Upgrade to Pro

  • JINSI SHIRIKA LA KIJASUSI LA URUSI FSB {KGB} LILIVYO HATARI....

    Kama waswahili wasemavyo maisha ni safari ndefu na kifo ni Siri, pengine hili ni kweli kutokana na sintofahamu iliyochukua uhai wa Alexander Litvinenko, jasusi wa zamañi wa KGB na baadae FSB ya Urusi ya sasa.

    Tutarudi Sasa tuendelee mwishoni mwa wiki za mwezi wa kumi mwaka 2006 Alexander Litvinenko alipokuwa jijini London alipotorokea baada ya rabsha dhidi ya serikali mjini Moscow, siku hiyo Litvinenko alikuwa ametembelewa na marafiki zake wawili walikuwa wanausalama ndani ya FSB na iliyokuwa KGB Dmitri Kovtun na Andrei Lugovoi, asichokijua ni kwamba wale wawili walikuwa moja ya watu hatari na pia kama wasafirishaji mahiri wa msafiri kama Litvinenko kuliendelea kaburi

    Waliikutana hotelini jijini London wakinywa na kufurahi, siku hiyo Lugovoi na Kovtun wao waliagiza bia wakanywa wakifurahi, unajua nini Litvinenko ye aliagizwa chai ya rangi akanywa huku akiwachekea wasafirishaji wa ule msemo wa kiswahili " maisha ni safari"

    Maskinii Litvinenko alipojichanganya tu Lugovoi na Kovtun wakifanya kazi yao moja waliotumwa na FSB, kumnyamazisha " traitor of the mother Russia"

    Unajua walifanya Nini? Walichukua kemikali hatari sana duniani inayoua taratibu sana jina lake Polonium 210 wakatia katika chai ya Litvinenko. Inavyosemekana alivyorudi walimchekea na kufurahi zaidi kuona Litvinenko alikuwa amesahau mbinu muhimu kabisa ya wanaintelijensia kote duniani ! Kutomwamini mtu hata mama na baba yako.
    Litvinenko alikunywa chai ile

    **********
    Lugovoi na Kovtun walichukua ndege siku tatu baadae haoo Moscow, huko walifanyiwa sherehe ya uhakika wa kazi iliyofanyika isiyo na shaka, Kovtun aliamua kuwa mfanyabiashara mkubwa wakati Lugovoi alipandishwa cheo siku chache baadae.
    ******
    Maskini Litvinenko aliagana na wanyama wale wa kwenye barafu Kama wajiitavyo wao " "bear " lakini akiwapachika majina mazuri yaani marafiki, ndugu, wapenzi kutoka home Russia. Pia aliwauliza vipi watarudi lini kumuona, kimoyomoyo Kovtun na Lugovoi walikua wakicheka na kusikitika kiunafiki,wakijua huyu mtu hana mwezi duniani. Wiki tatu nyingi! atakufa kifo Cha mateso akiwa kitandani amelala.

    ***
    November 1 mwaka 2006 Litvinenko aliugua homa ya ghafla mwili ukiungua kwa namna ya kutisha sana, alipelekwa hospitali mjini London akaishi kwa wiki 3 akiwa hoi kitandani! Wakati akifa akitoa laana kwa Putin akamshutumu amemuua.

    Huo ukawa mwisho wa Litvinenko mtu aliyekuwa ameaminiwa kutunza siri za Russia yeye alizitoa hadharani kwa m16 . Pengine ni chafu sana zenye damu lakini bila shaka kulikuwa pigo kwa vitu hivyo kuwa hadharani. Putin alivuliwa nguo hata asiijifunike.

    Tuzungimzapo Leo ni miaka karibu 12 toka mnyama huyu atutoke.

    Mwaka fulani Putin aliulizwa na mwanahabari mmoja ni kitu gani asichoweza kuvumilia na kusamehe alisema hivi.. Ye ni ngumu sana kuwasamehe wasaliti wa mother Russia.

    Ohh ndo hivyo Litvinenko hakupata bahati ya kusamehewa na Putin hivyo alikwenda.

    Chanzo: na Google
    JINSI SHIRIKA LA KIJASUSI LA URUSI FSB {KGB} LILIVYO HATARI.... Kama waswahili wasemavyo maisha ni safari ndefu na kifo ni Siri, pengine hili ni kweli kutokana na sintofahamu iliyochukua uhai wa Alexander Litvinenko, jasusi wa zamañi wa KGB na baadae FSB ya Urusi ya sasa. Tutarudi Sasa tuendelee mwishoni mwa wiki za mwezi wa kumi mwaka 2006 Alexander Litvinenko alipokuwa jijini London alipotorokea baada ya rabsha dhidi ya serikali mjini Moscow, siku hiyo Litvinenko alikuwa ametembelewa na marafiki zake wawili walikuwa wanausalama ndani ya FSB na iliyokuwa KGB Dmitri Kovtun na Andrei Lugovoi, asichokijua ni kwamba wale wawili walikuwa moja ya watu hatari na pia kama wasafirishaji mahiri wa msafiri kama Litvinenko kuliendelea kaburi Waliikutana hotelini jijini London wakinywa na kufurahi, siku hiyo Lugovoi na Kovtun wao waliagiza bia wakanywa wakifurahi, unajua nini Litvinenko ye aliagizwa chai ya rangi akanywa huku akiwachekea wasafirishaji wa ule msemo wa kiswahili " maisha ni safari" Maskinii Litvinenko alipojichanganya tu Lugovoi na Kovtun wakifanya kazi yao moja waliotumwa na FSB, kumnyamazisha " traitor of the mother Russia" Unajua walifanya Nini? Walichukua kemikali hatari sana duniani inayoua taratibu sana jina lake Polonium 210 wakatia katika chai ya Litvinenko. Inavyosemekana alivyorudi walimchekea na kufurahi zaidi kuona Litvinenko alikuwa amesahau mbinu muhimu kabisa ya wanaintelijensia kote duniani ! Kutomwamini mtu hata mama na baba yako. Litvinenko alikunywa chai ile ********** Lugovoi na Kovtun walichukua ndege siku tatu baadae haoo Moscow, huko walifanyiwa sherehe ya uhakika wa kazi iliyofanyika isiyo na shaka, Kovtun aliamua kuwa mfanyabiashara mkubwa wakati Lugovoi alipandishwa cheo siku chache baadae. ****** Maskini Litvinenko aliagana na wanyama wale wa kwenye barafu Kama wajiitavyo wao " "bear " lakini akiwapachika majina mazuri yaani marafiki, ndugu, wapenzi kutoka home Russia. Pia aliwauliza vipi watarudi lini kumuona, kimoyomoyo Kovtun na Lugovoi walikua wakicheka na kusikitika kiunafiki,wakijua huyu mtu hana mwezi duniani. Wiki tatu nyingi! atakufa kifo Cha mateso akiwa kitandani amelala. *** November 1 mwaka 2006 Litvinenko aliugua homa ya ghafla mwili ukiungua kwa namna ya kutisha sana, alipelekwa hospitali mjini London akaishi kwa wiki 3 akiwa hoi kitandani! Wakati akifa akitoa laana kwa Putin akamshutumu amemuua. Huo ukawa mwisho wa Litvinenko mtu aliyekuwa ameaminiwa kutunza siri za Russia yeye alizitoa hadharani kwa m16 . Pengine ni chafu sana zenye damu lakini bila shaka kulikuwa pigo kwa vitu hivyo kuwa hadharani. Putin alivuliwa nguo hata asiijifunike. Tuzungimzapo Leo ni miaka karibu 12 toka mnyama huyu atutoke. Mwaka fulani Putin aliulizwa na mwanahabari mmoja ni kitu gani asichoweza kuvumilia na kusamehe alisema hivi.. Ye ni ngumu sana kuwasamehe wasaliti wa mother Russia. Ohh ndo hivyo Litvinenko hakupata bahati ya kusamehewa na Putin hivyo alikwenda. Chanzo: na Google
    ·186 Views
  • say anything to your mother, I pray for a long life for my mother
    say anything to your mother, I pray for a long life for my mother 🙏🙏
    Like
    1
    ·211 Views
  • Ni mwanamke fulani mwenye akili na busara. Anayo namna ambayo huleta amani na faraja. Linapokuja suala la mume wake, kwa asilimia zote amejitahidi kumfanya mumewe ajione ni mwanaume bora.

    Amekuwa mwanamke ambae amemuondolea mumewe wasiwasi na kumpa mapenzi kemkem yenye tija. Amekuwa mwanamke ambae amemuonyesa kwamba wanawake wote hawako sawa.

    Mwanamke huyu anafurahia na kujivunia nafasi yake kama msaidizi kwa mume wake. Na anaitendea haki nafasi yake, maana tokea afahamiane na mume wake, mume amepata kuongezeka kimaarifa, busara na kiuchumi.

    Amekuwa chanzo kikubwa cha kumtia moyo mumewe katika kila hatua anayopiga, amefahamu ndoto na malengo ya mumewe, hivyo kwa utashi alionao ameweza kutoa msaada wa mawazo yenye tija, ambayo yameleta neema kwenye ndoa yao.

    Amefahamu kuwa upendo wa mumewe kwake, unaweza kufanya mambo mengi yenye kuleta tija ndani ya ndoa. Pia upendo wake kwa mumewe umemfanya mumewe ajiamini na afanye shughuli zake kwa bidii. Amejitahidi kutokuwa kero kwa mumewe.

    Ingawa kuna mikwaruzano ya hapa na pale ila amejitahidi kuelewa, na mara kwa mara amekuwa akijishusha ili kuepuka ugomvi zaidi. Anaelewa kwamba utii ni bora kuliko sadaka.

    Zawadi kubwa ambayo mwanaume mwenye hekima na busara anaweza kuwa nayo ni kuwa na mwanamke pembeni yake ambae ni jasiri, msaidizi, anae tia moyo, anaempenda na ambae yuko tayari kuwa nae bega kwa bega katika hatua za kimaisha.

    Busara yangu, "No man succeeds without a good woman behind him. It's either a MOTHER or WIFE. If it's both he is TWICE blessed indeed. A healthy and good wife is a mans best wealth."
    Ni mwanamke fulani mwenye akili na busara. Anayo namna ambayo huleta amani na faraja. Linapokuja suala la mume wake, kwa asilimia zote amejitahidi kumfanya mumewe ajione ni mwanaume bora. Amekuwa mwanamke ambae amemuondolea mumewe wasiwasi na kumpa mapenzi kemkem yenye tija. Amekuwa mwanamke ambae amemuonyesa kwamba wanawake wote hawako sawa. Mwanamke huyu anafurahia na kujivunia nafasi yake kama msaidizi kwa mume wake. Na anaitendea haki nafasi yake, maana tokea afahamiane na mume wake, mume amepata kuongezeka kimaarifa, busara na kiuchumi. Amekuwa chanzo kikubwa cha kumtia moyo mumewe katika kila hatua anayopiga, amefahamu ndoto na malengo ya mumewe, hivyo kwa utashi alionao ameweza kutoa msaada wa mawazo yenye tija, ambayo yameleta neema kwenye ndoa yao. Amefahamu kuwa upendo wa mumewe kwake, unaweza kufanya mambo mengi yenye kuleta tija ndani ya ndoa. Pia upendo wake kwa mumewe umemfanya mumewe ajiamini na afanye shughuli zake kwa bidii. Amejitahidi kutokuwa kero kwa mumewe. Ingawa kuna mikwaruzano ya hapa na pale ila amejitahidi kuelewa, na mara kwa mara amekuwa akijishusha ili kuepuka ugomvi zaidi. Anaelewa kwamba utii ni bora kuliko sadaka. Zawadi kubwa ambayo mwanaume mwenye hekima na busara anaweza kuwa nayo ni kuwa na mwanamke pembeni yake ambae ni jasiri, msaidizi, anae tia moyo, anaempenda na ambae yuko tayari kuwa nae bega kwa bega katika hatua za kimaisha. Busara yangu, "No man succeeds without a good woman behind him. It's either a MOTHER or WIFE. If it's both he is TWICE blessed indeed. A healthy and good wife is a mans best wealth."
    ·329 Views
  • #love #hate #sweetheart #father #mother #baby #friends #followers
    #love #hate #sweetheart #father #mother #baby #friends #followers
    Like
    Love
    2
    1 Comments ·588 Views ·23 Views
  • #For_mother
    #For_mother
    Like
    3
    1 Comments ·387 Views
  • ni battle kwa yeyote hata polisi wakitaka..
    kwa vile nipo stimu wanadhani watanidaka..
    nawapiga kwa vina sio mangumi motherfucker..
    ni battle kwa yeyote hata polisi wakitaka.. kwa vile nipo stimu wanadhani watanidaka.. nawapiga kwa vina sio mangumi motherfucker..
    Like
    Love
    4
    ·193 Views
  • Nimejificha Nikizani.. Bado.. Miti inayo Giza...
    Ila naonekana utazan.. Saido... Nti bayo Nkiza....
    Wenetu Wanatia Huruma... dizain... wameshafika Peponi...
    Wakakuta maria na shirima...mezani... kuna Mbege na kuna popkoni...
    Hii Ni baada ya kula Kush... Pindi wanakula Ngada...
    Wakaleta mpaka Uzush... Pindi Mm Naleta Mada...
    Wakanipa Kesi ya upusha... Ili Niozee Jela...
    Mungu Akawakumbusha... Alishamchukua Ata Aliyegundua Hela...
    Vp Dunian tushindwe Kuishi kama Ndugu... mother.. Fucker...
    Wakati Sote Tunaitaman Mbingu.. Na Kule Hakuna Mata... Baka....
    Inaskitisha Wahun Wanabadili dini... Ili wapate... Uroda...
    Wakishapata Chini... Ata Imani inapunguza... Ubora...
    Eyooo... wako wap.... wale Waliogundua...Mapenzi...
    Wamezidiwa Mangapi... Na Waliogundua.... Mabenzi...
    Nimejificha Nikizani.. Bado.. Miti inayo Giza... Ila naonekana utazan.. Saido... Nti bayo Nkiza.... Wenetu Wanatia Huruma... dizain... wameshafika Peponi... Wakakuta maria na shirima...mezani... kuna Mbege na kuna popkoni... Hii Ni baada ya kula Kush... Pindi wanakula Ngada... Wakaleta mpaka Uzush... Pindi Mm Naleta Mada... Wakanipa Kesi ya upusha... Ili Niozee Jela... Mungu Akawakumbusha... Alishamchukua Ata Aliyegundua Hela... Vp Dunian tushindwe Kuishi kama Ndugu... mother.. Fucker... Wakati Sote Tunaitaman Mbingu.. Na Kule Hakuna Mata... Baka.... Inaskitisha Wahun Wanabadili dini... Ili wapate... Uroda... Wakishapata Chini... Ata Imani inapunguza... Ubora... Eyooo... wako wap.... wale Waliogundua...Mapenzi... Wamezidiwa Mangapi... Na Waliogundua.... Mabenzi...
    Like
    2
    ·196 Views
  • walipiga na maneno wakahalibu mwil wangu..
    Namm vile muoga nikahalibu fikra zangu..
    Wanadam ni wadudu cheka nao hiv hv..
    Wengi wana roho mbaya we waone hiv hiv..
    Ata ukisema zuli wata kusema ubaya..
    Binadam cc nyoka tuna uma hadi taya..
    Wakanipa ushujaa waka sema nikomae..
    Hip hop inalipa nikomae nitusue..
    Nazid kaza suli..wananiita mjeuli..
    Ata ndugu zangu awaniombei mazuli..
    Mama naye kaokoka.. Akasema imba kwaya..
    Apo ndipo nkachoka.. kwel bongo bahat mbaya..
    Sikumzalu mother.. Nikarap hadi gospel..
    Nikaongeza na radha.. church nikapata soko..
    Ira bado waliloga.. wali mwaga hadi mboga..
    Nikaondoka na ugali nika waambia mm soja..
    Sikuchoka kuandika.. biti nikatandika..
    Mpak zile za kihindi.. Zote nikachanika..
    walipiga na maneno wakahalibu mwil wangu.. Namm vile muoga nikahalibu fikra zangu.. Wanadam ni wadudu cheka nao hiv hv.. Wengi wana roho mbaya we waone hiv hiv.. Ata ukisema zuli wata kusema ubaya.. Binadam cc nyoka tuna uma hadi taya.. Wakanipa ushujaa waka sema nikomae.. Hip hop inalipa nikomae nitusue.. Nazid kaza suli..wananiita mjeuli.. Ata ndugu zangu awaniombei mazuli.. Mama naye kaokoka.. Akasema imba kwaya.. Apo ndipo nkachoka.. kwel bongo bahat mbaya.. Sikumzalu mother.. Nikarap hadi gospel.. Nikaongeza na radha.. church nikapata soko.. Ira bado waliloga.. wali mwaga hadi mboga.. Nikaondoka na ugali nika waambia mm soja.. Sikuchoka kuandika.. biti nikatandika.. Mpak zile za kihindi.. Zote nikachanika..
    Like
    1
    ·385 Views
  • MPE KILA KITU MWANAMKE ILA BADO ATAKUTAFUTIA SABABU TU

    Na Mwanamke Akiwa Akutaki Atatafuta Visababu Vidogo Vidogo Ilimradi Umpe Talaka

    Hapo Kuna Mawili Uenda Kuna Mtu Anampa Vimaneno Maneno Kuhusu Wewe

    Au Ana Mwanaume Mwingine Ambae Tayari Hisia Zake Kahamishia Kwake

    Ila Sasa Wasichokijua Hawa Viumbe Kwamba Huyo Mwanaume Atakaemfanya Aachane Na Mume Wake

    Hawezi Kumuoa Ng'o Sababu Yule Mwanaume Atajiuliza Kama Kaweza Kuachana Na Mume Wake Kisa Mie Je Siku Mie Nikimuoa Si Ataniacha Na Staili Hii Hii Kama Aliyomuacha Nayo Mume Wake

    Ndo Hapo Unakuta Single Mother Wengi Nyumbani Kwao Mtoto Wa Kike Mpaka Miaka 38 Bado Yupo Kwao

    Si Kwamba Anapenda Ila Tabia Yake Na Matendo Yake Ndo Yanayomkalisha Nyumbani Kwao Mpaka Sasa Hivi

    Japo Wana Kauli Zao Za Kishujaa Utasikia Wanasema Ndoa Kitu Gani?

    Lakini Kusema Ukweli Hakuna Mwanamke Ambae Aitaki Ndoa
    MPE KILA KITU MWANAMKE ILA BADO ATAKUTAFUTIA SABABU TU Na Mwanamke Akiwa Akutaki Atatafuta Visababu Vidogo Vidogo Ilimradi Umpe Talaka Hapo Kuna Mawili Uenda Kuna Mtu Anampa Vimaneno Maneno Kuhusu Wewe Au Ana Mwanaume Mwingine Ambae Tayari Hisia Zake Kahamishia Kwake Ila Sasa Wasichokijua Hawa Viumbe Kwamba Huyo Mwanaume Atakaemfanya Aachane Na Mume Wake Hawezi Kumuoa Ng'o Sababu Yule Mwanaume Atajiuliza Kama Kaweza Kuachana Na Mume Wake Kisa Mie Je Siku Mie Nikimuoa Si Ataniacha Na Staili Hii Hii Kama Aliyomuacha Nayo Mume Wake Ndo Hapo Unakuta Single Mother Wengi Nyumbani Kwao Mtoto Wa Kike Mpaka Miaka 38 Bado Yupo Kwao Si Kwamba Anapenda Ila Tabia Yake Na Matendo Yake Ndo Yanayomkalisha Nyumbani Kwao Mpaka Sasa Hivi Japo Wana Kauli Zao Za Kishujaa Utasikia Wanasema Ndoa Kitu Gani? Lakini Kusema Ukweli Hakuna Mwanamke Ambae Aitaki Ndoa
    ·179 Views