• Privaldinho amjia juu Juma Ayo (Mchambuzi) kisa chapisho lake pichani.

    "Ni kijana mtanzania anayechukia kijana Mtanzania mwenzake akipewa credit. Halafu kutwa agapiga simu kwa Injinia kuhitaji msaada.

    Tanzania tunajivunia kuwa na kiongozi mkubwa kwenye ngazi ya soka Kimataifa, lakini anatokea bumunda mmoja anataka kudogodesha jambo hili.

    Hawa ndio waliomsifia sana yule Dada aliyekuwa Ukoloni enzi hizo. Leo anajaribu kubadilisha agenda kuwa ACA sio chombo huru.

    Tazama huyu ni mwandishi ambaye hajui ACA inafanyaje kazi. Sasa kama ACA ni chombo kinachojumuisha viongozi wa vilabu ni kivipi CAF inaingilia utendaji wake?

    Shida tasnia ya habari imeruhusu vichwa maji wengi kutoa maoni kwenye platform kubwa. Tunakosa kusikiliza watu wenye weledi tunasikiliza waropokaji.

    Kuna muda unajiuliza hawa watu wanatumwa au wanatumika au hawana uelewa wa mambo unagundua inawezekana vyote kwa pamoja kwa sababu haiwezekan mtu mwenye akili akatumika kujidhalilisha.

    Wakati tunataka kuweka uhuru wa vilabu kwenye maamuzi anakuja kapuku mmoja anakwambia ACA ni chombo cha CAF.? Muulize uchaguzi wa ACA umefanyikaje! Hajui

    ACA sio chama kinachoongozwa na mtu, ni ushirika wa vilabu vyote ambavyo vimejisali. Mwenyekiti kazi yake kusimamia maamuzi ya msimamo wa Chama ikiwa ni pamoja na utekelezaji wake na kuwaongoza wenzake kulingana na maono yake.
    #
    Uanzishwaji wa ACA hauna tofauti na ECA. Je ECA s ndio hao hao ambao walikataa Superleague tena mwenyekiti wa ECA wakati ule Agnelli alikuwa muumini wa Superleague lakini aliheshimu maamuzi ya Chama.

    Maana yake nini? ACA ni chombo huru kinachojitegemea. Kazi yake kuu kulinda maslahi ya vilabu na sio maslahi ya CAF. Jifunzeni kufanya tafiti.

    Fanyeni kazi yenu kwa weledi. Acheni majungu na roho. Vijana wadogo mmejawa chuki na wivu usiokuwa na manufaa wala tija. Uchale chale unafanya mnataka kuiga watani na wasemaji kwenye utani wao mnauleta kwenye tasnia.

    St*pid" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.

    Privaldinho amjia juu Juma Ayo (Mchambuzi) kisa chapisho lake pichani. "Ni kijana mtanzania anayechukia kijana Mtanzania mwenzake akipewa credit. Halafu kutwa agapiga simu kwa Injinia kuhitaji msaada. Tanzania tunajivunia kuwa na kiongozi mkubwa kwenye ngazi ya soka Kimataifa, lakini anatokea bumunda mmoja anataka kudogodesha jambo hili. Hawa ndio waliomsifia sana yule Dada aliyekuwa Ukoloni enzi hizo. Leo anajaribu kubadilisha agenda kuwa ACA sio chombo huru. Tazama huyu ni mwandishi ambaye hajui ACA inafanyaje kazi. Sasa kama ACA ni chombo kinachojumuisha viongozi wa vilabu ni kivipi CAF inaingilia utendaji wake? Shida tasnia ya habari imeruhusu vichwa maji wengi kutoa maoni kwenye platform kubwa. Tunakosa kusikiliza watu wenye weledi tunasikiliza waropokaji. Kuna muda unajiuliza hawa watu wanatumwa au wanatumika au hawana uelewa wa mambo unagundua inawezekana vyote kwa pamoja kwa sababu haiwezekan mtu mwenye akili akatumika kujidhalilisha. Wakati tunataka kuweka uhuru wa vilabu kwenye maamuzi anakuja kapuku mmoja anakwambia ACA ni chombo cha CAF.? Muulize uchaguzi wa ACA umefanyikaje! Hajui ACA sio chama kinachoongozwa na mtu, ni ushirika wa vilabu vyote ambavyo vimejisali. Mwenyekiti kazi yake kusimamia maamuzi ya msimamo wa Chama ikiwa ni pamoja na utekelezaji wake na kuwaongoza wenzake kulingana na maono yake. # Uanzishwaji wa ACA hauna tofauti na ECA. Je ECA s ndio hao hao ambao walikataa Superleague tena mwenyekiti wa ECA wakati ule Agnelli alikuwa muumini wa Superleague lakini aliheshimu maamuzi ya Chama. Maana yake nini? ACA ni chombo huru kinachojitegemea. Kazi yake kuu kulinda maslahi ya vilabu na sio maslahi ya CAF. Jifunzeni kufanya tafiti. Fanyeni kazi yenu kwa weledi. Acheni majungu na roho. Vijana wadogo mmejawa chuki na wivu usiokuwa na manufaa wala tija. Uchale chale unafanya mnataka kuiga watani na wasemaji kwenye utani wao mnauleta kwenye tasnia. St*pid" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.
    0 Comments ·0 Shares ·842 Views
  • 𝙴𝚠𝚎 𝙼𝚄𝙽𝙶𝚄 𝚋𝚘𝚖𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚐𝚞 𝚖𝚠𝚒𝚗𝚐𝚒 𝚠𝚊 𝚛𝚎𝚑𝙴𝙼𝙰
    unatoa F𝚄𝙽𝙶𝚄 bila majungu kwa wazima na vi𝚕EMA
    ee bwana 𝚞𝚜𝚒𝚝𝚞𝚕𝚊umu katika ghadhabu zAKO
    wala usituadhibu k𝚠a ukali wa hasira zAKO
    𝙴𝚠𝚎 𝙼𝚄𝙽𝙶𝚄 𝚋𝚘𝚖𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚐𝚞 𝚖𝚠𝚒𝚗𝚐𝚒 𝚠𝚊 𝚛𝚎𝚑𝙴𝙼𝙰 unatoa F𝚄𝙽𝙶𝚄 bila majungu kwa wazima na vi𝚕EMA ee bwana 𝚞𝚜𝚒𝚝𝚞𝚕𝚊umu katika ghadhabu zAKO wala usituadhibu k𝚠a ukali wa hasira zAKO
    Like
    Love
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·351 Views
  • nikiamka huwa namshukuru muNGU..
    ye huwa anagawa mafuNGU..
    hata kama naumwa hUWA simsahau muNGU..
    ye ndio ametugawa mafuNGU..
    kunawanao mwabudu muNGU..
    kunawanao piga majuNGU..
    ila sisi sote niwanao m/muNGU..
    nikiamka huwa namshukuru muNGU.. ye huwa anagawa mafuNGU.. hata kama naumwa hUWA simsahau muNGU.. ye ndio ametugawa mafuNGU.. kunawanao mwabudu muNGU.. kunawanao piga majuNGU.. ila sisi sote niwanao m/muNGU..
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·355 Views
  • Juu ya mnafiki ni face ya Majungu...
    Nyakati za dhiki ni face's za Uchungu...
    Juu ya mnafiki ni face ya Majungu... Nyakati za dhiki ni face's za Uchungu...
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·342 Views
  • Am back again mwandamizi mfuwadhi wa tungo #salaries
    Michoro black combain kwa miluzi hii its not rap #siries
    ben wa michoro na tungo za kiimani Fanya moyo mnyofu taamka #kinywani
    Hichi kidonge cha mpenda rap kwenye map utusue #hewani
    Hip hop sio maji beba peleka bafuni lazma uumize kichwa kama umeng'atwa #kunguni
    Mwenda wa zimu aliechanganyikiwa kwa virusi vya #hip hop
    Natema ngumu kwenye beat napachika #mnofu
    Wananiita teacher ingawa me lecture wa #chuo
    All Mcz nawapa rhymes kwa mgao ili mnipe #cheo
    Ata Siku nikifa tungo zangu mtatumia kama #kombeo
    Paroko damu yangu ulimwengu umejaa #majungu
    Mcz na marapa bifu za kijinga tuzitupe kwenye #uvungu
    Vina kalandika pamoja toka ujana mpaka tuna #pinda
    Am back again mwandamizi mfuwadhi wa tungo #salaries Michoro black combain kwa miluzi hii its not rap #siries ben wa michoro na tungo za kiimani Fanya moyo mnyofu taamka #kinywani Hichi kidonge cha mpenda rap kwenye map utusue #hewani Hip hop sio maji beba peleka bafuni lazma uumize kichwa kama umeng'atwa #kunguni Mwenda wa zimu aliechanganyikiwa kwa virusi vya #hip hop Natema ngumu kwenye beat napachika #mnofu Wananiita teacher ingawa me lecture wa #chuo All Mcz nawapa rhymes kwa mgao ili mnipe #cheo Ata Siku nikifa tungo zangu mtatumia kama #kombeo Paroko damu yangu ulimwengu umejaa #majungu Mcz na marapa bifu za kijinga tuzitupe kwenye #uvungu Vina kalandika pamoja toka ujana mpaka tuna #pinda
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·2K Views
  • Nikiamka huwa namshukuru mungu..
    Ye huwa anagawa mafungu..
    Hata kama naumwa huwa simsahau mungu..
    Ye ndio ametugawa mafungu..
    Kunawanao mwabudu mungu..
    Kunawanao piga majungu..
    Ila sisi sote niwanao m/mungu..
    Nikiamka huwa namshukuru mungu.. Ye huwa anagawa mafungu.. Hata kama naumwa huwa simsahau mungu.. Ye ndio ametugawa mafungu.. Kunawanao mwabudu mungu.. Kunawanao piga majungu.. Ila sisi sote niwanao m/mungu..
    0 Comments ·0 Shares ·339 Views
  • Nashukuru kuipata hii neema ya MUNGU/
    Binadamu sio wema wanaleta majungu/
    Mbele giza umejaa ukungu/
    Kuigiza kwingi wanaleta uzungu/
    Nashukuru kuipata hii neema ya MUNGU/ Binadamu sio wema wanaleta majungu/ Mbele giza umejaa ukungu/ Kuigiza kwingi wanaleta uzungu/
    0 Comments ·0 Shares ·376 Views
  • ukunambia, kama mwisho umefika../
    ukanipa wosia na mambo mengi kadhalika../

    na sikuhofia kama siku zitafika../
    nivute kheri kwa mbali nikingoja kumwagika../

    mbona umesepa? ata bila kuniita..?/
    mbona sina alama wapi upo nije kita..?/

    bado nahisi kasi kwenye life lenye mita../
    mchizi wangu wa nafsi njoo basi nakuita../

    umepotea mwana nawaza vipi nafika../
    sina hasi wala chanya nakaza moyo najipa../

    mjane kere mbele yatima yowe za uchungu../
    wanalia kila siku lawama zao kwa mungu../

    wanawaza kula kulala yote mafungu../
    wanawaza ndoto busara zi wapi mbingu..?/

    hakuna sala mikwara kote majungu../
    kuzikwepa pombe bangi sigara wizi na rungu../

    mbona mapema ungevunga japo kidogo../
    kumbe ulipohema hema ndo mwendo sample ni jodo../

    mchizi wangu rafiki yangu wa label../
    nenda bwana nenda bwana hatia mungu ni shebo../
    ukunambia, kama mwisho umefika../ ukanipa wosia na mambo mengi kadhalika../ na sikuhofia kama siku zitafika../ nivute kheri kwa mbali nikingoja kumwagika../ mbona umesepa? ata bila kuniita..?/ mbona sina alama wapi upo nije kita..?/ bado nahisi kasi kwenye life lenye mita../ mchizi wangu wa nafsi njoo basi nakuita../ umepotea mwana nawaza vipi nafika../ sina hasi wala chanya nakaza moyo najipa../ mjane kere mbele yatima yowe za uchungu../ wanalia kila siku lawama zao kwa mungu../ wanawaza kula kulala yote mafungu../ wanawaza ndoto busara zi wapi mbingu..?/ hakuna sala mikwara kote majungu../ kuzikwepa pombe bangi sigara wizi na rungu../ mbona mapema ungevunga japo kidogo../ kumbe ulipohema hema ndo mwendo sample ni jodo../ mchizi wangu rafiki yangu wa label../ nenda bwana nenda bwana hatia mungu ni shebo../
    0 Comments ·0 Shares ·334 Views
  • Tunaishi sababu ya MUNGU!!
    majungu maranyingi huishi KWANDUGU!!
    liziki mafungu usiforce TUFANANE!!
    Huaga silali kutwa nasaka MAPENE!!
    Tunaishi sababu ya MUNGU!! majungu maranyingi huishi KWANDUGU!! liziki mafungu usiforce TUFANANE!! Huaga silali kutwa nasaka MAPENE!!
    0 Comments ·0 Shares ·332 Views
  • mzawa,,, napiga harakati,,, mafichoni kama mkimbizi!!
    chawa,,, wana nanishusha chati,,, kwa promo za machizi!!
    nyuma,,, narudi kwa majungu,,, ya wasio penda nifike!!
    najituma,,, huku namuomba mungu,,, mkono anishike!!
    mzawa,,, napiga harakati,,, mafichoni kama mkimbizi!! chawa,,, wana nanishusha chati,,, kwa promo za machizi!! nyuma,,, narudi kwa majungu,,, ya wasio penda nifike!! najituma,,, huku namuomba mungu,,, mkono anishike!!
    0 Comments ·0 Shares ·379 Views
  • Bila ya kujuwa, kumbe wananisema..
    Et sitopiga hatua, sitofanya vyema..
    Marafiki pika pakua, kumbe sio wema..
    Mwisho nimekuja kujua, yupi m'baya yupi mwema..
    Nashukuru kuipata hii neema ya mungu..
    Binadamu sio wema wanaleta majungu..
    Mbele giza umejaa ukungu..
    Kuigiza kwingi wanaleta uzungu..
    Marafiki nungunungu kuwakumbatia ni hatari..
    Kuikataa dom il kufanya harakati nyingine fresh tu mi sijali..
    Bila ya kujuwa, kumbe wananisema.. Et sitopiga hatua, sitofanya vyema.. Marafiki pika pakua, kumbe sio wema.. Mwisho nimekuja kujua, yupi m'baya yupi mwema.. Nashukuru kuipata hii neema ya mungu.. Binadamu sio wema wanaleta majungu.. Mbele giza umejaa ukungu.. Kuigiza kwingi wanaleta uzungu.. Marafiki nungunungu kuwakumbatia ni hatari.. Kuikataa dom il kufanya harakati nyingine fresh tu mi sijali..
    0 Comments ·0 Shares ·385 Views
  • Bila ya kujuwa, kumbe wananisema..
    Et sitopiga hatua, sitofanya vyema..
    Marafiki pika pakua, kumbe sio wema..
    Mwisho nimekuja kujua, yupi m'baya yupi mwema..
    Nashukuru kuipata hii neema ya mungu..
    Binadamu sio wema wanaleta majungu..
    Mbele giza umejaa ukungu..
    Kuigiza kwingi wanaleta uzungu..
    Marafiki nungunungu kuwakumbatia ni hatari..
    Kuikataa dom il kufanya harakati nyingine fresh tu mi sijali..
    Bila ya kujuwa, kumbe wananisema.. Et sitopiga hatua, sitofanya vyema.. Marafiki pika pakua, kumbe sio wema.. Mwisho nimekuja kujua, yupi m'baya yupi mwema.. Nashukuru kuipata hii neema ya mungu.. Binadamu sio wema wanaleta majungu.. Mbele giza umejaa ukungu.. Kuigiza kwingi wanaleta uzungu.. Marafiki nungunungu kuwakumbatia ni hatari.. Kuikataa dom il kufanya harakati nyingine fresh tu mi sijali..
    0 Comments ·0 Shares ·248 Views
  • @Maneno majungu fitina shauri zao Sina Habari nao ridhiki hawatoi wao
    @Maneno majungu fitina shauri zao Sina Habari nao ridhiki hawatoi wao😎😎
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·181 Views