Upgrade to Pro

  • "Nimefika hapa Kariakoo kwa lengo la kusaidiana na waokoaji wengine, kiukweli sio kazi rahisi, ukifika hapa maumivu yake ni zaidi ya unayoyapata ukiwa unafatilia taarifa mtandaoni kwasababu unasikia sauti za watu wakilia kutaka msaada. Bado chini kuna watu ila changamoto ni kwamba ukuta wa jengo ni mgumu sana alafu mpana kwahiyo sio rahisi kuwafikia. Sio jambo la masaa matatu wala manne, linahitaji muda mrefu kuwafikia. Kesho Inshaallah nitarudi tena kuendelea na zoezi"- Hassan Mwakinyo, Bondia wa kimataifa wa Tanzania.
    "Nimefika hapa Kariakoo kwa lengo la kusaidiana na waokoaji wengine, kiukweli sio kazi rahisi, ukifika hapa maumivu yake ni zaidi ya unayoyapata ukiwa unafatilia taarifa mtandaoni kwasababu unasikia sauti za watu wakilia kutaka msaada. Bado chini kuna watu ila changamoto ni kwamba ukuta wa jengo ni mgumu sana alafu mpana kwahiyo sio rahisi kuwafikia. Sio jambo la masaa matatu wala manne, linahitaji muda mrefu kuwafikia. Kesho Inshaallah nitarudi tena kuendelea na zoezi"- Hassan Mwakinyo, Bondia wa kimataifa wa Tanzania.
    ·60 Views
  • Moja ya kitu kinaweza kukuchosha kwenye maisha yako ni pale ambapo kila siku unaona haupati matokeo ya unachofanya ni kama haupati mavuno unayotaka, watu wengi sana wamekata tamaa wanapopitia hali hii ndio maana Robert Louis Stevenson aliwahi kusema “Usiitathmini siku yako kwa MAVUNO unayovuna Bali kwa MBEGU ambazo UNAPANDA”(Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant)

    Kumbuka kila siku una fursa na nafasi mpya ya kupanda kitu kwa ajili ya KESHO yako na sio kila siku utakuwa unavuna. Kuna wakati UAMINIFU wako utakuwa kama unaona hauna faida, kuna wakati BIDII yako itakuwa kama haileti tofauti, kuna wakati NIDHAMU yako itakuwa kama ni bure: Usiache kwa sababu hauoni matokeo ya nje.
    kumbuka hiyo ni MBEGU kuna siku ITAOTA.

    Unapokuwa MKULIMA kuna wakati watu wataona kama vile unapoteza MUDA kwa sababu mbegu ulizopanda shambani zitakuwa bado HAZIJAOTA. Usiache KUMWAGILIA kwa sababu HAZIJACHIPUA. Kumbuka kuna mambo yanachukua MUDA MFUPI na mengine yanachukua MUDA MREFU sana Kuyakamilisha.

    Je, kesho unatapanda mbegu gani..?
    Moja ya kitu kinaweza kukuchosha kwenye maisha yako ni pale ambapo kila siku unaona haupati matokeo ya unachofanya ni kama haupati mavuno unayotaka, watu wengi sana wamekata tamaa wanapopitia hali hii ndio maana Robert Louis Stevenson aliwahi kusema “Usiitathmini siku yako kwa MAVUNO unayovuna Bali kwa MBEGU ambazo UNAPANDA”(Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant) Kumbuka kila siku una fursa na nafasi mpya ya kupanda kitu kwa ajili ya KESHO yako na sio kila siku utakuwa unavuna. Kuna wakati UAMINIFU wako utakuwa kama unaona hauna faida, kuna wakati BIDII yako itakuwa kama haileti tofauti, kuna wakati NIDHAMU yako itakuwa kama ni bure: Usiache kwa sababu hauoni matokeo ya nje. kumbuka hiyo ni MBEGU kuna siku ITAOTA. Unapokuwa MKULIMA kuna wakati watu wataona kama vile unapoteza MUDA kwa sababu mbegu ulizopanda shambani zitakuwa bado HAZIJAOTA. Usiache KUMWAGILIA kwa sababu HAZIJACHIPUA. Kumbuka kuna mambo yanachukua MUDA MFUPI na mengine yanachukua MUDA MREFU sana Kuyakamilisha. Je, kesho unatapanda mbegu gani..?
    ·141 Views
  • *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*......

    _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_

    _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._

    _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_

    _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._

    Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini.

    *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;*

    *1. KUTOKUJARIBU.*
    Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa.

    *2. KUTOKUJIFUNZA.*
    Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay)

    *3. WOGA & WASIWASI.*
    "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea.

    *4. KUJILINGANISHA.*
    Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote.

    *5. KUWEKA VINYONGO.*

    "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli.

    *6. UONGO*
    "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha.

    *7. UVIVU & UZEMBE*
    "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae".

    *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA*
    Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,).

    *9. LAWAMA & UMBEA*
    "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako.

    Share tafadhali ukipenda
    *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*......

    _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_

    _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._

    _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_

    _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._

    Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini.

    *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;*

    *1. KUTOKUJARIBU.*
    Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa.

    *2. KUTOKUJIFUNZA.*
    Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay)

    *3. WOGA & WASIWASI.*
    "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea.

    *4. KUJILINGANISHA.*
    Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote.

    *5. KUWEKA VINYONGO.*

    "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli.

    *6. UONGO*
    "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha.

    *7. UVIVU & UZEMBE*
    "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae".

    *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA*
    Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,).

    *9. LAWAMA & UMBEA*
    "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako.
    *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*...... _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_ _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._ _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_ _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._ Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini. *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;* *1. KUTOKUJARIBU.* Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa. *2. KUTOKUJIFUNZA.* Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay) *3. WOGA & WASIWASI.* "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea. *4. KUJILINGANISHA.* Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote. *5. KUWEKA VINYONGO.* "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli. *6. UONGO* "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha. *7. UVIVU & UZEMBE* "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae". *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA* Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,). *9. LAWAMA & UMBEA* "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako. Share tafadhali ukipenda *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*...... _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_ _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._ _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_ _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._ Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini. *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;* *1. KUTOKUJARIBU.* Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa. *2. KUTOKUJIFUNZA.* Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay) *3. WOGA & WASIWASI.* "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea. *4. KUJILINGANISHA.* Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote. *5. KUWEKA VINYONGO.* "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli. *6. UONGO* "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha. *7. UVIVU & UZEMBE* "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae". *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA* Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,). *9. LAWAMA & UMBEA* "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako.
    ·267 Views
  • KUNGUR WA AJABU

    Kulikuwa na kijiji kidogo pembezoni mwa msitu mnene, ambapo watu waliishi kwa amani kwa muda mrefu. Lakini siku moja, hali ilianza kubadilika. Kunguru mweusi, mkubwa, mwenye macho mekundu yaliyojaa ghadhabu, alitokea msituni na kuanza kuwatisha watu wa kijiji. Wakazi walikuwa wakisikika wakinong'ona kuhusu kunguru huyo, wakisema kuwa alikuwa amepatwa na kichaa baada ya kula mizizi ya ajabu kutoka kwenye ardhi ya msitu uliojaa siri.Kila asubuhi, kunguru huyo aliruka juu ya kijiji, akipiga kelele za kutisha na kushambulia yeyote aliyethubutu kutoka nje ya nyumba zao. Alikuwa na nguvu zisizo za kawaida, na kwa kila alipomjeruhi mtu, aliwafanya kuwa na hofu kubwa zaidi. Hali ilikuwa mbaya sana, kiasi kwamba hata wanyama wa kijiji walikimbilia misituni kwa hofu ya mashambulizi yake.Lakini kulikuwa na kijana mmoja jasiri aliyeitwa Juma, aliyekuwa mkulima wa kawaida lakini mwenye moyo wa ujasiri. Alikuwa ameona maangamizi yaliyosababishwa na kunguru kichaa, na akaamua kwamba lazima kitu kifanyike. Usiku mmoja, Juma aliamua kwenda msituni, sehemu iliyosemekana kuwa ndiyo chanzo cha laana ya kunguru yule.Akiwa amebeba mkuki na kibuyu cha dawa kutoka kwa mganga wa kijiji, Juma aliingia kwenye msitu wenye giza na ukimya wa kutisha. Alitembea kwa muda, hadi alipofika kwenye mti mkubwa, wenye mizizi iliyotanda ardhini kama mikono ya kishetani. Ghafla, macho mekundu yalitokea gizani—ni kunguru kichaa! Aliruka kwa ghadhabu kuelekea Juma, akipiga kelele za kutisha huku akifurusha mabawa yake makubwa.Juma, bila woga, alimwaga dawa kutoka kwenye kibuyu juu ya mizizi ya mti ule. Kwa mshangao, kunguru alilia kwa sauti kubwa, na ghafla akaanguka chini. Mizizi ya mti ule ilianza kung’ara, na giza lililotanda likatoweka. Kumbe, kunguru alikuwa amelishwa sumu na mizizi hiyo, na ndiyo ilimfanya awe kichaa. Mti ulipomaliza kutoa sumu, kunguru alirejea kuwa ndege wa kawaida, na kijiji kilipata amani tena.Kutoka siku hiyo, Juma aliheshimiwa na kijiji kwa ujasiri wake, na kunguru, aliyekuwa amekuwa rafiki wa wanakijiji, aliruka kila siku bila kumdhuru yeyote. Watu walijifunza kwamba ujasiri na maarifa vinaweza kumaliza hata hofu kubwa zaidi.
    KUNGUR WA AJABU Kulikuwa na kijiji kidogo pembezoni mwa msitu mnene, ambapo watu waliishi kwa amani kwa muda mrefu. Lakini siku moja, hali ilianza kubadilika. Kunguru mweusi, mkubwa, mwenye macho mekundu yaliyojaa ghadhabu, alitokea msituni na kuanza kuwatisha watu wa kijiji. Wakazi walikuwa wakisikika wakinong'ona kuhusu kunguru huyo, wakisema kuwa alikuwa amepatwa na kichaa baada ya kula mizizi ya ajabu kutoka kwenye ardhi ya msitu uliojaa siri.Kila asubuhi, kunguru huyo aliruka juu ya kijiji, akipiga kelele za kutisha na kushambulia yeyote aliyethubutu kutoka nje ya nyumba zao. Alikuwa na nguvu zisizo za kawaida, na kwa kila alipomjeruhi mtu, aliwafanya kuwa na hofu kubwa zaidi. Hali ilikuwa mbaya sana, kiasi kwamba hata wanyama wa kijiji walikimbilia misituni kwa hofu ya mashambulizi yake.Lakini kulikuwa na kijana mmoja jasiri aliyeitwa Juma, aliyekuwa mkulima wa kawaida lakini mwenye moyo wa ujasiri. Alikuwa ameona maangamizi yaliyosababishwa na kunguru kichaa, na akaamua kwamba lazima kitu kifanyike. Usiku mmoja, Juma aliamua kwenda msituni, sehemu iliyosemekana kuwa ndiyo chanzo cha laana ya kunguru yule.Akiwa amebeba mkuki na kibuyu cha dawa kutoka kwa mganga wa kijiji, Juma aliingia kwenye msitu wenye giza na ukimya wa kutisha. Alitembea kwa muda, hadi alipofika kwenye mti mkubwa, wenye mizizi iliyotanda ardhini kama mikono ya kishetani. Ghafla, macho mekundu yalitokea gizani—ni kunguru kichaa! Aliruka kwa ghadhabu kuelekea Juma, akipiga kelele za kutisha huku akifurusha mabawa yake makubwa.Juma, bila woga, alimwaga dawa kutoka kwenye kibuyu juu ya mizizi ya mti ule. Kwa mshangao, kunguru alilia kwa sauti kubwa, na ghafla akaanguka chini. Mizizi ya mti ule ilianza kung’ara, na giza lililotanda likatoweka. Kumbe, kunguru alikuwa amelishwa sumu na mizizi hiyo, na ndiyo ilimfanya awe kichaa. Mti ulipomaliza kutoa sumu, kunguru alirejea kuwa ndege wa kawaida, na kijiji kilipata amani tena.Kutoka siku hiyo, Juma aliheshimiwa na kijiji kwa ujasiri wake, na kunguru, aliyekuwa amekuwa rafiki wa wanakijiji, aliruka kila siku bila kumdhuru yeyote. Watu walijifunza kwamba ujasiri na maarifa vinaweza kumaliza hata hofu kubwa zaidi.
    ·232 Views
  • 𝗕𝗨𝗚𝗔

    Ile siku ya Wananchi huwezi amini sijalipwa hata Senti moja (Akiwa Clouds FM)

    Mimi Yanga ni nyumbani nipo tayari kutoa 90%ya nguvu yangu kuitumikia Yanga,,Halafu watu walielewa vibaya mimi mbona sijamanisha kuwa na Siongeni na Eng Hersi,Nilichomanisha ni kuwa sijampigia simu muda mrefu kutokana na Kila mtu Kwa sasa yupo busy ila mbona huwa tunaonana sana Salamander Tower pale.

    Mimi ni Mwananchi hata familia yangu,, Watanzania wanalijua hilo.(Leo kwenye Manara TV)
    𝗕𝗨𝗚𝗔 Ile siku ya Wananchi huwezi amini sijalipwa hata Senti moja (Akiwa Clouds FM) Mimi Yanga ni nyumbani nipo tayari kutoa 90%ya nguvu yangu kuitumikia Yanga,,Halafu watu walielewa vibaya mimi mbona sijamanisha kuwa na Siongeni na Eng Hersi,Nilichomanisha ni kuwa sijampigia simu muda mrefu kutokana na Kila mtu Kwa sasa yupo busy ila mbona huwa tunaonana sana Salamander Tower pale. Mimi ni Mwananchi hata familia yangu,, Watanzania wanalijua hilo.(Leo kwenye Manara TV)
    Love
    Like
    3
    1 Reacties ·133 Views
  • -NJE YA BOX
    Yanga wamehama uwanja wa Azam Complex, hii ni baada ya kipigo mara mbili mfululizo kutoka kwa Azam Fc na Tabora United.

    Yanga hawajaweka wazi kwanini wamekimbia Chamazi ila kuna maswali tunaweza kujiuliza:-

    A) Sababu za kiufundi ?
    B) Sababu za nje ya Uwanja au
    C) Sababu za kiuchumi?

    Kama Sababu ni za kiufundi ndio maana wamefungwa mbona wamewahi kushinda hapo hapo...walimfunga Kmc,JKT bao tano hapo hapo Chamaz?

    Kama uwanja ni mdogo pengine, huko walikoenda uwanja una ukubwa gani? Kwamba vipimo vya uwanja vilifanya goli likawa dogo Aziz Ki akashindwa kufunga penati?

    Kama sababu ni za nje ya uwanja ni zipi hizo? Au ile video iliyosambaa ikihusisha uchomaji wa Sindano? Sidhani!

    Au ni sababu za kiuchumi? Timu imeshindwa kulipia uwanja? Hii nayo sio kweli.

    NADHANI...

    Tumewekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja. Mashabiki wanasema Azam Fc wanawahujumu...nadhani tatizo ni fikra za kichawi tu kwasababu mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa wazi kila mtu anaona!

    Simba nao walihama Chamazi kwa sababu hizo hizo za kufikirika za nje ya uwanja...

    Hii inaleta tafsiri kwamba ubingwa wetu unapatikana nje ya uwanja zaidi kuliko ndani ya uwanja ndio maana pale Azam Complex wakubwa wanakimbia...

    Azam Complex wamefunga camera ili kuwaona watu wanaomwaga dawa kitu ambacho wakubwa hawataki

    Azam Complex mpaka watu wa usafi ni watu makini ndio maana hawako tayari kuona camera zimezibwa na mabomba ya sindano kwenye changing rooms...wakubwa wanaona wanabanwa!

    Hiki ndio kitu nachokiona zaidi kwenye hili sakata...

    Ndio maana unaona hawa wanahama wengine wanachukia kwasababu tayari huyu aliehama muda mrefu aliko kuna uhuru hivyo alitaka mwenzie aendelee kubanwa ili apoteze ubingwa!

    Ni uchawi tu...

    Sospeter Ilagila (Shabiki wa klabu ya Simba SC)
    -NJE YA BOX Yanga wamehama uwanja wa Azam Complex, hii ni baada ya kipigo mara mbili mfululizo kutoka kwa Azam Fc na Tabora United. Yanga hawajaweka wazi kwanini wamekimbia Chamazi ila kuna maswali tunaweza kujiuliza:- A) Sababu za kiufundi ? B) Sababu za nje ya Uwanja au C) Sababu za kiuchumi? Kama Sababu ni za kiufundi ndio maana wamefungwa mbona wamewahi kushinda hapo hapo...walimfunga Kmc,JKT bao tano hapo hapo Chamaz? Kama uwanja ni mdogo pengine, huko walikoenda uwanja una ukubwa gani? Kwamba vipimo vya uwanja vilifanya goli likawa dogo Aziz Ki akashindwa kufunga penati? Kama sababu ni za nje ya uwanja ni zipi hizo? Au ile video iliyosambaa ikihusisha uchomaji wa Sindano? Sidhani! Au ni sababu za kiuchumi? Timu imeshindwa kulipia uwanja? Hii nayo sio kweli. NADHANI... Tumewekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja. Mashabiki wanasema Azam Fc wanawahujumu...nadhani tatizo ni fikra za kichawi tu kwasababu mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa wazi kila mtu anaona! Simba nao walihama Chamazi kwa sababu hizo hizo za kufikirika za nje ya uwanja... Hii inaleta tafsiri kwamba ubingwa wetu unapatikana nje ya uwanja zaidi kuliko ndani ya uwanja ndio maana pale Azam Complex wakubwa wanakimbia... Azam Complex wamefunga camera ili kuwaona watu wanaomwaga dawa kitu ambacho wakubwa hawataki Azam Complex mpaka watu wa usafi ni watu makini ndio maana hawako tayari kuona camera zimezibwa na mabomba ya sindano kwenye changing rooms...wakubwa wanaona wanabanwa! Hiki ndio kitu nachokiona zaidi kwenye hili sakata... Ndio maana unaona hawa wanahama wengine wanachukia kwasababu tayari huyu aliehama muda mrefu aliko kuna uhuru hivyo alitaka mwenzie aendelee kubanwa ili apoteze ubingwa! Ni uchawi tu... Sospeter Ilagila ✍️ (Shabiki wa klabu ya Simba SC)
    Love
    1
    3 Reacties ·191 Views
  • FULL TIME

    Mashujaa Fc 0️⃣ 1️⃣ Simba Sc

    90+7' Steven Mukwala ( Awesu)

    What A Goal The real Meaning of Striker mrefu kuliko Goli.
    #paulswai
    FULL TIME ⏰ Mashujaa Fc 0️⃣ ➖ 1️⃣ Simba Sc ⚽ 90+7' Steven Mukwala (🎯 Awesu) What A Goal 🙌🙌 The real Meaning of Striker mrefu kuliko Goli. #paulswai
    Like
    Sad
    2
    12 Reacties ·126 Views
  • “Nina furaha kurejea tena hapa Zanzibar, kila Yanga inapokwenda huwa inategemea Ushindi, tupo hapa kwaajili ya Kushinda ingawa tunatambua Singida wana Kikosi kizuri na wamepata muda mrefu wa Kujiandaa” - Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya klabu ya Singinda Big Stars.
    “Nina furaha kurejea tena hapa Zanzibar, kila Yanga inapokwenda huwa inategemea Ushindi, tupo hapa kwaajili ya Kushinda ingawa tunatambua Singida wana Kikosi kizuri na wamepata muda mrefu wa Kujiandaa” - Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya klabu ya Singinda Big Stars.
    ·192 Views
  • :dak 51'
    Mzize anakimbia na mpira umbali mrefu sana lakini mpira wake wa mwisho unaenda kwa kipa wa Congo DR kirahisi sana
    #paulswai
    ⏳:dak 51' Mzize anakimbia na mpira umbali mrefu sana lakini mpira wake wa mwisho unaenda kwa kipa wa Congo DR kirahisi sana #paulswai
    ·78 Views
  • :dak 09'
    Congo DR wanapiga mpira mrefu lakini unatua kwenye mikono ya Kipa Ally Salim
    #paulswai
    ⏳:dak 09' Congo DR wanapiga mpira mrefu lakini unatua kwenye mikono ya Kipa Ally Salim #paulswai
    Like
    1
    ·65 Views
  • Ubora wa hatua nzuri wa maisha yako huendana na maumivu uliopitia na uvumilivu wako wa mda mrefu
    #socialpop
    Ubora wa hatua nzuri wa maisha yako huendana na maumivu uliopitia na uvumilivu wako wa mda mrefu 🙏 #socialpop
    Like
    Love
    7
    1 Reacties ·262 Views
  • HATA UWE MREFU VIPI HUWEZI YAFIKIA MATATIZONYA MWENZIO
    HATA UWE MREFU VIPI HUWEZI YAFIKIA MATATIZONYA MWENZIO
    ·177 Views
  • " Hakuna utofauti mkubwa wa ubora wa wachezaji baina ya Simba na Yanga lakini utofauti uliopo tu ni kwamba wao wamekaa muda mrefu na sisi tunamaingizo zaidi ya 10 mapya hiyo inaweza kuwa faida kwao lakini pia kwakuwa nao hawajawahi kutuona pia ni faida kwetu kwakuwa hawajui ni namna gani tutaingia kwenye mchezo hivyo utakuwa mcheo wa wazi. "

    David Fadlu, Kocha Simba SC kuelekea mchezo vs Yanga.
    " Hakuna utofauti mkubwa wa ubora wa wachezaji baina ya Simba na Yanga lakini utofauti uliopo tu ni kwamba wao wamekaa muda mrefu na sisi tunamaingizo zaidi ya 10 mapya hiyo inaweza kuwa faida kwao lakini pia kwakuwa nao hawajawahi kutuona pia ni faida kwetu kwakuwa hawajui ni namna gani tutaingia kwenye mchezo hivyo utakuwa mcheo wa wazi. " David Fadlu, Kocha Simba SC kuelekea mchezo vs Yanga.
    Like
    2
    ·175 Views
  • Mashabiki wa Simba wana imani kubwa na Timu yao msimu huu...

    Hii inatokana na aina ya usajili mkubwa walioufanya na hamu ya kufanya vizuri baada ya kukaa muda mrefu kidogo tangu watawale soka kwa misimu minne mfululizo.
    #paulswai
    🚨Mashabiki wa Simba wana imani kubwa na Timu yao msimu huu... Hii inatokana na aina ya usajili mkubwa walioufanya na hamu ya kufanya vizuri baada ya kukaa muda mrefu kidogo tangu watawale soka kwa misimu minne mfululizo. #paulswai
    Like
    3
    ·232 Views
  • Hatari za Kiusalama:
    Wadukuzi na Teknolojia za Kisasa

    Maisha yetu yanabadilika na kuwa ya kiteknolojia kila siku. Wadukuzi sasa wanaweza kusikiliza mazungumzo yako kupitia AirPods za Apple kwa kutumia vipaza sauti. Pia, wanaweza kupata ufikiaji wa mbali kwenye vifaa vya kuchaji simu na kuzidisha nguvu za umeme, na kusababisha simu kulipuka wakati wa kuchaji.

    Udukuzi huu unajulikana kama BadPower, na unaweza kushambulia simu yoyote yenye teknolojia ya kuchaji haraka kama iPhones, Samsung Galaxy, na simu nyingi za kisasa. Hii inamaanisha kwamba watu wenye nia mbaya wanaweza kuingilia teknolojia zetu na kuzitumia vibaya, hata kutoka umbali mrefu.

    🛡Jihadharini na vifaa vyako vya kiteknolojia na kuwa makini na usalama wao!

    #Hora_Tech
    #Hatari #Wadukuzi #BadPower #teknolojia
    🔐 Hatari za Kiusalama: Wadukuzi na Teknolojia za Kisasa 🌐 😎 Maisha yetu yanabadilika na kuwa ya kiteknolojia kila siku. Wadukuzi sasa wanaweza kusikiliza mazungumzo yako kupitia AirPods za Apple kwa kutumia vipaza sauti. Pia, wanaweza kupata ufikiaji wa mbali kwenye vifaa vya kuchaji simu na kuzidisha nguvu za umeme, na kusababisha simu kulipuka wakati wa kuchaji. 🚨 🦠 Udukuzi huu unajulikana kama BadPower, na unaweza kushambulia simu yoyote yenye teknolojia ya kuchaji haraka kama iPhones, Samsung Galaxy, na simu nyingi za kisasa. Hii inamaanisha kwamba watu wenye nia mbaya wanaweza kuingilia teknolojia zetu na kuzitumia vibaya, hata kutoka umbali mrefu. 🛡Jihadharini na vifaa vyako vya kiteknolojia na kuwa makini na usalama wao! ➤ #Hora_Tech #Hatari #Wadukuzi #BadPower #teknolojia
    Like
    1
    ·858 Views
  • .... 𝗧𝗢𝗙𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗕𝗔𝗟𝗘𝗞𝗘, 𝗚𝗨𝗘𝗗𝗘

    Jean Baleke (23) na Joseph Guede (29) 🇨🇮 ni aina tofauti kabisa ya washambuliaji. Hawafanani kiuchezaji uwanjani.

    ◉ Jean Baleke ana kasi, yuko sharp.
    ◉ Joseph Guede hana kasi.

    ◉ Baleke ni presser mzuri | Anaweza kufanya pressing kwa muda mrefu.

    ◉ Joseph Guede sio presser mzuri.

    ◉ Joseph Guede ni mtulivu zaidi.
    ◉ Utulivu wa Baleke haujafikia wa Guede.

    ◉ Katika uwiiano wa kufunga magoli ukilinganisha na idadi ya mechi, Jean Baleke yuko juu ya Joseph Guede.

    Gamondi anataka timu yake icheze kwa kasi wanapovuka mstari wa katikati, aina ya striker kama Guede utamlaumu kwa sababu hana kasi hiyo wakati wa counter attack.

    Mfumo wa Gamondi ndio umemtoa Guede kwenye kikosi cha Yanga SC.

    Washambuliaji aina ya Guede wasio na kasi kubwa huenjoy zaidi kucheza ndani ya box kusubiri huduma kutoka kwa viungo washambuliaji hasa Mawinga.. Gamondi hachezi hivyo anataka mshambuliaji pia ahusike kwenye build-up.

    Aina ya mawinga anaowataka ni kama DUKE ABUYA Modern Inverted wingers ambao hawakumbatii sana chaki pembeni, wana cut in.. Sio kama Okrah au Kisinda ambao muda mwingi wanacheza na chaki.. Wapo makocha wenye falsafa tofauti na Gamondi hutaka aina hiyo ya mawinga.

    Kwa mantiki hiyo bila shaka yoyote DUKE ABUYA atakuwa ni pendejezo la Gamondi.

    Jean Baleke ni striker ambaye anafit kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu ana kasi na anaweza kuwa sehemu ya ujenzi wa mashambulizi bila kuathiri uwepo wake katika goli la mpinzani kwa kuwa anakasi.

    Rejea kwa strikers wakigeni waliosajiliwa na Yanga baada ya Mayele kuondoka.

    ◉ Hafiz Konkoni.
    ◉ Joseph Guede.

    Wote ni washambuliaji wazuri, wame struggle kuingia kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu hawana kasi.


    Wasipoleta timu tutawafuata hata kwenye viwanja vyao vya mazoezi.
    .... ⚙️ 𝗧𝗢𝗙𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗕𝗔𝗟𝗘𝗞𝗘, 𝗚𝗨𝗘𝗗𝗘 Jean Baleke (23) 🇨🇩 na Joseph Guede (29) 🇨🇮 ni aina tofauti kabisa ya washambuliaji. Hawafanani kiuchezaji uwanjani. ◉ Jean Baleke ana kasi, yuko sharp. ◉ Joseph Guede hana kasi. ◉ Baleke ni presser mzuri | Anaweza kufanya pressing kwa muda mrefu. ◉ Joseph Guede sio presser mzuri. ◉ Joseph Guede ni mtulivu zaidi. ◉ Utulivu wa Baleke haujafikia wa Guede. ◉ Katika uwiiano wa kufunga magoli ukilinganisha na idadi ya mechi, Jean Baleke yuko juu ya Joseph Guede. ℹ️ Gamondi anataka timu yake icheze kwa kasi wanapovuka mstari wa katikati, aina ya striker kama Guede utamlaumu kwa sababu hana kasi hiyo wakati wa counter attack. Mfumo wa Gamondi ndio umemtoa Guede kwenye kikosi cha Yanga SC. Washambuliaji aina ya Guede wasio na kasi kubwa huenjoy zaidi kucheza ndani ya box kusubiri huduma kutoka kwa viungo washambuliaji hasa Mawinga.. Gamondi hachezi hivyo anataka mshambuliaji pia ahusike kwenye build-up. Aina ya mawinga anaowataka ni kama DUKE ABUYA Modern Inverted wingers ambao hawakumbatii sana chaki pembeni, wana cut in.. Sio kama Okrah au Kisinda ambao muda mwingi wanacheza na chaki.. Wapo makocha wenye falsafa tofauti na Gamondi hutaka aina hiyo ya mawinga. Kwa mantiki hiyo bila shaka yoyote DUKE ABUYA atakuwa ni pendejezo la Gamondi. Jean Baleke ni striker ambaye anafit kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu ana kasi na anaweza kuwa sehemu ya ujenzi wa mashambulizi bila kuathiri uwepo wake katika goli la mpinzani kwa kuwa anakasi. ℹ️ Rejea kwa strikers wakigeni waliosajiliwa na Yanga baada ya Mayele kuondoka. ◉ Hafiz Konkoni. ◉ Joseph Guede. Wote ni washambuliaji wazuri, wame struggle kuingia kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu hawana kasi. Wasipoleta timu tutawafuata hata kwenye viwanja vyao vya mazoezi.
    ·502 Views
  • TAFAKARI :

    Kulikuwa na Mwalimu mmoja aliyezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji shuleni, Mwanafunzi huyo alikuwa ni mtoto wa kimasikini pia mpole sana na mwenye huruma na alikuwa akiishi eneo lenye umbali kiasi mpaka kufika shuleni, kwa hivyo Mwanafunzi yule takriban miaka 3 alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Kwa hiyo siku ambazo Mwalimu huyo alikuwa na kipindi cha kwanza darasani kwao Mwanafunzi huyo alikuwa anachapwa kwanza kabla ya kuingia darasani. Hali hii iliendelea kwa muda mrefu, jambo la kushangaza wiki moja ilipita bila yule mwanafunzi kuonekana kabisa shuleni!

    Wiki ililoyofuata yule Mwanafunzi alifika shuleni mapema kabla ya Mwanafunzi mwingine yeyote. Mwalimu yule alishangaa sana alipomwona alifurahi sana alipoingia Darasani alimwita na kumsifia sana mbele ya Darasa kabla ya kumuuliza jambo lo lote.

    "Mwalimu akamwambia yule Mwanafunzi hebu simama akatii amri ya Mwalimu wake akasimama, Mwalimu akawaambia wanafunzi wenzake wampigie makofi kwa sababu leo kawa wa kwanza kufika shuleni. Mwalim akasema kumbe zile fimbo ninazomchapa zimesaidia sana eeeeenh?"

    Wanafunzi walipiga makofi huku wengine wakimcheka na kumdhihaki. Baada ya dakika kadhaa yule Mwanafunzi akamwomba Mwalimu ampe nafasi aseme jambo kidogo ili wapate kujua ni nini anataka kuwaelezea, Mwalimu akamruhusu huku akiwa amemkodolea macho haya tuambie.

    "Kwanza akawaomba radhi kwa kusema Mwalimu pamoja na wanafunzi wenzangu nyote kwa jumla, nakuombeni unisamehe iwapo nilikuwa nikiwaudhi kwa sababu siku zote nilizokuwa nikichelewa kufika shuleni nilikuwa namuuguza Mama yangu mzazi. Baba yangu alifariki kabla sijazaliwa, kwa hivyo sikujaaliwa kumuona nililelewa na Mama yangu tu naye alitengwa na ndugu kutokana na ufukara kwa hakika unyonge ni kitu kibaya sana simjui ndugu ye yote, Mama yangu alipopatwa na Maradhi tulimpeleka hospitalini Mimi ni jirani zetu lakini maradhi yake hayakuonekana. Akaruhusiwa kurudi nyumbani akiwa na Dawa za kutuliza maumivu tu." Kwa sababu hatukuwa na pesa sikuweza kumpeleka popote kwa vipimo zaidi."

    Mara akafuta machozi yaliyoanza kumtiririka kwa wingi mashavuni, na akasema kwa unyonge ewe Mwalimu wangu pamoja na wanafunzi wenzangu.

    "Kwa hivyo kila siku nilitakiwa kufanya usafi wa nyumba kuchota maji, kumsafisha Mama yangu pamoja na kumstiri, kumwandalia chakula chake kabla ya kuondoka kuja hapa shuleni na kazi zingine zote." Akanyamaza kidogo kwa uchungu."

    "Na sikitika kusema leo hii nimewahi kuja Shuleni kwa sababu Mama yangu alifariki wiki moja iliyopita ambayo sikuonekana shuleni nilikuwa nikimalizia msiba wa Mama yangu. Yote ndio mipango yake Mwenyezi Mungu kwa hiyo kilichokuwa kinanichelewesha kimeondoka ndio maana leo nimewahi kufika mapema shuleni."

    Hakuweza kuongea tena kutokana na uchungu, akakaa taratibu kitini huku akilia kwa kwikwi

    Hatimae Darasa zima nalo liligeuka mahala pa msiba kila mmoja akilia pamoja na Mwalimu wao, huku wakimpa pole na kumuomba msamaha kwa jinsi walivyokuwa wakimdhihaki. Naye akawaambia nimekusameheni kwa moyo safi kabisa.

    WITO:

    Msiharakishe kuadhibu wenzenu bila kuwapa nafasi ya kujieleza, sababu huwezi kujua jambo gani linalowasibu bila kuwapa fursa ya kujielezea au kukwambia ili upatikane ufumbuzi wa tatizo.

    Unapo muona mwenzako hayupo sawa kifikra, kiafya, au jambo lo lote muulize kwanza kabla ya kuanza kumshutumu.

    Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujalie tuwe ni wenye kupendana, kuuliza na kusaidiana kwa kila jambo.
    TAFAKARI : Kulikuwa na Mwalimu mmoja aliyezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji shuleni, Mwanafunzi huyo alikuwa ni mtoto wa kimasikini pia mpole sana na mwenye huruma na alikuwa akiishi eneo lenye umbali kiasi mpaka kufika shuleni, kwa hivyo Mwanafunzi yule takriban miaka 3 alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Kwa hiyo siku ambazo Mwalimu huyo alikuwa na kipindi cha kwanza darasani kwao Mwanafunzi huyo alikuwa anachapwa kwanza kabla ya kuingia darasani. Hali hii iliendelea kwa muda mrefu, jambo la kushangaza wiki moja ilipita bila yule mwanafunzi kuonekana kabisa shuleni! Wiki ililoyofuata yule Mwanafunzi alifika shuleni mapema kabla ya Mwanafunzi mwingine yeyote. Mwalimu yule alishangaa sana alipomwona alifurahi sana alipoingia Darasani alimwita na kumsifia sana mbele ya Darasa kabla ya kumuuliza jambo lo lote. "Mwalimu akamwambia yule Mwanafunzi hebu simama akatii amri ya Mwalimu wake akasimama, Mwalimu akawaambia wanafunzi wenzake wampigie makofi kwa sababu leo kawa wa kwanza kufika shuleni. Mwalim akasema kumbe zile fimbo ninazomchapa zimesaidia sana eeeeenh?" Wanafunzi walipiga makofi huku wengine wakimcheka na kumdhihaki. Baada ya dakika kadhaa yule Mwanafunzi akamwomba Mwalimu ampe nafasi aseme jambo kidogo ili wapate kujua ni nini anataka kuwaelezea, Mwalimu akamruhusu huku akiwa amemkodolea macho haya tuambie. "Kwanza akawaomba radhi kwa kusema Mwalimu pamoja na wanafunzi wenzangu nyote kwa jumla, nakuombeni unisamehe iwapo nilikuwa nikiwaudhi kwa sababu siku zote nilizokuwa nikichelewa kufika shuleni nilikuwa namuuguza Mama yangu mzazi. Baba yangu alifariki kabla sijazaliwa, kwa hivyo sikujaaliwa kumuona nililelewa na Mama yangu tu naye alitengwa na ndugu kutokana na ufukara kwa hakika unyonge ni kitu kibaya sana simjui ndugu ye yote, Mama yangu alipopatwa na Maradhi tulimpeleka hospitalini Mimi ni jirani zetu lakini maradhi yake hayakuonekana. Akaruhusiwa kurudi nyumbani akiwa na Dawa za kutuliza maumivu tu." Kwa sababu hatukuwa na pesa sikuweza kumpeleka popote kwa vipimo zaidi." Mara akafuta machozi yaliyoanza kumtiririka kwa wingi mashavuni, na akasema kwa unyonge ewe Mwalimu wangu pamoja na wanafunzi wenzangu. "Kwa hivyo kila siku nilitakiwa kufanya usafi wa nyumba kuchota maji, kumsafisha Mama yangu pamoja na kumstiri, kumwandalia chakula chake kabla ya kuondoka kuja hapa shuleni na kazi zingine zote." Akanyamaza kidogo kwa uchungu." "Na sikitika kusema leo hii nimewahi kuja Shuleni kwa sababu Mama yangu alifariki wiki moja iliyopita ambayo sikuonekana shuleni nilikuwa nikimalizia msiba wa Mama yangu. Yote ndio mipango yake Mwenyezi Mungu kwa hiyo kilichokuwa kinanichelewesha kimeondoka ndio maana leo nimewahi kufika mapema shuleni." Hakuweza kuongea tena kutokana na uchungu, akakaa taratibu kitini huku akilia kwa kwikwi Hatimae Darasa zima nalo liligeuka mahala pa msiba kila mmoja akilia pamoja na Mwalimu wao, huku wakimpa pole na kumuomba msamaha kwa jinsi walivyokuwa wakimdhihaki. Naye akawaambia nimekusameheni kwa moyo safi kabisa. WITO: Msiharakishe kuadhibu wenzenu bila kuwapa nafasi ya kujieleza, sababu huwezi kujua jambo gani linalowasibu bila kuwapa fursa ya kujielezea au kukwambia ili upatikane ufumbuzi wa tatizo. Unapo muona mwenzako hayupo sawa kifikra, kiafya, au jambo lo lote muulize kwanza kabla ya kuanza kumshutumu. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujalie tuwe ni wenye kupendana, kuuliza na kusaidiana kwa kila jambo.
    Like
    3
    ·667 Views
  • Nikicheki muda Ni saa 4 usiku Napiga Dua namshukuru mungu
    Kwa kunilinda Hii Siku na Wenye #Bifu
    Naomba Tena Atulinde huu usiku #Mrefu
    Mungu Mimi kwako si #Mkamilifu
    Najua nakosea Nina mengi #Madhaifu
    Kwa wema wako nioshe niwe #Nadhifu
    Nakusifu kwa mdomo maana hujaniumba #BuBu
    Wape Tumaini wenye matatizo yanayo #Wasibu
    Wagonjwa mahospitali wema wako #Ukawatibu
    Wategemee Dua na sio sangoma Wala #Chifu
    Waombewe na watumishi mashekh wakina #Sharifu
    Wasirogane kwa kuvunjiana Nazi na #Madafu
    Nashukuru kwa hii pumzi inayoingia kwenye #Mapafu
    Nitimize sakramenti takwa Mimi nilie #Mkristu
    Niepushe Na zinaa niogope kufungua #Zipu
    Niepushe Na tamaa nisipende Sana #Chipu
    Niwe mwema ndugu zangu nisiwachezee #Rafu
    Niiheshimu ndoa nilale chumbani niogee #Bafu
    Kesho nijalie riziki yangu niingojee kwa #Safu
    Nisishawishike na ulevi nikaja lala #Club
    Ee mungu tulinde Huu usiku na kila #Tabu
    Dua zetu zipokee kwako ndo liliko #Jawabu
    Nikicheki muda Ni saa 4 usiku Napiga Dua namshukuru mungu🎤 Kwa kunilinda Hii Siku na Wenye #Bifu Naomba Tena Atulinde huu usiku #Mrefu Mungu Mimi kwako si #Mkamilifu Najua nakosea Nina mengi #Madhaifu Kwa wema wako nioshe niwe #Nadhifu Nakusifu kwa mdomo maana hujaniumba #BuBu Wape Tumaini wenye matatizo yanayo #Wasibu Wagonjwa mahospitali wema wako #Ukawatibu Wategemee Dua na sio sangoma Wala #Chifu Waombewe na watumishi mashekh wakina #Sharifu Wasirogane kwa kuvunjiana Nazi na #Madafu Nashukuru kwa hii pumzi inayoingia kwenye #Mapafu Nitimize sakramenti takwa Mimi nilie #Mkristu Niepushe Na zinaa niogope kufungua #Zipu Niepushe Na tamaa nisipende Sana #Chipu Niwe mwema ndugu zangu nisiwachezee #Rafu Niiheshimu ndoa nilale chumbani niogee #Bafu Kesho nijalie riziki yangu niingojee kwa #Safu Nisishawishike na ulevi nikaja lala #Club Ee mungu tulinde Huu usiku na kila #Tabu Dua zetu zipokee kwako ndo liliko #Jawabu
    ·1K Views
  • Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na kupendana sana.

    Yawezekana uwaonao wanapendana sana leo hii kuna mahala UPENDO wao ulipuuzwa na kukinaiwa.

    Mapito yenye maumivu hayaondoi thamani ya mtu sahihi. Hata kama umeumizwa sana wewe, endelea kuwa mtu sahihi na mwenye thamani.

    NB:
    Utakutana na mtu wa aina yako na utafurahia matamanio yako ya muda mrefu. Furaha, amani na kila nzuri ulilotamani litakuwa sehemu maisha yako.
    #_Raggedvoice
    Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na kupendana sana. Yawezekana uwaonao wanapendana sana leo hii kuna mahala UPENDO wao ulipuuzwa na kukinaiwa. Mapito yenye maumivu hayaondoi thamani ya mtu sahihi. Hata kama umeumizwa sana wewe, endelea kuwa mtu sahihi na mwenye thamani. NB: Utakutana na mtu wa aina yako na utafurahia matamanio yako ya muda mrefu. Furaha, amani na kila nzuri ulilotamani litakuwa sehemu maisha yako. #_Raggedvoice
    Like
    Love
    4
    1 Reacties ·404 Views
  • Mtu pekee anayekuombea mema katika hatua zako ni Mama na Baba yako tu,hao wengine hawana msimamo na sala zao juu yako
    Ukifa unadhani nani atakaa kwenye Kaburi lako kwa muda mrefu...

    NB:
    Hivi ukifanya mapenzi na Mwanamke mmesimama bado itahesabika kuwa ulilala nae..?
    #_raggedvoice
    ⚠️Mtu pekee anayekuombea mema katika hatua zako ni Mama na Baba yako tu,hao wengine hawana msimamo na sala zao juu yako📌 Ukifa unadhani nani atakaa kwenye Kaburi lako kwa muda mrefu...✍️ NB: Hivi ukifanya mapenzi na Mwanamke mmesimama bado itahesabika kuwa ulilala nae..🤔? #_raggedvoice
    Like
    Love
    3
    5 Reacties ·389 Views
Zoekresultaten