0 التعليقات
·0 المشاركات
·168 مشاهدة
-
RASMI
Fainali ya Saudi Arabia super cup itakuwa ni kati ya Al Nasr dhidi ya Al Ahli.
Al Nasr alifanikiwa kumuondoa Al ittihad kwenye mchezo wa nusu fainali huku Al Ahli akimuondoa Al Qadsiah hii Leo.
#SportsEliteRASMI ✍️ Fainali ya Saudi Arabia super cup itakuwa ni kati ya Al Nasr dhidi ya Al Ahli. Al Nasr alifanikiwa kumuondoa Al ittihad kwenye mchezo wa nusu fainali huku Al Ahli akimuondoa Al Qadsiah hii Leo. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·146 مشاهدة -
Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka
Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane.
Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake.
Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL.
Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.
🚨Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane. Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake. Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL. Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.0 التعليقات ·0 المشاركات ·330 مشاهدة -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Kombe la UEFA Super Cup sasa linaenda kuwa la Timu nne na kipute hicho kitapigwa katika ukanda wa Mashariki ya Kati au Marekani,
inaripoti Telegraph.
#SportsElite🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Kombe la UEFA Super Cup sasa linaenda kuwa la Timu nne na kipute hicho kitapigwa katika ukanda wa Mashariki ya Kati au Marekani, inaripoti Telegraph. 🏆👀 #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·297 مشاهدة -
0 التعليقات ·0 المشاركات ·152 مشاهدة
-
Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup.
Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake.
Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake.
Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake.
Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi.
"Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne.
"Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo.
#SportsElite🚨🚨Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup. Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake. Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake. Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake. Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi. "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne. "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·464 مشاهدة -
RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ⚽️
Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!
Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ⚽️
Source:- Micky Jnr African Football Journalist
#SportsElite🚨🚨 RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! 🇹🇿🔥⚽️ 🔸 Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! 🤔 Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? 🦁🟢🔵 Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! 🌍⚽️ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·602 مشاهدة -
Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki.
Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani.
#SportsElite🚨Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki. Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·512 مشاهدة -
⚪️ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid!
Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote.
Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: Champions League – 5
La Liga – 4
Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup...
Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye.
#SportsElite🇪🇸⚪️ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid! Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote. 🗓️ Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: 🏆 Champions League – 5 🇪🇸 La Liga – 4 🎖️ Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup... 🔜 Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·344 مشاهدة -
Raisi wa Marekani Donald Trump atakuwepo kwenye fainali ya Club World Cup hapo Jumapili..
(Source: ESPN)
#SportsElite🚨 Raisi wa Marekani Donald Trump atakuwepo kwenye fainali ya Club World Cup hapo Jumapili.. 🇺🇸 (Source: ESPN) #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·220 مشاهدة -
-
0 التعليقات ·0 المشاركات ·181 مشاهدة
-
-
𝐂𝐎𝐍𝐅𝐈𝐑𝐌𝐄𝐃: Luka Modrić atasaini AC Milan kama mchezaji huru na rasmi atajiunga na miamba hiyo ya Seria A baada ya FIFA Club World Cup! kutamatika.....
#sportselite🚨 𝐂𝐎𝐍𝐅𝐈𝐑𝐌𝐄𝐃: Luka Modrić atasaini AC Milan kama mchezaji huru na rasmi atajiunga na miamba hiyo ya Seria A baada ya FIFA Club World Cup! kutamatika..... 🧞♂️🇭🇷 #sportselite0 التعليقات ·0 المشاركات ·343 مشاهدة -
0 التعليقات ·0 المشاركات ·167 مشاهدة
-
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limemsimamisha kushiriki kwenye michezo 4 ya FIFA Club World Cup kiungo wa klabu ya Boca Juniors Ander Herera kwa kosa la kutaka kuingilia maamuzi ya mwamuzi wakati mwamuzi anafuatilia marejeo ya tukio la penalty kwenye mchezo baina ya Boca Juniors dhidi ya Sporting Lisboa e Benfica,
#sportselite🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limemsimamisha kushiriki kwenye michezo 4 ya FIFA Club World Cup kiungo wa klabu ya Boca Juniors Ander Herera kwa kosa la kutaka kuingilia maamuzi ya mwamuzi wakati mwamuzi anafuatilia marejeo ya tukio la penalty kwenye mchezo baina ya Boca Juniors dhidi ya Sporting Lisboa e Benfica, #sportselite -
* Today's Matches | Live *
* FIFA Club World Cup*
* Round 1*
* AthletiCo Madrid PSG*
* 9:00 PM *
* 11:00 PM *
* 12:30 AM *
*️ 10:00 PM *
*Live Link*
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
https://duduumendez.xyz/
* Bayern Aukland*
* 9:30 PM *
*⌚ 8:00 PM *
*⌚️ 6:00 PM *
*⌚️ 7:00 PM *
* Live Link*
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
* Palmeiras Porto*
*⌚️ 3:30 AM *
* Live Links*
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
More Matches
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
*🚨 Today's Matches | Live ‼️* *🏆 FIFA Club World Cup* *🔰 Round 1* *⛳ AthletiCo Madrid 🆚 PSG* *⌚ 9:00 PM 🇿🇼* *⌚ 11:00 PM 🇦🇪* *⌚ 12:30 AM 🇮🇳* *⌚️ 10:00 PM 🇹🇿* *📱Live Link* 👉https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 👉https://duduumendez.xyz/ *⛳ Bayern 🆚 Aukland* *⌚ 9:30 PM 🇮🇳* *⌚ 8:00 PM 🇦🇪* *⌚️ 6:00 PM 🇿🇼* *⌚️ 7:00 PM 🇹🇿* *📱 Live Link* 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match *⛳ Palmeiras 🆚 Porto* *⌚️ 3:30 AM 🇮🇳* *📱 Live Links* 👉https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 👉https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 📱More Matches👇 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match0 التعليقات ·0 المشاركات ·649 مشاهدة -
-
Match Day | SEMI FINAL
⚪️ UEFA Nations League
Ⓜ Spain France
Midnight
EAT | 22:00 PM
EAT | 22:00 PM
IND | 12:30 AM
UAE | 11:00 PM
ZIM | 09:00 PM
GMT | 19:00
Live Link
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀:
⚪️ World Cup Qualification CONMEBOL
Ecuador Vs Brazil 02:00 EAT
Paraguay Vs Uruguay 02:00 EAT
Chile Vs Argentina 04:00 EAT
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
#Share
𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V5
▶︎ ●────────── 0:41⚡ Match Day | SEMI FINAL ✨ ⚪️🟢 UEFA Nations League Ⓜ Spain 🇪🇸 🆚 France 🇫🇷 📅 Midnight 🇹🇿 EAT | 22:00 PM 🇰🇪 EAT | 22:00 PM 🇮🇳 IND | 12:30 AM 🇦🇪 UAE | 11:00 PM 🇿🇼 ZIM | 09:00 PM 🌎 GMT | 19:00 📺 Live Link 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 🔴🔴 𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀: ⚪️🟢 World Cup Qualification CONMEBOL Ecuador 🇪🇨 Vs Brazil 🇧🇷 02:00 EAT Paraguay 🇵🇾 Vs Uruguay 🇺🇾 02:00 EAT Chile 🇨🇱 Vs Argentina 🇦🇷 04:00 EAT 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match #Share ⚽🔜 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V5 ▶︎ ●────────── 0:410 التعليقات ·0 المشاركات ·809 مشاهدة -
OFFICIAL Chelsea ni timu ya kwanza katika historia kushinda michuano minne tofauti ya UEFA.
UEFA Europa Conference
UEFA Champions League
UEFA Europa League
UEFA Cup Winner's Cup
#SportsElite🏆💣 OFFICIAL Chelsea ni timu ya kwanza katika historia kushinda michuano minne tofauti ya UEFA. 🏆 UEFA Europa Conference 🏆🏆 UEFA Champions League 🏆🏆 UEFA Europa League 🏆🏆 UEFA Cup Winner's Cup #SportsElite
الصفحات المعززة