*Roho mtakatifu kama mlinzi wetu*
Isaya 4:5-6
[5]Tena juu ya makao yote ya mlima Sayuni, na juu ya makusanyiko yake, BWANA ataumba *wingu na moshi wakati wa mchana, na mwangaza wa miali ya moto wakati wa usiku;* kwa maana juu ya utukufu wote itatandazwa sitara.
.
[6]Kisha kutakuwa na hema kuwa uvuli wakati wa mchana kwa sababu ya hari, na kuwa mahali pa kukimbilia na kujificha wakati wa tufani na mvua.
Wingu linalozungumzwa hapo kwenye agano la kale ni *Roho mtakatifu*
Kumbe ukimkubali Kristo na kuuoshi wokovu roho wa Bwana anakuwa ndani yako na kazi moja wapo ya huyo *roho ni kukulinda wewe ulieamini*
Mtu aliye mshika kristo ns kumuamini na kumpokea roho wake wakati wa mchana anafunikwa na kutulizwa na *Bwana na wakati wa usiku anamulikwa na Bwana*
Kumbe kama roho wa Mungu anatumulika na kutukinga nini kinafanya watu wa Mungu tushindwe kuziishi ahadi ,*tumemuwekea mipaka roho mtakatifu* tukiamini *kunena kwa lugha ndo kipawa na jukumu la roho mtakatifu*
Sasa tukitizama wakati taifa la islaeri limetoka misri lilikuwa linaongozwa na wingu la Bwana.
Kutoka 13:21-22
[21] *BWANA naye akawatangulia mchana ndani ya wingu mfano wa nguzo, ili awaongoze njia*; na usiku, *ndani ya moto mfano wa nguzo, ili kuwapa nuru*; wapate kusafiri mchana na usiku;*
[22]ile nguzo ya wingu *haikuondoka mchana, wala ile nguzo ya moto haikuondoka usiku,* mbele ya hao watu.
Hivi ndivyo roho wa Mungu anavyo paswa kukuongoza wakati wa mchana na wakati wa usiku .
Ukiwa na roho wa Bwana na akawa rafiki yako na kiongozi wako utafanya biashara kwa kubahatisha badala yake yeye atakuongoza uza kitu chenye wateja.
Unaweza mkaribisha jirani yako kujifunza neno na sisi kwa kujoin link hapa chini
https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4
Walokole tunakosa jicho la kuona fursa sababu tumemuwekea mipaka roho mtakatifu na wakati mwingine anatupa wazo tunalizimisha kwa kuto kujiamini na matokeo yake tunabaki jinsi tulivyo.
Mtu aliye okoka na *akakubali kutii ndiye anayepaswa kula mema ya nchi* lakini imekuwa tofauti na uhalisia mtu ameokoka anaoshi dhana ya kuamini kuwa atakula kwa jasho iyo ilifanya kazi kabla ya wewe kuokoka saizi wewe unakula kwa wazo la kiMungu linalo shushwa na roho mtakatifu na wewe ukichukua hatua linageuka na kuleta matokeo .
Musa aliijua siri hii ndo mana pasipo wingu akuenda mbele au kurudi nyuma.
Kutoka 40:37
[37]bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ule hawakusafiri hata siku ile lilipoinuliwa tena.
Cha kujiuliza mimi na wewe ni hatua ngapi yumepiga bila kuongozwa na roho mtakatifu na tukapelekea kupoteza thamani zetu .
Iko haja turudi kuitafuta toba kwani ni hatua tulienda mbele lakini kumbe ni shetani *alitutenda tu kwa akiri*
Ni kweli tuliyaona matokeo lakini hayakuwa ya bwana turudi tuitafute tona kwani ya matokeo ya Bwana yanakuja.
Unasema na sema nini muulize samweli alipo enda nyumbani kwa mzee Yese aliletewa watu 6 ambao ni expert na ni mashujaa kwa kuwaona na yey mwenyewe akazani kuwa yupo mmoja wapo lakini msikie bwana alivyo mwambia
1 Samweli 16:7
[7]Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; kwa maana mimi nimemkataa. BWANA haangalii kama binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.
Samweli aljvyo mtazama Abnadabu aliona sifa zote za kuwa mfalme lakini roho akuona kama samweli alivyo kuwa anaona.
Kumbe hata sisi hatupaswi kuingia kazini ,au kwenye biashara hata kwenye kilimo sababu tu watu wamesema kilimo cha matikiti kinatoa tunapaswa kutazama *Bwana anasema nini*
Yakobo alimtazama bwana na bwana akamwambia nenda nami nitakuwa pamoja nawe na kukurejesha tena .
Ok ahsante sana tusiache kuomba toba ungana nami toba hii
*BWANA YESU TUNAKUJA MBELE ZAKO KUNA HATUA NILISOGEA BILA WEWE ROHO NAOMBA TOBA NISAMEHE YESU NA TANGU LEO NAOMBA ROHO WAKO MTAKATIFU ATEMBEE NA MIMI KAMA MUSA NA WANAISLAERI WALIVYO TEMBEA NA WINGU LAKO WAKATI WA MCHANA UNIPE KIVULI NA WAKATI WA USIKU UNIPE MWANGA SAWA SAWA NA KWENYE MAISHA YANGU* .AMEN
Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)

#Restoremenposition
#build new eden
#youth reformation and revival

0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·18 Visualizações