Socialpop Socialpop
Результаты поиска
Все результаты
  • Вступить
    Войти
    Регистрация
    Поиск
    Ночной режим

Каталог

Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village

  • Пользователи
  • Записей
  • Страницы
  • Группы
  • Мероприятия
  • Статьи пользователей
  • Marketplace
  • Funding
  • Offers
  • Jobs
  • Courses
  • Форумы
  • Кинозал
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-07-12 06:07:23 -
    0 Комментарии 0 Поделились 133 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-07-12 06:07:42 -
    0 Комментарии 0 Поделились 141 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-07-12 06:07:59 -
    0 Комментарии 0 Поделились 141 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-07-12 06:09:12 -
    Orodha ya Wachezaji wapya wa klabu ya Yanga SC hadi sasa:

    1. Duke Abuya (Singida Black Stars)
    2. Clatous Chotta Chama (Huru)
    3. Prince Dube (Huru, Azam FC)
    4. Chadrack Issaka Boka (FC Lupopo)
    5. Azizi Adambwile (Singida Fountain Gates)
    6. Abubakary Khoemen
    7. ?

    Orodha ya Wachezaji wapya wa klabu ya Yanga SC hadi sasa: 1. Duke Abuya 🇰🇪 (Singida Black Stars) 2. Clatous Chotta Chama 🇿🇲 (Huru) 3. Prince Dube 🇿🇼 (Huru, Azam FC) 4. Chadrack Issaka Boka 🇨🇩 (FC Lupopo) 5. Azizi Adambwile 🇹🇿 (Singida Fountain Gates) 6. Abubakary Khoemen 🇹🇿 7. ?
    Like
    1
    0 Комментарии 0 Поделились 351 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-07-12 06:10:05 -
    Klabu ya Yanga SC imepangwa kucheza na klabu ya Vital'o FC ya Burundi katika hatua ya awali ya klabu bingwa Afrika huku klabu ya Azam FC ikipangwa na klabu APR ya Rwanda . Azam FC inaanzia nyumbani na Yanga SC inaanzia ugenini Nchini Burundi.

    Mshindi kati ya Vital'o FC na Yanga SC atacheza na mshindi wa mchezo kati ya klabu ya AS Villa ya Uganda na Commercial Bank ya Ethiopia na Mshindi dhidi Azam FC na APR atacheza na mshindi kati ya JKU ya Zanzibar na Pyramids ya Misri.

    Klabu ya Simba SC itakutana na mshindi kati ya Uhamiaji FC ya Zanzibar dhidi ya klabu ya Libya (ambayo bado haijafahamika) kwenye mchezo wa raundi ya kwanza ya kufuzu makundi ya kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup).

    Klabu ya Coastal Union imepangwa na klabu ya FC Bravos ya Angola kwenye mchezo wa raundi ya awali na ikifanikiwa kufuzu itacheza na FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho.

    Klabu ya Yanga SC imepangwa kucheza na klabu ya Vital'o FC ya Burundi 🇧🇮 katika hatua ya awali ya klabu bingwa Afrika huku klabu ya Azam FC ikipangwa na klabu APR ya Rwanda 🇷🇼. Azam FC inaanzia nyumbani na Yanga SC inaanzia ugenini Nchini Burundi. Mshindi kati ya Vital'o FC na Yanga SC atacheza na mshindi wa mchezo kati ya klabu ya AS Villa ya Uganda na Commercial Bank ya Ethiopia na Mshindi dhidi Azam FC na APR atacheza na mshindi kati ya JKU ya Zanzibar na Pyramids ya Misri. Klabu ya Simba SC itakutana na mshindi kati ya Uhamiaji FC ya Zanzibar dhidi ya klabu ya Libya (ambayo bado haijafahamika) kwenye mchezo wa raundi ya kwanza ya kufuzu makundi ya kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup). Klabu ya Coastal Union imepangwa na klabu ya FC Bravos ya Angola kwenye mchezo wa raundi ya awali na ikifanikiwa kufuzu itacheza na FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho.
    0 Комментарии 0 Поделились 490 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-07-12 06:12:30 -
    "Niliwahi kuandika makala kuhusu mahusiano kati ya Aziz Ki na mrembo wa kuchanua misamba Mobetto, mahusiano yamezaa athari chanya kwa wapenzi wa soccer nchini

    Aziz Ki alipewa ofa na vilabu vikubwa na mshahara mnono hadi malipo ya milion 98 kwa mwezi ili aende kuzechezea huko lakini alikataa kwenda huko na kuamua kubaki Tanzania aendelee kufaidi uh0ndo na Utamu wa Mobetto

    Ama kweli mapenzi ni upofu, hata Samsoni al1kufa sababu ya mwanamke. Hivi leo kijana wetu ambae alitumwa na wazazi aje kutafuta maisha anakubali Kuendelea kucheza kwa mshahara wa laki nane kwa sababu ya demu inaumiza sana na huu ni wendawaz1mu" - Oscar Oscar, Mchambuzi wa Wasafi FM.

    "Niliwahi kuandika makala kuhusu mahusiano kati ya Aziz Ki na mrembo wa kuchanua misamba Mobetto, mahusiano yamezaa athari chanya kwa wapenzi wa soccer nchini Aziz Ki alipewa ofa na vilabu vikubwa na mshahara mnono hadi malipo ya milion 98 kwa mwezi ili aende kuzechezea huko lakini alikataa kwenda huko na kuamua kubaki Tanzania 🇹🇿 aendelee kufaidi uh0ndo na Utamu wa Mobetto Ama kweli mapenzi ni upofu, hata Samsoni al1kufa sababu ya mwanamke. Hivi leo kijana wetu ambae alitumwa na wazazi aje kutafuta maisha anakubali Kuendelea kucheza kwa mshahara wa laki nane kwa sababu ya demu inaumiza sana na huu ni wendawaz1mu" - Oscar Oscar, Mchambuzi wa Wasafi FM.
    Haha
    1
    0 Комментарии 0 Поделились 1Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлено видео Общий
    2024-07-12 06:13:22 -
    Aziz ki na Hamissa mobeto
    Aziz ki na Hamissa mobeto
    0 Комментарии 0 Поделились 294 Просмотры 6
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • David Atto
    добавлены фото
    2024-07-12 07:09:53 -
    0 Комментарии 0 Поделились 189 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Paul Swai
    добавлены фото
    2024-07-12 08:01:43 -
    Ile Mashine ya Ubaya Ubwela sasa umefika.

    Leo saa 8:00 mchana tukutane kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja
    Ile Mashine ya Ubaya Ubwela sasa umefika. Leo saa 8:00 mchana tukutane kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja
    Like
    Love
    3
    1 Комментарии 0 Поделились 149 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • CKTV Tanzania добавлены фото
    2024-07-12 10:15:22 -
    Like
    Love
    2
    0 Комментарии 0 Поделились 128 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Отображение (1421-1430 из 34028)
  • «
  • Назад
  • 141
  • 142
  • 143
  • 144
  • 145
  • Далее
  • »
© 2026 Socialpop Russian
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
О нас Условия использования Конфиденциальность Свяжитесь с нами Каталог