JUST IN: Simba wamemsajili beki wa kati wa Mamelodi,Rushine De Reuck (29) kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Beki huyo mwenye umri wa miaka 29 alitumia kipindi cha pili cha msimu uliopita kwa mkopo katika klabu ya Maccabi Petah Tikva ya Israel
ambapo alishiriki katika michezo minne,na sasa ataanza safari mpya baada ya miaka minne na Sundowns.
Alijiunga na Masandawana kama Beki Bora wa Msimu wa Ligi Kuu ya Soka, wakati akiwa na Maritzburg United,mwaka 2021, ambako alikuwa akifanya kazi chini ya Kocha Mkuu wa sasa wa Simba, Fadlu Davids.
#SportsElite
🚨🚨 JUST IN: Simba wamemsajili beki wa kati wa Mamelodi,Rushine De Reuck (29) kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Beki huyo mwenye umri wa miaka 29 alitumia kipindi cha pili cha msimu uliopita kwa mkopo katika klabu ya Maccabi Petah Tikva ya Israel 🇮🇱ambapo alishiriki katika michezo minne,na sasa ataanza safari mpya baada ya miaka minne na Sundowns.