• Ameandika Mtangazaji wa kabumbu Nazareth Upete

    Sikutaka kuandika update yoyote ya Fadlu kwa Jana kwa sababu Simba walikuwa na mechi ngumu, muhimu na serious zaidi ambayo isingekuwa vyema kuandika chochote chenye mapelekeo yoyote hasi kwa mtu yoyote anayehusiana na Simba SC.

    THE SAGA…!
    Tarehe 07/09 siku 3 kabla ya Simba Day kuna mtu ninayemwamini sana kutoka Morocco alinipatia taarifa ya Fadlu kuridhiana na klabu ya Raja Casablanca kwenda kuhudumu hapo…!

    Pamoja na kutoachana vyema sana na Raja akiwa Kocha msaidizi haikuwarudisha nyuma huku inaelezwa Wydad pia waliulizia upatikanaji wake lakini mkataba wa Raja ulikuwa na sababu nyingi za kuridhiwa kuliko kukataliwa.

    Tarehe 11 baada ya Simba Day, Wydad walikuwa serious kuulizia taarifa za Fadlu kwa baadhi ya watu hususani mwenendo wake kwenye maeneo yote ya msingi…! Wakataka kuingilia kati deal.

    Bado Ofa ya Raja ikasimama kiume…! Fadlu yupo tayari kuibeba Ofa ya Raja na project yao ya #BringBackCasablanca⚽️

    Wakati hali ikiwa hivyo inaelezwa mmoja wa wasaidizi wake anataka kusalia Msimbazi akiamini project yao italipa punde!

    Inaelezwa Fadlu anahisi kuna vitu havipo sawa na zigo la lawama analitupa kwa uongozi wa timu huku yeye akitafuta mlango wa kutokea!

    Kwa sasa kuna urafiki wa mashaka baina ya pande mbili na Simba wamefanya kila kitu kumbakisha ila msimamo wa Fadlu umebebwa mazima na Ofa za waManga pale Morocco

    95% mechi ya Jana ilikuwa ya mwisho kwa Fadlu kama Kocha wa Simba na sasa kilichobaki ni yeye tu awalipe Simba SC kuvunja mkataba ingali analazimisha wamruhusu aende Free!

    MTAZAMO WANGU!?
    Simba hawatakuwa na Pengo kuondoka kwa Fadlu…! Amefanya kazi nzuri ila makocha ni wengi sana barani Afrika! Kikubwa ni kutuliza Kichwa wakati wa uchaguzi wa Kocha na kuachana na % za maslahi.

    Fadlu ni Kocha mzuri ila kwa mtazamo wangu pengo linazibika…! Bahati nzuri hajacheza mechi yoyote ya Ligi…! Yoyote atakayekuja ni rahisi tu kuendeleza kitu bora kwa sababu wachezaji Quality yao sio ya kubeza!

    Salaaam!
    Ameandika Mtangazaji wa kabumbu Nazareth Upete ✍️ Sikutaka kuandika update yoyote ya Fadlu kwa Jana kwa sababu Simba walikuwa na mechi ngumu, muhimu na serious zaidi ambayo isingekuwa vyema kuandika chochote chenye mapelekeo yoyote hasi kwa mtu yoyote anayehusiana na Simba SC. THE SAGA…! Tarehe 07/09 siku 3 kabla ya Simba Day kuna mtu ninayemwamini sana kutoka Morocco alinipatia taarifa ya Fadlu kuridhiana na klabu ya Raja Casablanca kwenda kuhudumu hapo…! Pamoja na kutoachana vyema sana na Raja akiwa Kocha msaidizi haikuwarudisha nyuma huku inaelezwa Wydad pia waliulizia upatikanaji wake lakini mkataba wa Raja ulikuwa na sababu nyingi za kuridhiwa kuliko kukataliwa. Tarehe 11 baada ya Simba Day, Wydad walikuwa serious kuulizia taarifa za Fadlu kwa baadhi ya watu hususani mwenendo wake kwenye maeneo yote ya msingi…! Wakataka kuingilia kati deal. Bado Ofa ya Raja ikasimama kiume…! Fadlu yupo tayari kuibeba Ofa ya Raja na project yao ya #BringBackCasablanca⚽️ Wakati hali ikiwa hivyo inaelezwa mmoja wa wasaidizi wake anataka kusalia Msimbazi akiamini project yao italipa punde! Inaelezwa Fadlu anahisi kuna vitu havipo sawa na zigo la lawama analitupa kwa uongozi wa timu huku yeye akitafuta mlango wa kutokea! Kwa sasa kuna urafiki wa mashaka baina ya pande mbili na Simba wamefanya kila kitu kumbakisha ila msimamo wa Fadlu umebebwa mazima na Ofa za waManga pale Morocco ✍️ 95% mechi ya Jana ilikuwa ya mwisho kwa Fadlu kama Kocha wa Simba na sasa kilichobaki ni yeye tu awalipe Simba SC kuvunja mkataba ingali analazimisha wamruhusu aende Free! MTAZAMO WANGU!? Simba hawatakuwa na Pengo kuondoka kwa Fadlu…! Amefanya kazi nzuri ila makocha ni wengi sana barani Afrika! Kikubwa ni kutuliza Kichwa wakati wa uchaguzi wa Kocha na kuachana na % za maslahi. Fadlu ni Kocha mzuri ila kwa mtazamo wangu pengo linazibika…! Bahati nzuri hajacheza mechi yoyote ya Ligi…! Yoyote atakayekuja ni rahisi tu kuendeleza kitu bora kwa sababu wachezaji Quality yao sio ya kubeza! Salaaam!
    0 Commentarios ·0 Acciones ·72 Views
  • Muda wa kupona jeraha la paja la kulia la Neymar Jr. (rectus femoris) linaweza kuanzia wiki 4 hadi 12. Kwa hivyo, Ney hatakuwepo kwa Timu ya Taifa ya Brazil kwa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Oktoba na pia anaweza kukosa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Novemba pia.

    Neymar Jr Zisingekuwa Injari nyingi Jamaa ni Fundi WA mpila Sana aiseee Tungefurahi Sana 🙌🏽

    Source: TNTSsportsBR
    🚨🚨⚠️‼️ Muda wa kupona jeraha la paja la kulia la Neymar Jr. (rectus femoris) linaweza kuanzia wiki 4 hadi 12. Kwa hivyo, Ney hatakuwepo kwa Timu ya Taifa ya Brazil kwa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Oktoba na pia anaweza kukosa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Novemba pia. 😬 Neymar Jr Zisingekuwa Injari nyingi Jamaa ni Fundi WA mpila Sana aiseee Tungefurahi Sana 🙌🏽 Source: ℹ️TNTSsportsBR
    0 Commentarios ·0 Acciones ·40 Views
  • Klabu ya soka ya Azam FC imeanza vyema michuano ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuondoka na ushindi ugenini wa Magoli 2 Kwa Sifuri dhidi ya timu ya El-Mereikh kutoka Sudani Kusini.

    WAFUNGAJI :
    Feitoto
    Kitambala

    #SportsElite
    Klabu ya soka ya Azam FC imeanza vyema michuano ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuondoka na ushindi ugenini wa Magoli 2 Kwa Sifuri dhidi ya timu ya El-Mereikh kutoka Sudani Kusini. WAFUNGAJI : ⚽ Feitoto ⚽ Kitambala #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·46 Views
  • Oyaaa timu limerejeaaaaaa
    Oyaaa timu limerejeaaaaaa
    0 Commentarios ·0 Acciones ·11 Views
  • _||𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: Ligi Kuu ya Ugiriki (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea...

    Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens.

    Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo!
    🚨_||💣𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: Ligi Kuu ya Ugiriki 🇬🇷 (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea... 👨‍💼Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens. 😮 Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo! 😲
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·257 Views
  • Isak aanza mazoezi na wachezaji wenzake wa Liverpool

    Mshambuliaji wa Liverpool, Alexander Isak, ameanza rasmi mazoezi na kikosi cha Liverpool.

    Mchezaji huyo wa Kiswidi alikamilisha usajili wa rekodi ya Uingereza wa £125 milioni kutoka Newcastle katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili, kisha akaungana na timu ya taifa ya Sweden kwa mechi za kimataifa za Septemba.

    Isak alicheza dakika 18 tu katika mechi mbili ambazo Sweden haikushinda dhidi ya Slovenia na Kosovo, lakini sasa ameonekana akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Liverpool.

    Huenda Isak akacheza mechi yake ya kwanza kwa Liverpool dhidi ya Burnley siku ya jumapili hii.
    👀Isak aanza mazoezi na wachezaji wenzake wa Liverpool 👉Mshambuliaji wa Liverpool, Alexander Isak, ameanza rasmi mazoezi na kikosi cha Liverpool. 👉Mchezaji huyo wa Kiswidi alikamilisha usajili wa rekodi ya Uingereza wa £125 milioni kutoka Newcastle katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili, kisha akaungana na timu ya taifa ya Sweden kwa mechi za kimataifa za Septemba. 👉Isak alicheza dakika 18 tu katika mechi mbili ambazo Sweden haikushinda dhidi ya Slovenia na Kosovo, lakini sasa ameonekana akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Liverpool. 👉Huenda Isak akacheza mechi yake ya kwanza kwa Liverpool dhidi ya Burnley siku ya jumapili hii.
    0 Commentarios ·0 Acciones ·207 Views
  • Divock Origi amekwama AC Milan baada ya kukataa kuvunja mkataba huku masuala ya kodi yakimzuia kuondoka nchini Italia

    AC Milan na Origi wameshindwa kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba, na sasa mshambuliaji huyo ataendelea kusalia San Siro licha ya kutokuwa sehemu ya kikosi cha kwanza.

    Mshindi wa Ligi ya Mabingwa, Divock Origi, amekataa kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Ac Milan licha ya kucheza msimu mzima na timu ya U23 ya Ac Milan.

    Uamuzi huu unakuja licha ya Mbelgiji huyo kutocheza mechi yoyote ya ushindani na kikosi cha wakubwa cha Milan tangu mwaka 2023.

    Amebakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, na atalazimika kukaa nje msimu mwingine ikiwa hatakubaliana na klabu ya Ac Milan kuvunja mkataba huo.

    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 alifunga magoli mawili tu msimu wa 2022–23 kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Nottingham Forest msimu wa 2023–24, ambako alifunga bao moja pekee katika mechi 22 — na bao hilo lilikuja kwenye FA Cup, si Premier League.

    Hajacheza mechi ya kikosi cha kwanza kwa miezi 17.
    👀Divock Origi amekwama AC Milan baada ya kukataa kuvunja mkataba huku masuala ya kodi yakimzuia kuondoka nchini Italia 👉AC Milan na Origi wameshindwa kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba, na sasa mshambuliaji huyo ataendelea kusalia San Siro licha ya kutokuwa sehemu ya kikosi cha kwanza. 👉Mshindi wa Ligi ya Mabingwa, Divock Origi, amekataa kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Ac Milan licha ya kucheza msimu mzima na timu ya U23 ya Ac Milan. 👉Uamuzi huu unakuja licha ya Mbelgiji huyo kutocheza mechi yoyote ya ushindani na kikosi cha wakubwa cha Milan tangu mwaka 2023. 👉Amebakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, na atalazimika kukaa nje msimu mwingine ikiwa hatakubaliana na klabu ya Ac Milan kuvunja mkataba huo. 👉Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 alifunga magoli mawili tu msimu wa 2022–23 kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Nottingham Forest msimu wa 2023–24, ambako alifunga bao moja pekee katika mechi 22 — na bao hilo lilikuja kwenye FA Cup, si Premier League. 👉Hajacheza mechi ya kikosi cha kwanza kwa miezi 17.
    0 Commentarios ·0 Acciones ·266 Views
  • ... 𝗞𝗬𝗟𝗜𝗔𝗡 𝗠𝗕𝗔𝗣𝗣𝗘

    Kwenye mchezo dhidi ya Iceland usiku wa jana, Kylian Mbappé Lottin alifunga bao lake la 52 akiwa na Ufaransa -- na kuwa mfungaji bora wa pili wa muda wote akimpita Thierry Henry .

    57 04 132 - Olivier Giroud
    52 12 092 - Kylian Mbappé
    51 02 123 - Thierry Henry

    Anakuwa mchezaji wa pili wa Europa katika karne ya 21 kuifungia timu yake ya taifa ya wakubwa mabao 52 kabla ya kufikisha umri wa miaka 27, baada ya Romelu Lukaku akiwa na Belgium .

    Kylian Mbappé akiwa na timu ya taifa ya wakubwa ya Ufaransa .

    ◉ 92 - Games.
    ◉ 52 - Goals (second top scorer)
    ◉ 33 - Assists (best assist provider)
    ◉ 85 - Goals/assists.
    ◉ 12 - Penalty.
    ◉ 03 - Hat trick.

    Key .......
    _______________
    - Games
    - Goals
    - Penalty

    Follow us.

    #imansportnews #PlayStation #WorldCupQualifiers2026
    ... 𝗞𝗬𝗟𝗜𝗔𝗡 𝗠𝗕𝗔𝗣𝗣𝗘 🔥 Kwenye mchezo dhidi ya Iceland usiku wa jana, Kylian Mbappé Lottin alifunga bao lake la 52 akiwa na Ufaransa -- na kuwa mfungaji bora wa pili wa muda wote akimpita Thierry Henry . ⚽ 57 🥅 04 🎮 132 - Olivier Giroud ⚽ 52 🥅 12 🎮 092 - Kylian Mbappé ⚽ 51 🥅 02 🎮 123 - Thierry Henry Anakuwa mchezaji wa pili wa Europa katika karne ya 21 kuifungia timu yake ya taifa 🇨🇵 ya wakubwa mabao 52 kabla ya kufikisha umri wa miaka 27, baada ya Romelu Lukaku akiwa na Belgium 🇧🇪 . Kylian Mbappé akiwa na timu ya taifa ya wakubwa ya Ufaransa 🇨🇵 . ◉ 92 - Games. ◉ 52 - Goals (second top scorer) ◉ 33 - Assists (best assist provider) ◉ 85 - Goals/assists. ◉ 12 - Penalty. ◉ 03 - Hat trick. Key ....... 🔑 _______________ 🎮 - Games ⚽ - Goals 🥅 - Penalty Follow us. #imansportnews #PlayStation #WorldCupQualifiers2026
    0 Commentarios ·0 Acciones ·443 Views
  • Orodha ya Timu za taifa bora 10 kwa sasa Barani Afrika

    1️⃣ Morocco [12]
    2️⃣ Senegal [19]
    3️⃣ Egypt [32]
    4️⃣ Algeria [39]
    5️⃣ Ivory Coast [44]
    6️⃣ Nigeria [45]
    7️⃣ Tunisia [47]
    8️⃣ Cameroon [52]
    9️⃣ South Africa [55]
    Mali [56]

    Source FIFA
    💣🚨 Orodha ya Timu za taifa bora 10 kwa sasa Barani Afrika 1️⃣ 🇲🇦 Morocco [12] 2️⃣ 🇸🇳 Senegal [19] 3️⃣ 🇪🇬 Egypt [32] 4️⃣ 🇩🇿 Algeria [39] 5️⃣ 🇮🇪 Ivory Coast [44] 6️⃣ 🇳🇬 Nigeria [45] 7️⃣ 🇹🇳 Tunisia [47] 8️⃣ 🇨🇲 Cameroon [52] 9️⃣ 🇿🇦 South Africa [55] 🔟 🇲🇱 Mali [56] Source FIFA
    0 Commentarios ·0 Acciones ·191 Views
  • TIMU YA MIZIMU IKIANDAA JEZI ZENYE MZIMU WA FREEMASONS KIFUANI
    TIMU YA MIZIMU IKIANDAA JEZI ZENYE MZIMU WA FREEMASONS KIFUANI
    Love
    Haha
    2
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·375 Views
  • TIMU YA MIZIMU IKIOMBA MZIMU WA HANS POPE UWAZAIDIE
    TIMU YA MIZIMU IKIOMBA MZIMU WA HANS POPE UWAZAIDIE
    Love
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·360 Views
  • Tanzania ni miongoni mwa Mataifa yatakayoshiriki mashindano matatu ya efootball Mobile, Console na Rocket kuanzia Septemba 2, 2025 kwa njia ya mtandao, wakali wa PS ni wakati wenu kujisajili kushiriki mashindano hayo kuelekea Kombe la Dunia 2025, jisajili kupata akaunti ya FIFA ID kupitia tovuti ya fifa.gg ili kutambulika kama mchezaji ambaye unaweza kupata fursa ya kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania. @fifae

    haya sasa wa Dream league mje mtwambie ligi yenu lini
    🚨🚨Tanzania ni miongoni mwa Mataifa yatakayoshiriki mashindano matatu ya efootball Mobile, Console na Rocket kuanzia Septemba 2, 2025 kwa njia ya mtandao, wakali wa PS ni wakati wenu kujisajili kushiriki mashindano hayo kuelekea Kombe la Dunia 2025, jisajili kupata akaunti ya FIFA ID kupitia tovuti ya fifa.gg ili kutambulika kama mchezaji ambaye unaweza kupata fursa ya kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania. @fifae haya sasa wa Dream league mje mtwambie ligi yenu lini😂😂😂😂
    0 Commentarios ·0 Acciones ·417 Views
  • Slot: Kuna mfanano mkubwa kati ya Arsenal na Liverpool msimu huu

    Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amesema:

    “Kuna mfanano mkubwa kati ya timu zote mbili. Mtindo wa uchezaji wa Arsenal haujabadilika sana licha ya usajili mpya.”

    “Labda tofauti ipo kwenye namba 9. (Gabriel Jesus) ni mshambuliaji wa kati halisi, lakini hakupata nafasi sana msimu uliopita. Yule walionaye sasa ni tofauti na Havertz au Trossard.”

    “Gyokeres ni mshambuliaji wa aina ya target man, kwa hiyo labda hapo ndipo kuna tofauti ndogo.”

    #SportsElite
    🔴 Slot: Kuna mfanano mkubwa kati ya Arsenal na Liverpool msimu huu 👉Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amesema: 🗣️ “Kuna mfanano mkubwa kati ya timu zote mbili. Mtindo wa uchezaji wa Arsenal haujabadilika sana licha ya usajili mpya.” 🗣️ “Labda tofauti ipo kwenye namba 9. (Gabriel Jesus) ni mshambuliaji wa kati halisi, lakini hakupata nafasi sana msimu uliopita. Yule walionaye sasa ni tofauti na Havertz au Trossard.” 🗣️ “Gyokeres ni mshambuliaji wa aina ya target man, kwa hiyo labda hapo ndipo kuna tofauti ndogo.” #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·590 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Thomas Tuchel anatazamia kumuacha beki wa Madrid kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Uingereza kitakachocheza na Serbia na Albania.❎️

    Source Football Tweets

    #SportsElite
    🚨🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Thomas Tuchel anatazamia kumuacha beki wa Madrid kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Uingereza kitakachocheza na Serbia na Albania.🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿❎️ Source Football Tweets #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·281 Views
  • SIKU YA MWANANCHI

    #EXCLUSIVE;Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki siku ya mwananchi tarehe 12.9.2025 dhidi ya timu ya BANDARI FC kutoka nchini Kenya.

    #BandariFc #SikuYaMwananchi #YangaSC

    #SportsElite
    SIKU YA MWANANCHI 🚨#EXCLUSIVE;Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki siku ya mwananchi tarehe 12.9.2025 dhidi ya timu ya BANDARI FC kutoka nchini Kenya. #BandariFc #SikuYaMwananchi #YangaSC #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·552 Views
  • Mikel Arteta Avutiwa na Kipaji cha Ajabu cha Kinda wa Miaka 15!

    Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amezungumza kwa hisia kuhusu kinda wa timu yao ya vijana, Max Dowman.

    "Kuna mtoto hapa hana woga kabisa na ana uhakika mkubwa kwamba akiwa na miaka 15 anaweza kufanya mambo makubwa," Arteta aliiambia BBC Sport.

    "Sijawahi kushuhudia kitu kama hicho maishani mwangu. Kwetu, analeta furaha, hisia, na kitu cha ziada kinachofanya kazi zetu kuwa nzuri zaidi."

    Dowman, mwenye miaka 15, ameanza kuvutia macho ya wengi na maneno ya Arteta yanaonyesha jinsi klabu inavyomthamini.

    #MaxDowman #Arsenal #MikelArteta #KipajiKipya #Gunners #Football #BBCSport #VijanaWaArsenal

    #SportsElite
    Mikel Arteta Avutiwa na Kipaji cha Ajabu cha Kinda wa Miaka 15! ✨ Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amezungumza kwa hisia kuhusu kinda wa timu yao ya vijana, Max Dowman. 🗣️ "Kuna mtoto hapa hana woga kabisa na ana uhakika mkubwa kwamba akiwa na miaka 15 anaweza kufanya mambo makubwa," Arteta aliiambia BBC Sport. 🗣️ "Sijawahi kushuhudia kitu kama hicho maishani mwangu. Kwetu, analeta furaha, hisia, na kitu cha ziada kinachofanya kazi zetu kuwa nzuri zaidi." Dowman, mwenye miaka 15, ameanza kuvutia macho ya wengi na maneno ya Arteta yanaonyesha jinsi klabu inavyomthamini. #MaxDowman #Arsenal #MikelArteta #KipajiKipya #Gunners #Football #BBCSport #VijanaWaArsenal #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·722 Views
  • NEO MAEMA NI WA SIMBA SC
    Klabu ya Simba SC imemtambulisha kiungo mshambuliaji Neo MAEMA kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja kutokea Mamelodi Sundowns

    Si mmemuona ona juzi!?

    @kanzu_estate
    🚨 NEO MAEMA NI WA SIMBA SC Klabu ya Simba SC imemtambulisha kiungo mshambuliaji Neo MAEMA kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja kutokea Mamelodi Sundowns✍️ Si mmemuona ona juzi!? @kanzu_estate
    0 Commentarios ·0 Acciones ·206 Views
  • Klabu ya Strasbourg imeandika historia kwa kuwa timu ya kwanza katika ligi kubwa tano barani Ulaya kuanza mchezo ikiwa na wachezaji kumi na moja wote waliozaliwa katika karne ya 21 (baada ya mwaka 2000).

    Tukio hilo lilitokea katika mchezo wao dhidi ya Metz ambapo Strasbourg ilishinda bao 1-0, shukrani kwa bao la Joaquín Panichelli dakika ya 86.

    Kikosi kilichoipeleka Strasbourg kwenye historia hiyo kilikuwa na vijana wenye umri kati ya miaka 19 hadi 22 pekee.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Strasbourg imeandika historia kwa kuwa timu ya kwanza katika ligi kubwa tano barani Ulaya kuanza mchezo ikiwa na wachezaji kumi na moja wote waliozaliwa katika karne ya 21 (baada ya mwaka 2000). Tukio hilo lilitokea katika mchezo wao dhidi ya Metz ambapo Strasbourg ilishinda bao 1-0, shukrani kwa bao la Joaquín Panichelli dakika ya 86. Kikosi kilichoipeleka Strasbourg kwenye historia hiyo kilikuwa na vijana wenye umri kati ya miaka 19 hadi 22 pekee. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·298 Views
  • Kipa mwenye umri wa miaka 15 kutoka Nigeria, Ebenezer Harcourt, amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea timu ya taifa ya Super Eagles.

    Amecheza mechi yake ya kwanza (debut) kwa Nigeria katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Congo kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).

    © Enoch Arthur

    #SportsElite
    🚨🇳🇬 Kipa mwenye umri wa miaka 15 kutoka Nigeria, Ebenezer Harcourt, amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea timu ya taifa ya Super Eagles. Amecheza mechi yake ya kwanza (debut) kwa Nigeria katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Congo kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN). © Enoch Arthur ✍️ #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·164 Views
  • Sema kwenye deal la Isak ni gumu sana na bei ni ghali Sana, ndio maana hakuna timu inaweza ingilia hapo kati zaidi ya Liverpool wenyewe...

    Sema Hawa Newcastle Wana nguvu ya pesa ndio maana hawababaishwi na mtu... Ila nguvu ya demand kwa mchezaji kutaka kwenda kucheza Liverpool Pekee ndio kutabadilisha matokeo... Na Newcastle kukubali deal li kamamilike

    #SportsElite
    Sema kwenye deal la Isak ni gumu sana na bei ni ghali Sana, ndio maana hakuna timu inaweza ingilia hapo kati zaidi ya Liverpool wenyewe... Sema Hawa Newcastle Wana nguvu ya pesa ndio maana hawababaishwi na mtu... Ila nguvu ya demand kwa mchezaji kutaka kwenda kucheza Liverpool Pekee ndio kutabadilisha matokeo... Na Newcastle kukubali deal li kamamilike #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·330 Views
Resultados de la búsqueda