• Kwa mujibu wa Sheria , kanuni na utaratibu wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), Mchezaji anaruhusiwa kucheza Taifa ya Nchi husika (Tanzania) endapo atakuwa na vigezo vifuatavyo:

    - Amezaliwa Tanzania
    - Baba yake au Mama yake amezaliwa Tanzania
    - Babu yake au Bibi yake amezaliwa Tanzania
    - Ameishi Tanzania angalau miaka mitatu (3) Kabla hajafikisha miaka kumi (10)

    - Ameishi Tanzania akiwa na umri kati ya miaka 10-18 kwa angalau miaka mitano (5). Na kama ni kuanzia miaka (18) nayo ni miaka mitano (5)

    - Mchezaji lazima atoe ushahidi Kwamba sababu ambazo zimemfanya aje Tanzania sio za kimpira.

    Kwa mujibu wa Sheria , kanuni na utaratibu wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), Mchezaji anaruhusiwa kucheza Taifa ya Nchi husika (Tanzania) endapo atakuwa na vigezo vifuatavyo: - Amezaliwa Tanzania - Baba yake au Mama yake amezaliwa Tanzania - Babu yake au Bibi yake amezaliwa Tanzania - Ameishi Tanzania angalau miaka mitatu (3) Kabla hajafikisha miaka kumi (10) - Ameishi Tanzania akiwa na umri kati ya miaka 10-18 kwa angalau miaka mitano (5). Na kama ni kuanzia miaka (18) nayo ni miaka mitano (5) - Mchezaji lazima atoe ushahidi Kwamba sababu ambazo zimemfanya aje Tanzania sio za kimpira.
    Like
    1
    ยท 1 Comments ยท0 Shares ยท262 Views
  • Kwa faida ya wengi ambao wanahoji kuhusu Kibu Denis na Uraia, ikawaje picha akacheza timu ya Taifa na FIFA wakapitisha, mkapitie kwenye website ya FIFA kuhusu “Guide to submitting a request for eligibility or change of association “

    Hapo FIFA wana mambo mawili kubadili Mashirikisho ama kuomba uhalali wa kucheza timu ya taifa, mfano Pacome akitaka kucheza Tanzania anaangukia kigezo cha kubadili Mashirikisho (Change of association) ila KIBU wakati anataka kucheza Tanzania, tuliomba uhalali ambapo tukaangukia kigezo cha “Request for eligibility “ kwakuwa Kibu ni Mkimbizi na hakuwa Raia wa Congo na hata angekuwa Raia bado ni rahisi kwakuwa ana haki ya Ukimbizi FIFA wanaitambua.

    Sasa FIFA kwenye eneo hilo kwa mujibu wa RGAS, kifungu cha saba (7) ambapo KIBU kukimbilia Tanzania haikuwa kwasababu za Kimpira bali kusaka Hifadhi hivyo ilihitajika cheti chake cha Ukimbizi na sababu za Kibinadamu, hiyo haina mlolongo wowote mrefu, anakidhi vigezo kwa haraka na anatwanga timu ya Taifa.

    Hivyo KIBU ni kesi tofauti na hii ya Wachezaji wa Singida.
    (Farhan JR)

    Kwa faida ya wengi ambao wanahoji kuhusu Kibu Denis na Uraia, ikawaje picha akacheza timu ya Taifa na FIFA wakapitisha, mkapitie kwenye website ya FIFA kuhusu “Guide to submitting a request for eligibility or change of association “ Hapo FIFA wana mambo mawili kubadili Mashirikisho ama kuomba uhalali wa kucheza timu ya taifa, mfano Pacome akitaka kucheza Tanzania anaangukia kigezo cha kubadili Mashirikisho (Change of association) ila KIBU wakati anataka kucheza Tanzania, tuliomba uhalali ambapo tukaangukia kigezo cha “Request for eligibility “ kwakuwa Kibu ni Mkimbizi na hakuwa Raia wa Congo na hata angekuwa Raia bado ni rahisi kwakuwa ana haki ya Ukimbizi FIFA wanaitambua. Sasa FIFA kwenye eneo hilo kwa mujibu wa RGAS, kifungu cha saba (7) ambapo KIBU kukimbilia Tanzania haikuwa kwasababu za Kimpira bali kusaka Hifadhi hivyo ilihitajika cheti chake cha Ukimbizi na sababu za Kibinadamu, hiyo haina mlolongo wowote mrefu, anakidhi vigezo kwa haraka na anatwanga timu ya Taifa. Hivyo KIBU ni kesi tofauti na hii ya Wachezaji wa Singida. (Farhan JR)
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท284 Views
  • SHERIA YA URAIA NA UHALALI WA WACHEZAJI WA SINGIDA BIG STARS & SIMBA KUPEWA URAIA WA TANZANIA


    Ijumaa, Januari 24, 2025


    1. Usuli

    Jana, Januari 23, 2025, Idara ya Uhamiaji ilieleza kuwa wachezaji watatu (3) wa Singida Big Stars (EK Keyeke, JA Bada & MD Camara) wamepewa uraia tajnisi wa Tanzania kwa mujibu wa vifungu vya 9 & 23 vya Sheria ya Uraia Sura ya 357.

    Kabla jogoo halijawika, klabu ya Simba nayo jana hiyohiyo ikaomba wachezaji wake 9 wa kigeni nao wapewe uraia wa Tanzania.

    2. Wageni Kupewa Uraia kwasababu ya Mbungi Si Jambo Geni

    Si jambo geni kwa wageni kupewa uraia kwasababu ya mbungi. Mfano mzuri ni nchi ya Tunisia.

    Tunisia ilimpa uraia Mbrazil Jose Clayton mwaka 1998 na akaichezea Tunisia michuano ya FIFA (kombe la dunia nchini Ufaransa).

    Tunisia pia ilimpa uraia raia wa Brazil, Franchine Silva dos Santos, mwaka 2000 na akaichezea Tunisia michuano ya FIFA.

    Toka mwaka jana 2024, wananchi wa Tunisia wanashinikiza Mbrazil mwingine, Rodrigo Rodriguez, apewe uraia wa Tunisia. Mshambuliaji huyo wa Esperance de Tunis ni moto wa kuotea mbali.

    Kwa mujibu wa sheria za Tunia, ili mgeni aweze kupewa uraia ni lazma awe amekaa Tunisia si chini ya miaka 5. Hata hivyo, Waziri ameruhusiwa kumpa mgeni uraia iwapo huyo mwombaji _"has provided great services to the country"_.


    3. Wachezaji 3 wa Singida Black Stars

    3.1 Emmanuel Kwame Keyeke

    Huyu raia wa Ghana ni fundi. Ni fundi kwelikweli. Ndiye Mchezaji Bora wa Ligi ya ndani ya Ghana 2023/24.

    Toka asajiliwe Julai 2024 na Singida Black Stars _amekiwasha_ kwelikweli. Ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi mara Nne !

    3.2 Josephat Athur Bada

    Singida Black Stars ilimsajili Julai 2024 kiungo huyu raia wa Ivory Coast baada ya kuizidi ujanja Ismailia ya Masri.

    3.3 Mohammed Damaro Camara

    Kiungo huyu alisajiliwa Julai 2024.


    4. Kifungu cha 9 & 23

    4.1 Kifungu cha 9 cha Sheria ya Uraia kinaeleza:

    4.1.1 Kifungu cha 9(1) kinaeleza kuwa mgeni yeyote mwenye miaka 18 au zaidi aweza kuomba uraia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani na ataweza kupewa uraia tajnisi iwapo ametimiza masharti ya Jedwali la Pili.

    4.2 Kifungu cha 23 kinaeleza kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hatalazimika kutoa sababu yoyote baada ya kukubali au kukataa maombi ya uraia na uamuzi huo wa Waziri utakuwa wa mwisho na hautaweza kukatiwa rufaa wala kupingwa mahakamani.

    4.3 Jedwali la Pili

    Jedwali la Pili limeweka masharti kadhaa. Sharti moja linaeleza : _"The applicant must have an adequate knowledge of Kiswahili or the English language"_.


    5. Maswali chechefu:

    5.1 Je, wachezaji Josephat Athur Bada na Mohammed Damaro Camara ambao wanazungumza kifaransa tu wamewezaje kukidhi kigezo cha kuwa na _*"ADEQUATE* knowledge"_ ya Kiswahili au Kiingereza ndani ya miezi 6 tu ?

    5.2 Je, Waziri wa Mambo ya Ndani anafahamu kuwa Kisheria ingawa Sheria inaeleza kuwa _"Uamuzi wa Waziri ni wa Mwisho"_, haimaanishi kuwa Waziri akisigina Sheria, uamuzi hauwezi kupingwa? Yapo maamuzi mengi ya Mahakama Kuu yaelezeayo msimamo huu kuntu wa sheria mf :

    5.2.1 Tanzania Air Services Ltd Vs Minister for Labour (1996) TLR 217

    _*"The decision that the Minister's decision is final and conclusive does not mean that the decision cannot be reviewed by the High court. Indeed no appeal against such decision but an aggrieved party may come to the High court and ask for prerogative orders"*_.

    5.2.2 Ben Kahale Vs AG*, Misc. Civil cause 23/2019:

    _*"Our understanding is that when the decision of the Minister is final, it doesn't oust jurisdiction of the court as final authority in dispensation of justice. We say so because the decision may still be subject to Judicial review"*_.

    5.2 Je, kwanini Uomgozi wa Simba ndio uliowaombea wachezaji wake 9 uraia badala ya kila Mchezaji kuomba kama walivyofanya wale wachezaji 3 wa Singida Black Stars? Iweje timu kongwe kama Simba izidiwe uelewa na Singida Black Stars kuhusu mchakato huu ? Simba imekiri kwenye barua yao _"Tunaomba ofisi yako iridhie maombi yetu na kutupa utaratibu husika..."_

    5.3 Je, iwapo tutakuwa tunamwaga tu uraia kwa kila Mchezaji mgeni, haitatuathiri mbeleni ? Ikumbukwe kuwa lengo kubwa la kusajili wageni ni kwavile hakuna wachezaji wa ndani wenye ubora wa kutosha. Je, kila Mchezaji mgeni ana ubora wa kutosha?
    SHERIA YA URAIA NA UHALALI WA WACHEZAJI WA SINGIDA BIG STARS & SIMBA KUPEWA URAIA WA TANZANIA Ijumaa, Januari 24, 2025 1. Usuli Jana, Januari 23, 2025, Idara ya Uhamiaji ilieleza kuwa wachezaji watatu (3) wa Singida Big Stars (EK Keyeke, JA Bada & MD Camara) wamepewa uraia tajnisi wa Tanzania kwa mujibu wa vifungu vya 9 & 23 vya Sheria ya Uraia Sura ya 357. Kabla jogoo halijawika, klabu ya Simba nayo jana hiyohiyo ikaomba wachezaji wake 9 wa kigeni nao wapewe uraia wa Tanzania. 2. Wageni Kupewa Uraia kwasababu ya Mbungi Si Jambo Geni Si jambo geni kwa wageni kupewa uraia kwasababu ya mbungi. Mfano mzuri ni nchi ya Tunisia. Tunisia ilimpa uraia Mbrazil Jose Clayton mwaka 1998 na akaichezea Tunisia michuano ya FIFA (kombe la dunia nchini Ufaransa). Tunisia pia ilimpa uraia raia wa Brazil, Franchine Silva dos Santos, mwaka 2000 na akaichezea Tunisia michuano ya FIFA. Toka mwaka jana 2024, wananchi wa Tunisia wanashinikiza Mbrazil mwingine, Rodrigo Rodriguez, apewe uraia wa Tunisia. Mshambuliaji huyo wa Esperance de Tunis ni moto wa kuotea mbali. Kwa mujibu wa sheria za Tunia, ili mgeni aweze kupewa uraia ni lazma awe amekaa Tunisia si chini ya miaka 5. Hata hivyo, Waziri ameruhusiwa kumpa mgeni uraia iwapo huyo mwombaji _"has provided great services to the country"_. 3. Wachezaji 3 wa Singida Black Stars 3.1 Emmanuel Kwame Keyeke Huyu raia wa Ghana ni fundi. Ni fundi kwelikweli. Ndiye Mchezaji Bora wa Ligi ya ndani ya Ghana 2023/24. Toka asajiliwe Julai 2024 na Singida Black Stars _amekiwasha_ kwelikweli. Ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi mara Nne ! 3.2 Josephat Athur Bada Singida Black Stars ilimsajili Julai 2024 kiungo huyu raia wa Ivory Coast baada ya kuizidi ujanja Ismailia ya Masri. 3.3 Mohammed Damaro Camara Kiungo huyu alisajiliwa Julai 2024. 4. Kifungu cha 9 & 23 4.1 Kifungu cha 9 cha Sheria ya Uraia kinaeleza: 4.1.1 Kifungu cha 9(1) kinaeleza kuwa mgeni yeyote mwenye miaka 18 au zaidi aweza kuomba uraia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani na ataweza kupewa uraia tajnisi iwapo ametimiza masharti ya Jedwali la Pili. 4.2 Kifungu cha 23 kinaeleza kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hatalazimika kutoa sababu yoyote baada ya kukubali au kukataa maombi ya uraia na uamuzi huo wa Waziri utakuwa wa mwisho na hautaweza kukatiwa rufaa wala kupingwa mahakamani. 4.3 Jedwali la Pili Jedwali la Pili limeweka masharti kadhaa. Sharti moja linaeleza : _"The applicant must have an adequate knowledge of Kiswahili or the English language"_. 5. Maswali chechefu: 5.1 Je, wachezaji Josephat Athur Bada na Mohammed Damaro Camara ambao wanazungumza kifaransa tu wamewezaje kukidhi kigezo cha kuwa na _*"ADEQUATE* knowledge"_ ya Kiswahili au Kiingereza ndani ya miezi 6 tu ? 5.2 Je, Waziri wa Mambo ya Ndani anafahamu kuwa Kisheria ingawa Sheria inaeleza kuwa _"Uamuzi wa Waziri ni wa Mwisho"_, haimaanishi kuwa Waziri akisigina Sheria, uamuzi hauwezi kupingwa? Yapo maamuzi mengi ya Mahakama Kuu yaelezeayo msimamo huu kuntu wa sheria mf : 5.2.1 Tanzania Air Services Ltd Vs Minister for Labour (1996) TLR 217 _*"The decision that the Minister's decision is final and conclusive does not mean that the decision cannot be reviewed by the High court. Indeed no appeal against such decision but an aggrieved party may come to the High court and ask for prerogative orders"*_. 5.2.2 Ben Kahale Vs AG*, Misc. Civil cause 23/2019: _*"Our understanding is that when the decision of the Minister is final, it doesn't oust jurisdiction of the court as final authority in dispensation of justice. We say so because the decision may still be subject to Judicial review"*_. 5.2 Je, kwanini Uomgozi wa Simba ndio uliowaombea wachezaji wake 9 uraia badala ya kila Mchezaji kuomba kama walivyofanya wale wachezaji 3 wa Singida Black Stars? Iweje timu kongwe kama Simba izidiwe uelewa na Singida Black Stars kuhusu mchakato huu ? Simba imekiri kwenye barua yao _"Tunaomba ofisi yako iridhie maombi yetu na kutupa utaratibu husika..."_ 5.3 Je, iwapo tutakuwa tunamwaga tu uraia kwa kila Mchezaji mgeni, haitatuathiri mbeleni ? Ikumbukwe kuwa lengo kubwa la kusajili wageni ni kwavile hakuna wachezaji wa ndani wenye ubora wa kutosha. Je, kila Mchezaji mgeni ana ubora wa kutosha?
    Love
    Like
    Haha
    4
    ยท 2 Comments ยท0 Shares ยท882 Views
  • Katika nchi ya Italy, Ottorino Barassi anafika ofisini kwake na moja kwa moja anaenda katika 'vaux', yaani chumba au kabati maalumu kunamohifadhiwa vitu nyeti au vyenye thamani. Vaux ni mahali salama ambapo si rahisi kwa mtu yeyote kuingia na kuiba.

    Kwa umakini na usiri mkubwa, Ottorino Barassi anafika katika 'vaux' na kulichukua. Kisha anaenda nalo nyumbani kwake na kulificha. Yote hiyo ni kwa sababu hakutaka kuona wanajeshi wa nazi wanakuja kulichukua.

    Ilikuwa ni katika vita ya pili ya dunia, ambapo majeshi ya Nazi, yakiongozwa na Adolf Hitler walikuwa wakilitafuta kwa udi na uvumba ili wapate kulitia mkononi.

    Walifika hadi nyumbani kufanya upekuzi lakini hawakuweza kulipata. Kumbe Barassi alikuwa amelificha uvunguni mwa kitanda anacholala.

    Unajua ni kitu gani nazungumzia hapo?.

    Ni Kombe la dunia. Hitler alitaka kulinyakua kinguvu mnamo 1939, mwaka mmoja baada ya taifa la Italia kushinda michuano ya mpira wa mguu.

    Kombe hilo lilikuwa likiitwa Jules Rimet, likipewa jina la aliyekuwa rais wa kwanza wa FIFA. Ottonio Barrasi alikuwa ni rais wa chama cha soka nchini Italy
    Katika nchi ya Italy, Ottorino Barassi anafika ofisini kwake na moja kwa moja anaenda katika 'vaux', yaani chumba au kabati maalumu kunamohifadhiwa vitu nyeti au vyenye thamani. Vaux ni mahali salama ambapo si rahisi kwa mtu yeyote kuingia na kuiba. Kwa umakini na usiri mkubwa, Ottorino Barassi anafika katika 'vaux' na kulichukua. Kisha anaenda nalo nyumbani kwake na kulificha. Yote hiyo ni kwa sababu hakutaka kuona wanajeshi wa nazi wanakuja kulichukua. Ilikuwa ni katika vita ya pili ya dunia, ambapo majeshi ya Nazi, yakiongozwa na Adolf Hitler walikuwa wakilitafuta kwa udi na uvumba ili wapate kulitia mkononi. Walifika hadi nyumbani kufanya upekuzi lakini hawakuweza kulipata. Kumbe Barassi alikuwa amelificha uvunguni mwa kitanda anacholala. Unajua ni kitu gani nazungumzia hapo?. Ni Kombe la dunia. Hitler alitaka kulinyakua kinguvu mnamo 1939, mwaka mmoja baada ya taifa la Italia kushinda michuano ya mpira wa mguu. Kombe hilo lilikuwa likiitwa Jules Rimet, likipewa jina la aliyekuwa rais wa kwanza wa FIFA. Ottonio Barrasi alikuwa ni rais wa chama cha soka nchini Italy
    0 Comments ยท0 Shares ยท216 Views
  • Vinicius Jr amechaguliwa kuwa Mchezaji bora Duniani na FIFA kwa mwaka 2024.

    Vinicius Jr ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท amechaguliwa kuwa Mchezaji bora Duniani na FIFA kwa mwaka 2024.
    0 Comments ยท0 Shares ยท166 Views
  • Mlinda lango wa kimataifa wa Argentina na klabu ya Aston Villa, Emiliano Martinez ndiye Mlinda Lango bora wa mwaka 2024 kwenye Tuzo za FIFA Thé Best.

    - COPA America
    - Ballon d'Or 2024
    - FIFA

    Mlinda lango wa kimataifa wa Argentina na klabu ya Aston Villa, Emiliano Martinez ndiye Mlinda Lango bora wa mwaka 2024 kwenye Tuzo za FIFA Thé Best. - COPA America - Ballon d'Or 2024 - FIFA
    0 Comments ยท0 Shares ยท189 Views
  • Carlo Anceloti amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwaka 2024 kwenye Tuzo za FIFA.

    Carlo Anceloti amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwaka 2024 kwenye Tuzo za FIFA.
    0 Comments ยท0 Shares ยท161 Views
  • Best kits men football from CAF and FIFA
    #everyone #followers #friend #socialpop #football #caf #fifa #anyone
    Best kits men football from CAF and FIFA #everyone #followers #friend #socialpop #football #caf #fifa #anyone
    Like
    Love
    3
    ยท 3 Comments ยท0 Shares ยท809 Views
  • Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema Kombe la Dunia kwa mwaka 2030 litaandaliiwa na Mataifa matatu ambayo ni Ureno, Hispania na Morocco ambayo yaliwasilisha ombi la kuandaa michuano hiyo kwa pamoja.

    Pamoja na kwamba Mataifa hayo matatu yamechaguliwa kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030, imeelezwa kuwa mechi tatu za kombe hilo zitafanyika katika Nchi tatu za Amerika Kusini ambazo ni Argentina, Paraguay na Uruguay ikiwa ni katika mpango wa kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo. #socialpop David Atto
    Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema Kombe la Dunia kwa mwaka 2030 litaandaliiwa na Mataifa matatu ambayo ni Ureno, Hispania na Morocco ambayo yaliwasilisha ombi la kuandaa michuano hiyo kwa pamoja. Pamoja na kwamba Mataifa hayo matatu yamechaguliwa kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030, imeelezwa kuwa mechi tatu za kombe hilo zitafanyika katika Nchi tatu za Amerika Kusini ambazo ni Argentina, Paraguay na Uruguay ikiwa ni katika mpango wa kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo. #socialpop [Mefa]
    Like
    Love
    3
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท347 Views
  • Baada ya Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) kutangaza Nchi za Uhispania, Ureno na Morocco kuwa ndizo zitaandaa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2030 huku lile la mwaka 2034 likipangwa kufanyika Nchini Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo, Mitrovic na Ng'olo Kante wamezungumza yafuatayo:

    "Kombe la dunia mwaka 2034 nchini Saudia Arabia litakuwa bora zaidi kuwahi kutokea. " - Cristiano Ronaldo

    "Naamini kombe la dunia mwaka 2034 nchini Saudia Arabia litakuwa bora sana dunia kuwahi kushuhudia. " - Mitrovic

    "Naamini tutawaletea Kombe la Dunia la kipekee na na bora ambalo dunia inalisubiri kutoka ufalme wa Saudia Arabia. " - Ng'olo Kante.

    Baada ya Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) kutangaza Nchi za Uhispania, Ureno na Morocco kuwa ndizo zitaandaa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2030 huku lile la mwaka 2034 likipangwa kufanyika Nchini Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo, Mitrovic na Ng'olo Kante wamezungumza yafuatayo: "Kombe la dunia mwaka 2034 nchini Saudia Arabia litakuwa bora zaidi kuwahi kutokea. " - Cristiano Ronaldo "Naamini kombe la dunia mwaka 2034 nchini Saudia Arabia litakuwa bora sana dunia kuwahi kushuhudia. " - Mitrovic "Naamini tutawaletea Kombe la Dunia la kipekee na na bora ambalo dunia inalisubiri kutoka ufalme wa Saudia Arabia. " - Ng'olo Kante.
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท205 Views
  • DRAW FIFA CLUB WORLD CUP 2025, ALHAMISI 5 DECEMBER SAA3:00 USIKU
    DRAW FIFA CLUB WORLD CUP 2025, ALHAMISI 5 DECEMBER SAA3:00 USIKU
    0 Comments ยท0 Shares ยท204 Views
  • TANZANIA INA MAWAKALA SABA TU WA WACHEZAJI

    Mawakala saba pekee wa kusimamia wachezaji kutoka Tanzania ndio wanatambulika na FIFA hadi sasa, hao ndio wenye leseni ya uwakala baada ya kufaulu mtihani nao ni.

    1:Erick Mavika
    2:Latifa Iddi Pagal
    3"Benjamin Nyarukamo Masige
    4:Eliya Samweli Rioba
    5:Hadji Shaban Omar
    6:Hillary Ismail Hassan
    7:Nasri Mjandari

    Kwa mujibu wa TFF wale wote ambao wanajihusisha na uwakala pasipo kuwa na leseni ya Fifa wataripotiwa na kuweza kuchukuliwa hatua.
    TANZANIA INA MAWAKALA SABA TU WA WACHEZAJI Mawakala saba pekee wa kusimamia wachezaji kutoka Tanzania ndio wanatambulika na FIFA hadi sasa, hao ndio wenye leseni ya uwakala baada ya kufaulu mtihani nao ni. 1:Erick Mavika 2:Latifa Iddi Pagal 3"Benjamin Nyarukamo Masige 4:Eliya Samweli Rioba 5:Hadji Shaban Omar 6:Hillary Ismail Hassan 7:Nasri Mjandari Kwa mujibu wa TFF wale wote ambao wanajihusisha na uwakala pasipo kuwa na leseni ya Fifa wataripotiwa na kuweza kuchukuliwa hatua.
    Love
    Like
    3
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท473 Views
  • "SASA SIO UTANI WA JADI TENA NI KUKOMOANA TU.

    Unaweza kusema hivi kua kwa sasa kinachofuata sio utani tena kwenye hizi Timu za Simba na Yanga kutokana na haya masakata mawili baada ya Sandaland Msambazaji wa Jezi za Simba Kumshtaki Ally Kamwe baada ya kauli yake kuhusu Jezi za Simba alichoona kua ni kuharibiwa Brand yake.

    Yanga na wao wamejibu mapigo kwa Kumshataki Ahmed Ally kutokana na Tuhuma zake 2 kwa Yanga-:

    - PACOME alisema anamaliza kandarasi yake ndani ya
    Yanga na Simba wanatazama namna ya kumsajili na kuna kauli za ukakasi alizungumza ambazo zimeharibu brand ya Yanga kwa wabia wake, inadaiwa alitaja mpaka mambo ya sindano.
    - TUHUMA ZA UCHAWI, anatakiwa kuthibitisha namna gani Yanga ni Wachawi kwa maana hawajawahi kupewa adhabu yoyote na Bodi kuhusu Uchawi, akishindwa kuthibitisha tuhuma hizo basi mzigo ulipwe." - Georgea Ambangile, Mchambuzi.

    :

    Hii ndio inaitwa Simba SC (Ahmed Ally) wanataka 3 alafu Yanga SC wao 10, yaani Yanga SC (Ally Kamwe) watasubiri Simba SC watoe 10 alafu wachukue 3 watoe kwa Simba SC kisha wabaki na 7 . Hawa Viumbe wanaanza kuharibu mpira sasa. Ikumbukwe FIFA hawapendi maswala ya michezo kwenda Mahakamani (Serikali).
    "SASA SIO UTANI WA JADI TENA NI KUKOMOANA TU. Unaweza kusema hivi kua kwa sasa kinachofuata sio utani tena kwenye hizi Timu za Simba na Yanga kutokana na haya masakata mawili baada ya Sandaland Msambazaji wa Jezi za Simba Kumshtaki Ally Kamwe baada ya kauli yake kuhusu Jezi za Simba alichoona kua ni kuharibiwa Brand yake. Yanga na wao wamejibu mapigo kwa Kumshataki Ahmed Ally kutokana na Tuhuma zake 2 kwa Yanga-: - PACOME alisema anamaliza kandarasi yake ndani ya Yanga na Simba wanatazama namna ya kumsajili na kuna kauli za ukakasi alizungumza ambazo zimeharibu brand ya Yanga kwa wabia wake, inadaiwa alitaja mpaka mambo ya sindano. - TUHUMA ZA UCHAWI, anatakiwa kuthibitisha namna gani Yanga ni Wachawi kwa maana hawajawahi kupewa adhabu yoyote na Bodi kuhusu Uchawi, akishindwa kuthibitisha tuhuma hizo basi mzigo ulipwe." - Georgea Ambangile, Mchambuzi. : Hii ndio inaitwa Simba SC (Ahmed Ally) wanataka 3 alafu Yanga SC wao 10, yaani Yanga SC (Ally Kamwe) watasubiri Simba SC watoe 10 alafu wachukue 3 watoe kwa Simba SC kisha wabaki na 7 ๐Ÿ˜‚. Hawa Viumbe wanaanza kuharibu mpira sasa. Ikumbukwe FIFA hawapendi maswala ya michezo kwenda Mahakamani (Serikali).
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท330 Views
  • HIZI HAPA MECHI TATU ZA SIMBA ZIJAZO ZA NBC PRIMER LEAGUE

    Kulingana na maboresho ya ratiba, Simba atacheza mechi tatu za ligi kuu katika kipindi cha wiki moja kabla ya mapumziko ya kalenda ya FIFA.

    Baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc, kikosi cha kocha Fadlu Davids kitaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Septemba 29 na Oktoba 04 Simba itakuwa Dar es salaam kuikabili Coastal Union katika mchezo utakaopigwa KMC Complex.
    #paulswai
    HIZI HAPA MECHI TATU ZA SIMBA ZIJAZO ZA NBC PRIMER LEAGUE โ›ณ ๐Ÿ”— Kulingana na maboresho ya ratiba, Simba atacheza mechi tatu za ligi kuu katika kipindi cha wiki moja kabla ya mapumziko ya kalenda ya FIFA. Baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc, kikosi cha kocha Fadlu Davids kitaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Septemba 29 na Oktoba 04 Simba itakuwa Dar es salaam kuikabili Coastal Union katika mchezo utakaopigwa KMC Complex. #paulswai
    Like
    3
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท342 Views
  • Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:-
    1. Cristiano Ronaldo ( 900 )
    2. Lionel Messi (833)
    3. Joseph Bican (805)

    Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee]
    1. Lionel Messi (363)
    2. Ferenc Puskas (359)
    3. Johan Cruyff (358)

    Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta]
    1. Lionel Messi (2,358)
    2. Eden Hazard (1,285)
    3. Franck Ribery (1,061)

    Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia:
    1. Lionel Messi (8)
    2. Cristiano Ronaldo (5)
    3. Johan Cruyff (3)

    FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia:
    1. Lionel Messi (8)
    2. Cristiano Ronaldo (5)
    3. Zinedine Zidane (3)

    Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA:
    1. Lionel Messi (2)
    2. Diego Maradona (1)
    3. Oliver Kahn (1)

    Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia:
    1. Lionel Messi (6)
    2. Cristiano Ronaldo (4)
    3. Luis Suarez (2)

    Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10]
    1. Lionel Messi (318)
    2. Cristiano Ronaldo (168)
    3. Zlatan Ibrahimovic (116)

    Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia:
    1. Lionel Messi (5)
    2. Xavi Hernandez (4)
    3. Kevin De Bruyne (3)

    Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia:
    1. Lionel Messi (7)
    2. Jose Nasaji (3)
    3. Pele Arantes (2)

    Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia:
    1. Lionel Messi (44)
    2. Dani Alves (43)
    3. Andres Iniesta (37)

    Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia:
    1. Lionel Messi
    2. Cristiano Ronaldo
    3. Ronaldo Nazario

    Messi is the GOAT no doubt

    #PM96
    Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:- 1. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo ( 900 )โœ… 2. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (833) 3. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น Joseph Bican (805) Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee] 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (363)โœ… 2. ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡บ Ferenc Puskas (359) 3. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Johan Cruyff (358) Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta] 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (2,358)โœ… 2. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Eden Hazard (1,285) 3. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต Franck Ribery (1,061) Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (8)โœ… 2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo (5) 3. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Johan Cruyff (3) FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (8)โœ… 2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo (5) 3. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต Zinedine Zidane (3) Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (2)โœ… 2. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Diego Maradona (1) 3. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Oliver Kahn (1) Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (6)โœ… 2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo (4) 3. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ Luis Suarez (2) Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10] 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (318)โœ… 2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo (168) 3. ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Zlatan Ibrahimovic (116) Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (5)โœ… 2. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ Xavi Hernandez (4) 3. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Kevin De Bruyne (3) Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (7)โœ… 2. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ Jose Nasaji (3) 3. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Pele Arantes (2) Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (44)โœ… 2. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Dani Alves (43) 3. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ Andres Iniesta (37) Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messiโœ… 2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo 3. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Ronaldo Nazario Messi is the GOAT ๐Ÿno doubt #PM96
    0 Comments ยท0 Shares ยท670 Views
  • Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:-
    1. Cristiano Ronaldo ( 900 )
    2. Lionel Messi (833)
    3. Joseph Bican (805)

    Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee]
    1. Lionel Messi (363)
    2. Ferenc Puskas (359)
    3. Johan Cruyff (358)

    Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta]
    1. Lionel Messi (2,358)
    2. Eden Hazard (1,285)
    3. Franck Ribery (1,061)

    Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia:
    1. Lionel Messi (8)
    2. Cristiano Ronaldo (5)
    3. Johan Cruyff (3)

    FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia:
    1. Lionel Messi (8)
    2. Cristiano Ronaldo (5)
    3. Zinedine Zidane (3)

    Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA:
    1. Lionel Messi (2)
    2. Diego Maradona (1)
    3. Oliver Kahn (1)

    Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia:
    1. Lionel Messi (6)
    2. Cristiano Ronaldo (4)
    3. Luis Suarez (2)

    Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10]
    1. Lionel Messi (318)
    2. Cristiano Ronaldo (168)
    3. Zlatan Ibrahimovic (116)

    Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia:
    1. Lionel Messi (5)
    2. Xavi Hernandez (4)
    3. Kevin De Bruyne (3)

    Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia:
    1. Lionel Messi (7)
    2. Jose Nasaji (3)
    3. Pele Arantes (2)

    Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia:
    1. Lionel Messi (44)
    2. Dani Alves (43)
    3. Andres Iniesta (37)

    Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia:
    1. Lionel Messi
    2. Cristiano Ronaldo
    3. Ronaldo Nazario

    Messi is the GOAT no doubt
    Mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia:- 1. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo ( 900 )โœ… 2. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (833) 3. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น Joseph Bican (805) Mchezaji aliye na pasi nyingi za mabao katika historia: [Opta wanasaidia pekee] 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (363)โœ… 2. ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡บ Ferenc Puskas (359) 3. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Johan Cruyff (358) Mchezaji aliye na chenga nyingi zaidi katika historia: [kutoka msimu wa 2006-07 na Opta] 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (2,358)โœ… 2. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Eden Hazard (1,285) 3. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต Franck Ribery (1,061) Washindi wengi wa Ballon d'Or ya Ufaransa katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (8)โœ… 2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo (5) 3. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Johan Cruyff (3) FIFA Wachezaji wengi walioshinda tuzo bora katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (8)โœ… 2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo (5) 3. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต Zinedine Zidane (3) Tuzo nyingi zaidi za Mpira wa Dhahabu katika historia ya Kombe la Dunia la FIFA: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (2)โœ… 2. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Diego Maradona (1) 3. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Oliver Kahn (1) Wamiliki wengi wa Kiatu cha Dhahabu cha Uropa katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (6)โœ… 2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo (4) 3. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ Luis Suarez (2) Mchezaji aliye na MOTM nyingi katika historia: [Ligi ya Ndani + Ligi ya Mabingwa kuanzia msimu wa 2009-10] 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (318)โœ… 2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo (168) 3. ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Zlatan Ibrahimovic (116) Wachezaji walio na Tuzo nyingi zaidi za Mchezaji Bora Duniani za IFFHS katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (5)โœ… 2. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ Xavi Hernandez (4) 3. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Kevin De Bruyne (3) Mchezaji aliye na tuzo nyingi zaidi za Mchezaji wa Kimataifa wa Mashindano katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (7)โœ… 2. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ Jose Nasaji (3) 3. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Pele Arantes (2) Wachezaji walio na mataji mengi zaidi katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi (44)โœ… 2. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Dani Alves (43) 3. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ Andres Iniesta (37) Mchezaji aliye na tuzo nyingi za kibinafsi katika historia: 1. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messiโœ… 2. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo 3. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Ronaldo Nazario Messi is the GOAT ๐Ÿno doubt
    0 Comments ยท0 Shares ยท571 Views
  • WAGHANA WAWAPELEKA YANGA FIFA. YANGA YATAKIWA KULIPA MILIONI 300 KABLA YA OKTOBA, 2024
    WAGHANA WAWAPELEKA YANGA FIFA. YANGA YATAKIWA KULIPA MILIONI 300 KABLA YA OKTOBA, 2024
    Like
    Love
    4
    ยท 1 Comments ยท0 Shares ยท295 Views
  • ... ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐—ฃ๐—”๐—š๐—”๐—ก๐——๐—”

    Sikutaka kabisa kuizungumzia hii propaganda iliyoanzishwa na Edo Kumwembe Instagram.

    Lakini kwa kuwa nawajali sana wafuasi wangu waliofurika INBOX kuniuliza acha nizungumze kwa kifupi.

    Kwamba kuna wanachama wachache wa Yanga wameshinda kesi mahakamani kuwa Rais wa Yanga Eng. Hersi Said hapaswi kuwa Rais wa Yanga kwa sababu yuko kinyume na katiba ?! .. Propaganda.

    Katiba iliyomuweka madarakani Eng. Hersi Said ilipita katika mamlaka zote, Serikali na (TFF) ikapata baraka zote.

    โ—‰ BMT
    โ—‰ FCC
    โ—‰ TFF

    Taarifa hizo hazi-make sense ndio maana huoni wakitajwa majina hao watu wanaosemwa wameenda mahakamani.

    Kama wamepeleka masuala ya soka mahakamani, sheria za (FIFA) ziko wazi, wakijulikana WATAFUNGIWA KUJIHUSISHA NA SOKA MAISHA.. Kama michael Wambura.

    Note : Baadhi ya watu wanamuhofia huyu jamaa that's why wanaunda propaganda.

    Nadhani nitakuwa nimewajibu vyema.
    (CC: Tom Cruz)

    ... ๐Ÿšจ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐—ฃ๐—”๐—š๐—”๐—ก๐——๐—” Sikutaka kabisa kuizungumzia hii propaganda iliyoanzishwa na Edo Kumwembe Instagram. Lakini kwa kuwa nawajali sana wafuasi wangu waliofurika INBOX kuniuliza acha nizungumze kwa kifupi. Kwamba kuna wanachama wachache wa Yanga wameshinda kesi mahakamani kuwa Rais wa Yanga Eng. Hersi Said hapaswi kuwa Rais wa Yanga kwa sababu yuko kinyume na katiba ?! .. Propaganda. โ„น๏ธ Katiba iliyomuweka madarakani Eng. Hersi Said ilipita katika mamlaka zote, Serikali na (TFF) ikapata baraka zote. โ—‰ BMT โ—‰ FCC โ—‰ TFF Taarifa hizo hazi-make sense ndio maana huoni wakitajwa majina hao watu wanaosemwa wameenda mahakamani. โ„น๏ธ Kama wamepeleka masuala ya soka mahakamani, sheria za (FIFA) ziko wazi, wakijulikana WATAFUNGIWA KUJIHUSISHA NA SOKA MAISHA.. Kama michael Wambura. Note : Baadhi ya watu wanamuhofia huyu jamaa that's why wanaunda propaganda. Nadhani nitakuwa nimewajibu vyema. (CC: Tom Cruz)
    0 Comments ยท0 Shares ยท431 Views
  • OFFICIAL

    Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limeweka picha yenye nembo ya bendera ya kusapoti mahusiano ya jinsia moja Homosexual na kuelekeza timu zote za mataifa duniani kufuata agizo la kuweka nembo hiyo kwenye jezi zao zitakazotumika katika michezo ya kimataifa.

    Mataifa yote ya ulaya yametii kutii kikamilifu agizo Hilo isipokuwa taifa la Turkiy hawajaonesha kuafiki suala hilo.



    [Neemadish]
    #SocialPop
    #tanzaniasocialmedia
    #socialpoptanzania
    #Supportsocialpop
    OFFICIAL ๐Ÿ”ด Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limeweka picha yenye nembo ya bendera ya kusapoti mahusiano ya jinsia moja Homosexual ๐Ÿณ๏ธ‍๐ŸŒˆ na kuelekeza timu zote za mataifa duniani kufuata agizo la kuweka nembo hiyo kwenye jezi zao zitakazotumika katika michezo ya kimataifa. Mataifa yote ya ulaya yametii kutii kikamilifu agizo Hilo isipokuwa taifa la Turkiy hawajaonesha kuafiki suala hilo. [Neemadish] #SocialPop #tanzaniasocialmedia #socialpoptanzania #Supportsocialpop
    Like
    Love
    Sad
    9
    ยท 2 Comments ยท0 Shares ยท953 Views
  • Hii picha imezua gumzo balaa kwenye platform zote za Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA mara baada ya kupost picha ikiwa umepangwa kinamba.

    Mashabiki wa Messi walidai yeye ndie alitakiwa kuwa namba moja kwasababu ametwaa kombe la Dunia.

    Mashabiki wa Ronaldo walidai yeye ndie anaestahili kuwa namba moja kwasababu ndio anaeshikilia rekodi kubwa zote za soka la Dunia.

    WEWE UNASIMAMA UPANDE UPI HAPO.
    Hii picha imezua gumzo balaa kwenye platform zote za Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA mara baada ya kupost picha ikiwa umepangwa kinamba. Mashabiki wa Messi walidai yeye ndie alitakiwa kuwa namba moja kwasababu ametwaa kombe la Dunia. Mashabiki wa Ronaldo walidai yeye ndie anaestahili kuwa namba moja kwasababu ndio anaeshikilia rekodi kubwa zote za soka la Dunia. WEWE UNASIMAMA UPANDE UPI HAPO.
    Love
    Like
    3
    ยท 1 Comments ยท0 Shares ยท340 Views
More Results