Upgrade to Pro

  • MOVIE KALI SANA HII
    Ni single movie , Je Ungependa Kutizama Full Movie

    ipo iliyotafsiliwa
    Tufate Telegram https://t.me/dj_hxm

    #HFilam #Socialpop #Online
    MOVIE KALI SANA HII Ni single movie , Je Ungependa Kutizama Full Movie ipo iliyotafsiliwa Tufate Telegram https://t.me/dj_hxm #HFilam #Socialpop #Online
    Like
    5
    6 Comments ·840 Views ·135 Views ·1 Shares
  • Hii movie Inatizamwa na watuwazima tyu
    Ni single movie , Je Ungependa Kutizama Full Movie

    ipo iliyotafsiliwa na isiyotafsiliwa ...
    Tufate Telegram https://t.me/dj_hxm

    #HFilam #Socialpop #Online
    Hii movie Inatizamwa na watuwazima tyu Ni single movie , Je Ungependa Kutizama Full Movie ipo iliyotafsiliwa na isiyotafsiliwa ... Tufate Telegram https://t.me/dj_hxm #HFilam #Socialpop #Online
    Like
    Love
    6
    11 Comments ·763 Views ·183 Views
  • JINI LA KWENYE BAHARI

    #HFilam
    JINI LA KWENYE BAHARI #HFilam
    Like
    Love
    6
    1 Comments ·389 Views ·48 Views
  • NDOA, NDOANI...
    MAPENZI KITANDANI


    #HFilam
    NDOA, NDOANI... 🥰MAPENZI KITANDANI #HFilam
    Like
    Love
    5
    ·392 Views ·50 Views
  • KUMBE MIMBA NI NUKSI | ikiwa utabeba mimba nnje ya ndoa ni aibu kubwa sana huko indonesia bhn..

    Bidada baada ya kubeba mimba nnje ya ndoa, anaamua kuondoka kijijini kwao kwa siri na kwenda mbali na kutafuta mkunga kwa siri na kuamua kuilea mimba hiyo kwa siri sana bira mtu yoyote kujua alipo na hatakama alikuwa na mimba mpaka atakapo jifungua🤱🏻 .. sasa balaa nikwamba Bidada anajikuta ameficha tu ushaidi wa kifo chake mwenyewe..Kumbe Mkunga wake anasiri za giza na anatafuta chombo kamili cha roho kwa ajili ya mtoto wake aliyekufa, yaani anataka kutumia mtoto aliye tumboni mwa Bidada kumfufua mtoto wake aliyekufa ...
    _______________________________
    Jiunge Telegram
    https://t.me/HFilam_Official/1447
    KUMBE MIMBA NI NUKSI🤮 | ikiwa utabeba mimba nnje ya ndoa ni aibu kubwa sana huko indonesia bhn.. Bidada baada ya kubeba mimba nnje ya ndoa, anaamua kuondoka kijijini kwao kwa siri na kwenda mbali na kutafuta mkunga kwa siri na kuamua kuilea mimba hiyo kwa siri sana bira mtu yoyote kujua alipo na hatakama alikuwa na mimba mpaka atakapo jifungua🤱🏻 .. sasa 🥶balaa nikwamba Bidada anajikuta ameficha tu ushaidi wa kifo chake mwenyewe..Kumbe Mkunga wake anasiri za 😈giza na anatafuta chombo kamili cha roho kwa ajili ya mtoto wake aliyekufa, yaani anataka kutumia mtoto aliye tumboni mwa Bidada kumfufua mtoto wake aliyekufa 👹🍿... _______________________________ 🌐 Jiunge 🍷Telegram ⬇️⬇️ https://t.me/HFilam_Official/1447
    Like
    Love
    10
    ·503 Views
  • MAUMIVU | Ex anatafuta Kifo chake kilipo jificha ..kumbe ni kwenye store bwana

    🧏🏾‍♂️daah movie inafundisha sana hii ..bidada EX wake anapata mwanamke mwengine alafu huyo mwanamke ni maalufu sana mtandaoni anatoa vipindi vyake vya mazoezi online..Installgram ana Followers 733.7k ( bidada akaingiwa na wivu na anaanza kutamani kuwa angekuwa yeye .anaanzisha na yeye vipindi vyake na anafungua installgram mpya na anapata Followers 18 tu bidada anazidi kuchanganyikiwakwa kuhisi watu awamuelewi.. akasahau kuwa hakunaga mwazo mwepesi Hii movie inaonesha madhara ya "wivu" pia hasara"sababu bidada anaanza kuishi maisha ya mtumwengine wakati hanakitu ..pia movie hii inachunguza mada ya Afya ya akili, sababu bidada. kwanza awezi tena kusubiri kila kitu anaona kinachelewa na anatumia nguvu kubwa katika kumshusha aliekuwa juu ili awe yeye juu.. Hii movie ni kali sana Usikose kutizama filamu kamili kwenye V.I.P

    Subscribe Now
    https://t.me/HFilam_Official/1282
    Telegram
    💔MAUMIVU | Ex anatafuta Kifo chake kilipo jificha ..kumbe ni kwenye store bwana 🧏🏾‍♂️daah movie inafundisha sana hii ..bidada EX wake anapata mwanamke mwengine alafu huyo mwanamke ni maalufu sana mtandaoni anatoa vipindi vyake vya mazoezi online..Installgram ana 👤Followers 733.7k ( bidada akaingiwa na wivu na anaanza kutamani kuwa angekuwa yeye .anaanzisha na yeye vipindi vyake na anafungua installgram mpya na anapata 👤Followers 18 tu 😂 bidada anazidi kuchanganyikiwa😡kwa kuhisi watu awamuelewi.. akasahau kuwa hakunaga mwazo mwepesi Hii movie inaonesha madhara ya "wivu" pia hasara😬"sababu bidada anaanza kuishi maisha ya mtumwengine wakati hanakitu ..pia movie hii inachunguza mada ya 🧠Afya ya akili, sababu bidada. kwanza awezi tena kusubiri kila kitu anaona kinachelewa na anatumia nguvu kubwa katika kumshusha aliekuwa juu ili awe yeye juu.. Hii movie ni kali sana Usikose kutizama filamu kamili kwenye V.I.P 🎥🍿Subscribe Now https://t.me/HFilam_Official/1282 Telegram
    T.ME
    HFilam Movies
    💔MAUMIVU | Ex anatafuta Kifo chake kilipo jificha ..kumbe ni kwenye store bwana 🧏🏾‍♂️daah movie inafundisha sana hii ..bidada EX wake anapata mwanamke mwengine alafu huyo mwanamke ni maalufu sana mtandaoni anatoa vipindi vyake vya mazoezi online..Installgram ana 👤Followers 733.7k ( bidada akaingiwa na wivu na anaanza kutamani kuwa angekuwa yeye .anaanzisha na yeye vipindi vyake na anafungua installgram mpya na anapata 👤Followers 18 tu 😂 bidada anazidi kuchanganyikiwa😡kwa kuhisi watu awamuelewi.. akasahau kuwa hakunaga mwazo mwepesi Hii movie inaonesha madhara ya "wivu" pia hasara😬"sababu bidada anaanza kuishi maisha ya mtumwengine wakati hanakitu ..pia movie hii inachunguza mada ya 🧠Afya ya akili, sababu bidada. kwanza awezi tena kusubiri kila kitu anaona kinachelewa na anatumia nguvu kubwa katika kumshusha aliekuwa juu ili awe yeye juu.. Hii movie ni kali sana Usikose kutizama filamu kamili kwenye V.I.P ━━━❰ 🍷V.I.P DOWNLOAD ❱━━━➣ je❓Unaitaji Tukuunge na wewe V.I.P Gusa Hapa Tuma neno "NIUNGE
    Love
    Like
    8
    1 Comments ·626 Views
  • UCHAWI DUUH! | Bidada ana anza kuhisi kwamba ndoto zake hazitatimia tena

    Humu tunakutana na msichana mdogo anayeitwa Sonia anayeishi katika mji mdogo wa Marekani. Sonia ana ndoto ya kuwa mpishi maarufu, lakini anakumbana na changamoto nyingi katika njia yake. Mama yake Sonia ni mgonjwa sana, na Sonia analazimika kutunza familia yake huku akifanya kazi katika mgahawa wa kienyeji. Kazi yake ni ngumu, na bosi wake ni mkali sana. Sonia anaanza kuhisi kama ndoto yake haiwezekani... anakubali kuwa mchawi ili kutimiza ndoto zake Bira kujua kuwa, uchawi huwa na gharama zake. mzigo ni Comedy/Horror

    Telegram 👇🏻👇🏻
    https://t.me/HFilam_Official/1304
    😬UCHAWI DUUH! | Bidada ana anza kuhisi kwamba ndoto zake hazitatimia tena 🧏‍♂️Humu tunakutana na msichana mdogo anayeitwa Sonia anayeishi katika mji mdogo wa Marekani. Sonia ana ndoto ya kuwa mpishi maarufu, lakini anakumbana na changamoto nyingi katika njia yake. Mama yake Sonia ni mgonjwa sana, na Sonia analazimika kutunza familia yake huku akifanya kazi katika mgahawa wa kienyeji. Kazi yake ni ngumu, na bosi wake ni mkali sana. Sonia anaanza kuhisi kama ndoto yake haiwezekani... anakubali kuwa mchawi ili kutimiza ndoto zake Bira kujua kuwa, uchawi huwa na gharama zake. mzigo ni Comedy/Horror Telegram 👇🏻👇🏻 https://t.me/HFilam_Official/1304
    Like
    Love
    6
    1 Comments ·816 Views
  • KICHUPA | Watu wapole waogope sana, sio binaadamu hao ni malaika

    Mjomba Ni mstaalabu sana anafanya kazi ya kuendesha lori la ma kontena ya machungwa .. mala zote huwa anafanya kazi hiyo akiwa na binti yake kutokana mama yake hayupo tena.. so Maisha yanaendelea hivyo mpaka binti inabidi amuache baba yake nae aende shule.. Baada ya binti yake kuanza shule siku moja baba anapokea simu kuwa binti yake ametekwa nyara.. Baba kama baba anakasirika na kuumia, binti yake mdogo ametekwa nyara na mtu asiye mfahamu..movie ndio imeanzia hapo baba atamjuaje mtekeji nyara, je binti yake atapona, huumzigo ni action

    Jiunge nyumbani Telegram
    https://t.me/HFilam_Official
    @dj_hxm_Movies_Hd_Official
    🔥KICHUPA | Watu wapole waogope sana, sio binaadamu hao ni malaika 😢 🧏‍♂️Mjomba Ni mstaalabu sana anafanya kazi ya kuendesha lori la ma kontena ya 🍊machungwa .. mala zote huwa anafanya kazi hiyo akiwa na binti yake kutokana mama yake hayupo tena.. so Maisha yanaendelea hivyo mpaka binti inabidi amuache baba yake nae aende shule.. 🤨Baada ya binti yake kuanza shule siku moja baba anapokea simu kuwa binti yake ametekwa nyara.. Baba kama baba 😡anakasirika na 😭kuumia, binti yake mdogo ametekwa nyara na mtu asiye mfahamu..movie ndio imeanzia hapo baba atamjuaje mtekeji nyara, je binti yake atapona, huumzigo 🔥ni action Jiunge nyumbani Telegram https://t.me/HFilam_Official @dj_hxm_Movies_Hd_Official
    Like
    Love
    6
    5 Comments ·807 Views
  • SPY WA KUZIMU | mzigo una husu mama na watoto wake wawili ma pacha !

    So baada ya mama yao kupata ajari anafanyiwa upasuaji wa uso, sasa balaa ni kwamba tokea mama yao amepigwa bandeji usoni Wanashuku kuwa yeye si mama yao halisi, na wanaanza kumchunguza. Wakati wa uchunguzi wao, wanakumbana na matukio ya kutisha na ya kutatanisha, kama vile: Mama yao akiwa anaongea kwa sauti tofauti. Na anaonekana kuwa na ukatili na asiyejali. Maswali

    ❗️Mama yao halisi amepotelea wapi?
    ❗️Mwanamke aliyevaa bandeji ni nani?
    ❗️Je, mapacha wapo hatarini?

    Telegram 👇🏻👇🏻
    https://t.me/HFilam_Official/1408
    Username @HFilam_Official
    SPY WA KUZIMU 👹😰| mzigo una husu mama na watoto wake wawili ma pacha ! So baada ya mama yao kupata ajari anafanyiwa upasuaji wa uso, sasa 😬balaa ni kwamba tokea mama yao amepigwa bandeji usoni Wanashuku kuwa yeye si mama yao halisi, na wanaanza kumchunguza. Wakati wa uchunguzi wao, wanakumbana na matukio ya kutisha na ya kutatanisha, kama vile: Mama yao akiwa anaongea kwa sauti tofauti. Na anaonekana kuwa na ukatili na asiyejali. 💭Maswali ❗️😇Mama yao halisi amepotelea wapi? ❗️😇Mwanamke aliyevaa bandeji ni nani? ❗️😇Je, mapacha wapo hatarini? Telegram 👇🏻👇🏻 https://t.me/HFilam_Official/1408 Username @HFilam_Official
    Like
    Love
    3
    ·547 Views
  • MUNGU & SAYANSI |Hao sio mapacha ila ni mtu mmoja Ugonjwa wakifo tiba ni ufee alaka ili uepuke mateso ya kufa talatalatibu

    💁🏻‍♂️Bidada anaugonjwa furani ivi unaitwa "Retrograde Syndrome, ambao hauna tiba. Anaamua kuunda nakala ya mwili wake, ili anapo kufa nakala yake iendelee kuishi kama yeye..nakala ya mwili inaundwa kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu. Nakala hii ina 🌡DNA sawa na Sarah na inaonekana sawa naye, lakini hana kumbukumbu au uzoefu wake. Hata hivyo, miujiza inatokea Sarah anapona kutoka kwa ugonjwa wake. na sasa kuna wanawake wawili wanaoishi na jina moja. Kwa mujibu wa sheria ya nchi yao, lazima wapigane hadi kifo ili kuamua nani ana haki ya kuishi.

    Telegram 👇🏻👇🏻
    https://t.me/HFilam_Official/1408
    Username @HFilam_Official
    MUNGU & SAYANSI |Hao sio mapacha ila ni mtu mmoja 🙄 Ugonjwa wakifo tiba ni ufee alaka ili uepuke mateso ya kufa talatalatibu 💁🏻‍♂️Bidada anaugonjwa furani ivi unaitwa "Retrograde Syndrome, ambao hauna tiba. Anaamua kuunda nakala ya mwili wake, ili anapo kufa nakala yake iendelee kuishi kama yeye..nakala ya mwili inaundwa kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu. Nakala hii ina 🌡DNA sawa na Sarah na inaonekana sawa naye, lakini hana kumbukumbu au uzoefu wake. Hata hivyo, miujiza inatokea Sarah anapona kutoka kwa ugonjwa wake. na sasa kuna wanawake wawili wanaoishi na jina moja. Kwa mujibu wa sheria ya nchi yao, lazima wapigane hadi kifo ili kuamua nani ana haki ya kuishi. Telegram 👇🏻👇🏻 https://t.me/HFilam_Official/1408 Username @HFilam_Official
    Like
    3
    ·497 Views
  • Daraja La Kifo | Majini ni washamba wa kamera kamera ya Samsung Galaxy S4 inapiga picha hadi mizimu

    Bidada anaitwa "Lina" ni Mwanafunzi wa chuo kikuu, amekuwa akivutiwa sana na hadithi ya daraja lililolaaniwa. akiwa na wanafunzi wezake wanafunga safari na kuelekea huko ili kuthibitisha kama ni kweri au ni polojo tu, Wanapowasili kijijini, wanaanza kupeleleza, sasa balaa ni kwamba majini yana onesha umwamba.. yana jidhibitisha kuwa yapo yenyewe.. wanakuja kugundua kuwa hadithi zinazoendelea ni kweli tena ni mbaya zaidi kuliko walivyosimuliwa,🫣 na wanajikuta wao ndio wamekuwa kwenye orodha ya chakura cha usiku huu wakiwindwa na vijukuu vya shetani mwenyewe "Rusifa" Utamu na hofu kamili ya hii movie twende V.I.P Tukatizame

    Telegram 👇🏻👇🏻
    https://t.me/HFilam_Official/1416
    Daraja La Kifo 👹| Majini ni washamba wa kamera 👻📸kamera ya Samsung Galaxy S4 inapiga picha hadi mizimu Bidada anaitwa "Lina" ni Mwanafunzi wa chuo kikuu, amekuwa akivutiwa sana na hadithi ya daraja lililolaaniwa.😳 akiwa na wanafunzi wezake wanafunga safari na kuelekea huko ili kuthibitisha kama ni kweri au ni polojo tu, Wanapowasili kijijini, wanaanza kupeleleza, sasa 😬balaa ni kwamba majini yana onesha umwamba.. yana jidhibitisha kuwa yapo🤡 yenyewe.. wanakuja kugundua kuwa hadithi zinazoendelea ni kweli tena ni mbaya zaidi kuliko walivyosimuliwa,🫣 na wanajikuta wao ndio wamekuwa kwenye orodha ya chakura cha usiku huu wakiwindwa na vijukuu vya shetani mwenyewe "😈Rusifa😈" Utamu na hofu kamili ya hii movie twende V.I.P Tukatizame Telegram 👇🏻👇🏻 https://t.me/HFilam_Official/1416
    Like
    Love
    4
    ·753 Views
  • EX WA UTOTONI |mwanamke na mwanaume wakiwa pamoja mahali peke yao nani anaanzaga ukorofi ..sema hizi safari za polini hizi Lahaa sana

    Bidada ni mwanahabari jasiri, amepewa kazi ya kusisimua kutengeneza ripoti kuhusu sokwe walio achiliwa ... Huko anakutana na rafiki yake wa utotoni akiwa kama mlizi wa mazingira.. Furaha ya kukutana tena inafifia haraka wakati Sayu, mtoto wa sokwe anapotekwa na watu wabaya Bidada pamoja na mwamba.. licha ya kuwa na majukumu tofauti, wanalazimika kushirikiana kutumia akili na ujasiri wao kumwokoa Sayu na kupambana na uhalifu wa wanyamapori...

    Je, watafanikiwa kumrudisha Sayu salama msituni? Je, safari hii itaimarisha urafiki wao wa zamani? Ni Movie frani hivi nzuri ina sisimua Usikose kwenye V.I.P Movies

    Telegram
    https://t.me/HFilam_Official/1315
    EX WA UTOTONI |mwanamke na mwanaume wakiwa pamoja mahali peke yao nani anaanzaga ukorofi ..sema hizi safari za polini hizi 😁😁Lahaa sana 🧏‍♂️Bidada ni mwanahabari jasiri, amepewa kazi ya kusisimua kutengeneza 🧾ripoti kuhusu 🦧sokwe walio achiliwa ... Huko anakutana na rafiki yake wa utotoni akiwa kama mlizi wa mazingira🥰.. Furaha ya kukutana tena inafifia haraka wakati Sayu, mtoto wa sokwe anapotekwa na watu wabaya Bidada pamoja na mwamba.. licha ya kuwa na majukumu tofauti, wanalazimika kushirikiana kutumia akili na ujasiri wao kumwokoa Sayu na kupambana na uhalifu wa wanyamapori... Je, watafanikiwa kumrudisha Sayu salama msituni? Je, safari hii itaimarisha urafiki wao wa zamani? Ni Movie frani hivi nzuri ina sisimua Usikose kwenye V.I.P Movies Telegram https://t.me/HFilam_Official/1315
    Like
    Love
    Haha
    11
    2 Comments ·566 Views
  • MGANGA WA MCHONGO | hali ilivyo kuwa ngumu nikauza hadi mikoba yenyewe ila Usiku silali

    Mwamba ..babu yake alikuwa mganga maalufu sana na alijurikana sana ..Mwamba Licha ya kuwa ni mjukuu wa mganga maarufu. Mwamba haamini mizimu, lakini anajipatia riziki kwa kutoa mapepo bandia. anatumia ujuzi wake wa saikolojia kusaidia watu ...Siku moja anatembelewa na Mteja mwanamke na kumuomba aka msaidie mdogo wake.. mwamba ana sita sita lakini anaamua kukubali .. sasa balaa ni kwamba huyo mgonjwa ameingiliwa na jini baya sana ambalo lina kisasi na waganga ...anacho kutana nacho mwamba Usikubali kuadisiwa ..siku hiyo hiyo mwamba anamtafuta mtu alie muuzia mikoba ya babu yake movie kali sana hii

    Tu FOLLOW : Telegram
    https://t.me/HFilam_Official
    MGANGA WA MCHONGO😳 | hali ilivyo kuwa ngumu nikauza hadi mikoba yenyewe ila Usiku silali Mwamba ..babu yake alikuwa mganga maalufu sana na alijurikana sana ..Mwamba Licha ya kuwa ni mjukuu wa mganga maarufu. Mwamba haamini mizimu, lakini anajipatia riziki kwa kutoa mapepo bandia. anatumia ujuzi wake wa saikolojia kusaidia watu ...Siku moja anatembelewa na Mteja mwanamke na kumuomba aka msaidie mdogo wake.. mwamba ana sita sita lakini anaamua kukubali .. sasa balaa ni kwamba huyo mgonjwa ameingiliwa na jini baya sana ambalo lina kisasi na waganga ...anacho kutana nacho mwamba Usikubali kuadisiwa ..siku hiyo hiyo mwamba anamtafuta mtu alie muuzia mikoba ya babu yake 🤣🤣 movie kali sana hii Tu FOLLOW : Telegram https://t.me/HFilam_Official
    Like
    Love
    7
    1 Comments ·361 Views ·146 Views
  • NDOA YA DADA | shemeji anatuacha kwa uhulu akizani ni dada na kaka kumbe ni kweri ajakosea ni dada na kaka ila wa hovyo

    Hii movie jau kinoma inahusu ndugu wawili ambao wajawai kuwa pamoja katika malezi yao mpaka wamekuwa. so baada ya baba yao kufariki ndugu hao wanakutanishwa na msiba huwo sasa balaa liko hivi kaka mtu anajikuta ana mmaindi dada yake alafu dada yake nae ivyo ivyo Wanajaribu kupinga hisia zao, lakini hatimaye wanaanza uhusiano wa siri. alafu bidada amesha olewa ..so humu ndani kuna zile show za kaka na dada .. Daah

    Telegram ..
    https://t.me/HFilam_Official
    🔞NDOA YA DADA | shemeji anatuacha kwa uhulu akizani ni dada na kaka kumbe ni kweri ajakosea ni dada na kaka ila wa hovyo 😃😃 Hii movie jau kinoma inahusu ndugu wawili ambao wajawai kuwa pamoja katika malezi yao mpaka wamekuwa. so baada ya baba yao kufariki ndugu hao wanakutanishwa na msiba huwo sasa balaa liko hivi kaka mtu anajikuta ana mmaindi😋 dada yake alafu dada yake nae ivyo ivyo 🥺 Wanajaribu kupinga hisia zao, lakini hatimaye wanaanza uhusiano wa siri. alafu bidada amesha olewa ..so humu ndani kuna zile show za kaka na dada .. 😬Daah Telegram .. https://t.me/HFilam_Official
    Love
    Like
    Haha
    8
    1 Comments ·390 Views
  • Hii movie kumbe ni nzuri .sana ina mambo ya ajabu hii ... inaelezea kikundi cha waigizaji video za (Nimesahau bhan) soko la video izo limekuwa na upinzani sana kwy wameamua.. kuunda filam ya .. wakilenga kufanya style zote unazozijua kwenye hiyo movie ... Na wanapata Eneo, Zuri Huko kijijini lakini sasa 🙆🏻‍♀️Kwabaati mbaya sana wakiwa wanaendelea ku shoot movie yao iyo.. Bibi Mchawi anapata kuwaona vijana wakichakalika 👁👁Bibi nae anavutiwa na michezo ya wajukuu. Bibi huyo alikuwa ni mwema sana hakutaka kuwa rogezea wajukuu wake ila. aliwafata na kuwaomba na yeye aingizwe kwenye hiyo movie .🫣. yaani na yeye anataka apelekewe sijui anataka kuwapikia nini wajukuu zake... Mimi nimemaliza kukusimulia ..

    Kwenye 💁🏻‍♀️ V.I.P Movies Telegram : Unaipata Full movie
    https://t.me/HFilam_Official/1418
    Hii movie kumbe ni nzuri .sana ina mambo ya ajabu hii ... inaelezea kikundi cha waigizaji video za 🤔🤔(Nimesahau bhan😜) soko la video izo limekuwa na upinzani sana kwy wameamua.. kuunda filam ya 🔞.. wakilenga kufanya style zote unazozijua kwenye hiyo movie ... Na wanapata Eneo, Zuri Huko kijijini lakini sasa 🙆🏻‍♀️Kwabaati mbaya sana wakiwa wanaendelea ku shoot movie yao iyo.. Bibi Mchawi anapata kuwaona vijana wakichakalika 👁👁Bibi nae anavutiwa na michezo ya wajukuu. Bibi huyo alikuwa ni mwema sana hakutaka kuwa rogezea wajukuu wake ila. aliwafata na kuwaomba na yeye aingizwe kwenye hiyo movie .🫣. yaani na yeye anataka apelekewe 🍆 sijui anataka kuwapikia nini wajukuu zake... Mimi nimemaliza kukusimulia .. 🥚Kwenye 💁🏻‍♀️ V.I.P Movies🍷 Telegram : Unaipata Full movie https://t.me/HFilam_Official/1418
    Love
    Like
    9
    2 Comments ·490 Views
  • "Je, unajua kwamba Hugh Jackman, muigizaji kutoka Australia, alianza safari yake ya sanaa ya muziki ? kabla ya kuingia kwenye Uigizaji. Siyo tu uigizaji wake wa kipekee unaomfanya kuheshimika, lakini pia uwezo wake mkubwa wa kuimba na kucheza.

    👨🏻‍💻 Kwa kuongezea, Jackman anashikilia rekodi ya Guinness kwa kuwa shujaa wa Marvel kwa muda mrefu zaidi, akiigiza Wolverine kwa miaka 16 , Hata hivyo, licha ya mafanikio yake ya kisanii, Hugh Jackman bado ni mtu wa kawaida, mwenye kujitolea kwa familia yake na kusaidia misaada mbalimbali ya kijamii.

    #SanaaBora
    #VipajiVyaKipekee
    #MisaadaKwaJamii "
    #Jackman #Hfilam #Updates
    "Je, unajua kwamba Hugh Jackman, muigizaji kutoka Australia, alianza safari yake ya sanaa ya muziki ? kabla ya kuingia kwenye Uigizaji. Siyo tu uigizaji wake wa kipekee unaomfanya kuheshimika, lakini pia uwezo wake mkubwa wa kuimba na kucheza. 👨🏻‍💻 Kwa kuongezea, Jackman anashikilia rekodi ya Guinness kwa kuwa shujaa wa Marvel kwa muda mrefu zaidi, akiigiza Wolverine kwa miaka 16 , Hata hivyo, licha ya mafanikio yake ya kisanii, Hugh Jackman bado ni mtu wa kawaida, mwenye kujitolea kwa familia yake na kusaidia misaada mbalimbali ya kijamii. #SanaaBora #VipajiVyaKipekee #MisaadaKwaJamii 🎭🎶🌟" #Jackman #Hfilam #Updates
    Like
    Love
    7
    ·830 Views
  • SHANGAZI LA HOVYO ( amefumaniwa akifanya mapenzi na mwanae ) #movie #HFilam
    SHANGAZI LA HOVYO ( amefumaniwa akifanya mapenzi na mwanae ) #movie #HFilam
    Like
    Love
    7
    1 Comments ·330 Views ·101 Views
  • Tina & Tin : #horror #Movie #HFilam
    Tina & Tin : #horror #Movie #HFilam
    Like
    Love
    6
    1 Comments ·488 Views ·70 Views