Upgrade to Pro

  • KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI.

    Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka.

    Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia.

    Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua.

    Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi.

    Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti.

    Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana.

    Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo.

    Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika.

    Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi.

    Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi.

    Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi.

    Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi.

    Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka

    #neliudcosih
    🚨 KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI. Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka. Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia. Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua. Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi. Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti. Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana. Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo. Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika. Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi. Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi. Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi. Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi. ✍️Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka 🙌 #neliudcosih
    ·66 Views
  • *FAHAMU MAAJABU YA WANAWAKE YALIYOWASHINDA HATA WANA FALSAFA KUELEWA*

    Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, Manabii na busara zao zote walishindwa kuwaelewa wakaishia kushauri ya kwamba tuishi nao kwa akili. Sasa najiuliza ni jambo gani unaweza kufanya nao bila kutumia akili?, hapa ndipo napata ushahidi kwamba kumbe wanawake walishindikana tangu zama za mwanzo kabisa!.

    Wanasaikolojia wanasema kuwa kama utamuoa/kuishi na mwanamke mwenye miaka 25 basi itakuchukua miaka 25 mingine kumuelewa huyo mwanamke angalau kwa 90% maana hawa kila siku hubadilika na kuwa wapya kimatendo na kifikra.

    Mwanamke unaweza mnunulia BMW X6 akatoka nayo kwenda kutembea, akiwa njiani akaombwa lift na kijana akampa akipitia sheli hela ya mafuta ikawa haitoshi, yule kijana akaamua kumuongeza ata elfu 20 basi mwanamke huweza kubadili mawazo na kumuona yule kijana ni bora kisa tu kachangia mafuta kuliko wewe uliyenunua BMW X6.

    Mfano akitoka hapo akapitia supermarket kununua bidhaa labda akapungukiwa kiasi mfano anadaiwa elfu 20, na yule kijana akasema hiyo ntalipa mimi basi basi hapo atasahau zile zawadi zote huwa unambebea na hiyo elfu 20 inaweza kumfanya awaze kumtunuku yule kijana penzi.

    Mwanamke unaweza mpa hela akanunue nyama kilo 5 buchani, mwenye bucha akimuongeza robo tu hilo litamfurahisha kiasi kwamba anaweza kumpa mwenye bucha penzi na akusahau wewe ulieyota hela ya nyama kilo 5.

    Mwanamke unaweza kumnunulia nguo, weaving, mafuta, perfume na urembo mzuri akavutia ila akipita mtaani akasifiwa na mwanaume kuwa kapendeza inaweza kuwa chanzo cha kumtunuku penzi na akakusahu wewe uliyegharamika na kufanya asifiwe!.

    Mwanamke unaweza kumpa mimba na ukamhudumia mwanzo mwisho na familia ukalea kwa juhudi zako zote ila siku mkikosana anakwambia niache na watoto wangu, apo ashasahau kuwa wewe ndiye uliyempa mimba na kumlea yeye na watoto!.

    Mchukue rafiki yako mwende bar, wewe uwe na laki 5 na yeye awe na elfu 30 kisha mkae meza moja na muagize unywaji, wewe agiza soda na yeye aagize bia. halafu baada ya nusu saa iteni warembo utaona wewe na laki 5 yako unapitwa tu ila yeye mwenye slfu 30 anaibuka kidedea kisa kaweza kumudu gharama ya bia, Hao ndio wanawake ndugu!

    Mwanamke ndiye kiumbe pekee anayeweza kukupenda bila sababu ama kukuchukia bila sababu tofauti na viumbe wengine.
    Mwanamke ndiye mwigizaji mkubwa ulimwenguni, anaweza kulia kwa furaha na akacheka kwa huzuni, bado hujawajua tu wanawake!

    Mwanamke akisema ndio humaanisha hapana, na akisema hapana humaanisha ndio, pia anaweza kucheka bila kujua sababu lakini pia anaweza kulia pasipo sababu ya msingi ya kumfanya alie, hivyo chunga sana usijejichanganya!.

    Mwanamke hupendi vutu vigumu na vyenye hatari mfano wanaume wenye nguvu, mlevi, muhuni (playboy), jambazi, mgomvi anayeogopwa hata na wanaume wenzie ila ukimuuliza anakuambia mie napenda kuwa na mwanaume mpole mwenye hofu ya Mungu tifauti na sisi wanaume tunavyopenda vitu vipole na vinyenyekevu na vyenye ukarimu, sasa wewe jifanye kumuamini mwanamke!

    Jinsi unavyozidi kumpenda na kumthibutishia upendo wa dhati ndivyo unavyozidi kujiweka mbali nayeye, mwanamke hupenda migogoro isiyo na maana, ukijua hili ndoa haitokusumbua. Mwanamke hupendi utulivu kamwe!, usipomchokoa atakuchokoa tuu na usipomuendesha lazima akuendeshe yeye, Hawa viumbe hawana hiyana aisee!.

    Mwanamke hupendi vitu vikubwa wala vidogo, kiufupi hana chaguo maalumu. Ukimnunulia gari sio garantii ya yeye kutulia nawewe bali anaweza kukusaliti hata na muosha gari wako. Ukimjengea nyumba nzuri na kumuwekea kila kitu sio njia ya kumteka kimahaba kwani anaweza kumtunuku penzi ata mtunza bustani wa nyumba yako.

    Mwanamke hapendi ukweli, Ukimpa ukweli akija mwenye uongo basi we andika maumivu. Unaweza kuwa na elfu 50 ukamueleza ukweli kuwa "mke wangu leo hali mbaya chukua hii elfu 30,"... akatokea jamaa akamuongopea kuwa "Chukua hii elfu 15 ngoja nimesahau ATM card yangu nyumbani ikifuka saa 10 jioni ntakutumia laki 2 kwenye simu", Usishangae mkeo akakusaliti hata kabla ya hiyo saa 10 na iyo laki 2 asiione katu!.

    Unamuoa hana ishu akiwa kwao amekaa tu, unaamua kumfungulia biashara hata ya duka unamjazia kila kitu. anatokea mshikaji mmoja kumuunga pale dukani kila siku na kumuachia soda tu na hicho kinakuwa kigezo tosha cha kuona mshikaji anamjali kwa kumuachia ya soda kila siku kuliko wewe uliyemfungulia duka zima na kinachofuata ni usaliti tu.
    Yapo mengi mno kuliko hayo ila kwa leo naishia hapo... ukiweza shea kwenye groups zingine.

    🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
    Wamekuwa viumbe walioshindikana kwa Maana nyingine
    *ni mawazo tu wadau msijenge chuki*🏃🏽
    *FAHAMU MAAJABU YA WANAWAKE YALIYOWASHINDA HATA WANA FALSAFA KUELEWA* Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, Manabii na busara zao zote walishindwa kuwaelewa wakaishia kushauri ya kwamba tuishi nao kwa akili. Sasa najiuliza ni jambo gani unaweza kufanya nao bila kutumia akili?, hapa ndipo napata ushahidi kwamba kumbe wanawake walishindikana tangu zama za mwanzo kabisa!. Wanasaikolojia wanasema kuwa kama utamuoa/kuishi na mwanamke mwenye miaka 25 basi itakuchukua miaka 25 mingine kumuelewa huyo mwanamke angalau kwa 90% maana hawa kila siku hubadilika na kuwa wapya kimatendo na kifikra. Mwanamke unaweza mnunulia BMW X6 akatoka nayo kwenda kutembea, akiwa njiani akaombwa lift na kijana akampa akipitia sheli hela ya mafuta ikawa haitoshi, yule kijana akaamua kumuongeza ata elfu 20 basi mwanamke huweza kubadili mawazo na kumuona yule kijana ni bora kisa tu kachangia mafuta kuliko wewe uliyenunua BMW X6. Mfano akitoka hapo akapitia supermarket kununua bidhaa labda akapungukiwa kiasi mfano anadaiwa elfu 20, na yule kijana akasema hiyo ntalipa mimi basi basi hapo atasahau zile zawadi zote huwa unambebea na hiyo elfu 20 inaweza kumfanya awaze kumtunuku yule kijana penzi. Mwanamke unaweza mpa hela akanunue nyama kilo 5 buchani, mwenye bucha akimuongeza robo tu hilo litamfurahisha kiasi kwamba anaweza kumpa mwenye bucha penzi na akusahau wewe ulieyota hela ya nyama kilo 5. Mwanamke unaweza kumnunulia nguo, weaving, mafuta, perfume na urembo mzuri akavutia ila akipita mtaani akasifiwa na mwanaume kuwa kapendeza inaweza kuwa chanzo cha kumtunuku penzi na akakusahu wewe uliyegharamika na kufanya asifiwe!. Mwanamke unaweza kumpa mimba na ukamhudumia mwanzo mwisho na familia ukalea kwa juhudi zako zote ila siku mkikosana anakwambia niache na watoto wangu, apo ashasahau kuwa wewe ndiye uliyempa mimba na kumlea yeye na watoto!. Mchukue rafiki yako mwende bar, wewe uwe na laki 5 na yeye awe na elfu 30 kisha mkae meza moja na muagize unywaji, wewe agiza soda na yeye aagize bia. halafu baada ya nusu saa iteni warembo utaona wewe na laki 5 yako unapitwa tu ila yeye mwenye slfu 30 anaibuka kidedea kisa kaweza kumudu gharama ya bia, Hao ndio wanawake ndugu! Mwanamke ndiye kiumbe pekee anayeweza kukupenda bila sababu ama kukuchukia bila sababu tofauti na viumbe wengine. Mwanamke ndiye mwigizaji mkubwa ulimwenguni, anaweza kulia kwa furaha na akacheka kwa huzuni, bado hujawajua tu wanawake! Mwanamke akisema ndio humaanisha hapana, na akisema hapana humaanisha ndio, pia anaweza kucheka bila kujua sababu lakini pia anaweza kulia pasipo sababu ya msingi ya kumfanya alie, hivyo chunga sana usijejichanganya!. Mwanamke hupendi vutu vigumu na vyenye hatari mfano wanaume wenye nguvu, mlevi, muhuni (playboy), jambazi, mgomvi anayeogopwa hata na wanaume wenzie ila ukimuuliza anakuambia mie napenda kuwa na mwanaume mpole mwenye hofu ya Mungu tifauti na sisi wanaume tunavyopenda vitu vipole na vinyenyekevu na vyenye ukarimu, sasa wewe jifanye kumuamini mwanamke! Jinsi unavyozidi kumpenda na kumthibutishia upendo wa dhati ndivyo unavyozidi kujiweka mbali nayeye, mwanamke hupenda migogoro isiyo na maana, ukijua hili ndoa haitokusumbua. Mwanamke hupendi utulivu kamwe!, usipomchokoa atakuchokoa tuu na usipomuendesha lazima akuendeshe yeye, Hawa viumbe hawana hiyana aisee!. Mwanamke hupendi vitu vikubwa wala vidogo, kiufupi hana chaguo maalumu. Ukimnunulia gari sio garantii ya yeye kutulia nawewe bali anaweza kukusaliti hata na muosha gari wako. Ukimjengea nyumba nzuri na kumuwekea kila kitu sio njia ya kumteka kimahaba kwani anaweza kumtunuku penzi ata mtunza bustani wa nyumba yako. Mwanamke hapendi ukweli, Ukimpa ukweli akija mwenye uongo basi we andika maumivu. Unaweza kuwa na elfu 50 ukamueleza ukweli kuwa "mke wangu leo hali mbaya chukua hii elfu 30,"... akatokea jamaa akamuongopea kuwa "Chukua hii elfu 15 ngoja nimesahau ATM card yangu nyumbani ikifuka saa 10 jioni ntakutumia laki 2 kwenye simu", Usishangae mkeo akakusaliti hata kabla ya hiyo saa 10 na iyo laki 2 asiione katu!. Unamuoa hana ishu akiwa kwao amekaa tu, unaamua kumfungulia biashara hata ya duka unamjazia kila kitu. anatokea mshikaji mmoja kumuunga pale dukani kila siku na kumuachia soda tu na hicho kinakuwa kigezo tosha cha kuona mshikaji anamjali kwa kumuachia ya soda kila siku kuliko wewe uliyemfungulia duka zima na kinachofuata ni usaliti tu. Yapo mengi mno kuliko hayo ila kwa leo naishia hapo... ukiweza shea kwenye groups zingine. 😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Wamekuwa viumbe walioshindikana kwa Maana nyingine 😅👀 *ni mawazo tu wadau msijenge chuki*🏃🏽
    ·195 Views
  • MADA: SAMSONI ALIMSHINDA SAMSONI, SIO WAFILISTI; JIFUNZE KUSEMA "HAPANA."

    Hadithi ya Samsoni si hadithi ya usaliti tu bali ni kioo kinachoakisi mapambano ya kila mwanamume na mwanamke. Samsoni alikuwa hodari, naam. Nguvu zake zingeweza kubomoa malango na simba, lakini mwili wake haungeweza kupinga minong’ono ya matamanio yake mwenyewe. Kwangu mimi, si Delila aliyemshinda Samsoni; Samsoni alishindwa na tamaa zake. Unaona, nguvu za makuri Mahibuli Mahriza, na nguvu za kiakili kusonga mbele. Nguvu ya mikono yako ina faida gani ikiwa matamanio ya moyo wako yataachwa bila kudhibitiwa? Nguvu ya kweli sio uwezo wa wengine, lakini uwezo wa kujishinda mwenyewe. Biblia inasema katika Mithali 25:28, “Mtu asiye na kujizuia kama mji uliobomolewa na kuachwa bila kuta. Kuanguka kwa Samsoni kulianza muda mrefu kabla ya kuwasili kwa Delila. Kushindwa kwake kulipandwa katika mashamba ya anasa, kumwagilia maji kwa kukosa kujizuia, na kuvunwa na adui. Tatizo halikuwepo Delila. Tukio hilo lilikuwa ni la Delila, lakini msukumo wa Samsoni ulikuwa sababu kuu. Ni mara ngapi tunalaumu wengine kwa zamani kwetu, tukikataa kukubali kwamba vita vili ndani yetu muda mrefu kabla ya kuonekana kwa ulimwengu? Ikiwa huwezi kusema "hapana" kwako mwenyewe, utakabidhi mkasi ambao utapunguza nywele za hatima yako.

    Nguvu ya akili ni ujasiri wa kutembea mbali na kile kinachojisikia lakini sio sawa. Ni uwezo wa kuketi kwenye meza ya majaribu na kuacha chakula bila kuguswa. Nguvu ya akili ni nguvu ya kupinga uhusiano huo unaojua utakupoteza. Ni nidhamu ya kukwepa njia za mkato, tukijua kuwa si kila kitu kinachometa katika dhahabu. Mwaka huu, jifunze kusema hapana. Sema hapana kwa mazoea ambayo yanakuchosha roho. Sema hapana kwa urafiki ambao unapunguza mwanga wako. Sema hapana kwa mahusiano ambayo yanakuvuta mbali na Mungu. Sema hapana kwa jambo lolote linalohatarisha maisha yako ya baadaye. Ni bora kuukatisha tamaa mwili wako kuliko kukatisha tamaa hatima yako. "Hapana" ndogo leo inaweza kukuokoa kutokana na maisha ya majuto. Yusufu aliposimama mbele ya mke wa Potifa, hakukaa ili kuliaana. Alikimbia! sababu wakati mwingine jambo la nguvu unaweza kukimbia kutoka kwa kile kinachotaka kukuangamiza. Samson alibaki. Na katika kukaa, alipoteza kila kitu. Hadithi yake inatufundisha kwamba maadui hatari zaidi sio nje lakini ndani. Ikiwa huwezi kuadhibu tamaa zako, tamaa zako zitakuadibu. Ikiwa huwezi kudhibiti hamu yako, hamu yako itadhibiti. Ushindi juu ya nafsi ni mkuu kuliko ushindi juu ya maadui elfu.

    Tunaposonga mbele mwaka huu, acha ukweli huu urudie moyoni mwako, vita vyako vikubwa zaidi havitapigana hadharani bali katika ukimya wa nafsi yako. Mungu akutie nguvu. Na jaribu linapokuja kubisha, acha jibu lako liwe wazi, "Hapana."


    @Fr. Albert Nwosu' (Nwachinemere)
    MADA: SAMSONI ALIMSHINDA SAMSONI, SIO WAFILISTI; JIFUNZE KUSEMA "HAPANA." Hadithi ya Samsoni si hadithi ya usaliti tu bali ni kioo kinachoakisi mapambano ya kila mwanamume na mwanamke. Samsoni alikuwa hodari, naam. Nguvu zake zingeweza kubomoa malango na simba, lakini mwili wake haungeweza kupinga minong’ono ya matamanio yake mwenyewe. Kwangu mimi, si Delila aliyemshinda Samsoni; Samsoni alishindwa na tamaa zake. Unaona, nguvu za makuri Mahibuli Mahriza, na nguvu za kiakili kusonga mbele. Nguvu ya mikono yako ina faida gani ikiwa matamanio ya moyo wako yataachwa bila kudhibitiwa? Nguvu ya kweli sio uwezo wa wengine, lakini uwezo wa kujishinda mwenyewe. Biblia inasema katika Mithali 25:28, “Mtu asiye na kujizuia kama mji uliobomolewa na kuachwa bila kuta. Kuanguka kwa Samsoni kulianza muda mrefu kabla ya kuwasili kwa Delila. Kushindwa kwake kulipandwa katika mashamba ya anasa, kumwagilia maji kwa kukosa kujizuia, na kuvunwa na adui. Tatizo halikuwepo Delila. Tukio hilo lilikuwa ni la Delila, lakini msukumo wa Samsoni ulikuwa sababu kuu. Ni mara ngapi tunalaumu wengine kwa zamani kwetu, tukikataa kukubali kwamba vita vili ndani yetu muda mrefu kabla ya kuonekana kwa ulimwengu? Ikiwa huwezi kusema "hapana" kwako mwenyewe, utakabidhi mkasi ambao utapunguza nywele za hatima yako. Nguvu ya akili ni ujasiri wa kutembea mbali na kile kinachojisikia lakini sio sawa. Ni uwezo wa kuketi kwenye meza ya majaribu na kuacha chakula bila kuguswa. Nguvu ya akili ni nguvu ya kupinga uhusiano huo unaojua utakupoteza. Ni nidhamu ya kukwepa njia za mkato, tukijua kuwa si kila kitu kinachometa katika dhahabu. Mwaka huu, jifunze kusema hapana. Sema hapana kwa mazoea ambayo yanakuchosha roho. Sema hapana kwa urafiki ambao unapunguza mwanga wako. Sema hapana kwa mahusiano ambayo yanakuvuta mbali na Mungu. Sema hapana kwa jambo lolote linalohatarisha maisha yako ya baadaye. Ni bora kuukatisha tamaa mwili wako kuliko kukatisha tamaa hatima yako. "Hapana" ndogo leo inaweza kukuokoa kutokana na maisha ya majuto. Yusufu aliposimama mbele ya mke wa Potifa, hakukaa ili kuliaana. Alikimbia! sababu wakati mwingine jambo la nguvu unaweza kukimbia kutoka kwa kile kinachotaka kukuangamiza. Samson alibaki. Na katika kukaa, alipoteza kila kitu. Hadithi yake inatufundisha kwamba maadui hatari zaidi sio nje lakini ndani. Ikiwa huwezi kuadhibu tamaa zako, tamaa zako zitakuadibu. Ikiwa huwezi kudhibiti hamu yako, hamu yako itadhibiti. Ushindi juu ya nafsi ni mkuu kuliko ushindi juu ya maadui elfu. Tunaposonga mbele mwaka huu, acha ukweli huu urudie moyoni mwako, vita vyako vikubwa zaidi havitapigana hadharani bali katika ukimya wa nafsi yako. Mungu akutie nguvu. Na jaribu linapokuja kubisha, acha jibu lako liwe wazi, "Hapana." @Fr. Albert Nwosu' (Nwachinemere)
    Love
    1
    ·154 Views
  • "Haipendezwi na kile unachofanya kwa riziki.
    Nataka kujua unaumwa nini
    na ukithubutu kuota
    kukutana na shauku ya moyo wako.

    Hainivutii una umri gani.
    Nataka kujua ikiwa utahatarisha kuonekana kama mpumbavu
    kwa mapenzi
    kwa ndoto yako
    kwa adventure ya kuwa hai.

    Hainivutii sayari ni nini
    kuupasua mwezi wako...
    Nataka kujua kama umegusa
    katikati ya huzuni yako mwenyewe
    kama umefunguliwa
    kwa usaliti wa maisha
    au yamekunjamana na kufungwa
    kutokana na hofu ya maumivu zaidi.

    Nataka kujua
    kama unaweza kukaa na maumivu yangu au yako mwenyewe
    bila kusonga kuificha
    au kufifisha
    au kurekebisha.

    Nataka kujua
    kama unaweza kuwa na furaha
    yangu au yako.
    kama unaweza kucheza na nyika
    na acha furaha ikujaze
    kwa ncha za vidole na vidole vyako
    bila kututahadharisha
    kuwa makini
    kuwa wa kweli
    kukumbuka mapungufu
    ya kuwa binadamu.

    Hainivutii
    kama hadithi unaniambia
    ni kweli.
    Nataka kujua kama unaweza
    kumkatisha tamaa mwingine
    kuwa mwaminifu kwako mwenyewe.
    Ikiwa unaweza kubeba shitaka la usaliti
    wala usisaliti nafsi yako.
    Ikiwa unaweza kukosa imani
    na hivyo kuaminika.

    Nataka kujua kama unaweza kuona Uzuri
    hata kama sio nzuri
    kila siku. Na ikiwa unaweza kupata maisha yako mwenyewe
    kutoka kwa uwepo wake.

    Nataka kujua
    kama unaweza kuishi na kushindwa
    yako na yangu na bado simama kwenye ukingo wa ziwa na kupiga kelele kwa fedha ya mwezi kamili,
    “Ndiyo.”

    Hainipendezi kujua unapoishi au una pesa ngapi.
    Ninataka kujua ikiwa unaweza kuamka baada ya usiku wa huzuni na kukata tamaa, uchovu na kujeruhiwa kwa mfupa na kufanya kile kinachohitajika kufanywa.
    kulisha watoto.

    Hainivutii wewe unayemjua
    au ulikujaje kuwa hapa.
    Nataka kujua kama utasimama
    katikati ya moto
    pamoja nami
    na sio kurudi nyuma.

    Hainipendezi ni wapi au nini au umesoma na nani.
    Nataka kujua nini kinakutegemeza
    kutoka ndani
    wakati mengine yote yataanguka.

    Nataka kujua
    kama unaweza kuwa peke yako
    na wewe mwenyewe
    na kama kweli unapenda
    kampuni unayoweka
    katika dakika tupu.

    Oriah Mountain Dreamer - Mwaliko
    "Haipendezwi na kile unachofanya kwa riziki. Nataka kujua unaumwa nini na ukithubutu kuota kukutana na shauku ya moyo wako. Hainivutii una umri gani. Nataka kujua ikiwa utahatarisha kuonekana kama mpumbavu kwa mapenzi kwa ndoto yako kwa adventure ya kuwa hai. Hainivutii sayari ni nini kuupasua mwezi wako... Nataka kujua kama umegusa katikati ya huzuni yako mwenyewe kama umefunguliwa kwa usaliti wa maisha au yamekunjamana na kufungwa kutokana na hofu ya maumivu zaidi. Nataka kujua kama unaweza kukaa na maumivu yangu au yako mwenyewe bila kusonga kuificha au kufifisha au kurekebisha. Nataka kujua kama unaweza kuwa na furaha yangu au yako. kama unaweza kucheza na nyika na acha furaha ikujaze kwa ncha za vidole na vidole vyako bila kututahadharisha kuwa makini kuwa wa kweli kukumbuka mapungufu ya kuwa binadamu. Hainivutii kama hadithi unaniambia ni kweli. Nataka kujua kama unaweza kumkatisha tamaa mwingine kuwa mwaminifu kwako mwenyewe. Ikiwa unaweza kubeba shitaka la usaliti wala usisaliti nafsi yako. Ikiwa unaweza kukosa imani na hivyo kuaminika. Nataka kujua kama unaweza kuona Uzuri hata kama sio nzuri kila siku. Na ikiwa unaweza kupata maisha yako mwenyewe kutoka kwa uwepo wake. Nataka kujua kama unaweza kuishi na kushindwa yako na yangu na bado simama kwenye ukingo wa ziwa na kupiga kelele kwa fedha ya mwezi kamili, “Ndiyo.” Hainipendezi kujua unapoishi au una pesa ngapi. Ninataka kujua ikiwa unaweza kuamka baada ya usiku wa huzuni na kukata tamaa, uchovu na kujeruhiwa kwa mfupa na kufanya kile kinachohitajika kufanywa. kulisha watoto. Hainivutii wewe unayemjua au ulikujaje kuwa hapa. Nataka kujua kama utasimama katikati ya moto pamoja nami na sio kurudi nyuma. Hainipendezi ni wapi au nini au umesoma na nani. Nataka kujua nini kinakutegemeza kutoka ndani wakati mengine yote yataanguka. Nataka kujua kama unaweza kuwa peke yako na wewe mwenyewe na kama kweli unapenda kampuni unayoweka katika dakika tupu. Oriah Mountain Dreamer - Mwaliko
    Like
    Love
    2
    ·288 Views
  • My Sister! Are you Under a Spell?.

    Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo.

    Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu.

    Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu.

    Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri.

    Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu.

    Umefungwa na nini..?
    Nani amekuroga...?

    Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex.

    Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata.

    My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo.

    Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali.

    Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa.

    My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo".

    Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone.

    Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho.

    #KnowYourValueAndAct
    #MarriageUnderGodFoundation
    #MarriageIsBeautifu
    My Sister! Are you Under a Spell?. Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo. Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu. Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu. Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri. Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu. Umefungwa na nini..? Nani amekuroga...? Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex. Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata. My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo. Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali. Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa. My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo". Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone. Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho. #KnowYourValueAndAct #MarriageUnderGodFoundation #MarriageIsBeautifu
    ·686 Views
  • Usimdhuru mtu au usipigane na mtu yeyote kwasababu amekuchukulia mtu mpenzi wako, amekusaliti au yeye ndiye chanzo cha kuachwa kwasababu unaweza kujikuta upo kwenye changamoto ambayo itagharimu maisha yako

    Yawezekana ukajisababishia shida ambayo inaepukika, pigania maisha yako si mwanamke au mwanaume ambaye ameamua kukusaliti au kumpenda mtu mwingine tofauti na wewe rafiki

    Kubaliana na ulichokiona kisha usihi moyo wako na akili yako kukubaliana na matokeo ya hicho ulichokiona kisha nenda zako kwa amani

    Acha ubabe au kisasi hakibalishi chochote kile kilichofanyika ila kisasi kinaweza kukuweka hatarini zaidi na kuleta majuto yanayoweza kugharimu maisha yako au uhuru wako wote

    Kutoshindania penzi ni ukomavu mkubwa sana na kumwacha salama bila kumuumiza nao ni upendo mkubwa sana na adhabu kubwa kwake
    Usimdhuru mtu au usipigane na mtu yeyote kwasababu amekuchukulia mtu mpenzi wako, amekusaliti au yeye ndiye chanzo cha kuachwa kwasababu unaweza kujikuta upo kwenye changamoto ambayo itagharimu maisha yako Yawezekana ukajisababishia shida ambayo inaepukika, pigania maisha yako si mwanamke au mwanaume ambaye ameamua kukusaliti au kumpenda mtu mwingine tofauti na wewe rafiki Kubaliana na ulichokiona kisha usihi moyo wako na akili yako kukubaliana na matokeo ya hicho ulichokiona kisha nenda zako kwa amani Acha ubabe au kisasi hakibalishi chochote kile kilichofanyika ila kisasi kinaweza kukuweka hatarini zaidi na kuleta majuto yanayoweza kugharimu maisha yako au uhuru wako wote Kutoshindania penzi ni ukomavu mkubwa sana na kumwacha salama bila kumuumiza nao ni upendo mkubwa sana na adhabu kubwa kwake
    Like
    Love
    2
    1 Comments ·258 Views
  • Hakuna kitu kinachoudhi na kuchanganya kama kuwa katika ndoa au mahusiano na mtu ambae hana uhakika ni nini haswa anataka.

    Unakuta kuna muda anaonesha kukupenda kweli, then baadae unakuta mtu huyohuyo anakufanya ujihisi hupendwi. Mtu anakuacha halafu baada ya kujitahidi kuendelea na maisha yako anarudi na kukuomba mrudiane.

    Mtu anakwambia kabisa it's over, lakini baadae anakuita eti muyajenge. Mtu yuko na ndoa kabisa ila anajifanya yuko Single. Mtu kwa muda mfupi tu anabadilika kutoka "Nakupenda sana" kwenda "nakuchukia sana". Anakufanya unajisikia vizuri kidogo tu anakubadilikia..ni mbaya zaidi kama umezaa na mtu wa aina hiyo ambae haeleweki.

    Huu upuuzi wa kutokueleweka kwenye mahusiano ni utoto. Mtu ambae amekua kiakili anahitaji uhakika. Mtu aliyekua kiakili anaeleza wazi kama mahusiano yapo au hayapo. Kuwa na uhakika na maamuzi yako kuliko kupotezeana muda.

    Acha kumchezea michezo ya kitoto mwenzako. Chagua moja kama upo kwenye uhusiano nae au laa. Usiwe mguu mmoja ndani mguu mmoja nje. Mapenzi sio moody. Mapenzi ni kitu ambacho kipo constant. Mapenzi yanatabirika na yanayotegemeana. Mapenzi ni facts sio theory. Mpe mtu clarity kuhusu mahusiano yenu.

    Ndoa imara na Mahusiano imara hayajengwi kwa misingi ya mapenzi yasiyo na uhakika. Mtu uliyenae anaweza kabisa kukubaliana na matokeo. Kama haumtaki tena mweleze wazi ili afahamu amesimama wapi. Ni bora kukataliwa sasa hivi ukaendelea na maisha yako huku ukijitahidi kutibu moyo, kuliko kuendelea kusalitiwa na mtu ambae hafahamu ni nini anachokitaka.

    #GiveClarity
    #DateSmart
    #MarrySmart
    Hakuna kitu kinachoudhi na kuchanganya kama kuwa katika ndoa au mahusiano na mtu ambae hana uhakika ni nini haswa anataka. Unakuta kuna muda anaonesha kukupenda kweli, then baadae unakuta mtu huyohuyo anakufanya ujihisi hupendwi. Mtu anakuacha halafu baada ya kujitahidi kuendelea na maisha yako anarudi na kukuomba mrudiane. Mtu anakwambia kabisa it's over, lakini baadae anakuita eti muyajenge. Mtu yuko na ndoa kabisa ila anajifanya yuko Single. Mtu kwa muda mfupi tu anabadilika kutoka "Nakupenda sana" kwenda "nakuchukia sana". Anakufanya unajisikia vizuri kidogo tu anakubadilikia..ni mbaya zaidi kama umezaa na mtu wa aina hiyo ambae haeleweki. Huu upuuzi wa kutokueleweka kwenye mahusiano ni utoto. Mtu ambae amekua kiakili anahitaji uhakika. Mtu aliyekua kiakili anaeleza wazi kama mahusiano yapo au hayapo. Kuwa na uhakika na maamuzi yako kuliko kupotezeana muda. Acha kumchezea michezo ya kitoto mwenzako. Chagua moja kama upo kwenye uhusiano nae au laa. Usiwe mguu mmoja ndani mguu mmoja nje. Mapenzi sio moody. Mapenzi ni kitu ambacho kipo constant. Mapenzi yanatabirika na yanayotegemeana. Mapenzi ni facts sio theory. Mpe mtu clarity kuhusu mahusiano yenu. Ndoa imara na Mahusiano imara hayajengwi kwa misingi ya mapenzi yasiyo na uhakika. Mtu uliyenae anaweza kabisa kukubaliana na matokeo. Kama haumtaki tena mweleze wazi ili afahamu amesimama wapi. Ni bora kukataliwa sasa hivi ukaendelea na maisha yako huku ukijitahidi kutibu moyo, kuliko kuendelea kusalitiwa na mtu ambae hafahamu ni nini anachokitaka. #GiveClarity #DateSmart #MarrySmart
    ·317 Views
  • F E W D A T I N G T I P S .

    1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye binafsi hajipendi.

    2. Mtafute MUNGU, fanya kazi kwa bidii then pata mwanamke/ mwanaume bora, ukifanya hayo mambo matatu kwa usahihi, suala la kufanikiwa litakuja lenyewe tu.

    3. Mwanaume aliye bora na mwanamke aliye mzuri hapimwi kwa idadi ya watu aliolala nao, ila kwa idadi ya watu aliopata ujasiri wa kuwaambia mimi tayari niko na mtu licha ya ushawishi mkubwa aliokumbana nao.

    4. Kuna aina ya wanawake ambao mwanaume kwa namna yoyote unahitaji kuwaepuka. Yule mwanamke anaedhani uzuri wake ni zaidi kuliko tabia yake.

    5. Heshimu hisia za mwenzako, usitumie kama silaha ya ku-compromise kupata kile unachokitaka. Hicho ndicho kinachotofautisha kati ya 'Wavulana' na 'Wanaume' na 'Wasichana' na 'Wanawake'.

    6. Watu hatari sana katika mahusiano ni wale ambao huko mwanzo walidanganywa, walisalitiwa, na kuchezewa....

    7. Usimwite mwanamke kwamba yuko cheap kwa sababu amekua mrahisi kwako. Inawezekana kabisa amekua mrahisi kwako kwa sababu anakupenda, ila kwa wengine ni mgumu zaidi ya chuma cha pua.

    8. Wanaume na wanawake waliokamilika hawapo. Ila wanaume na wanawake bora wapo kila mahala.

    9. Kama unampenda mtu, mueleze ukweli ajue. Na kama humpendi pia mweleze ukweli. Tuko nyuma ya muda.. Achana na Masuala ya kupotezeana muda..huo ni utoto.

    10. Ajabu ni kwamba, mwanamke/mwanaume anaweza kukusaliti.
    Ila daima Mungu hawezi kukusaliti.
    Having GOD must be your primary focus then relationship should come second.

    Siku Njema..
    F E W D A T I N G T I P S . 1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye binafsi hajipendi. 2. Mtafute MUNGU, fanya kazi kwa bidii then pata mwanamke/ mwanaume bora, ukifanya hayo mambo matatu kwa usahihi, suala la kufanikiwa litakuja lenyewe tu. 3. Mwanaume aliye bora na mwanamke aliye mzuri hapimwi kwa idadi ya watu aliolala nao, ila kwa idadi ya watu aliopata ujasiri wa kuwaambia mimi tayari niko na mtu licha ya ushawishi mkubwa aliokumbana nao. 4. Kuna aina ya wanawake ambao mwanaume kwa namna yoyote unahitaji kuwaepuka. Yule mwanamke anaedhani uzuri wake ni zaidi kuliko tabia yake. 5. Heshimu hisia za mwenzako, usitumie kama silaha ya ku-compromise kupata kile unachokitaka. Hicho ndicho kinachotofautisha kati ya 'Wavulana' na 'Wanaume' na 'Wasichana' na 'Wanawake'. 6. Watu hatari sana katika mahusiano ni wale ambao huko mwanzo walidanganywa, walisalitiwa, na kuchezewa.... 7. Usimwite mwanamke kwamba yuko cheap kwa sababu amekua mrahisi kwako. Inawezekana kabisa amekua mrahisi kwako kwa sababu anakupenda, ila kwa wengine ni mgumu zaidi ya chuma cha pua. 8. Wanaume na wanawake waliokamilika hawapo. Ila wanaume na wanawake bora wapo kila mahala. 9. Kama unampenda mtu, mueleze ukweli ajue. Na kama humpendi pia mweleze ukweli. Tuko nyuma ya muda.. Achana na Masuala ya kupotezeana muda..huo ni utoto. 10. Ajabu ni kwamba, mwanamke/mwanaume anaweza kukusaliti. Ila daima Mungu hawezi kukusaliti. Having GOD must be your primary focus then relationship should come second. Siku Njema..
    ·320 Views
  • Be loyal don't cheat to innocent hustlers
    #usaliti ni mbaya #socialpop
    Be loyal don't cheat to innocent hustlers #usaliti ni mbaya #socialpop
    Like
    Love
    Haha
    Sad
    7
    2 Comments ·250 Views ·47 Views
  • WANAUME WENGINE NI KAMA MAMBA.

    "MAMBA Kila Asubuhi Huamka na Kutoka Nje ya MAJI, Kisha Huachama na Kuacha MDOMO Wake Wazi Hali inayopelekea Kutoa Harufu Mbaya Ambayo Huwafanya NZI Kuvutiwa Nayo na Kuikimbilia Haraka Wakijua Wamepata CHAKULA Cha BURE, na Wakishajaa tu Mdomoni MAMBA Hufunga Mdomo Wake na Kuwatafuna Wote na Kumfanya MAMBA Apate Kifungua Kinywa na Kufaidika Zaidi Kisha Hurudi Zake Majini, Until Further Notice!

    "...Ndivyo Walivyo Hata Baadhi ya WANAUME, Wengi ni Kama MAMBA, Atakuonyesha na Kukuvuta Kwa Mambo Mazuri na Vitu Vingi Vyakutamanika Kama Hela, Gari, AHadi Nzuri, Zawadi, Nyumba, n k Nawewe Ukaingia Kwenye Mfumo Ukizani Wewe ndo Utafaidi na Kunufaika Kumbe Anakusubiri Ujae Kisha AKUTAFUNE Kama NZI Mdomoni Mwa MAMBA!

    "..Huu Ndio Unaitwa UPENDO wa MAMBA na Ndio Umeacha Maumivu, Vidonda, Machozi, Mimba, Majuto, Magonjwa na Usaliti Kwa Mabinti/Wanawake Wengi, Waliozani Wanapendwa na Kwamba Watafaidi Hizo Hela, AHadi Nzuri, Gari, Zawadi Walizoonyeshwa na Kupewa, Bila Kujua Huo ni Mtego Wa MAMBA Kujipatia KIFUNGUA KINYWA na Kushibisha MATAMANIO Yake, Mwisho Wakajikuta Kwenye Dimbwi Zito la MAJUTO, MACHOZI, GIZA na KUHARIBIKIWA MAISHA YAO"

    "..Dear LADIES, Hata Eva Wakati Anapewa AHadi Nzuri ya Tunda Kule Eden Alizani Anapendwa na Kujariwa, Kumbe Lilikuwa na Agenda Yake na Ndilo Lililoleta Mauti, Machozi, Maumivu, Kufukuzwa Bustanini na Kuzaa Kwa Uchungu Mpaka Leo"

    ..So Binti Be Very Careful na Huo UPENDO wa MAMBA Anaokuonyesha Huyo Jamaa Unayemuita Mpenzi au Mchumba!

    Mwenye Masikio na Asikie!
    *-MUNGU KWANZA-*
    WANAUME WENGINE NI KAMA MAMBA. "MAMBA Kila Asubuhi Huamka na Kutoka Nje ya MAJI, Kisha Huachama na Kuacha MDOMO Wake Wazi Hali inayopelekea Kutoa Harufu Mbaya Ambayo Huwafanya NZI Kuvutiwa Nayo na Kuikimbilia Haraka Wakijua Wamepata CHAKULA Cha BURE, na Wakishajaa tu Mdomoni MAMBA Hufunga Mdomo Wake na Kuwatafuna Wote na Kumfanya MAMBA Apate Kifungua Kinywa na Kufaidika Zaidi Kisha Hurudi Zake Majini, Until Further Notice! "...Ndivyo Walivyo Hata Baadhi ya WANAUME, Wengi ni Kama MAMBA, Atakuonyesha na Kukuvuta Kwa Mambo Mazuri na Vitu Vingi Vyakutamanika Kama Hela, Gari, AHadi Nzuri, Zawadi, Nyumba, n k Nawewe Ukaingia Kwenye Mfumo Ukizani Wewe ndo Utafaidi na Kunufaika Kumbe Anakusubiri Ujae Kisha AKUTAFUNE Kama NZI Mdomoni Mwa MAMBA! "..Huu Ndio Unaitwa UPENDO wa MAMBA na Ndio Umeacha Maumivu, Vidonda, Machozi, Mimba, Majuto, Magonjwa na Usaliti Kwa Mabinti/Wanawake Wengi, Waliozani Wanapendwa na Kwamba Watafaidi Hizo Hela, AHadi Nzuri, Gari, Zawadi Walizoonyeshwa na Kupewa, Bila Kujua Huo ni Mtego Wa MAMBA Kujipatia KIFUNGUA KINYWA na Kushibisha MATAMANIO Yake, Mwisho Wakajikuta Kwenye Dimbwi Zito la MAJUTO, MACHOZI, GIZA na KUHARIBIKIWA MAISHA YAO" "..Dear LADIES, Hata Eva Wakati Anapewa AHadi Nzuri ya Tunda Kule Eden Alizani Anapendwa na Kujariwa, Kumbe Lilikuwa na Agenda Yake na Ndilo Lililoleta Mauti, Machozi, Maumivu, Kufukuzwa Bustanini na Kuzaa Kwa Uchungu Mpaka Leo" ..So Binti Be Very Careful na Huo UPENDO wa MAMBA Anaokuonyesha Huyo Jamaa Unayemuita Mpenzi au Mchumba! Mwenye Masikio na Asikie! *-MUNGU KWANZA-*
    ·617 Views
  • SOTE TULIKUJA DUNIANI TUKIWA NA UPENDO WA KWELI, ILA DUNIA IMETUFUNZA KUCHUKIA,KUDANGANYA NA KUSALITI

    SOTE TULIKUJA DUNIANI TUKIWA NA UPENDO WA KWELI, ILA DUNIA IMETUFUNZA KUCHUKIA,KUDANGANYA NA KUSALITI
    Like
    Love
    5
    ·108 Views
  • FAIDA ZA NYETO

    kumekuwa na mijadala mingi yote ikiponda hili tendo. Nyeto au puchu au kunyonga vijana siku hizi wanaita kupiga gamba wengine utasikia kunyonga au kujichua. Ni kitendo cha mwanaume au mwanamke kujipa raha mwenyewe bila mwenza.

    Ukiachana na hasara zake hili tendo pia lina faida zake

    Faida Za Nyeto kwa WANAUME
    1. Inaongeza uwezo wa kufikiri, kumleta Rihanna kitandani na umvue nguo si jambo la kawaida lazima uwe na uwezo mkubwa wa fikra
    2. Ina kukinga dhidi ya magonjwa ya zinaa (UKIMWI, KASWENDE, GONO) unaweza tomba dem mwenye kisonono na asikuambukize
    3. Hutumi nauli kwa mtu yoyote kwasababu mboo unayo **** unayo mkononi
    4. Tendo la gharama nafuu, sabuni yako tu au mafuta, au asali au kavu kavu ni wewe tu
    5. Inachochea ubunifu, mpiga nyeto anaweza hata kutombana mawinguni uku ana elea elea kama popo
    6. Nyeto inaleta maendeleo, huwezi mambo mengi
    7. Nyeto haiwezi kukusaliti abadan asilan
    8. Raha unaipata kokote na saa yoyote uitakayo kwani mkono hauingii period wala hautaki chipsi kuku
    9. Inakuondolea kashfa zisizo na msingi mfn ukiwahi kumwaga nyeto haikusemi kwa watu, kileleni unafika hakuna kupoteza nguvu kumfikisha mtu kileleni, ukiwa na mboo ndogo au kubwa haileti maneno maneno ya kisenge
    10. Kupitia nyeto unaweza kutomba dem yoyote yule hata ambae hajawahi kuzaliwa. Leo utatomba beyonce, kesho mchina

    SASA PIGENI NYETO MSHINDWE KULA WAKE ZENU TUWASAIDIE
    FAIDA ZA NYETO kumekuwa na mijadala mingi yote ikiponda hili tendo. Nyeto au puchu au kunyonga vijana siku hizi wanaita kupiga gamba wengine utasikia kunyonga au kujichua. Ni kitendo cha mwanaume au mwanamke kujipa raha mwenyewe bila mwenza. Ukiachana na hasara zake hili tendo pia lina faida zake Faida Za Nyeto kwa WANAUME 1. Inaongeza uwezo wa kufikiri, kumleta Rihanna kitandani na umvue nguo si jambo la kawaida lazima uwe na uwezo mkubwa wa fikra 2. Ina kukinga dhidi ya magonjwa ya zinaa (UKIMWI, KASWENDE, GONO) unaweza tomba dem mwenye kisonono na asikuambukize 3. Hutumi nauli kwa mtu yoyote kwasababu mboo unayo kuma unayo mkononi 4. Tendo la gharama nafuu, sabuni yako tu au mafuta, au asali au kavu kavu ni wewe tu 5. Inachochea ubunifu, mpiga nyeto anaweza hata kutombana mawinguni uku ana elea elea kama popo 6. Nyeto inaleta maendeleo, huwezi mambo mengi 7. Nyeto haiwezi kukusaliti abadan asilan 8. Raha unaipata kokote na saa yoyote uitakayo kwani mkono hauingii period wala hautaki chipsi kuku 9. Inakuondolea kashfa zisizo na msingi mfn ukiwahi kumwaga nyeto haikusemi kwa watu, kileleni unafika hakuna kupoteza nguvu kumfikisha mtu kileleni, ukiwa na mboo ndogo au kubwa haileti maneno maneno ya kisenge 10. Kupitia nyeto unaweza kutomba dem yoyote yule hata ambae hajawahi kuzaliwa. Leo utatomba beyonce, kesho mchina SASA PIGENI NYETO MSHINDWE KULA WAKE ZENU TUWASAIDIE😂😂😂🤣🤣
    ·258 Views
  • Pasipo pesa hapana mapenzi, palipo na umasikini pana usaliti mwingi

    Tutafuteni hela wanaume wenzangu

    msiseme sijawaambia
    Pasipo pesa hapana mapenzi, palipo na umasikini pana usaliti mwingi Tutafuteni hela wanaume wenzangu 😁msiseme sijawaambia
    ·124 Views