• Katika uteuzi huo, pia wamemteua Meya wa Jiji la Goma pamoja na Wakuu wa Wilaya mbalimbali.

    Hatua hii inakuja wakati maeneo kama Walikale, Lubero, na Beni bado yako chini ya udhibiti wa serikali ya DRC inayoongozwa na Félix Tshisekedi.

    M23, kundi la waasi lenye silaha nzito na za kisasa, linadai kuwa linapigania haki za jamii ya Watutsi wa Congo.

    Jamii ya Watutsi waishio Congo mara nyingi hutengwa, huku serikali ya DRC ikiwatambua kama Wanyarwanda wanaoishi nchini humo.

    Taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa, zikiwemo Umoja wa Mataifa na serikali ya DRC, zinadai kuwa kundi hili linaungwa mkono na Rwanda kwa maslahi ya kiuchumi na kisiasa.

    Hata hivyo, M23 wamekanusha vikali tuhuma hizo, wakisisitiza kuwa hawapokei msaada wa kijeshi kutoka Rwanda na kwamba wanapigana kwa maslahi yao wenyewe..

    Katika uteuzi huo, pia wamemteua Meya wa Jiji la Goma pamoja na Wakuu wa Wilaya mbalimbali. Hatua hii inakuja wakati maeneo kama Walikale, Lubero, na Beni bado yako chini ya udhibiti wa serikali ya DRC inayoongozwa na Félix Tshisekedi. M23, kundi la waasi lenye silaha nzito na za kisasa, linadai kuwa linapigania haki za jamii ya Watutsi wa Congo. Jamii ya Watutsi waishio Congo mara nyingi hutengwa, huku serikali ya DRC ikiwatambua kama Wanyarwanda wanaoishi nchini humo. Taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa, zikiwemo Umoja wa Mataifa na serikali ya DRC, zinadai kuwa kundi hili linaungwa mkono na Rwanda kwa maslahi ya kiuchumi na kisiasa. Hata hivyo, M23 wamekanusha vikali tuhuma hizo, wakisisitiza kuwa hawapokei msaada wa kijeshi kutoka Rwanda na kwamba wanapigana kwa maslahi yao wenyewe..
    0 Comments ·0 Shares ·297 Views
  • Siku ya Jana 18, January na leo 19, January 2025 nimefuatilia kwa ukaribu na Umakini Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Mwaka 2025 uliofanyika Dodoma Hakika umekua wa kipekee na Uliovutia kwa Maandalizi mazuri, Hongera sana Kwa Waandaaji wakiongozwa na Dk @samia_suluhu_hassan Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuli ya muungano wa Tanzania.

    Pamoja na mambo mengine yaliyojadiliwa kwenye Mkutano huu nimeshuhudia Matukio Matatu Muhimu,

    Mosi, Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Dkt Steven Wasira
    Pili, Marekebisho ya Baadhi ya vipengele muhimu vya Katiba ya CCM ikiwemo kuongezeka kwa wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM kutoka nafasi 6 paka 10 yaani nafasi 5 Zanzibar na Nafasi 5 Bara,
    Tatu, Uteuzi na Uidhinishwaji wa Majina ya wagombea wa Nafasi ya Urais Tanzania na Zanzibar Uchaguzi Mkuu 2025 Yaani Dkt @samia_suluhu_hassan kwa Tanzania na Dkt @dr.hmwinyi Zanzibar

    Nne, kupendekeza na kupitisha Jina la Mgombea mwenza (Makamu wa Rais) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt @nchimbie

    Matukio yote haya Manne yameendelea kuthibitisha kwamba CCM ni chama kilichokomaa Kidemocrasia na Ndio chama pekee kinachofaa kuiongoza nchi hii kwa Amani na Utulivu (Hasa ukizingatia yanayoendelea huko upande wa Pili Mmh)

    Lakini pia imendelea kuthibitisha kiasi Gani chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kina hazina ya Watu wanaoweza kuiongoza chama na Serikali wakati wowote ule kuanzia Chama chenyewe na Jumuia zake zote @wazazi_ccm_tz @uwt_taifa , na @uvccm_tz , Hakika CCM idumu milele, Hongera Mwenyekiti @samia_suluhu_hassan kwa Uongozi na Malezi Bora kwa Chama

    Itoshe Kusema @ccmtanzania inatosha na ni kwa matakwa ya kikatiba tu lakini ingewezekana TUSIFANYE UCHAGUZI TUMUACHE MAMA NA SAFU YAKE WAENDELEE KUFANYA KAZI YA KUIJENGA TANZANIA, Kwa Hali inayoendelea na Mfarakano wa huko kwa Majirani naona kabisa ni kupoteza muda. Ni kwasababu ni Takwa la kikatiba tu na CCM tunaheshimu Katiba lakini isingekua Hilo Basi Mama @samia_suluhu_hassan Angeachwa na Safu yake aendelee kuchapa kazi, Aendeleze kazi ya kuijenga Tanzania iliyotukuka

    Hongera Mama @samia_suluhu_hassan, Hongera Dkt @dr.hmwinyi, Hongera Dkt @nchimbie kwa kuaminiwa Tena

    #kaziiendelee

    @ccmtanzania @uvccm_tz @uvccm_tanga
    Siku ya Jana 18, January na leo 19, January 2025 nimefuatilia kwa ukaribu na Umakini Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Mwaka 2025 uliofanyika Dodoma Hakika umekua wa kipekee na Uliovutia kwa Maandalizi mazuri, Hongera sana Kwa Waandaaji wakiongozwa na Dk @samia_suluhu_hassan Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Pamoja na mambo mengine yaliyojadiliwa kwenye Mkutano huu nimeshuhudia Matukio Matatu Muhimu, Mosi, Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Dkt Steven Wasira Pili, Marekebisho ya Baadhi ya vipengele muhimu vya Katiba ya CCM ikiwemo kuongezeka kwa wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM kutoka nafasi 6 paka 10 yaani nafasi 5 Zanzibar na Nafasi 5 Bara, Tatu, Uteuzi na Uidhinishwaji wa Majina ya wagombea wa Nafasi ya Urais Tanzania na Zanzibar Uchaguzi Mkuu 2025 Yaani Dkt @samia_suluhu_hassan kwa Tanzania na Dkt @dr.hmwinyi Zanzibar Nne, kupendekeza na kupitisha Jina la Mgombea mwenza (Makamu wa Rais) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt @nchimbie Matukio yote haya Manne yameendelea kuthibitisha kwamba CCM ni chama kilichokomaa Kidemocrasia na Ndio chama pekee kinachofaa kuiongoza nchi hii kwa Amani na Utulivu (Hasa ukizingatia yanayoendelea huko upande wa Pili Mmh🙌😂) Lakini pia imendelea kuthibitisha kiasi Gani chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kina hazina ya Watu wanaoweza kuiongoza chama na Serikali wakati wowote ule kuanzia Chama chenyewe na Jumuia zake zote @wazazi_ccm_tz @uwt_taifa , na @uvccm_tz , Hakika CCM idumu milele, Hongera Mwenyekiti @samia_suluhu_hassan kwa Uongozi na Malezi Bora kwa Chama Itoshe Kusema @ccmtanzania inatosha na ni kwa matakwa ya kikatiba tu lakini ingewezekana TUSIFANYE UCHAGUZI TUMUACHE MAMA NA SAFU YAKE WAENDELEE KUFANYA KAZI YA KUIJENGA TANZANIA, Kwa Hali inayoendelea na Mfarakano wa huko kwa Majirani naona kabisa ni kupoteza muda. Ni kwasababu ni Takwa la kikatiba tu na CCM tunaheshimu Katiba lakini isingekua Hilo Basi Mama @samia_suluhu_hassan Angeachwa na Safu yake aendelee kuchapa kazi, Aendeleze kazi ya kuijenga Tanzania iliyotukuka Hongera Mama @samia_suluhu_hassan, Hongera Dkt @dr.hmwinyi, Hongera Dkt @nchimbie kwa kuaminiwa Tena #kaziiendelee @ccmtanzania @uvccm_tz @uvccm_tanga
    0 Comments ·0 Shares ·743 Views
  • Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Grace Elias Magembe kuwa Mganga Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Profesa Tumaini Joseph Nagu ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

    Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Magembe alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI.
    Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Grace Elias Magembe kuwa Mganga Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Profesa Tumaini Joseph Nagu ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Magembe alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI.
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·248 Views
  • Rais Samia Suluhu amemteua Mhandisi Ramadhani Masoud Lwamo kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini.

    Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Lwamo alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
    Rais Samia Suluhu amemteua Mhandisi Ramadhani Masoud Lwamo kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini. Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Lwamo alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·221 Views
  • Rais Samia Suluhu amemteua Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.

    Kabla ya uteuzi huo, Jaji Masaju alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu na Mshauri wa Rais katika masuala ya sheria.

    Rais Samia Suluhu amemteua Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Kabla ya uteuzi huo, Jaji Masaju alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu na Mshauri wa Rais katika masuala ya sheria.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·129 Views
  • *Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa mwongozo kuelekea uchaguzi wa chama hicho kuwa hatua inayofuata kwa sasa ni usaili na uteuzi wa wagombea ambapo wagombea wanaogombea nafasi za chama wanapaswa wafike makao makuu ya chama hicho Januari 19, 2025 ili Kamati Kuu kufanya kazi ya usaili na uteuzi wa wagombea kwa mujibu wa kanuni, katiba, maadili na itifaki ya chama.*
    #neliudcosiah
    *Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa mwongozo kuelekea uchaguzi wa chama hicho kuwa hatua inayofuata kwa sasa ni usaili na uteuzi wa wagombea ambapo wagombea wanaogombea nafasi za chama wanapaswa wafike makao makuu ya chama hicho Januari 19, 2025 ili Kamati Kuu kufanya kazi ya usaili na uteuzi wa wagombea kwa mujibu wa kanuni, katiba, maadili na itifaki ya chama.* #neliudcosiah
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·387 Views
  • #Uteuzi
    #Uteuzi
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·224 Views
  • Taarifa kwa umma Rais SAMIA SULUHU HASSAN amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na katibu mkuu kiongozi balozi Dkt. Moses kusiluka
    Taarifa kwa umma Rais SAMIA SULUHU HASSAN amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na katibu mkuu kiongozi balozi Dkt. Moses kusiluka
    0 Comments ·0 Shares ·199 Views