Tiktok account @barakalopoi every where Baraka Lopoi
-
45 المنشورات
-
25 الصور
-
0 الفيديوهات
-
Shop لدى Mombasa
-
يعيش في Mombasa
-
من Kiteto manyara
-
درس PCB لدى Kisimiri high schoolفئة من Form 6
-
Male
-
مرتبط
-
16/08/1996
-
متابَع بواسطة 14 أشخاص
التحديثات الأخيرة
-
الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
-
-
Wazee wenzangu nipen support bac hata kwa like na comment tufahamianeWazee wenzangu nipen support bac hata kwa like na comment tufahamiane0 التعليقات 0 المشاركات 927 مشاهدة2
-
-
Nliwamiss sana family ya #socialAppNliwamiss sana family ya #socialApp0 التعليقات 0 المشاركات 1كيلو بايت مشاهدة2
-
-
https://barakalopoi.blogspot.com/2024/07/athari-za-ujio-wa-waarabu-tanganyika.htmlBARAKALOPOI.BLOGSPOT.COMATHARI ZA UJIO WA WAARABU TANGANYIKAATHARI ZA UJIO WA WAARABU TANGANYIKA —Watanganyika wengi waliuwawa zaidi wakati wakishindania uhuru wao. wengi walivikwa minyororo wakauzwe...0 التعليقات 0 المشاركات 944 مشاهدة
3
-
Kenya nchi yang ya pili, mbinguni mtapaskia tu kwetu sisi watzKenya nchi yang ya pili, mbinguni mtapaskia tu kwetu sisi watz 😄😄😄4 التعليقات 0 المشاركات 775 مشاهدة4
-
Kula maasai flavourKula maasai flavour3 التعليقات 0 المشاركات 754 مشاهدة 6
4
-
Hbr za humu wakulungwaHbr za humu wakulungwa2 التعليقات 0 المشاركات 731 مشاهدة
4
-
Goodmorning all of youGoodmorning all of you1 التعليقات 0 المشاركات 829 مشاهدة1
-
Good afternoon #SocialApp familyGood afternoon #SocialApp family1 التعليقات 0 المشاركات 1كيلو بايت مشاهدة
3
-
Mazoezi ya kuingia jeshiniMazoezi ya kuingia jeshini0 التعليقات 0 المشاركات 746 مشاهدة2
-
-
-
Maasai worrierMaasai worrier0 التعليقات 0 المشاركات 781 مشاهدة2
-
WHY ALWAYS ME?WHY ALWAYS ME? 😪0 التعليقات 0 المشاركات 756 مشاهدة1
-
-
YAJUE HAYA KUHUSU MISITU YA AMAZON.
1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini.
2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama Venezuela, Ecuador, bolvia, guyana, suriname na France guiana.
3: Msitu huu una eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 5,500,000 ( Milioni 5) yani kwa ukubwa huu nchi ya TANZANIA iingie mara 6 kwenye msitu huo.
4: kwa mujibu wa wanasayansi wa mimea msitu wa Amazon una umri wa miaka zaidi ya million 55
5: Msitu wa Amazon unakadiriwa kuwa na miti billion 400 na aina mbalimbali za miti zaidi ya 160,000 pia kuna miti ya matunda tofauti tofauti elfu tatu katika msitu huo.
6: Mchanga wa jangwa la sahara hupeperushwa na upepo hupita juu ya bahari Atlantic hadi katika msitu wa amazon ambako hurutubisha katika msitu huo.
7: katika msitu wa amazon kuna mto umekatisha mto huo unaitwa mto amazon huu ndio mtu mkubwa zaidi duniani na unaingiza maji baharini mara 5 ya mito mingine maajabu ya mto huu kuna muda haueleweki kuna kipindi unapeleka maji kinyume badala ya maji kwenda mashariki yana kuwa yana toka mashariki kwenda magharibi.
8: Asilimia 20% ya oxygen iliyopo dunia inatengenezwa katika msitu wa amazon acha hili pia zaidi ya asilimia 70% ya madawa ya kisasa yana tengenezwa kwa kutumia miti inayo patikana ndani ya msitu wa amazon. Ndio maana unaitwa mapafu ya dunia.
9: katika msitu wa amazon kuna makabila zaidi ya 50 yana ishi hapo watu wameishi kwa maelfu ya miaka iliyo pita lakini watu hao wamekuja kuonekana miaka ya hivi karibuni.
10: Green anaconda
Hawa ndio nyoka wakubwa zaidi duniani kwa sasa ni aina ya nyoka wanao patikana msitu wa amazon pekee wana rangi ya kijani na madoa meusi.
11: poison dork frog
Ni aina ya vyura wanaopatikana msitu wa amazon pekee wana sumu kali katika migongo yao ..YAJUE HAYA KUHUSU MISITU YA AMAZON. 1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. 2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama Venezuela, Ecuador, bolvia, guyana, suriname na France guiana. 3: Msitu huu una eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 5,500,000 ( Milioni 5) yani kwa ukubwa huu nchi ya TANZANIA iingie mara 6 kwenye msitu huo. 4: kwa mujibu wa wanasayansi wa mimea msitu wa Amazon una umri wa miaka zaidi ya million 55 5: Msitu wa Amazon unakadiriwa kuwa na miti billion 400 na aina mbalimbali za miti zaidi ya 160,000 pia kuna miti ya matunda tofauti tofauti elfu tatu katika msitu huo. 6: Mchanga wa jangwa la sahara hupeperushwa na upepo hupita juu ya bahari Atlantic hadi katika msitu wa amazon ambako hurutubisha katika msitu huo. 7: katika msitu wa amazon kuna mto umekatisha mto huo unaitwa mto amazon huu ndio mtu mkubwa zaidi duniani na unaingiza maji baharini mara 5 ya mito mingine maajabu ya mto huu kuna muda haueleweki kuna kipindi unapeleka maji kinyume badala ya maji kwenda mashariki yana kuwa yana toka mashariki kwenda magharibi. 8: Asilimia 20% ya oxygen iliyopo dunia inatengenezwa katika msitu wa amazon👏 acha hili pia zaidi ya asilimia 70% ya madawa ya kisasa yana tengenezwa kwa kutumia miti inayo patikana ndani ya msitu wa amazon. Ndio maana unaitwa mapafu ya dunia. 9: katika msitu wa amazon kuna makabila zaidi ya 50 yana ishi hapo watu wameishi kwa maelfu ya miaka iliyo pita lakini watu hao wamekuja kuonekana miaka ya hivi karibuni. 10: Green anaconda Hawa ndio nyoka wakubwa zaidi duniani kwa sasa ni aina ya nyoka wanao patikana msitu wa amazon pekee wana rangi ya kijani na madoa meusi. 11: poison dork frog Ni aina ya vyura wanaopatikana msitu wa amazon pekee wana sumu kali katika migongo yao ..0 التعليقات 0 المشاركات 1كيلو بايت مشاهدة1
-
Sis hatuhtaj pesa km mahar ya dogo, ngombe 100 tu mchukueSis hatuhtaj pesa km mahar ya dogo, ngombe 100 tu mchukue0 التعليقات 0 المشاركات 795 مشاهدة
2
-
Mpk hapo al ahly 1 yanga 0 kabla ya uwanjanMpk hapo al ahly 1 yanga 0 kabla ya uwanjan1 التعليقات 0 المشاركات 720 مشاهدة
2
-
-
Mpk sasa matokeo EURO ni Spain 3-0 Croatia dkk 82Mpk sasa matokeo EURO ni Spain 🇪🇸 3-0 Croatia 🇭🇷 dkk 820 التعليقات 0 المشاركات 700 مشاهدة
2
-
Kuna group la whatsapp la bettwinners liko hoto na odds ni free, hakuna kuuziwaKuna group la whatsapp la bettwinners liko hoto na odds ni free, hakuna kuuziwa0 التعليقات 0 المشاركات 721 مشاهدة
2
-
Wazee wa kubet je mpo niwape mchongo?Wazee wa kubet je mpo niwape mchongo?0 التعليقات 0 المشاركات 939 مشاهدة
2
المزيد من المنشورات