Mise à niveau vers Pro

  • Kwenye Press yake ya kwanza aliyofanya baada ya kukabidhiwa timu, Kocha Sead Ramovic akiielezea style na Falsafa zake za uchezaji alisema;

    "I like this kind of heavy rock and roll game to attack and press, not to let the opponent breath"

    1. Kuzuia kwa shinikizo kubwa kwaajili ya kupora umiliki wa mpira pindi ukiwa kwa wapinzani wao (High Pressure defensive style), na kuanza kuzuia kwa haraka na shinikizo kubwa pindi wanapopoteza umiliki wa mpira (Counter Pressing)

    2. Kushambulia kwa mashambulizi ya moja kwa moja na kushambulia kwa kujibu pindi wanapopokonya umiliki wa mpira baada ya kuzuia kwa presha kubwa

    - Hichi ndicho wanachokionesha kwasasa

    Yanga leo msingi wa Ubora wao ulianzia Kwa namna Wanavyozuia kwa "NJAA KALI" wakiwa na miundo miwili ya kimkakati hasa kuzuia Dodoma Kupita katikati kwa viungo wa kati.

    - Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-2-3-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Kiungo mmoja, Daudi
    - Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-1-4-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Viungo wawili wa kati, Daudi na Hoza

    Hii ina maana Yanga walikuwa wana adapt idadi ya wachezaji wa Dodoma wanaoweza ku-progress build up kutoka nyuma, ambapo;

    - Aziz na Mudathir waliwa-mark Daudi na Hoza kuzuia Central Progressions
    - Mzize na Pacome walisimama katikati ya Full Backs na Center Backs wa Dodoma kuzuia Wide Progressions
    - Yanga walimsimamisha Dube mbele, akawa dhidi ya mabeki wawili na kipa wa Dodoma kutowapa uhuru

    Lengo la pili la Yanga likawa kupora mipira na kujibu mashambulizi kwenye moment ndiyo MECHANISM ya magoli yote yalipochorwa;

    - Wachezaji walijua tendo linalofuata baada ya kupora mpira
    - wakishambulia space behind haraka, wakafaidika na kasi yao iliyozidi RECOVERY RUNS za wachezaji wa Dodoma

    Siyo kwamba Dodoma hawakuwa wafanisi, bali kasi yao ya Ufanisi ilizidiwa na Presha ya Yanga, baada ya Presha;

    - Quick Runs behind
    - Wapo kwa idadi kubwa
    - Energetic
    - Accuracy ya matendo

    PIRA ,GUSA, ACHIA TWENDE KWAO

    👉 Kwenye Press yake ya kwanza aliyofanya baada ya kukabidhiwa timu, Kocha Sead Ramovic akiielezea style na Falsafa zake za uchezaji alisema; 🗣️ "I like this kind of heavy rock and roll game to attack and press, not to let the opponent breath" 1. Kuzuia kwa shinikizo kubwa kwaajili ya kupora umiliki wa mpira pindi ukiwa kwa wapinzani wao (High Pressure defensive style), na kuanza kuzuia kwa haraka na shinikizo kubwa pindi wanapopoteza umiliki wa mpira (Counter Pressing) 2. Kushambulia kwa mashambulizi ya moja kwa moja na kushambulia kwa kujibu pindi wanapopokonya umiliki wa mpira baada ya kuzuia kwa presha kubwa - Hichi ndicho wanachokionesha kwasasa 👉 Yanga leo msingi wa Ubora wao ulianzia Kwa namna Wanavyozuia kwa "NJAA KALI" wakiwa na miundo miwili ya kimkakati hasa kuzuia Dodoma Kupita katikati kwa viungo wa kati. - Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-2-3-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Kiungo mmoja, Daudi - Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-1-4-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Viungo wawili wa kati, Daudi na Hoza 👉 Hii ina maana Yanga walikuwa wana adapt idadi ya wachezaji wa Dodoma wanaoweza ku-progress build up kutoka nyuma, ambapo; - Aziz na Mudathir waliwa-mark Daudi na Hoza kuzuia Central Progressions - Mzize na Pacome walisimama katikati ya Full Backs na Center Backs wa Dodoma kuzuia Wide Progressions - Yanga walimsimamisha Dube mbele, akawa dhidi ya mabeki wawili na kipa wa Dodoma kutowapa uhuru 👉 Lengo la pili la Yanga likawa kupora mipira na kujibu mashambulizi kwenye moment ndiyo MECHANISM ya magoli yote yalipochorwa; - Wachezaji walijua tendo linalofuata baada ya kupora mpira - wakishambulia space behind haraka, wakafaidika na kasi yao iliyozidi RECOVERY RUNS za wachezaji wa Dodoma 👉 Siyo kwamba Dodoma hawakuwa wafanisi, bali kasi yao ya Ufanisi ilizidiwa na Presha ya Yanga, baada ya Presha; - Quick Runs behind - Wapo kwa idadi kubwa - Energetic - Accuracy ya matendo PIRA ,GUSA, ACHIA TWENDE KWAO 🙌
    ·94 Vue
  • .“Tumewatazama kwa makini sana Dodoma Jiji, wanacheza vizuri wakiwa nyumbani, tunafahamu ni wagumu mno wanapocheza nyumbani hivyo tumeshajiandaa kukabiliana nao. Alama tatu kesho muhimu mno kwetu ili tuendelee kubaki kwenye mipango yetu” Sead Ramovic.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .“Tumewatazama kwa makini sana Dodoma Jiji, wanacheza vizuri wakiwa nyumbani, tunafahamu ni wagumu mno wanapocheza nyumbani hivyo tumeshajiandaa kukabiliana nao. Alama tatu kesho muhimu mno kwetu ili tuendelee kubaki kwenye mipango yetu” Sead Ramovic. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    Haha
    3
    1 Commentaires ·182 Vue
  • .Ushindi wa kesho una beba dhima nzima ya kujitoa kwa kila namna, kama tusipojitoa kwa kila hali hapo kesho matarajio ya ushindi yatakuwa madogo, kimsingi tumekuja hapa na tumeshajiandaa kisawasawa na tuna imani ya kuondoka alama tatu. Bila shaka mchezo umekaa kimtego kutokana na ratiba lakini hiyo haiondoi dhamira yetu ya kushinda” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .Ushindi wa kesho una beba dhima nzima ya kujitoa kwa kila namna, kama tusipojitoa kwa kila hali hapo kesho matarajio ya ushindi yatakuwa madogo, kimsingi tumekuja hapa na tumeshajiandaa kisawasawa na tuna imani ya kuondoka alama tatu. Bila shaka mchezo umekaa kimtego kutokana na ratiba lakini hiyo haiondoi dhamira yetu ya kushinda” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    3
    ·173 Vue
  • .“Nina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyokamalika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .“Nina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyokamalika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    3
    1 Commentaires ·157 Vue
  • Baada ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda.

    Nyota huyo wa zamani wa Simba, alirejea nchini mwanzoni mwa msimu huu akitokea Libya alikokuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu yake ya TP Mazembe, lakini amekuwa hana namba katika kikosi cha kwanza kuanzia kwa kocha Miguel Gamondi hadi Sead Ramovic anayeinoa timu hiyo kwa sasa.

    Taarifa za ndani ya Yanga zinasema kuwa straika huyo yupo mbioni kupigwa chini katika dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Disemba 15, huku Namungo ikitajwa kutaka huduma yake.


    #daviddavoo
    #davidatto
    #neliudcosian
    Baada ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda. Nyota huyo wa zamani wa Simba, alirejea nchini mwanzoni mwa msimu huu akitokea Libya alikokuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu yake ya TP Mazembe, lakini amekuwa hana namba katika kikosi cha kwanza kuanzia kwa kocha Miguel Gamondi hadi Sead Ramovic anayeinoa timu hiyo kwa sasa. Taarifa za ndani ya Yanga zinasema kuwa straika huyo yupo mbioni kupigwa chini katika dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Disemba 15, huku Namungo ikitajwa kutaka huduma yake. #daviddavoo #davidatto #neliudcosian
    Like
    1
    1 Commentaires ·183 Vue
  • Privaldinho amjia juu Hans Raphael, Mchambuzi wa Crown FM.

    "Yanga ya Ramovic? Ni ipi?? Unatumia maneno ya kishabiki ili kuibua hoja na hisia negative kwa mwalimu? Wewe ni mchambuzi au unatumika ? Haya maneno ya Yanga ya Sjui nani ni tambo za mashabiki. Sio weledi kwa mwandishi kutumia hizi tena akiwa analenga kudhihaki au kupotosha.

    Ultaka Yanga ichezeje away? Kupiga pasi nyingi ndio kucheza vizuri? Kwamba ukimiliki mpira away ndio kucheza vizuri? Nakukumbusha jambo, mwaka jana wakati tunafungwa 3-0 na Belouzidad tulipiga pasi nyingi 400 na tukapoteza.

    Leo tumeboss mchezo kwa kiwango kikubwa sana, tumeongoza kwa umiliki wa mchezo 57% tukiwa na accurate pasi ya 287 while Mazembe wamepiga 188.

    Tumeongoza kwa shot on target ambacho kilikuwa kichaka chenu uchambuzi, leo tumepiga shot on taraget 5, Mazembe wamepiga just one 1. Unasemaje defensive tulikuwa wabovu?

    Tumepiga tackles 14 (70%) more than Mazembe, tumeongoza kwa duels kwa upande wa griound na aerial.

    Hatuna intensity nzuri, kwenye opposition half tumepiga pasi 130 na final third tumepiga 64, maana yake tulifika eneo husika kwa usahihi. Tumegusa mpira mara 14 kwenye lango la mpinzani. Zaidi kuliko mwenyeji.

    Lengo lenu mnataka kufubaza kila improvement inayofanywa na Yanga its aidha kwa makusudi au kwa sababu zenu ambazo hazina kichwa wala miguu.

    Mechi ya leo Sead amekuwa na takwimu bora kuliko mechi zetu tatu za mwisho za ligi ya mabingwa msimu uliopita

    Mechi ya Belouzidad tulipigwa mitatu, mechi iliyofuata away na Medeama tukadroo huku performance ikiwa ya kawaida pasi 277, hiyo ya Mamelodi sitaki hata kuiongelea.

    Tunaona upotoshaji, mwisho wa siku mnapoteza weledi kwa sababu ambazo hazieleweki. Unless kuna namna mnafaidika" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.

    Privaldinho amjia juu Hans Raphael, Mchambuzi wa Crown FM. "Yanga ya Ramovic? Ni ipi?? Unatumia maneno ya kishabiki ili kuibua hoja na hisia negative kwa mwalimu? Wewe ni mchambuzi au unatumika ? Haya maneno ya Yanga ya Sjui nani ni tambo za mashabiki. Sio weledi kwa mwandishi kutumia hizi tena akiwa analenga kudhihaki au kupotosha. Ultaka Yanga ichezeje away? Kupiga pasi nyingi ndio kucheza vizuri? Kwamba ukimiliki mpira away ndio kucheza vizuri? Nakukumbusha jambo, mwaka jana wakati tunafungwa 3-0 na Belouzidad tulipiga pasi nyingi 400 na tukapoteza. Leo tumeboss mchezo kwa kiwango kikubwa sana, tumeongoza kwa umiliki wa mchezo 57% tukiwa na accurate pasi ya 287 while Mazembe wamepiga 188. Tumeongoza kwa shot on target ambacho kilikuwa kichaka chenu uchambuzi, leo tumepiga shot on taraget 5, Mazembe wamepiga just one 1. Unasemaje defensive tulikuwa wabovu? Tumepiga tackles 14 (70%) more than Mazembe, tumeongoza kwa duels kwa upande wa griound na aerial. Hatuna intensity nzuri, kwenye opposition half tumepiga pasi 130 na final third tumepiga 64, maana yake tulifika eneo husika kwa usahihi. Tumegusa mpira mara 14 kwenye lango la mpinzani. Zaidi kuliko mwenyeji. Lengo lenu mnataka kufubaza kila improvement inayofanywa na Yanga its aidha kwa makusudi au kwa sababu zenu ambazo hazina kichwa wala miguu. Mechi ya leo Sead amekuwa na takwimu bora kuliko mechi zetu tatu za mwisho za ligi ya mabingwa msimu uliopita Mechi ya Belouzidad tulipigwa mitatu, mechi iliyofuata away na Medeama tukadroo huku performance ikiwa ya kawaida pasi 277, hiyo ya Mamelodi sitaki hata kuiongelea. Tunaona upotoshaji, mwisho wa siku mnapoteza weledi kwa sababu ambazo hazieleweki. Unless kuna namna mnafaidika" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.
    ·124 Vue
  • “Ni jambo kubwa sana ambalo Mashabiki wa Yanga wamelifanya, kusafiri kwa Bus kutoka Dar Es Salaam mpaka hapa Lubumbashi siyo rahisi, ni faraja kwetu na inatupa Motisha ya kuwa tuna watu wanaotupa moyo na kutufanya tusiyumbe, kwakweli nachoweza kusema ni kwamba tupo hapa kwaajili ya kuwapa furaha, timu nzima inatambua umuhimu wa mashabiki wetu, panapo majaaliwa kesho tutapambana kuhakikisha tunawafurahisha Wananchi” @seadramovic79
    “Ni jambo kubwa sana ambalo Mashabiki wa Yanga wamelifanya, kusafiri kwa Bus kutoka Dar Es Salaam mpaka hapa Lubumbashi siyo rahisi, ni faraja kwetu na inatupa Motisha ya kuwa tuna watu wanaotupa moyo na kutufanya tusiyumbe, kwakweli nachoweza kusema ni kwamba tupo hapa kwaajili ya kuwapa furaha, timu nzima inatambua umuhimu wa mashabiki wetu, panapo majaaliwa kesho tutapambana kuhakikisha tunawafurahisha Wananchi” @seadramovic79
    Like
    1
    ·132 Vue
  • YANGA SC mtamkumbuka Miguel Gamondi kwa matokeo haya
    #Sead Ramovic
    #Yangasc
    YANGA SC mtamkumbuka Miguel Gamondi kwa matokeo haya #Sead Ramovic #Yangasc
    Love
    1
    ·111 Vue
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    Tunakwenda kucheza na timu ngumu, ina wachezaji bora na kocha mzoefu lakini upande wetu tuna kikosi chenye wachezaji bora sana, naamini itakuwa mechi nzuri yenye kuvutia. Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 Tunakwenda kucheza na timu ngumu, ina wachezaji bora na kocha mzoefu lakini upande wetu tuna kikosi chenye wachezaji bora sana, naamini itakuwa mechi nzuri yenye kuvutia. Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    1 Commentaires ·274 Vue
  • .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Kwakweli ni Jambo la Kujivunia sana, Nawashukuru sana mashabiki wa Yanga wanaotoka Dar Es Salaam leo usiku na Wanayanga Wote wanaokuja Kuisapoti timu yetu hapo kesho, mimi na Wachezaji wangu tunapaswa kuwalipa Furaha, Wameonesha Moyo na Mapenzi ya Dhati, tunajiandaa kuirejesha furaha yao” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Kwakweli ni Jambo la Kujivunia sana, Nawashukuru sana mashabiki wa Yanga wanaotoka Dar Es Salaam leo usiku na Wanayanga Wote wanaokuja Kuisapoti timu yetu hapo kesho, mimi na Wachezaji wangu tunapaswa kuwalipa Furaha, Wameonesha Moyo na Mapenzi ya Dhati, tunajiandaa kuirejesha furaha yao” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    2
    ·411 Vue
  • .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Tuna mchezo mgumu na Muhimu sana hapo kesho, katika maandalizi yetu mpaka sasa kila kitu kipo vizuri, tunafahamu Namungo wana Wachezaji wazoefu lakini sisi hatupo hapa kutafuta kingine zaidi ya Alama tatu” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Tuna mchezo mgumu na Muhimu sana hapo kesho, katika maandalizi yetu mpaka sasa kila kitu kipo vizuri, tunafahamu Namungo wana Wachezaji wazoefu lakini sisi hatupo hapa kutafuta kingine zaidi ya Alama tatu” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    3
    1 Commentaires ·328 Vue
  • RADA YETU; Jana katika mchezo wa Yanga Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING), hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na Kono lanyani Back again .
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #uefachampionsleague2024
    #tanzania
    #sports
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #YoungAfricans
    #cafchampionsleague2024
    RADA YETU🌏; Jana katika mchezo wa Yanga 🆚 Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING)🫂, hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na 🖐️Kono lanyani Back again 🙏. #sokachampions #soccersportstz #uefachampionsleague2024 #tanzania #sports #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #YoungAfricans #cafchampionsleague2024
    Like
    Love
    Haha
    6
    3 Commentaires ·488 Vue
  • "Nyie mbona hii Yanga ya Mjerumani imezidi kuwa mbovu?

    Binafsi sijaona chochote kipya kutoka kwa Sead Ramovic,sijaona swagger na mbinu mpya kutoka kwake.

    Siku zote kocha mpya akiingia kila mchezaji hujitoa ili kupambania nafasi ya kuongia kwenye kikosi cha kwanza,Ila leo ni Kama Wachezaji Wa Yanga walimuwaza Gamond.

    Yanga Leo wamevuna walichopanda…..poor performance" - Hans Raphael, Mchambuzi.
    "Nyie mbona hii Yanga ya Mjerumani imezidi kuwa mbovu? Binafsi sijaona chochote kipya kutoka kwa Sead Ramovic,sijaona swagger na mbinu mpya kutoka kwake. Siku zote kocha mpya akiingia kila mchezaji hujitoa ili kupambania nafasi ya kuongia kwenye kikosi cha kwanza,Ila leo ni Kama Wachezaji Wa Yanga walimuwaza Gamond. Yanga Leo wamevuna walichopanda…..poor performance" - Hans Raphael, Mchambuzi.
    Like
    1
    ·118 Vue
  • "Young Africans SC ni timu bora sana, lakini tunakwenda kucheza na timu bora pia hivyo tunahitajika tuwe makini sana. Tunapaswa kuwa na utayari kiakili na kisaikolojia kwani tunakwenda kwenye mechi ngumu sana. Hata hivyo ninayo furaha kubwa sana kuiongoza Klabu kubwa kwenye mashindano makubwa" - Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    "Young Africans SC ni timu bora sana, lakini tunakwenda kucheza na timu bora pia hivyo tunahitajika tuwe makini sana. Tunapaswa kuwa na utayari kiakili na kisaikolojia kwani tunakwenda kwenye mechi ngumu sana. Hata hivyo ninayo furaha kubwa sana kuiongoza Klabu kubwa kwenye mashindano makubwa" - Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    Like
    1
    ·124 Vue
  • "Mashabiki ni sehemu ya timu yangu na mara zote nimekuwa rafiki yao, bahati kwangu nimekuja kwenye Klabu yenye mashabiki bora Afrika, naamini kesho watakuja kwa wingi uwanjani kunikaribisha na kuisapoti timu ili tupate matokeo mazuri.

    Mashabiki wananiita German Machine, lakini mimi ukiniuliza ningependa kuitwa Tanzanian Machine, nataka kufurahi pamoja na watu wa hapa na kuhakikisha klabu hii inapata mafanikio" Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.

    "Mashabiki ni sehemu ya timu yangu na mara zote nimekuwa rafiki yao, bahati kwangu nimekuja kwenye Klabu yenye mashabiki bora Afrika, naamini kesho watakuja kwa wingi uwanjani kunikaribisha na kuisapoti timu ili tupate matokeo mazuri. Mashabiki wananiita German Machine, lakini mimi ukiniuliza ningependa kuitwa Tanzanian Machine, nataka kufurahi pamoja na watu wa hapa na kuhakikisha klabu hii inapata mafanikio" Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    ·107 Vue
  • .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    “Young Africans SC ni timu bora sana, lakini tunakwenda kucheza na timu bora pia hivyo tunahitajika tuwe makini sana. Tunapaswa kuwa na utayari kiakili na kisaikolojia kwani tunakwenda kwenye mechi ngumu sana. Hata hivyo ninayo furaha kubwa sana kuiongoza Klabu kubwa kwenye mashindano makubwa”

    “Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa nikiwa na timu kubwa ya Young Africans SC. Falsafa yangu kubwa ni nidhamu na kujituma. Napenda kuona wachezaji wakicheza kama timu, haijalishi unatumia mfumo gani kama wachezaji wako hawana umoja ni ngumu kupata matokeo”

    “Kwenye timu yangu sina mchezaji mashuhuri (Staa) kuliko mwingine. Wachezaji wote nawapa haki sawa kwa kuzingatia juhudi zao kwenye uwanja wa mazoezi. Ili tushinde lazima wachezaji wawe na umoja. Natambua ubora wa kila mchezaji lakini jambo la muhimu kwangu ni namna gani mchezaji anatumia uwezo wake kuipa timu matokeo”
    Sead Ramovic
    .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Young Africans SC ni timu bora sana, lakini tunakwenda kucheza na timu bora pia hivyo tunahitajika tuwe makini sana. Tunapaswa kuwa na utayari kiakili na kisaikolojia kwani tunakwenda kwenye mechi ngumu sana. Hata hivyo ninayo furaha kubwa sana kuiongoza Klabu kubwa kwenye mashindano makubwa” “Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa nikiwa na timu kubwa ya Young Africans SC. Falsafa yangu kubwa ni nidhamu na kujituma. Napenda kuona wachezaji wakicheza kama timu, haijalishi unatumia mfumo gani kama wachezaji wako hawana umoja ni ngumu kupata matokeo” “Kwenye timu yangu sina mchezaji mashuhuri (Staa) kuliko mwingine. Wachezaji wote nawapa haki sawa kwa kuzingatia juhudi zao kwenye uwanja wa mazoezi. Ili tushinde lazima wachezaji wawe na umoja. Natambua ubora wa kila mchezaji lakini jambo la muhimu kwangu ni namna gani mchezaji anatumia uwezo wake kuipa timu matokeo” Sead Ramovic
    Like
    Love
    2
    ·286 Vue
  • SEAD RAMOVIC; Huyu kocha walio wengi wanambeza ila tu ningependa kukwambia mlete timu zenu kichwa kichwa, please msiseme sikusemaa..
    #sokachampions
    SEAD RAMOVIC; Huyu kocha walio wengi wanambeza ila tu ningependa kukwambia mlete timu zenu kichwa kichwa, please msiseme sikusemaa.. #sokachampions
    Like
    Love
    2
    ·194 Vue
  • KUTOKA KWA NASRDIN NABI

    “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa.

    “Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu.

    “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri.

    “Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia.

    “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’

    AMESEMA PROF. NABI
    KUTOKA KWA NASRDIN NABI “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa. “Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu. “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri. “Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia. “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’ AMESEMA PROF. NABI
    Like
    2
    1 Commentaires ·462 Vue
  • “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa. Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu.

    “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri. Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia.

    “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’ Nabi, Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa. Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu. “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri. Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia. “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’ Nabi, Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    ·281 Vue
  • Kocha mpya wa yanga raia wa ujerumani SEAD RAMOVIE #YoungAfricans sc
    Kocha mpya wa yanga raia wa ujerumani SEAD RAMOVIE #YoungAfricans sc 🇹🇿
    ·256 Vue
Plus de résultats