Upgrade to Pro

  • JAMBAZI MTUKUTU.

    Nchini Tanzania, kuna manju 'Dj' fulani wa muziki anayejulikana kwa jina maarufu la 'DJ JD' au kwa kirefu *'DJ John Dilinga'.* Huyu ni moja kati ya maDj wakongwe na mahiri sana tuliobahatika kuwa nao hapa nchini Tanzania. Kwa wale wapenzi na wadau wa muziki wa 'bongofleva' hususani wa miaka ya nyumanyuma kidogo, bila shaka mtakua mnamfahamu Dj huyu.

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kufahamu ni kwanini anaitwa John Dilinga..nikiwa nataka kujua kama hilo ni jina lake halisi au ni 'a.k.a'. Maana ni kawaida kuona watu mbalimbali hususani walio kwenye tasnia ya burudani wakitumia majina ya ziada (a.k.a) kuliko majina yao halisi.

    Kitu kilichonifanya nianze na DJ JD ni baada ya kugundua kuwa leo ni tarehe 22 Julai. Tarehe ambayo ulimwengu mzima unamtaja bwana mmoja mtukutu sana, aliyewahi kusumbua vichwa vya maofisa usalama wa nchi ya Marekani, akifahamika kama *John Dillinger.* Huyu alikuwa ni moja kati ya wahuni wakubwa nchini Marekani aliyetamba sana katika miaka ya 1930 kwa kujihusisha na matukio ya kihalifu hususani uporaji wa fedha kwenye mabenki.

    Tofauti ni kwamba John Dilinga wa Tanzania ni DJ, wakati John Dillinger wa Marekani alikuwa ni jambazi mtukutu.

    Utukutu wake ulianza angali ana umri mdogo na hata aliweza kuacha shule ili kwenda kutafuta pesa!! Alianza kama mdokozi wa vitu vidogovidogo lakini tukio lake la kwanza lilikuwa ni *kuiba gari*, kisha 'kwenda misele' kwa mpenzi wake mpya. Siku chache baadae alikuja kukamatwa na mapolisi akiwa anazurula mtaani japokuwa alifanikiwa kuchoropoka na 'kutokomea kusikojulikana'.

    Baadae alipata kazi katika jeshi la majini 'navy', akifanya katika meli ya jeshi ya 'USS Uttah'. Baada ya miezi kadhaa John Dillinger alitoroka kazini.

    April 1924 akiwa hana shughuli ya kumuingizia kipato, John Dillinger alifunga ndoa na mwanadada Beryl Hovious ambapo walienda kuishi kwenye nyumba ya baba yake ambapo John Dillinger aliahidi kwamba sasa atatulia na kuacha utukutu wote. Lakini wiki chache baada ya ndoa, Dillinger alikamatwa na hata kufikishwa mahakamani kwa kosa la wizi wa kuku, "nadhani alikuwa anatafuta mboga ya kwenda kula na mkewe".

    Lakini kwa msaada wa Baba yake, kesi ya Dillinger iliweza kufutwa. Baadae Dillinger aliamua kutoka kwenye nyumba ya baba yake na kwenda kuishi kwenye nyumba ya wazazi wa mwanamke ambapo huko alibahatika kupata kazi kwenye duka la kuuza vifaa vya ujenzi. Akiwa huko, Dillinger alikutana na rafiki yake wa muda mrefu aitwaye *Edgar Singleton,* ambapo walipanga mikakati ya kuiba pesa. Ndipo tarehe 6 septemba 1924 waliiba pesa katika moja ya Grocery japokuwa walikamatwa na kufikishwa mahakamani ambapo John Dillinger alihukumiwa kifungo cha miaka 20 katika Gereza la "Indiana State Reformatory in Pendleton".

    Alipokuwa jela, alikutana na wafungwa wengine ambao walimfundisha mbinu nyingine za uhalifu mkubwa hususani uporaji wa fedha kwenye mabenki. Alitumikia kifungo chake hadi mwaka 1933 kwa paroli. Siku chache tu baada ya kutoka jela, John Dillinger alifanya uhalifu mkubwa, safari hii akivamia benki na kuiba pesa benki ingawa alikamatwa na kuhukumiwa kifungo katika gereza la Lima.

    Siku chache baada ya Dillinger kuingia jela, wafungwa 12 ambao baadhi yao ni rafiki zake Dillinger, waliweza kutoroka katika gereza la "Indiana State Prison". Hili ni gereza alilowahi kufungwa John Dillinger baada ya kuhamishwa toka kwenye gereza lile la awali.

    Miongoni mwa hao waliotoroka, ambao baadhi yao ni marafiki wa Dillinger, walifika katika gereza alilofungwa Dillinger lengo ni kumtorosha rafiki yao. Walimuua askari mmoja na kuchukua funguo kisha kufungua mlango wa selo alilomo Dillinger kisha kutoroka naye. Baada ya kutoroka, John Dillinger na wenzake walielekea mjini Chicago ambapo waliunda genge kubwa la kihalifu *Dillinger Gang*. Genge hili lilipora pesa kwenye mabenki mbalimbali, na ili kuongeza nguvu, walivamia ghala la silaha na kuiba silaha nzitonzito walizozotumia katika shughuli zao za kihalifu.

    Wahuni hao walitokea kupata umaarufu mkubwa pale Marekani, hususani huyu Dillinger ambaye alikuwa maarufu sana mithili ya 'nyota wa hollywood' kwani kila siku jina lake lilikuwa likitajwa kwenye vyombo vya habari na kuandikwa magazetini. Sifa nyingine ya genge hili ni kwamba walikuwa watanashati mno wakipendelea kuvaa suti na kofia nyeusi.

    Januari 15 1934, Dillinger alivamia benki kuiba pesa. Katika tukio la majibizano ya risasi, Dillinger alimuua askari mmoja aliyejulikana kwa jina la William O'Malley. Yeye alipigwa risasi kadhaa japokuwa hakufa kwasababu alivaa 'bullet proof'.

    Baadae, 'Dillinger Gang' walikuja kukamatwa, ambapo Dillinger alipelekwa katika gereza la *crown point* kwa kosa la kumuua Askari. Gereza hilo lilipewa jina la 'escape proof' kwakuwa lilikuwa nj ngumu kutoroka hapo. Umaarufu wake ulipelekea wananchi kufurika mahakamani na gerezani kwa ajili ya kutaka kumuona John Dillinger.

    Tarehe 3 Machi 1934, John Dillinger alifanikiwa kutoroka tena katika gereza la *Crown point,* safari hii akitoroka kwa kutumia 'bunduki feki' aliyoichonga kwa kutumia mbao na kuipaka rangi nyeusi. Aliitumia bunduki hiyo kumtisha askari kisha akapora gari la askari na kutoroka nalo. Kitendo hiko kiliwafanya polisi waombe msaada kutoka *FBI* ambao walifanya msako kabambe wa kumkamata John Dillinger.

    Alipotoroka, alikimbilia mjini Chicago ambako huko aliunda Genge jipya safari hii akimchukua mtu hatari aliyejulikana kama 'Baby Face Nelson'. Genge hilo liliendelea kufanya matukio mengi ya uporaji wa pesa benki na hata wizi wa silaha. Katika kipindi hiki, John Dillinger alianzisha mahusiano na binti aliyeitwa 'Polly Hamilton' mhudumu wa mgahawa pale Chicago ambaye hapo kabla alikuwa akijihusisha na ukahaba. Ifahamike kuwa kipindi yupo jela, Dillinger alitalikiana na yule mkewe.

    MSAKO wa kumpata John Dillinger ulikuwa ukiendelea ambapo FBI walisambaza picha za Dillinger pamoja na kutangaza dau nono kwa yeyote atakayefanikisha upatikanaji wake. FBI walitangaza dau la dola $10,000 kwa yeyote atakayefakiwa kumkamata Dillinger na $5,000 kwa yule atakayetoa taarifa za kupatikana kwake. John Dillinger alisumbua sana vichwa vya maafisa usalama kiasi cha FBI kumtangaza kuwa *"Public Enemy Nō 1".* Ukiona hadi mtu anaitwa Public Enemy Nō 1 ujue huyo alikuwa ni 'kiboko pasua kichwa'.

    John Dillinger naye hakuwa nyuma katika kuhakikisha hakamatwi. Unajua alifanyaje??.

    Aliamua kufanya operesheni ya uso *"plastic surgery"* ili kubadilisha muonekano wa sura yake. Pia alifanya uperesheni ya kubadilisha alama za vidole yaani 'finger prints'.

    Mkuu wa FBI bwana J. Edgar Hoover alimteua bwana Samuel Cowley kuongoza misheni ya kumkamata John Dillinger. Cowley naye aliungana na Afisa *Mervin Purvis* kutoka mjini Chicago. Kwa pamoja walishirikiana na polisi kuhakikisha huyu 'Adui namba moja' anapatikana.

    Ilikuwa ni siku ya tarehe 21 Julai 1934 ambapo maafisa usalama walipokea simu kutoka kwa mwanadada mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Anna. Binti huyu alitoa taarifa za siri kwamba 'kesho jioni, yeye, John Dillinger pamoja na mpenzi wake, Polly Hamilton, wataenda kuangalia filamu kwenye moja ya majumba ya sinema, akaeleza kwamba watachagua kwenda aidha Biograph Theater au Marbo Theater. Na wakapanga kwamba atavaa vazi la rangi nyekundu ili iwe rahisi kwa maofisa hao kumtambua.

    Ilipofika kesho yake, maofisa wakampigia simu Anna Sage ili 'ku-comfirm' ni wapi wataenda kati ya Biograph au Marbo??. Lakini kwakua Anna alikuwa bado hajui ni wapi haswa wataenda, tuliona maofisa usalama wakiongozwa na Marvin Purvis wakijigawa kwenda 'kukava' sehemu zote mbili.

    Hatimaye ilipofika majira ya saa 2:30 usiku, Anna, John Dillinger pamoja na Polly Hamilton, walionekana wakiingia kwenye jumba la sinema la *Biograph Theater*. Baada ya kina Dillinger kuingia, tukaona wale maofisa wengine waliokuwepo kule 'Marbo Theater' wakiwasili haraka pale 'Biograph Theater' kwa ajili ya kuongeza nguvu.

    Saa 4:30 usiku, baada ya filamu kumalizika, alionekana John Dillinger akiwa na wale warembo wake wawili, mmoja kulia mwingine kushoto, wakiwa wanatoka nje. Wakati wanakuja usawa wa aliposimama ofisa Purvis. Purvis aliwasha sigara yake kama ishara ya wale wenzake kusogea jirani. Wakati anafanya hivyo, kumbe Dillinger alikuwa *'ameshahisi hali ya hatari',* akatoa bastola yake huku akijihami kwa kujaribu kukimbia.

    Lakini kabla hajafika mbali, risasi tatu zilifika kwenye mwili wa John Dillinger. Risasi moja ikipenya upande wa nyuma wa shingo na kutokezea kwenye sikio. Dakika chache zilizofuata, hospitali ya Alexian Brothers ilitangaza kifo cha John Dillinger. Na hiyo ndio ikawa mwisho wa mtukutu huyu ambaye alifariki tarehe kama ya leo *22 Julai 1934.* Baada ya kuenea taarifa za kifo chake watu wengi walifurika eneo la tukio angalau waweze kuuona mwili wa John Dillinger.

    ****

    Lakini nafahamu utakuwa unajiuliza yule mwanadada aliyetoa taarifa za siri za kurahisisha kukamatwa kwa John Dillinger ni nani na kwanini alifanya hivyo?!! Baadae nitaeleza kisa hiko. Lakini kwa sasa tuishie hapa.

    Ahsante.

    JAMBAZI MTUKUTU. Nchini Tanzania, kuna manju 'Dj' fulani wa muziki anayejulikana kwa jina maarufu la 'DJ JD' au kwa kirefu *'DJ John Dilinga'.* Huyu ni moja kati ya maDj wakongwe na mahiri sana tuliobahatika kuwa nao hapa nchini Tanzania. Kwa wale wapenzi na wadau wa muziki wa 'bongofleva' hususani wa miaka ya nyumanyuma kidogo, bila shaka mtakua mnamfahamu Dj huyu. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kufahamu ni kwanini anaitwa John Dilinga..nikiwa nataka kujua kama hilo ni jina lake halisi au ni 'a.k.a'. Maana ni kawaida kuona watu mbalimbali hususani walio kwenye tasnia ya burudani wakitumia majina ya ziada (a.k.a) kuliko majina yao halisi. Kitu kilichonifanya nianze na DJ JD ni baada ya kugundua kuwa leo ni tarehe 22 Julai. Tarehe ambayo ulimwengu mzima unamtaja bwana mmoja mtukutu sana, aliyewahi kusumbua vichwa vya maofisa usalama wa nchi ya Marekani, akifahamika kama *John Dillinger.* Huyu alikuwa ni moja kati ya wahuni wakubwa nchini Marekani aliyetamba sana katika miaka ya 1930 kwa kujihusisha na matukio ya kihalifu hususani uporaji wa fedha kwenye mabenki. Tofauti ni kwamba John Dilinga wa Tanzania ni DJ, wakati John Dillinger wa Marekani alikuwa ni jambazi mtukutu. Utukutu wake ulianza angali ana umri mdogo na hata aliweza kuacha shule ili kwenda kutafuta pesa!! Alianza kama mdokozi wa vitu vidogovidogo lakini tukio lake la kwanza lilikuwa ni *kuiba gari*, kisha 'kwenda misele' kwa mpenzi wake mpya. Siku chache baadae alikuja kukamatwa na mapolisi akiwa anazurula mtaani japokuwa alifanikiwa kuchoropoka na 'kutokomea kusikojulikana'. Baadae alipata kazi katika jeshi la majini 'navy', akifanya katika meli ya jeshi ya 'USS Uttah'. Baada ya miezi kadhaa John Dillinger alitoroka kazini. April 1924 akiwa hana shughuli ya kumuingizia kipato, John Dillinger alifunga ndoa na mwanadada Beryl Hovious ambapo walienda kuishi kwenye nyumba ya baba yake ambapo John Dillinger aliahidi kwamba sasa atatulia na kuacha utukutu wote. Lakini wiki chache baada ya ndoa, Dillinger alikamatwa na hata kufikishwa mahakamani kwa kosa la wizi wa kuku, "nadhani alikuwa anatafuta mboga ya kwenda kula na mkewe". Lakini kwa msaada wa Baba yake, kesi ya Dillinger iliweza kufutwa. Baadae Dillinger aliamua kutoka kwenye nyumba ya baba yake na kwenda kuishi kwenye nyumba ya wazazi wa mwanamke ambapo huko alibahatika kupata kazi kwenye duka la kuuza vifaa vya ujenzi. Akiwa huko, Dillinger alikutana na rafiki yake wa muda mrefu aitwaye *Edgar Singleton,* ambapo walipanga mikakati ya kuiba pesa. Ndipo tarehe 6 septemba 1924 waliiba pesa katika moja ya Grocery japokuwa walikamatwa na kufikishwa mahakamani ambapo John Dillinger alihukumiwa kifungo cha miaka 20 katika Gereza la "Indiana State Reformatory in Pendleton". Alipokuwa jela, alikutana na wafungwa wengine ambao walimfundisha mbinu nyingine za uhalifu mkubwa hususani uporaji wa fedha kwenye mabenki. Alitumikia kifungo chake hadi mwaka 1933 kwa paroli. Siku chache tu baada ya kutoka jela, John Dillinger alifanya uhalifu mkubwa, safari hii akivamia benki na kuiba pesa benki ingawa alikamatwa na kuhukumiwa kifungo katika gereza la Lima. Siku chache baada ya Dillinger kuingia jela, wafungwa 12 ambao baadhi yao ni rafiki zake Dillinger, waliweza kutoroka katika gereza la "Indiana State Prison". Hili ni gereza alilowahi kufungwa John Dillinger baada ya kuhamishwa toka kwenye gereza lile la awali. Miongoni mwa hao waliotoroka, ambao baadhi yao ni marafiki wa Dillinger, walifika katika gereza alilofungwa Dillinger lengo ni kumtorosha rafiki yao. Walimuua askari mmoja na kuchukua funguo kisha kufungua mlango wa selo alilomo Dillinger kisha kutoroka naye. Baada ya kutoroka, John Dillinger na wenzake walielekea mjini Chicago ambapo waliunda genge kubwa la kihalifu *Dillinger Gang*. Genge hili lilipora pesa kwenye mabenki mbalimbali, na ili kuongeza nguvu, walivamia ghala la silaha na kuiba silaha nzitonzito walizozotumia katika shughuli zao za kihalifu. Wahuni hao walitokea kupata umaarufu mkubwa pale Marekani, hususani huyu Dillinger ambaye alikuwa maarufu sana mithili ya 'nyota wa hollywood' kwani kila siku jina lake lilikuwa likitajwa kwenye vyombo vya habari na kuandikwa magazetini. Sifa nyingine ya genge hili ni kwamba walikuwa watanashati mno wakipendelea kuvaa suti na kofia nyeusi. Januari 15 1934, Dillinger alivamia benki kuiba pesa. Katika tukio la majibizano ya risasi, Dillinger alimuua askari mmoja aliyejulikana kwa jina la William O'Malley. Yeye alipigwa risasi kadhaa japokuwa hakufa kwasababu alivaa 'bullet proof'. Baadae, 'Dillinger Gang' walikuja kukamatwa, ambapo Dillinger alipelekwa katika gereza la *crown point* kwa kosa la kumuua Askari. Gereza hilo lilipewa jina la 'escape proof' kwakuwa lilikuwa nj ngumu kutoroka hapo. Umaarufu wake ulipelekea wananchi kufurika mahakamani na gerezani kwa ajili ya kutaka kumuona John Dillinger. Tarehe 3 Machi 1934, John Dillinger alifanikiwa kutoroka tena katika gereza la *Crown point,* safari hii akitoroka kwa kutumia 'bunduki feki' aliyoichonga kwa kutumia mbao na kuipaka rangi nyeusi. Aliitumia bunduki hiyo kumtisha askari kisha akapora gari la askari na kutoroka nalo. Kitendo hiko kiliwafanya polisi waombe msaada kutoka *FBI* ambao walifanya msako kabambe wa kumkamata John Dillinger. Alipotoroka, alikimbilia mjini Chicago ambako huko aliunda Genge jipya safari hii akimchukua mtu hatari aliyejulikana kama 'Baby Face Nelson'. Genge hilo liliendelea kufanya matukio mengi ya uporaji wa pesa benki na hata wizi wa silaha. Katika kipindi hiki, John Dillinger alianzisha mahusiano na binti aliyeitwa 'Polly Hamilton' mhudumu wa mgahawa pale Chicago ambaye hapo kabla alikuwa akijihusisha na ukahaba. Ifahamike kuwa kipindi yupo jela, Dillinger alitalikiana na yule mkewe. MSAKO wa kumpata John Dillinger ulikuwa ukiendelea ambapo FBI walisambaza picha za Dillinger pamoja na kutangaza dau nono kwa yeyote atakayefanikisha upatikanaji wake. FBI walitangaza dau la dola $10,000 kwa yeyote atakayefakiwa kumkamata Dillinger na $5,000 kwa yule atakayetoa taarifa za kupatikana kwake. John Dillinger alisumbua sana vichwa vya maafisa usalama kiasi cha FBI kumtangaza kuwa *"Public Enemy Nō 1".* Ukiona hadi mtu anaitwa Public Enemy Nō 1 ujue huyo alikuwa ni 'kiboko pasua kichwa'. John Dillinger naye hakuwa nyuma katika kuhakikisha hakamatwi. Unajua alifanyaje??. Aliamua kufanya operesheni ya uso *"plastic surgery"* ili kubadilisha muonekano wa sura yake. Pia alifanya uperesheni ya kubadilisha alama za vidole yaani 'finger prints'. Mkuu wa FBI bwana J. Edgar Hoover alimteua bwana Samuel Cowley kuongoza misheni ya kumkamata John Dillinger. Cowley naye aliungana na Afisa *Mervin Purvis* kutoka mjini Chicago. Kwa pamoja walishirikiana na polisi kuhakikisha huyu 'Adui namba moja' anapatikana. Ilikuwa ni siku ya tarehe 21 Julai 1934 ambapo maafisa usalama walipokea simu kutoka kwa mwanadada mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Anna. Binti huyu alitoa taarifa za siri kwamba 'kesho jioni, yeye, John Dillinger pamoja na mpenzi wake, Polly Hamilton, wataenda kuangalia filamu kwenye moja ya majumba ya sinema, akaeleza kwamba watachagua kwenda aidha Biograph Theater au Marbo Theater. Na wakapanga kwamba atavaa vazi la rangi nyekundu ili iwe rahisi kwa maofisa hao kumtambua. Ilipofika kesho yake, maofisa wakampigia simu Anna Sage ili 'ku-comfirm' ni wapi wataenda kati ya Biograph au Marbo??. Lakini kwakua Anna alikuwa bado hajui ni wapi haswa wataenda, tuliona maofisa usalama wakiongozwa na Marvin Purvis wakijigawa kwenda 'kukava' sehemu zote mbili. Hatimaye ilipofika majira ya saa 2:30 usiku, Anna, John Dillinger pamoja na Polly Hamilton, walionekana wakiingia kwenye jumba la sinema la *Biograph Theater*. Baada ya kina Dillinger kuingia, tukaona wale maofisa wengine waliokuwepo kule 'Marbo Theater' wakiwasili haraka pale 'Biograph Theater' kwa ajili ya kuongeza nguvu. Saa 4:30 usiku, baada ya filamu kumalizika, alionekana John Dillinger akiwa na wale warembo wake wawili, mmoja kulia mwingine kushoto, wakiwa wanatoka nje. Wakati wanakuja usawa wa aliposimama ofisa Purvis. Purvis aliwasha sigara yake kama ishara ya wale wenzake kusogea jirani. Wakati anafanya hivyo, kumbe Dillinger alikuwa *'ameshahisi hali ya hatari',* akatoa bastola yake huku akijihami kwa kujaribu kukimbia. Lakini kabla hajafika mbali, risasi tatu zilifika kwenye mwili wa John Dillinger. Risasi moja ikipenya upande wa nyuma wa shingo na kutokezea kwenye sikio. Dakika chache zilizofuata, hospitali ya Alexian Brothers ilitangaza kifo cha John Dillinger. Na hiyo ndio ikawa mwisho wa mtukutu huyu ambaye alifariki tarehe kama ya leo *22 Julai 1934.* Baada ya kuenea taarifa za kifo chake watu wengi walifurika eneo la tukio angalau waweze kuuona mwili wa John Dillinger. **** Lakini nafahamu utakuwa unajiuliza yule mwanadada aliyetoa taarifa za siri za kurahisisha kukamatwa kwa John Dillinger ni nani na kwanini alifanya hivyo?!! Baadae nitaeleza kisa hiko. Lakini kwa sasa tuishie hapa. Ahsante.
    Like
    1
    ·192 Views
  • Majibu ya Privaldinho.

    Mata nyingi tunapokosoa hawa waandishi na wachambuzi unaweza kuhisi tunawachukia. Lakini hapana. Ukweli ni kwamba tasnia ya habari za michezo imenajisiwa sana.

    Mfano hii post inatumika sana na madunduka. Sijawahi kuwajibu maana najua wanajifurahisha. Kwa sababu Rage aliwahi kusema hawa ni mambumbumbu hivyo sina sababy ya kuwajibu

    Ila kwa amepost mchambuzi lazima nimkumbushe wajibu wake.

    Wenzako wengi wanalipiwa kodi na mambo mengine.
    Wameshauza akili wanatumia tumbo kufanya kazi ilimradi kuhakikisha taarifa mbaya za Yanga zinasambaa kwa kasi.

    Wewe ni bendera fuata upepo kwa sababu taarifa nzuri ni kuigusa Yanga kwenye eneo hasi. Unapoteza mwelekeo kama ambavyo wenzio wanazidi kuhaha.

    Unapokuwa mwandishi, huwezi kupost kila takataka ya mitandaoni. Unaonesha ni kwa jinsi gani hufany utafiti unaokota okota.

    Hiyo post sio Yangu, huo ukurasa umeandika privadinhoo ambao sio wangu. Ukurasa wangu uko verified kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Kwa akili zako timamu unadhani nilipokuwa mchambuzi nilikuwa punguani? NEVER.

    Nilifanya kazi kwa weledi mkubwa licha ya uwepo wa dosari za hapa na pale. Niliwasifia na niliwakosoa. Wakati Haji anaongea kuhusu mimi kwenye Press hukuwa umekuja mjini?

    Wakati Magori ananipiga spana kuwa nawachafua Simba kwenye ishu za Mabadiliko na Ishu ya Mkude ulikuwa Simiyu au Ushirombo?

    Sijawahi kushabikia hiyo timu brother, hata waliopo ndani ya uongozi wa Makolo wanajua sijawahi kuwa sehemu yao ndio maana safari ya Afrika Kusini wanakufa 4 walikataa nisisafiri ni timu kisa mimi ni Yanga.

    Makolo walikuwa wabovu, kichaka chao ni kusema mimi ni kolo ikiwa wanajua fika nilivaa jezi mbalimbali. Sikuwahi kupoteza muda kujibu huo UPUMBAVU kwa sababu nilijua wanajifariji.

    Mwisho ukiwa na post ujiridhishe na unachopost acha kuokota okota matakataka mitandaoni ambayo yanakudhalilisha.

    Shalom

    Majibu ya Privaldinho. Mata nyingi tunapokosoa hawa waandishi na wachambuzi unaweza kuhisi tunawachukia. Lakini hapana. Ukweli ni kwamba tasnia ya habari za michezo imenajisiwa sana. Mfano hii post inatumika sana na madunduka. Sijawahi kuwajibu maana najua wanajifurahisha. Kwa sababu Rage aliwahi kusema hawa ni mambumbumbu hivyo sina sababy ya kuwajibu Ila kwa amepost mchambuzi lazima nimkumbushe wajibu wake. Wenzako wengi wanalipiwa kodi na mambo mengine. Wameshauza akili wanatumia tumbo kufanya kazi ilimradi kuhakikisha taarifa mbaya za Yanga zinasambaa kwa kasi. Wewe ni bendera fuata upepo kwa sababu taarifa nzuri ni kuigusa Yanga kwenye eneo hasi. Unapoteza mwelekeo kama ambavyo wenzio wanazidi kuhaha. Unapokuwa mwandishi, huwezi kupost kila takataka ya mitandaoni. Unaonesha ni kwa jinsi gani hufany utafiti unaokota okota. Hiyo post sio Yangu, huo ukurasa umeandika privadinhoo ambao sio wangu. Ukurasa wangu uko verified kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Kwa akili zako timamu unadhani nilipokuwa mchambuzi nilikuwa punguani? NEVER. Nilifanya kazi kwa weledi mkubwa licha ya uwepo wa dosari za hapa na pale. Niliwasifia na niliwakosoa. Wakati Haji anaongea kuhusu mimi kwenye Press hukuwa umekuja mjini? Wakati Magori ananipiga spana kuwa nawachafua Simba kwenye ishu za Mabadiliko na Ishu ya Mkude ulikuwa Simiyu au Ushirombo? Sijawahi kushabikia hiyo timu brother, hata waliopo ndani ya uongozi wa Makolo wanajua sijawahi kuwa sehemu yao ndio maana safari ya Afrika Kusini wanakufa 4 walikataa nisisafiri ni timu kisa mimi ni Yanga. Makolo walikuwa wabovu, kichaka chao ni kusema mimi ni kolo ikiwa wanajua fika nilivaa jezi mbalimbali. Sikuwahi kupoteza muda kujibu huo UPUMBAVU kwa sababu nilijua wanajifariji. Mwisho ukiwa na post ujiridhishe na unachopost acha kuokota okota matakataka mitandaoni ambayo yanakudhalilisha. Shalom
    ·282 Views
  • "Nilimuacha Mwanaume kwasababu alikuwa ananijali sana, kila ninachotaka nilikuwa napewa kwa wakati, nikisema hiki sitaki anakubali bila kukataa, nikirudi usiku sana haniambii chochote. Najua alikuwa anafanya hivyo kwasababu alikuwa ananipenda alikuwa anaogopa kunikwaza"

    "Ila kwa upande wangu nilijihisi kupoteza nafasi yangu kama mwanamke, nilikuwa mimi ndio kama Mwanaume nikaamua kuondoka nikarudi ķwa Beka, raha ya mwanaume asiwe amenyooka sana, vurugu kidogo akutingishe-tingishe kiasi, akukataze kwenda mahali fulani unune kidogo basi hapo inakuwa burudani tupu"- Happie Baby, Mama wa Watoto Mpenzi wa Beka Flevour.
    "Nilimuacha Mwanaume kwasababu alikuwa ananijali sana, kila ninachotaka nilikuwa napewa kwa wakati, nikisema hiki sitaki anakubali bila kukataa, nikirudi usiku sana haniambii chochote. Najua alikuwa anafanya hivyo kwasababu alikuwa ananipenda alikuwa anaogopa kunikwaza" "Ila kwa upande wangu nilijihisi kupoteza nafasi yangu kama mwanamke, nilikuwa mimi ndio kama Mwanaume nikaamua kuondoka nikarudi ķwa Beka, raha ya mwanaume asiwe amenyooka sana, vurugu kidogo akutingishe-tingishe kiasi, akukataze kwenda mahali fulani unune kidogo basi hapo inakuwa burudani tupu"- Happie Baby, Mama wa Watoto Mpenzi wa Beka Flevour.
    Love
    1
    1 Comments ·349 Views
  • #love #hate #sweetheart #father #mother #baby #friends #followers
    #love #hate #sweetheart #father #mother #baby #friends #followers
    Like
    Love
    2
    1 Comments ·587 Views ·23 Views
  • Kipindi mjuzi...nachanganya shisha-coffeine...
    Ndo kipindi mrusi...anapigana vita-ukraine...
    Kipindi kigumu...hali taight haiko fine...
    Ni chagundu...ma dealer tuna drug cocaine...
    Tunapigwa chain.. isitumike...hasara...
    nopain... iruhusiwe.. . maana Haina madhara...
    Kipindi msaka-tonge...bila kula Nalala...
    Ndo kipindi boy-konde...anakula Kajala...
    Muun natoroka pindi...la mathe...
    Ndichi tuwashe...Zigi ipakwe.. mate iwake..
    bila makeke...
    Kipindi unalia lia... et baby...usiniache...
    Ndo kipindi mchepuko dia..aje geto nimchape...
    Kipindi cha babu...Hadithi vitabu...miksa kiko pushabu...
    Kipindi cha magu..
    Kumbukumbu ghazabu leo tunaishi kwa tabu...
    Bado hatuna majibu...
    blue anaimba mapozi..
    Ndo kipindi ambacho jaydee analia machozi...
    Trend hakuna kulala...
    Ndo kipindi Zila anotoka na rakunchupa salasala...
    Kipindi mjuzi...nachanganya shisha-coffeine... Ndo kipindi mrusi...anapigana vita-ukraine... Kipindi kigumu...hali taight haiko fine... Ni chagundu...ma dealer tuna drug cocaine... Tunapigwa chain.. isitumike...hasara... nopain... iruhusiwe.. . maana Haina madhara... Kipindi msaka-tonge...bila kula Nalala... Ndo kipindi boy-konde...anakula Kajala... Muun natoroka pindi...la mathe... Ndichi tuwashe...Zigi ipakwe.. mate iwake.. bila makeke... Kipindi unalia lia... et baby...usiniache... Ndo kipindi mchepuko dia..aje geto nimchape... Kipindi cha babu...Hadithi vitabu...miksa kiko pushabu... Kipindi cha magu.. Kumbukumbu ghazabu leo tunaishi kwa tabu... Bado hatuna majibu... blue anaimba mapozi.. Ndo kipindi ambacho jaydee analia machozi... Trend hakuna kulala... Ndo kipindi Zila anotoka na rakunchupa salasala...
    Like
    Love
    2
    ·447 Views
  • My baby
    My baby
    Like
    Love
    2
    ·292 Views
  • My baby
    My baby
    Like
    Love
    2
    ·242 Views
  • Utaskia Sina Baby,, Natokea Kusini..
    Mara Anatokea Baby,, Anayefoj Kuzini..
    Saa hiz napiga lunch,, Afu nazidisha Tizi..
    Yan zitapigwa punch,, Kaa tunakimbiza mwizi..
    Utaskia Sina Baby,, Natokea Kusini.. Mara Anatokea Baby,, Anayefoj Kuzini.. Saa hiz napiga lunch,, Afu nazidisha Tizi.. Yan zitapigwa punch,, Kaa tunakimbiza mwizi..
    Like
    1
    ·167 Views
  • Demu ukimwita getto basi atataka chipsi...
    Sio kavu atakuteta uweke na mishikaki...
    Pembeni ya baridi Pepsi au Mango juice...
    Mara atamisi kuku mazee wizi mtupu...
    Atajifanya amekolea kumbe boda tukutuku...
    Mchizi umejichochea yapweza yamoto supu...
    Muda ukisubilia umchakaze chukuchuku...
    Kabla ya game kuanza atasema subiri kwanza...
    Nadaiwa kikoba ela ya wanja kijora kwa mama sanga...
    Si ushavua mkanda utatoa mkwanja...
    Utampa ela ya kodi nyumba mpka na shamba...
    Atakubeza kwa miguno ili ufungue pochi...
    Umgande konokono mwisho upige saluti...
    Atakuunga mkono akisema baby sikuachi...
    Anaeweza kuflow anipagawishe na verse ya pili
    Nita share screenshot
    𓀬
    Demu ukimwita getto basi atataka chipsi... Sio kavu atakuteta uweke na mishikaki... Pembeni ya baridi Pepsi au Mango juice... Mara atamisi kuku mazee wizi mtupu... Atajifanya amekolea kumbe boda tukutuku... Mchizi umejichochea yapweza yamoto supu... Muda ukisubilia umchakaze chukuchuku... Kabla ya game kuanza atasema subiri kwanza... Nadaiwa kikoba ela ya wanja kijora kwa mama sanga... Si ushavua mkanda utatoa mkwanja... Utampa ela ya kodi nyumba mpka na shamba... Atakubeza kwa miguno ili ufungue pochi... Umgande konokono mwisho upige saluti... Atakuunga mkono akisema baby sikuachi... Anaeweza kuflow anipagawishe na verse ya pili Nita share screenshot 𓀬
    ·303 Views
  • Ana puliza tarumbeta....mikono kwenye piano
    Let me love hallelujah .... Tuimbe pia teamo....//

    Kaniweza ile mbaya... Ana step kama kwaya
    Mlokole nashukulu....kwa maombi haleluya....//

    Mtoto yupo fire....nasimzia nikiwaza
    Ndoa nifunge leo....au nitulie kwanza....//

    Body yake iko clear....mnyama ninajilia
    Na utamu ukinoga .... Nina chaji hadi mia....//

    Let me love you my baby ... Njoo tucheze lege
    Unifanye rose muhando ....kwenye bed unibebe...//

    Coz kwako nina wenge....ukifungua zipu
    We chukua utakacho.... Nitakupa kira kitu....//

    Ntamwambia mama ... Ukinifanya nilie
    Ukinyima moyo wako... Nitajuta kubalee...//

    Ok fanya kama jana....minyia kwa ndani
    Kologa na mwiko ....kwani jiko liko ndani....//

    Mamacta izo wushu.....mie napiga puchu
    Mchizi nakuwa mwehu.... Asa mida ya usiku...//*

    Job naona mbali... Pia napata uvivu
    Kukuacha uwe mpweke.... Kama nina kupa tabu...//
    Ana puliza tarumbeta....mikono kwenye piano Let me love hallelujah .... Tuimbe pia teamo....// Kaniweza ile mbaya... Ana step kama kwaya Mlokole nashukulu....kwa maombi haleluya....// Mtoto yupo fire....nasimzia nikiwaza Ndoa nifunge leo....au nitulie kwanza....// Body yake iko clear....mnyama ninajilia Na utamu ukinoga .... Nina chaji hadi mia....// Let me love you my baby ... Njoo tucheze lege Unifanye rose muhando ....kwenye bed unibebe...// Coz kwako nina wenge....ukifungua zipu We chukua utakacho.... Nitakupa kira kitu....// Ntamwambia mama ... Ukinifanya nilie Ukinyima moyo wako... Nitajuta kubalee...// Ok fanya kama jana....minyia kwa ndani Kologa na mwiko ....kwani jiko liko ndani....// Mamacta izo wushu.....mie napiga puchu Mchizi nakuwa mwehu.... Asa mida ya usiku...//* Job naona mbali... Pia napata uvivu Kukuacha uwe mpweke.... Kama nina kupa tabu...//
    Like
    Love
    4
    ·543 Views
  • Kalikuja kabichi ... Kapole kalokole.....
    Kana heshima ....ata ukijamba kanasem pole....

    Kataratibu ...kana vaa kiadabu..... Kadada ka maombi
    Kwa kwel kastarabu....

    Kana heshima ya nje .....mpka ya ndani......
    ukikatongoza kanakwambia.... njoo nyumban.....

    Kadada flan soft.....baby face yaan noma...
    My neighbor nikakaona napat homa.....nashindwa ra kusema nabaki ka pomboma...kidume nakosa swaga naamua kuuchuna....

    Kana macho ya utata.... Unaweza ukadata...
    Uko nyuma yupo vizur yaan akuna ata mfupa.. .....

    Kananiacha hoi... Na lala nikiwaza ...body kinanda ...
    Ni lin na mm ntachakaza....

    D yakuxhiba ... Nataman kukaiba...
    Nataka nikaweke ndani ...kukapata ndio xhida.......
    Kalikuja kabichi ... Kapole kalokole..... Kana heshima ....ata ukijamba kanasem pole.... Kataratibu ...kana vaa kiadabu..... Kadada ka maombi Kwa kwel kastarabu.... Kana heshima ya nje .....mpka ya ndani...... ukikatongoza kanakwambia.... njoo nyumban..... Kadada flan soft.....baby face yaan noma... My neighbor nikakaona napat homa.....nashindwa ra kusema nabaki ka pomboma...kidume nakosa swaga naamua kuuchuna.... Kana macho ya utata.... Unaweza ukadata... Uko nyuma yupo vizur yaan akuna ata mfupa.. ..... Kananiacha hoi... Na lala nikiwaza ...body kinanda ... Ni lin na mm ntachakaza.... D yakuxhiba ... Nataman kukaiba... Nataka nikaweke ndani ...kukapata ndio xhida.......
    Like
    1
    1 Comments ·205 Views
  • baby kani chenjia
    We mtu gani muhuni una tambulika njia zote
    baby kani chenjia We mtu gani muhuni una tambulika njia zote
    ·148 Views
  • baby kani chenjia
    We mtu gani muhuni una tambulika njia zote
    baby kani chenjia We mtu gani muhuni una tambulika njia zote
    ·134 Views
  • Hahahaha baby face





    #memoryofjosephcharles
    Hahahaha baby face 😈😅😅😅 #memoryofjosephcharles
    Like
    Haha
    Love
    5
    ·163 Views
  • #MY_BABY_BY_DIAMOND_PLATNUMZ
    #MY_BABY_BY_DIAMOND_PLATNUMZ
    Like
    Love
    2
    ·336 Views ·18 Views
  • Haya wapenda nao haooo kama wewe na baby wako mpo kama mpo coz jkt poyeeeee



    Hili ndio linaitwa "love is the beatfull" ilo lenu ni migambo kazin
    Haya wapenda nao haooo kama wewe na baby wako mpo kama mpo coz jkt poyeeeee Hili ndio linaitwa "love is the beatfull" ilo lenu ni migambo kazin
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·234 Views ·49 Views
  • MAPENZI BWANA!
    YAN UNAWEZA UKATOKA JELA NA BADO UKAULIZWA BABY UMENILETEA NIN.


    MAPENZI BWANA!💵 YAN UNAWEZA UKATOKA JELA NA BADO UKAULIZWA BABY UMENILETEA NIN.
    Like
    Haha
    4
    1 Comments ·142 Views
  • Oooh baby Honey, nasikia Barid
    Oooh baby Honey, nasikia Barid
    ·95 Views
  • Baby itakuwa imefatuka end breki
    Baby itakuwa imefatuka end breki 😅😅😅😅
    Love
    1
    ·98 Views ·44 Views