• Nacho Fernandez amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya Saudi Super Cup kujifunga
    ๐Ÿšจ Nacho Fernandez amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya Saudi Super Cup ๐Ÿ† kujifunga
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท166 Views
  • RASMI

    Fainali ya Saudi Arabia super cup itakuwa ni kati ya Al Nasr dhidi ya Al Ahli.

    Al Nasr alifanikiwa kumuondoa Al ittihad kwenye mchezo wa nusu fainali huku Al Ahli akimuondoa Al Qadsiah hii Leo.

    #SportsElite
    RASMI โœ๏ธ Fainali ya Saudi Arabia super cup itakuwa ni kati ya Al Nasr dhidi ya Al Ahli. Al Nasr alifanikiwa kumuondoa Al ittihad kwenye mchezo wa nusu fainali huku Al Ahli akimuondoa Al Qadsiah hii Leo. #SportsElite
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท144 Views
  • Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka

    Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane.

    Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake.

    Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL.

    Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.

    ๐ŸšจVan Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane. Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake. Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL. Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท327 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Kombe la UEFA Super Cup sasa linaenda kuwa la Timu nne na kipute hicho kitapigwa katika ukanda wa Mashariki ya Kati au Marekani,
    inaripoti Telegraph.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Kombe la UEFA Super Cup sasa linaenda kuwa la Timu nne na kipute hicho kitapigwa katika ukanda wa Mashariki ya Kati au Marekani, inaripoti Telegraph. ๐Ÿ†๐Ÿ‘€ #SportsElite
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท296 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Fainali za UEFA Super Cup sasa zitakuwa zinahusisha klabu ๐Ÿ’
    ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Fainali za UEFA Super Cup sasa zitakuwa zinahusisha klabu ๐Ÿ’ ๐Ÿ†๐Ÿ‘€
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท151 Views
  • Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup.

    Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake.

    Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake.
    Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake.

    Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi.

    "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne.

    "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐ŸšจMeneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup. Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake. Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake. Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake. Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi. "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne. "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo. #SportsElite
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท461 Views
  • RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! โšฝ๏ธ

    Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!

    Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
    Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! โšฝ๏ธ

    Source:- Micky Jnr African Football Journalist

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅโšฝ๏ธ ๐Ÿ”ธ Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! ๐Ÿค” Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? ๐Ÿฆ๐ŸŸข๐Ÿ”ต Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ๐ŸŒโšฝ๏ธ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท598 Views
  • Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki.

    Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani.

    #SportsElite
    ๐ŸšจKlabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki. Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani. #SportsElite
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท511 Views
  • โšช๏ธ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid!

    Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote.

    Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: Champions League – 5
    La Liga – 4
    Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup...

    Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye.

    #SportsElite
    ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธโšช๏ธ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid! Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote. ๐Ÿ—“๏ธ Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: ๐Ÿ† Champions League – 5 ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ La Liga – 4 ๐ŸŽ–๏ธ Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup... ๐Ÿ”œ Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye. #SportsElite
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท343 Views
  • Raisi wa Marekani Donald Trump atakuwepo kwenye fainali ya Club World Cup hapo Jumapili..

    (Source: ESPN)

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ Raisi wa Marekani Donald Trump atakuwepo kwenye fainali ya Club World Cup hapo Jumapili.. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (Source: ESPN) #SportsElite
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท219 Views
  • CLUB WORLD CUP
    CLUB WORLD CUP
    Like
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท140 Views
  • Vinícius Júnior ataongeza kandarasi Real Madrid C.F. hadi 2030 baada ya michuano Club World Cup kutamatika....

    (Source: Marca)
    ๐Ÿšจ Vinícius Júnior ataongeza kandarasi Real Madrid C.F. hadi 2030 baada ya michuano Club World Cup kutamatika.... (Source: Marca)
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท180 Views
  • #CLUBWORLDCUP
    hatua ya mtoano
    #CLUBWORLDCUP hatua ya mtoano
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท299 Views
  • ๐‚๐Ž๐๐…๐ˆ๐‘๐Œ๐„๐ƒ: Luka Modriฤ‡ atasaini AC Milan kama mchezaji huru na rasmi atajiunga na miamba hiyo ya Seria A baada ya FIFA Club World Cup! kutamatika.....


    #sportselite
    ๐Ÿšจ ๐‚๐Ž๐๐…๐ˆ๐‘๐Œ๐„๐ƒ: Luka Modriฤ‡ atasaini AC Milan kama mchezaji huru na rasmi atajiunga na miamba hiyo ya Seria A baada ya FIFA Club World Cup! kutamatika..... ๐Ÿงž‍โ™‚๏ธ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท #sportselite
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท342 Views
  • ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Hiki ndio kikosi cha wiki Club World Cup.
    ๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Hiki ndio kikosi cha wiki Club World Cup. ๐ŸŒŽ๐Ÿ†
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท166 Views
  • ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limemsimamisha kushiriki kwenye michezo 4 ya FIFA Club World Cup kiungo wa klabu ya Boca Juniors Ander Herera kwa kosa la kutaka kuingilia maamuzi ya mwamuzi wakati mwamuzi anafuatilia marejeo ya tukio la penalty kwenye mchezo baina ya Boca Juniors dhidi ya Sporting Lisboa e Benfica,

    #sportselite
    ๐Ÿšจ ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limemsimamisha kushiriki kwenye michezo 4 ya FIFA Club World Cup kiungo wa klabu ya Boca Juniors Ander Herera kwa kosa la kutaka kuingilia maamuzi ya mwamuzi wakati mwamuzi anafuatilia marejeo ya tukio la penalty kwenye mchezo baina ya Boca Juniors dhidi ya Sporting Lisboa e Benfica, #sportselite
    Like
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท429 Views
  • * Today's Matches | Live *

    * FIFA Club World Cup*

    * Round 1*

    * AthletiCo Madrid PSG*
    * 9:00 PM *
    * 11:00 PM *
    * 12:30 AM *
    *๏ธ 10:00 PM *

    *Live Link*
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    https://duduumendez.xyz/

    * Bayern Aukland*
    * 9:30 PM *
    *โŒš 8:00 PM *
    *โŒš๏ธ 6:00 PM *
    *โŒš๏ธ 7:00 PM *

    * Live Link*
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match


    * Palmeiras Porto*
    *โŒš๏ธ 3:30 AM *
    * Live Links*
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    More Matches
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    *๐Ÿšจ Today's Matches | Live โ€ผ๏ธ* *๐Ÿ† FIFA Club World Cup* *๐Ÿ”ฐ Round 1* *โ›ณ AthletiCo Madrid ๐Ÿ†š PSG* *โŒš 9:00 PM ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ* *โŒš 11:00 PM ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช* *โŒš 12:30 AM ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ* *โŒš๏ธ 10:00 PM ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ* *๐Ÿ“ฑLive Link* ๐Ÿ‘‰https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match ๐Ÿ‘‰https://duduumendez.xyz/ *โ›ณ Bayern ๐Ÿ†š Aukland* *โŒš 9:30 PM ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ* *โŒš 8:00 PM ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช* *โŒš๏ธ 6:00 PM ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ* *โŒš๏ธ 7:00 PM ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ* *๐Ÿ“ฑ Live Link* ๐Ÿ‘‰ https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match *โ›ณ Palmeiras ๐Ÿ†š Porto* *โŒš๏ธ 3:30 AM ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ* *๐Ÿ“ฑ Live Links* ๐Ÿ‘‰https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match ๐Ÿ‘‰https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match ๐Ÿ“ฑMore Matches๐Ÿ‘‡ https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท646 Views
  • #fifaworldcup ndani ya wiki hii...
    ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ#fifaworldcup ndani ya wiki hii...
    Yay
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท292 Views
  • Match Day | SEMI FINAL

    โšช๏ธ UEFA Nations League

    โ“‚  Spain France
      Midnight
    EAT | 22:00 PM
    EAT | 22:00 PM
      IND | 12:30 AM
      UAE | 11:00 PM
    ZIM | 09:00 PM
    GMT | 19:00
      Live Link
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match


    ๐— ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐˜€:
    โšช๏ธ World Cup Qualification CONMEBOL

    Ecuador Vs Brazil 02:00 EAT
    Paraguay Vs Uruguay 02:00 EAT
    Chile Vs Argentina 04:00 EAT
      https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    #Share

    ๐ƒ๐”๐ƒ๐”๐”_๐Œ๐„๐๐ƒ๐„๐™ V5
    โ–ถ๏ธŽ โ—โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€ 0:41
    โšก Match Day | SEMI FINAL โœจ โšช๏ธ๐ŸŸข UEFA Nations League โ“‚  Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ†š France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ“…  Midnight ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ EAT | 22:00 PM ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช EAT | 22:00 PM ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ  IND | 12:30 AM ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช  UAE | 11:00 PM ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ ZIM | 09:00 PM ๐ŸŒŽ GMT | 19:00 ๐Ÿ“บ  Live Link ๐Ÿ‘‰ https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match ๐Ÿ”ด๐Ÿ”ด ๐— ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐˜€: โšช๏ธ๐ŸŸข World Cup Qualification CONMEBOL Ecuador ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ Vs Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท 02:00 EAT Paraguay ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ Vs Uruguay ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ 02:00 EAT Chile ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฑ Vs Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท 04:00 EAT ๐Ÿ‘‰  https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match #Share โšฝ๐Ÿ”œ ๐ƒ๐”๐ƒ๐”๐”_๐Œ๐„๐๐ƒ๐„๐™ V5 โ–ถ๏ธŽ โ—โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€ 0:41
    0 Reacties ยท0 aandelen ยท807 Views
  • OFFICIAL Chelsea ni timu ya kwanza katika historia kushinda michuano minne tofauti ya UEFA.

    UEFA Europa Conference
    UEFA Champions League
    UEFA Europa League
    UEFA Cup Winner's Cup

    #SportsElite
    ๐Ÿ†๐Ÿ’ฃ OFFICIAL Chelsea ni timu ya kwanza katika historia kushinda michuano minne tofauti ya UEFA. ๐Ÿ† UEFA Europa Conference ๐Ÿ†๐Ÿ† UEFA Champions League ๐Ÿ†๐Ÿ† UEFA Europa League ๐Ÿ†๐Ÿ† UEFA Cup Winner's Cup #SportsElite
    Love
    1
    ยท 0 Reacties ยท0 aandelen ยท641 Views
Zoekresultaten