Upgrade to Pro

  • .USIHUKUMU MAPEMA, JIPE MUDA

    Mama alichukuwa simu akampa mwanawe.

    Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari.

    (Mtoto akachukuwa na kupiga)

    Mtoto...Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke.

    (Mama kwa hasira) Akirudi atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarudi, kufika mlangoni tu kapokelewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vizuri mwiko wa pua)

    Mama...Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje??

    Mtoto...Alisema mteja unayempigia hapatikani kwa sasa.

    Baba ikabidi awe mpole tu.
    .USIHUKUMU MAPEMA, JIPE MUDA Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtoto...Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirudi atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarudi, kufika mlangoni tu kapokelewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vizuri mwiko wa pua) Mama...Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje?? Mtoto...Alisema mteja unayempigia hapatikani kwa sasa. Baba ikabidi awe mpole tu. 😳😳😳😳
    Like
    Love
    2
    ·319 Views
  • *Faida za kunywa Maji ya kwenye Mtungi*



    1. Sifa za asili za kupoeza: Vyungu vya udongo vina sifa ya asili ya kupoeza ambayo husaidia kuweka maji ya baridi na kuburudisha, hasa wakati wa joto. Hii inaweza kufanya maji ya kunywa kutoka kwenye sufuria ya udongo kufurahisha zaidi.

    2. Maji yenye alkali: Vyungu vya udongo vinaaminika kulainisha maji yaliyohifadhiwa ndani yake, ambayo yanaweza kuwa na manufaa mbalimbali kiafya. Maji ya alkali yanasemekana kusaidia kupunguza viwango vya pH vya asidi katika mwili na kukuza afya na ustawi kwa ujumla.

    3. Uchujaji wa madini: Vyungu vya udongo vinaweza kuingiza madini ndani ya maji yaliyohifadhiwa ndani yake, na kuongeza virutubisho muhimu kama vile kalsiamu, magnesiamu na potasiamu kwenye maji. Hii inaweza kufanya maji kuwa na lishe zaidi na kuboresha ladha yake.

    4. Huondoa uchafu: Vyungu vya udongo vina kuta zenye vinyweleo ambavyo kwa asili hufyonza uchafu na sumu kutoka kwenye maji, hivyo kukuacha na maji safi na yenye afya ya kunywa. Utaratibu huu wa kuchuja unaweza kusaidia kuboresha ubora wa jumla wa maji.

    5. Rafiki wa mazingira: Vyungu vya udongo ni chaguo endelevu na rafiki kwa mazingira kwa kuhifadhi na kunywa maji. Zinaweza kuoza, zinahitaji nishati kidogo kuzalisha ikilinganishwa na vyombo vya plastiki au chuma, na hazichangii taka za plastiki.

    6. Huongeza ladha: Watu wengi wanaamini kuwa maji yaliyohifadhiwa kwenye vyungu vya udongo yana ladha tofauti na ya udongo ambayo huongeza hali ya unywaji kwa ujumla. Asili ya porous ya sufuria ya udongo inaruhusu aeration bora, ambayo inaweza kuboresha ladha na harufu ya maji.

    Kwa ujumla, maji ya kunywa kutoka kwenye sufuria za udongo inaweza kutoa faida nyingi ikiwa ni pamoja na mali ya asili ya baridi, maji ya alkali, uchujaji wa madini, uondoaji wa uchafu, uendelevu wa mazingira, na ladha iliyoimarishwa.
    *Faida za kunywa Maji ya kwenye Mtungi* 1. Sifa za asili za kupoeza: Vyungu vya udongo vina sifa ya asili ya kupoeza ambayo husaidia kuweka maji ya baridi na kuburudisha, hasa wakati wa joto. Hii inaweza kufanya maji ya kunywa kutoka kwenye sufuria ya udongo kufurahisha zaidi. 2. Maji yenye alkali: Vyungu vya udongo vinaaminika kulainisha maji yaliyohifadhiwa ndani yake, ambayo yanaweza kuwa na manufaa mbalimbali kiafya. Maji ya alkali yanasemekana kusaidia kupunguza viwango vya pH vya asidi katika mwili na kukuza afya na ustawi kwa ujumla. 3. Uchujaji wa madini: Vyungu vya udongo vinaweza kuingiza madini ndani ya maji yaliyohifadhiwa ndani yake, na kuongeza virutubisho muhimu kama vile kalsiamu, magnesiamu na potasiamu kwenye maji. Hii inaweza kufanya maji kuwa na lishe zaidi na kuboresha ladha yake. 4. Huondoa uchafu: Vyungu vya udongo vina kuta zenye vinyweleo ambavyo kwa asili hufyonza uchafu na sumu kutoka kwenye maji, hivyo kukuacha na maji safi na yenye afya ya kunywa. Utaratibu huu wa kuchuja unaweza kusaidia kuboresha ubora wa jumla wa maji. 5. Rafiki wa mazingira: Vyungu vya udongo ni chaguo endelevu na rafiki kwa mazingira kwa kuhifadhi na kunywa maji. Zinaweza kuoza, zinahitaji nishati kidogo kuzalisha ikilinganishwa na vyombo vya plastiki au chuma, na hazichangii taka za plastiki. 6. Huongeza ladha: Watu wengi wanaamini kuwa maji yaliyohifadhiwa kwenye vyungu vya udongo yana ladha tofauti na ya udongo ambayo huongeza hali ya unywaji kwa ujumla. Asili ya porous ya sufuria ya udongo inaruhusu aeration bora, ambayo inaweza kuboresha ladha na harufu ya maji. Kwa ujumla, maji ya kunywa kutoka kwenye sufuria za udongo inaweza kutoa faida nyingi ikiwa ni pamoja na mali ya asili ya baridi, maji ya alkali, uchujaji wa madini, uondoaji wa uchafu, uendelevu wa mazingira, na ladha iliyoimarishwa.
    Like
    Love
    5
    ·350 Views
  • Hata
    #Sufuria
    Ni chombo cha
    Moto
    Hata #Sufuria Ni chombo cha Moto 🔥 😅😅😅
    Haha
    Like
    4
    1 Comments ·232 Views


  • UTAMU WA KUNGUMANGA

    Mwanamke jicho la nyege
    Jicho la mahabaaa
    Jicho la kumuita bwanaaaa


    Jinsi ya kuziandaa


    Nunua kukumanga zako weka ndani zihifadhi kwenye chupa ya kigae zisipate baridi
    Chukua kukumanga zako2 ziponde huku unazisemea kungu nakufunda na nakutuma
    Nataka nitakapokula ww kungu unilegeze jicho liwe la kuvutia
    Nataka huyu mwanaume nimpe style ambazo sijawahi kumpa
    Nataka nimkatie mauno ambayo sijawahi kumkatia

    Na kama unakula na mumeo pia unamnuilia Nataka huyu mwanaume leo anipe raha ambazo hajawahi nipa

    Yaaaani wkt unazifunda unasema hayo maneno huku unakata mauno ya taratiiibu

    Ukimaliza weka kungu zako pembeni
    Chukua kisufuria chako pika uji vikombe viwili
    Tia sukari na chumvi
    Ukiiva mwisho ukiita kuutegua koroga kungu zako tia changanya vzr epua

    Upoze kidogo weka kwenye vikombe nenda kanywe na mumeo
    Kama una mechi usiku kula mchana saa6 au 7
    Mpk usiku utaona macho mazito umekaa kinyegenyege tu

    Kungu inachukua masaa ma4 au 5 kukukamata

    Mwari mda ukifika jipure mamy unukie na vimake up vyako simple na mumeo umfukize udi

    Umvalie shanga
    Uvae vijikanga vyako vyeupeeee uvifukize kipande kimoja chako chengine ajifunge mumeo
    Hayaaa sasa anza kudeka mtoto wa kike

    Vp unakuwa mtamu unapokula kukumanga!!!!!???
    Mwari ukila kukumanga unakuwa mtamu sijuiiiii nikwambie nini mwari wangu tena haswa mkila wote
    Woooow usiku kucha bwana hakuachi ni raha tuuuu na asubuhi kazi moja mpk ziishe nguvu

    Baaas pale mnapoandaana jamani hamtaki kuachiana
    Sikwambii dyudyu likiingia yani havielezekiiii
    Style zinakuja zenyeweee wala huzijui nakwambiaaa

    Kungu zinakufanya uwe very romantic loveee
    Kiuno kinakuwa laini
    Nasema hiviiiiiii kanunue kukumanga ulete mrejesho hapaaaa



    By irwin
    💓💓💓💓💓💓💓💓💓 💓UTAMU WA KUNGUMANGA💓 💓Mwanamke jicho la nyege 💓Jicho la mahabaaa 💓Jicho la kumuita bwanaaaa 💓💓💓💓💓💓💓💓💓 Jinsi ya kuziandaa 💓💓💓💓💓💓💓💓💓 💓Nunua kukumanga zako weka ndani zihifadhi kwenye chupa ya kigae zisipate baridi 💓Chukua kukumanga zako2 ziponde huku unazisemea kungu nakufunda na nakutuma 💓Nataka nitakapokula ww kungu unilegeze jicho liwe la kuvutia 💓Nataka huyu mwanaume nimpe style ambazo sijawahi kumpa 💓Nataka nimkatie mauno ambayo sijawahi kumkatia 💓Na kama unakula na mumeo pia unamnuilia 💓Nataka huyu mwanaume leo anipe raha ambazo hajawahi nipa 💓Yaaaani wkt unazifunda unasema hayo maneno huku unakata mauno ya taratiiibu 💓Ukimaliza weka kungu zako pembeni 💓Chukua kisufuria chako pika uji vikombe viwili 💓Tia sukari na chumvi 💓Ukiiva mwisho ukiita kuutegua koroga kungu zako tia changanya vzr epua 💓Upoze kidogo weka kwenye vikombe nenda kanywe na mumeo 💓Kama una mechi usiku kula mchana saa6 au 7 💓Mpk usiku utaona macho mazito umekaa kinyegenyege tu 💓Kungu inachukua masaa ma4 au 5 kukukamata 💓Mwari mda ukifika jipure mamy unukie na vimake up vyako simple na mumeo umfukize udi 💓Umvalie shanga 💓Uvae vijikanga vyako vyeupeeee uvifukize kipande kimoja chako chengine ajifunge mumeo 💓Hayaaa sasa anza kudeka mtoto wa kike 💓Vp unakuwa mtamu unapokula kukumanga!!!!!??? 💓Mwari ukila kukumanga unakuwa mtamu sijuiiiii nikwambie nini mwari wangu tena haswa mkila wote 💓Woooow usiku kucha bwana hakuachi ni raha tuuuu na asubuhi kazi moja mpk ziishe nguvu 💓Baaas pale mnapoandaana jamani hamtaki kuachiana 💓Sikwambii dyudyu likiingia yani havielezekiiii 💓Style zinakuja zenyeweee wala huzijui nakwambiaaa 💓Kungu zinakufanya uwe very romantic loveee 💓Kiuno kinakuwa laini 💓Nasema hiviiiiiii kanunue kukumanga ulete mrejesho hapaaaa 💓💓💓💓💓💓💓💓💓 By irwin
    Like
    Love
    3
    ·117 Views