Upgrade to Pro

  • "Haitochukua muda Wananchi wataanza tena kurejea ule mpira wao na mabao yao, haitochukua muda kabla Clement Mzize aanze kupokea ofa nyingi huko nje, haitochukua muda kuanza kutenganisha maji na mafuta, haichukui muda kugundua Prince Dube kamba zote hajafunga penati, haitochukua muda timu zitaanza kuitwa Matawi.

    Kama hii hali itaendelea haitochukua muda jina la GSM na udhamini kuanza kuwa kiitikio kwenye ule wimbo maarufu, haitochukua muda kusikia Marefa na TFF wote ni Wananchi, haitochukua muda sana" - Farhan JR, Mchambuzi.

    "Haitochukua muda Wananchi wataanza tena kurejea ule mpira wao na mabao yao, haitochukua muda kabla Clement Mzize aanze kupokea ofa nyingi huko nje, haitochukua muda kuanza kutenganisha maji na mafuta, haichukui muda kugundua Prince Dube kamba zote hajafunga penati, haitochukua muda timu zitaanza kuitwa Matawi. Kama hii hali itaendelea haitochukua muda jina la GSM na udhamini kuanza kuwa kiitikio kwenye ule wimbo maarufu, haitochukua muda kusikia Marefa na TFF wote ni Wananchi, haitochukua muda sana😀" - Farhan JR, Mchambuzi.
    ·20 Views
  • .“Tumewatazama kwa makini sana Dodoma Jiji, wanacheza vizuri wakiwa nyumbani, tunafahamu ni wagumu mno wanapocheza nyumbani hivyo tumeshajiandaa kukabiliana nao. Alama tatu kesho muhimu mno kwetu ili tuendelee kubaki kwenye mipango yetu” Sead Ramovic.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .“Tumewatazama kwa makini sana Dodoma Jiji, wanacheza vizuri wakiwa nyumbani, tunafahamu ni wagumu mno wanapocheza nyumbani hivyo tumeshajiandaa kukabiliana nao. Alama tatu kesho muhimu mno kwetu ili tuendelee kubaki kwenye mipango yetu” Sead Ramovic. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    Haha
    3
    1 Comments ·61 Views
  • .Ushindi wa kesho una beba dhima nzima ya kujitoa kwa kila namna, kama tusipojitoa kwa kila hali hapo kesho matarajio ya ushindi yatakuwa madogo, kimsingi tumekuja hapa na tumeshajiandaa kisawasawa na tuna imani ya kuondoka alama tatu. Bila shaka mchezo umekaa kimtego kutokana na ratiba lakini hiyo haiondoi dhamira yetu ya kushinda” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .Ushindi wa kesho una beba dhima nzima ya kujitoa kwa kila namna, kama tusipojitoa kwa kila hali hapo kesho matarajio ya ushindi yatakuwa madogo, kimsingi tumekuja hapa na tumeshajiandaa kisawasawa na tuna imani ya kuondoka alama tatu. Bila shaka mchezo umekaa kimtego kutokana na ratiba lakini hiyo haiondoi dhamira yetu ya kushinda” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    3
    ·61 Views
  • .“Nina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyokamalika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .“Nina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyokamalika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·58 Views
  • Tumewasili Dodoma salama.
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #neliudcosiah
    Tumewasili Dodoma salama. #timuyawananchi #yangasc #neliudcosiah
    Like
    2
    ·83 Views
  • Habari za ahsubuh wananchi kutoka kwa mwana wa mfalme Prince Dube
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #daimambelenyumamwiko
    Habari za ahsubuh wananchi kutoka kwa mwana wa mfalme Prince Dube 😂😀💪 #timuyawananchi #yangasc #daimambelenyumamwiko
    Like
    1
    ·29 Views
  • UJUMBE MUHIMU KUTOKA KWA MSEMAJI WA KLABU NDUGU ALLY KWAMWE

    "TUAMKE TUPAMBANE WANANCHI. Tunazihitaji sana Pointi 3 za kesho pale KMC. Hakuna Unyonge, Matawi yote ya Dar Es Salaam Tuhakikishe Tunahamasisha watu wetu wanakwenda uwanjani kesho

    Sauti Zetu ni Muhimu sana kuwainua wachezaji wetu. Tunahitaji Pointi 3 na Magoli ya kutosha Kesho, Tusikae nyumbani na Kusubiri kulaumu tu

    Tufanye Jukumu Letu kesho bila kuchoka kwa maana Yanga ni Yetu na Ni Lazima Tuipambanie furaha YetU

    KuLe Chamaz Mlisema ni mbali na Mkaupigia sana Kelele uongozi wahame Kule .. Wamepambana Tumehama sasa Ni sisi Kwenda kuonyesha Tulikuwa sahihi

    Uwanja ni mdogo sana Ule, Itakuwa aibu kubwa kwetu Tusipokajaza kale kauwanja kwa wingi wetu…

    Wanayanga Tuamke twendeni KMC kesho Kuipambania Timu yetu

    Tukizembea Makolo watazidi kuongeza Pointi na tuje kushituka Tumeshachelewa.. Twende nao Jino kwa Jino hivi sasa

    SAA 9:00 MCHANA UWANJA UWE UMESHAJAA"

    *Ally Kamwe*
    *Mkuu wa Idara ya Habari*
    *Young Africans Sports Club*
    UJUMBE MUHIMU KUTOKA KWA MSEMAJI WA KLABU NDUGU ALLY KWAMWE "TUAMKE TUPAMBANE WANANCHI. Tunazihitaji sana Pointi 3 za kesho pale KMC. Hakuna Unyonge, Matawi yote ya Dar Es Salaam Tuhakikishe Tunahamasisha watu wetu wanakwenda uwanjani kesho Sauti Zetu ni Muhimu sana kuwainua wachezaji wetu. Tunahitaji Pointi 3 na Magoli ya kutosha Kesho, Tusikae nyumbani na Kusubiri kulaumu tu Tufanye Jukumu Letu kesho bila kuchoka kwa maana Yanga ni Yetu na Ni Lazima Tuipambanie furaha YetU KuLe Chamaz Mlisema ni mbali na Mkaupigia sana Kelele uongozi wahame Kule .. Wamepambana Tumehama sasa Ni sisi Kwenda kuonyesha Tulikuwa sahihi Uwanja ni mdogo sana Ule, Itakuwa aibu kubwa kwetu Tusipokajaza kale kauwanja kwa wingi wetu… Wanayanga Tuamke twendeni KMC kesho Kuipambania Timu yetu Tukizembea Makolo watazidi kuongeza Pointi na tuje kushituka Tumeshachelewa.. Twende nao Jino kwa Jino hivi sasa SAA 9:00 MCHANA UWANJA UWE UMESHAJAA🔰🔰" *Ally Kamwe* *Mkuu wa Idara ya Habari* *Young Africans Sports Club*
    Like
    Love
    3
    ·124 Views
  • Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962.

    Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu.

    TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu.

    FT: MC Alger 0-1 Al Hilal
    76' Fofana

    MATOKEO MENGINE #CAFCL
    FT: Esperance 2-0 Pyramids
    TP Mazembe 1-1 Yanga Sc
    Maniema Union 1-1 ASFAR
    🇨🇮 Stade d'Abidjan 1-1 Orlando Pirates

    #socialpop
    Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962. Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu. TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu. FT: MC Alger 🇩🇿 0-1 🇸🇩 Al Hilal ⚽ 76' Fofana MATOKEO MENGINE #CAFCL FT: Esperance 🇹🇳 2-0 🇪🇬 Pyramids TP Mazembe 🇨🇩 1-1 🇹🇿 Yanga Sc Maniema Union 🇨🇩 1-1 🇲🇦 ASFAR 🇨🇮 Stade d'Abidjan 1-1 🇿🇦 Orlando Pirates #socialpop
    Like
    1
    ·90 Views
  • Safari ya kurejea nyumbani imeanza
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #neliudcosiah
    Safari ya kurejea nyumbani imeanza #timuyawananchi #yangasc #neliudcosiah
    Like
    2
    ·40 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    "Malengo yetu ni kuonyesha uwezo wetu na kufanya vizuri kesho, Haijalishi wapinzani wetu wakoje, sisi tunafahamu TP Mazembe ni timu kubwa na ina Wachezaji wazuri hivyo kesho tutashuhudia mechi nzuri sana, nafahamu kuwa mchezo wa mwisho hapa Congo Young Africans ilishinda lakini hatuwezi kuzungumzia yaliyopita, tunautazama mchezo wa kesho kama mchezo mpya na tupo tayari kwa Changamoto hii" Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 "Malengo yetu ni kuonyesha uwezo wetu na kufanya vizuri kesho, Haijalishi wapinzani wetu wakoje, sisi tunafahamu TP Mazembe ni timu kubwa na ina Wachezaji wazuri hivyo kesho tutashuhudia mechi nzuri sana, nafahamu kuwa mchezo wa mwisho hapa Congo Young Africans ilishinda lakini hatuwezi kuzungumzia yaliyopita, tunautazama mchezo wa kesho kama mchezo mpya na tupo tayari kwa Changamoto hii" Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    1
    ·142 Views
  • “Ni jambo kubwa sana ambalo Mashabiki wa Yanga wamelifanya, kusafiri kwa Bus kutoka Dar Es Salaam mpaka hapa Lubumbashi siyo rahisi, ni faraja kwetu na inatupa Motisha ya kuwa tuna watu wanaotupa moyo na kutufanya tusiyumbe, kwakweli nachoweza kusema ni kwamba tupo hapa kwaajili ya kuwapa furaha, timu nzima inatambua umuhimu wa mashabiki wetu, panapo majaaliwa kesho tutapambana kuhakikisha tunawafurahisha Wananchi” @seadramovic79
    “Ni jambo kubwa sana ambalo Mashabiki wa Yanga wamelifanya, kusafiri kwa Bus kutoka Dar Es Salaam mpaka hapa Lubumbashi siyo rahisi, ni faraja kwetu na inatupa Motisha ya kuwa tuna watu wanaotupa moyo na kutufanya tusiyumbe, kwakweli nachoweza kusema ni kwamba tupo hapa kwaajili ya kuwapa furaha, timu nzima inatambua umuhimu wa mashabiki wetu, panapo majaaliwa kesho tutapambana kuhakikisha tunawafurahisha Wananchi” @seadramovic79
    Like
    1
    ·75 Views
  • “Tunamshukuru Mungu tumefika Salama, tupo hapa Lubumbashi kwaajili ya kupambana, ni kweli hatujashinda mechi zetu za Mwanzo lakini haimaanishi tukae vichwa chini, huu ni muda wa kurudi juu na kuwapa furaha wananchi, tunatambua Ukubwa wa Mazembe lakini tutapambana kwaajili ya kushinda kesho” @maxinzengeli

    #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

    “Tunamshukuru Mungu tumefika Salama, tupo hapa Lubumbashi kwaajili ya kupambana, ni kweli hatujashinda mechi zetu za Mwanzo lakini haimaanishi tukae vichwa chini, huu ni muda wa kurudi juu na kuwapa furaha wananchi, tunatambua Ukubwa wa Mazembe lakini tutapambana kwaajili ya kushinda kesho” @maxinzengeli #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    ·126 Views
  • Wananchi na Kikosi cha Serengeti Boys kilichoshiriki AFCON U17 nchini Gabon David Atto #socialpop
    Wananchi 🔰 na Kikosi cha Serengeti Boys kilichoshiriki AFCON U17 nchini Gabon 🇬🇦 [Mefa] #socialpop
    Like
    1
    ·69 Views
  • Kila lahery Wananchi
    Kila lahery Wananchi💚💛
    Like
    Love
    2
    1 Comments ·46 Views
  • MC ALGER VS YOUNG AFRICANS LEO SAA4:00 USIKU 7 DECEMBER
    #WANANCHI
    #YOUNGAFRICANSSC
    #
    MC ALGER VS YOUNG AFRICANS LEO SAA4:00 USIKU 7 DECEMBER #WANANCHI #YOUNGAFRICANSSC #🇹🇿
    Like
    1
    ·51 Views
  • Karibu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović💪🏽

    Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu.

    Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP

    #TimuYaWananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    Karibu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović🔰💪🏽 Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu. Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
    Like
    3
    ·214 Views

  • #Wananchi #YoungAfricas
    😂😂😂 #Wananchi #YoungAfricas
    Like
    1
    ·178 Views ·6 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    Tunakwenda kucheza na timu ngumu, ina wachezaji bora na kocha mzoefu lakini upande wetu tuna kikosi chenye wachezaji bora sana, naamini itakuwa mechi nzuri yenye kuvutia. Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 Tunakwenda kucheza na timu ngumu, ina wachezaji bora na kocha mzoefu lakini upande wetu tuna kikosi chenye wachezaji bora sana, naamini itakuwa mechi nzuri yenye kuvutia. Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    1 Comments ·200 Views
  • Kila siku mpya uwanjani inatupa nafasi wachezaji ya kujifunza kitu kipya, mechi mbili zilizopita, ya Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu zimetupa funzo na kesho tutakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri - Aziz KI

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    Kila siku mpya uwanjani inatupa nafasi wachezaji ya kujifunza kitu kipya, mechi mbili zilizopita, ya Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu zimetupa funzo na kesho tutakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri - Aziz KI #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    2 Comments ·232 Views
  • .Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Algeria (FAF) ambaye pia Waziri wa michezo wa Algeria Mh. Walid Sadi akimpokea Mgeni wake Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA) Eng.Hersi Ally Said pamoja na Wajumbe wa bodi ya vilabu barani Afrika (ACA) walipotembelea Taifa la Algeria na kukagua miundombinu ya soka.

    Algeria imeialika ACA kuweka Makao yake makuu nchini humo, ikiwa katika kinyanganyiro na mataifa mengine mawili, Morocco na Afrika ya kusini.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Algeria (FAF) ambaye pia Waziri wa michezo wa Algeria Mh. Walid Sadi akimpokea Mgeni wake Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA) Eng.Hersi Ally Said pamoja na Wajumbe wa bodi ya vilabu barani Afrika (ACA) walipotembelea Taifa la Algeria na kukagua miundombinu ya soka. Algeria imeialika ACA kuweka Makao yake makuu nchini humo, ikiwa katika kinyanganyiro na mataifa mengine mawili, Morocco na Afrika ya kusini. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    7
    1 Comments ·328 Views
More Results