• #funny
    #funny
    Haha
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·499 Views
  • Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962.

    Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu.

    TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu.

    FT: MC Alger 0-1 Al Hilal
    76' Fofana

    MATOKEO MENGINE #CAFCL
    FT: Esperance 2-0 Pyramids
    TP Mazembe 1-1 Yanga Sc
    Maniema Union 1-1 ASFAR
    🇨🇮 Stade d'Abidjan 1-1 Orlando Pirates

    #socialpop
    Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962. Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu. TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu. FT: MC Alger 🇩🇿 0-1 🇸🇩 Al Hilal ⚽ 76' Fofana MATOKEO MENGINE #CAFCL FT: Esperance 🇹🇳 2-0 🇪🇬 Pyramids TP Mazembe 🇨🇩 1-1 🇹🇿 Yanga Sc Maniema Union 🇨🇩 1-1 🇲🇦 ASFAR 🇨🇮 Stade d'Abidjan 1-1 🇿🇦 Orlando Pirates #socialpop
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·862 Views
  • Staa wa muziki wa BongoFleva "BarakaThePrince" ameibua mazito baada ya kuachia maoni ya wazi juu ya Album za Wasanii zilizotoka hivi karibuni na kusema nyimbo mbaya na kuwakumbusha Watu kwamba wanatakiwa wawape sikio Wasanii wengine na wasiache kusema ukweli panapotakiwa kusema ukweli,.....
    Wasanii ambao wametoa album hivi karibuni ni pamoja na Rayvanny na Marioo
    Kupitia ukurasa wa Instagram "BarakaThePrince" ame-share maoni ambayo yameleta Sintofahamu kwa Mashabiki wa Muziki.....
    Barakadaprince yupo sahihi?.......

    #daviddavoo
    Staa wa muziki wa BongoFleva "BarakaThePrince" ameibua mazito baada ya kuachia maoni ya wazi juu ya Album za Wasanii zilizotoka hivi karibuni na kusema nyimbo mbaya na kuwakumbusha Watu kwamba wanatakiwa wawape sikio Wasanii wengine na wasiache kusema ukweli panapotakiwa kusema ukweli,..... Wasanii ambao wametoa album hivi karibuni ni pamoja na Rayvanny na Marioo Kupitia ukurasa wa Instagram "BarakaThePrince" ame-share maoni ambayo yameleta Sintofahamu kwa Mashabiki wa Muziki..... Barakadaprince yupo sahihi?....... #daviddavoo
    Like
    2
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·725 Views
  • Unaona mabao mangapi kwa mnyama simba leo
    Updates

    #daviddavoo
    Unaona mabao mangapi kwa mnyama simba leo Updates 👉👉👉👉 #daviddavoo
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·669 Views
  • Mrembo Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa Snapchat ameweka wazi kuwa amemzawadia Mama yake mzazi Gari la Kifahari #Prado pamoja na Iphone 16 Pro Max Storage ya 1TB.

    Vipi kwa upande wako zawadi kubwa kuwahi kumpa Mama yako ilikuwa ni nini?

    #socialpop
    #davidatto
    #daviddavoo
    Mrembo Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa Snapchat ameweka wazi kuwa amemzawadia Mama yake mzazi Gari la Kifahari #Prado pamoja na Iphone 16 Pro Max Storage ya 1TB. Vipi kwa upande wako zawadi kubwa kuwahi kumpa Mama yako ilikuwa ni nini? #socialpop #davidatto #daviddavoo
    Like
    1
    · 2 Reacties ·0 aandelen ·1K Views
  • Hivi karibuni mafanikio ya Tayla yameshitua watu wengi, Mwezi Novemba mwaka huu alishinda tuzo tatu za MTV EMA , Usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo ya Billboard kipengele cha Msanii bora wa Afrobeat.

    Kama Tyla angekuwa Mwanaume basi baadhi ya Watu wangedai nyuma yake kuna watu kama Diddy, ila ni Mwanamke, wewe binafsi unahisi Tyla anastahili hizi tuzo anazopata au nyuma yake kuna watu? kama kuna Watu ni watu gani mbali na Management yake?

    #socialpop
    #davidatto
    #daviddavoo
    Hivi karibuni mafanikio ya Tayla yameshitua watu wengi, Mwezi Novemba mwaka huu alishinda tuzo tatu za MTV EMA , Usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo ya Billboard kipengele cha Msanii bora wa Afrobeat. Kama Tyla angekuwa Mwanaume basi baadhi ya Watu wangedai nyuma yake kuna watu kama Diddy, ila ni Mwanamke, wewe binafsi unahisi Tyla anastahili hizi tuzo anazopata au nyuma yake kuna watu? kama kuna Watu ni watu gani mbali na Management yake? #socialpop #davidatto #daviddavoo
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·929 Views
  • Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshauri kuwa watu hawapaswi kulinganisha vitu ambavyo hawafanani navyo.

    "Usishindane na sehemu ambayo hauwezi kulingana nayo."

    - Miguel Gamondi, kocha wa zamani wa Yanga.

    Umeelewa nini kupitia maneno haya _________?
    Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshauri kuwa watu hawapaswi kulinganisha vitu ambavyo hawafanani navyo. "Usishindane na sehemu ambayo hauwezi kulingana nayo." - Miguel Gamondi, kocha wa zamani wa Yanga. Umeelewa nini kupitia maneno haya _________?
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·555 Views
  • Baada ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda.

    Nyota huyo wa zamani wa Simba, alirejea nchini mwanzoni mwa msimu huu akitokea Libya alikokuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu yake ya TP Mazembe, lakini amekuwa hana namba katika kikosi cha kwanza kuanzia kwa kocha Miguel Gamondi hadi Sead Ramovic anayeinoa timu hiyo kwa sasa.

    Taarifa za ndani ya Yanga zinasema kuwa straika huyo yupo mbioni kupigwa chini katika dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Disemba 15, huku Namungo ikitajwa kutaka huduma yake.


    #daviddavoo
    #davidatto
    #neliudcosian
    Baada ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda. Nyota huyo wa zamani wa Simba, alirejea nchini mwanzoni mwa msimu huu akitokea Libya alikokuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu yake ya TP Mazembe, lakini amekuwa hana namba katika kikosi cha kwanza kuanzia kwa kocha Miguel Gamondi hadi Sead Ramovic anayeinoa timu hiyo kwa sasa. Taarifa za ndani ya Yanga zinasema kuwa straika huyo yupo mbioni kupigwa chini katika dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Disemba 15, huku Namungo ikitajwa kutaka huduma yake. #daviddavoo #davidatto #neliudcosian
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·1K Views
  • Like
    Haha
    2
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·182 Views ·21
  • Like
    Love
    2
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·170 Views ·19