4 Комментарии
·87 Просмотры
·92 Просмотры
-
-
.FAO LA WARITHI
(Kwa sheria mpya PSSSF, 2018).
Endapo mstaafu atafariki na akiwa anapata pension ya kila mwezi, wategemezi (warithi) wake watalipwa kiasi alichokuwa analipwa kila mwezi kwa mkupuo (lumpsum) mara 36 kif. 39(I) PSSSF 2018.
-------- Endapo mtumishi alifariki akiwa kwenye utumishi na amechangia michango yake kwenye mfuko kwa miezi 180 au zaid, warithi wake watalipwa mkupuo na pension ya kila mwezi kama ifuatavyo :-
(I) watoto ambao hawasomi watalipwa malipo ya mkupuo na yale ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 18.
(Ii) Watoto wanaosoma watalipwa malipo ya mkupuo na ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 21.
(iii). Mjane/ Mgane atalipwa malipo malipo ya mkupuo na atalipwa mafao ya kila mwezi mpaka pale atakapofariki dunia.
...Mtumishi aliyefariki na ambaye amechangia michango yake kwenye mfuko wa PSSSF kwa miezi chini ya 180 warithi wake watalipwa malipo ya mkupuo tu, Hawatalipwa malipo ya kila mwezi.
....*Pia mtumishi anapofariki kuna kiwango cha fedha ambacho hutolewa na benki kama pole kwa mwanachama wao hivyo msimamizi wa mirathi anapaswa kuandika barua katika benki ambayo marehem alikuwa anapokea mshahara wake ili aweze kupatiwa fedha hiyo. ( CRDB, NMB, NBC, TCB, BOA, ZPB).
# Utaratibu ni kuomba msimamizi wa mirathi kuomba ndani ya miezi sita ( 6). Muda huo ukipita pole hiyo haitatolewa tena..FAO LA WARITHI (Kwa sheria mpya PSSSF, 2018). Endapo mstaafu atafariki na akiwa anapata pension ya kila mwezi, wategemezi (warithi) wake watalipwa kiasi alichokuwa analipwa kila mwezi kwa mkupuo (lumpsum) mara 36 kif. 39(I) PSSSF 2018. -------- Endapo mtumishi alifariki akiwa kwenye utumishi na amechangia michango yake kwenye mfuko kwa miezi 180 au zaid, warithi wake watalipwa mkupuo na pension ya kila mwezi kama ifuatavyo :- (I) watoto ambao hawasomi watalipwa malipo ya mkupuo na yale ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 18. (Ii) Watoto wanaosoma watalipwa malipo ya mkupuo na ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 21. (iii). Mjane/ Mgane atalipwa malipo malipo ya mkupuo na atalipwa mafao ya kila mwezi mpaka pale atakapofariki dunia. ...Mtumishi aliyefariki na ambaye amechangia michango yake kwenye mfuko wa PSSSF kwa miezi chini ya 180 warithi wake watalipwa malipo ya mkupuo tu, Hawatalipwa malipo ya kila mwezi. ....*Pia mtumishi anapofariki kuna kiwango cha fedha ambacho hutolewa na benki kama pole kwa mwanachama wao hivyo msimamizi wa mirathi anapaswa kuandika barua katika benki ambayo marehem alikuwa anapokea mshahara wake ili aweze kupatiwa fedha hiyo. ( CRDB, NMB, NBC, TCB, BOA, ZPB). # Utaratibu ni kuomba msimamizi wa mirathi kuomba ndani ya miezi sita ( 6). Muda huo ukipita pole hiyo haitatolewa tena.·148 Просмотры -
.KUTOKA KWENYE UKURASA WA MWANDISHI MICKJR TANZANIA HUENDA IKAONDOLEWA KWENYE AFCON 2025
Hiki ndicho kilichotokea na sababu kwa nini Tanzania inaweza kuondolewa katika michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco baada ya kufuzu.
Dakika ya 73, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyevaa jezi namba 26 Ibrahim Amme lakini kwenye karatasi ya timu waliyoiwasilisha CAF, hakuna mchezaji aliyesajiliwa na jezi namba 26.
Ibarahim Amme alisajiliwa kwa jezi namba 24
Hii inakiuka kanuni za CAF kuhusu utambulisho wa wachezaji.
Guinea imewasilisha rasmi ripoti kwa CAF.
Je unamaoni Gani kuhusu Hili swala ??.🚨KUTOKA KWENYE UKURASA WA MWANDISHI MICKJR TANZANIA HUENDA IKAONDOLEWA KWENYE AFCON 2025 Hiki ndicho kilichotokea na sababu kwa nini Tanzania inaweza kuondolewa katika michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco baada ya kufuzu. 🚨🇹🇿 Dakika ya 73, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyevaa jezi namba 26 Ibrahim Amme lakini kwenye karatasi ya timu waliyoiwasilisha CAF, hakuna mchezaji aliyesajiliwa na jezi namba 26. 😳👀 Ibarahim Amme alisajiliwa kwa jezi namba 24 Hii inakiuka kanuni za CAF kuhusu utambulisho wa wachezaji. Guinea imewasilisha rasmi ripoti kwa CAF. Je unamaoni Gani kuhusu Hili swala ??·243 Просмотры -
Hivi tunavyoongea, mshambuliaji hatari wa timu ya taifa ya Uganda , Fahad Bayo yupo kambini Avic town anaendelea na mazoezi na timu yetu ya yanga. Fahad Bayo alikuwa anacheza soka barani ulaya.
Bayo ana miaka 26 , Je amekuja kujifua tu au kuna mtu anampisha ?Hivi tunavyoongea, mshambuliaji hatari wa timu ya taifa ya Uganda , Fahad Bayo yupo kambini Avic town anaendelea na mazoezi na timu yetu ya yanga. Fahad Bayo alikuwa anacheza soka barani ulaya. Bayo ana miaka 26 , Je amekuja kujifua tu au kuna mtu anampisha ?2 Комментарии ·240 Просмотры -
MASHABIKI WALIMSAJILI BACCA KWA YANGA.
Mashabiki Visiwani Zanzibar walimuomba Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi kumsajili BACCA baada ya kuridhishwa na kiwango chake kuwa anastahili kuchezea Yanga na siyo kubaki Ligi Kuu ya ZanzibarMASHABIKI WALIMSAJILI BACCA KWA YANGA. Mashabiki Visiwani Zanzibar walimuomba Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi kumsajili BACCA baada ya kuridhishwa na kiwango chake kuwa anastahili kuchezea Yanga na siyo kubaki Ligi Kuu ya Zanzibar2 Комментарии ·209 Просмотры ·134 Просмотры -
VIKOSI VYA GUINEA VS TANZANIA
1. GUINEA
Camara -Simba (Tanzania)
Diakite -Cerce Bruggle(Belgium)
Ibrahim Conte-UTA Arad(Romania)
Saidou Sow -Strasbourg (France)
Issiaga Sylla -Montpellier (France)
Mohamed Camara-PAOK (Greece)
Abdoulaye Toure -Le Havre(France)
Morlaye Sylla -Arouca(Portugal)
Seydouba Cisse-Leganese(Spain)
Francois Kamano-Damac(Saudi Arabia)
Serhou Guirassy -Borussia Dortmund
2. TANZANIA
Manula-Simba(Tanzania)
Kapombe-Simba(Tanzania)
Hussein-Simba(Tanzania)
Job-Yanga(Tanzania)
Hamad-Yanga(Tanzania)
Yahaya-Yanga(Tanzania)
Bitegeko-Azam(Tanzania)
Msuva-Al Talaba(Iraq)
Salum-Azam(Tanzania)
Mzize-Yanga(Tanzania)
Samatta-PAOK(Greece)
NB; TANZANIA WAMECHUKUA POINTS 6 KUTOKA KWA GUINEA. UMEJIFUNZA NINI?VIKOSI VYA GUINEA VS TANZANIA 1. GUINEA Camara -Simba (Tanzania) Diakite -Cerce Bruggle(Belgium) Ibrahim Conte-UTA Arad(Romania) Saidou Sow -Strasbourg (France) Issiaga Sylla -Montpellier (France) Mohamed Camara-PAOK (Greece) Abdoulaye Toure -Le Havre(France) Morlaye Sylla -Arouca(Portugal) Seydouba Cisse-Leganese(Spain) Francois Kamano-Damac(Saudi Arabia) Serhou Guirassy -Borussia Dortmund 2. TANZANIA Manula-Simba(Tanzania) Kapombe-Simba(Tanzania) Hussein-Simba(Tanzania) Job-Yanga(Tanzania) Hamad-Yanga(Tanzania) Yahaya-Yanga(Tanzania) Bitegeko-Azam(Tanzania) Msuva-Al Talaba(Iraq) Salum-Azam(Tanzania) Mzize-Yanga(Tanzania) Samatta-PAOK(Greece) NB; TANZANIA WAMECHUKUA POINTS 6 KUTOKA KWA GUINEA. UMEJIFUNZA NINI?1 Комментарии ·280 Просмотры
Больше