Upgrade to Pro

  • SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..!

    Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa.

    Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious.

    Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana.......

    Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako.

    Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe."

    #SexIsNotLove
    #Inauma
    SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..! Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa. Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious. Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana....... Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako. Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe." #SexIsNotLove #Inauma
    ·128 Views
  • My Sister! Are you Under a Spell?.

    Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo.

    Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu.

    Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu.

    Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri.

    Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu.

    Umefungwa na nini..?
    Nani amekuroga...?

    Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex.

    Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata.

    My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo.

    Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali.

    Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa.

    My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo".

    Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone.

    Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho.

    #KnowYourValueAndAct
    #MarriageUnderGodFoundation
    #MarriageIsBeautifu
    My Sister! Are you Under a Spell?. Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo. Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu. Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu. Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri. Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu. Umefungwa na nini..? Nani amekuroga...? Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex. Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata. My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo. Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali. Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa. My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo". Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone. Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho. #KnowYourValueAndAct #MarriageUnderGodFoundation #MarriageIsBeautifu
    ·133 Views
  • KUTOKA KWA NASRDIN NABI

    “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa.

    “Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu.

    “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri.

    “Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia.

    “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’

    AMESEMA PROF. NABI
    KUTOKA KWA NASRDIN NABI “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa. “Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu. “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri. “Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia. “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’ AMESEMA PROF. NABI
    Like
    2
    1 Σχόλια ·233 Views
  • “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa. Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu.

    “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri. Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia.

    “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’ Nabi, Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa. Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu. “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri. Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia. “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’ Nabi, Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    ·64 Views
  • Kuanguka kwa ghorofa KARIAKOO , tulimpuuza Edward lowasa na Tume yake , kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na ariyekuwa waziri mkuu na kujihuzulu Edward lowasa kipidi Cha utawala wake alisema kati ya ghorofa 505 ambazo zilikaguliwa, 147 zilikutwa hazina nyaraka za ujenzi
    Kuanguka kwa ghorofa KARIAKOO , tulimpuuza Edward lowasa na Tume yake , kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na ariyekuwa waziri mkuu na kujihuzulu Edward lowasa kipidi Cha utawala wake alisema kati ya ghorofa 505 ambazo zilikaguliwa, 147 zilikutwa hazina nyaraka za ujenzi
    ·9 Views
  • Yule dogo uliyemuita kwenye interview jana, na wakati umeandaa majina yako, amepoteza tumaini tayari.

    Yule kijana uliyemfelisha mtihani kwasababu anapendwa na binti anayekukataa, karudi kwao kulima..

    Yule mchizi uliyemchongea kwa boss, kafukuzwa kazi na hana maisha tena.

    Yule manzi uliyeenda kumsemea ubaya kwa bwana wake, amepoteza ile ndoa na familia yake imemtenga.

    Yule dogo uliyemsema hadharani, tena kwa ukali, amepoteza tayari ile ndoto kwa kujiona hawezi.

    Yule mshindani wako kibiashara, uliyeenda kumroga, kwa sasa Hana mbele wala nyuma.

    Yule ambaye kwako thamani yake ni kama Kijiji tena kisicho na umeme, chenye ukame wa maji..

    Kwa wengine anatazamwa kama dunia, yenye kila utajiri..

    Binadamu sisi ni viburi, wajuaji, lakini kabla haujatuhukumu tazama utawaumiza wangapi walio nyuma yetu. Kisha chagua huruma..

    #BagaBoy
    #Mauzoo

    Credit Azizi kasese
    Yule dogo uliyemuita kwenye interview jana, na wakati umeandaa majina yako, amepoteza tumaini tayari. Yule kijana uliyemfelisha mtihani kwasababu anapendwa na binti anayekukataa, karudi kwao kulima.. Yule mchizi uliyemchongea kwa boss, kafukuzwa kazi na hana maisha tena. Yule manzi uliyeenda kumsemea ubaya kwa bwana wake, amepoteza ile ndoa na familia yake imemtenga. Yule dogo uliyemsema hadharani, tena kwa ukali, amepoteza tayari ile ndoto kwa kujiona hawezi. Yule mshindani wako kibiashara, uliyeenda kumroga, kwa sasa Hana mbele wala nyuma. Yule ambaye kwako thamani yake ni kama Kijiji tena kisicho na umeme, chenye ukame wa maji.. Kwa wengine anatazamwa kama dunia, yenye kila utajiri.. Binadamu sisi ni viburi, wajuaji, lakini kabla haujatuhukumu tazama utawaumiza wangapi walio nyuma yetu. Kisha chagua huruma.. #BagaBoy #Mauzoo Credit Azizi kasese
    ·200 Views
  • KABLA HUJATENDA CHOCHOTE KILE JIULIZE HIVI...

    Siku zote katika maisha yako kabla hujatenda kitu chochote, kabla hujasema kitu chochote, jiulize kitu unachotaka kutenda au kitu unachotaka kusema je, kitaleta matokeo chanya kwako au hata kwa wengine?

    Sio kwa sababu unayo nafasi nzuri ya kutenda au kusema hiyo ikawa na maana kwako ufanye au useme tu hata mambo yanayoumiza wengine. Unatakiwa kuwa makini na kuzingatia ni nini matokea ya kile ambacho unakwenda kutenda au kukizungumza.

    Ni dhahiri wapo watu ambao moja kwa moja utawaumiza, kama utatenda au kusema maneno ya hasi, hata kama hujui jinsi unavyowaumiza. Pia uelewe wapo watu utakaowaponya kama utaamua kusema au kutenda matendo chanya ambayo yana msaada mkubwa katika maisha yao kwa ujumla.

    Kila wakati, unayo nafasi nzuri sana ya kutoa mazuri katika dunia, ingawa uamuzi ni wako. Acha kutenda au kusema mara moja kile kinachokujia kichwani mwako, Jipe muda wa kukifikiri kitu hicho na kujua ni nini matokeo yake katika maisha yako na ya wengine.

    Kuanzia leo jifunze kutoa yale mazuri katika hii dunia, jenga utamaduni wa kutoa yale matendo au maneno mazuri iwe sehemu ya utamaduni wako. Ukifanya hivyo dunia itakupa mazuri pia na utafurahia maisha yako kutokana na mazuri unayoyatoa.

    Simama imara katika kuhakikisha hili unalitenda. Kumbuka sana TOA YALE MAZURI KATIKA MAISHA YAKO, GIVE GOODNESS TO LIFE, ukifanikisha hili furaha na mafanikio vitakuwa upande wako.
    KABLA HUJATENDA CHOCHOTE KILE JIULIZE HIVI... Siku zote katika maisha yako kabla hujatenda kitu chochote, kabla hujasema kitu chochote, jiulize kitu unachotaka kutenda au kitu unachotaka kusema je, kitaleta matokeo chanya kwako au hata kwa wengine? Sio kwa sababu unayo nafasi nzuri ya kutenda au kusema hiyo ikawa na maana kwako ufanye au useme tu hata mambo yanayoumiza wengine. Unatakiwa kuwa makini na kuzingatia ni nini matokea ya kile ambacho unakwenda kutenda au kukizungumza. Ni dhahiri wapo watu ambao moja kwa moja utawaumiza, kama utatenda au kusema maneno ya hasi, hata kama hujui jinsi unavyowaumiza. Pia uelewe wapo watu utakaowaponya kama utaamua kusema au kutenda matendo chanya ambayo yana msaada mkubwa katika maisha yao kwa ujumla. Kila wakati, unayo nafasi nzuri sana ya kutoa mazuri katika dunia, ingawa uamuzi ni wako. Acha kutenda au kusema mara moja kile kinachokujia kichwani mwako, Jipe muda wa kukifikiri kitu hicho na kujua ni nini matokeo yake katika maisha yako na ya wengine. Kuanzia leo jifunze kutoa yale mazuri katika hii dunia, jenga utamaduni wa kutoa yale matendo au maneno mazuri iwe sehemu ya utamaduni wako. Ukifanya hivyo dunia itakupa mazuri pia na utafurahia maisha yako kutokana na mazuri unayoyatoa. Simama imara katika kuhakikisha hili unalitenda. Kumbuka sana TOA YALE MAZURI KATIKA MAISHA YAKO, GIVE GOODNESS TO LIFE, ukifanikisha hili furaha na mafanikio vitakuwa upande wako.
    Like
    1
    ·178 Views
  • Katika kuachwa au kuachana kinachoumiza sio kumpoteza tu yule mtu ULIEMPENDA.... Huyo mtu unaweza ukamuacha akaenda tu.

    Kinachouma sana ni MAZOEA, MUDA uliopoteza, Emotional wastage na muda mwingine hata GHARAMA uliyotumia ili kumfanya aonekane bora...

    Pia kupoteza lile tumaini kwamba mambo yatakuwa sawa na namna ambavyo utawaambia ndugu na rafiki zako ambao walikuwa wakimfahamu , eti leo hakuna tena MAHUSIANO tena na yeye.

    Hiko ndicho kinachouma zaidi. Unapomuumiza mtu na ukamuona ANALIA, usifikiri anakulilia wewe. Analia kwasababu amepoteza muda wake wa THAMANI kwa mtu ambae hata hakustahili kupewa.
    Katika kuachwa au kuachana kinachoumiza sio kumpoteza tu yule mtu ULIEMPENDA.... Huyo mtu unaweza ukamuacha akaenda tu. Kinachouma sana ni MAZOEA, MUDA uliopoteza, Emotional wastage na muda mwingine hata GHARAMA uliyotumia ili kumfanya aonekane bora... Pia kupoteza lile tumaini kwamba mambo yatakuwa sawa na namna ambavyo utawaambia ndugu na rafiki zako ambao walikuwa wakimfahamu , eti leo hakuna tena MAHUSIANO tena na yeye. Hiko ndicho kinachouma zaidi. Unapomuumiza mtu na ukamuona ANALIA, usifikiri anakulilia wewe. Analia kwasababu amepoteza muda wake wa THAMANI kwa mtu ambae hata hakustahili kupewa.
    ·78 Views
  • Leonel Ateba "Siwaogopi Yanga na staki kujua wachezaji wao wanacheza vipi ninachojua mimi nitawafunga kwenye derby "

    #paulswai
    Leonel Ateba 🗣️"Siwaogopi Yanga na staki kujua wachezaji wao wanacheza vipi ninachojua mimi nitawafunga kwenye derby " #paulswai
    Like
    1
    ·116 Views
  • 🗣"Sisi tunahitaji kushinda kila mechi zetu iwe mabao manne hadi matano kwa mechi."- Fadlu Davids

    🗣"Tunaiheshimu Coastal Union najua itakuwa tofauti na tulivyocheza nao awali ngao ya jamii wameongezeka ubora na sisi pia tumekuwa bora, hivyo tutawapa heshima yao."- Fadlu Davids.
    #paulswai
    🗣"Sisi tunahitaji kushinda kila mechi zetu iwe mabao manne hadi matano kwa mechi."- Fadlu Davids 🗣"Tunaiheshimu Coastal Union najua itakuwa tofauti na tulivyocheza nao awali ngao ya jamii wameongezeka ubora na sisi pia tumekuwa bora, hivyo tutawapa heshima yao."- Fadlu Davids. #paulswai
    Like
    2
    1 Σχόλια ·153 Views
  • Tarehe 7/10/2024 itachezeshwa draw ya makundi, siku sio nyingi tutawajua wapinzani wetu
    #paulswai
    Tarehe 7/10/2024 itachezeshwa draw ya makundi, siku sio nyingi tutawajua wapinzani wetu #paulswai
    Like
    Love
    2
    ·112 Views
  • 𝗨𝗣𝗗𝗔𝗧𝗘𝗦 ||

    Mutale, Mzamiru Kagoma kuwakosa Dodoma Jiji

    Wachezaji wetu Joshua Mutale, Mzamiru Yasini na Yusuph Kagoma wataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Dodoma Jiji FC

    Kocha mkuu Fadlu Davids amesema atawakosa wachezaji hao wakati akiwa Airport kuelekea Dodoma
    #paulswai
    🚨 𝗨𝗣𝗗𝗔𝗧𝗘𝗦 || Mutale, Mzamiru Kagoma kuwakosa Dodoma Jiji Wachezaji wetu Joshua Mutale, Mzamiru Yasini na Yusuph Kagoma wataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Dodoma Jiji FC Kocha mkuu Fadlu Davids amesema atawakosa wachezaji hao wakati akiwa Airport kuelekea Dodoma #paulswai
    Haha
    2
    1 Σχόλια ·82 Views
  • TUTAWAKAANGA
    #paulswai
    TUTAWAKAANGA #paulswai
    Like
    Love
    4
    ·108 Views ·12 Views
  • “Najionea vituko tu! Kama Marehemu Hans Pope aliadhibiwa kwa kuongea redioni suala la Morisson liliokuwa kwenye Kamati, sembuse hawa walioenda na Mkataba hadharani? TFF isipochukua hatua sitawaelewa!!”

    — Crescentius Magori.
    #paulswai
    💬 “Najionea vituko tu! Kama Marehemu Hans Pope aliadhibiwa kwa kuongea redioni suala la Morisson liliokuwa kwenye Kamati, sembuse hawa walioenda na Mkataba hadharani? TFF isipochukua hatua sitawaelewa!!” — Crescentius Magori. #paulswai
    Like
    2
    1 Σχόλια ·157 Views
  • 15 Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
    16 Kwake yeye vitu vyote vilivyoko mbinguni na juu ya nchi viliumbwa: vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, viwe ni viti vya enzi au falme, au wenye mamlaka au watawala; vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake.
    17 Yeye alikuwepo kabla ya vitu vyote, na katika yeye vitu vyote vinashikamana pamoja.
    18 Yeye ndiye kichwa cha mwili, yaani kanisa, naye ndiye mwanzo na mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu, ili yeye awe mkuu katika vitu vyote.
    19 Kwa kuwa ilimpendeza Mungu kwamba utimilifu wake wote ukae ndani yake,
    20 na kwa njia yake aweze kuvipatanisha vitu vyote na yeye mwenyewe, viwe ni vitu vilivyo duniani au vilivyo mbinguni, kwa kufanya amani kwa damu yake, iliyomwagika msalabani.

    Wakolosai 1:15-20
    15 Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. 16 Kwake yeye vitu vyote vilivyoko mbinguni na juu ya nchi viliumbwa: vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, viwe ni viti vya enzi au falme, au wenye mamlaka au watawala; vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake. 17 Yeye alikuwepo kabla ya vitu vyote, na katika yeye vitu vyote vinashikamana pamoja. 18 Yeye ndiye kichwa cha mwili, yaani kanisa, naye ndiye mwanzo na mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu, ili yeye awe mkuu katika vitu vyote. 19 Kwa kuwa ilimpendeza Mungu kwamba utimilifu wake wote ukae ndani yake, 20 na kwa njia yake aweze kuvipatanisha vitu vyote na yeye mwenyewe, viwe ni vitu vilivyo duniani au vilivyo mbinguni, kwa kufanya amani kwa damu yake, iliyomwagika msalabani. Wakolosai 1:15-20
    Like
    Love
    3
    ·243 Views
  • Kesho kitawaka #ubaya ubwela# Simba nguvu moja
    Kesho kitawaka #ubaya ubwela# Simba nguvu moja
    ·724 Views
  • CEO wa Bodi ya Ligi ALMAS KASONGO amesema kuwa msimu ujao wa ligi kuu watatoa adhabu kwa maofisa wa habari ambao watakiuka kanuni kwa kushindwa kuzungumzia mpira na kuchekesha.

    "Kuna muda nashangaa najiuliza huyu ni afisa Habari au Comedian,sasa adhabu itawahusu," CEO KASONGO
    🚨CEO wa Bodi ya Ligi ALMAS KASONGO amesema kuwa msimu ujao wa ligi kuu watatoa adhabu kwa maofisa wa habari ambao watakiuka kanuni kwa kushindwa kuzungumzia mpira na kuchekesha. "Kuna muda nashangaa najiuliza huyu ni afisa Habari au Comedian,sasa adhabu itawahusu," CEO KASONGO
    Like
    2
    ·195 Views
  • Waambie sasa wakate tiketi utawaona watakavyotoka mbio #paulswai
    Waambie sasa wakate tiketi utawaona watakavyotoka mbio😂😂 #paulswai
    Like
    4
    1 Σχόλια ·116 Views ·20 Views
  • Mashabiki wa Simba wana imani kubwa na Timu yao msimu huu...

    Hii inatokana na aina ya usajili mkubwa walioufanya na hamu ya kufanya vizuri baada ya kukaa muda mrefu kidogo tangu watawale soka kwa misimu minne mfululizo.
    #paulswai
    🚨Mashabiki wa Simba wana imani kubwa na Timu yao msimu huu... Hii inatokana na aina ya usajili mkubwa walioufanya na hamu ya kufanya vizuri baada ya kukaa muda mrefu kidogo tangu watawale soka kwa misimu minne mfululizo. #paulswai
    Like
    3
    ·220 Views
  • Mikikimikiki ya msimu mpya inahitaji mchezaji kama huyu, Mashine ya Ubaya Ubwela.

    Saa 6:00 mchana tunaanza kushusha vitu vya uhakika.

    Kitawaka sana

    #NguvuMoja #paulswai
    Mikikimikiki ya msimu mpya inahitaji mchezaji kama huyu, Mashine ya Ubaya Ubwela. Saa 6:00 mchana tunaanza kushusha vitu vya uhakika. Kitawaka sana 🔥 #NguvuMoja #paulswai
    Like
    3
    2 Σχόλια ·84 Views
Αναζήτηση αποτελεσμάτων