• 5.BETHLEHEMU

    “Nyumba ya mkate” imetajwa katika sehemu mbalimbali za Maandiko.

    Zamani iliitwa Efratha na katika visa vingine Bethlehemu ya Yuda au Bethlehemu-Yuda. Elimeleki, ambaye angekuwa baba-mkwe wa Ruthu aliyetajwa hapo juu alikuwa raia wa Bethlehemu.

    Mfalme Daudi wa Israeli pia alikuwa Mbethlehemu.

    Zaidi sana ingawa, ulikuwa ni mji ambao ulitupa Kristo mwenyewe.

    Hapa palikuwa mahali pa kuzaliwa kwa mtoto wa kwanza wa Mariamu. “Akamzaa mwanawe mzaliwa wa kwanza, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe; kwa sababu hapakuwa na nafasi katika nyumba ya wageni”, Luka 2:7 inasema.
    5.BETHLEHEMU “Nyumba ya mkate” imetajwa katika sehemu mbalimbali za Maandiko. Zamani iliitwa Efratha na katika visa vingine Bethlehemu ya Yuda au Bethlehemu-Yuda. Elimeleki, ambaye angekuwa baba-mkwe wa Ruthu aliyetajwa hapo juu alikuwa raia wa Bethlehemu. Mfalme Daudi wa Israeli pia alikuwa Mbethlehemu. Zaidi sana ingawa, ulikuwa ni mji ambao ulitupa Kristo mwenyewe. Hapa palikuwa mahali pa kuzaliwa kwa mtoto wa kwanza wa Mariamu. “Akamzaa mwanawe mzaliwa wa kwanza, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe; kwa sababu hapakuwa na nafasi katika nyumba ya wageni”, Luka 2:7 inasema.
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 127 Views
  • Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Nchi ya Uganda (UPDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema Uganda inatoa saa (24) vikosi vyote vilivyopo katika Mji wa Bunia Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuacha kuuwa Raia wa kabila la Bahima (ambalo asili yake ni kutoka Nchini Uganda) lasivyo Jeshi lake litashambulia Mji huo.

    Kainerugaba ametoa kauli hiyo Februari 15 katika mtandao wake wa X. Huku akielezwa kuwa na historia ya kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu sera za kigeni mara kwa mara. Alisema ana mamlaka ya Rais Yoweri Museveni, ambaye pia ni Baba yake Mzazi ambako hata hivyo, alipotafutwa Msemaji wa Jeshi la Uganda alisema hawezi kuzungumzia suala hilo.

    Hata hivyo, kabla ya kusasisha ujumbe huo kwenye mtandao wa X, Jenerali huyo alikuwa alieleza bila kutoa ushahidi, kwamba Watu kutoka kabila la Bahima walikuwa wakiuawa huko Nchini DR Congo.

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Nchi ya Uganda 馃嚭馃嚞 (UPDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema Uganda inatoa saa (24) vikosi vyote vilivyopo katika Mji wa Bunia Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛 kuacha kuuwa Raia wa kabila la Bahima (ambalo asili yake ni kutoka Nchini Uganda) lasivyo Jeshi lake litashambulia Mji huo. Kainerugaba ametoa kauli hiyo Februari 15 katika mtandao wake wa X. Huku akielezwa kuwa na historia ya kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu sera za kigeni mara kwa mara. Alisema ana mamlaka ya Rais Yoweri Museveni, ambaye pia ni Baba yake Mzazi ambako hata hivyo, alipotafutwa Msemaji wa Jeshi la Uganda alisema hawezi kuzungumzia suala hilo. Hata hivyo, kabla ya kusasisha ujumbe huo kwenye mtandao wa X, Jenerali huyo alikuwa alieleza bila kutoa ushahidi, kwamba Watu kutoka kabila la Bahima walikuwa wakiuawa huko Nchini DR Congo.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 224 Views
  • Tarehe 24 Novemba 2009, ikiwa ni siku chache kabla ya Sikukuu ya Thanksgiving, John Jones aliamua kwenda kuchunguza mapango na ndugu zake.

    Alikuwa baba wa mtoto mmoja na mke wake alikuwa mjamzito wa mtoto wao wa pili.

    Alikuwa mchungaji wa kanisa, mwenye tabia nzuri, aliyependwa na familia yake.

    Alikuwa na uzoefu mdogo wa kuingia mapangoni, lakini aliamini hana cha kuhofia.

    Akiwa na kaka yake, Josh Jones, na marafiki wachache, waliamua kuchunguza sehemu mpya ya Nutty Putty Cave—pango maarufu lililokuwa na njia nyembamba na hatari.

    Walikuwa na matumaini ya kujifurahisha tu, lakini hakuna aliyejua kuwa hii ingekuwa safari ya kifo cha kutisha.
    Tarehe 24 Novemba 2009, ikiwa ni siku chache kabla ya Sikukuu ya Thanksgiving, John Jones aliamua kwenda kuchunguza mapango na ndugu zake. Alikuwa baba wa mtoto mmoja na mke wake alikuwa mjamzito wa mtoto wao wa pili. Alikuwa mchungaji wa kanisa, mwenye tabia nzuri, aliyependwa na familia yake. Alikuwa na uzoefu mdogo wa kuingia mapangoni, lakini aliamini hana cha kuhofia. Akiwa na kaka yake, Josh Jones, na marafiki wachache, waliamua kuchunguza sehemu mpya ya Nutty Putty Cave—pango maarufu lililokuwa na njia nyembamba na hatari. Walikuwa na matumaini ya kujifurahisha tu, lakini hakuna aliyejua kuwa hii ingekuwa safari ya kifo cha kutisha.
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 280 Views
  • "Wakati nakuja Dar nikitokea Kigoma nilimdanganya Mzee (baba yangu). Nilikuwa mwalimu Kigoma, nilimdanganya Mzee kuwa nimepata shule nyingine Dar es Salaam na hapo sikuwa nimepata shule.

    "Mimi mwalimu wa Sekondari nafundisha kuanzia Form One hadi Four. Nilikuwa mwalimu wa Hesabu na Chemistry

    "Kwahiyo nilimwambia Mzee nimepata shule nyingine wanalipa hela nyingi kuliko Kigoma. Akaniruhusu. Ukweli sikuwa na shule na sikujua nafikia wapi"

    "Nilijilipua kwamba nikifika Dar natoboa. Nilikuja na Treni. Sikutaka kupanda basi. Nilikuwa nawacheki washkaji zangu waliopo Dar wote waliniambia hawapo.

    "Nilimcheki dogo mmoja aliniambia yupo Dar anaishi Ubungo. Nilimwambia na Mimi nakuja Dar kuna ishu naifuatilia Gongo la Mboto (nilimdanganya)"- Ndaro, Mchekeshaji (Tanzania) kupitia Clouds TV.

    "Wakati nakuja Dar nikitokea Kigoma nilimdanganya Mzee (baba yangu). Nilikuwa mwalimu Kigoma, nilimdanganya Mzee kuwa nimepata shule nyingine Dar es Salaam na hapo sikuwa nimepata shule. "Mimi mwalimu wa Sekondari nafundisha kuanzia Form One hadi Four. Nilikuwa mwalimu wa Hesabu na Chemistry "Kwahiyo nilimwambia Mzee nimepata shule nyingine wanalipa hela nyingi kuliko Kigoma. Akaniruhusu. Ukweli sikuwa na shule na sikujua nafikia wapi" "Nilijilipua kwamba nikifika Dar natoboa. Nilikuja na Treni. Sikutaka kupanda basi. Nilikuwa nawacheki washkaji zangu waliopo Dar wote waliniambia hawapo. "Nilimcheki dogo mmoja aliniambia yupo Dar anaishi Ubungo. Nilimwambia na Mimi nakuja Dar kuna ishu naifuatilia Gongo la Mboto (nilimdanganya)"- Ndaro, Mchekeshaji (Tanzania) kupitia Clouds TV.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 167 Views
  • Baba Levo
    Baba Levo 鉁嶏笍
    0 Comments 0 Shares 110 Views
  • Kama uliangalia vizuri zile picha za "Best Man na Woman) kwenye harusi ya Jux, huenda ukaelewa hii "Posti" ya Diamond Platnumz. Sijui kwa nini Baba Lebo hajatoboa siri hii wakati tunajua kuwa Friji lake haligandishi .

    Mimi naishi na huyo mstari wa pili (2).

    Kama uliangalia vizuri zile picha za "Best Man na Woman) kwenye harusi ya Jux, huenda ukaelewa hii "Posti" ya Diamond Platnumz. Sijui kwa nini Baba Lebo hajatoboa siri hii wakati tunajua kuwa Friji lake haligandishi 馃槅. Mimi naishi na huyo mstari wa pili (2).
    0 Comments 0 Shares 180 Views
  • #PART5

    Alimwambia, "Siku hizi wanawake hawana mapenzi ya kweli, Wanachoangalia ni pesa. Wanakuja kuchukua na kuondoka."

    Chris Brown aliposikia hivyo, mpaka leo hajataka ndoa.

    Ukitaka kuzaa na mtu, hakikisha unamjua kwa undani.

    Maana unaweza ukadhani unazaa mtoto, kumbe unazaa silaha ya kukushambulia baadaye.

    Na mwisho wa siku, mtoto akikua, atapambanua mwenyewe nani alikuwa na nia njema naye na nani alitumia chuki kama mtaji.

    50 Cent alijua mwanaye atakua na kuona ukweli mwenyewe.

    Na kweli, siku hizi mtoto ameanza kurudi kwa baba yake, maana ameanza kugundua kuwa mama yake alimtumia.

    Siku zote, ukweli hauwezi kufichika milele.
    #PART5 Alimwambia, "Siku hizi wanawake hawana mapenzi ya kweli, Wanachoangalia ni pesa. Wanakuja kuchukua na kuondoka." Chris Brown aliposikia hivyo, mpaka leo hajataka ndoa. Ukitaka kuzaa na mtu, hakikisha unamjua kwa undani. Maana unaweza ukadhani unazaa mtoto, kumbe unazaa silaha ya kukushambulia baadaye. Na mwisho wa siku, mtoto akikua, atapambanua mwenyewe nani alikuwa na nia njema naye na nani alitumia chuki kama mtaji. 50 Cent alijua mwanaye atakua na kuona ukweli mwenyewe. Na kweli, siku hizi mtoto ameanza kurudi kwa baba yake, maana ameanza kugundua kuwa mama yake alimtumia. Siku zote, ukweli hauwezi kufichika milele.
    0 Comments 0 Shares 283 Views
  • #PART4

    Lakini cha kushangaza, wanaume wengi hawafanyi hivi.

    Kwa nini?

    Kwa sababu mwanaume hapendi kuonekana amefeli.

    Dogo akimuuliza baba yake, "Kwanini ulimuacha mama?" baba atapata kigugumizi.

    Hakuna mwanaume anayependa aonekane alishindwa kufanya kitu sahihi.

    Ndiyo maana wanaume wengi husema mambo mazuri kuhusu mama wa mtoto wao, hata kama waliachana kwa mabaya.

    Lakini wanawake wengi hawawezi kufanya hivyo. Wengi hujaza chuki kwa mtoto. Wanaangalia maisha yao kwa sasa, wanasahau mtoto atakua na atagundua ukweli wenyewe.

    50 Cent ni role model wa wanaume wengi kwa sababu moja kubwa, anajua dunia ilivyo.

    Ndiyo maana hata Chris Brown, kabla ya kuingia kwenye ndoa, alikwenda kwa 50 Cent kumuuliza ushauri.

    50 Cent alimwambia USITHUBUTU!
    #PART4 Lakini cha kushangaza, wanaume wengi hawafanyi hivi. Kwa nini? Kwa sababu mwanaume hapendi kuonekana amefeli. Dogo akimuuliza baba yake, "Kwanini ulimuacha mama?" baba atapata kigugumizi. Hakuna mwanaume anayependa aonekane alishindwa kufanya kitu sahihi. Ndiyo maana wanaume wengi husema mambo mazuri kuhusu mama wa mtoto wao, hata kama waliachana kwa mabaya. Lakini wanawake wengi hawawezi kufanya hivyo. Wengi hujaza chuki kwa mtoto. Wanaangalia maisha yao kwa sasa, wanasahau mtoto atakua na atagundua ukweli wenyewe. 50 Cent ni role model wa wanaume wengi kwa sababu moja kubwa, anajua dunia ilivyo. Ndiyo maana hata Chris Brown, kabla ya kuingia kwenye ndoa, alikwenda kwa 50 Cent kumuuliza ushauri. 50 Cent alimwambia USITHUBUTU!
    0 Comments 0 Shares 405 Views
  • #PART3

    Dogo alianza kupiga picha na maadui wa baba yake.

    Unajua maana yake? Kijana wako, damu yako mwenyewe, anashirikiana na watu waliotaka kukuangusha.

    Hii haikuwa tu ishu ya "Hana time na baba yake," hii ilikuwa ni chuki ya makusudi.

    Na chuki hiyo haikutoka kwa mtoto mwenyewe, bali ilitengenezwa na mama yake.

    Mama ambaye baada ya kuachwa alitaka pesa nyingi kutoka kwa 50 Cent lakini ikashindikana.

    Mama ambaye hakuwa na njia ya kumkomoa baba, akaamua kutumia mtoto kama silaha.

    Na mtoto, bila kujua anatumika kama chess piece, akaingia kwenye mchezo wa mama.

    Huu ni ukweli mchungu. Katika ndoa au mahusiano yanayovunjika, asilimia kubwa ya wanawake hutumia watoto kama njia ya kulipiza kisasi.

    Ni wachache sana watakaoruhusu baba wa mtoto wao aendelee kuwa na uhusiano mzuri na mwanawe baada ya kutengana.
    #PART3 Dogo alianza kupiga picha na maadui wa baba yake. Unajua maana yake? Kijana wako, damu yako mwenyewe, anashirikiana na watu waliotaka kukuangusha. Hii haikuwa tu ishu ya "Hana time na baba yake," hii ilikuwa ni chuki ya makusudi. Na chuki hiyo haikutoka kwa mtoto mwenyewe, bali ilitengenezwa na mama yake. Mama ambaye baada ya kuachwa alitaka pesa nyingi kutoka kwa 50 Cent lakini ikashindikana. Mama ambaye hakuwa na njia ya kumkomoa baba, akaamua kutumia mtoto kama silaha. Na mtoto, bila kujua anatumika kama chess piece, akaingia kwenye mchezo wa mama. Huu ni ukweli mchungu. Katika ndoa au mahusiano yanayovunjika, asilimia kubwa ya wanawake hutumia watoto kama njia ya kulipiza kisasi. Ni wachache sana watakaoruhusu baba wa mtoto wao aendelee kuwa na uhusiano mzuri na mwanawe baada ya kutengana.
    0 Comments 0 Shares 342 Views
  • #PART 2

    Na kweli dogo akasoma kwa bidii. Ila kumbe kwa nyuma kulikuwa na mpango wa siri.

    Ilikuwa ni siku ya furaha kwa kila mzazi ambaye mtoto wake amemaliza chuo. Siku ya mahafali.

    50 Cent alikuwa na mipango mikubwa kwa kijana wake. Alikuwa tayari kumpa zawadi ya maisha, gari la kifahari ambalo lingemfungulia milango ya mafanikio zaidi.

    Lakini kilichotokea siku hiyo kilimvunja moyo.

    Hakupewa hata mwaliko wa mahafali.

    Fikiria baba ambaye amehangaika kuhakikisha mtoto wake anapata elimu bora, amemlipia kila kitu, amempa maisha ya ndoto, lakini siku kubwa kama hii hatakiwi hata kufika.

    Habari za mahafali alipewa na washikaji wa dogo. Walikuwa wanataka kumuona 50 Cent siku hiyo ili wapige naye picha.

    Lakini dogo mwenyewe? Hakumwambia chochote

    Hii haikuwa bahati mbaya, ilikuwa ni mpango wa makusudi.

    50 Cent hakuelewa nini kilichotokea, akapiga simu chuoni kuuliza.

    "Leo kuna mahafali, si ndiyo?"

    Wakamwambia ndiyo!

    Lilikuwa ni pigo lisilopimika kwa baba aliyetoa kila kitu kwa mwanawe.

    Lakini kilichomvunja moyo zaidi hakikuwa kutoalikwa tu kwenye mahafali.
    #PART 2 Na kweli dogo akasoma kwa bidii. Ila kumbe kwa nyuma kulikuwa na mpango wa siri. Ilikuwa ni siku ya furaha kwa kila mzazi ambaye mtoto wake amemaliza chuo. Siku ya mahafali. 50 Cent alikuwa na mipango mikubwa kwa kijana wake. Alikuwa tayari kumpa zawadi ya maisha, gari la kifahari ambalo lingemfungulia milango ya mafanikio zaidi. Lakini kilichotokea siku hiyo kilimvunja moyo. Hakupewa hata mwaliko wa mahafali. Fikiria baba ambaye amehangaika kuhakikisha mtoto wake anapata elimu bora, amemlipia kila kitu, amempa maisha ya ndoto, lakini siku kubwa kama hii hatakiwi hata kufika. Habari za mahafali alipewa na washikaji wa dogo. Walikuwa wanataka kumuona 50 Cent siku hiyo ili wapige naye picha. Lakini dogo mwenyewe? Hakumwambia chochote Hii haikuwa bahati mbaya, ilikuwa ni mpango wa makusudi. 50 Cent hakuelewa nini kilichotokea, akapiga simu chuoni kuuliza. "Leo kuna mahafali, si ndiyo?" Wakamwambia ndiyo! Lilikuwa ni pigo lisilopimika kwa baba aliyetoa kila kitu kwa mwanawe. Lakini kilichomvunja moyo zaidi hakikuwa kutoalikwa tu kwenye mahafali.
    0 Comments 0 Shares 502 Views
  • #PART1

    Katika maisha, kuna mafanikio, kuna mapenzi, na kuna maumivu.

    Lakini maumivu gani yanaweza kuwa makali zaidi ya baba kugombana na damu yake mwenyewe?

    Hii ni stori ya 50 Cent, mwanamuziki, mfanyabiashara, na mtu aliye role model wa mamilioni ya wanaume duniani.

    Jamaa aliinuka kutoka mitaa ya ghetto, akapambana, akawa milionea. Lakini pamoja na pesa zote, hakununua upendo wa mtoto wake wa kwanza.

    Miaka ya nyuma, 50 Cent alikuwa baba mwenye furaha. Alikuwa anampenda mtoto wake kupita maelezo.

    Ilikuwa siyo tu kwa sababu ni damu yake, bali pia alitaka kuhakikisha kijana wake anakuwa na maisha bora zaidi.

    Aliamua kumuandalia mtoto wake maisha mazuri. Akampeleka kwenye shule nzuri ya mpira wa kikapu. Akalipia kila kitu, kutoka ada mpka mavazi.

    Mtoto akapewa kila alichohitaji, maisha ya kifahari yakawa sehemu yake ya kila siku.

    Lakini kitu kimoja hakikumpenda. Mpira wa kikapu haukumpenda.

    Dogo akaamua kuachana na basketball. Baba yake hakukasirika, akamwambia

    "Sawa mwanangu, kama siyo mpira, basi komaa na shule."

    #PART1 Katika maisha, kuna mafanikio, kuna mapenzi, na kuna maumivu. Lakini maumivu gani yanaweza kuwa makali zaidi ya baba kugombana na damu yake mwenyewe? Hii ni stori ya 50 Cent, mwanamuziki, mfanyabiashara, na mtu aliye role model wa mamilioni ya wanaume duniani. Jamaa aliinuka kutoka mitaa ya ghetto, akapambana, akawa milionea. Lakini pamoja na pesa zote, hakununua upendo wa mtoto wake wa kwanza. Miaka ya nyuma, 50 Cent alikuwa baba mwenye furaha. Alikuwa anampenda mtoto wake kupita maelezo. Ilikuwa siyo tu kwa sababu ni damu yake, bali pia alitaka kuhakikisha kijana wake anakuwa na maisha bora zaidi. Aliamua kumuandalia mtoto wake maisha mazuri. Akampeleka kwenye shule nzuri ya mpira wa kikapu. Akalipia kila kitu, kutoka ada mpka mavazi. Mtoto akapewa kila alichohitaji, maisha ya kifahari yakawa sehemu yake ya kila siku. Lakini kitu kimoja hakikumpenda. Mpira wa kikapu haukumpenda. Dogo akaamua kuachana na basketball. Baba yake hakukasirika, akamwambia "Sawa mwanangu, kama siyo mpira, basi komaa na shule."
    0 Comments 0 Shares 615 Views
  • Ewe mwanadada ukitaka kuolewa hakikisha unaolewa na mwanaume mwenye pesa kama za baba yako
    Ewe mwanadada ukitaka kuolewa hakikisha unaolewa na mwanaume mwenye pesa kama za baba yako
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 176 Views
  • Msanii wa Nigeria , Wizkid achangia kumpa Bob Marley tuzo yake akiwa ni Marehemu.

    Pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata akiwa hai, Mwanamziki nguli Duniani, Raia wa Jamaica , Bob Marley hakuwahi kushinda tuzo ya Grammy katika maisha yake, lakini miaka michache iliopita familia yake walimtafuta Msanii kutoka Nchini Nigeria, Wizkid kwa ajili ya kufanya Collabo na Bob Marley ili waweze kuifanya upya kazi ya Bob Marley "One love, Music inspired by the Film, Album.

    Baada ya albamu hiyo kutoka ambapo Wizkid ameifanya upya imeshinda albamu bora ya mwaka ya Reggae 2025 kwenye tuzo za Grammy na kuweka rekodi ya kuwa tuzo ya kwanza ya Grammy ya Bob Marley huku shukurani kubwa amepewa Wizkid.

    Aidha, Wizkid amepokea cheti kutoka kwenye Uongozi wa Grammy na barua ya shukurani kutoka kwa familia ya Marley kwa kuifanya heshima ya baba yao kuendelea kuwepo Duniani na kumsaidia Mwanamziki huyo Mkongwe wa muziki wa Reggae kushinda Grammy yake ya kwanza.

    Msanii wa Nigeria 馃嚦馃嚞, Wizkid achangia kumpa Bob Marley tuzo yake akiwa ni Marehemu. Pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata akiwa hai, Mwanamziki nguli Duniani, Raia wa Jamaica 馃嚡馃嚥, Bob Marley hakuwahi kushinda tuzo ya Grammy katika maisha yake, lakini miaka michache iliopita familia yake walimtafuta Msanii kutoka Nchini Nigeria, Wizkid kwa ajili ya kufanya Collabo na Bob Marley ili waweze kuifanya upya kazi ya Bob Marley "One love, Music inspired by the Film, Album. Baada ya albamu hiyo kutoka ambapo Wizkid ameifanya upya imeshinda albamu bora ya mwaka ya Reggae 2025 kwenye tuzo za Grammy na kuweka rekodi ya kuwa tuzo ya kwanza ya Grammy ya Bob Marley huku shukurani kubwa amepewa Wizkid. Aidha, Wizkid amepokea cheti kutoka kwenye Uongozi wa Grammy na barua ya shukurani kutoka kwa familia ya Marley kwa kuifanya heshima ya baba yao kuendelea kuwepo Duniani na kumsaidia Mwanamziki huyo Mkongwe wa muziki wa Reggae kushinda Grammy yake ya kwanza.
    0 Comments 0 Shares 494 Views
  • Undani wa bifu kati Rais wa DR Congo , Félix Tshisekedi na Kiongozi Mkuu wa Waasi wa M23, Corneille
    Nanga.

    Anaitwa Jenerali Corneille Nanga ambaye ni Kamanda Mkuu (Rais) wa makundi yote ya Waasi yanayopigana Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo likiwemo kundi la M23. Muungano huo unaitwa Congo River Allience na yeye ndio Kiongozi Mkuu na amesema malengo yao ni kuitwaa DR Congo yote mpaka Mji Mkuu Kinshasa.

    Muungano wa makundi hayo aliutangaza rasmi mwaka 2023. Ikumbukwe kwamba Corneille Nanga alikuwa Mtumishi wa ngazi za juu ndani ya Serikali ya DR Congo kwa miaka mingi akifanya kazi katika programu mbalimbali za umoja wa mataifa. Mwaka 2015 mpaka 2021 alikuwa Mkuu wa tume ya Taifa ya uchaguzi Nchini humo CENI (Commission Electoral Ingependence) na ndiye aliyemtangaza Rais Felix Tshisekedi mshindi wa urais katika uchaguzi mwaka 2018.

    Nanga alitofautiana na Mteuzi wake Rais mstaafu Joseph Kabila na Rais mpya Félix Tshisekedi kwamba kuna makubaliano walikubaliana katika uchaguzi wa 2018 ambapo anadai alichakachua uchaguzi kama Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi CENI na kumpa ushindi Tshisekedi ila baada ya ushindi Tshisekedi akageuka makubaliano yao. Tuhuma hizo Tshisekedi alizikanusha na kusema alishinda kihalali.

    Baada ya mvutano mkali hatimaye Nanga alikimbia Nchi na mwaka 2023 katika mkutano wake uhamishoni Jijini Nairobi alitangaza Muungano wa makundi (17) ya Waasi wote wanaopigana Mashariki mwa DR Congo ikiwemo kundi la M23 na Muungano huo ukapewa jina la Congo River Allience na yeye kuwa ndio Kiongozi Mkuu mkuu wa makundi yote.

    Wakati Nanga akiwa uhamishoni mahakama Kuu Jijini Kinshasa ilimuhukumu adhabu ya kifo akiwa hayupo mahakamani kwa kosa la uhaini. Kiufupi uasi wa DR Congo pakubwa umechangiwa na Uongozi mbovu, ukifuatilia mizizi ya mgogoro utagundua pia kuna mkataba Serikali ya Rais Laurent Kabila iliingia na jamii ya Watutsi Mashariki mwa DR Congo wakati wa kumpindua Rais wa zamani wa Nchi hiyo Mobutu Seseseko lakini baadaye akawageuka baada ya miaka mingi ya mvutano ndio ikaja kuundwa M23.

    Moja makubaliano yao yalikua ni Jamii hiyo ya Watutsi kumsaidia Rais wa zamani Laurent Désiré Kabila (Baba Mzazi wa Joseph Kabila) kumpindua Mobutu kisa Watutsi wapewe sehemu ya Mkoa wa Sud-Kivu na wawe Raia wa DR Congo baada ya kuonekana kukataliwa na Paul Kagame kwa madai kwamba ni mmojawapo ya makundi yaliyohusika na mauwaji ya kimbari mwaka 1994.

    Kundi hili la Waasi la M23, jana lilikanusha kwamba linaungwa mkono na Serikali ya Rwanda (Paul Kagame). Baadaye kwenye mkutano wa Marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Paul Kagame alisema kuwa Waasi wanaopigana Nchini DR Congo, wote ni Wakongo (Wakongomani) huku akimnyooshea kidole Félix Tshisekedi kuwa anashindwa kusema hadharani kiini halisi cha mgogoro uliopo kati ya Waasi hao na DR Congo ambapo Kagame alidai kuwa kuna mikataba yao ambao hataki kuzungumzwa na Serikali ya DR Congo akiwemo Tshisekedi na wakijificha kwenye kichaka cha kwamba Rwanda ndio mfadhili wa Waasi hao.

    Undani wa bifu kati Rais wa DR Congo 馃嚚馃嚛, Félix Tshisekedi na Kiongozi Mkuu wa Waasi wa M23, Corneille Nanga. Anaitwa Jenerali Corneille Nanga ambaye ni Kamanda Mkuu (Rais) wa makundi yote ya Waasi yanayopigana Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo likiwemo kundi la M23. Muungano huo unaitwa Congo River Allience na yeye ndio Kiongozi Mkuu na amesema malengo yao ni kuitwaa DR Congo yote mpaka Mji Mkuu Kinshasa. Muungano wa makundi hayo aliutangaza rasmi mwaka 2023. Ikumbukwe kwamba Corneille Nanga alikuwa Mtumishi wa ngazi za juu ndani ya Serikali ya DR Congo kwa miaka mingi akifanya kazi katika programu mbalimbali za umoja wa mataifa. Mwaka 2015 mpaka 2021 alikuwa Mkuu wa tume ya Taifa ya uchaguzi Nchini humo CENI (Commission Electoral Ingependence) na ndiye aliyemtangaza Rais Felix Tshisekedi mshindi wa urais katika uchaguzi mwaka 2018. Nanga alitofautiana na Mteuzi wake Rais mstaafu Joseph Kabila na Rais mpya Félix Tshisekedi kwamba kuna makubaliano walikubaliana katika uchaguzi wa 2018 ambapo anadai alichakachua uchaguzi kama Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi CENI na kumpa ushindi Tshisekedi ila baada ya ushindi Tshisekedi akageuka makubaliano yao. Tuhuma hizo Tshisekedi alizikanusha na kusema alishinda kihalali. Baada ya mvutano mkali hatimaye Nanga alikimbia Nchi na mwaka 2023 katika mkutano wake uhamishoni Jijini Nairobi alitangaza Muungano wa makundi (17) ya Waasi wote wanaopigana Mashariki mwa DR Congo ikiwemo kundi la M23 na Muungano huo ukapewa jina la Congo River Allience na yeye kuwa ndio Kiongozi Mkuu mkuu wa makundi yote. Wakati Nanga akiwa uhamishoni mahakama Kuu Jijini Kinshasa ilimuhukumu adhabu ya kifo akiwa hayupo mahakamani kwa kosa la uhaini. Kiufupi uasi wa DR Congo pakubwa umechangiwa na Uongozi mbovu, ukifuatilia mizizi ya mgogoro utagundua pia kuna mkataba Serikali ya Rais Laurent Kabila iliingia na jamii ya Watutsi Mashariki mwa DR Congo wakati wa kumpindua Rais wa zamani wa Nchi hiyo Mobutu Seseseko lakini baadaye akawageuka baada ya miaka mingi ya mvutano ndio ikaja kuundwa M23. Moja makubaliano yao yalikua ni Jamii hiyo ya Watutsi kumsaidia Rais wa zamani Laurent Désiré Kabila (Baba Mzazi wa Joseph Kabila) kumpindua Mobutu kisa Watutsi wapewe sehemu ya Mkoa wa Sud-Kivu na wawe Raia wa DR Congo baada ya kuonekana kukataliwa na Paul Kagame kwa madai kwamba ni mmojawapo ya makundi yaliyohusika na mauwaji ya kimbari mwaka 1994. Kundi hili la Waasi la M23, jana lilikanusha kwamba linaungwa mkono na Serikali ya Rwanda 馃嚪馃嚰 (Paul Kagame). Baadaye kwenye mkutano wa Marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Paul Kagame alisema kuwa Waasi wanaopigana Nchini DR Congo, wote ni Wakongo (Wakongomani) huku akimnyooshea kidole Félix Tshisekedi kuwa anashindwa kusema hadharani kiini halisi cha mgogoro uliopo kati ya Waasi hao na DR Congo ambapo Kagame alidai kuwa kuna mikataba yao ambao hataki kuzungumzwa na Serikali ya DR Congo akiwemo Tshisekedi na wakijificha kwenye kichaka cha kwamba Rwanda ndio mfadhili wa Waasi hao.
    1 Comments 0 Shares 410 Views
  • SOMA HII utajifunza kitu hapa kwa Achraf Hakimi : “Tangu talaka yangu, nimejifunza kujipenda zaidi na kujitunza. Imenifundisha mengi, imenifanya kuwa na nguvu zaidi, na leo, najua jinsi ya kusimamia uhusiano.”

    “Mimi sijaoa, najisikia vizuri, nafurahia wakati wangu na familia yangu, watoto wangu na mimi mwenyewe. Ni ngumu kupata mtu anayefaa, lakini kwa nini ikiwa wanakuja. Unapopata pesa nyingi, unaweza kuamini watu wachache tu.

    Nadhani ni mama pekee anayekupenda, haijalishi pesa. Siku zote nimejifunza jinsi ya kusimamia pesa zangu kwa shukrani kwa mama yangu. Mimi huuliza maoni yake kila wakati kabla ya kununua nyumba au gari, kwa sababu yeye ndiye aliyesimamia kila kitu.

    Sherehe yangu ya pengwini ilikuwa kujitolea kwa Sergio Ramos, ambaye nilimuahidi hili ikiwa ningefunga. Wengine wanafikiri ilikuwa kuichezea Uhispania, lakini sivyo. Uhispania ni nyumba yangu ya pili, kama Morocco, na imenipa maisha bora. Achraf Hakimi aliguswa moyo sana na kumwaga machozi alipokuwa akizungumza kuhusu watoto wake.

    Alisema: “Watoto wangu ni wa maana sana kwangu. Nitawaambia kwamba baba atawapenda, popote walipo, na atawalinda daima. Kumekuwa na nyakati ngumu ambazo sijawaona vile nilivyotaka, lakini najifunza kutoka kwao kila siku, hasa kuona upendo wanaonipa.” (Abtals)
    SOMA HII utajifunza kitu hapa kwa Achraf Hakimi 馃嚥馃嚘: “Tangu talaka yangu, nimejifunza kujipenda zaidi na kujitunza. Imenifundisha mengi, imenifanya kuwa na nguvu zaidi, na leo, najua jinsi ya kusimamia uhusiano.” “Mimi sijaoa, najisikia vizuri, nafurahia wakati wangu na familia yangu, watoto wangu na mimi mwenyewe. Ni ngumu kupata mtu anayefaa, lakini kwa nini ikiwa wanakuja. Unapopata pesa nyingi, unaweza kuamini watu wachache tu. Nadhani ni mama pekee anayekupenda, haijalishi pesa. Siku zote nimejifunza jinsi ya kusimamia pesa zangu kwa shukrani kwa mama yangu. Mimi huuliza maoni yake kila wakati kabla ya kununua nyumba au gari, kwa sababu yeye ndiye aliyesimamia kila kitu. Sherehe yangu ya pengwini 馃惂 ilikuwa kujitolea kwa Sergio Ramos, ambaye nilimuahidi hili ikiwa ningefunga. Wengine wanafikiri ilikuwa kuichezea Uhispania, lakini sivyo. Uhispania ni nyumba yangu ya pili, kama Morocco, na imenipa maisha bora. Achraf Hakimi aliguswa moyo sana na kumwaga machozi alipokuwa akizungumza kuhusu watoto wake. Alisema: “Watoto wangu ni wa maana sana kwangu. Nitawaambia kwamba baba atawapenda, popote walipo, na atawalinda daima. Kumekuwa na nyakati ngumu ambazo sijawaona vile nilivyotaka, lakini najifunza kutoka kwao kila siku, hasa kuona upendo wanaonipa.” (Abtals)
    0 Comments 0 Shares 466 Views
  • Baba Levo atangaza Mbosso kujitoa kwenye Lebo ya WCB Wasafi.

    Baba Levo atangaza Mbosso kujitoa kwenye Lebo ya WCB Wasafi.
    0 Comments 0 Shares 421 Views

  • ndugu zangu leo naomba nitoe taalifa y ndugu yetu YUSUPH MGWAB

    HUYU BABA ANATATIZO LA FIGO!! ZOTE MBILI ZIMEFAIL

    ANAISHI KWA MSAADA WA DIALYISIS! KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO KUBWA IMEJITOKEZA KWENYE LINE YA KUFANYIA DIALYISIS

    NJIA IMEKUFA KWA MAANA AKIINGIZA KWENYE MASHINE DAMU ZINATOKA SI KAWAIDA INAPELEKEA DAMU KUMWAGIKA NA KWA SASA PANAPASWA MRIJA UWEKWE MKONONI AU MU
    MGUUNI !!!

    TUNAHITAJI 1,800,000TZSH ( MILLION MOJA NA LAKI NANE)

    WAKATI NAANDAA NAMNA YA KUMSAIDIA JANA IJUMAA ALIENDA KUFANYA TENA DIALYSIS LAKINI ALISHINDWA KABISA ALIPATA BARIDI KALI KAMA KIFAFA NA ILIBIDI AFANYIWE DIALYSIS ALIWA KWENYA MASHINE YA OXYGEN!

    HALI HII IMEKUWA HATARI NA IMEFANYA MADAKTARI WAMUANDIKIEEE

    NAOMBA NDUGU NIWAOMBE TUMSAIDIE HUYU BABA KWANI HATOWEZA KUFANYA DIALYSIS MPAKA APATE SINDANO HIZO 5 NA IKUMBUKE FIGO ZOTE MBILI ZIMEKUFA DIALYSIS NDIO UHAI WAKE





    0745787549
    Mpesa
    JABILI ALLY ISSA

    "KUTOA NI MOYO SI UTAJURI "
    ndugu zangu leo naomba nitoe taalifa y ndugu yetu YUSUPH MGWAB HUYU BABA ANATATIZO LA FIGO!! ZOTE MBILI ZIMEFAIL ANAISHI KWA MSAADA WA DIALYISIS! KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO KUBWA IMEJITOKEZA KWENYE LINE YA KUFANYIA DIALYISIS NJIA IMEKUFA KWA MAANA AKIINGIZA KWENYE MASHINE DAMU ZINATOKA SI KAWAIDA INAPELEKEA DAMU KUMWAGIKA NA KWA SASA PANAPASWA MRIJA UWEKWE MKONONI AU MU MGUUNI !!! TUNAHITAJI 1,800,000TZSH ( MILLION MOJA NA LAKI NANE) WAKATI NAANDAA NAMNA YA KUMSAIDIA JANA IJUMAA ALIENDA KUFANYA TENA DIALYSIS LAKINI ALISHINDWA KABISA ALIPATA BARIDI KALI KAMA KIFAFA NA ILIBIDI AFANYIWE DIALYSIS ALIWA KWENYA MASHINE YA OXYGEN! HALI HII IMEKUWA HATARI NA IMEFANYA MADAKTARI WAMUANDIKIEEE NAOMBA NDUGU NIWAOMBE TUMSAIDIE HUYU BABA 馃槳馃槳馃槳 KWANI HATOWEZA KUFANYA DIALYSIS MPAKA APATE SINDANO HIZO 5 NA IKUMBUKE FIGO ZOTE MBILI ZIMEKUFA DIALYSIS NDIO UHAI WAKE 馃槪馃槪馃槬馃槬馃槬 0745787549 Mpesa JABILI ALLY ISSA "KUTOA NI MOYO SI UTAJURI " 馃檹
    Sad
    1
    1 Comments 0 Shares 444 Views
  • Baba wa hivyo
    Baba wa hivyo 馃槀
    Like
    1
    1 Comments 0 Shares 92 Views
  • Kwa mujibu wa Sheria , kanuni na utaratibu wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), Mchezaji anaruhusiwa kucheza Taifa ya Nchi husika (Tanzania) endapo atakuwa na vigezo vifuatavyo:

    - Amezaliwa Tanzania
    - Baba yake au Mama yake amezaliwa Tanzania
    - Babu yake au Bibi yake amezaliwa Tanzania
    - Ameishi Tanzania angalau miaka mitatu (3) Kabla hajafikisha miaka kumi (10)

    - Ameishi Tanzania akiwa na umri kati ya miaka 10-18 kwa angalau miaka mitano (5). Na kama ni kuanzia miaka (18) nayo ni miaka mitano (5)

    - Mchezaji lazima atoe ushahidi Kwamba sababu ambazo zimemfanya aje Tanzania sio za kimpira.

    Kwa mujibu wa Sheria , kanuni na utaratibu wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), Mchezaji anaruhusiwa kucheza Taifa ya Nchi husika (Tanzania) endapo atakuwa na vigezo vifuatavyo: - Amezaliwa Tanzania - Baba yake au Mama yake amezaliwa Tanzania - Babu yake au Bibi yake amezaliwa Tanzania - Ameishi Tanzania angalau miaka mitatu (3) Kabla hajafikisha miaka kumi (10) - Ameishi Tanzania akiwa na umri kati ya miaka 10-18 kwa angalau miaka mitano (5). Na kama ni kuanzia miaka (18) nayo ni miaka mitano (5) - Mchezaji lazima atoe ushahidi Kwamba sababu ambazo zimemfanya aje Tanzania sio za kimpira.
    Like
    1
    1 Comments 0 Shares 326 Views
  • Naitwa nani Baba Yanga
    Naitwa nani Baba Yanga馃槀
    Like
    1
    1 Comments 0 Shares 123 Views
More Results