On fire
Victor Osimhen akamilisha uhamisho mkubwa kwenda Galatasaray.*
Klabu hiyo ya Uturuki imekubaliana kumsajili mshambuliaji huyo kwa jumla ya *euro milioni 75*. Malipo hayo yamepangwa kufanyika kwa awamu mbili: *euro milioni 40 zitalipwa mara moja*, huku *euro milioni 35 zikilipwa baada ya mwaka mmoja*.
Zaidi ya hayo, Napoli imehakikishiwa *asilimia 10 ya faida endapo Osimhen atauzwa tena kwa dau kubwa zaidi siku za usoni*.
Mkataba huo pia umeweka *kizuizi cha miaka miwili* ambacho kinakataza Galatasaray kumuuza
#Osimhen kwa klabu yoyote ya Italia. Hii inakuja baada ya Osimhen kuonyesha kiwango bora msimu uliopita kwa kufunga *mabao 37 katika mechi 41*, akiiwezesha Galatasaray kutwaa mataji ya ligi na kombe la Uturuki.
#SportsElite
On fire 🔥
Victor Osimhen akamilisha uhamisho mkubwa kwenda Galatasaray.*
Klabu hiyo ya Uturuki imekubaliana kumsajili mshambuliaji huyo kwa jumla ya *euro milioni 75*. Malipo hayo yamepangwa kufanyika kwa awamu mbili: *euro milioni 40 zitalipwa mara moja*, huku *euro milioni 35 zikilipwa baada ya mwaka mmoja*.
Zaidi ya hayo, Napoli imehakikishiwa *asilimia 10 ya faida endapo Osimhen atauzwa tena kwa dau kubwa zaidi siku za usoni*.
Mkataba huo pia umeweka *kizuizi cha miaka miwili* ambacho kinakataza Galatasaray kumuuza #Osimhen kwa klabu yoyote ya Italia. Hii inakuja baada ya Osimhen kuonyesha kiwango bora msimu uliopita kwa kufunga *mabao 37 katika mechi 41*, akiiwezesha Galatasaray kutwaa mataji ya ligi na kombe la Uturuki.
#SportsElite