• kwa mujibu wa Jarida la Forbes, hii hapa orodha ya Jamii ya Watu Weusi wenye utajiri mkubwa Duniani kwa Mwaka 2025 ambapo wanakadariwa kumiliki utajiri wa dola bilioni 96.2. Wengi wao utajiri wao unatokana sekta za teknolojia, fedha, nishati na burudani, huku Mfanyabiashara Aliko Dangote wa Nigeria akiongoza kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 23.9.

    1. Aliko Dangote (Nigeria) : $23.9B (Saruji, sukari)
    2. David Steward (Marekani) : $11.4B (Teknolojia)
    3. Robert F. Smith (Marekani) : $10.8B (Uwekezaji binafsi)

    4. Alexander Karp (Marekani) : $8.4B (Programu za uchambuzi wa data)
    5. Mike Adenuga (Nigeria) : $6.8B (Mawasiliano, mafuta)
    6. Abdulsamad Rabiu (Nigeria) : $5.1B (Saruji, sukari)

    7. Michael Jordan (Marekani) : $3.5B (Michezo, matangazo)
    8. Patrice Motsepe (Afrika Kusini) : $3B (Madini)
    9. Oprah Winfrey (Marekani) : $3B (Runinga)

    10. Jay-Z (Marekani) : $2.5B (Muziki, biashara)
    11. Adebayo Ogunlesi (Marekani) :$2.2B (Uwekezaji binafsi)
    12. Magic Johnson (Marekani) : $1.5B (Michezo, uwekezaji)

    13. Femi Otedola (Nigeria) : $1.5B (Nishati)
    14. Tope Awotona (Marekani) : $1.4B (Programu "Calendly")
    15. Tyler Perry (Marekani) : $1.4B (Filamu, Runinga)

    16. Tiger Woods (Marekani) : $1.4B (Gofu)
    17. Rihanna (Barbados) : $1.4B (Muziki, urembo)
    18. Mo Ibrahim (Uingereza) : $1.3B (Mawasiliano)

    19. LeBron James (Marekani) : $1.3B (Kikapu)
    20. Strive Masiyiwa (Zimbabwe) : $1.2B (Mawasiliano)
    21. Michael Lee-Chin (Canada) : $1.1B (Uwekezaji wa fedha)

    22. Herriot Tabuteau (Marekani) : $1.1B (Afya)
    23. Sheila Johnson (Marekani) : $1B (Runinga, hoteli)

    kwa mujibu wa Jarida la Forbes, hii hapa orodha ya Jamii ya Watu Weusi wenye utajiri mkubwa Duniani kwa Mwaka 2025 ambapo wanakadariwa kumiliki utajiri wa dola bilioni 96.2. Wengi wao utajiri wao unatokana sekta za teknolojia, fedha, nishati na burudani, huku Mfanyabiashara Aliko Dangote wa Nigeria 🇳🇬 akiongoza kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 23.9. 1. Aliko Dangote (Nigeria) : $23.9B (Saruji, sukari) 2. David Steward (Marekani) : $11.4B (Teknolojia) 3. Robert F. Smith (Marekani) : $10.8B (Uwekezaji binafsi) 4. Alexander Karp (Marekani) : $8.4B (Programu za uchambuzi wa data) 5. Mike Adenuga (Nigeria) : $6.8B (Mawasiliano, mafuta) 6. Abdulsamad Rabiu (Nigeria) : $5.1B (Saruji, sukari) 7. Michael Jordan (Marekani) : $3.5B (Michezo, matangazo) 8. Patrice Motsepe (Afrika Kusini) : $3B (Madini) 9. Oprah Winfrey (Marekani) : $3B (Runinga) 10. Jay-Z (Marekani) : $2.5B (Muziki, biashara) 11. Adebayo Ogunlesi (Marekani) :$2.2B (Uwekezaji binafsi) 12. Magic Johnson (Marekani) : $1.5B (Michezo, uwekezaji) 13. Femi Otedola (Nigeria) : $1.5B (Nishati) 14. Tope Awotona (Marekani) : $1.4B (Programu "Calendly") 15. Tyler Perry (Marekani) : $1.4B (Filamu, Runinga) 16. Tiger Woods (Marekani) : $1.4B (Gofu) 17. Rihanna (Barbados) : $1.4B (Muziki, urembo) 18. Mo Ibrahim (Uingereza) : $1.3B (Mawasiliano) 19. LeBron James (Marekani) : $1.3B (Kikapu) 20. Strive Masiyiwa (Zimbabwe) : $1.2B (Mawasiliano) 21. Michael Lee-Chin (Canada) : $1.1B (Uwekezaji wa fedha) 22. Herriot Tabuteau (Marekani) : $1.1B (Afya) 23. Sheila Johnson (Marekani) : $1B (Runinga, hoteli)
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • Jarida la Forbes toleo la mwaka huu wa 2025 limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa Watu Matajiri Duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Shilingi Trilioni 5.7 za Kitanzania. Mo Dewji, anakuwa tajiri namba 12 barani Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa kiwango hicho.

    2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha utajiri wa Mo
    Dewji umeongezeka na kufikia, dola bilioni 2.2 kutoka dola bilioni 1.8 mwaka jana.

    3. Orodha ya Forbes ya Matajiri wa Afrika kwa mwaka 2024 ilibainisha kuwa utajiri wa Mo Dewji umeongezeka kutoka dola bilioni 1.5 hadi bilioni 1.8.

    4. Licha ya utajiri huo, MO Dewji kupitia kampuni ya Mohamed Entrprises Limited (MeTL) imezalisha ajira 40,000 kwa Watanzania, kupitia biashara 126 zinazofanywa na kampuni hiyo.

    5. Lengo la Mo Dewji ni kuongeza ajira hadi kufikia laki moja kwa Watanzania na wana-Afrika Mashariki.

    6. Mo Dewji kupitia MoDewjl Foundation, imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Maji, kuchimba visima, kukarabati na kutibu maji mkakati uliosaidia Watu zaidi ya 15,000 kupata maji salama ya kunywa.

    7. Utajiri wa Mo Dewji haikushia kwenye maji na afya pekee, umekwenda zaidi na kuwekeza katika tasnia ya michezo ambako ni sehemu ya Mmiliki akiwekeza
    asilimia 49 kwenye klabu ya Simba SC.

    Jarida la Forbes toleo la mwaka huu wa 2025 limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa Watu Matajiri Duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Shilingi Trilioni 5.7 za Kitanzania. Mo Dewji, anakuwa tajiri namba 12 barani Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa kiwango hicho. 2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha utajiri wa Mo Dewji umeongezeka na kufikia, dola bilioni 2.2 kutoka dola bilioni 1.8 mwaka jana. 3. Orodha ya Forbes ya Matajiri wa Afrika kwa mwaka 2024 ilibainisha kuwa utajiri wa Mo Dewji umeongezeka kutoka dola bilioni 1.5 hadi bilioni 1.8. 4. Licha ya utajiri huo, MO Dewji kupitia kampuni ya Mohamed Entrprises Limited (MeTL) imezalisha ajira 40,000 kwa Watanzania, kupitia biashara 126 zinazofanywa na kampuni hiyo. 5. Lengo la Mo Dewji ni kuongeza ajira hadi kufikia laki moja kwa Watanzania na wana-Afrika Mashariki. 6. Mo Dewji kupitia MoDewjl Foundation, imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Maji, kuchimba visima, kukarabati na kutibu maji mkakati uliosaidia Watu zaidi ya 15,000 kupata maji salama ya kunywa. 7. Utajiri wa Mo Dewji haikushia kwenye maji na afya pekee, umekwenda zaidi na kuwekeza katika tasnia ya michezo ambako ni sehemu ya Mmiliki akiwekeza asilimia 49 kwenye klabu ya Simba SC.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·954 Views
  • Back in 2016, Conor McGregor told Cristiano Ronaldo that he’d become the number 1 on the Forbes list.

    Fast forward to 2021, he done exactly that, beating Cristiano Ronaldo and Lionel Messi whilst taking in $180M

    Spoke it into existence

    -

    #mma #ufc #viral #conormcgregor #sports #cristianoronaldo #forbes #lionelmessi
    Back in 2016, Conor McGregor told Cristiano Ronaldo that he’d become the number 1 on the Forbes list. Fast forward to 2021, he done exactly that, beating Cristiano Ronaldo and Lionel Messi whilst taking in $180M 😳💰 Spoke it into existence 🗣️ - #mma #ufc #viral #conormcgregor #sports #cristianoronaldo #forbes #lionelmessi
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·950 Views
  • Wachezaji wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani 2024
    .CHANZO CHA PICHA,REUTERS
    Maelezo ya picha,Christiano Ronaldo
    17 Mei 2024
    Cristiano Ronaldo ameongoza orodha ya Forbes ya wanariadha wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mara ya nne katika maisha yake ya soka, huku Jon Rahm mcheza gofu akipanda hadi nafasi ya pili.

    Ronaldo pia aliongoza orodha hiyo mwaka jana baada ya kuhamia klabu ya soka ya Saudi Arabia ya Al Nassr.

    Jarida la biashara la Forbes linasema, mshambuliaji huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 39 alipata kiasi cha $260m (£205m) - kutoka $136m (£108.7m) - katika kipindi cha miezi 12 iliyopita.

    Mpinzani mkubwa wa Ronaldo Lionel Messi ameporomoka hadi nafasi ya tatu nyuma ya Rahm.

    Mchezaji gofu wa Uhispania amepanda hadi nafasi pili nyuma kabla ya kufanyika kwa safari yake ya kwenda kucheza Gofu ya LIV inayofadhiliwa na Saudia na anaripotiwa kupata $218m (£172m).

    Mcheza gofu huyo wa Uhispania ni mmoja wa wanariadha 22 walio na umri wa chini ya miaka 30 kwenye orodha hiyo, jambo ambalo linaweza kuashiria mabadiliko.

    Wachezaji waliodumu katika hiyo orodha kama vile Serena Williams, Roger Federer na Tom Brady tayari wamestaafu , wakati Ronaldo, LeBron James, Tiger Woods na wanariadha wengine watatu wenye umri wa miaka 39 au zaidi, pia nao wakitarajiwa kuchukua hatua hiyo hivi karibuni.

    Wanasoka Neymar na Karim Benzema pia wameingia kwenye 10 bora baada ya kuhamia katika ligi ya soka ya Saudi Pro League.

    Giannis Antetokounmpo (katika nafasi ya tano) anaungana na nyota wenzake wa mpira wa vikapu LeBron James (wa nne) na Stephen Curry (wa tisa) kwenye orodha hiyo , huku beki wa pembeni wa kandanda wa Marekani Lamar Jackson akiwa katika nafasi ya 10.##Sports view
    Wachezaji wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani 2024 .CHANZO CHA PICHA,REUTERS Maelezo ya picha,Christiano Ronaldo 17 Mei 2024 Cristiano Ronaldo ameongoza orodha ya Forbes ya wanariadha wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mara ya nne katika maisha yake ya soka, huku Jon Rahm mcheza gofu akipanda hadi nafasi ya pili. Ronaldo pia aliongoza orodha hiyo mwaka jana baada ya kuhamia klabu ya soka ya Saudi Arabia ya Al Nassr. Jarida la biashara la Forbes linasema, mshambuliaji huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 39 alipata kiasi cha $260m (£205m) - kutoka $136m (£108.7m) - katika kipindi cha miezi 12 iliyopita. Mpinzani mkubwa wa Ronaldo Lionel Messi ameporomoka hadi nafasi ya tatu nyuma ya Rahm. Mchezaji gofu wa Uhispania amepanda hadi nafasi pili nyuma kabla ya kufanyika kwa safari yake ya kwenda kucheza Gofu ya LIV inayofadhiliwa na Saudia na anaripotiwa kupata $218m (£172m). Mcheza gofu huyo wa Uhispania ni mmoja wa wanariadha 22 walio na umri wa chini ya miaka 30 kwenye orodha hiyo, jambo ambalo linaweza kuashiria mabadiliko. Wachezaji waliodumu katika hiyo orodha kama vile Serena Williams, Roger Federer na Tom Brady tayari wamestaafu , wakati Ronaldo, LeBron James, Tiger Woods na wanariadha wengine watatu wenye umri wa miaka 39 au zaidi, pia nao wakitarajiwa kuchukua hatua hiyo hivi karibuni. Wanasoka Neymar na Karim Benzema pia wameingia kwenye 10 bora baada ya kuhamia katika ligi ya soka ya Saudi Pro League. Giannis Antetokounmpo (katika nafasi ya tano) anaungana na nyota wenzake wa mpira wa vikapu LeBron James (wa nne) na Stephen Curry (wa tisa) kwenye orodha hiyo , huku beki wa pembeni wa kandanda wa Marekani Lamar Jackson akiwa katika nafasi ya 10.##Sports view
    Love
    Like
    4
    · 2 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·524 Views