• Mtandao wa TikTok umerejea na kurudisha huduma zake Nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu mtandao huo kuendelea kufanya kazi Marekani.

    TikTok ilikuwa imeacha kufanya kazi kwa Watumiaji wa Marekani kutokana na sheria iliyopiga marufuku app hiyo. Trump amesema atatafuta suluhisho la kuirudisha TikTok, ikiwemo uwezekano wa kushirikiana na kampuni za Marekani.

    Mtandao wa TikTok umerejea na kurudisha huduma zake Nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu mtandao huo kuendelea kufanya kazi Marekani. TikTok ilikuwa imeacha kufanya kazi kwa Watumiaji wa Marekani kutokana na sheria iliyopiga marufuku app hiyo. Trump amesema atatafuta suluhisho la kuirudisha TikTok, ikiwemo uwezekano wa kushirikiana na kampuni za Marekani.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·806 Views

    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·819 Views
  • TikTok imeacha kufanya kazi nchini Marekani Jumamosi usiku na kutoweka kwenye programu za Apple na Google kabla ya kuanza kutekelezwa kwa sheria mpya siku ya Jumapili inayohitaji kufungwa kwa jukwaa hilo linalotumiwa na takriban Wamarekani milioni 170.

    Rais mteule, Donald Trump, alitangaza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kutoa msamaha wa muda wa siku 90 kwa TikTok baada ya kuapishwa rasmi siku ya Jumatatu. Ahadi hiyo imetajwa na TikTok katika taarifa iliyotumwa kwa watumiaji wake kupitia programu hiyo.
    TikTok imeacha kufanya kazi nchini Marekani Jumamosi usiku na kutoweka kwenye programu za Apple na Google kabla ya kuanza kutekelezwa kwa sheria mpya siku ya Jumapili inayohitaji kufungwa kwa jukwaa hilo linalotumiwa na takriban Wamarekani milioni 170. Rais mteule, Donald Trump, alitangaza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kutoa msamaha wa muda wa siku 90 kwa TikTok baada ya kuapishwa rasmi siku ya Jumatatu. Ahadi hiyo imetajwa na TikTok katika taarifa iliyotumwa kwa watumiaji wake kupitia programu hiyo.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·855 Views
  • Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula akiongea na Afisa Mtendaji Mkuu mteule, Uwayezu Francois Regis baada ya kumkaribisha.

    Pamoja na kumpitisha kwenye masuala kadhaa kuhusu klabu alimpa maelezo ya kina juu ya mikakati mbalimbali endelevu.

    Kama ambavyo umma ulijulishwa hapo awali, Kajula ataendelea kumpatia Regis uwelewa wa mifumo, utendaji kazi , wadau, mikakati na masuala mengine ya klabu hadi Agosti 31, 2024, ambapo Kajula ataondoka rasmi na Regis kushika hatamu ya kazi za Afisa Mtendaji Mkuu.

    #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula akiongea na Afisa Mtendaji Mkuu mteule, Uwayezu Francois Regis baada ya kumkaribisha. Pamoja na kumpitisha kwenye masuala kadhaa kuhusu klabu alimpa maelezo ya kina juu ya mikakati mbalimbali endelevu. Kama ambavyo umma ulijulishwa hapo awali, Kajula ataendelea kumpatia Regis uwelewa wa mifumo, utendaji kazi , wadau, mikakati na masuala mengine ya klabu hadi Agosti 31, 2024, ambapo Kajula ataondoka rasmi na Regis kushika hatamu ya kazi za Afisa Mtendaji Mkuu. #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    Love
    4
    · 1 Commentarii ·0 Distribuiri ·401 Views
  • Anaitwa Feisal Salum
    Alizaliwa 11 January 1998
    Ana umri wa miaka 26
    Anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji

    Simba ipo kwenye mazungumzo na Azam fc ilikumpta Feisal Salum "Feitoto"

    Fei alijiunga na Azam fc msimu uliopita akitokea Yanga

    𝐌𝐧𝐲𝐚𝐦𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐭𝐚𝐟𝐭𝐚 𝐂𝐨𝐦𝐞𝐛𝐚𝐜𝐤 𝐡𝐮𝐤𝐮!!!

    #MTEULE
    Anaitwa Feisal Salum Alizaliwa 11 January 1998 Ana umri wa miaka 26 Anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji Simba ipo kwenye mazungumzo na Azam fc ilikumpta Feisal Salum "Feitoto" Fei alijiunga na Azam fc msimu uliopita akitokea Yanga 𝐌𝐧𝐲𝐚𝐦𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐭𝐚𝐟𝐭𝐚 𝐂𝐨𝐦𝐞𝐛𝐚𝐜𝐤 𝐡𝐮𝐤𝐮!!! #MTEULE
    Love
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·266 Views