Ameandika Mwalimu Yanga (Shabiki kindakindaki wa Yanga SC)
SIMBA MARA WALITAKIWA KUSHUKA DARAJA
Hii ndio maana halisi ya kaka kuwa muungwana kwa mdogo wake hata kama mdogo wake hampendi, kuna muda ilibidi kaka afanye uungwana ajishushe kumkubalia mdogo wake amshinde ili kumuokoa na kuna muda bro ilibidi ajishushe uwezo ili mpinzani achukue ubingwa ilimradi mdogo apone, yote haya yaliwahi kutokea kwenye ligi kuu ya hapa Tz, fatilia mkasa.
Mara Tatu mfufululizo Simba ilinusurika kushuka daraja, na mara mbili Yanga iliinusuru katika michezo ya mwisho kabisa ya ligi hiyo.
1989 Yanga iliinusuru Simba kushuka daraja kwa kukubali suluhu kwenye mechi ya mwisho ya iliyokuwa Ligi daraja la kwanza (Leo ikiitwa Ligi kuu) ingetokea Simba wangefungwa tu, wangeshuka daraja na kwenda kuanzia kwenye ligi ya Mkoa.
pia msimu wa 1988 Yanga ilikubali kukosa ubingwa ili tu Simba isishuke kwa kukukubali kichapo cha 2-1 ilhali ingetoa droo tu ingekuwa Bingwa wa mwaka huo.
Halikadhalika msimu wa mwaka 1987 Tukuyu Stars a.ka Bhanyambala ilitoa ushirikiano na kuwaruhusu Simba kutoa sare ya 5-5 ili kuwanusuru kushuka darakja, Tukuyu Stars ilikuwa bado ipo kwenye form hasa ukizingatia kwamba mwaka uliopita 1986 walipanda daraja kuingia ligi kuu na kuchukua ubingwa mwaka huo huo, 1987 walikutana na Simba iliyokuwa ikichechemwa waliwavurumishia magoli bila huruma
MUHIMU: Yanga ikikosa Ubingwa basi sanasana itakuwa ya Pili, Simba mara kadhaa wameponea Chupu Chupu kushuka daraja.
#PapillonTz

·27 Views