Upgrade to Pro

  • “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.

    “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    Like
    1
    ·16 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic.

    #timuyawananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    #neliudcosih
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic. #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih
    ·52 Views
  • "MFUMO ULIOANGUSHA B737MAX"

    Mara baada ya uchunguzi wa awali kutoa ripoti inayoonesha kuwa ajali ya ndege ya Ethiopia Airline na Lion Air B737 Max iliyotokea mapema miezi michache iliyopita haikusababishwa na makosa ya kiurubani bali ni mfumo wao mpya wa"Software" iitwayo 'MCAS' waliouweka katika ndege hiyo kwa lengo la kuzuia ndege ku'STALL.
    'STALL' ni kitendo ambacho hutokea pale mbawa za ndege zinapobinuka na kufikia 'angle' ambayo hushindwa kuendelea kuzalisha 'lift' ya kutosha na kupelekea ndege kushindwa kuendelea kupaa na kurudi chini (mda mwengine mithili ya jiwe).
    'Stall' mara nyingi inatokea pale ambapo ndege inapokuwa inapaa na kunyanyua pua yake juu kupita kiasi na katika mwendo mdogo isivyo kawaida na kupelekea hewa inayopita kwenye mbawa zake ili kuipaisha ndege kuvurugika.
    Software hii mpya ya "MCAS' (Inayosemekana kuwa na makosa) imewekwa kwenye B737Max ili kuzuia ndege hizo ku'stall na inafanya kazi 'automatic' ya kuinamisha pua ya ndege chini ili kuipa kasi na kurudisha hewa iliyovurugika kwenye mbawa katika hali yake ya kawaida ili ndege iendelee kupaa.
    Lakini wachambuzi wanasema, software hii mda mwengine inafanya kazi kimakosa pale inapoinamisha pua ya ndege chini hata kama ndege haikuwa katika ya hali hiyo ya kunyanyua pua yake hivyo kuanza kushindana na Rubani na kupelekea ndege kudaivu kurudi ardhini mithili ya mkuki.
    Inasemekana Boeing wameweka Software hii mpya kwenye B737Max ili kuzuia tabia hiyo mpya ya ndege hizo ya kunyanyua pua yake juu zaidi pale inapokuwa inapaa hali inayosababishwa na kubachikwa kwa injini nyengine kubwa mpya ambazo zilishindwa kufiti katika sehemu yake ya kawaida kutokana na ndege hizo kuwa chichini hivyo waka'modify kwa kuzisogeza mbele na kuzipandisha juu kidogo ya mbawa.
    Modification' hiyo inapelekea ndege kuwa na tabia hiyo ya kunyanyua pua yake yenyewe wakati wa urukaji hivyo kujitofautisha na Boeing 737 nyengine za awali katika urukaji hivyo Boeing wakaamua kuweka mfumo huu ili kuepuka gharama za kufundisha marubani upya juu ya hali hiyo.
    (Picha kwa hisani ya mtandao)
    #Ndege #Ajali #Boeing #Max #Ethiopian #Airline #Lion #Air #MCAS
    "MFUMO ULIOANGUSHA B737MAX" Mara baada ya uchunguzi wa awali kutoa ripoti inayoonesha kuwa ajali ya ndege ya Ethiopia Airline na Lion Air B737 Max iliyotokea mapema miezi michache iliyopita haikusababishwa na makosa ya kiurubani bali ni mfumo wao mpya wa"Software" iitwayo 'MCAS' waliouweka katika ndege hiyo kwa lengo la kuzuia ndege ku'STALL. 'STALL' ni kitendo ambacho hutokea pale mbawa za ndege zinapobinuka na kufikia 'angle' ambayo hushindwa kuendelea kuzalisha 'lift' ya kutosha na kupelekea ndege kushindwa kuendelea kupaa na kurudi chini (mda mwengine mithili ya jiwe). 'Stall' mara nyingi inatokea pale ambapo ndege inapokuwa inapaa na kunyanyua pua yake juu kupita kiasi na katika mwendo mdogo isivyo kawaida na kupelekea hewa inayopita kwenye mbawa zake ili kuipaisha ndege kuvurugika. Software hii mpya ya "MCAS' (Inayosemekana kuwa na makosa) imewekwa kwenye B737Max ili kuzuia ndege hizo ku'stall na inafanya kazi 'automatic' ya kuinamisha pua ya ndege chini ili kuipa kasi na kurudisha hewa iliyovurugika kwenye mbawa katika hali yake ya kawaida ili ndege iendelee kupaa. Lakini wachambuzi wanasema, software hii mda mwengine inafanya kazi kimakosa pale inapoinamisha pua ya ndege chini hata kama ndege haikuwa katika ya hali hiyo ya kunyanyua pua yake hivyo kuanza kushindana na Rubani na kupelekea ndege kudaivu kurudi ardhini mithili ya mkuki. Inasemekana Boeing wameweka Software hii mpya kwenye B737Max ili kuzuia tabia hiyo mpya ya ndege hizo ya kunyanyua pua yake juu zaidi pale inapokuwa inapaa hali inayosababishwa na kubachikwa kwa injini nyengine kubwa mpya ambazo zilishindwa kufiti katika sehemu yake ya kawaida kutokana na ndege hizo kuwa chichini hivyo waka'modify kwa kuzisogeza mbele na kuzipandisha juu kidogo ya mbawa. Modification' hiyo inapelekea ndege kuwa na tabia hiyo ya kunyanyua pua yake yenyewe wakati wa urukaji hivyo kujitofautisha na Boeing 737 nyengine za awali katika urukaji hivyo Boeing wakaamua kuweka mfumo huu ili kuepuka gharama za kufundisha marubani upya juu ya hali hiyo. (Picha kwa hisani ya mtandao) #Ndege #Ajali #Boeing #Max #Ethiopian #Airline #Lion #Air #MCAS
    ·90 Views
  • HUMAN CLONING.

    PART 1; "njia zinazotumika kutengeneza mtu copy (human cloning)"
    Kama nilivyo eleza kwa ujumla kuhusu "human cloning" katika makala iliyo pita ,ambapo nilisema "human clone" nikitendo cha kuchukua cells,tissue na jens(DNA) ya mtu fulani na kutenge neza mtu mwingine ambae atakuwa anafanana na yule wa mwanzo katika maabara. sasa leo tuangalie makala hii inayo husu aina/njia zinazotumika katika "human cloning"(kumtengeneza mtu feki). REPLICA HUMAN CLONING,
    hii ni aina/njia ya human clone ambayo ,hutengeneza mtu kwa kutoa nakala halisi ya yule wa mwanzo..replical cloning imekuwa ndo njia kuu na rahis ambayo inatumika sana na vikundi vya siri kama illuminant/freemason katika kutengeneza watu feki kwasababu huwa inachukua mda mfupi mpaka kukamilika..na replical cloning ya kwanza ili fanyika mwaka 1979,ambayo inadaiwa kuwa ya billionaire max. Replica clone ,hii ina tumika kwa mtu yeyote yani alie hai na aliye kufa,ambapo hii wanamchukua mtu husika katika maabara kwa ajili ya kumclone/copy iwe ni hai au amekufa, kisha wana muweka kwenye mashine special ambazo zime unganishwa moja kwa moja na computer,ambapo hiyo computer inatumika kuchukua record zote za huyo mtu.mfano, urefu,unene,size ya kila kiungo,mwonekano na kumbukumbu zote kupitia ubongo kisha wana zi hifadhi kwenye computer,kisha badae wana mfanyia replication kupitia zile record zake zote ambapo ata tengenezwa mfano wa mtu kama yeye kupitia mashine ,lakin huyo mtu mpya anakuwa kama toy tu hafanyi chochote.Bada ya hapo ,wanachukua cell,tissue na jens(DNA)za yule halisi kisha wana muwekea yule copy then wana mweka kwenye zile cloning tank,ambazo zinakuwa na material yote yanoyo kupatia uhai,ikiwemo soul intallation ,wana kupa kumbukumbu za yule wa mwanzo ambazo walikuwa wame zi hifadhi kwenye computer..
    Replical clone imetumika kwa watu weng mfano..EMINEM,TYRO SWIFT,BEYONCE,MIREY CRUZY,BI HILARY CLITON,THE GAME,DR DRE,BRIGHTNEY SPEAR,GUCC MANE.. n.k .....ITAENDELEA USIKOSE....
    HUMAN CLONING. PART 1; "njia zinazotumika kutengeneza mtu copy (human cloning)" 👉Kama nilivyo eleza kwa ujumla kuhusu "human cloning" katika makala iliyo pita ,ambapo nilisema "human clone" nikitendo cha kuchukua cells,tissue na jens(DNA) ya mtu fulani na kutenge neza mtu mwingine ambae atakuwa anafanana na yule wa mwanzo katika maabara. 👉sasa leo tuangalie makala hii inayo husu aina/njia zinazotumika katika "human cloning"(kumtengeneza mtu feki). 👉REPLICA HUMAN CLONING, hii ni aina/njia ya human clone ambayo ,hutengeneza mtu kwa kutoa nakala halisi ya yule wa mwanzo..replical cloning imekuwa ndo njia kuu na rahis ambayo inatumika sana na vikundi vya siri kama illuminant/freemason katika kutengeneza watu feki kwasababu huwa inachukua mda mfupi mpaka kukamilika..na replical cloning ya kwanza ili fanyika mwaka 1979,ambayo inadaiwa kuwa ya billionaire max. 👉Replica clone ,hii ina tumika kwa mtu yeyote yani alie hai na aliye kufa,ambapo hii wanamchukua mtu husika katika maabara kwa ajili ya kumclone/copy iwe ni hai au amekufa, kisha wana muweka kwenye mashine special ambazo zime unganishwa moja kwa moja na computer,ambapo hiyo computer inatumika kuchukua record zote za huyo mtu.mfano, urefu,unene,size ya kila kiungo,mwonekano na kumbukumbu zote kupitia ubongo kisha wana zi hifadhi kwenye computer,kisha badae wana mfanyia replication kupitia zile record zake zote ambapo ata tengenezwa mfano wa mtu kama yeye kupitia mashine ,lakin huyo mtu mpya anakuwa kama toy tu hafanyi chochote.Bada ya hapo ,wanachukua cell,tissue na jens(DNA)za yule halisi kisha wana muwekea yule copy then wana mweka kwenye zile cloning tank,ambazo zinakuwa na material yote yanoyo kupatia uhai,ikiwemo soul intallation ,wana kupa kumbukumbu za yule wa mwanzo ambazo walikuwa wame zi hifadhi kwenye computer.. 👉Replical clone imetumika kwa watu weng mfano..EMINEM,TYRO SWIFT,BEYONCE,MIREY CRUZY,BI HILARY CLITON,THE GAME,DR DRE,BRIGHTNEY SPEAR,GUCC MANE.. n.k .....ITAENDELEA USIKOSE....
    ·59 Views
  • Mrembo Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa Snapchat ameweka wazi kuwa amemzawadia Mama yake mzazi Gari la Kifahari #Prado pamoja na Iphone 16 Pro Max Storage ya 1TB.

    Vipi kwa upande wako zawadi kubwa kuwahi kumpa Mama yako ilikuwa ni nini?

    #socialpop
    #davidatto
    #daviddavoo
    Mrembo Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa Snapchat ameweka wazi kuwa amemzawadia Mama yake mzazi Gari la Kifahari #Prado pamoja na Iphone 16 Pro Max Storage ya 1TB. Vipi kwa upande wako zawadi kubwa kuwahi kumpa Mama yako ilikuwa ni nini? #socialpop #davidatto #daviddavoo
    Like
    1
    2 Comments ·387 Views
  • “Tunamshukuru Mungu tumefika Salama, tupo hapa Lubumbashi kwaajili ya kupambana, ni kweli hatujashinda mechi zetu za Mwanzo lakini haimaanishi tukae vichwa chini, huu ni muda wa kurudi juu na kuwapa furaha wananchi, tunatambua Ukubwa wa Mazembe lakini tutapambana kwaajili ya kushinda kesho” @maxinzengeli

    #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

    “Tunamshukuru Mungu tumefika Salama, tupo hapa Lubumbashi kwaajili ya kupambana, ni kweli hatujashinda mechi zetu za Mwanzo lakini haimaanishi tukae vichwa chini, huu ni muda wa kurudi juu na kuwapa furaha wananchi, tunatambua Ukubwa wa Mazembe lakini tutapambana kwaajili ya kushinda kesho” @maxinzengeli #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    ·335 Views
  • Kiungo wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Maxi Mpia Nzengeli (24) amekubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Young Africans ambao utandelea kumweka Klabuni hapo.

    Bado haijafahamika amesaini ama ameongeza mkataba wa muda ghani endelea kuwa nami @nestoshayo nieendelee kukujuza kuhusu dili hili. #socialpop David Atto
    Kiungo wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Maxi Mpia Nzengeli (24) amekubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Young Africans ambao utandelea kumweka Klabuni hapo. Bado haijafahamika amesaini ama ameongeza mkataba wa muda ghani endelea kuwa nami @nestoshayo nieendelee kukujuza kuhusu dili hili. #socialpop [Mefa]
    Like
    1
    ·136 Views
  • 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙

    Karibu Ujifunze vitu mbalimbali kama
    - Kutengeneza WhatsApp Bot kwa njia mbalimbali na nyepesi
    - Jifunze namna ya kupata Followers,likes, na comments kwa mitandao ya tiktok na instagram
    - Kutengeneza viruses
    - Kutengeneza international phone Numbers
    - Namna ya kuhack Social media zote
    - Wifi Hacking
    - Bluetooth hacking

    UTAPATA VITU KAMA
    1. Azam Max Pro
    2. Dstv Premium
    3. Startimes Premium

    Join WhatsApp channel
    https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04


    Telegram Channel
    https://t.me/duduu_mendez_store

    Kama telegram yako inasumbua fanya hivi https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/153


    Namna ya kufungua link za telegram bila shida
    https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/152


    once MENDEZ forever MENDEZ

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1
    ▶︎ ●────────── 0:41
    𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 Karibu Ujifunze vitu mbalimbali kama - Kutengeneza WhatsApp Bot kwa njia mbalimbali na nyepesi - Jifunze namna ya kupata Followers,likes, na comments kwa mitandao ya tiktok na instagram - Kutengeneza viruses - Kutengeneza international phone Numbers - Namna ya kuhack Social media zote - Wifi Hacking - Bluetooth hacking UTAPATA VITU KAMA 1. Azam Max Pro 2. Dstv Premium 3. Startimes Premium Join WhatsApp channel https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04 Telegram Channel https://t.me/duduu_mendez_store Kama telegram yako inasumbua fanya hivi https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/153 Namna ya kufungua link za telegram bila shida https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/152 once MENDEZ forever MENDEZ > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1 ▶︎ ●────────── 0:41
    WHATSAPP.COM
    DUDUU_MENDEZ TIPS | WhatsApp Channel
    DUDUU_MENDEZ TIPS WhatsApp Channel. Get full Internet and networking tips. 51 followers
    Like
    1
    ·498 Views
  • .MAONI YA MDAU👇🏽

    NABI AILIACHA TIMU NZIMA IKIWA KATIKA KIWANGO BORA, KILA MCHEZAJI ALIKUWA ANA WEZA KUANZA KWENYE MECHI YEYOTE...

    Alipokuja GAMONDI akatengeneza KIKOSI chake Cha wachezaji 11 pekee hao ndio aliwatumia kumpatia matokeo , GAMONDI hakufanya rotation kama Nabi, GAMONDI hakuwa na mpango na wachezaji ambao sio first eleven yake, Dalili mbaya zilianza kuonekana mapema sema kwa kuwa Tayari alikuta wachezaji wapo katika ubora mkubwa hivyo hakupata shida kupata matokeo

    Gamondi aliwatumia wacheza mfululizo bila rotation na bila kuwapumzisha kina Yao, Aziz , Job, Bacca , Mudathir, Maxi matokeo yake hawa wachezaji wamechoka , kumbuka msimu uliopita namna tulivyokuwa na msimu mgumu wenye ratiba ngumu na mechi nyingi ngumu , Hawa wachezaji msimu huu ndio wamepungua energy matokeo yake mnaona hata yeye GAMONDI msimu ulipo anza alishindwa kuwa na Yanga ya msimu uliopita

    Nikisema GAMONDI ndio tatizo kubwa na kaua project nzima ambayo NABI ALIJENGA nasema kwa mlengo huo, GAMONDI anaweza akawa alishinda goli Tano Tano sawa lakini Ile Timu haikuwa ameandaa yeye aliikuta Timu ya Nabi

    Gamondi alishindwa kabisa kuwatumia wachezaji wapya kama Skudu, Okrah , Hafiz Konkoni , Gift Fred na akashindwa pia kuwatumia wachezaji kama Sure Boy, Farid Musa, Kibwana Shomari, as a coach naona GAMONDI alifeli kwenye development ya wachezaji

    KOCHA kama GAMONDI anahitaji already made player , lakini ni ukweli kwamba pamoja na mazuri mengi aliyofanya GAMONDI kwangu Mimi bado hajafika level ambayo NABI aliijenga Yanga Sc ikawa Timu ambayo hata mchezaji mmoja akosekane bado huwezi kuona gap

    Mara nyingine Huwa nawaza kama Nabi msimu uliopita angekuwepo Yanga pengine tungecheza FAINALI ya CAF Champions League

    So nikisema kosa lilikuwa kumpa GAMONDI timu ni kwa maeneo hayo ambayo GAMONDI alishindwa kuyaendeleza, Msimu huu wenyewe GAMONDI hakuwa na option zaidi ya kutumia wachezaji wale wale wa KIKOSI chake , nje na hapo GAMONDI amefeli
    .MAONI YA MDAU👇🏽 NABI AILIACHA TIMU NZIMA IKIWA KATIKA KIWANGO BORA, KILA MCHEZAJI ALIKUWA ANA WEZA KUANZA KWENYE MECHI YEYOTE... Alipokuja GAMONDI akatengeneza KIKOSI chake Cha wachezaji 11 pekee hao ndio aliwatumia kumpatia matokeo , GAMONDI hakufanya rotation kama Nabi, GAMONDI hakuwa na mpango na wachezaji ambao sio first eleven yake, Dalili mbaya zilianza kuonekana mapema sema kwa kuwa Tayari alikuta wachezaji wapo katika ubora mkubwa hivyo hakupata shida kupata matokeo Gamondi aliwatumia wacheza mfululizo bila rotation na bila kuwapumzisha kina Yao, Aziz , Job, Bacca , Mudathir, Maxi matokeo yake hawa wachezaji wamechoka , kumbuka msimu uliopita namna tulivyokuwa na msimu mgumu wenye ratiba ngumu na mechi nyingi ngumu , Hawa wachezaji msimu huu ndio wamepungua energy matokeo yake mnaona hata yeye GAMONDI msimu ulipo anza alishindwa kuwa na Yanga ya msimu uliopita Nikisema GAMONDI ndio tatizo kubwa na kaua project nzima ambayo NABI ALIJENGA nasema kwa mlengo huo, GAMONDI anaweza akawa alishinda goli Tano Tano sawa lakini Ile Timu haikuwa ameandaa yeye aliikuta Timu ya Nabi Gamondi alishindwa kabisa kuwatumia wachezaji wapya kama Skudu, Okrah , Hafiz Konkoni , Gift Fred na akashindwa pia kuwatumia wachezaji kama Sure Boy, Farid Musa, Kibwana Shomari, as a coach naona GAMONDI alifeli kwenye development ya wachezaji KOCHA kama GAMONDI anahitaji already made player , lakini ni ukweli kwamba pamoja na mazuri mengi aliyofanya GAMONDI kwangu Mimi bado hajafika level ambayo NABI aliijenga Yanga Sc ikawa Timu ambayo hata mchezaji mmoja akosekane bado huwezi kuona gap Mara nyingine Huwa nawaza kama Nabi msimu uliopita angekuwepo Yanga pengine tungecheza FAINALI ya CAF Champions League So nikisema kosa lilikuwa kumpa GAMONDI timu ni kwa maeneo hayo ambayo GAMONDI alishindwa kuyaendeleza, Msimu huu wenyewe GAMONDI hakuwa na option zaidi ya kutumia wachezaji wale wale wa KIKOSI chake , nje na hapo GAMONDI amefeli 🙏🙏🙏
    Love
    Like
    5
    ·461 Views
  • “Ukiwa na Aziz Ki, Pacome, na Maxi Nzengeli ni rahisi kwa timu yako kupata mabao. Yanga wana timu bora lazima tujipange vyema kuwakabili.” - Florent IBenge, Kocha Mkuu wa klabu ya Al Hilal ya Sudan.
    “Ukiwa na Aziz Ki, Pacome, na Maxi Nzengeli ni rahisi kwa timu yako kupata mabao. Yanga wana timu bora lazima tujipange vyema kuwakabili.” - Florent IBenge, Kocha Mkuu wa klabu ya Al Hilal ya Sudan.
    Like
    1
    ·79 Views
  • Nyashi pro max
    Nyashi pro max 🙌🙌🍑🍆💦
    Like
    1
    ·130 Views ·23 Views
  • MAN OF THE MATCH
    Maxi Nzengeli
    MAN OF THE MATCH Maxi Nzengeli
    Love
    Like
    3
    5 Comments ·1K Views

  • MAXIMUM POINTS!

    Simba inakusanya alama 3 dhidi ya Dodoma jiji kwa ushindi wa 1-0 na kufikisha jumla ya alama 12 kwenye michezo minne (4).

    Kitu chanya ni kwamba Simba ina wastani wa kufunga kila mchezo na haija ruhusu bao lolote mpaka sasa..safu ya ulinzi inayoanzia kwenye kiungo cha uzuiaji mpaka kwa mlinda mlango imeonekana kutulia kwa haraka zaid licha ya kuwa na maingizo mapya. Kwenye mbio za ubingwa hili ni eneo muhimu sana.

    Ateba anazidi kujitanabaisha kuwa ndio chaguo la kwanza kwenye ushambuliaji kwa perfomance zake, hakua na goal leo lakin alikua na majaribio ya kutosha.

    Bado mwalimu Fadlu anafanya majaribio kadhaa kwenye maeneo kadhaa lakini muelekeo wa timu yake kwa sasa ni muelekeo sahihi.
    #paulswai
    MAXIMUM POINTS! Simba inakusanya alama 3 dhidi ya Dodoma jiji kwa ushindi wa 1-0 na kufikisha jumla ya alama 12 kwenye michezo minne (4). Kitu chanya ni kwamba Simba ina wastani wa kufunga kila mchezo na haija ruhusu bao lolote mpaka sasa..safu ya ulinzi inayoanzia kwenye kiungo cha uzuiaji mpaka kwa mlinda mlango imeonekana kutulia kwa haraka zaid licha ya kuwa na maingizo mapya. Kwenye mbio za ubingwa hili ni eneo muhimu sana. Ateba anazidi kujitanabaisha kuwa ndio chaguo la kwanza kwenye ushambuliaji kwa perfomance zake, hakua na goal leo lakin alikua na majaribio ya kutosha. Bado mwalimu Fadlu anafanya majaribio kadhaa kwenye maeneo kadhaa lakini muelekeo wa timu yake kwa sasa ni muelekeo sahihi. #paulswai
    Love
    1
    1 Comments ·273 Views
  • .... 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦

    Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi

    Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga:

    Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM).

    ➜ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo.

    ➜ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda.

    Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ?

    Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2).

    MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi.

    Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?!

    By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO.

    Manchester United 0 - 3 Liverpool
    ➜ MOTM : Mohamed Salah.

    Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur
    ➜ MOTM : Alexander Isak.

    Man United 1 - 0 Fullham
    ➜ MOTM : Joshua Zirkzee

    Brentford 3 - 1 Southampton
    ➜ MOTM : Bryan Mbeumo

    Everton 2 - 3 Bournemouth
    ➜ MOTM : Antoine Semenyo

    Leicester City 1 - 2 Aston Villa
    ➜ MOTM : Jhòn Duran

    West Ham 1 - 3 Man City
    ➜ MOTM : Erling Haaland

    Real Madrid 2 - 0 Betis
    ➜ Kylian Mbape.

    Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!!

    Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!?

    Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
    .... ℹ️ 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦 Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga: Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM). ➜ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo. ➜ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda. ℹ️ Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ? Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2). MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi. Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?! By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO. Manchester United 0 - 3 Liverpool ➜ MOTM : Mohamed Salah. Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur ➜ MOTM : Alexander Isak. Man United 1 - 0 Fullham ➜ MOTM : Joshua Zirkzee Brentford 3 - 1 Southampton ➜ MOTM : Bryan Mbeumo Everton 2 - 3 Bournemouth ➜ MOTM : Antoine Semenyo Leicester City 1 - 2 Aston Villa ➜ MOTM : Jhòn Duran West Ham 1 - 3 Man City ➜ MOTM : Erling Haaland Real Madrid 2 - 0 Betis ➜ Kylian Mbape. ℹ️ Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!! 😀 Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!? Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
    Like
    3
    1 Comments ·576 Views
  • 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘀𝗮𝗷𝗶𝗹𝗶 𝗸𝗶𝗺𝗮𝗵𝗲𝘀𝗮𝗯𝘂 𝘀𝗮𝗻𝗮 ..Kuna wakati nilikuwa najiuliza, hivi vilabu vyetu vikubwa hawamuoni Duke Abuya? Anajituma sana ,anaufundi mkubwa, anacheza nafasi zote za mbele,zote za kati na ulinzi wa pembeni pande zote mbili, na kote huko anakupa katika ubora wa hali ya juu... Ukiutazama usajili wa Yanga unakwenda kujibu changamoto za msimu uliopita:"

    "1- 𝗞𝘂𝘀𝘂𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝘁𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼𝗽𝗮𝗸𝗶 𝗯𝗮𝘀𝗶 ..Timu kama Kagera Sugar,JKT Tanzania na Tanzania Prisons ziliwapa Yanga wakati mgumu kuzifungua. Wachezaji kama Clatous Chama na Duke Abuya wanauwezo mkubwa wa kuifungua beki iliyo compact kama tu alivyo Paccome. Mechi za hivi wakati mwingine unahitaji watu wenye uwezo wa kupiga kutokea mbali,Prince Dube anahuo uwezo akiungana na Ki Aziz."

    "2 - 𝗠𝗲𝗰𝗵𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗸𝘂𝗴𝗼𝗻𝗴𝗮𝗻𝗮 𝗮𝘂 𝗺𝘁𝘂 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗸𝗮𝗮 𝗺𝗯𝗲𝗹𝗲 𝗽𝗲𝗸𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗲 .. Jean Baleke anauwezo mkubwa wa kusimama kama mshambuliaji pekee. Kuna wakati Kocha Gamondi anataka timu icheze 4-2-3-1, kwa usajili huu punda mbeba mzigo yupo."

    "3 - 𝗠𝗲𝗰𝗵𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗸𝗶𝗹𝗮 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗮𝗸𝗮𝗯𝗲 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝗸𝗶𝗺𝗯𝗶𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮.. Hizi ndio zile show za akina Kennedy Musonda, Mudathir Yahya na Maxi Nzengeli. Mfano mzuri ni mechi dhidi ya Mamelodi Sundown na Al Ahly. Chadrack Boka, Duke Abuya na Jean Baleke wanafaa sana kwenye mechi za aina hii"

    "4 - 𝗦𝗶𝗸𝘂 𝘁𝗶𝗺𝘂 𝗶𝗻𝗮𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮𝘀𝗵𝗮𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝗮𝗷𝗶 𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮 𝘄𝗮𝘄𝗶𝗹𝗶 .. Kuna wakati Gamondi anapenda kutumia mfumo wa 3-5-2, hizi ndio zile siku za Clement Mzize na Joseph Guede walikuwa wanaanza pamoja,kombinesheni ilikuwa haijakolea sana. Prince Dube na Jean Baleke wanaweza kuifanya kazi hii vizuri sana kwa sababu Dube anauwezo wa kuibia pembeni kidogo huku Baleke akisaidia kuimarisha muundo na uti wa mgongo wa timu kwa kutulia kati."

    "5 - 𝗞𝗶𝗯𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 𝗸𝘂𝗻𝗮 𝘀𝗼𝗸𝗼 𝗹𝗶𝗻𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝘂𝗸𝗮 .. Asilimia 90% ya rafiki zangu wenye uraia wa Kenya ni mashabiki wa Yanga na niwanunuaji wazuri sana wa jezi. Kutua kwa Abuya Yanga kutaongeza ufuatiliwaji wa Yanga nchini Kenya na kufungua zaidi mlango wa biashara kama ilivyo Congo na South Africa. Hii inaitwa Sir Alex Ferguson Approach."

    "Lakini wakumbusheni wageni wote wanaokwenda Yanga kuwa namba zote zinawenyewe, wanatakiwa wakapambanie. Adios......." Mwl. Sama Ndambile, Mchambuzi.
    𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘀𝗮𝗷𝗶𝗹𝗶 𝗸𝗶𝗺𝗮𝗵𝗲𝘀𝗮𝗯𝘂 𝘀𝗮𝗻𝗮 ..Kuna wakati nilikuwa najiuliza, hivi vilabu vyetu vikubwa hawamuoni Duke Abuya? Anajituma sana ,anaufundi mkubwa, anacheza nafasi zote za mbele,zote za kati na ulinzi wa pembeni pande zote mbili, na kote huko anakupa katika ubora wa hali ya juu... Ukiutazama usajili wa Yanga unakwenda kujibu changamoto za msimu uliopita:" "1- 𝗞𝘂𝘀𝘂𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝘁𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼𝗽𝗮𝗸𝗶 𝗯𝗮𝘀𝗶 ..Timu kama Kagera Sugar,JKT Tanzania na Tanzania Prisons ziliwapa Yanga wakati mgumu kuzifungua. Wachezaji kama Clatous Chama na Duke Abuya wanauwezo mkubwa wa kuifungua beki iliyo compact kama tu alivyo Paccome. Mechi za hivi wakati mwingine unahitaji watu wenye uwezo wa kupiga kutokea mbali,Prince Dube anahuo uwezo akiungana na Ki Aziz." "2 - 𝗠𝗲𝗰𝗵𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗸𝘂𝗴𝗼𝗻𝗴𝗮𝗻𝗮 𝗮𝘂 𝗺𝘁𝘂 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗸𝗮𝗮 𝗺𝗯𝗲𝗹𝗲 𝗽𝗲𝗸𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗲 .. Jean Baleke anauwezo mkubwa wa kusimama kama mshambuliaji pekee. Kuna wakati Kocha Gamondi anataka timu icheze 4-2-3-1, kwa usajili huu punda mbeba mzigo yupo." "3 - 𝗠𝗲𝗰𝗵𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗸𝗶𝗹𝗮 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗮𝗸𝗮𝗯𝗲 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝗸𝗶𝗺𝗯𝗶𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮.. Hizi ndio zile show za akina Kennedy Musonda, Mudathir Yahya na Maxi Nzengeli. Mfano mzuri ni mechi dhidi ya Mamelodi Sundown na Al Ahly. Chadrack Boka, Duke Abuya na Jean Baleke wanafaa sana kwenye mechi za aina hii" "4 - 𝗦𝗶𝗸𝘂 𝘁𝗶𝗺𝘂 𝗶𝗻𝗮𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮𝘀𝗵𝗮𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝗮𝗷𝗶 𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮 𝘄𝗮𝘄𝗶𝗹𝗶 .. Kuna wakati Gamondi anapenda kutumia mfumo wa 3-5-2, hizi ndio zile siku za Clement Mzize na Joseph Guede walikuwa wanaanza pamoja,kombinesheni ilikuwa haijakolea sana. Prince Dube na Jean Baleke wanaweza kuifanya kazi hii vizuri sana kwa sababu Dube anauwezo wa kuibia pembeni kidogo huku Baleke akisaidia kuimarisha muundo na uti wa mgongo wa timu kwa kutulia kati." "5 - 𝗞𝗶𝗯𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 𝗸𝘂𝗻𝗮 𝘀𝗼𝗸𝗼 𝗹𝗶𝗻𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝘂𝗸𝗮 .. Asilimia 90% ya rafiki zangu wenye uraia wa Kenya ni mashabiki wa Yanga na niwanunuaji wazuri sana wa jezi. Kutua kwa Abuya Yanga kutaongeza ufuatiliwaji wa Yanga nchini Kenya na kufungua zaidi mlango wa biashara kama ilivyo Congo na South Africa. Hii inaitwa Sir Alex Ferguson Approach." "Lakini wakumbusheni wageni wote wanaokwenda Yanga kuwa namba zote zinawenyewe, wanatakiwa wakapambanie. Adios......." Mwl. Sama Ndambile, Mchambuzi.
    Love
    1
    ·562 Views
  • Kama Ubongo unaweza kukumbuka kwamba kitu hichi nimesahau, kwanini usikumbuke kitu chenyewe??
    Nini maoni yako
    #WazaKwaSauti
    @kudemaxtertz
    Kama Ubongo unaweza kukumbuka kwamba kitu hichi nimesahau, kwanini usikumbuke kitu chenyewe?? Nini maoni yako #WazaKwaSauti @kudemaxtertz
    ·361 Views
  • ... 𝗡𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 !!

    Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa

    Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli

    Wanamkaba wanne wanne

    Vinara wa magoli ligi kuu :

    1. 26 8 18 — Aziz Ki
    .... 29 7 18 — Feisal Salum
    2. 29 1 12 — Waziri Junior.
    3. 29 2 11 — Maxi Nzengeli.
    4. 25 3 10 — Ntibazonkiza.
    5. 28 3 09 — Mudathir Yahya.
    ... 28 3 09 — Marouf Tchakei

    Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai.

    Stephane Aziz Ki :
    ◉ vs Prisons - Azam Complex.

    Feisal Salum :
    ◉ vs Geita gold - Nyankumbu.

    𝗥𝗲𝘀𝘂𝗹𝘁𝘀 :

    Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo ?

    Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United

    ️ Joseph Guede — 19'
    ️ Maxi Zengeli — 48'
    ️ Stephanie Aziz Ki — 90'

    Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC

    Saido Ntibazonkiza — 02'

    Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar

    ️ Kipre Junior — 50'
    ️ Gibril Sillah — 66'
    ⚽⚽️ Feisal Salum — 72', 79'
    ⚽️ Idd Nado — 90'

    ⚽️ Mobrack Yusuph — 52'

    Full-time :

    ◉ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar
    ◉ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji
    ◉ Singida FG 2 - 1 Geita gold
    ◉ Namungo 2 - 2 Prisons
    ◉ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania

    Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara :

    1. 29 ⚽ +54 77 — Yanga.
    2. 29 ⚽ +40 66 — Azam FC
    3. 29 ⚽ +32 66 — Simba SC
    4. 29 ⚽ +03 42 — Coastal Union.

    Tom Cruz facts
    ... 🔥 𝗡𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 !! Kwa mara ya kwanza leo nimeshuhudia Aziz Ki akifunga goli la kichwa 🙌 Hizi mechi za mwisho timu pinzani ni bora zifungwe 9-0 na Yanga bila uwepo wa Aziz Ki kwenye scoreboard, kuliko kufungwa 2-0 halafu Aziz Ki awe kafunga goli 😁👋 Wanamkaba wanne wanne 🙌 Vinara wa magoli ligi kuu : 1. 🎮 26 🎯 8 ⚽ 18 — Aziz Ki ....🎮 29 🎯 7 ⚽ 18 — Feisal Salum 2. 🎮 29 🎯 1 ⚽ 12 — Waziri Junior. 3. 🎮 29 🎯 2 ⚽ 11 — Maxi Nzengeli. 4. 🎮 25 🎯 3 ⚽ 10 — Ntibazonkiza. 5. 🎮 28 🎯 3 ⚽ 09 — Mudathir Yahya. ... 🎮 28 🎯 3 ⚽ 09 — Marouf Tchakei Mechi za mwisho kwa vinara wa mabai. Stephane Aziz Ki : ◉ vs Prisons - Azam Complex. Feisal Salum : ◉ vs Geita gold - Nyankumbu. 𝗥𝗲𝘀𝘂𝗹𝘁𝘀 : Ulikuwa unaangalia mechi ipi leo 📺 ? Full — Yanga SC 3 - 0 Tabora United ⚽️ Joseph Guede — 19' ⚽️ Maxi Zengeli — 48' ⚽️ Stephanie Aziz Ki — 90' Full — Simba SC SC 1 - 0 KMC ⚽ Saido Ntibazonkiza — 02' Full — Azam 5 - 1 Kagera sugar ⚽️ Kipre Junior — 50' ⚽️ Gibril Sillah — 66' ⚽⚽️ Feisal Salum — 72', 79' ⚽️ Idd Nado — 90' ⚽️ Mobrack Yusuph — 52' Full-time : ◉ Mashujaa 3 - 2 Mtibwa sugar ◉ Ihefu 0 - 2 Dodoma Jiji ◉ Singida FG 2 - 1 Geita gold ◉ Namungo 2 - 2 Prisons ◉ Coastal 0 - 0 JKT Tanzania Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara : 1. 🎮 29 ⚽ +54 🅿️ 77 — Yanga. 2. 🎮 29 ⚽ +40 🅿️ 66 — Azam FC 3. 🎮 29 ⚽ +32 🅿️ 66 — Simba SC 4. 🎮 29 ⚽ +03 🅿️ 42 — Coastal Union. Tom Cruz facts 🧠
    Like
    Love
    Yay
    6
    3 Comments ·825 Views
  • Nidhamu, Juhudi na dua/ maombi ndizo silaha za mafanikio katika maisha yetu #Waza kwa Sauti @kude maxter tz Abby Wizzy
    Nidhamu, Juhudi na dua/ maombi ndizo silaha za mafanikio katika maisha yetu #Waza kwa Sauti @kude maxter tz [Wizzy]
    Like
    2
    ·220 Views