• Victor Boniface: 🎙 "Kuidharau mili yenu na kupoteza pesa zenu kwa wanawake wengi hakutawapeleka popote maishani"

    "Sijui ni lini mtakuwa na hekima. Tafuteni mwanamke mmoja, au wawili, mkae nao vizuri! Ama Watatu na kama unapitia wakati mgumu sana, basi wanne wanakubalika."

    Iman Sport News
    Victor Boniface: 🇳🇬🎙 "Kuidharau mili yenu na kupoteza pesa zenu kwa wanawake wengi hakutawapeleka popote maishani" "Sijui ni lini mtakuwa na hekima. Tafuteni mwanamke mmoja, au wawili, mkae nao vizuri! Ama Watatu na kama unapitia wakati mgumu sana, basi wanne wanakubalika." Iman Sport News
    0 Comments ·0 Shares ·24 Views
  • Zlatan Ibrahimovic: "Katika Inter Milan, kulikuwa na sheria hii: ukipoteza michezo miwili mfululizo, mishahara yako ya kila wiki itacheleweshwa hadi tutakapofanya sawa. Lakini sheria hiyo ilivunjwa na Mario Balotelli.

    Tulipoteza kombe na mechi ya Seria A ndani ya siku tatu. Sote tulijua mishahara yetu ya kila wiki ingecheleweshwa. Wakati wa mazoezi, Balotelli hakupatikana popote. Mourinho alimpigia simu bila mafanikio.

    Dakika 30 baadaye, rais alikuja na Balotelli akiwa amekasirika na kutuambia, ‘Je, Mario anaweza kusoma Kiitaliano?’.. tukasema ‘Ndiyo’ .. lakini alikuja ofisini kwangu kutafuta pesa zake. Nikamwambia ni kushindwa mara mbili mfululizo na ni kucheleweshwa kwa mshahara. Aliniambia, Yeye hajali ikiwa ni 100 mfululizo; anataka malipo yake tu. Kuanzia leo nitawalipa na kuwaachilia wote mkitenda kama yeye”

    Tulilipwa kwa mara ya kwanza baada ya hasara mbili mfululizo. Tulianza kumpasia mpira zaidi ili kufunga kwa sababu alikuwa bora kuliko rais.”

    FOLLOW US
    🎙️Zlatan Ibrahimovic: "Katika Inter Milan, kulikuwa na sheria hii: ukipoteza michezo miwili mfululizo, mishahara yako ya kila wiki itacheleweshwa hadi tutakapofanya sawa. Lakini sheria hiyo ilivunjwa na Mario Balotelli. Tulipoteza kombe na mechi ya Seria A ndani ya siku tatu. Sote tulijua mishahara yetu ya kila wiki ingecheleweshwa. Wakati wa mazoezi, Balotelli hakupatikana popote. Mourinho alimpigia simu bila mafanikio. Dakika 30 baadaye, rais alikuja na Balotelli akiwa amekasirika na kutuambia, ‘Je, Mario anaweza kusoma Kiitaliano?’.. tukasema ‘Ndiyo’ .. lakini alikuja ofisini kwangu kutafuta pesa zake. Nikamwambia ni kushindwa mara mbili mfululizo na ni kucheleweshwa kwa mshahara. Aliniambia, Yeye hajali ikiwa ni 100 mfululizo; anataka malipo yake tu. Kuanzia leo nitawalipa na kuwaachilia wote mkitenda kama yeye” Tulilipwa kwa mara ya kwanza baada ya hasara mbili mfululizo. Tulianza kumpasia mpira zaidi ili kufunga kwa sababu alikuwa bora kuliko rais.” FOLLOW US
    0 Comments ·0 Shares ·48 Views
  • Ndugu zangu mwezi umeanza juu naomba tuwakumbuke watoto Wetu yatima hata kwa kilo moja ya MCHELE au UNGA

    Charity Tour 2025

    Changia mahitaji muhimu
    CHAKULA
    MAVAZI
    Twende tukale na kucheza nao kuonyesha pendo juu Yao watoto yatima
    Changia kidogo pesa au mahitaji

    kupitia
    MPESA:CALL
    0745787549
    Jabil Ally Issa.

    Kila mchango wako ni tabasamu la mtoto na tumaini jipya la kesho

    Ndugu zangu mwezi umeanza juu naomba tuwakumbuke watoto Wetu yatima hata kwa kilo moja ya MCHELE au UNGA Charity Tour 2025 Changia mahitaji muhimu CHAKULA MAVAZI Twende tukale na kucheza nao kuonyesha pendo juu Yao watoto yatima Changia kidogo pesa au mahitaji kupitia MPESA:CALL 0745787549 Jabil Ally Issa. Kila mchango wako ni tabasamu la mtoto na tumaini jipya la kesho 🙏
    0 Comments ·0 Shares ·194 Views
  • Kuna asilimia nyingi za Marc Casado kuondoka Barcelona Kwanini?

    Barca inabanwa na sheria ya matumizi ya pesa nyingi hivyo kuondoka kwa Casado kutawapa Barca angalau ahueni kwenye sajili zake.

    Vilabu vya Como, Wolves na Real Betis vimeonesha nia ya kumsajili.

    Isingekuwa hii sheria Barca wangekuwa na kikosi kimoja hatari sana

    #SportsElite
    🚨🚨Kuna asilimia nyingi za Marc Casado kuondoka Barcelona Kwanini? Barca inabanwa na sheria ya matumizi ya pesa nyingi hivyo kuondoka kwa Casado kutawapa Barca angalau ahueni kwenye sajili zake. Vilabu vya Como, Wolves na Real Betis vimeonesha nia ya kumsajili. ✍️Isingekuwa hii sheria Barca wangekuwa na kikosi kimoja hatari sana🤕 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·428 Views
  • Sema kwenye deal la Isak ni gumu sana na bei ni ghali Sana, ndio maana hakuna timu inaweza ingilia hapo kati zaidi ya Liverpool wenyewe...

    Sema Hawa Newcastle Wana nguvu ya pesa ndio maana hawababaishwi na mtu... Ila nguvu ya demand kwa mchezaji kutaka kwenda kucheza Liverpool Pekee ndio kutabadilisha matokeo... Na Newcastle kukubali deal li kamamilike

    #SportsElite
    Sema kwenye deal la Isak ni gumu sana na bei ni ghali Sana, ndio maana hakuna timu inaweza ingilia hapo kati zaidi ya Liverpool wenyewe... Sema Hawa Newcastle Wana nguvu ya pesa ndio maana hawababaishwi na mtu... Ila nguvu ya demand kwa mchezaji kutaka kwenda kucheza Liverpool Pekee ndio kutabadilisha matokeo... Na Newcastle kukubali deal li kamamilike #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·344 Views
  • Leon Bailey anaondoka Aston Villa miaka 28 na anaweza kujiunga na AS Roma au kwenda kuchukua pesa za Saudi Arabia.

    Mpaka sasa amekuwa na career nzuri japo ingeweza kuwa bora zaidi sababu uwezo anao lakini ni moja ya wachezaji muendelezo ni changamoto kwake kwa taifa alillotaka anabaki kuwa mchezaji wenye kipaji zaidi natumai Mason Greenwood akijunga rasmi na Jamaica watakuwa na taifa nzuri na shindani.

    #SportsElite
    🚨🚨Leon Bailey anaondoka Aston Villa miaka 28 na anaweza kujiunga na AS Roma au kwenda kuchukua pesa za Saudi Arabia. Mpaka sasa amekuwa na career nzuri japo ingeweza kuwa bora zaidi sababu uwezo anao lakini ni moja ya wachezaji muendelezo ni changamoto kwake kwa taifa alillotaka anabaki kuwa mchezaji wenye kipaji zaidi natumai Mason Greenwood akijunga rasmi na Jamaica watakuwa na taifa nzuri na shindani. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·357 Views
  • Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu.

    Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu. Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·617 Views
  • Manchester United iko tayari kutoa kiasi chochote cha pesa ili kumsajiri Carlos Baleba dirisha hili .

    (Source: TEAMtalk)

    #SportsElite
    🚨 Manchester United iko tayari kutoa kiasi chochote cha pesa ili kumsajiri Carlos Baleba dirisha hili . (Source: TEAMtalk) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·150 Views
  • Chelsea wako tayari kuwapa Nicolas Jackson na Tosin Adarabioyo Aston Villa na Pesa kama Sehemu ya kumpata winga wa Aston Villa Morgan Rogers.

    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨Chelsea wako tayari kuwapa Nicolas Jackson na Tosin Adarabioyo Aston Villa na Pesa kama Sehemu ya kumpata winga wa Aston Villa Morgan Rogers.💰😳 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·276 Views
  • ... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa.

    ▪︎Celestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika.

    ▪︎Mousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao.

    ▪︎Mohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee).

    #SportsElite
    🙆‍♂️... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa. ▪︎Celestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika. ▪︎Mousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao. ▪︎Mohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee). #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·519 Views
  • Inaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba.

    Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia.

    Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko..

    #SportsElite
    Inaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba. Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia. Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko.. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·552 Views
  • Hata Kama wakiwa na pesa lakini hawawezi
    Hata Kama wakiwa na pesa lakini hawawezi
    0 Comments ·0 Shares ·291 Views
  • Niliandika kwa ufupi lakini bado uyu mtoto amepata 10,000 tu
    So far!!!

    Huyu mtoto anaitwa jenifa miaka yake ni 9 aliokotwa ametumwa akiwa na mwaka mmoja
    Bibi alimwokota na kumlea lakini kila alivyo kuwa alionyesha ni mlemavu na aongei kabisa

    Mwaka jana nilipigwa simu kupewa taalifa zake lakini alikuwa akiomba Wheelchair NIKAOMBA waje Dar es Salaam!! Walifika na nikaona si mbaya aende CCBRT KWA UCHUNGUZI

    ALICHUNGUZWA NA MAJIBU YALIONYESHA ANAWEZA TEMBEA AKIFANYIWA MATIBABU BASI KWAKUWA MUDA WA KUKAA NA SIKUWA NA PROGRAM YA KUMWOMBEA ATIBIWE WARIRUDI IRINGA!!!

    NDUGU ZANGU WEEK MBILI ZILIZO PITA NIKATAFUTWA NA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KUSHINIKIZA ASAIDIWE ANAAKILI SANA ILA. BIBI AONI KWAHIYO HATA SHULE SASA AMESIMAMA
    HII ILINIUMA AS MOMY OR SISTER
    " DISABILITY NOT INABILITY"

    NA GHARAMA WA MATIBABU NI 400K
    USAFIRI 50K
    TUNAHITAJI LAKI 500K
    ELFY 50K NI EMERGENCY

    NAOMBA GUSWA SI LAZIMA KIKUBWA HATA KIDOGO UNAWEZA TOA

    SADAKA NI IBADA

    0777787549
    TIGOPESA
    SHAKILA NANTAMBALELE
    Niliandika kwa ufupi lakini bado uyu mtoto amepata 10,000 tu 🥵 😭 So far!!! Huyu mtoto anaitwa jenifa miaka yake ni 9 aliokotwa ametumwa akiwa na mwaka mmoja Bibi alimwokota na kumlea lakini kila alivyo kuwa alionyesha ni mlemavu na aongei kabisa Mwaka jana nilipigwa simu kupewa taalifa zake lakini alikuwa akiomba Wheelchair NIKAOMBA waje Dar es Salaam!! Walifika na nikaona si mbaya aende CCBRT KWA UCHUNGUZI ALICHUNGUZWA NA MAJIBU YALIONYESHA ANAWEZA TEMBEA AKIFANYIWA MATIBABU BASI KWAKUWA MUDA WA KUKAA NA SIKUWA NA PROGRAM YA KUMWOMBEA ATIBIWE WARIRUDI IRINGA!!! NDUGU ZANGU WEEK MBILI ZILIZO PITA NIKATAFUTWA NA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KUSHINIKIZA ASAIDIWE ANAAKILI SANA ILA. BIBI AONI KWAHIYO HATA SHULE SASA AMESIMAMA 😭😭😭 HII ILINIUMA AS MOMY OR SISTER " DISABILITY NOT INABILITY" NA GHARAMA WA MATIBABU NI 400K USAFIRI 50K TUNAHITAJI LAKI 500K ELFY 50K NI EMERGENCY NAOMBA GUSWA SI LAZIMA KIKUBWA HATA KIDOGO UNAWEZA TOA SADAKA NI IBADA 0777787549 TIGOPESA SHAKILA NANTAMBALELE
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·615 Views
  • Mambo kumi muhimu ambayo ukiyafuata yatakupa mafanikio .

    1.Mafanikio ni kanuni na moja ya kanuni ni uzalishaji.*law of production*

    #Mathayo 25:14-30.
    Kwa kanuni kabla ujala kabisa pesa yoyote lazima uzalishe kwanza.

    2.Kuokoka bila kanuni za mafanikio *law of multiplying* hakuzuii kufa masikini.

    #Wafalme 4:1-7
    Unaweza kuwa unatoa pepi na unamcha sana Mungu lakini bado ukafa masikini.

    3.Mafanikio yanategemea sana uwezo wako ulio nao ,usipo kuwa na uwezo uwezi kufanikiwa

    #waamuzi 6:14

    4.ili Mungu akufanikishe akukute na kitu cha kuanzia .

    #2wafalme 4:2
    Mafanikio yake au ulipaji madeni ulianzia katika chupa ya mafuta.

    5.Utajiri ni nguvu anayo kupa Bwana ili aimaliahe agano na wewe.

    #Ndipo utamkumbuka Bwana Mungu wako akupaye nguvu ya kuupata utajiri.

    6.Akuna aliye fanikiwa arafu atoi fungu la kumi.

    Ibrahimu alikuwa mtu wa kwanza kabisa na alifanikiwa ndiye aliye anza kutoa fungu la kumi.

    Matajiri wote duniani wanajua siri ya hii na wanatoa either kwa waganga au kwa Mungu.
    #Malaki 3:10

    7.Mafanikio ya mtu yamebebwa ndani ya kitu kinacho itwa baraka ya Bwana.

    #Mithali 10:22

    8.Mafanikio yategemea sana na akiba unayo weka kipindi unacho .

    Yesu mwenyewe alijua hilo baada ya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili bado aliwambia wakusanye vipande vilivyo baki.

    9.mafanikio mara zote yanategemea sana na aina ya watu ulio chagua kuambatana nao.

    Mwana mpotevu aliambatana na watu waovyo akatapanya mali zote na akaanza kujiona sawa na nguruwe.

    Ko kumbe kabla ujaomba mali omba Mungu akupe watu wa maana.

    #isaya 43:4

    10.Mafanikio yote yanaanzia katika mawazo ndiko chimbuko la umasikini au utajiri .

    #Kwa maana ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.

    All in all mawazo ya mungu kwako ni kukufanya ufanikiwe ila bahati mbaya wewe ndiye una kiuka taratibu.
    #yeremia 29:11

    Kama unapenda kuendelea kujifunza tuma neno Add kwa namba 0622625340

    Ili uendelee kujifunza katika group zetu .

    Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)
    #build new eden
    #Restore men position
    Mambo kumi muhimu ambayo ukiyafuata yatakupa mafanikio . 1.Mafanikio ni kanuni na moja ya kanuni ni uzalishaji.*law of production* #Mathayo 25:14-30. Kwa kanuni kabla ujala kabisa pesa yoyote lazima uzalishe kwanza. 2.Kuokoka bila kanuni za mafanikio *law of multiplying* hakuzuii kufa masikini. #Wafalme 4:1-7 Unaweza kuwa unatoa pepi na unamcha sana Mungu lakini bado ukafa masikini. 3.Mafanikio yanategemea sana uwezo wako ulio nao ,usipo kuwa na uwezo uwezi kufanikiwa #waamuzi 6:14 4.ili Mungu akufanikishe akukute na kitu cha kuanzia . #2wafalme 4:2 Mafanikio yake au ulipaji madeni ulianzia katika chupa ya mafuta. 5.Utajiri ni nguvu anayo kupa Bwana ili aimaliahe agano na wewe. #Ndipo utamkumbuka Bwana Mungu wako akupaye nguvu ya kuupata utajiri. 6.Akuna aliye fanikiwa arafu atoi fungu la kumi. Ibrahimu alikuwa mtu wa kwanza kabisa na alifanikiwa ndiye aliye anza kutoa fungu la kumi. Matajiri wote duniani wanajua siri ya hii na wanatoa either kwa waganga au kwa Mungu. #Malaki 3:10 7.Mafanikio ya mtu yamebebwa ndani ya kitu kinacho itwa baraka ya Bwana. #Mithali 10:22 8.Mafanikio yategemea sana na akiba unayo weka kipindi unacho . Yesu mwenyewe alijua hilo baada ya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili bado aliwambia wakusanye vipande vilivyo baki. 9.mafanikio mara zote yanategemea sana na aina ya watu ulio chagua kuambatana nao. Mwana mpotevu aliambatana na watu waovyo akatapanya mali zote na akaanza kujiona sawa na nguruwe. Ko kumbe kabla ujaomba mali omba Mungu akupe watu wa maana. #isaya 43:4 10.Mafanikio yote yanaanzia katika mawazo ndiko chimbuko la umasikini au utajiri . #Kwa maana ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. All in all mawazo ya mungu kwako ni kukufanya ufanikiwe ila bahati mbaya wewe ndiye una kiuka taratibu. #yeremia 29:11 Kama unapenda kuendelea kujifunza tuma neno Add kwa namba 0622625340 Ili uendelee kujifunza katika group zetu . Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) #build new eden #Restore men position
    0 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • Paul Pogba:

    “Wakati niliposimamishwa kucheza mpira na kupoteza umaarufu wangu, watu wengi walitoweka. Lakini mke wangu alibaki kando yangu. Hakuwa pale kwa ajili ya pesa au umaarufu — alikuwa pale kwa ajili yangu.”

    “Niligundua jinsi maisha yanavyoweza kuwa matupu pale kila kitu kinapoporomoka. Mara tu nilipoacha kuwa Pogba, yule mchezaji tajiri na maarufu, baadhi ya watu walianza kuniepuka.
    Lakini mke wangu alinionyesha kweli kuwa ananipenda. Alinisimamia wakati kila mtu alipoanza kunigeuzia mgongo. Kwa sababu yake, niliweza kustahimili.”

    “Leo, niko imara zaidi, ninaona mambo kwa uwazi zaidi. Simu yangu haipigi tena kwa mialiko ya juu juu isiyo na maana. Sasa najua ni nani kweli yupo kwa ajili yangu — na yeye ni mmoja wao.”

    #SportsElite
    🚨 Paul Pogba: “Wakati niliposimamishwa kucheza mpira na kupoteza umaarufu wangu, watu wengi walitoweka. Lakini mke wangu alibaki kando yangu. Hakuwa pale kwa ajili ya pesa au umaarufu — alikuwa pale kwa ajili yangu.” “Niligundua jinsi maisha yanavyoweza kuwa matupu pale kila kitu kinapoporomoka. Mara tu nilipoacha kuwa Pogba, yule mchezaji tajiri na maarufu, baadhi ya watu walianza kuniepuka. Lakini mke wangu alinionyesha kweli kuwa ananipenda. Alinisimamia wakati kila mtu alipoanza kunigeuzia mgongo. Kwa sababu yake, niliweza kustahimili.” “Leo, niko imara zaidi, ninaona mambo kwa uwazi zaidi. Simu yangu haipigi tena kwa mialiko ya juu juu isiyo na maana. Sasa najua ni nani kweli yupo kwa ajili yangu — na yeye ni mmoja wao.” ❤️ #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·447 Views
  • Ombiiii.....
    iliuweze kupata pesa #SocialPop inabidi uwe na rafiki wa kuweza kukutaza na kuona kile unachofanya,nifanye kuwa rafiki ako nami nita_kufollow usisahau ku like page yangu nami nitaku_like
    Ombiiii..... iliuweze kupata pesa #SocialPop inabidi uwe na rafiki wa kuweza kukutaza na kuona kile unachofanya,nifanye kuwa rafiki ako nami nita_kufollow usisahau ku like page yangu nami nitaku_like
    0 Comments ·0 Shares ·884 Views
  • Inasemekana Mahojiano ya TAKUKURU na YANGA/TFF yanaendelea.

    Kwa nyakati tofauti viongozi wa TFF na Yanga wameitwa kuhojiwa kabla ya hatua nyingine.

    Sakata la pesa kati ya Yanga na TFF bado bichi.
    Inasemekana Mahojiano ya TAKUKURU na YANGA/TFF yanaendelea. Kwa nyakati tofauti viongozi wa TFF na Yanga wameitwa kuhojiwa kabla ya hatua nyingine. Sakata la pesa kati ya Yanga na TFF bado bichi. ✍️
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·736 Views
  • SME AIRTEL FREE
    ACTIVATION

    LIPA AIRTEL FREE
    ACTIVATION
    KIGEZO
    NAMBA YA SIMU TU

    LIPA YAS FREE ACTIVATION
    PIA NATOA USER POPOTE PALE ULIPO USER INAINGIA KIDOLE CHOCHOTE

    LIPA MPESA FREE ACTIVATION

    NAPOKEA ODER KUANZIA
    SAHIVI USIACHE PESA MTAANI
    AGENT
    Piga simu
    0786711057
    📌SME AIRTEL FREE ACTIVATION 📌LIPA AIRTEL FREE ACTIVATION KIGEZO ↔️NAMBA YA SIMU TU 📌LIPA YAS FREE ACTIVATION PIA NATOA USER POPOTE PALE ULIPO USER INAINGIA KIDOLE CHOCHOTE 📌LIPA MPESA FREE ACTIVATION NAPOKEA ODER KUANZIA SAHIVI USIACHE PESA MTAANI AGENT Piga simu 0786711057 👏👏👏👏👏
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·705 Views
  • ivi mjomba,pesa inamaliza shida au shida inamaliza pesa?
    ivi mjomba,pesa inamaliza shida au shida inamaliza pesa?
    Yay
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·256 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆:Dili LA Luis Diaz kwenda Fc Barcelona limekufa kutokana kuhitaji pesa ndefu
    🚨🚨❌ 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆:Dili LA Luis Diaz kwenda Fc Barcelona limekufa kutokana kuhitaji pesa ndefu
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·323 Views
More Results