Mwanaume Mmoja aliefahamika kwa jina la YayuMusa (27) amekiri kumuua mama mkwe wake, AtayiAbdul (50), kwa kumpiga mapanga hadi kufa huko Olla, Kogi State, Nigeria.
.
Tukio lilitokea Julai 25, alipomvizia marehemu akiwa njiani kuelekea shambani. Musa alidai alifanya hivyo kwa sababu mama mkwe wake alitaka kumzuia asiendelee na ndoa na binti yake, licha ya juhudi zake kubwa kuiweka ndoa hiyo hai.
.
Baada ya tukio hilo, alikimbia lakini alikamatwa na kikundi cha ulinzi wa jadi. Polisi wanaendelea na uchunguzi.
.
Katika video ya mahojiano, #Musa alieleza sababu ya kufanya mauaji hayo..
“Nilimuua kwa sababu alitaka kunizuia nisimuoe binti yake, Umi Idris. Alinipa binti yake kama mke, na nimetumia fedha zangu zote kuhakikisha ndoa yetu inafanya kazi.”
“Alikuwa anaendelea kusema mimi si mwanaume kamili na kwamba atamtoa mke wangu kwa mwanaume mwingine kwa sababu hawezi kushika mimba,” alisema.
.
Musa alisisitiza kuwa alifanya hivyo kutokana na msongo wa mawazo na mapenzi kwa mkewe, akisema..
“Sikutaka kumuona akiolewa na mwanaume mwingine wakati mimi bado hai."

0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·5 Views