• 13/21. ROHO YA UDANGANYIFU KANISANI.

    Torati 13:1-2
    *1 Kukizuka katikati yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu, 2 ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia akisema, Na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo*

    Hayo ndiyo maagizo ambyo Mungu alimpatia Musa ili ayaweke kama kumbukumbu kwa taifa lake (kanisa ) lake hapa duniani .

    *Kumbe inshu siyo anaweza kukuambia kuwa anaona au anaota mambo yako ukajua ni mtu wa Mungu peke yake ,hapana kama tu anaweza yeye kuabudu miungu mingine ujue kabisa uyo si mtu wa Mungu.*

    Unasema nimejuaje andiko linasema *wataponya ,watatoa pepo kwa jina langu lakini mimi sikuwatuma*.

    *Kumbe kutoa pepo kusikufanye uamini sana kama mtu wa Mungu kutabiriwa pia lakini utamtambua jinsi anayo weza kuichukia zambi kwa roho yote.*

    Kukujulisha maisha yako ya nyuma siyo ishara ya kuwa ni mtumishi wa Mungu. Vipi kuhusu yule msichana aliye kuwa na pepo la uaguzi .

    (Ukisoma matendo 16:16-18 utaona )

    *“Hawa watu ni watumishi wa Mungu Mkuu.*

    Ko ukiangalia alikuwa anapenda kufanya hivyo siku hadi siku anajichanganya na watumishi wa kweli akina Paulo ili zsijulikane lakini alikuwa anapepo la uaguzi kwa lugha nyepesi ni *mganga wa kienyeji anaye tabiria watu kanisani*

    Ko muhimu sana kujua ulipo wanakuandaa kwenda mbinguni au wanakuandaa tu kuishi .

    Muombe sana Mungu akusaidie usiende kanisani kwa sababu ya kupata tu unabii au kuwekewa mkono wakti mwingine unajikuta umeenda kuongeza matatizo kwa kigezo cha kutoa tatizo.

    Kama wokovu kwako umejengwa katika dhana ya kutabiriwa peke yake basi kwako wokovu ni kitu kigumu sana .

    Ukisoma Yeremia 28:
    Utaona habari za mtu mmoja anaitwa hanania aliingia hekaruni na kuanza kutabiri neema mbele ya makuhani na yeremia mwenyewe ,lakini kw kuwa nabii Yeremia alikuwa ni mtu wa Mungu aligundua kuwa huyu ananinia ni nabii wa uongo .

    , *“Sikiliza, Hanania, Mwenyezi-Mungu hakukutuma, nawe unawafanya watu hawa waamini uongo*(Yeremia 28:15)

    Lakini ninacho tamani ujue huyu mtu aliingia kama mtu wa Mungu inamaana bila uimara wa Yeremia nabii kanisa lote lingekuwa limelishwa uongo na imani yake katika uongo.

    Lazima kama watumishi wa Mungu tuombe Mungu sana kipindi cha hiki uamsho mkubwa unapokwenda kutokea Tanzania kuna watu wengi watanyanyuka kusema lakini ukweli watakuwa si watu wa Mungu bali wana nguvu iliyo nyuma yao.

    Na bahati mbaya sana watu tunapenda saba ishara basi tunaona hapa ndo penyewe kumbe ni yule binti mwenye pepo la uaguzi.

    Ni kwambie ukweli kanisa la kweli haliwezi kuongozwa na roho ya yezebeli( Zinaa na uasherati) vikawa vitu vya kawaida kanisani.

    Oh mimi napokea kila mtu hapana si kanisa hilo ni lango la shetani *" si maanishi kanisani kwenda lazima mtu awe ameokoka lakini tunategemea baada ya kwenda aanze kubadilika so anatokz church ni worshipa anaenda ghetho kwa msela kuzini hii haikubaliki"*

    Ko kama dunia yatupasa kujiazali sana unabii na mafunuo juu ya ndoto zako si kigezo cha kuwa mtu wa Mungu bali mtawatambua kwa matendo yao.

    Hizi ni nyakati za mwisho ko wapo masihi (watumishi) wa Bwana ambao kazi yao kueneza injiri lakini pia wapo washetani ambao kazi yao ni kulipeleka matopeni kanisa la Mungu pasipo hao watu kujua.

    Unasema nimejuaje kamuulize Ahabu na Yeoshafath walipo taka kwenda vitani manabii wengine wote *waliingiziwa roho ya uongo (shetani) ili wampotoshe ahabu* lakini alikuwepo mmoja anaitwa *Mikaya yeye alikuwa jitu la mbinguni na akukubalika kirahisi mbele ya ahabu sababu ya matendo yake ahabu.*

    Ndivyo ilivyo hata leo manabii wa uongo wanawajaza viongozi wa serikari matumaini pasipo kujua kuwa Mungu anamtaka mtu mnyenyekevu .

    Nazungumza na mgombea mmoja ambaye yeye anatumia kafara arafu anaenda kuuliza kwa manabii uongo na wanampa tumaini na simama kama mikaya nataka nikwambie ukigombea huwezi kushinda kabisa kabisa.

    Manabii wa uongo wamejaa wao kila wakikutana na viongozi wanawatabiria maswala ya amani tu wakati wanaona kabisa mambo hayaeleweki

    Yeremia 28:9
    *Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kweli kuwa BWANA amemtuma.*

    Lakini lisipo tokea mana yake ni wauongo na mwaka huu Mungu anakwenda kulionyeaha taifa kwamba roho za Hanania ni nyingi kanisani zinatabiri uongo kuwapa watu matumaini tu lakini si kweli .

    *Hakuna haki hakuna amani unashindwaje kuliambia taifa ukweli kabisa*


    Tuwaepuke sana manabii wa uongo wanakula sana jitihada za imani zetu kama vijana watoto wa Mungu.

    Dada acha kumue mue kila mtumishi lazima uende wewe na kuzungukia makanisa kama umeambiwa wanakupa ela vile kila siku unaenda kuuliza mambo yako bila kufanya kazi acha uo ujinga.

    Mwamini Mungu kuwa hizi ni siku za mwisho bado kidogo sana masihi aje awachukue walio wake.

    Ahsante sana naitwa Sylvester Mwakabende kutoja (build new eden)

    Karibu sana ujifunze nasi kupitia status pia 0622625340

    #build new eden
    #Restoremenposition
    13/21. ROHO YA UDANGANYIFU KANISANI. Torati 13:1-2 *1 Kukizuka katikati yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu, 2 ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia akisema, Na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo* Hayo ndiyo maagizo ambyo Mungu alimpatia Musa ili ayaweke kama kumbukumbu kwa taifa lake (kanisa ) lake hapa duniani . *Kumbe inshu siyo anaweza kukuambia kuwa anaona au anaota mambo yako ukajua ni mtu wa Mungu peke yake ,hapana kama tu anaweza yeye kuabudu miungu mingine ujue kabisa uyo si mtu wa Mungu.* Unasema nimejuaje andiko linasema *wataponya ,watatoa pepo kwa jina langu lakini mimi sikuwatuma*. *Kumbe kutoa pepo kusikufanye uamini sana kama mtu wa Mungu kutabiriwa pia lakini utamtambua jinsi anayo weza kuichukia zambi kwa roho yote.* Kukujulisha maisha yako ya nyuma siyo ishara ya kuwa ni mtumishi wa Mungu. Vipi kuhusu yule msichana aliye kuwa na pepo la uaguzi . (Ukisoma matendo 16:16-18 utaona ) *“Hawa watu ni watumishi wa Mungu Mkuu.* Ko ukiangalia alikuwa anapenda kufanya hivyo siku hadi siku anajichanganya na watumishi wa kweli akina Paulo ili zsijulikane lakini alikuwa anapepo la uaguzi kwa lugha nyepesi ni *mganga wa kienyeji anaye tabiria watu kanisani* Ko muhimu sana kujua ulipo wanakuandaa kwenda mbinguni au wanakuandaa tu kuishi . Muombe sana Mungu akusaidie usiende kanisani kwa sababu ya kupata tu unabii au kuwekewa mkono wakti mwingine unajikuta umeenda kuongeza matatizo kwa kigezo cha kutoa tatizo. Kama wokovu kwako umejengwa katika dhana ya kutabiriwa peke yake basi kwako wokovu ni kitu kigumu sana . Ukisoma Yeremia 28: Utaona habari za mtu mmoja anaitwa hanania aliingia hekaruni na kuanza kutabiri neema mbele ya makuhani na yeremia mwenyewe ,lakini kw kuwa nabii Yeremia alikuwa ni mtu wa Mungu aligundua kuwa huyu ananinia ni nabii wa uongo . , *“Sikiliza, Hanania, Mwenyezi-Mungu hakukutuma, nawe unawafanya watu hawa waamini uongo*(Yeremia 28:15) Lakini ninacho tamani ujue huyu mtu aliingia kama mtu wa Mungu inamaana bila uimara wa Yeremia nabii kanisa lote lingekuwa limelishwa uongo na imani yake katika uongo. Lazima kama watumishi wa Mungu tuombe Mungu sana kipindi cha hiki uamsho mkubwa unapokwenda kutokea Tanzania kuna watu wengi watanyanyuka kusema lakini ukweli watakuwa si watu wa Mungu bali wana nguvu iliyo nyuma yao. Na bahati mbaya sana watu tunapenda saba ishara basi tunaona hapa ndo penyewe kumbe ni yule binti mwenye pepo la uaguzi. Ni kwambie ukweli kanisa la kweli haliwezi kuongozwa na roho ya yezebeli( Zinaa na uasherati) vikawa vitu vya kawaida kanisani. Oh mimi napokea kila mtu hapana si kanisa hilo ni lango la shetani *" si maanishi kanisani kwenda lazima mtu awe ameokoka lakini tunategemea baada ya kwenda aanze kubadilika so anatokz church ni worshipa anaenda ghetho kwa msela kuzini hii haikubaliki"* Ko kama dunia yatupasa kujiazali sana unabii na mafunuo juu ya ndoto zako si kigezo cha kuwa mtu wa Mungu bali mtawatambua kwa matendo yao. Hizi ni nyakati za mwisho ko wapo masihi (watumishi) wa Bwana ambao kazi yao kueneza injiri lakini pia wapo washetani ambao kazi yao ni kulipeleka matopeni kanisa la Mungu pasipo hao watu kujua. Unasema nimejuaje kamuulize Ahabu na Yeoshafath walipo taka kwenda vitani manabii wengine wote *waliingiziwa roho ya uongo (shetani) ili wampotoshe ahabu* lakini alikuwepo mmoja anaitwa *Mikaya yeye alikuwa jitu la mbinguni na akukubalika kirahisi mbele ya ahabu sababu ya matendo yake ahabu.* Ndivyo ilivyo hata leo manabii wa uongo wanawajaza viongozi wa serikari matumaini pasipo kujua kuwa Mungu anamtaka mtu mnyenyekevu . Nazungumza na mgombea mmoja ambaye yeye anatumia kafara arafu anaenda kuuliza kwa manabii uongo na wanampa tumaini na simama kama mikaya nataka nikwambie ukigombea huwezi kushinda kabisa kabisa. Manabii wa uongo wamejaa wao kila wakikutana na viongozi wanawatabiria maswala ya amani tu wakati wanaona kabisa mambo hayaeleweki Yeremia 28:9 *Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kweli kuwa BWANA amemtuma.* Lakini lisipo tokea mana yake ni wauongo na mwaka huu Mungu anakwenda kulionyeaha taifa kwamba roho za Hanania ni nyingi kanisani zinatabiri uongo kuwapa watu matumaini tu lakini si kweli . *Hakuna haki hakuna amani unashindwaje kuliambia taifa ukweli kabisa* Tuwaepuke sana manabii wa uongo wanakula sana jitihada za imani zetu kama vijana watoto wa Mungu. Dada acha kumue mue kila mtumishi lazima uende wewe na kuzungukia makanisa kama umeambiwa wanakupa ela vile kila siku unaenda kuuliza mambo yako bila kufanya kazi acha uo ujinga. Mwamini Mungu kuwa hizi ni siku za mwisho bado kidogo sana masihi aje awachukue walio wake. Ahsante sana naitwa Sylvester Mwakabende kutoja (build new eden) Karibu sana ujifunze nasi kupitia status pia 0622625340 #build new eden #Restoremenposition
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • Ninafunga macho yangu, naona uso wako,
    Tabasamu la upole, kukumbatia kwa joto.
    Ingawa wakati unasonga mbele, moyo wangu bado unakaa,
    Katika kumbukumbu za jana zetu.

    Sauti yako bado inasikika akilini mwangu,
    Wimbo mtamu, mzuri sana.
    Mikono yako iliyonishika, salama na imara,
    Sasa nishikilie usiku tu.

    Ninatafuta nyota, nasema jina lako,
    Na ingawa ni kimya, sio sawa.
    Unaweza kuwa umeenda mbali na macho na sauti,
    Lakini katika nafsi yangu, unapatikana kila wakati.

    Haijalishi ni wapi maisha haya yanaweza kuzurura,
    Moyo wangu utaniongoza nyumbani kila wakati.
    Kwako, Mama mpendwa, kwa upendo wa kweli -
    Sehemu yangu ilienda huko na wewe.
    #mama #familia
    Ninafunga macho yangu, naona uso wako, Tabasamu la upole, kukumbatia kwa joto. Ingawa wakati unasonga mbele, moyo wangu bado unakaa, Katika kumbukumbu za jana zetu. Sauti yako bado inasikika akilini mwangu, Wimbo mtamu, mzuri sana. Mikono yako iliyonishika, salama na imara, Sasa nishikilie usiku tu. Ninatafuta nyota, nasema jina lako, Na ingawa ni kimya, sio sawa. Unaweza kuwa umeenda mbali na macho na sauti, Lakini katika nafsi yangu, unapatikana kila wakati. Haijalishi ni wapi maisha haya yanaweza kuzurura, Moyo wangu utaniongoza nyumbani kila wakati. Kwako, Mama mpendwa, kwa upendo wa kweli - Sehemu yangu ilienda huko na wewe. #mama #familia
    Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·889 Views
  • Historia ya Wazazi wa Jackie Chan inavutia zaidi hadi Jackie Chan aliamua kuandaa "Documentary" maalum kwa ajili ya kueleza Wazazi wake walivyokutana na walikuwa wanafanya kazi gani.

    Katika kipindi chote Jackie Chan alichoishi na Wazazi wake hakuwahi kufahamu Wazazi wake walikutana vipi pamoja na kazi halisi za awali za Wazazi wake mpaka hapo Baba yake alipokuwa ana umri wa miaka 80 akaamua kumwambia ukweli maana aliamini umri wake umeenda sana hivyo muda wowote anaweza kufariki bila kumueleza ukweli Jackie Chan.

    Baba Mzazi wa Jackie Chan, Charles Chan (1914 - 2008) siku moja akiwa barabarani kwenye gari na Jackie Chan alifunguka kuwa tangu zamani alikuwa Mpelelezi (Shushushu) kwenye Serikali ya China na Mama yake Jackie Chan, Lee-Lee Chan (1916-2002) alikuwa muuza madawa ya kulevya, siku moja katika "operation" ya kukamata Wauza madawa Charles Chan alimkamata Lee-Lee Chan lakini baada ya kumfikisha kwenye vyombo vya dola walijikuta wamependana na wakafunga ndoa.

    Hadithi hii ilimshitua sana Jackie Chan kwani amekua akijua kwamba Baba yake ni Mpishi na amewahi kuwa Mpishi kwenye ubalozi wa Ufaransa - Hong Kong, pamoja na ubalozi wa Marekani Nchini Australia .

    Taarifa nyingine iliyomshitua zaidi ni pale alipoambiwa kuwa kuwa jina la Baba yake sio Chan bali ni Fang Daolong, hivyo kama asingebadili jina, Jackie Chan hivi sasa angefahamika kama Jackie Fang, Baba Jackie Chan alikuwa "Spy" kwenye Serikali ya China iliyokuwa ikiundwa na Chama cha Kuomintang, mwaka 1949 baada ya vita kali ya wenyewe kwa wenyewe Chama cha Kikomunisti kikiongozwa na Mao Zedong kiliipindua Serikali ya Kuomintang kikachukua Nchi hapo ilibidi Baba Jackie Chan abadili jina kwa sababu ya kuficha utambulisho wake maana kulikuwa na vita kubwa baina ya vyama hivyo na baadhi ya makachero wa Kuomintang walikuwa wakikamatwa na kuuawa.

    Historia ya Wazazi wa Jackie Chan imeelezwa kwa urefu kwenye "Documentary" iliyoandaliwa na Jackie Chan "Traces of the Dragon: Jackie Chan and His Lost Family" (2003)

    "Baba alikua jasusi na Mama alikua Muuza madawa na mcheza kamari. Walikutana na wakaoana baada ya Baba yangu kumkamata Mama"

    "Tangu nilipokua Mdogo nilikua najua Baba yangu anafanya kazi ya upishi kwenye Ubalozi wa Marekani mpaka alipotimiza miaka 80 na akaniambia kazi yake ya kweli. Nilishtuka, nilishtuka"

    " Kwahiyo kuna siku moja nilikua naendesha gari nikiwa na Baba yangu ghafla, Baba akageuka na kusema: 'Jackie, Mimi ni Mzee sana na huenda nisiamke kesho. Kuna kitu lazima nikuambie, ni siri' kisha akasema: kwa kweli wewe sio Jackie Chan, jina lako unaitwa Fong.'

    "Nikahisi kupatwa na mshtuko, kwangu ilikua kitu cha kustaajabisha. Kwa haraka nikamuambia asiendelee kuongea nikampigia rafiki yangu ili tutengeneze documentary ya stori ya Baba yangu. Ilituchukua miaka 3 ya kumfata Baba yangu na kuongea nae kuhusu stori yote."

    " Nilihisi mimi ndiye Mwanae wa pekee lakini nilishtuka baada ya kujua kwamba nina ndugu zangu wanne kwa Wazazi wangu. Kaka zangu wawili, upande wa Baba na Dada zangu wawili upande wa Mama. Alilazimika kunificha yote hayo kwa sababu ya kazi yake, baba alikua jasusi. Nilivutiwa sana baada ya kujua kwamba Baba yangu alikua mpole sana. Miaka yote ile nilidhania ni Mpishi. Nimetengeneza movie kupitia hii stori." - Jackie Chan

    Historia ya Wazazi wa Jackie Chan inavutia zaidi hadi Jackie Chan aliamua kuandaa "Documentary" maalum kwa ajili ya kueleza Wazazi wake walivyokutana na walikuwa wanafanya kazi gani. Katika kipindi chote Jackie Chan alichoishi na Wazazi wake hakuwahi kufahamu Wazazi wake walikutana vipi pamoja na kazi halisi za awali za Wazazi wake mpaka hapo Baba yake alipokuwa ana umri wa miaka 80 akaamua kumwambia ukweli maana aliamini umri wake umeenda sana hivyo muda wowote anaweza kufariki bila kumueleza ukweli Jackie Chan. Baba Mzazi wa Jackie Chan, Charles Chan (1914 - 2008) siku moja akiwa barabarani kwenye gari na Jackie Chan alifunguka kuwa tangu zamani alikuwa Mpelelezi (Shushushu) kwenye Serikali ya China na Mama yake Jackie Chan, Lee-Lee Chan (1916-2002) alikuwa muuza madawa ya kulevya, siku moja katika "operation" ya kukamata Wauza madawa Charles Chan alimkamata Lee-Lee Chan lakini baada ya kumfikisha kwenye vyombo vya dola walijikuta wamependana na wakafunga ndoa. Hadithi hii ilimshitua sana Jackie Chan kwani amekua akijua kwamba Baba yake ni Mpishi na amewahi kuwa Mpishi kwenye ubalozi wa Ufaransa 🇫🇷 - Hong Kong, pamoja na ubalozi wa Marekani 🇺🇸 Nchini Australia 🇦🇺. Taarifa nyingine iliyomshitua zaidi ni pale alipoambiwa kuwa kuwa jina la Baba yake sio Chan bali ni Fang Daolong, hivyo kama asingebadili jina, Jackie Chan hivi sasa angefahamika kama Jackie Fang, Baba Jackie Chan alikuwa "Spy" kwenye Serikali ya China iliyokuwa ikiundwa na Chama cha Kuomintang, mwaka 1949 baada ya vita kali ya wenyewe kwa wenyewe Chama cha Kikomunisti kikiongozwa na Mao Zedong kiliipindua Serikali ya Kuomintang kikachukua Nchi hapo ilibidi Baba Jackie Chan abadili jina kwa sababu ya kuficha utambulisho wake maana kulikuwa na vita kubwa baina ya vyama hivyo na baadhi ya makachero wa Kuomintang walikuwa wakikamatwa na kuuawa. Historia ya Wazazi wa Jackie Chan imeelezwa kwa urefu kwenye "Documentary" iliyoandaliwa na Jackie Chan "Traces of the Dragon: Jackie Chan and His Lost Family" (2003) "Baba alikua jasusi na Mama alikua Muuza madawa na mcheza kamari. Walikutana na wakaoana baada ya Baba yangu kumkamata Mama" "Tangu nilipokua Mdogo nilikua najua Baba yangu anafanya kazi ya upishi kwenye Ubalozi wa Marekani mpaka alipotimiza miaka 80 na akaniambia kazi yake ya kweli. Nilishtuka, nilishtuka" " Kwahiyo kuna siku moja nilikua naendesha gari nikiwa na Baba yangu ghafla, Baba akageuka na kusema: 'Jackie, Mimi ni Mzee sana na huenda nisiamke kesho. Kuna kitu lazima nikuambie, ni siri' kisha akasema: kwa kweli wewe sio Jackie Chan, jina lako unaitwa Fong.' "Nikahisi kupatwa na mshtuko, kwangu ilikua kitu cha kustaajabisha. Kwa haraka nikamuambia asiendelee kuongea nikampigia rafiki yangu ili tutengeneze documentary ya stori ya Baba yangu. Ilituchukua miaka 3 ya kumfata Baba yangu na kuongea nae kuhusu stori yote." " Nilihisi mimi ndiye Mwanae wa pekee lakini nilishtuka baada ya kujua kwamba nina ndugu zangu wanne kwa Wazazi wangu. Kaka zangu wawili, upande wa Baba na Dada zangu wawili upande wa Mama. Alilazimika kunificha yote hayo kwa sababu ya kazi yake, baba alikua jasusi. Nilivutiwa sana baada ya kujua kwamba Baba yangu alikua mpole sana. Miaka yote ile nilidhania ni Mpishi. Nimetengeneza movie kupitia hii stori." - Jackie Chan
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·2K Views
  • THEIA SAYARI NDOGO ILIYOGONGANA NA DUNIANI.

    ✍🏾Mapande ya sayari inayoitwa Theia ambayo iligongana na Dunia na kusababisha kuundwa kwa Mwezi yamepatikana na Wataalmu Nchini Marekani.Kwa kufafanua zaidi ni wazi kwamba kuna siri nzito Katika Uumbaji,Kweli Mungu ni fundi waungwana,Kwanza Fahamu ya kwamba Asilimia 70% ya Historia ya uuumbaji Haijulikana kisawa Sawa maana Maisha ya Binadamu hayana Umri mrefu sanaa kuzidi Umri wa Dunia maana Umri wa Dunia ni miaka Billion 4.7 na Dunia inatadhamiwa Kuishi miaka Billion 7 Ijayo kabla Haijafa na kusambalatika kama kama Cheche za Mkaa.Theia ni jina la kigiriki lenye maana ya kwamba Mungu wa kike ambapo kulingana na simulizi na imani za wagiri ni kwamba Theia ni moja wa Mungu wa kike waliokuwa wanaishi uko Mwezini.Theia ni moja wa Watoto 7 mama wa Miungu ya uko mwezini yaani Mather of All Goddes uko mwezini hivyo ambaye alifahamika kama Selene huyo Goddess mkuu wa uko mwezini.

    ✍🏾SaSa Hapo mwanzo kulikuwa na Sayari inayofahamika kama Theia ambayo ilikuwa na ukubwa Sawa sawaa na Mars uko ambako NASA wametuma Perseverance Rovers kwenda Kuangalia kama Kulikuwa na maisha Hapo Kale yaani Miaka Billion 3 Iliyopita.Sasa Kuna nadharia kama 4 zinazoelezeaa kutokea Kwa mwezi,Kuna ambao Wanadai ya kwamba Theia ilikuwa iko nje ya Mfumo wa Jua mpaka inakuja kugongana na Dunia Hata Hivyo nadharia hii BADO haijathibika wanasayansi BADO wanafanya Tafiti Mbali Mbali kuliweka Hili sawaa.

    Hata Maji Yaliyopo hapa Duniani Hususani Maji ya kwenye Bahari yalitokea Baada ya Theia Kuparamia na Kuigonga Duniani Ndio Ikasababisha Uwepo wa Bahari kubwa ambazo tunaziona leo hii.Kuna nadharia ya kwanza ambayo Inadai ya kwamba kulikuwa na Moja ya Sayari kubwa Sana, Ambapo Sayari hiyo kulingana na Sababu ambazo hazijawekwa wazi ni kwamba Sayari hiyo kubwa ilikuja Kupasuka pasuka Kwa Kishindo na Kusababisha mgawanyiko ambapo Katika mgawanyiko huo ndio ukapelekea kuwepo Kwa Mwezi Ambapo Mwezi huo ulikuja Kunaswa na Nguvu ya mvutano wa Jua ndio ukabaki ulipo leo lakini Huwenda lisingekuwa Jua Mwezi ungekuwa Umeenda Mbali Sana kuliko ilivyo leo,Wabongo wanasema ya kwamba Mungu ni Fundi kweli (Tunakubaliana ya kwamba Sayari Zote ni Viumbe kama ilivyo Kwa viumbe wengine).

    ✍🏾 kamaa hiyo haitoshi kuna Nadharia ya pili ambayo inaelezea ya kwamba Mwezi uliundwa Wakati mmoja na Wakati Dunia () inaundwa hii Ina maana ya kwamba Dunia na Mwezi viliundwa wakati mmoja Kipindi ambacho Photo planetary Disk Accreted.Kwa kuthibitisha hilo Wakati wa Apollo Project Taasisi kubwa ya Marekani yaani NATIONAL AERONAUTICS AND SPACE ADMINISTRATION (NASA) walipata baadhi ya Ushahidi wa miamba uko mwezini walipoenda uko Mwaka 1969 mpaka mwaka 1972 walikutana na miamba yenye kufanana na ya hapa Duniani na hivyo kuja na Hoja ya kwamba Huenda Dunia na Mwezi viliundwa Wakati mmoja.Kuna baadhi ya chambuzi zinadai ya kwamba Theia ilikuwa ni Earth Trojan yaani Sayari ndogo ambayo ilikuwa ipo Katika mfumo wa kulizunguka JUA yenye Ukubwa wa Km 6,102 sawaa na Mile 3792.Na kulingana na utafiti na Ushahidi wa mwaka 2019 UNAONYESHA ya kwamba Theia ni Sayari ambayo Hakuwa Katika Mfumo wetu wa Jua ILA ni Sayari ambayo Imetoka nje ya Mfumo wa Jua (Solar system Mfumo huu ambao uliatengenezwa miaka 4.6 iliyopita).

    ✍🏾Takribani miaka bilioni 4.5 iliyopita sayari ndogo inayoitwa Theia iligongana na Dunia tukio lililosababisha sayari hiyo kupasuka na baadhi ya mapande yake kuruka kwenye Space na kuundia Mwezi na mapande mengine yalifukiwa chini Duniani ambapo katika utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na wanasayansi kutoka chuo cha Arizona Nchini Marekani wamefanikiwa kuyapata baadhi ya mawe yaliyosalia wakati sayari hiyo ilipogongana na Dunia.ndii maana naungana na Mtaalamu wangu kutoka Marekani alimaarufu kama Bari Katika masuala ya uchambuzi ya kwamba Sayari Huwa zinajizalisha zenyewe ama kuzaliana Zenyewe maana Kwamba Sayari Moja inaweza ikasababisha KUZALIWA KWA Sayari zingine ndio maana Hata baadhi mawe makubwa yaliyoko Angani yenye ukubwa Sawa na Jimbo la Alaska ama Australia ni matokeo ama masalia ya Sayari zilizokufa ama zilizowahi kuwepo miaka Mabilioni iliyopita.

    Maana tufahamu ya kwamba Sayari Huwa zinazaliwa na pia Baada ya miaka Billion 4 mpaka 7 Sayari Huwa zinakufa ndio maana Mtaalamu Bari anazichukuliaa Sayari kama ni VIUMBE Vinavyoishi kama ilivyo Kwa viumbe viumbe Vinginevyo.hivyo Miamba iliyoko mwezini na hapa Duniani Ina Uhusiano Mkubwa na kuonyesha ya kwamba Mwezi na Dunia Zote zimeumbwa wakati Mmoja ama ni matokeo ya Sayari ndogo ya THEIA yenye kutaka kufanana na MARS Kwa ukubwa ilipogngana na Dunia na Kusababisha Kutokea Kwa Mwezi.
    THEIA SAYARI NDOGO ILIYOGONGANA NA DUNIANI. ✍🏾Mapande ya sayari inayoitwa Theia ambayo iligongana na Dunia na kusababisha kuundwa kwa Mwezi yamepatikana na Wataalmu Nchini Marekani.Kwa kufafanua zaidi ni wazi kwamba kuna siri nzito Katika Uumbaji,Kweli Mungu ni fundi waungwana,Kwanza Fahamu ya kwamba Asilimia 70% ya Historia ya uuumbaji Haijulikana kisawa Sawa maana Maisha ya Binadamu hayana Umri mrefu sanaa kuzidi Umri wa Dunia maana Umri wa Dunia ni miaka Billion 4.7 na Dunia inatadhamiwa Kuishi miaka Billion 7 Ijayo kabla Haijafa na kusambalatika kama kama Cheche za Mkaa🤓🤓.Theia ni jina la kigiriki lenye maana ya kwamba Mungu wa kike ambapo kulingana na simulizi na imani za wagiri ni kwamba Theia ni moja wa Mungu wa kike waliokuwa wanaishi uko Mwezini.Theia ni moja wa Watoto 7 mama wa Miungu ya uko mwezini yaani Mather of All Goddes uko mwezini hivyo ambaye alifahamika kama Selene huyo Goddess mkuu wa uko mwezini. ✍🏾SaSa Hapo mwanzo kulikuwa na Sayari inayofahamika kama Theia ambayo ilikuwa na ukubwa Sawa sawaa na Mars uko ambako NASA wametuma Perseverance Rovers kwenda Kuangalia kama Kulikuwa na maisha Hapo Kale yaani Miaka Billion 3 Iliyopita.Sasa Kuna nadharia kama 4 zinazoelezeaa kutokea Kwa mwezi,Kuna ambao Wanadai ya kwamba Theia ilikuwa iko nje ya Mfumo wa Jua mpaka inakuja kugongana na Dunia Hata Hivyo nadharia hii BADO haijathibika wanasayansi BADO wanafanya Tafiti Mbali Mbali kuliweka Hili sawaa. Hata Maji Yaliyopo hapa Duniani Hususani Maji ya kwenye Bahari yalitokea Baada ya Theia Kuparamia na Kuigonga Duniani Ndio Ikasababisha Uwepo wa Bahari kubwa ambazo tunaziona leo hii.Kuna nadharia ya kwanza ambayo Inadai ya kwamba kulikuwa na Moja ya Sayari kubwa Sana, Ambapo Sayari hiyo kulingana na Sababu ambazo hazijawekwa wazi ni kwamba Sayari hiyo kubwa ilikuja Kupasuka pasuka Kwa Kishindo na Kusababisha mgawanyiko ambapo Katika mgawanyiko huo ndio ukapelekea kuwepo Kwa Mwezi Ambapo Mwezi huo ulikuja Kunaswa na Nguvu ya mvutano wa Jua ndio ukabaki ulipo leo lakini Huwenda lisingekuwa Jua Mwezi ungekuwa Umeenda Mbali Sana kuliko ilivyo leo,Wabongo wanasema ya kwamba Mungu ni Fundi kweli (Tunakubaliana ya kwamba Sayari Zote ni Viumbe kama ilivyo Kwa viumbe wengine). ✍🏾 kamaa hiyo haitoshi kuna Nadharia ya pili ambayo inaelezea ya kwamba Mwezi uliundwa Wakati mmoja na Wakati Dunia (🌎) inaundwa hii Ina maana ya kwamba Dunia na Mwezi viliundwa wakati mmoja Kipindi ambacho Photo planetary Disk Accreted.Kwa kuthibitisha hilo Wakati wa Apollo Project Taasisi kubwa ya Marekani yaani NATIONAL AERONAUTICS AND SPACE 🌌 ADMINISTRATION (NASA) walipata baadhi ya Ushahidi wa miamba uko mwezini walipoenda uko Mwaka 1969 mpaka mwaka 1972 walikutana na miamba yenye kufanana na ya hapa Duniani na hivyo kuja na Hoja ya kwamba Huenda Dunia na Mwezi viliundwa Wakati mmoja.Kuna baadhi ya chambuzi zinadai ya kwamba Theia ilikuwa ni Earth Trojan yaani Sayari ndogo ambayo ilikuwa ipo Katika mfumo wa kulizunguka JUA yenye Ukubwa wa Km 6,102 sawaa na Mile 3792.Na kulingana na utafiti na Ushahidi wa mwaka 2019 UNAONYESHA ya kwamba Theia ni Sayari ambayo Hakuwa Katika Mfumo wetu wa Jua ILA ni Sayari ambayo Imetoka nje ya Mfumo wa Jua (Solar system Mfumo huu ambao uliatengenezwa miaka 4.6 iliyopita). ✍🏾Takribani miaka bilioni 4.5 iliyopita sayari ndogo inayoitwa Theia iligongana na Dunia tukio lililosababisha sayari hiyo kupasuka na baadhi ya mapande yake kuruka kwenye Space na kuundia Mwezi na mapande mengine yalifukiwa chini Duniani ambapo katika utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na wanasayansi kutoka chuo cha Arizona Nchini Marekani wamefanikiwa kuyapata baadhi ya mawe yaliyosalia wakati sayari hiyo ilipogongana na Dunia.ndii maana naungana na Mtaalamu wangu kutoka Marekani alimaarufu kama Bari Katika masuala ya uchambuzi ya kwamba Sayari Huwa zinajizalisha zenyewe ama kuzaliana Zenyewe maana Kwamba Sayari Moja inaweza ikasababisha KUZALIWA KWA Sayari zingine ndio maana Hata baadhi mawe makubwa yaliyoko Angani yenye ukubwa Sawa na Jimbo la Alaska ama Australia ni matokeo ama masalia ya Sayari zilizokufa ama zilizowahi kuwepo miaka Mabilioni iliyopita. Maana tufahamu ya kwamba Sayari Huwa zinazaliwa na pia Baada ya miaka Billion 4 mpaka 7 Sayari Huwa zinakufa ndio maana Mtaalamu Bari anazichukuliaa Sayari kama ni VIUMBE Vinavyoishi kama ilivyo Kwa viumbe viumbe Vinginevyo.hivyo Miamba iliyoko mwezini na hapa Duniani Ina Uhusiano Mkubwa na kuonyesha ya kwamba Mwezi na Dunia Zote zimeumbwa wakati Mmoja ama ni matokeo ya Sayari ndogo ya THEIA yenye kutaka kufanana na MARS Kwa ukubwa ilipogngana na Dunia na Kusababisha Kutokea Kwa Mwezi.
    Like
    3
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·2K Views
  • #UMEENDA KUMCHUNGULIA jirani
    Kaingiza demu geto mara paaaaaa unakuta
    Ni mama yako yupo kazini......

    Utasema pole mama "Au"Hongera "shemeji??¿¿

    #SIYO_KILA_MECHI_ZINATAKA_USHABIKI
    #UMEENDA KUMCHUNGULIA jirani Kaingiza demu geto mara paaaaaa unakuta Ni mama yako yupo kazini...... 👉 Utasema pole mama "Au"Hongera "shemeji??¿¿ #SIYO_KILA_MECHI_ZINATAKA_USHABIKI 👉😆😆😆💔
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·336 Views
  • *TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO (MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)*

    Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote.


    NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI

    1: UMRI MKUBWA
    Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea.

    2: KISUKARI
    Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu hali hii husababisha mishipa kusinyaa ambayo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi.

    3: DAMU NZITO
    Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia

    *TIBA YA GANZI*

    MICRO2CYCLE

    • Hii ni tibalishe asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara.

    • Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili.

    • Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi.

    • Huuhisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupita vizuri.

    ZAMINOCAL

    • Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi kama ikitumika pamoja na Micro2cycle.

    • Huimarisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupenya kiurahisi.

    • Huondoa maumivu yote na hali ya ganzi kutoweka kabisa

    Usisite kuwasiliana nami kwa nambari
    0745693900.
    #socialpop #afya#tiba#bfsuma
    *TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO (MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)* Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote. NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI 1: UMRI MKUBWA Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea. 2: KISUKARI Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu hali hii husababisha mishipa kusinyaa ambayo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi. 3: DAMU NZITO Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia *TIBA YA GANZI* ▶️ MICRO2CYCLE • Hii ni tibalishe asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara. • Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili. • Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi. • Huuhisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupita vizuri. ▶️ ZAMINOCAL • Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi kama ikitumika pamoja na Micro2cycle. • Huimarisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupenya kiurahisi. • Huondoa maumivu yote na hali ya ganzi kutoweka kabisa Usisite kuwasiliana nami kwa nambari ☎️0745693900. #socialpop #afya#tiba#bfsuma
    Like
    Love
    3
    · 2 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views