• Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki.

    Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani.

    #SportsElite
    🚨Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki. Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·177 Views
  • ⚪️ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid!

    Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote.

    Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: Champions League – 5
    La Liga – 4
    Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup...

    Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye.

    #SportsElite
    🇪🇸⚪️ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid! Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote. 🗓️ Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: 🏆 Champions League – 5 🇪🇸 La Liga – 4 🎖️ Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup... 🔜 Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·113 Views
  • Raisi wa Marekani Donald Trump atakuwepo kwenye fainali ya Club World Cup hapo Jumapili..

    (Source: ESPN)

    #SportsElite
    🚨 Raisi wa Marekani Donald Trump atakuwepo kwenye fainali ya Club World Cup hapo Jumapili.. 🇺🇸 (Source: ESPN) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·105 Views
  • CLUB WORLD CUP
    CLUB WORLD CUP
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·66 Views
  • Vinícius Júnior ataongeza kandarasi Real Madrid C.F. hadi 2030 baada ya michuano Club World Cup kutamatika....

    (Source: Marca)
    🚨 Vinícius Júnior ataongeza kandarasi Real Madrid C.F. hadi 2030 baada ya michuano Club World Cup kutamatika.... (Source: Marca)
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·113 Views
  • #CLUBWORLDCUP
    hatua ya mtoano
    #CLUBWORLDCUP hatua ya mtoano
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·143 Views
  • 𝐂𝐎𝐍𝐅𝐈𝐑𝐌𝐄𝐃: Luka Modrić atasaini AC Milan kama mchezaji huru na rasmi atajiunga na miamba hiyo ya Seria A baada ya FIFA Club World Cup! kutamatika.....


    #sportselite
    🚨 𝐂𝐎𝐍𝐅𝐈𝐑𝐌𝐄𝐃: Luka Modrić atasaini AC Milan kama mchezaji huru na rasmi atajiunga na miamba hiyo ya Seria A baada ya FIFA Club World Cup! kutamatika..... 🧞‍♂️🇭🇷 #sportselite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·214 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Hiki ndio kikosi cha wiki Club World Cup.
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Hiki ndio kikosi cha wiki Club World Cup. 🌎🏆
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·97 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limemsimamisha kushiriki kwenye michezo 4 ya FIFA Club World Cup kiungo wa klabu ya Boca Juniors Ander Herera kwa kosa la kutaka kuingilia maamuzi ya mwamuzi wakati mwamuzi anafuatilia marejeo ya tukio la penalty kwenye mchezo baina ya Boca Juniors dhidi ya Sporting Lisboa e Benfica,

    #sportselite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limemsimamisha kushiriki kwenye michezo 4 ya FIFA Club World Cup kiungo wa klabu ya Boca Juniors Ander Herera kwa kosa la kutaka kuingilia maamuzi ya mwamuzi wakati mwamuzi anafuatilia marejeo ya tukio la penalty kwenye mchezo baina ya Boca Juniors dhidi ya Sporting Lisboa e Benfica, #sportselite
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·252 Views
  • * Today's Matches | Live *

    * FIFA Club World Cup*

    * Round 1*

    * AthletiCo Madrid PSG*
    * 9:00 PM *
    * 11:00 PM *
    * 12:30 AM *
    *️ 10:00 PM *

    *Live Link*
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    https://duduumendez.xyz/

    * Bayern Aukland*
    * 9:30 PM *
    *⌚ 8:00 PM *
    *⌚️ 6:00 PM *
    *⌚️ 7:00 PM *

    * Live Link*
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match


    * Palmeiras Porto*
    *⌚️ 3:30 AM *
    * Live Links*
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    More Matches
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    *🚨 Today's Matches | Live ‼️* *🏆 FIFA Club World Cup* *🔰 Round 1* *⛳ AthletiCo Madrid 🆚 PSG* *⌚ 9:00 PM 🇿🇼* *⌚ 11:00 PM 🇦🇪* *⌚ 12:30 AM 🇮🇳* *⌚️ 10:00 PM 🇹🇿* *📱Live Link* 👉https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 👉https://duduumendez.xyz/ *⛳ Bayern 🆚 Aukland* *⌚ 9:30 PM 🇮🇳* *⌚ 8:00 PM 🇦🇪* *⌚️ 6:00 PM 🇿🇼* *⌚️ 7:00 PM 🇹🇿* *📱 Live Link* 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match *⛳ Palmeiras 🆚 Porto* *⌚️ 3:30 AM 🇮🇳* *📱 Live Links* 👉https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 👉https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 📱More Matches👇 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·403 Views
  • #fifaworldcup ndani ya wiki hii...
    🔥🔥#fifaworldcup ndani ya wiki hii...
    Yay
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·199 Views
  • Match Day | SEMI FINAL

    ⚪️ UEFA Nations League

    Ⓜ  Spain France
      Midnight
    EAT | 22:00 PM
    EAT | 22:00 PM
      IND | 12:30 AM
      UAE | 11:00 PM
    ZIM | 09:00 PM
    GMT | 19:00
      Live Link
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match


    𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀:
    ⚪️ World Cup Qualification CONMEBOL

    Ecuador Vs Brazil 02:00 EAT
    Paraguay Vs Uruguay 02:00 EAT
    Chile Vs Argentina 04:00 EAT
      https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    #Share

    𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V5
    ▶︎ ●────────── 0:41
    ⚡ Match Day | SEMI FINAL ✨ ⚪️🟢 UEFA Nations League Ⓜ  Spain 🇪🇸 🆚 France 🇫🇷 📅  Midnight 🇹🇿 EAT | 22:00 PM 🇰🇪 EAT | 22:00 PM 🇮🇳  IND | 12:30 AM 🇦🇪  UAE | 11:00 PM 🇿🇼 ZIM | 09:00 PM 🌎 GMT | 19:00 📺  Live Link 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 🔴🔴 𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀: ⚪️🟢 World Cup Qualification CONMEBOL Ecuador 🇪🇨 Vs Brazil 🇧🇷 02:00 EAT Paraguay 🇵🇾 Vs Uruguay 🇺🇾 02:00 EAT Chile 🇨🇱 Vs Argentina 🇦🇷 04:00 EAT 👉  https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match #Share ⚽🔜 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V5 ▶︎ ●────────── 0:41
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·537 Views
  • OFFICIAL Chelsea ni timu ya kwanza katika historia kushinda michuano minne tofauti ya UEFA.

    UEFA Europa Conference
    UEFA Champions League
    UEFA Europa League
    UEFA Cup Winner's Cup

    #SportsElite
    🏆💣 OFFICIAL Chelsea ni timu ya kwanza katika historia kushinda michuano minne tofauti ya UEFA. 🏆 UEFA Europa Conference 🏆🏆 UEFA Champions League 🏆🏆 UEFA Europa League 🏆🏆 UEFA Cup Winner's Cup #SportsElite
    Love
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·443 Views
  • #clubworldcup
    #clubworldcup
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·324 Views
  • CAF CONFEDERATION CUP
    .
    STELLENBOSCH SIMBA SC
    16:00
    Moses Mabhida
    .
    Jioni ya leo, Tanzania Yote itasimama kwa dakika 90 kuanzia saa 10:00 jioni. Ni mchezo ambao SIMBA SC wanahitaji sare au ushindi ili waweze Kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
    .
    Kila la kheri @SimbaSCTanzania

    #paulswai
    CAF CONFEDERATION CUP 🏆 . 🇿🇦 STELLENBOSCH 🆚 SIMBA SC 🇹🇿 ⏰ 16:00 🏟️ Moses Mabhida . Jioni ya leo, Tanzania 🇹🇿 Yote itasimama kwa dakika 90 kuanzia saa 10:00 jioni. Ni mchezo ambao SIMBA SC wanahitaji sare au ushindi ili waweze Kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. . Kila la kheri @SimbaSCTanzania 🇹🇿 #paulswai
    Like
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·975 Views
  • Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa amekubali kujiweka pembeni kwenye kusimamia Uwanja baada ya ombi la Wazee wa klabu ya Simba SC kumtaka kufanya hivyo mpaka mwisho wa mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) Kati ya Simba SC dhidi ya All Masry ya Misri utakaochezwa keshokutwa April 9, 2025

    Wazee wa klabu ya Simba SC walienda kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa asubuhi wakimtaka Meneja wa Uwanja huo kuondoka mara moja kwa sababu hawana imani naye wakihofia kuwa anaweza kuwahujumu kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Al Masry. Wazee hao wanadai kuwa hata mchezo wao dhidi ya klabu ya Yanga SC ulioahirishwa chanzo ilikuwa yeye Meneja

    Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa amekubali kujiweka pembeni kwenye kusimamia Uwanja baada ya ombi la Wazee wa klabu ya Simba SC kumtaka kufanya hivyo mpaka mwisho wa mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) Kati ya Simba SC dhidi ya All Masry ya Misri 🇪🇬 utakaochezwa keshokutwa April 9, 2025 Wazee wa klabu ya Simba SC walienda kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa asubuhi wakimtaka Meneja wa Uwanja huo kuondoka mara moja kwa sababu hawana imani naye wakihofia kuwa anaweza kuwahujumu kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Al Masry. Wazee hao wanadai kuwa hata mchezo wao dhidi ya klabu ya Yanga SC ulioahirishwa chanzo ilikuwa yeye Meneja
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·758 Views
  • "Waamuzi wetu waliangalia world cup 2022? Basi hata Saudi pro league inaonyeshwa kwenye visimbuzi ambavyo wako navyo majumbani mwao.

    Na sio leo tu, ni kama wameiweka akilini kuwa dakika za nyongeza ni kadhaa tu bila kuangalia matukio yaliyo simamisha mchezo kwenye kipindi husika" - George Job, Mchambuzi.
    "Waamuzi wetu waliangalia world cup 2022? Basi hata Saudi pro league inaonyeshwa kwenye visimbuzi ambavyo wako navyo majumbani mwao. Na sio leo tu, ni kama wameiweka akilini kuwa dakika za nyongeza ni kadhaa tu bila kuangalia matukio yaliyo simamisha mchezo kwenye kipindi husika" - George Job, Mchambuzi.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·324 Views
  • Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) limetangaza zawadi zitakazotolewa kwa Washiriki wa michuano ya Kombe la Dunia la Klabu (FIFA CLUB WORLD CUP), ambapo bingwa wa michuano hiyo atapata dola milioni 125 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 300 za kitanzania huku kukitarajiwa kutolewa jumla ya dola bilioni 1 kwa klabu 32 zitakavyoshiriki na dola milioni 250 zitatolewa kwa mashirikisho kwa ajili kukuza mpira wa miguu kwa ngazi ya klabu Duniani.

    Shirikisho hilo limepanga kutoa dola milioni 250 ili kusaidia maendeleo ya mpira wa miguu kwa kiwango cha kimataifa ambapo fedha hizi zitatumika kusaidia klabu ndogo, kuboresha miundombinu, kuwekeza katika mafunzo ya Wachezaji na Makocha pamoja na kuimarisha ushirikiano wa klabu kimataifa.

    Aidha, pango huu unalenga kuhakikisha kuwa maendeleo ya mpira wa miguu hayaishii kwa klabu kubwa pekee, bali pia yanawanufaisha hadi klabu dogo na kuinua mpira wa Duniani kote. FIFA pia imesisitiza kuwa, mapato yote ya mashindano haya yatasambazwa kwa klabu bila kugusa akiba yake, ambayo inatumiwa kwa maendeleo ya mpira wa miguu kupitia Vyama (211) Wanachama wa FIFA.

    Mfumo huu ni mkubwa zaidi katika historia ya mpira wa miguu, ukiwa na mechi saba (7) kwenye hatua ya makundi na mfumo wa mchujo.

    Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) limetangaza zawadi zitakazotolewa kwa Washiriki wa michuano ya Kombe la Dunia la Klabu (FIFA CLUB WORLD CUP), ambapo bingwa wa michuano hiyo atapata dola milioni 125 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 300 za kitanzania huku kukitarajiwa kutolewa jumla ya dola bilioni 1 kwa klabu 32 zitakavyoshiriki na dola milioni 250 zitatolewa kwa mashirikisho kwa ajili kukuza mpira wa miguu kwa ngazi ya klabu Duniani. Shirikisho hilo limepanga kutoa dola milioni 250 ili kusaidia maendeleo ya mpira wa miguu kwa kiwango cha kimataifa ambapo fedha hizi zitatumika kusaidia klabu ndogo, kuboresha miundombinu, kuwekeza katika mafunzo ya Wachezaji na Makocha pamoja na kuimarisha ushirikiano wa klabu kimataifa. Aidha, pango huu unalenga kuhakikisha kuwa maendeleo ya mpira wa miguu hayaishii kwa klabu kubwa pekee, bali pia yanawanufaisha hadi klabu dogo na kuinua mpira wa Duniani kote. FIFA pia imesisitiza kuwa, mapato yote ya mashindano haya yatasambazwa kwa klabu bila kugusa akiba yake, ambayo inatumiwa kwa maendeleo ya mpira wa miguu kupitia Vyama (211) Wanachama wa FIFA. Mfumo huu ni mkubwa zaidi katika historia ya mpira wa miguu, ukiwa na mechi saba (7) kwenye hatua ya makundi na mfumo wa mchujo.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·869 Views
  • Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC

    Anatokea mwehu mmoja anamdhihaki huyu Rais au kikundi cha vijana wa hovyo wanadhihaki Mamlaka za mpira wetu, Hii Nchi uhuru umepitiliza sana

    Wallace Karia, TFF na Bodi ya Ligi Wanapaswa kuheshimiwa, kuenziwa, kutunzwa na kulindwa maana wamefanya kazi kubwa na wanaendelea kufanya kazi kubwa kwenye mpira wetu

    Yote tuliyokua tunayaota kwenye mpira sasa hivi yanatokea, yale tuliyodhani ni magumu kwa Karia yamewezekana

    Na kama haitoshi tunaiona kesho njema ya mpira wa Tanzania chini ya Karia na wenzake

    President @wallacekaria na Uongozi wako wa TFF na Bodi ya ligi msirudi nyuma na msikubali mtu akaturudisha nyuma sasa hivi tunawaza World Cup tunawaza Utawala wa AFCON na Ubingwa Afrika ngazi klabu

    KAMA HUMPENDI KARIA PENDA MAFANIKIO YAKE"

    Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC ✍️ Anatokea mwehu mmoja anamdhihaki huyu Rais au kikundi cha vijana wa hovyo wanadhihaki Mamlaka za mpira wetu, Hii Nchi uhuru umepitiliza sana Wallace Karia, TFF na Bodi ya Ligi Wanapaswa kuheshimiwa, kuenziwa, kutunzwa na kulindwa maana wamefanya kazi kubwa na wanaendelea kufanya kazi kubwa kwenye mpira wetu Yote tuliyokua tunayaota kwenye mpira sasa hivi yanatokea, yale tuliyodhani ni magumu kwa Karia yamewezekana Na kama haitoshi tunaiona kesho njema ya mpira wa Tanzania chini ya Karia na wenzake President @wallacekaria na Uongozi wako wa TFF na Bodi ya ligi msirudi nyuma na msikubali mtu akaturudisha nyuma sasa hivi tunawaza World Cup tunawaza Utawala wa AFCON na Ubingwa Afrika ngazi klabu KAMA HUMPENDI KARIA PENDA MAFANIKIO YAKE"
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·920 Views
  • MNYAMA ANATINGA 16 BORA FA CUP
    .
    FT: SIMBA SC 3-0 TMA


    #paulswai
    MNYAMA ANATINGA 16 BORA FA CUP . FT: SIMBA SC 3-0 TMA #paulswai
    Like
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·782 Views
Arama Sonuçları