• Kaka yake, Josh Jones, alisikia sauti za John akilia kwa uchungu.

    Alipojaribu kumvuta, aligundua kuwa amekwama vibaya sana.

    John alikuwa amepinda vibaya, kifua chake kimesukumwa dhidi ya mwamba, na hawezi kupumua vizuri.

    Kila sekunde iliyopita, damu yake ilianza kushindwa kuzunguka mwilini.

    Josh alipiga mayowe ya msaada, na hivi karibuni, vikosi vya uokoaji vilifika.

    Lakini walichokiona kilikuwa cha kutisha zaidi ya walivyodhani.
    Kaka yake, Josh Jones, alisikia sauti za John akilia kwa uchungu. Alipojaribu kumvuta, aligundua kuwa amekwama vibaya sana. John alikuwa amepinda vibaya, kifua chake kimesukumwa dhidi ya mwamba, na hawezi kupumua vizuri. Kila sekunde iliyopita, damu yake ilianza kushindwa kuzunguka mwilini. Josh alipiga mayowe ya msaada, na hivi karibuni, vikosi vya uokoaji vilifika. Lakini walichokiona kilikuwa cha kutisha zaidi ya walivyodhani.
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·185 Views
  • OPERATION ENTEBBE -3

    Siku ya July 3 mwaka huo 1976 saa 12 na nusu ya jioni takribani masaa kadhaa kabla ya kufikia deadline ya mwisho waliyopewa na watekaji (July 4), Waziri mkuu wa Israel Yitzhak Rabin alitia saini nyaraka ya kuidhinisha oparesheni ya kijeshi ya uokozi (rescue mission) ambayo iliwasilishwa mezani na Meja Jenerali Yekutiel Adam (maarufu kwa jina la “Kuti”) na Brigedia Generali Dan Shomron. Pia kwa mujibu wa nyaraka hiyo iliyosainiwa na Waziri mkuu, Shomron aliteuliwa kuwa Kamanda wa utekelezaji wa Oparesheni.
    Baada ya oparesheni hii kuidhinishwa rasmi na Baraza la Mawaziri muda huo nilioutaja hapo juu, Meja Jenerali Yekutiel Adam na Brigedia Generali Dan SHomron walikusuka kikosi cha kijeshi kwa ajili ya kutekeleza oparesheni hiyo kama ifuatavyo;
    The Ground Command
    Hiki kilikuwa ni kikosi (japo sio kikosi haswa) ambcho kilikuwa na watu wawili tu, Brigedia Generali Dan Shomron na mwakilishi wa jeshi la Anga la Israel Kanali Ami Ayalon na watu wachache wa masasiliano ya jeshi. Kikosi hiki ndicho ambacho kilikuwa na amri ya mwisho juu ya nini wanajeshi walikuwa wanatakiwa kufanya pindi wakakapoanza utekelezaji wa oparesheni.
    The Asault Team
    Timu hii ilipewa kazi ya kuvamia jengo la uwanja wa ndege ambalo mateka walikuwa wanashikiliwa na kuokoa mateka wote waliomo humo.
    Kikosi hiki kilikuwa na wanajeshi 29 ambacho kiliongozwa na Luteni Kanali Yonathan Netanyahu (kaka yake Waziri Mkuu wa sasa wa Israel, Benjamin Netanyahu). Kikosi hiki kilijumuisha makomando wenye weledi wa hali juu kutoka katika kitengo maalumu cha jeshi la Israel kiitwacho SAYERET MATKAL.
    Nieleze kidogo kuhusu Sayet Matkal.
    Hiki ni kikosi cha weledi maalumu (special force) ndani ya jeshi la Israel la IDF. Makomando wanofuzu kutumika katika kikosi hiki, licha ya kupata mafunzo yote ya kijeshi kama wanajeshi wengine lakini wanaongezewa mafunzo mengine adhimu zaidi kuwafanya waweze kutekeleza oparesheni hata katika mazingira ambayo kwa akili ya kijeshi ya kawaida inaonekana kwamba hakuna uwezekano wa kufanikiwa kwa oparesheni hiyo.
    Mfano wa mafunzo haya adhimu ambayo wanapatiwa ni pamoja na ukusanyaji wa intelijensia, kufanya ‘deep recon’ (nimekosa Kiswahili chake) katika uwanja wa vita, upenyezaji wa intelijensia za kimkakati (strategic intelligence) mafunzo adhimu ya counterterrorism pamoja na uokozi wa mateka nje ya mipaka ya Israel.
    Kwa namna fulani ili kukielewa kikosi hiki unaweza kukifananisha na kikosi cha SAS kwenye jeshi la nchi ya Uingereza japo vinatofauti fulani bado. Ila kwa ufupi huo ndio muonekano wa Sayeret Matkal na shughuli zake.
    The securing Element
    Kikosi hiki kiligawanywa katika vikundi vidogo vidogo vitatu ili kuleta ufanisi.
    1.Paratroopers – hawa waliongozwa na Kanali Matan Vilnai. Kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha hakuna shughuli zozote zinaendelea ndani ya uwanja wa ndege wa Entebbe qawakati ambao oparesheni hiyo inatekelezwa. Pia walikuwa wanatakiwa kuhakikisha kuwa njia ya kurukia ndege (runway) iko ‘clear’ muda wote. Pamoja na hayo kikosi hiki pia walikuwa ndio wanaowajibika kulinda ndege za kijeshi za Israel muda wote zinatakapo kuwa kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe pamoja na ujazaji mafuta.
    2. The Golani Force – kikundi hikicha kijeshi kiliongozwa na Kanali Uri Sagi. Kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha kunakuwa na ulinzi wa yale madege makubwa aina ya Lockheed Harcules C-130. Pia walitakiwa kuyasogeza madege hayo karibu kabisa na terminal ambayo mateka walikuwepo ili waweze kuwapakia pindi ambapo uokozi ukiwa umefanikiwa. Lakini pia kikundi hiki kilifanya kazi kama ‘kikosi’ cha akiba endapo ambapo kungetoke dharura ya upungufu katika kikosi kingine.
    3. The Sayeret Matkal Force – kikosi hiki nacho pia kama ilivyo kwa ‘Assault Team’ ambayo nimeiongelea hapo juu, nacho pia kiliundwa na makomando wa Sayeret Matkal na kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha kuwa hakukuwa na ‘interception’ yoyote kutoka kwenye jeshi la anga la Uganda na kuwa tayari kuwazuia na kuzuia shambulizi lolote la kijeshi ikitokea kwamba wanajeshi wa Uganda walioko uwanja wa ndege wakiomba msaada kutoka kambi ya jeshi iliyoko ndani ya jiji la Entebbe.
    Kwa ujumla huo ndio ulikuwa muonekano kamili wa Kikosi kizima na majukumu ya wanajeshi wote waliohusia katika oparesheni ya uokozi kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe.
    USIKU WA TAREHE 3 JULY, 1976
    Hatimaye siku ya siku ikawadia, saa lililotarajiwa likafika. Ndege nne kubwa aina ya Lockheed Harcules C-130 zikiwa zimebea zaidi ya makomando 200 pamoja na ile gari Mercedes Limousine (pamoja na gari nyingine aina ya Land Rover) ambayo Ehud Barak alipendekeza waje nayo, ziliruka kutoka kwenye uwanja wa ndege wa kijeshi ulioko eneo la Sharm El Sheikh mpakani kabisa na Misri.
    Ndege hizi nne kubwa Lockheed Harcules C-130 zilisindikizwa nyuma na ndege mbili aina ya Boeing 707 ambazo moja ilikuwa imelengwa kutumiwa kama ‘command post’ na nyingine itumike kama hospitali kutibu majeruhi ambao watatokana na mapambano ya risasi ambayo walikuwa wanayategemea kati yao na watekaji pamoja na jeshi la Uganda.
    Ndege ziliruka katika njia ya kimataifa kupita Red sea na kwa muda mwingi wa safari yake zililazimika kuruka si zaidi ya mita 30 angani (kuna muda inaelezwa kuwa iliwabidi kuruka mpaka futi 35 kutoka ardhini) ili kuepuka kuonekana na rada za Misi, Sudan na Saud Arabia.
    Safari ilikuwa ngumu haswa hasa ukizingatia kuwa ndege kubwa kama zile zikiruka katika usawa wa karibu hivyo na ardhi mtikisiko unakuwa mkubwa haswa ndani ya ndege.
    Waliokaribia mchepuko wa kusini wa Red Sea ndege zilikata kona na kupita kusini mwa nchi ya Djibouti. Kutokea hapo walielekea mpaka kutokea kaskazini mashariki mwa Nairobi, Kenya na kisha Somalia na kupita eneo la Ogaden nchini Ethiopia.
    Kutoka hapo wakapinda magharibi kufuata bonde la ufa ba mpaka kutokea juu ya ziwa Victoria.
    Ikumbukwe kwamba kati ya ndege zile mbili za Boeing 707 zilizokuwa zinafuatia nyuma na zile Harcules nne, moja ambayo ilipangwa itumike kama hospitali ilitua Nairobi, uwanja wa ndege wa Jomo Kenyetta. Ile nyingine ambayo nimeeleza kwamba ilipangwa itumike kama ‘command post’ ilikuwa inaruka kuzunguka uwanja wa ndege wa Entebbe wakati ndege zile za kijeshi zikitua. Ndege hii (command post) haikutua uwanjani na kamanda mkuu wa oparesheni hii Meja Jenerali Yekutiel Adam alikuwa ndani yake kuwaongoza wenzake walipo ardhini.
    Mnamo saa 23:00 ndege za kijeshi za Israel zilitua kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe huku milango ya nyuma ya mizigo kwenye ndege ikiwa wazi.
    Hapa nieleze kidogo…
    Mbinu kuu ambayo jeshi la Israel walikuwa wanataka kuitumia ili kufanikisha Oparesheni hii ilikuwa ni kufanya shambulio la kushtukiza. !
    Kivipi?
    Katika sehemu iliyopita nilieleza kuwa Ehud Barak baada ya kukusanya intelijensia za kutosha akiwa Kenya, aliwaeleza wenzake kuwa wapakie gari aina ya Mercedes Limousine inayofanana kabisa na ile ambayo inatumiwa na Rais Idd Amin a Uganda ambayo ilikuwa na rangi nyeusi.
    Kwa kuwa walifahamu Rais Idd Amin alikuwa safarini nchini Mauritius kukabidhi uenyekiti wa O.A.U, hivyo walitaka kuigiza kana kwamba Idd Amin alikuwa anarejea kutoka safarini na alikuwa anaenda kutembelea mateka pale uwanja wa ndege kama ambavyo ilikuwa kawaida yake. Hii ndio sababu ya wao kwenda na ile gari nyeusi aina ya Mercedes Limousine pamoja na Land Rover… ambavyo ndivyo ilikuwa namna ambavyo Idd Amin alikuwa anapenda kwenda kutembelea pale uwanjani…. Mercedes Limousine ambayo ina mbeba yeye na nyuma yake gari aina ya Land Rover iliyo na walinzi wake.
    Kwa hiyo ndege ya kwanza ya jeshi la Israel ilipotua kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe ambao kwa muda huo wa saa tano usiku kulikuwa na giza tupu taa zote za uwanja wa ndege zikiwa zimezimwa. Ndege ilitua ikiwa imefunguliwa mlango wa nyuma wa mizigo, ambako ilitoka gari aina ya Mercedes Limousine ikiongozana na Landa Rover na moja kwa zikaendeshwa kuelekea kwenye geti la Terminal ambayo mateka walikuwa wamehifadhiwa.
    Walikuwa wamefaulu kuigiza kabisa msafara wa Idd amin unavyokuwa. Msafara ulikuwa unafanana kabisa na ule wa Idd Amin lakini tofauti ilikuwa kwamba gari hizi ndani yake kuliwa na makomamdo.
    Jambo la ajabu ni kwamba walipofika mbele ya geti la Terminal badala ya kuruhusiwa kupita, wanajeshi wa Uganda waliokuwa wanalinda getini waliinua bunduki zao na kuwanyoosha kuelea magari haya.
    Walichokuwa hawakijua makomando hawa ambacho wanajeshi hawa waliokuwa wanalinda hapa uwanjani walikijua ni kwamba, Siku moja ya kabla ya Idd Amin kwenda Mauritus alibadili rangi ya gari yake kutoka nyeusi kwenda rangi nyeupe.
    Kwa hiyo wanajeshi hawa wa Uganda walipoona magari haya walikuwa wanajua fika kuwa huyu hakuwa Rais wao Idd Amin.

    Itaendelea
    #TheBOLD_JF
    OPERATION ENTEBBE -3 Siku ya July 3 mwaka huo 1976 saa 12 na nusu ya jioni takribani masaa kadhaa kabla ya kufikia deadline ya mwisho waliyopewa na watekaji (July 4), Waziri mkuu wa Israel Yitzhak Rabin alitia saini nyaraka ya kuidhinisha oparesheni ya kijeshi ya uokozi (rescue mission) ambayo iliwasilishwa mezani na Meja Jenerali Yekutiel Adam (maarufu kwa jina la “Kuti”) na Brigedia Generali Dan Shomron. Pia kwa mujibu wa nyaraka hiyo iliyosainiwa na Waziri mkuu, Shomron aliteuliwa kuwa Kamanda wa utekelezaji wa Oparesheni. Baada ya oparesheni hii kuidhinishwa rasmi na Baraza la Mawaziri muda huo nilioutaja hapo juu, Meja Jenerali Yekutiel Adam na Brigedia Generali Dan SHomron walikusuka kikosi cha kijeshi kwa ajili ya kutekeleza oparesheni hiyo kama ifuatavyo; The Ground Command Hiki kilikuwa ni kikosi (japo sio kikosi haswa) ambcho kilikuwa na watu wawili tu, Brigedia Generali Dan Shomron na mwakilishi wa jeshi la Anga la Israel Kanali Ami Ayalon na watu wachache wa masasiliano ya jeshi. Kikosi hiki ndicho ambacho kilikuwa na amri ya mwisho juu ya nini wanajeshi walikuwa wanatakiwa kufanya pindi wakakapoanza utekelezaji wa oparesheni. The Asault Team Timu hii ilipewa kazi ya kuvamia jengo la uwanja wa ndege ambalo mateka walikuwa wanashikiliwa na kuokoa mateka wote waliomo humo. Kikosi hiki kilikuwa na wanajeshi 29 ambacho kiliongozwa na Luteni Kanali Yonathan Netanyahu (kaka yake Waziri Mkuu wa sasa wa Israel, Benjamin Netanyahu). Kikosi hiki kilijumuisha makomando wenye weledi wa hali juu kutoka katika kitengo maalumu cha jeshi la Israel kiitwacho SAYERET MATKAL. Nieleze kidogo kuhusu Sayet Matkal. Hiki ni kikosi cha weledi maalumu (special force) ndani ya jeshi la Israel la IDF. Makomando wanofuzu kutumika katika kikosi hiki, licha ya kupata mafunzo yote ya kijeshi kama wanajeshi wengine lakini wanaongezewa mafunzo mengine adhimu zaidi kuwafanya waweze kutekeleza oparesheni hata katika mazingira ambayo kwa akili ya kijeshi ya kawaida inaonekana kwamba hakuna uwezekano wa kufanikiwa kwa oparesheni hiyo. Mfano wa mafunzo haya adhimu ambayo wanapatiwa ni pamoja na ukusanyaji wa intelijensia, kufanya ‘deep recon’ (nimekosa Kiswahili chake) katika uwanja wa vita, upenyezaji wa intelijensia za kimkakati (strategic intelligence) mafunzo adhimu ya counterterrorism pamoja na uokozi wa mateka nje ya mipaka ya Israel. Kwa namna fulani ili kukielewa kikosi hiki unaweza kukifananisha na kikosi cha SAS kwenye jeshi la nchi ya Uingereza japo vinatofauti fulani bado. Ila kwa ufupi huo ndio muonekano wa Sayeret Matkal na shughuli zake. The securing Element Kikosi hiki kiligawanywa katika vikundi vidogo vidogo vitatu ili kuleta ufanisi. 1.Paratroopers – hawa waliongozwa na Kanali Matan Vilnai. Kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha hakuna shughuli zozote zinaendelea ndani ya uwanja wa ndege wa Entebbe qawakati ambao oparesheni hiyo inatekelezwa. Pia walikuwa wanatakiwa kuhakikisha kuwa njia ya kurukia ndege (runway) iko ‘clear’ muda wote. Pamoja na hayo kikosi hiki pia walikuwa ndio wanaowajibika kulinda ndege za kijeshi za Israel muda wote zinatakapo kuwa kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe pamoja na ujazaji mafuta. 2. The Golani Force – kikundi hikicha kijeshi kiliongozwa na Kanali Uri Sagi. Kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha kunakuwa na ulinzi wa yale madege makubwa aina ya Lockheed Harcules C-130. Pia walitakiwa kuyasogeza madege hayo karibu kabisa na terminal ambayo mateka walikuwepo ili waweze kuwapakia pindi ambapo uokozi ukiwa umefanikiwa. Lakini pia kikundi hiki kilifanya kazi kama ‘kikosi’ cha akiba endapo ambapo kungetoke dharura ya upungufu katika kikosi kingine. 3. The Sayeret Matkal Force – kikosi hiki nacho pia kama ilivyo kwa ‘Assault Team’ ambayo nimeiongelea hapo juu, nacho pia kiliundwa na makomando wa Sayeret Matkal na kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha kuwa hakukuwa na ‘interception’ yoyote kutoka kwenye jeshi la anga la Uganda na kuwa tayari kuwazuia na kuzuia shambulizi lolote la kijeshi ikitokea kwamba wanajeshi wa Uganda walioko uwanja wa ndege wakiomba msaada kutoka kambi ya jeshi iliyoko ndani ya jiji la Entebbe. Kwa ujumla huo ndio ulikuwa muonekano kamili wa Kikosi kizima na majukumu ya wanajeshi wote waliohusia katika oparesheni ya uokozi kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe. USIKU WA TAREHE 3 JULY, 1976 Hatimaye siku ya siku ikawadia, saa lililotarajiwa likafika. Ndege nne kubwa aina ya Lockheed Harcules C-130 zikiwa zimebea zaidi ya makomando 200 pamoja na ile gari Mercedes Limousine (pamoja na gari nyingine aina ya Land Rover) ambayo Ehud Barak alipendekeza waje nayo, ziliruka kutoka kwenye uwanja wa ndege wa kijeshi ulioko eneo la Sharm El Sheikh mpakani kabisa na Misri. Ndege hizi nne kubwa Lockheed Harcules C-130 zilisindikizwa nyuma na ndege mbili aina ya Boeing 707 ambazo moja ilikuwa imelengwa kutumiwa kama ‘command post’ na nyingine itumike kama hospitali kutibu majeruhi ambao watatokana na mapambano ya risasi ambayo walikuwa wanayategemea kati yao na watekaji pamoja na jeshi la Uganda. Ndege ziliruka katika njia ya kimataifa kupita Red sea na kwa muda mwingi wa safari yake zililazimika kuruka si zaidi ya mita 30 angani (kuna muda inaelezwa kuwa iliwabidi kuruka mpaka futi 35 kutoka ardhini) ili kuepuka kuonekana na rada za Misi, Sudan na Saud Arabia. Safari ilikuwa ngumu haswa hasa ukizingatia kuwa ndege kubwa kama zile zikiruka katika usawa wa karibu hivyo na ardhi mtikisiko unakuwa mkubwa haswa ndani ya ndege. Waliokaribia mchepuko wa kusini wa Red Sea ndege zilikata kona na kupita kusini mwa nchi ya Djibouti. Kutokea hapo walielekea mpaka kutokea kaskazini mashariki mwa Nairobi, Kenya na kisha Somalia na kupita eneo la Ogaden nchini Ethiopia. Kutoka hapo wakapinda magharibi kufuata bonde la ufa ba mpaka kutokea juu ya ziwa Victoria. Ikumbukwe kwamba kati ya ndege zile mbili za Boeing 707 zilizokuwa zinafuatia nyuma na zile Harcules nne, moja ambayo ilipangwa itumike kama hospitali ilitua Nairobi, uwanja wa ndege wa Jomo Kenyetta. Ile nyingine ambayo nimeeleza kwamba ilipangwa itumike kama ‘command post’ ilikuwa inaruka kuzunguka uwanja wa ndege wa Entebbe wakati ndege zile za kijeshi zikitua. Ndege hii (command post) haikutua uwanjani na kamanda mkuu wa oparesheni hii Meja Jenerali Yekutiel Adam alikuwa ndani yake kuwaongoza wenzake walipo ardhini. Mnamo saa 23:00 ndege za kijeshi za Israel zilitua kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe huku milango ya nyuma ya mizigo kwenye ndege ikiwa wazi. Hapa nieleze kidogo… Mbinu kuu ambayo jeshi la Israel walikuwa wanataka kuitumia ili kufanikisha Oparesheni hii ilikuwa ni kufanya shambulio la kushtukiza. ! Kivipi? Katika sehemu iliyopita nilieleza kuwa Ehud Barak baada ya kukusanya intelijensia za kutosha akiwa Kenya, aliwaeleza wenzake kuwa wapakie gari aina ya Mercedes Limousine inayofanana kabisa na ile ambayo inatumiwa na Rais Idd Amin a Uganda ambayo ilikuwa na rangi nyeusi. Kwa kuwa walifahamu Rais Idd Amin alikuwa safarini nchini Mauritius kukabidhi uenyekiti wa O.A.U, hivyo walitaka kuigiza kana kwamba Idd Amin alikuwa anarejea kutoka safarini na alikuwa anaenda kutembelea mateka pale uwanja wa ndege kama ambavyo ilikuwa kawaida yake. Hii ndio sababu ya wao kwenda na ile gari nyeusi aina ya Mercedes Limousine pamoja na Land Rover… ambavyo ndivyo ilikuwa namna ambavyo Idd Amin alikuwa anapenda kwenda kutembelea pale uwanjani…. Mercedes Limousine ambayo ina mbeba yeye na nyuma yake gari aina ya Land Rover iliyo na walinzi wake. Kwa hiyo ndege ya kwanza ya jeshi la Israel ilipotua kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe ambao kwa muda huo wa saa tano usiku kulikuwa na giza tupu taa zote za uwanja wa ndege zikiwa zimezimwa. Ndege ilitua ikiwa imefunguliwa mlango wa nyuma wa mizigo, ambako ilitoka gari aina ya Mercedes Limousine ikiongozana na Landa Rover na moja kwa zikaendeshwa kuelekea kwenye geti la Terminal ambayo mateka walikuwa wamehifadhiwa. Walikuwa wamefaulu kuigiza kabisa msafara wa Idd amin unavyokuwa. Msafara ulikuwa unafanana kabisa na ule wa Idd Amin lakini tofauti ilikuwa kwamba gari hizi ndani yake kuliwa na makomamdo. Jambo la ajabu ni kwamba walipofika mbele ya geti la Terminal badala ya kuruhusiwa kupita, wanajeshi wa Uganda waliokuwa wanalinda getini waliinua bunduki zao na kuwanyoosha kuelea magari haya. Walichokuwa hawakijua makomando hawa ambacho wanajeshi hawa waliokuwa wanalinda hapa uwanjani walikijua ni kwamba, Siku moja ya kabla ya Idd Amin kwenda Mauritus alibadili rangi ya gari yake kutoka nyeusi kwenda rangi nyeupe. Kwa hiyo wanajeshi hawa wa Uganda walipoona magari haya walikuwa wanajua fika kuwa huyu hakuwa Rais wao Idd Amin. Itaendelea #TheBOLD_JF
    0 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • COBRA SNAKEs
    .
    leo ngoja tumuangalie cobra kiundani zaidi maana wameonekana kuwa ni wengi lakini wakitumia majina ya cobra ambao pia wanapatikana sana Bara la Asia na bara la Africa hata hapa TANZANIA WAKO WA KUTOSHAA
    .duniani kote kuna species zaidi ya 10 za cobra
    .
    Sasa neno halisi la COBRA lilipatikana kutoka kwenye lugha ya KIRENO lililoandikwa "COBRA DE CAPELLO," likimanaisha "SNAKE WITH HOOD"
    .
    kwa kiswahili linamaanisha kama nyoka mwenye "kofia" hii kofia ndio kule kuapanuka kwake kwenye shingo
    .ndipo ikatoa maana ya hood yaani covering (Ukitafsiri sana kwa kiswahili unaweza usielewe )
    .
    Sasa baada ya hili neno kutoka ndipo likaanza kutumika hata kwa nyoka ambao hawako kabisaa kwenye jamii ya cobra yaani nyoka wengine wenye hood nao wakaitwa cobra mfano ni KING COBRA yule wa INDIA
    .
    Tuangalia sasa jamii halisi za cobra na wale ambao wanatumia tu jina la cobra
    .
    Jamii ya kwanza ni TRUE COBRA
    .
    kitaalam wanatoka katika genus (NAJA GENUS) na sifa kuu ya cobra hawa kawaida wanakuwa na urefu wa futi 7 - 10 tu na wanameno mafupi sana yaliyopinda ndani
    .
    wanatoa sumu inayoitwa NEUTROXIN VENOM, kiuhalisia sumu hii sio kali sana ila inachofanya iwe kali na kuuwa haraka ni kule cobra kung'ata zaidi ya mara moja hivyo hufanya kiwango cha sumu kuwa kingi
    .
    sasa humu ndio kuna FOREST COBRA in west africa na kuna CAPE COBRA IN SOUTH AFRICA na INDIAN COBRA
    .hawa wote wanakula wadudu na ndege tu kama chakula
    .
    Lakini pia kwenye hii jamii kuna COBRA WANAOTEMA TU SUMU ambayo hufanya mtu awe kipofu ikigusa machoni,
    .kama vile mozambique spiting cobra (Tz wako wengi sana),
    .
    Jamii ya pili ni KING COBRA
    .
    .huyu ndio cobra hatari zaidi duniani kitaalam anaitwa "Hemachatus haemachatus" hata jina halifanani na true cobra.. (fake cobra)
    .Anasifa ya kula NYOKA wengine tu na hali chakula kingine kabisaa na urefu wa futi 15
    .shingo yake sio bapa sana ila anakiwango kikubwa sana cha sumu yaani anang'ata kidogo na unakufa ndani ya dakika chache sana
    .huwa anaishi mwenyewe na yuko bara la Asia tu
    .
    SASA IKITOKEA UMENG'ATWA NA COBRA WAHI HOSPITALI UTAPONA. ila KING COBRA AKIKUNG'ATA HAMNA TIBA..

    The Wildlife Tanzania.
    COBRA SNAKEs . leo ngoja tumuangalie cobra kiundani zaidi maana wameonekana kuwa ni wengi lakini wakitumia majina ya cobra ambao pia wanapatikana sana Bara la Asia na bara la Africa hata hapa TANZANIA WAKO WA KUTOSHAA .duniani kote kuna species zaidi ya 10 za cobra . Sasa neno halisi la COBRA lilipatikana kutoka kwenye lugha ya KIRENO lililoandikwa "COBRA DE CAPELLO," likimanaisha "SNAKE WITH HOOD" . kwa kiswahili linamaanisha kama nyoka mwenye "kofia" hii kofia ndio kule kuapanuka kwake kwenye shingo .ndipo ikatoa maana ya hood yaani covering (Ukitafsiri sana kwa kiswahili unaweza usielewe 😀) . Sasa baada ya hili neno kutoka ndipo likaanza kutumika hata kwa nyoka ambao hawako kabisaa kwenye jamii ya cobra yaani nyoka wengine wenye hood nao wakaitwa cobra mfano ni KING COBRA yule wa INDIA . Tuangalia sasa jamii halisi za cobra na wale ambao wanatumia tu jina la cobra . Jamii ya kwanza ni TRUE COBRA . kitaalam wanatoka katika genus (NAJA GENUS) na sifa kuu ya cobra hawa kawaida wanakuwa na urefu wa futi 7 - 10 tu na wanameno mafupi sana yaliyopinda ndani . wanatoa sumu inayoitwa NEUTROXIN VENOM, kiuhalisia sumu hii sio kali sana ila inachofanya iwe kali na kuuwa haraka ni kule cobra kung'ata zaidi ya mara moja hivyo hufanya kiwango cha sumu kuwa kingi . sasa humu ndio kuna FOREST COBRA in west africa na kuna CAPE COBRA IN SOUTH AFRICA na INDIAN COBRA .hawa wote wanakula wadudu na ndege tu kama chakula . Lakini pia kwenye hii jamii kuna COBRA WANAOTEMA TU SUMU ambayo hufanya mtu awe kipofu ikigusa machoni, .kama vile mozambique spiting cobra (Tz wako wengi sana), . Jamii ya pili ni KING COBRA . .huyu ndio cobra hatari zaidi duniani kitaalam anaitwa "Hemachatus haemachatus" hata jina halifanani na true cobra.. (fake cobra) .Anasifa ya kula NYOKA wengine tu na hali chakula kingine kabisaa na urefu wa futi 15 .shingo yake sio bapa sana ila anakiwango kikubwa sana cha sumu yaani anang'ata kidogo na unakufa ndani ya dakika chache sana .huwa anaishi mwenyewe na yuko bara la Asia tu . SASA IKITOKEA UMENG'ATWA NA COBRA WAHI HOSPITALI UTAPONA. ila KING COBRA AKIKUNG'ATA HAMNA TIBA.. The Wildlife Tanzania.
    0 Comments ·0 Shares ·858 Views
  • Sehemu ya siri.. hii sehemu huwa siri..
    Hii sehemu ina fichwa ili kubaki siri..
    Hii sehem adim.. Siri tamu sio ndim..
    Ata ukiwa umepinda hii sehemu utaiheshim..
    Ogopa kuuza siri.. Ogopa kutoa siri..
    Hii sehem ina heshima.. Basi onja kisiri siri..
    Ukijua sehem siri.. Ukila sehem siri..
    Usitangeze yake siri.. Utafanya ukatili..
    Baadhi ya nguo nazo azina siri..
    Azifichi kama dela zina weka wazi siri..
    Chunga yako siri.. Hiyo yako namba siri..
    Ukijidai washa washa utajikuna kisiri siri..
    Tulia kama moja makumi utoa siri..
    Wa heshim warembo madada wanayo siri..
    Danga ana jua.. Siri yake naijua..
    Ata akigoma powa Mambo yake naya jua..
    Tunza iyo siri.. Makinii kuwa msiri..
    Usionyeshe sehem siri.. Wasije kutoa siri..
    Nimemalizaa#
    Sehemu ya siri.. hii sehemu huwa siri.. Hii sehemu ina fichwa ili kubaki siri.. Hii sehem adim.. Siri tamu sio ndim.. Ata ukiwa umepinda hii sehemu utaiheshim.. Ogopa kuuza siri.. Ogopa kutoa siri.. Hii sehem ina heshima.. Basi onja kisiri siri.. Ukijua sehem siri.. Ukila sehem siri.. Usitangeze yake siri.. Utafanya ukatili.. Baadhi ya nguo nazo azina siri.. Azifichi kama dela zina weka wazi siri.. Chunga yako siri.. Hiyo yako namba siri.. Ukijidai washa washa utajikuna kisiri siri.. Tulia kama moja makumi utoa siri.. Wa heshim warembo madada wanayo siri.. Danga ana jua.. Siri yake naijua.. Ata akigoma powa Mambo yake naya jua.. Tunza iyo siri.. Makinii kuwa msiri.. Usionyeshe sehem siri.. Wasije kutoa siri.. Nimemalizaa#
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·564 Views
  • Am back again mwandamizi mfuwadhi wa tungo #salaries
    Michoro black combain kwa miluzi hii its not rap #siries
    ben wa michoro na tungo za kiimani Fanya moyo mnyofu taamka #kinywani
    Hichi kidonge cha mpenda rap kwenye map utusue #hewani
    Hip hop sio maji beba peleka bafuni lazma uumize kichwa kama umeng'atwa #kunguni
    Mwenda wa zimu aliechanganyikiwa kwa virusi vya #hip hop
    Natema ngumu kwenye beat napachika #mnofu
    Wananiita teacher ingawa me lecture wa #chuo
    All Mcz nawapa rhymes kwa mgao ili mnipe #cheo
    Ata Siku nikifa tungo zangu mtatumia kama #kombeo
    Paroko damu yangu ulimwengu umejaa #majungu
    Mcz na marapa bifu za kijinga tuzitupe kwenye #uvungu
    Vina kalandika pamoja toka ujana mpaka tuna #pinda
    Am back again mwandamizi mfuwadhi wa tungo #salaries Michoro black combain kwa miluzi hii its not rap #siries ben wa michoro na tungo za kiimani Fanya moyo mnyofu taamka #kinywani Hichi kidonge cha mpenda rap kwenye map utusue #hewani Hip hop sio maji beba peleka bafuni lazma uumize kichwa kama umeng'atwa #kunguni Mwenda wa zimu aliechanganyikiwa kwa virusi vya #hip hop Natema ngumu kwenye beat napachika #mnofu Wananiita teacher ingawa me lecture wa #chuo All Mcz nawapa rhymes kwa mgao ili mnipe #cheo Ata Siku nikifa tungo zangu mtatumia kama #kombeo Paroko damu yangu ulimwengu umejaa #majungu Mcz na marapa bifu za kijinga tuzitupe kwenye #uvungu Vina kalandika pamoja toka ujana mpaka tuna #pinda
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·2K Views
  • Jeshi la wananchi Tanzania JWTZ halita waandikisha wahitimu wa darasa la saba kufuatia maelekezo ya serikali juu ya uandikishaji wa ajira za jeshi.Naibu wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Godfrey Pinda amesema leo Bungeni Mei 20,2024 kwa niaba ya Waziri wa ulinzi na jesi la kujenga taifa.

    "Serikali imeondoa utaratibu wa kuandikisha ajira kwa vijana wanao hitimu darasa la saba."amesema Pinda.
    Jeshi la wananchi Tanzania JWTZ halita waandikisha wahitimu wa darasa la saba kufuatia maelekezo ya serikali juu ya uandikishaji wa ajira za jeshi.Naibu wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Godfrey Pinda amesema leo Bungeni Mei 20,2024 kwa niaba ya Waziri wa ulinzi na jesi la kujenga taifa. "Serikali imeondoa utaratibu wa kuandikisha ajira kwa vijana wanao hitimu darasa la saba."amesema Pinda.
    Like
    Love
    2
    · 2 Comments ·0 Shares ·266 Views
  • KUTOMBANA KWA MKAO WA UBAVU

    Style hii ya kutombana nyote mnalala ubavu. Kisha mwanamke unainua tako moja au unainua mguu ili kuruhusu mboo ipite. Na raha zaidi ni mwanamke kuishika mboo ya bby wko na kuipitisha kumani. Ashhh! Raha jamani.

    Mboo ikishazama unamwacha bby anakutomba, anakatika, anaishindilia mboo, anaikuna ****. Amekushika nyonga na kukupapasa matako. Hapo bibie kiuno kinatakiwa kichongeke, yaan unakibinua chote **** inaning'inia mapajani. Pinda mugongo. Kisha mguu wako mmoja unaupitisha katikati ya mguu wake. Ila usiwe na keya, utamchuna kaka wa watu.

    Wakt kitombo kikiendelea, mshike mkono wake kisha mshikishe maziwa yako. Mwambie "yanawasha baby, yakune". Ayapapase, ayabinye polepole. Azichezee zile chuchu. Utamu ukizidi inua mguu moja juu, **** yote iwe wazi. Mboo izame hadi ndani. Mwache mwanaume aichokonoe **** kwa mboo mama. Ichokonoke hadi itoe mate.

    Kisha geuza kichwa mwangalie usoni kwa jicho laini, mpapase mapajani hadi nyongani kwake. Halafu mwambie akushike shingoni akunyonye ulimi huku mboo inazama na kuteleza kumani. Kisha uchukue mkono wake tena upitishe katikati ya mapaja yako, ashh! Akiweza awe anakichezea kinembe.

    Akichoka sas inakuwa zamu yako kuzungusha kiuno. Tuache uvivu. Mpe mauno ya papo kwa papo, peleka kiuno mbele ukirudisha nyuma. Nyonga laini mtoto wa kike. Zungusha kiuno. Ibane mboo na kuiachia. Fyonza utamu wa mboo yake. Tako lako na mapaja yake vimeshikana. Mguu wake mmoja uwe juu ya paja lako. Tamuu. Raha kwel kwl. Kutombana raha jamani.

    Mukikaribia kukojoa mwambie akukumbatie, akubane kidogo kifuani pake. Pumzi zake unazisikia kisogoni kwako, kama ana uchebe unakutekenya shingoni. ***** kutombana kunahitaji utundu. Usitombane kama upo kichakani unaogopa wapita njia. Haloo!

    Ikiwa bby wko ana kibamia huu mkao sio nzuri. Ila kama ana mboo kubwa unafaa. Pia ni mzuri kuutumia km mwanaume ana mboo kubwa sana ili mboo isiende ndani sana ukaumia.

    Karibu inbox kuuliza maswali au ushauri.
    KUTOMBANA KWA MKAO WA UBAVU Style hii ya kutombana nyote mnalala ubavu. Kisha mwanamke unainua tako moja au unainua mguu ili kuruhusu mboo ipite. Na raha zaidi ni mwanamke kuishika mboo ya bby wko na kuipitisha kumani. Ashhh! Raha jamani. Mboo ikishazama unamwacha bby anakutomba, anakatika, anaishindilia mboo, anaikuna kuma. Amekushika nyonga na kukupapasa matako. Hapo bibie kiuno kinatakiwa kichongeke, yaan unakibinua chote kuma inaning'inia mapajani. Pinda mugongo. Kisha mguu wako mmoja unaupitisha katikati ya mguu wake. Ila usiwe na keya, utamchuna kaka wa watu. Wakt kitombo kikiendelea, mshike mkono wake kisha mshikishe maziwa yako. Mwambie "yanawasha baby, yakune". Ayapapase, ayabinye polepole. Azichezee zile chuchu. Utamu ukizidi inua mguu moja juu, kuma yote iwe wazi. Mboo izame hadi ndani. Mwache mwanaume aichokonoe kuma kwa mboo mama. Ichokonoke hadi itoe mate. Kisha geuza kichwa mwangalie usoni kwa jicho laini, mpapase mapajani hadi nyongani kwake. Halafu mwambie akushike shingoni akunyonye ulimi huku mboo inazama na kuteleza kumani. Kisha uchukue mkono wake tena upitishe katikati ya mapaja yako, ashh! Akiweza awe anakichezea kinembe. Akichoka sas inakuwa zamu yako kuzungusha kiuno. Tuache uvivu. Mpe mauno ya papo kwa papo, peleka kiuno mbele ukirudisha nyuma. Nyonga laini mtoto wa kike. Zungusha kiuno. Ibane mboo na kuiachia. Fyonza utamu wa mboo yake. Tako lako na mapaja yake vimeshikana. Mguu wake mmoja uwe juu ya paja lako. Tamuu. Raha kwel kwl. Kutombana raha jamani. Mukikaribia kukojoa mwambie akukumbatie, akubane kidogo kifuani pake. Pumzi zake unazisikia kisogoni kwako, kama ana uchebe unakutekenya shingoni. Shoga kutombana kunahitaji utundu. Usitombane kama upo kichakani unaogopa wapita njia. Haloo! Ikiwa bby wko ana kibamia huu mkao sio nzuri. Ila kama ana mboo kubwa unafaa. Pia ni mzuri kuutumia km mwanaume ana mboo kubwa sana ili mboo isiende ndani sana ukaumia. Karibu inbox kuuliza maswali au ushauri.
    Love
    Like
    Angry
    4
    · 0 Comments ·0 Shares ·617 Views