Upgrade to Pro

  • KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI.

    Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka.

    Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia.

    Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua.

    Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi.

    Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti.

    Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana.

    Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo.

    Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika.

    Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi.

    Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi.

    Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi.

    Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi.

    Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka

    #neliudcosih
    🚨 KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI. Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka. Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia. Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua. Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi. Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti. Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana. Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo. Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika. Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi. Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi. Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi. Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi. ✍️Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka 🙌 #neliudcosih
    ·32 Views
  • Virgil van dijk: "Pasi ya Messi kwenye Kombe la Dunia ilinivutia sana. Alifanyaje? Hata ukicheza PlayStation, hutafanya vizuri. Alifikiriaje kutoa pasi hiyo? Messi ana mfumo wa roboti akilini mwake unaomdhibiti. Mtu wa kawaida hawezi kufanya kitu kama hicho. Yeye ni mgeni. Kila wakati anaushangaza ulimwengu kwa mambo ya miujiza. Ninachopenda kwake ni unyenyekevu wake. Nilikutana naye kwenye sherehe ya Ballon d'Or na akaniambia kuwa mimi ni beki mzuri.

    Nilimwambia sijawahi kuogopa kukutana na mchezaji maishani mwangu hadi nilipocheza dhidi yako. Ulinipa usingizi usiku na kunifanya nifikirie mara mbilimbili. Yeye ndiye mchezaji bora, bila shaka. Nambari zake zinasema yote"

    Virgil Van Dijk alisema kuhusu Messi :

    Unapocheza dhidi ya Messi na yuko kwenye ubora wake, huwezi kufanya lolote. Ndiye mchezaji bora zaidi duniani. Na nina furaha sana Messi alishinda Kombe la Dunia Kubwa Zaidi ya Wakati Wote

    #neliudcosiah

    Virgil van dijk🗣️: "Pasi ya Messi kwenye Kombe la Dunia ilinivutia sana. Alifanyaje? Hata ukicheza PlayStation, hutafanya vizuri. Alifikiriaje kutoa pasi hiyo? Messi ana mfumo wa roboti akilini mwake unaomdhibiti. Mtu wa kawaida hawezi kufanya kitu kama hicho. Yeye ni mgeni. Kila wakati anaushangaza ulimwengu kwa mambo ya miujiza. Ninachopenda kwake ni unyenyekevu wake. Nilikutana naye kwenye sherehe ya Ballon d'Or na akaniambia kuwa mimi ni beki mzuri. Nilimwambia sijawahi kuogopa kukutana na mchezaji maishani mwangu hadi nilipocheza dhidi yako. Ulinipa usingizi usiku na kunifanya nifikirie mara mbilimbili. Yeye ndiye mchezaji bora, bila shaka. Nambari zake zinasema yote" Virgil Van Dijk alisema kuhusu Messi 🗣️: Unapocheza dhidi ya Messi na yuko kwenye ubora wake, huwezi kufanya lolote. Ndiye mchezaji bora zaidi duniani. Na nina furaha sana Messi alishinda Kombe la Dunia ✨🔥 Kubwa Zaidi ya Wakati Wote😭❤️🐐 #neliudcosiah
    Like
    1
    ·54 Views
  • JE UNAFAHAMU: Katika dakika ya 80 ya fainali ya Wembley, Barcelona ilikuwa inaongoza Manchester United 3-1. Msaidizi wa Ferguson alisema:

    "Tufanye mabadiliko, Messi, Iniesta, na Xavi wamechoka sana katika ulinzi wetu."

    Ferguson alijibu: "Kaa chini na ufurahie mpira wa miguu wanaocheza. Yote ni juu ya. Wangeweza kumiliki mpira kwa siku tatu mfululizo."

    Messi alipata alama ya juu zaidi katika fainali ya Ligi ya Mabingwa katika mechi hiyo, 10/10 kamili, na hakuna mchezaji aliyerudia mafanikio haya hadi sasa.
    JE UNAFAHAMU: Katika dakika ya 80 ya fainali ya Wembley, Barcelona ilikuwa inaongoza Manchester United 3-1. Msaidizi wa Ferguson alisema: "Tufanye mabadiliko, Messi, Iniesta, na Xavi wamechoka sana katika ulinzi wetu." Ferguson alijibu: "Kaa chini na ufurahie mpira wa miguu wanaocheza. Yote ni juu ya. Wangeweza kumiliki mpira kwa siku tatu mfululizo." Messi alipata alama ya juu zaidi katika fainali ya Ligi ya Mabingwa katika mechi hiyo, 10/10 kamili, na hakuna mchezaji aliyerudia mafanikio haya hadi sasa.
    Like
    1
    ·97 Views
  • Hapo ni wakati Joe Biden ambaye ni Rais wa Marekani akimsubiri Lionel Messi ili ampe metali uhuru lakini Mwargentina huyo akifika eneo la tukio wala hakutuma Mtu yeyote kumwakilisha.

    Hapo ni wakati Joe Biden ambaye ni Rais wa Marekani 🇺🇸 akimsubiri Lionel Messi ili ampe metali uhuru lakini Mwargentina huyo akifika eneo la tukio wala hakutuma Mtu yeyote kumwakilisha.
    ·59 Views
  • 𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔

    ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo

    ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.

    ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.

    ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.

    • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich

    • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).

    ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).

    ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.

    ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!

    ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.

    ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).

    ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.

    ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).

    ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake

    ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)

    ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).

    • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.

    ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) !

    ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.

    ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.

    ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City

    FACTS gani imekushangaza ?

    🚨𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi 🇦🇷 na Cristiano Ronaldo 🇵🇹 ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011. ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ⚽) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona. ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja. • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich 🇩🇪 • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23). ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3). ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia. ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !! ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !. ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015). ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league. ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5). ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake 😀 ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs) ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B). • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu. ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) ! 😀 ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima. ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card. ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City FACTS gani imekushangaza ? 😎
    ·403 Views
  • Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10).

    19
    ⚽️ 20
    10

    Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10). 🏟️ 19 ⚽️ 20 🎯 10
    ·142 Views
  • Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10).

    19
    ⚽️ 20
    10
    Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10). 🏟️ 19 ⚽️ 20 🎯 10
    Like
    2
    ·160 Views
  • Mchezaji wa klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal ameshinda Tuzo ya Golden Boy 2024 ambayo hupewa Mchezaji bora mwenye umri mdogo. Yamal ameingia kwenye orodha ya Wachezaji wa FC Barcelona ambao walishashinda Tuzo hii:

    - 2005: Leo Messi
    - 2021: Pedri
    - 2022: Gavi
    - 2024: Lamine Yamal
    Mchezaji wa klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal ameshinda Tuzo ya Golden Boy 2024 ambayo hupewa Mchezaji bora mwenye umri mdogo. Yamal ameingia kwenye orodha ya Wachezaji wa FC Barcelona ambao walishashinda Tuzo hii: - 2005: Leo Messi - 2021: Pedri - 2022: Gavi - 2024: Lamine Yamal
    Like
    1
    ·154 Views
  • "Rodri alitoa hotuba ya kushangaza. Alizungumza kuhusu familia, Man City na soka ya Uhispania. Nadhani soka la Uhispania katika muongo mmoja uliopita lilifanya jambo la kushangaza, na wakufunzi tofauti wa kitaifa, na wachezaji wa ajabu hapo zamani, na kushinda Kombe la Dunia, Kombe la Euro, na kamwe, kamwe hawakuweza kushinda tuzo hii.

    "Na nadhani Rodri anawakilisha vyema, bila shaka City kwa sababu tunajivunia, lakini soka la Uhispania - ushawishi wao katika soka la dunia katika miaka 10, 15 iliyopita, umekuwa muhimu sana. Sio tu kushinda mataji, jinsi wanavyocheza, vizazi vya wasimamizi, vizazi vya wachezaji na nadhani labda wakati huo nakumbuka wachezaji watatu kutoka Chuo cha Barcelona, ​​La Masia, waliteuliwa, wote watatu, kushinda Ballon d'Or, na Xavi na Iniesta hawakuweza kushinda kwa sababu. kulikuwa na monster huko.

    "Na Messi, hakuna mtu angeweza kumshinda. Cristiano tu. Cristiano alikuwa mnyama mkubwa, na baba wa mnyama huyo ni Messi. Na wote wawili wamefanya kitu cha ajabu katika miaka 15 au 20 iliyopita. Na labda katika wakati huo, Xavi na Iniesta walistahili. Ballon d'Or pia, kwa hivyo nadhani Rodri, jana, alipata kile ambacho soka la Uhispania lilistahili duniani kote." - Pep Guadiola, Kocha Mkuu wa klabu ya Manchester City akizungumza kuhusu Rodri.
    "Rodri alitoa hotuba ya kushangaza. Alizungumza kuhusu familia, Man City na soka ya Uhispania. Nadhani soka la Uhispania katika muongo mmoja uliopita lilifanya jambo la kushangaza, na wakufunzi tofauti wa kitaifa, na wachezaji wa ajabu hapo zamani, na kushinda Kombe la Dunia, Kombe la Euro, na kamwe, kamwe hawakuweza kushinda tuzo hii. "Na nadhani Rodri anawakilisha vyema, bila shaka City kwa sababu tunajivunia, lakini soka la Uhispania - ushawishi wao katika soka la dunia katika miaka 10, 15 iliyopita, umekuwa muhimu sana. Sio tu kushinda mataji, jinsi wanavyocheza, vizazi vya wasimamizi, vizazi vya wachezaji na nadhani labda wakati huo nakumbuka wachezaji watatu kutoka Chuo cha Barcelona, ​​La Masia, waliteuliwa, wote watatu, kushinda Ballon d'Or, na Xavi na Iniesta hawakuweza kushinda kwa sababu. kulikuwa na monster huko. "Na Messi, hakuna mtu angeweza kumshinda. Cristiano tu. Cristiano alikuwa mnyama mkubwa, na baba wa mnyama huyo ni Messi. Na wote wawili wamefanya kitu cha ajabu katika miaka 15 au 20 iliyopita. Na labda katika wakati huo, Xavi na Iniesta walistahili. Ballon d'Or pia, kwa hivyo nadhani Rodri, jana, alipata kile ambacho soka la Uhispania lilistahili duniani kote." - Pep Guadiola, Kocha Mkuu wa klabu ya Manchester City akizungumza kuhusu Rodri.
    Love
    1
    1 Comments ·385 Views
  • Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:-
    1. Cristiano Ronaldo ( 900 )
    2. Lionel Messi (833)
    3. Joseph Bican (805)

    Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee]
    1. Lionel Messi (363)
    2. Ferenc Puskas (359)
    3. Johan Cruyff (358)

    Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta]
    1. Lionel Messi (2,358)
    2. Eden Hazard (1,285)
    3. Franck Ribery (1,061)

    Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia:
    1. Lionel Messi (8)
    2. Cristiano Ronaldo (5)
    3. Johan Cruyff (3)

    FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia:
    1. Lionel Messi (8)
    2. Cristiano Ronaldo (5)
    3. Zinedine Zidane (3)

    Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA:
    1. Lionel Messi (2)
    2. Diego Maradona (1)
    3. Oliver Kahn (1)

    Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia:
    1. Lionel Messi (6)
    2. Cristiano Ronaldo (4)
    3. Luis Suarez (2)

    Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10]
    1. Lionel Messi (318)
    2. Cristiano Ronaldo (168)
    3. Zlatan Ibrahimovic (116)

    Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia:
    1. Lionel Messi (5)
    2. Xavi Hernandez (4)
    3. Kevin De Bruyne (3)

    Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia:
    1. Lionel Messi (7)
    2. Jose Nasaji (3)
    3. Pele Arantes (2)

    Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia:
    1. Lionel Messi (44)
    2. Dani Alves (43)
    3. Andres Iniesta (37)

    Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia:
    1. Lionel Messi
    2. Cristiano Ronaldo
    3. Ronaldo Nazario

    Messi is the GOAT no doubt

    #PM96
    Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:- 1. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo ( 900 )✅ 2. 🇦🇷 Lionel Messi (833) 3. 🇦🇹 Joseph Bican (805) Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee] 1. 🇦🇷 Lionel Messi (363)✅ 2. 🇭🇺 Ferenc Puskas (359) 3. 🇳🇱 Johan Cruyff (358) Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta] 1. 🇦🇷 Lionel Messi (2,358)✅ 2. 🇧🇪 Eden Hazard (1,285) 3. 🇨🇵 Franck Ribery (1,061) Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (8)✅ 2. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo (5) 3. 🇳🇱 Johan Cruyff (3) FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (8)✅ 2. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo (5) 3. 🇨🇵 Zinedine Zidane (3) Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (2)✅ 2. 🇦🇷 Diego Maradona (1) 3. 🇩🇪 Oliver Kahn (1) Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (6)✅ 2. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo (4) 3. 🇺🇾 Luis Suarez (2) Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10] 1. 🇦🇷 Lionel Messi (318)✅ 2. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo (168) 3. 🇸🇪 Zlatan Ibrahimovic (116) Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (5)✅ 2. 🇪🇦 Xavi Hernandez (4) 3. 🇧🇪 Kevin De Bruyne (3) Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (7)✅ 2. 🇺🇾 Jose Nasaji (3) 3. 🇧🇷 Pele Arantes (2) Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (44)✅ 2. 🇧🇷 Dani Alves (43) 3. 🇪🇦 Andres Iniesta (37) Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi✅ 2. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo 3. 🇧🇷 Ronaldo Nazario Messi is the GOAT 🐐no doubt #PM96
    ·416 Views
  • Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:-
    1. Cristiano Ronaldo ( 900 )
    2. Lionel Messi (833)
    3. Joseph Bican (805)

    Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee]
    1. Lionel Messi (363)
    2. Ferenc Puskas (359)
    3. Johan Cruyff (358)

    Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta]
    1. Lionel Messi (2,358)
    2. Eden Hazard (1,285)
    3. Franck Ribery (1,061)

    Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia:
    1. Lionel Messi (8)
    2. Cristiano Ronaldo (5)
    3. Johan Cruyff (3)

    FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia:
    1. Lionel Messi (8)
    2. Cristiano Ronaldo (5)
    3. Zinedine Zidane (3)

    Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA:
    1. Lionel Messi (2)
    2. Diego Maradona (1)
    3. Oliver Kahn (1)

    Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia:
    1. Lionel Messi (6)
    2. Cristiano Ronaldo (4)
    3. Luis Suarez (2)

    Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10]
    1. Lionel Messi (318)
    2. Cristiano Ronaldo (168)
    3. Zlatan Ibrahimovic (116)

    Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia:
    1. Lionel Messi (5)
    2. Xavi Hernandez (4)
    3. Kevin De Bruyne (3)

    Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia:
    1. Lionel Messi (7)
    2. Jose Nasaji (3)
    3. Pele Arantes (2)

    Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia:
    1. Lionel Messi (44)
    2. Dani Alves (43)
    3. Andres Iniesta (37)

    Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia:
    1. Lionel Messi
    2. Cristiano Ronaldo
    3. Ronaldo Nazario

    Messi is the GOAT no doubt
    Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:- 1. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo ( 900 )✅ 2. 🇦🇷 Lionel Messi (833) 3. 🇦🇹 Joseph Bican (805) Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee] 1. 🇦🇷 Lionel Messi (363)✅ 2. 🇭🇺 Ferenc Puskas (359) 3. 🇳🇱 Johan Cruyff (358) Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta] 1. 🇦🇷 Lionel Messi (2,358)✅ 2. 🇧🇪 Eden Hazard (1,285) 3. 🇨🇵 Franck Ribery (1,061) Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (8)✅ 2. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo (5) 3. 🇳🇱 Johan Cruyff (3) FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (8)✅ 2. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo (5) 3. 🇨🇵 Zinedine Zidane (3) Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (2)✅ 2. 🇦🇷 Diego Maradona (1) 3. 🇩🇪 Oliver Kahn (1) Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (6)✅ 2. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo (4) 3. 🇺🇾 Luis Suarez (2) Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10] 1. 🇦🇷 Lionel Messi (318)✅ 2. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo (168) 3. 🇸🇪 Zlatan Ibrahimovic (116) Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (5)✅ 2. 🇪🇦 Xavi Hernandez (4) 3. 🇧🇪 Kevin De Bruyne (3) Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (7)✅ 2. 🇺🇾 Jose Nasaji (3) 3. 🇧🇷 Pele Arantes (2) Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi (44)✅ 2. 🇧🇷 Dani Alves (43) 3. 🇪🇦 Andres Iniesta (37) Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia: 1. 🇦🇷 Lionel Messi✅ 2. 🇵🇹 Cristiano Ronaldo 3. 🇧🇷 Ronaldo Nazario Messi is the GOAT 🐐no doubt
    ·379 Views
  • Di Maria : "Sasa tuko nusu fainali. Lengo letu ni kushinda Copa America. Tunataka kuufanya uwe mwisho mwema kwangu na Messi. Tukishinda, utakuwa wa mwisho kwetu. Tutafanya kila juhudi tunazo ili kufanikisha Tutachukua kikombe kutoka Amerika hadi Argentina "

    Di Maria : "Sasa tuko nusu fainali. Lengo letu ni kushinda Copa America. Tunataka kuufanya uwe mwisho mwema kwangu na Messi. Tukishinda, utakuwa wa mwisho kwetu. Tutafanya kila juhudi tunazo ili kufanikisha Tutachukua kikombe kutoka Amerika hadi Argentina "
    ·171 Views
  • #cktvtanzania

    @Messi
    #cktvtanzania @Messi
    ·175 Views ·14 Views
  • CRISTIANO RONALDO TERMINATOR

    Hizi kejeli zimekuwa Kali sana kwa Timu pinzani pindi tu wakikutana na Cristiano Ronaldo .Wengine Kila akishika Mpira wanaimba jina la Lionel Messi.

    Kwenye Mchezo kati ya Ureno dhidi ya Slovenia kuna Shabiki kamuonesha Cristiano Ronaldo jezi ambayo imeandikwa Messi

    End of an Era Cristiano Ronaldo Mr Champions League au Terminator ,hii dharau ilikuwa inalipwa kwa Hat Trick.

    Sema Muda umekimbia sana.
    CRISTIANO RONALDO 🤝 TERMINATOR 😳 Hizi kejeli zimekuwa Kali sana kwa Timu pinzani pindi tu wakikutana na Cristiano Ronaldo .Wengine Kila akishika Mpira wanaimba jina la Lionel Messi. Kwenye Mchezo kati ya Ureno dhidi ya Slovenia kuna Shabiki kamuonesha Cristiano Ronaldo jezi ambayo imeandikwa Messi End of an Era 😰 Cristiano Ronaldo Mr Champions League au Terminator ,hii dharau ilikuwa inalipwa kwa Hat Trick. Sema Muda umekimbia sana.
    Like
    1
    ·181 Views
  • “Change is hardest at the beginning, messiest in the middle and best at the end.”

    #cktvtanzania
    “Change is hardest at the beginning, messiest in the middle and best at the end.” #cktvtanzania
    ·264 Views
  • Lionel Messi
    Lionel Messi
    Like
    Love
    Haha
    13
    4 Comments ·678 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: “Inter Miami itakuwa klabu yangu ya mwisho, ndio…”, Leo Messi ametangaza leo "Ninapenda kucheza mpira wa miguu kwa hivyo ninafurahia kila kitu zaidi kwa sababu ... ninajua kuwa kila wakati kunapungua na kidogo. Ninafurahia kila maelezo madogo,” aliiambia ESPN.
    𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: “Inter Miami itakuwa klabu yangu ya mwisho, ndio…”, Leo Messi ametangaza leo 🇦🇷 "Ninapenda kucheza mpira wa miguu kwa hivyo ninafurahia kila kitu zaidi kwa sababu ... ninajua kuwa kila wakati kunapungua na kidogo. Ninafurahia kila maelezo madogo,” aliiambia ESPN.
    Like
    Love
    5
    1 Comments ·268 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Leo Messi afungua milango ya kucheza
    "Inategemea jinsi ninavyohisi, jinsi nilivyo kimwili na hivyo kuwa halisi na mimi mwenyewe. Kuna muda mwingi umebaki…”
    "Inaenda haraka, lakini bado kuna muda na kwa hivyo sijui nitakuwaje wakati huo, mnamo Juni 2026".
    "Umri pia ni ukweli ambao upo, ingawa ni nambari tu. Nitalazimika kuzingatia kila sababu kuhusu hilo."
    "Mechi nitakazocheza sasa si sawa na zile nilizocheza nilipokuwa Ulaya kila baada ya siku tatu, ama katika Ligi ya Mabingwa au ligi ya Ufaransa/Hispania". Raymond Stephen
    𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Leo Messi afungua milango ya kucheza "Inategemea jinsi ninavyohisi, jinsi nilivyo kimwili na hivyo kuwa halisi na mimi mwenyewe. Kuna muda mwingi umebaki…” "Inaenda haraka, lakini bado kuna muda na kwa hivyo sijui nitakuwaje wakati huo, mnamo Juni 2026". "Umri pia ni ukweli ambao upo, ingawa ni nambari tu. Nitalazimika kuzingatia kila sababu kuhusu hilo." "Mechi nitakazocheza sasa si sawa na zile nilizocheza nilipokuwa Ulaya kila baada ya siku tatu, ama katika Ligi ya Mabingwa au ligi ya Ufaransa/Hispania". [Proxy]
    Like
    Love
    5
    ·401 Views
  • #emmanuerlMessiPreMatchTip

    ⚽️El mokawloon vs Pharco
    Egypt Premier League

    FH/FT Draw

    Odds: 3.50
    Stake:

    #emmanuerlMessiPreMatchTip ⚽️El mokawloon vs Pharco 🇮🇶 Egypt Premier League 📝FH/FT Draw ⏳Odds: 3.50 💷Stake:🌟 ✊
    ·507 Views
  • Back in 2016, Conor McGregor told Cristiano Ronaldo that he’d become the number 1 on the Forbes list.

    Fast forward to 2021, he done exactly that, beating Cristiano Ronaldo and Lionel Messi whilst taking in $180M

    Spoke it into existence

    -

    #mma #ufc #viral #conormcgregor #sports #cristianoronaldo #forbes #lionelmessi
    Back in 2016, Conor McGregor told Cristiano Ronaldo that he’d become the number 1 on the Forbes list. Fast forward to 2021, he done exactly that, beating Cristiano Ronaldo and Lionel Messi whilst taking in $180M 😳💰 Spoke it into existence 🗣️ - #mma #ufc #viral #conormcgregor #sports #cristianoronaldo #forbes #lionelmessi
    ·578 Views
More Results