Tuna mchezo mgumu na Muhimu sana hapo kesho, katika maandalizi yetu mpaka sasa kila kitu kipo vizuri, tunafahamu Namungo wana Wachezaji wazoefu lakini sisi hatupo hapa kutafuta kingine zaidi ya Alama tatu” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    3
    1 Reacties ·409 Views
  • .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi. Ally Kamwe

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi. Ally Kamwe #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    Sad
    5
    3 Reacties ·632 Views
Zoekresultaten