Socialpop Socialpop
نتائج البحث
عرض كل النتائج
  • انضم إلينا
    تسجيل الدخول
    تسجيل
    البحث
    الوضع المظلم

الدليل

Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village

  • المستخدمون
  • المنشورات
  • الصفحات
  • المجموعات
  • المناسبات
  • المدونات
  • سوق المنتجات
  • التمويل
  • مفاوضاتي
  • وظائف
  • Courses
  • المنتديات
  • الافلام
  • David Atto
    2024-08-21 18:18:37 -
    .𝐄𝐱𝐥𝐮𝐬𝐢𝐯𝐞 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐯𝐢𝐞𝐰

    “Bado kikosi chetu hakijakamilika kuwa tishio Afrika, tunafikiria kuongeza wachezaji wawili ambao walikuwa target yetu kwenye dirisha hili kubwa lakini biashara zao hazikukamilika.

    “Dirisha dogo tutarudi kuangalia kama tutaweza kukamilisha sajili zao, wakishafika ndio mtapata majibu maana ya timu kukamilika,” Eng Hersi Said

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐄𝐱𝐥𝐮𝐬𝐢𝐯𝐞 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐯𝐢𝐞𝐰🔰 “Bado kikosi chetu hakijakamilika kuwa tishio Afrika, tunafikiria kuongeza wachezaji wawili ambao walikuwa target yetu kwenye dirisha hili kubwa lakini biashara zao hazikukamilika. “Dirisha dogo tutarudi kuangalia kama tutaweza kukamilisha sajili zao, wakishafika ndio mtapata majibu maana ya timu kukamilika,” Eng Hersi Said #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Love
    Like
    9
    2 التعليقات 0 المشاركات 499 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • David Atto
    2024-08-21 18:19:19 -
    .𝐄𝐱𝐥𝐮𝐬𝐢𝐯𝐞 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐯𝐢𝐞𝐰

    “Kabla ya kusaini mkataba mpya, Kocha wetu Miguel Gamondi alipata ofa nyingi sana kutoka Klabu nyingine kubwa Afrika na aliahidiwa hela nyingi lakini alichagua kubaki Yanga kwa sababu ya ubora wa timu tuliyoitengeneza. Hii timu yetu inaweza kumpa heshima kubwa zaidi Afrika,” Eng Hersi Said

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐄𝐱𝐥𝐮𝐬𝐢𝐯𝐞 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐯𝐢𝐞𝐰🔰 “Kabla ya kusaini mkataba mpya, Kocha wetu Miguel Gamondi alipata ofa nyingi sana kutoka Klabu nyingine kubwa Afrika na aliahidiwa hela nyingi lakini alichagua kubaki Yanga kwa sababu ya ubora wa timu tuliyoitengeneza. Hii timu yetu inaweza kumpa heshima kubwa zaidi Afrika,” Eng Hersi Said #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    11
    2 التعليقات 0 المشاركات 599 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • David Atto
    2024-08-21 19:15:48 -
    . Rick Ross Anasema🇺🇲: “Familia yangu haijaniomba chochote kwa miaka mingi. Mama yangu ni milionea. Dada yangu pia ni milionea. Nilifanya uwekezaji kwao uliowapa nguvu. Kuwezesha wanaokuzunguka, kuwezesha familia yako ndio ufunguo mkubwa wa wewe kubaki tajiri. Ikiwa wewe ni tajiri na kila mtu aliye karibu nawe ni maskini, itachukua muda kidogo tu kabla ya wewe kuwa maskini!

    Kuboresha wanaokuzunguka ni jambo kubwa
    .🚨 Rick Ross Anasema🇺🇲🗣️: “Familia yangu haijaniomba chochote kwa miaka mingi. Mama yangu ni milionea. Dada yangu pia ni milionea. Nilifanya uwekezaji kwao uliowapa nguvu. Kuwezesha wanaokuzunguka, kuwezesha familia yako ndio ufunguo mkubwa wa wewe kubaki tajiri. Ikiwa wewe ni tajiri na kila mtu aliye karibu nawe ni maskini, itachukua muda kidogo tu kabla ya wewe kuwa maskini! Kuboresha wanaokuzunguka ni jambo kubwa 👌
    Love
    Like
    11
    1 التعليقات 0 المشاركات 263 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Paul Swai
    2024-08-21 19:36:06 -
    Mashine ya kazi Leonel Ateba Kuanza kazi rasmi Msimbazi..!! Mshambuliaji mpya wa Simba, Leonel Ateba sasa ruska kuitumikia klabu yetu katika michezo ya Ligi Kuu baada ya kukamilika kwa vibali vya kazi pamoja na ITC yake kuwasili.

    “Tumekamilisha taratibu zote za vibali, Ateba sasa ruksa kucheza ligi, hata tukipangiwa mechi leo mshambuliaji huyo yupo tayari kucheza, ni mipango ya kocha Fadlu tu kumtumia,”

    amesema Ahmed. Mchezo ujao ni dhidi ya Fountain pale pale uwanjambo Kmc
    #paulswai
    Mashine ya kazi Leonel Ateba Kuanza kazi rasmi Msimbazi..!! Mshambuliaji mpya wa Simba, Leonel Ateba sasa ruska kuitumikia klabu yetu katika michezo ya Ligi Kuu baada ya kukamilika kwa vibali vya kazi pamoja na ITC yake kuwasili. “Tumekamilisha taratibu zote za vibali, Ateba sasa ruksa kucheza ligi, hata tukipangiwa mechi leo mshambuliaji huyo yupo tayari kucheza, ni mipango ya kocha Fadlu tu kumtumia,” amesema Ahmed. Mchezo ujao ni dhidi ya Fountain pale pale uwanjambo Kmc #paulswai
    Love
    Like
    Haha
    4
    1 التعليقات 0 المشاركات 535 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Paul Swai
    أضاف صورة
    2024-08-22 03:16:52 -
    Mashine ya kazi Leonel Ateba Kuanza kazi rasmi Msimbazi..!! Mshambuliaji mpya wa Simba, Leonel Ateba sasa ruska kuitumikia klabu yetu katika michezo ya Ligi Kuu baada ya kukamilika kwa vibali vya kazi pamoja na ITC yake kuwasili.

    “Tumekamilisha taratibu zote za vibali, Ateba sasa ruksa kucheza ligi, hata tukipangiwa mechi leo mshambuliaji huyo yupo tayari kucheza, ni mipango ya kocha Fadlu tu kumtumia,”

    amesema Ahmed. Mchezo ujao ni dhidi ya Fountain pale pale uwanjambo Kmc
    Mashine ya kazi Leonel Ateba Kuanza kazi rasmi Msimbazi..!! Mshambuliaji mpya wa Simba, Leonel Ateba sasa ruska kuitumikia klabu yetu katika michezo ya Ligi Kuu baada ya kukamilika kwa vibali vya kazi pamoja na ITC yake kuwasili. “Tumekamilisha taratibu zote za vibali, Ateba sasa ruksa kucheza ligi, hata tukipangiwa mechi leo mshambuliaji huyo yupo tayari kucheza, ni mipango ya kocha Fadlu tu kumtumia,” amesema Ahmed. Mchezo ujao ni dhidi ya Fountain pale pale uwanjambo Kmc
    Like
    Love
    4
    1 التعليقات 0 المشاركات 606 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Baraka Lopoi
    2024-08-22 10:24:25 -
    Hodi tena
    Hodi tena
    Like
    1
    0 التعليقات 0 المشاركات 775 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Baraka Lopoi
    2024-08-22 10:24:55 -
    Nliwamiss sana family ya #socialApp
    Nliwamiss sana family ya #socialApp
    Like
    2
    0 التعليقات 0 المشاركات 1كيلو بايت مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Baraka Lopoi
    2024-08-22 10:25:37 -
    ♥️♥️♥️💖
    Like
    1
    0 التعليقات 0 المشاركات 776 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Baraka Lopoi
    2024-08-22 10:58:10 -
    Wazee wenzangu nipen support bac hata kwa like na comment tufahamiane
    Wazee wenzangu nipen support bac hata kwa like na comment tufahamiane
    Like
    2
    0 التعليقات 0 المشاركات 973 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Paulswai أضاف صورة
    2024-08-22 14:59:06 -
    Like
    Love
    2
    1 التعليقات 0 المشاركات 359 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • عرض (2671-2680 من 36638)
  • «
  • السابق
  • 266
  • 267
  • 268
  • 269
  • 270
  • التالي
  • »
© 2026 Socialpop Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل