Kwa sauti zetu mtu wa Mungu tunapaswa kumuita Bwana mpaka asikie kwani BWANA kwa asili yake anataka mwanadamu amwite .
Zaburi 3:4-6
Zaburi 3:4
[4]Kwa sauti yangu namwita BWANA
Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
Kanuni ya Mungu ni kuwa niiteni nami nitasikia na nitafuteni nanyi mtaniona .
Kumbe ili Mungu akusikie kwa uhuru anataka upaze sauti yako kumtafuta kwa kuomba na kumpendeza yeye naye ana asili ya kuwasikia walio wake .
Ni wanao mwita Bwana peke yake ndiyo Bwana anawategemeza na Bwana akikutegemeza unakuwa na jjasiri nakutembea kifua mbele bila kuogopa mabaya.
Ndipo daudi anasema naaam
Zaburi 23:4
[4]Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Changamoto yetu katika magumu yetu hatumwiti Bwana bali tunawaita watu tunasahau hata hao tunao wategemea nao ni kazi ya mikono yake ,ni Bwana peke yake unakuwa na ujasiri na amani akikutegemeza,
Mwanadamu usalama wake upo katika kuwa na Bwana, MTU akimkosa Mungu hana ujasiri wa kusema yuko salama kwani sauti yake inageuka kuwa kelele machoni pa watu na hata machoni pa Mungu.
#Zaburi 4:8
[8]Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara,
Maana Wewe, BWANA, peke yako,
Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
Salama ya mwanadamu kulala na kuamka ni katika kumpazia Mungu sauti yake na ni vizuri sana kumpazia Mungu sauti kwa kuomba ili uweze kuwa salama .
#Mithali 3:23-24
[23]Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama,
Wala mguu wako hautakwaa.
.
[24]Ulalapo hutaona hofu;
Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.
Ahsante sana , nikutakie jioni njema na siku njema.
Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)
Kwa mafundisho zaidi karibu katika group la watsap.
Tuma nenl Add kwenda 0622625340
#build new eden
#restore men position

0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·22 Views