• Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ?

    1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha .

    2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) .

    Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio .

    Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa .

    NOTE :

    1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli)

    2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi )

    3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo nimependa Energy ya Maabad

    4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake )

    FT: Yanga 1-0 Coastal Union .
    (Kelvin Rabson).

    Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ? 1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha . 2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) . ✍️ Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio . ✍️ Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa . NOTE : 1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli) 2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi 🔥) 3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo 👏 nimependa Energy ya Maabad ✅ 4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake ) FT: Yanga 1-0 Coastal Union . (Kelvin Rabson).
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·322 مشاهدة
  • Tabora United imekamilisha usajili wa nahodha wa Mbarara City, Joseph Akandwanaho raia wa Uganda

    Akandwanaho amesaini mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia klabu hiyo.

    #NBCPL
    Tabora United 🇹🇿 imekamilisha usajili wa nahodha wa Mbarara City, Joseph Akandwanaho raia wa Uganda 🇺🇬 ➡️ Akandwanaho amesaini mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia klabu hiyo. #NBCPL
    Like
    1
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·426 مشاهدة

  • NBCPL PRIMIER LEAGUE ITAREJEA TENA MARCH 01

    SIMBA ITAKUWA TIMU YA KWANZA KUONGOZA LIGI KWA MDA MREFU HIVI

    MASHABIKI WANAORUHUSIWA KUWA NA FURAHA NI MASHABIKI WA SIMBA TU MPAKA MWEZI WA 3

    #paulswai
    NBCPL PRIMIER LEAGUE ITAREJEA TENA MARCH 01 SIMBA ITAKUWA TIMU YA KWANZA KUONGOZA LIGI KWA MDA MREFU HIVI MASHABIKI WANAORUHUSIWA KUWA NA FURAHA NI MASHABIKI WA SIMBA TU MPAKA MWEZI WA 3 #paulswai
    Like
    Love
    4
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·585 مشاهدة

  • SELEMANI MATOLA " PAMOJA NA UGUMU WAO TUMEJIPANGA KUCHUKUA ALAMA 3" NBCPL: SIMBA SC VS JKT TZ.

    #paulswai
    SELEMANI MATOLA " PAMOJA NA UGUMU WAO TUMEJIPANGA KUCHUKUA ALAMA 3" NBCPL: SIMBA SC VS JKT TZ. #paulswai
    Like
    Love
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·459 مشاهدة ·25

  • ALLY SALIM "MAANDALIZI YOTE YA MCHEZO YAMEKAMILIKA" NBCPL: KAGERA SUGAR FC VS SIMBA SC.

    #paulswai
    ALLY SALIM "MAANDALIZI YOTE YA MCHEZO YAMEKAMILIKA" NBCPL: KAGERA SUGAR FC VS SIMBA SC. #paulswai
    Like
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·614 مشاهدة
  • Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na mpira kivipi ?

    Yanga kama dakika 30 za kwanza waliutembeza mpira kwa uharaka sana (Decision Making , runners walikuwa wengi eneo la mbele , walipata nafasi kubwa kwenye mpira (Pacome na Mzize) mda mwingi FBs wa Yanga walikuwa pembeni zaidi kwenye chaki….dhumuni ni kutafuta mapana ya uwanja na kuitanua block ya Mashujaa nafasi kwa wale namba 10 wawili + Pacome na Mzize ambao walikuwa wanaingia kwenye Half spaces zikaanza kufunguka .

    Mashujaa kwenye plan ya kuzuia wakiwa chini kwenye “Mid Block” then wakipora mpira haraka sana wanatengeneza mashambulizi kwa kushtukiza (Offesive Transition) na walinufaika na makosa ya safu ya ulinzi kutoka kwa Yanga (Goli la Ulomi “Defense line kusinzia , goli la pili makosa ya golikipa) .

    Mashujaa kuna nyakati kwenye kiungo walicheza vizuri sana , Pasi sahihi , movements lakini pia walitengeneza namba nzuri ya wachezaji (Overloads) ….. kulikuwa na nafasi kubwa kati ya kiungo cha Yanga na walinzi .

    Prince Dube anafunga “Hattrick” ya kwanza msimu huu NBCPL …. Ni mchezo wake bora sana tangia ajiunge na Yanga .

    Kibwana Shomari amecheza game bora sana , Duke akiwa na mali ni ngumu kuchukua …. Wale viungo wa Mashujaa wametoa game bora dhidi ya Yanga . Pacome

    FT : Yanga 3-2 Mashujaa

    Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na mpira kivipi ? Yanga kama dakika 30 za kwanza waliutembeza mpira kwa uharaka sana (Decision Making , runners walikuwa wengi eneo la mbele , walipata nafasi kubwa kwenye mpira (Pacome na Mzize) mda mwingi FBs wa Yanga walikuwa pembeni zaidi kwenye chaki….dhumuni ni kutafuta mapana ya uwanja na kuitanua block ya Mashujaa nafasi kwa wale namba 10 wawili + Pacome na Mzize ambao walikuwa wanaingia kwenye Half spaces zikaanza kufunguka . Mashujaa kwenye plan ya kuzuia wakiwa chini kwenye “Mid Block” then wakipora mpira haraka sana wanatengeneza mashambulizi kwa kushtukiza (Offesive Transition) na walinufaika na makosa ya safu ya ulinzi kutoka kwa Yanga (Goli la Ulomi “Defense line kusinzia , goli la pili makosa ya golikipa) . Mashujaa kuna nyakati kwenye kiungo walicheza vizuri sana , Pasi sahihi , movements lakini pia walitengeneza namba nzuri ya wachezaji (Overloads) ….. kulikuwa na nafasi kubwa kati ya kiungo cha Yanga na walinzi . Prince Dube anafunga “Hattrick” ya kwanza msimu huu NBCPL …. Ni mchezo wake bora sana tangia ajiunge na Yanga . Kibwana Shomari 👏 amecheza game bora sana , Duke akiwa na mali ni ngumu kuchukua …. Wale viungo wa Mashujaa wametoa game bora dhidi ya Yanga . Pacome 👍 FT : Yanga 3-2 Mashujaa
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·732 مشاهدة

  • AWESU AWESU " MCHEZO WA KESHO UTAKUA BORA" | NBCPL: SIMBA SC VS KEN GOLD FC.

    #paulswai
    AWESU AWESU " MCHEZO WA KESHO UTAKUA BORA" | NBCPL: SIMBA SC VS KEN GOLD FC. #paulswai
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·553 مشاهدة

  • FADLU DAVIS KOCHA MKUU WA SIMBA SC KUHUSU MAANDALIZI YA NBCPL DHIDI YA KENGOLD FC.

    #paulswai
    FADLU DAVIS KOCHA MKUU WA SIMBA SC KUHUSU MAANDALIZI YA NBCPL DHIDI YA KENGOLD FC. #paulswai
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·506 مشاهدة
  • #Yangasc
    #Simbasc
    #TFF#NBCPL
    #CAFCL
    #Yangasc #Simbasc #TFF#NBCPL #CAFCL
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·967 مشاهدة
  • Matokeo NBCPL
    Matokeo NBCPL
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·301 مشاهدة
  • Matokeo NBCPL
    Matokeo NBCPL
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·306 مشاهدة
  • Matokeo/ NBCPL
    Matokeo/ NBCPL
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·296 مشاهدة
  • ⬛️TAKWIMU ZA GAMONDI SIMBA SC ZINATISHA.

    □Yanga SC 0-0 Simba SC (Ngao 2023)
    □Simba SC 1-5 Yanga SC (NBCPL 2023/24)
    □Yanga SC 2-1 Simba SC (NBCPL 2023/24)
    □Yanga SC 1-0 Simba SC (Ngao 2024)
    □Simba SC 0-1 Yanga SC ((NBCPL 2024/25)

    ⬛️TATHMINI YA MICHEZO HIYO
    ...
    Kwenye michezo mitano dhidi ya Simba SC, MIGUEL GAMONDI...
    ◇Ameshinda 4
    ◇Amesare 1
    ◇Amepoteza 0
    ◇Magoli ya kufunga 9
    ◇Magoli ya kufungwa 2
    ◇Cleansheets 3
    ◇Ameweka rekodi ya kushinda michezo 4 mfululizo.
    🟩🟨⬛️TAKWIMU ZA GAMONDI 🆚 SIMBA SC ZINATISHA. □Yanga SC 🟢0-0🔴 Simba SC↔️ (Ngao 2023) □Simba SC 🔴1-5🟢 Yanga SC ✅ (NBCPL 2023/24) □Yanga SC 🟢2-1🔴 Simba SC ✅ (NBCPL 2023/24) □Yanga SC 🟢1-0🔴 Simba SC ✅ (Ngao 2024) □Simba SC 🔴0-1🟢 Yanga SC ✅ ((NBCPL 2024/25) 🟩🟨⬛️TATHMINI YA MICHEZO HIYO 🔥 🔰... Kwenye michezo mitano dhidi ya Simba SC🔴, MIGUEL GAMONDI... ◇Ameshinda 4 ◇Amesare 1 ◇Amepoteza 0 ◇Magoli ya kufunga 9 ◇Magoli ya kufungwa 2 ◇Cleansheets 3 ◇Ameweka rekodi ya kushinda michezo 4 mfululizo.
    Love
    Like
    9
    · 2 التعليقات ·0 المشاركات ·687 مشاهدة
  • AWESU AWESU AWAITA MASHABIKI KWENYE MCHEZO DHIDI YA KMC FC | NBCPL: SIMBA SC VS KMC FC.

    #paulswai
    AWESU AWESU AWAITA MASHABIKI KWENYE MCHEZO DHIDI YA KMC FC | NBCPL: SIMBA SC VS KMC FC. #paulswai
    Like
    Love
    Haha
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·567 مشاهدة ·108
  • Mchezaji Bora wa mechi ya leo kati ya Simba Sc dhidi ya Namungo Fc.

    Shomari Kapombe

    NBCPL
    #paulswai
    Mchezaji Bora wa mechi ya leo kati ya Simba Sc dhidi ya Namungo Fc. ✅ Shomari Kapombe NBCPL 🇹🇿 #paulswai
    Like
    Angry
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·325 مشاهدة
  • #NBCPL Valentino Mashaka Mashaka akaikamilisha ‘4G’.

    FT: Simba SC 4-0 Fountain Gate
    #paulswai
    #NBCPL Valentino Mashaka Mashaka akaikamilisha ‘4G’. FT: Simba SC 4-0 Fountain Gate #paulswai
    Like
    Love
    4
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·415 مشاهدة ·46
  • #NBCPL Jean Charles Ahoua na chuma cha tatu kwa Mnyama……

    Simba SC 3-0 Fountain Gate
    #NBCPL Jean Charles Ahoua na chuma cha tatu kwa Mnyama…… Simba SC 3-0 Fountain Gate
    Like
    2
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·421 مشاهدة ·29
  • #NBCPL Chuma ya pili imetoka kwa ‘straika refu kuliko goli’, akilitendea haki draft lililoanzishwa na Debora, na kupita kwa Balua, Ahoua kabla ya Shomary kutoa assist.

    Simba SC 2-0 Fountain Gate
    #paulswai
    #NBCPL Chuma ya pili imetoka kwa ‘straika refu kuliko goli’, akilitendea haki draft lililoanzishwa na Debora, na kupita kwa Balua, Ahoua kabla ya Shomary kutoa assist. Simba SC 2-0 Fountain Gate #paulswai
    Like
    Love
    2
    · 2 التعليقات ·0 المشاركات ·417 مشاهدة ·36
  • #NBCPL Goli la kwanza la Edwin Balua…..

    Simba SC 1-0 Fountain Gate
    #paulswai
    #NBCPL Goli la kwanza la Edwin Balua….. Simba SC 1-0 Fountain Gate #paulswai
    Like
    Love
    2
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·412 مشاهدة ·41
  • BREAKING.

    Rasmi Ligi kuu Tanzania NBCPL msimu ujao Itatumia VAR katika mashindano yote.

    Akisoma Bajeti ya Fedha 2024/25 Waziri Wa Fedha Dr. Mwigulu Lameck Nchemba amethibitisha ilo na kuomba kusiwepo na Kodi Kwa vifaa vya VAR.

    MSIMU UJAO TUTAONA MENGI
    🚨BREAKING. Rasmi Ligi kuu Tanzania NBCPL 🇹🇿 msimu ujao Itatumia VAR katika mashindano yote. Akisoma Bajeti ya Fedha 2024/25 Waziri Wa Fedha Dr. Mwigulu Lameck Nchemba amethibitisha ilo na kuomba kusiwepo na Kodi Kwa vifaa vya VAR. MSIMU UJAO TUTAONA MENGI 🇹🇿🚨
    Love
    Like
    3
    · 2 التعليقات ·0 المشاركات ·860 مشاهدة
الصفحات المعززة