• Mchezaji Xavi Simons anahitaji kuondoka katika Club ya RB Leipzig huku timu ya Chelsea na Arsenal zikihusishwa kumuwania mchezaji huyo

    #SportsElite
    Mchezaji Xavi Simons anahitaji kuondoka katika Club ya RB Leipzig huku timu ya Chelsea na Arsenal zikihusishwa kumuwania mchezaji huyo #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·24 Просмотры
  • Marcus Rashford ameweka kila kitu vizuri ili kuanza mazoezi na Club ya Barcelona katika kiangazii hiki na pia Rashford amekataa offer zote alizopata katika timu zingine hususa timu yake ya Manchester united na kuchagua kwenda Barcelona,, Hivyo Manchester united wameheshimuu maamuzi yake na heshima yakee kama mchezaji

    #SportsElite
    Marcus Rashford ameweka kila kitu vizuri ili kuanza mazoezi na Club ya Barcelona katika kiangazii hiki na pia Rashford amekataa offer zote alizopata katika timu zingine hususa timu yake ya Manchester united na kuchagua kwenda Barcelona,, Hivyo Manchester united wameheshimuu maamuzi yake na heshima yakee kama mchezaji #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·21 Просмотры
  • Timu ya Al-Hilal imeanza mazungumzo na nyota wa Newcastle Alexander Isak' kwaajili ya kumsajiri mchezaji huyo,, Newcastle wamekubaliana na mchakato huo na kuweka dau la €130M kwa mchezaji huyo lakn pia Isak amelithia club yakee ya isimamiee juu ya swala hilooo bila kipingamizii chochote

    #SportsElite
    Timu ya Al-Hilal imeanza mazungumzo na nyota wa Newcastle Alexander Isak' kwaajili ya kumsajiri mchezaji huyo,, Newcastle wamekubaliana na mchakato huo na kuweka dau la €130M kwa mchezaji huyo lakn pia Isak amelithia club yakee ya isimamiee juu ya swala hilooo bila kipingamizii chochote #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·11 Просмотры
  • Achana na Andre onana kule nyuma aliyepiga goti, achana na Bernado silva, ebu mtazame huyo namba 47 Phill Foden...

    Kwa nini dunia , kwa nini mpira, kwa nini iwe kwa Phill Foden ?

    Labda ni wapi alipoikosea dunia Foden ? Wapi alipoteleza kijana wa Malkia ?

    Binafsi naamini katika wachezaji watatu bora wa pembeni wa kiingereza Foden ni mmoja wao..

    Achana na yule Foden wa mashindano ya Euro kule Germany, ebu mtazame Foden wa Pep Guardiola akiwa pale City the dream...

    Mimi ukiniuliza unaona nini kwa Phill Foden, jibu langu litakuwa Foden atakuwa Ballond'ior winner siku moja...

    Utakataa labda kwa sababu hayupo Kwenye timu yako pendwa, hayupo Kwenye timu inayopigiwa promo Kwenye vyombo vya habari...

    Ila Phill Foden ni kipaji haswa cha mpira wa miguu, amekuja kuzibariki nyasi za mpira pale Uingereza...

    #SportsElite
    Achana na Andre onana kule nyuma aliyepiga goti, achana na Bernado silva, ebu mtazame huyo namba 47 Phill Foden... Kwa nini dunia , kwa nini mpira, kwa nini iwe kwa Phill Foden ? Labda ni wapi alipoikosea dunia Foden ? Wapi alipoteleza kijana wa Malkia ? Binafsi naamini katika wachezaji watatu bora wa pembeni wa kiingereza Foden ni mmoja wao.. Achana na yule Foden wa mashindano ya Euro kule Germany, ebu mtazame Foden wa Pep Guardiola akiwa pale City the dream... Mimi ukiniuliza unaona nini kwa Phill Foden, jibu langu litakuwa Foden atakuwa Ballond'ior winner siku moja... Utakataa labda kwa sababu hayupo Kwenye timu yako pendwa, hayupo Kwenye timu inayopigiwa promo Kwenye vyombo vya habari... Ila Phill Foden ni kipaji haswa cha mpira wa miguu, amekuja kuzibariki nyasi za mpira pale Uingereza... #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·43 Просмотры
  • Baada ya Inter Miami kuibuka na ushindi wa magoli 5️⃣ kwa 1️⃣ dhidi ya New York Red alfajiri ya leo

    Lionel Messi akaibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo baada ya kuisaidia timu yake kwa kufunga magoli mawili na kutoa assist moja — akiwa amechangia jumla ya magoli matatu!

    Katika michezo saba mfululizo ya Inter Miami, Lionel Messi amefunga kwenye michezo sita (6️⃣) — akiwa ana funga magoli mawili mawili katika mchezo mmoja, isipokuwa mchezo mmoja tu ndio hakuweza kufunga wala kutoa pasi ya goli,

    Takwimu za Messi katika michezo saba ya ligi kuu ya MLS:

    ⚽ Magoli: 12
    Assist: 5
    Jumla ya magoli aliyochangia: 17


    #SportsElite
    🚨 Baada ya Inter Miami kuibuka na ushindi wa magoli 5️⃣ kwa 1️⃣ dhidi ya New York Red alfajiri ya leo 🌅⚽️ 👑 Lionel Messi akaibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo baada ya kuisaidia timu yake kwa kufunga magoli mawili ⚽⚽ na kutoa assist moja 🎯 — akiwa amechangia jumla ya magoli matatu! 🔥🙌 📊 Katika michezo saba mfululizo ya Inter Miami, Lionel Messi amefunga kwenye michezo sita (6️⃣) — akiwa ana funga magoli mawili mawili katika mchezo mmoja, isipokuwa mchezo mmoja tu ndio hakuweza kufunga wala kutoa pasi ya goli, 📈 Takwimu za Messi katika michezo saba ya ligi kuu ya MLS: ⚽ Magoli: 12 🎯 Assist: 5 🔢 Jumla ya magoli aliyochangia: 17 #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·36 Просмотры
  • Club ya Nottingham Forest imeongeza wachezaji wapya wawili katika kiangazii hiki waliotokea Botafogo na wamefanikiwa kujiunga na timu hiyo nyota Hao ni Igor Jesus umri miaka (24), Jair Cunha umri miaka (20)
    Club ya Nottingham Forest imeongeza wachezaji wapya wawili katika kiangazii hiki waliotokea Botafogo na wamefanikiwa kujiunga na timu hiyo nyota Hao ni Igor Jesus umri miaka (24), Jair Cunha umri miaka (20)
    0 Комментарии ·0 Поделились ·28 Просмотры
  • Club ya Roma wamekubaliana na timu ya Brighton kumsajiri mchezaji Evan Ferguson kutoka Brighton kwenda Roma,, ambapo usajiri huoo utaghalimuu kiasi cha €40M kwa usajiri wakee

    #SportsElite

    Club ya Roma wamekubaliana na timu ya Brighton kumsajiri mchezaji Evan Ferguson kutoka Brighton kwenda Roma,, ambapo usajiri huoo utaghalimuu kiasi cha €40M kwa usajiri wakee #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·65 Просмотры
  • Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen

    Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen .

    Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno na Ufaransa zilizochezwa Juni 4 na 8.

    Ripoti hiyo imeongeza:

    > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani ."

    Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa .

    Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo.

    Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay wakati wa Copa América 2024.

    Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni.

    #SportsElite
    🚨 Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen 💰 Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen 🤕. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno 🇵🇹 na Ufaransa 🇫🇷 zilizochezwa Juni 4 na 8. Ripoti hiyo imeongeza: > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani 🇩🇪." Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa 🏥. Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo. Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania 🇪🇸 mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay 🇺🇾 wakati wa Copa América 2024. Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·140 Просмотры
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Timu ya Juventus wamekubaliana na timu ya Manchester united kumsajiri mchezaji wao kwa kiwango cha £5M na kwa ujumla timu ya Juventus imekubali kumsaini mchezaji huyo kwa £5M kwa miaka minne
    0 Комментарии ·0 Поделились ·52 Просмотры


  • Mchezaji Marcus Rashford ameendelea kubaki na msimamo wake wa kutaka kujiunga na Club ya Barcelona katika msimu huu wa kiangazii Richa ya kuwa timu ya Juventus, bayern Munich, Chelsea na Liverpool kuonekana zinamwitajii lakn ameendelea kusimamia msimamo wake wa kwenda club ya Barcelona


    #SportsElite
    Mchezaji Marcus Rashford ameendelea kubaki na msimamo wake wa kutaka kujiunga na Club ya Barcelona katika msimu huu wa kiangazii Richa ya kuwa timu ya Juventus, bayern Munich, Chelsea na Liverpool kuonekana zinamwitajii lakn ameendelea kusimamia msimamo wake wa kwenda club ya Barcelona #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·120 Просмотры
  • Hawa ndiyo wachezaji (5)bora katika premier league kwenye msimu uliopita katika kiwango walichochangia katika timu zaoo
    Hawa ndiyo wachezaji (5)bora katika premier league kwenye msimu uliopita katika kiwango walichochangia katika timu zaoo
    0 Комментарии ·0 Поделились ·27 Просмотры
  • Klabu ya Napoli ya nchini Italy imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Noa Lang (26) akitokea PSV ya nchini uholanzi.

    Noa Lang ni moja ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana na kipaji kikubwa akifanikiwa kufunga magoli 15 na kutoa pasi za magoli 12 msimu uliopita akiwa na PSV pamoja na timu ya taifa.

    #SportsElite
    🚨Klabu ya Napoli ya nchini Italy imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Noa Lang (26) akitokea PSV ya nchini uholanzi. Noa Lang ni moja ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana na kipaji kikubwa akifanikiwa kufunga magoli 15 na kutoa pasi za magoli 12 msimu uliopita akiwa na PSV pamoja na timu ya taifa. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·117 Просмотры
  • HERE WE GO! ⚡️ Mchezaji wa kimataifa wa Kenya, Aldrine Kibet, amejiunga na klabu ya Celta Vigo ya Uhispania kwa mkataba utakaodumu hadi mwaka 2029.

    Kibet anatarajiwa kuanza kwa kuwakilisha Celta Fortuna, timu ya pili ya Celta Vigo, huku akipanda ngazi taratibu kuelekea kikosi cha kwanza.

    #SportsElite
    🚨HERE WE GO! ⚡️ Mchezaji wa kimataifa wa Kenya, Aldrine Kibet, amejiunga na klabu ya Celta Vigo ya Uhispania kwa mkataba utakaodumu hadi mwaka 2029. 🇰🇪 Kibet anatarajiwa kuanza kwa kuwakilisha Celta Fortuna, timu ya pili ya Celta Vigo, huku akipanda ngazi taratibu kuelekea kikosi cha kwanza. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·199 Просмотры
  • Aston Villa ni miongoni mwa timu za Premier League zinazo ulizia upatikanaji wa Alejandro Garnacho.

    (Source: Mail)

    #SportsElite
    🚨 Aston Villa ni miongoni mwa timu za Premier League zinazo ulizia upatikanaji wa Alejandro Garnacho. (Source: Mail) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·127 Просмотры
  • Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki.

    Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani.

    #SportsElite
    🚨Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki. Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·193 Просмотры
  • 🗣Hansi Flick:” Nathibisha Roony Bardghji Atakua kwenye kikosi cha kwanza kwenye Timu yangu.

    Report --- Diaro sports

    #SportsElite
    🚨🗣Hansi Flick:” Nathibisha Roony Bardghji Atakua kwenye kikosi cha kwanza kwenye Timu yangu. 🔵🌑🔴 Report --- Diaro sports ✍️ #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·69 Просмотры
  • | CONFIRMED

    Wolves imekamilisha usajili wa nyota wa Fluminense, John Arias kwa dau la £17M .

    John Arias ni moja ya nyota wachache waliofanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa dunia pale Marekani akiisaidia timu yake Fluminense kufika hatua nzuri ya nusu fainali.

    #SportsElite

    🚨 | CONFIRMED ✅ Wolves imekamilisha usajili wa nyota wa Fluminense, John Arias kwa dau la £17M . John Arias ni moja ya nyota wachache waliofanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa dunia pale Marekani akiisaidia timu yake Fluminense kufika hatua nzuri ya nusu fainali. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·146 Просмотры
  • Asipolipwa, anauza timu
    Asipolipwa, anauza timu
    Love
    Haha
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·147 Просмотры
  • Baada ya kurejea timu yake ya zamani Rosario de Central, Angel de Maria leo ataanza kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Godoy Cruz mchezo wa ligi kuu nchini Argentina.

    Rosario de Central ndio timu iliyomtoa Di maria kabla ya kutimkia vilabu vya ulaya kama vile Benfica, Real Madrid, Manchester united pamoja na PSG.

    #SportsElite
    Baada ya kurejea timu yake ya zamani Rosario de Central, Angel de Maria leo ataanza kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Godoy Cruz mchezo wa ligi kuu nchini Argentina. Rosario de Central ndio timu iliyomtoa Di maria kabla ya kutimkia vilabu vya ulaya kama vile Benfica, Real Madrid, Manchester united pamoja na PSG. #SportsElite
    Love
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·173 Просмотры
  • RASMI

    UEFA imetangaza kuwa Crystal Palace hawatashiriki EUROPA LEAGUE licha ya kufanikiwa kufuzu kushiriki mashindano hayo.

    Sababu kuu ni uwepo wa Olympique Lyonnais kwenye mashindano hayo, timu zote mbili zipo chini ya mmiliki mmoja.

    Crystal Palace atakuwa na nafasi ya kushiriki Conference League badala ya EUROPA kutokana na sheria.

    #SportsElite
    RASMI ✍️ UEFA imetangaza kuwa Crystal Palace hawatashiriki EUROPA LEAGUE licha ya kufanikiwa kufuzu kushiriki mashindano hayo. Sababu kuu ni uwepo wa Olympique Lyonnais kwenye mashindano hayo, timu zote mbili zipo chini ya mmiliki mmoja. Crystal Palace atakuwa na nafasi ya kushiriki Conference League badala ya EUROPA kutokana na sheria. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·93 Просмотры
Расширенные страницы