Upgrade to Pro

  • MBWA ALIYEZIKWA NACHINGWEA 1950

    Na Victor Richard..

    Judy ni mbwa jike aliyeishi kati ya mwaka 1936 hadi Februari 17, 1950. Mbwa huyu alikuwa
    akiishi melini katika meli za HMS Gnat na HMS Grasshopper ambazo zilitia nanga huko Yangtze kabla na wakati wa vita kuu ya pili ya Dunia.

    Alidhihirisha uwezo wake wa kusikia ndege za maadui zilizokuwa zikiwajia na kutoa ishara kwa wanamaji waliokuwapo.
    Baada ya baadhi ya wanamaji kuhamishwa kutoka meli ya Gnat na kupelekwa katika meli ya Grasshopper mwaka 1939,meli ilipelekwa Singapore na hii ni baada ya Uingereza kuamua kuingia vitani dhidi ya Ujerumani.

    Judy alikuwa melini wakati wa mapambano ya Singapore ambapo alikuwapo pia wakati Grasshopper ikiwahamisha wanamaji wake kuelekea Dutch East Indies lakini ikiwa njiani meli hiyo ilizama na Judy alikaribia kupoteza maisha kutokana na kunaswa na mlolongo wa makabati yaliyoanguka, hata hivyo aliokolewa na wanamaji waliorudi melini wakitafuta masalia.

    Katika kisiwa hicho kikame akiwa na wanamaji waliosalimika,Judy aliweza kutafuta vyanzo
    vya maji safi vilivyowasaidia wote. Baadae walifanya safari kuelekea Singkep,Dutch East India na kisha Sumatra kwa lengo la kutengeneza namna ya kuyaokoa majeshi ya Uingereza.

    Baada ya safari ngumu iliyokatisha maili 200 za pori kwa wiki tano wakati ambapo pia Judy alinusurika kuuawa na mamba, wanamaji waliwasili siku moja baada ya meli ya mwisho kuondoka na hivyo kuangukia kwenye mikono ya wajapani na kufanywa wafungwa wa kivita, Judy akiwa miongoni mwa wafungwa hao.

    Judy alihamishwa kinyemela na kupelekwa kambi ya Medan ambako alikutana kwa mara ya kwanza na kiongozi mwandamizi wa Jeshi la anga anayeitwa Frank Williams ambaye aliishi naye kwa kipindi chote kilichosalia cha maisha yake.

    Williams alimshawishi Kamanda wa kikosi kumsajili Judy kama mfungwa wa kivita akipatiwa namba ‘81A Gloergoer Medan’.Judy alikuwa ni mbwa pekee aliyesajiliwa kama mfungwa wa kivita katika Vita kuu ya pili ya Dunia.

    Judy alizunguuka katika kambi kadhaa,akisalimika/nusulika kifo baada ya meli ya mizigo ya SS Van Warwyck kuzama ambapo kipindi kifupi baadae aliweza kuwaokoa abiria katika meli iliyokuwa ikizama.

    Les Searly kutoka katika meli ya Grasshopper ilimuiba tena Judy na kumpeleka katika kambi nyingine ambako aliungana tena na Frank Williams.

    Baada ya Vita ya pili ya Dunia kuisha,maisha ya Judy yalikuwa hatarini kwa mara nyingine..........

    MBWA ALIYEZIKWA NACHINGWEA 1950 Na Victor Richard.. Judy ni mbwa jike aliyeishi kati ya mwaka 1936 hadi Februari 17, 1950. Mbwa huyu alikuwa akiishi melini katika meli za HMS Gnat na HMS Grasshopper ambazo zilitia nanga huko Yangtze kabla na wakati wa vita kuu ya pili ya Dunia. Alidhihirisha uwezo wake wa kusikia ndege za maadui zilizokuwa zikiwajia na kutoa ishara kwa wanamaji waliokuwapo. Baada ya baadhi ya wanamaji kuhamishwa kutoka meli ya Gnat na kupelekwa katika meli ya Grasshopper mwaka 1939,meli ilipelekwa Singapore na hii ni baada ya Uingereza kuamua kuingia vitani dhidi ya Ujerumani. Judy alikuwa melini wakati wa mapambano ya Singapore ambapo alikuwapo pia wakati Grasshopper ikiwahamisha wanamaji wake kuelekea Dutch East Indies lakini ikiwa njiani meli hiyo ilizama na Judy alikaribia kupoteza maisha kutokana na kunaswa na mlolongo wa makabati yaliyoanguka, hata hivyo aliokolewa na wanamaji waliorudi melini wakitafuta masalia. Katika kisiwa hicho kikame akiwa na wanamaji waliosalimika,Judy aliweza kutafuta vyanzo vya maji safi vilivyowasaidia wote. Baadae walifanya safari kuelekea Singkep,Dutch East India na kisha Sumatra kwa lengo la kutengeneza namna ya kuyaokoa majeshi ya Uingereza. Baada ya safari ngumu iliyokatisha maili 200 za pori kwa wiki tano wakati ambapo pia Judy alinusurika kuuawa na mamba, wanamaji waliwasili siku moja baada ya meli ya mwisho kuondoka na hivyo kuangukia kwenye mikono ya wajapani na kufanywa wafungwa wa kivita, Judy akiwa miongoni mwa wafungwa hao. Judy alihamishwa kinyemela na kupelekwa kambi ya Medan ambako alikutana kwa mara ya kwanza na kiongozi mwandamizi wa Jeshi la anga anayeitwa Frank Williams ambaye aliishi naye kwa kipindi chote kilichosalia cha maisha yake. Williams alimshawishi Kamanda wa kikosi kumsajili Judy kama mfungwa wa kivita akipatiwa namba ‘81A Gloergoer Medan’.Judy alikuwa ni mbwa pekee aliyesajiliwa kama mfungwa wa kivita katika Vita kuu ya pili ya Dunia. Judy alizunguuka katika kambi kadhaa,akisalimika/nusulika kifo baada ya meli ya mizigo ya SS Van Warwyck kuzama ambapo kipindi kifupi baadae aliweza kuwaokoa abiria katika meli iliyokuwa ikizama. Les Searly kutoka katika meli ya Grasshopper ilimuiba tena Judy na kumpeleka katika kambi nyingine ambako aliungana tena na Frank Williams. Baada ya Vita ya pili ya Dunia kuisha,maisha ya Judy yalikuwa hatarini kwa mara nyingine..........
    Like
    Wow
    2
    ·185 Views
  • MADA: SAMSONI ALIMSHINDA SAMSONI, SIO WAFILISTI; JIFUNZE KUSEMA "HAPANA."

    Hadithi ya Samsoni si hadithi ya usaliti tu bali ni kioo kinachoakisi mapambano ya kila mwanamume na mwanamke. Samsoni alikuwa hodari, naam. Nguvu zake zingeweza kubomoa malango na simba, lakini mwili wake haungeweza kupinga minong’ono ya matamanio yake mwenyewe. Kwangu mimi, si Delila aliyemshinda Samsoni; Samsoni alishindwa na tamaa zake. Unaona, nguvu za makuri Mahibuli Mahriza, na nguvu za kiakili kusonga mbele. Nguvu ya mikono yako ina faida gani ikiwa matamanio ya moyo wako yataachwa bila kudhibitiwa? Nguvu ya kweli sio uwezo wa wengine, lakini uwezo wa kujishinda mwenyewe. Biblia inasema katika Mithali 25:28, “Mtu asiye na kujizuia kama mji uliobomolewa na kuachwa bila kuta. Kuanguka kwa Samsoni kulianza muda mrefu kabla ya kuwasili kwa Delila. Kushindwa kwake kulipandwa katika mashamba ya anasa, kumwagilia maji kwa kukosa kujizuia, na kuvunwa na adui. Tatizo halikuwepo Delila. Tukio hilo lilikuwa ni la Delila, lakini msukumo wa Samsoni ulikuwa sababu kuu. Ni mara ngapi tunalaumu wengine kwa zamani kwetu, tukikataa kukubali kwamba vita vili ndani yetu muda mrefu kabla ya kuonekana kwa ulimwengu? Ikiwa huwezi kusema "hapana" kwako mwenyewe, utakabidhi mkasi ambao utapunguza nywele za hatima yako.

    Nguvu ya akili ni ujasiri wa kutembea mbali na kile kinachojisikia lakini sio sawa. Ni uwezo wa kuketi kwenye meza ya majaribu na kuacha chakula bila kuguswa. Nguvu ya akili ni nguvu ya kupinga uhusiano huo unaojua utakupoteza. Ni nidhamu ya kukwepa njia za mkato, tukijua kuwa si kila kitu kinachometa katika dhahabu. Mwaka huu, jifunze kusema hapana. Sema hapana kwa mazoea ambayo yanakuchosha roho. Sema hapana kwa urafiki ambao unapunguza mwanga wako. Sema hapana kwa mahusiano ambayo yanakuvuta mbali na Mungu. Sema hapana kwa jambo lolote linalohatarisha maisha yako ya baadaye. Ni bora kuukatisha tamaa mwili wako kuliko kukatisha tamaa hatima yako. "Hapana" ndogo leo inaweza kukuokoa kutokana na maisha ya majuto. Yusufu aliposimama mbele ya mke wa Potifa, hakukaa ili kuliaana. Alikimbia! sababu wakati mwingine jambo la nguvu unaweza kukimbia kutoka kwa kile kinachotaka kukuangamiza. Samson alibaki. Na katika kukaa, alipoteza kila kitu. Hadithi yake inatufundisha kwamba maadui hatari zaidi sio nje lakini ndani. Ikiwa huwezi kuadhibu tamaa zako, tamaa zako zitakuadibu. Ikiwa huwezi kudhibiti hamu yako, hamu yako itadhibiti. Ushindi juu ya nafsi ni mkuu kuliko ushindi juu ya maadui elfu.

    Tunaposonga mbele mwaka huu, acha ukweli huu urudie moyoni mwako, vita vyako vikubwa zaidi havitapigana hadharani bali katika ukimya wa nafsi yako. Mungu akutie nguvu. Na jaribu linapokuja kubisha, acha jibu lako liwe wazi, "Hapana."


    @Fr. Albert Nwosu' (Nwachinemere)
    MADA: SAMSONI ALIMSHINDA SAMSONI, SIO WAFILISTI; JIFUNZE KUSEMA "HAPANA." Hadithi ya Samsoni si hadithi ya usaliti tu bali ni kioo kinachoakisi mapambano ya kila mwanamume na mwanamke. Samsoni alikuwa hodari, naam. Nguvu zake zingeweza kubomoa malango na simba, lakini mwili wake haungeweza kupinga minong’ono ya matamanio yake mwenyewe. Kwangu mimi, si Delila aliyemshinda Samsoni; Samsoni alishindwa na tamaa zake. Unaona, nguvu za makuri Mahibuli Mahriza, na nguvu za kiakili kusonga mbele. Nguvu ya mikono yako ina faida gani ikiwa matamanio ya moyo wako yataachwa bila kudhibitiwa? Nguvu ya kweli sio uwezo wa wengine, lakini uwezo wa kujishinda mwenyewe. Biblia inasema katika Mithali 25:28, “Mtu asiye na kujizuia kama mji uliobomolewa na kuachwa bila kuta. Kuanguka kwa Samsoni kulianza muda mrefu kabla ya kuwasili kwa Delila. Kushindwa kwake kulipandwa katika mashamba ya anasa, kumwagilia maji kwa kukosa kujizuia, na kuvunwa na adui. Tatizo halikuwepo Delila. Tukio hilo lilikuwa ni la Delila, lakini msukumo wa Samsoni ulikuwa sababu kuu. Ni mara ngapi tunalaumu wengine kwa zamani kwetu, tukikataa kukubali kwamba vita vili ndani yetu muda mrefu kabla ya kuonekana kwa ulimwengu? Ikiwa huwezi kusema "hapana" kwako mwenyewe, utakabidhi mkasi ambao utapunguza nywele za hatima yako. Nguvu ya akili ni ujasiri wa kutembea mbali na kile kinachojisikia lakini sio sawa. Ni uwezo wa kuketi kwenye meza ya majaribu na kuacha chakula bila kuguswa. Nguvu ya akili ni nguvu ya kupinga uhusiano huo unaojua utakupoteza. Ni nidhamu ya kukwepa njia za mkato, tukijua kuwa si kila kitu kinachometa katika dhahabu. Mwaka huu, jifunze kusema hapana. Sema hapana kwa mazoea ambayo yanakuchosha roho. Sema hapana kwa urafiki ambao unapunguza mwanga wako. Sema hapana kwa mahusiano ambayo yanakuvuta mbali na Mungu. Sema hapana kwa jambo lolote linalohatarisha maisha yako ya baadaye. Ni bora kuukatisha tamaa mwili wako kuliko kukatisha tamaa hatima yako. "Hapana" ndogo leo inaweza kukuokoa kutokana na maisha ya majuto. Yusufu aliposimama mbele ya mke wa Potifa, hakukaa ili kuliaana. Alikimbia! sababu wakati mwingine jambo la nguvu unaweza kukimbia kutoka kwa kile kinachotaka kukuangamiza. Samson alibaki. Na katika kukaa, alipoteza kila kitu. Hadithi yake inatufundisha kwamba maadui hatari zaidi sio nje lakini ndani. Ikiwa huwezi kuadhibu tamaa zako, tamaa zako zitakuadibu. Ikiwa huwezi kudhibiti hamu yako, hamu yako itadhibiti. Ushindi juu ya nafsi ni mkuu kuliko ushindi juu ya maadui elfu. Tunaposonga mbele mwaka huu, acha ukweli huu urudie moyoni mwako, vita vyako vikubwa zaidi havitapigana hadharani bali katika ukimya wa nafsi yako. Mungu akutie nguvu. Na jaribu linapokuja kubisha, acha jibu lako liwe wazi, "Hapana." @Fr. Albert Nwosu' (Nwachinemere)
    Love
    1
    ·164 Views
  • NINI ASILI YA WAYAHUDI WA LEO NCHINI ISRAEL? ,UKWELI WA MUONEKANO WAO NA HATIMA YA UTAWALA WAO.

    TUKUMBUKE Rais wa Misri wa pili wa zamani wa Umoja wa Jamhuri ya waarabu Gamal Abdel Nasser mwaka 1952 alishawahi kusema mbele ya Televisheni kwamba, watu wa ulaya wanajidai kuwa wao ni wayahudi akasema kwamba; siwezi kuwaheshimu wayahudi nyie wayahudi hamtaweza kuishi kwa amani kwasababu mliondoka hapa mkiwa weusi mkarudi mkiwa weupe.

    Msafiri wa kiitalia Ludovico di Varthema mwaka 1470 hadi mwaka 1517 alijulikana kama mtu wa kwanza Ulaya asiye muislam kuingia Makka kuhiji, karibu kila kitu kinachomuhusu maisha yake kimeandikwa katika kitabu cha "Itinerario de Ludovicode Varthema Bolognese" kilichapishwa Roma mwaka 1510. Moja ya kurasa zake unasomeka ;"mwisho wa siku 8 tukakuta mlima unaoonekana kuwa maili 10 au 12 hivi kwa mzunguko katika mlima huo paliishi wayahudi elfu nne au tano hivi waliokuwa wanatembea bila nguo na viganja vyao vipana, wenye sauti zinazofanana na zile za kike, walikuwa weusi zaidi kuliko rangi nyingine, waliishi wakitegemea kula nyama ya kondoo ,walifanyiwa tohara na kukiri kuwa wao ni wayahudi walipoulizwa ,na iwapo walimkamata mwarabu(moor) walimchuna ngozi akiwa hai ,walikuwa maadui wakubwa na waarabu weusi, hapo chini ya mlima palikuwa na tenki la maji ,maji ambayo yalitokana na mvua, tukawanywesha ngamia wetu 16,000 kwa maji hayo, hao wayahudi wakachukia wakaanza kuuzunguka mlima wao kama mbuzi pori vichaa"

    Kipindi yesu anazaliwa alikuta Israel inatawaliwa na Waroma ambapo kama alivyotabiri baada ya Yesu kukataliwa na wayahudi na baadae kupaa kwenda mbinguni, kulitokea vita kwenye utawala wa Warumi vita hiyo ilipelekea kuharibiwa lile hekalu la Suleiman na wana wa Israel kuchukuliwa mateka utumwani na wengine kukimbilia hasa kusini mwa Israel "kush" au Afrika sababu huko hapakuwa na hiyo vita na ilikuwa rahisi wao kujificha kwa watu wa Kushi sababu walikuwa wanafanana nao ndio maana hii dhana ya hawa wayahudi wa ulaya imekuwa ni moja ya hoja kubwa sana ulimwenguni kivipi wayahudi walikimbilia Ulaya wakati vita ya Roman Empire ndio ilikuwa imetokea huko inashuka Israel ,wayahudi wengi walikimbilia Afrika sio ulaya, sio hawa wanaojiita Ashkenazi au Sephardim wala Mizrahim hawa asili yao ni uturuki, hawa ni wa-- "Khazarians" sio wayahudi wa asili, sio wayahudi waliotokea kwa Yakobo.

    Hata yesu alikuwa mwafrika ,kukua kwa vyombo vya habari pamoja na kumilikiwa na mataifa makubwa imepelekea duniani kote kuamini yesu ,malaika ,na manabii wote ni wazungu ,tukiangalia (Ufunuo 1:13--16) tunaona ,"....na katikati ya vile vinara nikaona mtu mfano wa mwanadamu amevaa vazi lililofika miguuni na kufungwa mshipi wa dhahabu matitini ,kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu nyeupe, kama theluji na macho yake kama mwali wa moto ,na miguu yake kama shaba iliyosuguliwa sana, kama kwamba imesafishwa katika tanuru, na sauti yake kama sauti ya maji mengi " hapo Ufunuo unamuongelea Yesu( Nabii Issa)

    Tunaamini wayahudi waliopo sasa hivi sio kizazi kile cha Yakobo ,kutokana na sababu lukuki tutakazozielezea hivi punde, maandishi ya mwanzo yanaelezea wayahudi watachukuliwa utumwani na kutawanywa kila sehemu ya dunia na pia Yerusalem itatekwa na mataifa mpaka muda wa mataifa uliotimilizwa ,(Luka 21:5--24) tukiingalia tunaona hili taifa la leo la Israel lipo tofauti kabisa na hayo maandiko hapo juu ndio watu walioshikilia uchumi na utajiri mkubwa duniani ,karibia 60% ya matajiri wa dunia hii ni Waisrael, watu kama familia ya kina Rothschilds, wakati ndio watu wanaoongoza kwa kuanzisha Illuminati na Freemason na ibada nyingi sana duniani.

    Andiko la Torati 28:1--13 ,halipo kabisa kwa wayahudi wa sasa wa Israel ,ili mtu apate baraka za mungu anatakiwa afuate masharti ya Mungu ,hawa wamemuasi Mungu lakini ndio wanasemwa wamebarikiwa, kilichopo kwa hili taifa la Israel ni kinyume, wana wa Israel halisi bado wapo utumwani bado wanaishi maisha ya shida ,ufukara na umaskini zile laana za kumbukumbu la Torati 28 bado ziko juu yao sio hawa Walioko Israel kwa sasa wanaishi maisha ya anasa na utajiri mkubwa.

    Dhumuni la makala haya ni kuangalia muonekano wa wayahudi wa mwanzo walionekanaje, ndio hawa waliopo sasa hivi au kuna wengine? Tukiangalia historia ya biblia na Koran tunaona wayahudi walipokuwa wakiasi lazima laana ije juu yao ,ama hata kutokea kwa magonjwa kama tauni, ukoma ,nk au kupigwa vitani na taifa lao kuchukuliwa mateka na wakiwa huko wakimrudia mungu wao ,Mungu huwainulia nabii mmoja na huenda kuwarudisha kwenye nchi ya baba yao, nchi ya ahadi ,manabii kama Musa,Joshua,Samsoni,Eliya ,Elisha,nk walitumiwa na mungu kuwarudisha toka mateka au utumwani.

    Mei 14 mwaka 1948 wayahudi walirudishwa nchini mwao, haifahamiki kilitumiwa kigezo gani kutambua kuwa huyu ni myahudi na yule sio ,baada ya miaka 2000 hivi ya kupoteana , ni Mungu pekee tu anayeweza kuwatambua na ni pekee tu ndiye anayeweza kuwatambua na ni pekee atawarudisha pale sio hawa wazungu waliojirudisha wenyewe na kujitangaza wana wa Israel ,Luka 21---24 inasema Yerusalem itachukuliwa na kukaliwa na mataifa mpaka muda wa mataifa utakapotimilizwa na pia kitabu cha yeremia 23:5--6 kinasema wayahudi halisi hawatarudi katika nchi yao mpaka masihi yesu atakapokuja.

    Kitabu cha Ufunuo 2:9 kinasema"Naijua dhiki yako na umaskini wako ( Lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni wayahudi , na sio ,bali ni sinagogi la shetani " mstari huu unatuaminisha kwamba kuna wayahudi halisi na sio halisi ambao ni pandikizi la shetani ,mstari unaweka wazi, wayahudi halisi wapo kwenye dhiki, wapo kwenye umaskini ingawa ni matajiri( utajiri wa kiroho na kimwili) kwa sababu hawakulitii andiko la Torati 28.

    Hata hawa wa sasa wanaojiita Waisrael tunaona hawajawahi kupelekwa utumwani ,ni wayahudi weusi tu ndio wanajua adha ya utumwa ,ndio wao waliouzwa kwenye minada kama bidhaa, na kudhalilishwa na kuteswa na ndio watu waliotapakaa dunia nzima, wakitumika kama watumwa sehemu mbalimbali duniani, kwa sababu Luka 21:19;;24 inazungumzia wayahudi watapigwa na Wengi wataanguka kwa makali ya upanga na watachukuliwa utumwani katika mataifa yote , na Yerusalem itakaliwa na mataifa hata majira ya mataifa yatakapotimia ,mataifa hayo ndio yanayoikalia Israel sasa hivi.

    Sio kwamba watu weusi wote ni wayahudi ,au sio wayahudi ,wayahudi wana wa yakobo walikuwa weusi na kipindi kile watu weusi walikuwa wengi sana kuliko sasa hivi, baada ya ile gharika kuisha katika mstari wa 24 imeandikwa Yerusalem itakaliwa na watu wasio wayahudi mpaka muda utimie ,yaani yesu ( nabii Issa) atakaposhuka.

    Yeremia 23:5--8 Mungu atawatoa Waisrael toka pande zote duniani kuja kuishi Salama katika taifa lao na hawa wazungu wa ulaya kina Netanyau hawa sio Waisrael ndio maana kipigo chao kinaandaliwa ,ndio ile vita ya Armagedoni ya kwenye kitabu cha Ufunuo 16:13 upanga uliotajwa mule ndio maalum kwa Waisrael wa sasa hivi.

    Tunavigusa sana vitabu ili kukazia hoja na kuweka uhalisia juu ya makala haya, katika kitabu cha Ufunuo 7:17 kinaeleza watatumwa malaika wawawekee alama wale wayahudi halisi 144,000 watakaokuwepo duniani kipindi hicho ili wasipate kile kipigo kisichowahusu ,ndio maana kipigo chao kinaandaliwa miaka hii kwasababu tupo nyakati za mwisho , tuliona Urusi kapeleka majeshi Syria ,Marekani na mataifa mengine walipeleka tunaweza kudhani anayepigwa ni Syria ,kibao kitageuka na wale wanaojiita waisrael ndio watakaopata kipigo hicho.

    Tunaamini Waisrael wa sasa sio, kwa kukazia hoja kupitia Vitabu kadhaa ,katika kitabu cha mwanzo Yakobo alioa wake wawili ,Leah na Rachel ,akazaa na vijakazi wawili kwa kila wake zake ,wa Leah ,aliitwa Zilpha aliyemzaa Gadi na Asheri na wa Rachel aliitwa Bilhah aliyemzaa Dani na Naftari kipindi kile wajakazi walitoka Afrika ( kushi) kama alivyokuwa mke wa Musa ,Zupporah, Hesabu 12:1 katika kabila 12 za Israel walikuwa ni watu wa rangi mbalimbali walikuwa ni watu mchanganyiko sio wazungu ( Albinos).

    Tukimwangalia Ayubu 30:30 anaielezea rangi yake ilivyo "anasema" Ngozi yangu ni nyeusi ,nayo yanitoka ,Na mifupa yangu ineteketea kwa hari, " Hata kwenye wimbo ulio bora 1:5 mfalme Suleiman anajielezea rangi yake ilivyo anasema " Mimi ni mweusi -mweusi ,lakini ninao uzuri ,enyi binti wa Yerusalem ,mfano wa hewa za Kedari ,kama mapazia yake Suleiman " Tukumbuke mtu mweusi akipata shida ama ya hali ya hewa, au mateso ule weusi wake huongezeka maradufu na akiwa na raha weusi wake hung'aa.

    Katika wimbo ulio bora 1:6 tunasoma, " msinichunguze kwa kuwa ni mweusi ,kwa sababu jua limeniunguza. ,wana wa mama yangu walinikasirikia wameniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu ,bali shamba langu mwenyewe sikulilinda, Hata tukiangalia kitabu cha 2 Maombolezo 4:8 "Nyuso zao ni nyeusi kwasababu ya hali ya hewa kuliko makaa ,hawajulikani katika njia kuu, ngozi yao yagandamana na mifupa yao imekauka ,imekuwa kama mti " Pia 3 maombolezo 5:10 inaelezea " Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuru kwa sababu ya hali ya njaa ituteketezayo" Humu kwenye Vitabu vitakatifu hakuna kifungu chenye historia ya ngozi nyeupe kwasababu mtu mweusi ndiye aliyeijaza dunia.

    Wakati mzee Yakobo alipowatuma watoto wake kwenda Misri kununua mikate walipomkuta Yusufu ndugu yao, walishindwa kumtambua kwa kuwa anafanana na wamisri na wamisri walikuwa weusi sio wazungu. Walishindwa kumtambua ndugu yao. Hata Yusufu na maria waliposikia Kwamba Herode anataka kumuua mtoto yesu walikimbilia kumficha huko Misri mpaka Herode alipofariki kwasababu wayahudi walikuwa wanafananana rangi na wamisri na vibao vilivyovumbuliwa miaka ya karibu vilionyesha walikuwa watu wanaotembeleana , itakuwa kichekesho miaka hii mtanzania akimbilie China kwa nia ya kujificha wakati hafanani na wachina , ndio maana wayahudi wengi sana walikuwa wanakimbilia kusini mwa Israel ,Misri na Kush kujificha sababu walikuwa wanafanana na watu wa huko kuanzia rangi ya ngozi zao mpaka maumbo yao.

    Ukweli filamu za Nuhu, Yesu, Samsoni, Musa nk zinazoonyesha wayahudi ni wazungu ndio kitu kinachofanya wengi tumaini,tunaweza kujiuliza kama studio zote za Hollywood zlizorekodi filamu hizo kwa nini wasijipendelee muonekano na maumbile yao ?(English figure) watoto wa Abraham wasingeweza kutoa mateso kwa wapalestina wa sasa ambao kila siku watoto wao na wanawake wa kipalestina wanapoteza maisha na wengine kujeruhiwa ,utafiti wa mwaka 1980 uligundua kwamba wengi wa wayahudi waliopo Israel asili yao ni uturuki, karibu asilimia 98 ya wayahudi hao hawakuwa wayahudi halisia.

    Katika vitabu pia kwa kutaja vichache ili kupunguza urefu wa makala , kuna watu kama Henry Ford, ambaye sio myahudi Lakini alifanya utafiti kuhusu wayahudi akagundua hawa wanaojiita wayahudi sio wayahudi halisi akaandika kitabu chake cha "International Jews". Haitoshi nae John Beaty kaandika kitabu kinaitwa " The Iron Curtain over America" kuzungumzia uhalisia wa wayahudi ,Aidha naye Col. Curtis B. Dall kaandika kitabu chake ," Israel Five Trililion Dollar Secret " tukija kwa mwanazuoni mwingine ,Arthur Koestler kaandika kitabu, "Thirteen Tribes Book" huyu hapa anamaanisha wao ni kabila la 13 badala ya yale 12 ya wayahudi wa Israel, vinginevyo ni pamoja na kile cha;Freedman , na Shlomo Sands.

    Ushahidi mwingine ili kukazia hoja hii ni kwenye kitabu cha Walawi katika Agano la kale hii ni katika kuthibitisha kwamba Agano la kale wahusika walikuwa waafrika na sio filamu za Hollywood, ambapo tunaona Walawi sura ya 13, 1--10 ,Mungu anawapiga ukoma Waisrael walipoamua kumuasi, walipopigwa ukoma ngozi yao nyeusi ilibadilika kuwa nyeupe ,vinyweleo vyao vinabadilika toka weusi na kuwa vyeupe. Mtu mweupe akipata ukoma huwezi kumtambua sababu ngozi yake ya ndani na nje Zipo sawasawa, ( hakuna melanin) lakini mtu mweusi tu ana rangi tofauti ya nje na ya ndani ,ndio maana anaitwa " coloured people " yaani wengi ni watu wa rangi mbalimbali, Aidha mtu mweusi anaweza akabadili rangi yake nyeusi kuwa nyeupe hata kwa (mkorogo) lakini mweupe hawezi kujibadili rangi yake kuwa nyeusi.

    Ndio maana mweusi akiungua moto ngozi yake inakuwa nyeupe kama kapigwa ukoma ,Kwenye walawi 13:4 tunasoma " kama vinyweleo ( malaika) havigeuki rangi kutoka vyeusi kuwa nyeupe basi huo sio ukoma " hizi ni dalili mungu alikuwa anawaambia makuhani wa Israel jinsi ya kuutambua ukoma katika jamii zao, na jinsi ya kuutibu. Kwa Waisrael wa sasa hili andiko haliwahusu , Waisrael wa sasa wanavinyweleo na ngozi tofauti kabisa ndio maana wa sasa akijitokeza mtu na kuhoji au Kuchambua walipotokea wana kusema kuwa unaanza kuleta Ubaguzi.

    Samson kwenye kitabu cha Waamuzi 16:13 kinasema ,Mungu alimuibua Nabii aliyeitwa Samson baada ya kuwaweka wana wa Israel mikononi mwa wafilisti kwa miaka 40 , alimleta baada ya Waisrael kutubu dhambi zao, tukiangalia nywele za Samson zilikuwa ndefu na zenye vishungi ( Dreadlocks) kwa sasa tunaweza kumwita alikuwa ni Rastafari wa kipindi hicho, na ndio chimbuko la marastafari walianzia hapa, kwamba mtu mweusi akiacha nywele zake bila kuzikata zinatengeneza vishungi ,za mzungu haziwezi wala hazishikamani kama walivyo weusi, kuna utofauti kati ya Rastafari mweusi na yule wa kizungu katika nywele zao
    NINI ASILI YA WAYAHUDI WA LEO NCHINI ISRAEL? ,UKWELI WA MUONEKANO WAO NA HATIMA YA UTAWALA WAO. TUKUMBUKE Rais wa Misri wa pili wa zamani wa Umoja wa Jamhuri ya waarabu Gamal Abdel Nasser mwaka 1952 alishawahi kusema mbele ya Televisheni kwamba, watu wa ulaya wanajidai kuwa wao ni wayahudi akasema kwamba; siwezi kuwaheshimu wayahudi nyie wayahudi hamtaweza kuishi kwa amani kwasababu mliondoka hapa mkiwa weusi mkarudi mkiwa weupe. Msafiri wa kiitalia Ludovico di Varthema mwaka 1470 hadi mwaka 1517 alijulikana kama mtu wa kwanza Ulaya asiye muislam kuingia Makka kuhiji, karibu kila kitu kinachomuhusu maisha yake kimeandikwa katika kitabu cha "Itinerario de Ludovicode Varthema Bolognese" kilichapishwa Roma mwaka 1510. Moja ya kurasa zake unasomeka ;"mwisho wa siku 8 tukakuta mlima unaoonekana kuwa maili 10 au 12 hivi kwa mzunguko katika mlima huo paliishi wayahudi elfu nne au tano hivi waliokuwa wanatembea bila nguo na viganja vyao vipana, wenye sauti zinazofanana na zile za kike, walikuwa weusi zaidi kuliko rangi nyingine, waliishi wakitegemea kula nyama ya kondoo ,walifanyiwa tohara na kukiri kuwa wao ni wayahudi walipoulizwa ,na iwapo walimkamata mwarabu(moor) walimchuna ngozi akiwa hai ,walikuwa maadui wakubwa na waarabu weusi, hapo chini ya mlima palikuwa na tenki la maji ,maji ambayo yalitokana na mvua, tukawanywesha ngamia wetu 16,000 kwa maji hayo, hao wayahudi wakachukia wakaanza kuuzunguka mlima wao kama mbuzi pori vichaa" Kipindi yesu anazaliwa alikuta Israel inatawaliwa na Waroma ambapo kama alivyotabiri baada ya Yesu kukataliwa na wayahudi na baadae kupaa kwenda mbinguni, kulitokea vita kwenye utawala wa Warumi vita hiyo ilipelekea kuharibiwa lile hekalu la Suleiman na wana wa Israel kuchukuliwa mateka utumwani na wengine kukimbilia hasa kusini mwa Israel "kush" au Afrika sababu huko hapakuwa na hiyo vita na ilikuwa rahisi wao kujificha kwa watu wa Kushi sababu walikuwa wanafanana nao ndio maana hii dhana ya hawa wayahudi wa ulaya imekuwa ni moja ya hoja kubwa sana ulimwenguni kivipi wayahudi walikimbilia Ulaya wakati vita ya Roman Empire ndio ilikuwa imetokea huko inashuka Israel ,wayahudi wengi walikimbilia Afrika sio ulaya, sio hawa wanaojiita Ashkenazi au Sephardim wala Mizrahim hawa asili yao ni uturuki, hawa ni wa-- "Khazarians" sio wayahudi wa asili, sio wayahudi waliotokea kwa Yakobo. Hata yesu alikuwa mwafrika ,kukua kwa vyombo vya habari pamoja na kumilikiwa na mataifa makubwa imepelekea duniani kote kuamini yesu ,malaika ,na manabii wote ni wazungu ,tukiangalia (Ufunuo 1:13--16) tunaona ,"....na katikati ya vile vinara nikaona mtu mfano wa mwanadamu amevaa vazi lililofika miguuni na kufungwa mshipi wa dhahabu matitini ,kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu nyeupe, kama theluji na macho yake kama mwali wa moto ,na miguu yake kama shaba iliyosuguliwa sana, kama kwamba imesafishwa katika tanuru, na sauti yake kama sauti ya maji mengi " hapo Ufunuo unamuongelea Yesu( Nabii Issa) Tunaamini wayahudi waliopo sasa hivi sio kizazi kile cha Yakobo ,kutokana na sababu lukuki tutakazozielezea hivi punde, maandishi ya mwanzo yanaelezea wayahudi watachukuliwa utumwani na kutawanywa kila sehemu ya dunia na pia Yerusalem itatekwa na mataifa mpaka muda wa mataifa uliotimilizwa ,(Luka 21:5--24) tukiingalia tunaona hili taifa la leo la Israel lipo tofauti kabisa na hayo maandiko hapo juu ndio watu walioshikilia uchumi na utajiri mkubwa duniani ,karibia 60% ya matajiri wa dunia hii ni Waisrael, watu kama familia ya kina Rothschilds, wakati ndio watu wanaoongoza kwa kuanzisha Illuminati na Freemason na ibada nyingi sana duniani. Andiko la Torati 28:1--13 ,halipo kabisa kwa wayahudi wa sasa wa Israel ,ili mtu apate baraka za mungu anatakiwa afuate masharti ya Mungu ,hawa wamemuasi Mungu lakini ndio wanasemwa wamebarikiwa, kilichopo kwa hili taifa la Israel ni kinyume, wana wa Israel halisi bado wapo utumwani bado wanaishi maisha ya shida ,ufukara na umaskini zile laana za kumbukumbu la Torati 28 bado ziko juu yao sio hawa Walioko Israel kwa sasa wanaishi maisha ya anasa na utajiri mkubwa. Dhumuni la makala haya ni kuangalia muonekano wa wayahudi wa mwanzo walionekanaje, ndio hawa waliopo sasa hivi au kuna wengine? Tukiangalia historia ya biblia na Koran tunaona wayahudi walipokuwa wakiasi lazima laana ije juu yao ,ama hata kutokea kwa magonjwa kama tauni, ukoma ,nk au kupigwa vitani na taifa lao kuchukuliwa mateka na wakiwa huko wakimrudia mungu wao ,Mungu huwainulia nabii mmoja na huenda kuwarudisha kwenye nchi ya baba yao, nchi ya ahadi ,manabii kama Musa,Joshua,Samsoni,Eliya ,Elisha,nk walitumiwa na mungu kuwarudisha toka mateka au utumwani. Mei 14 mwaka 1948 wayahudi walirudishwa nchini mwao, haifahamiki kilitumiwa kigezo gani kutambua kuwa huyu ni myahudi na yule sio ,baada ya miaka 2000 hivi ya kupoteana , ni Mungu pekee tu anayeweza kuwatambua na ni pekee tu ndiye anayeweza kuwatambua na ni pekee atawarudisha pale sio hawa wazungu waliojirudisha wenyewe na kujitangaza wana wa Israel ,Luka 21---24 inasema Yerusalem itachukuliwa na kukaliwa na mataifa mpaka muda wa mataifa utakapotimilizwa na pia kitabu cha yeremia 23:5--6 kinasema wayahudi halisi hawatarudi katika nchi yao mpaka masihi yesu atakapokuja. Kitabu cha Ufunuo 2:9 kinasema"Naijua dhiki yako na umaskini wako ( Lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni wayahudi , na sio ,bali ni sinagogi la shetani " mstari huu unatuaminisha kwamba kuna wayahudi halisi na sio halisi ambao ni pandikizi la shetani ,mstari unaweka wazi, wayahudi halisi wapo kwenye dhiki, wapo kwenye umaskini ingawa ni matajiri( utajiri wa kiroho na kimwili) kwa sababu hawakulitii andiko la Torati 28. Hata hawa wa sasa wanaojiita Waisrael tunaona hawajawahi kupelekwa utumwani ,ni wayahudi weusi tu ndio wanajua adha ya utumwa ,ndio wao waliouzwa kwenye minada kama bidhaa, na kudhalilishwa na kuteswa na ndio watu waliotapakaa dunia nzima, wakitumika kama watumwa sehemu mbalimbali duniani, kwa sababu Luka 21:19;;24 inazungumzia wayahudi watapigwa na Wengi wataanguka kwa makali ya upanga na watachukuliwa utumwani katika mataifa yote , na Yerusalem itakaliwa na mataifa hata majira ya mataifa yatakapotimia ,mataifa hayo ndio yanayoikalia Israel sasa hivi. Sio kwamba watu weusi wote ni wayahudi ,au sio wayahudi ,wayahudi wana wa yakobo walikuwa weusi na kipindi kile watu weusi walikuwa wengi sana kuliko sasa hivi, baada ya ile gharika kuisha katika mstari wa 24 imeandikwa Yerusalem itakaliwa na watu wasio wayahudi mpaka muda utimie ,yaani yesu ( nabii Issa) atakaposhuka. Yeremia 23:5--8 Mungu atawatoa Waisrael toka pande zote duniani kuja kuishi Salama katika taifa lao na hawa wazungu wa ulaya kina Netanyau hawa sio Waisrael ndio maana kipigo chao kinaandaliwa ,ndio ile vita ya Armagedoni ya kwenye kitabu cha Ufunuo 16:13 upanga uliotajwa mule ndio maalum kwa Waisrael wa sasa hivi. Tunavigusa sana vitabu ili kukazia hoja na kuweka uhalisia juu ya makala haya, katika kitabu cha Ufunuo 7:17 kinaeleza watatumwa malaika wawawekee alama wale wayahudi halisi 144,000 watakaokuwepo duniani kipindi hicho ili wasipate kile kipigo kisichowahusu ,ndio maana kipigo chao kinaandaliwa miaka hii kwasababu tupo nyakati za mwisho , tuliona Urusi kapeleka majeshi Syria ,Marekani na mataifa mengine walipeleka tunaweza kudhani anayepigwa ni Syria ,kibao kitageuka na wale wanaojiita waisrael ndio watakaopata kipigo hicho. Tunaamini Waisrael wa sasa sio, kwa kukazia hoja kupitia Vitabu kadhaa ,katika kitabu cha mwanzo Yakobo alioa wake wawili ,Leah na Rachel ,akazaa na vijakazi wawili kwa kila wake zake ,wa Leah ,aliitwa Zilpha aliyemzaa Gadi na Asheri na wa Rachel aliitwa Bilhah aliyemzaa Dani na Naftari kipindi kile wajakazi walitoka Afrika ( kushi) kama alivyokuwa mke wa Musa ,Zupporah, Hesabu 12:1 katika kabila 12 za Israel walikuwa ni watu wa rangi mbalimbali walikuwa ni watu mchanganyiko sio wazungu ( Albinos). Tukimwangalia Ayubu 30:30 anaielezea rangi yake ilivyo "anasema" Ngozi yangu ni nyeusi ,nayo yanitoka ,Na mifupa yangu ineteketea kwa hari, " Hata kwenye wimbo ulio bora 1:5 mfalme Suleiman anajielezea rangi yake ilivyo anasema " Mimi ni mweusi -mweusi ,lakini ninao uzuri ,enyi binti wa Yerusalem ,mfano wa hewa za Kedari ,kama mapazia yake Suleiman " Tukumbuke mtu mweusi akipata shida ama ya hali ya hewa, au mateso ule weusi wake huongezeka maradufu na akiwa na raha weusi wake hung'aa. Katika wimbo ulio bora 1:6 tunasoma, " msinichunguze kwa kuwa ni mweusi ,kwa sababu jua limeniunguza. ,wana wa mama yangu walinikasirikia wameniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu ,bali shamba langu mwenyewe sikulilinda, Hata tukiangalia kitabu cha 2 Maombolezo 4:8 "Nyuso zao ni nyeusi kwasababu ya hali ya hewa kuliko makaa ,hawajulikani katika njia kuu, ngozi yao yagandamana na mifupa yao imekauka ,imekuwa kama mti " Pia 3 maombolezo 5:10 inaelezea " Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuru kwa sababu ya hali ya njaa ituteketezayo" Humu kwenye Vitabu vitakatifu hakuna kifungu chenye historia ya ngozi nyeupe kwasababu mtu mweusi ndiye aliyeijaza dunia. Wakati mzee Yakobo alipowatuma watoto wake kwenda Misri kununua mikate walipomkuta Yusufu ndugu yao, walishindwa kumtambua kwa kuwa anafanana na wamisri na wamisri walikuwa weusi sio wazungu. Walishindwa kumtambua ndugu yao. Hata Yusufu na maria waliposikia Kwamba Herode anataka kumuua mtoto yesu walikimbilia kumficha huko Misri mpaka Herode alipofariki kwasababu wayahudi walikuwa wanafananana rangi na wamisri na vibao vilivyovumbuliwa miaka ya karibu vilionyesha walikuwa watu wanaotembeleana , itakuwa kichekesho miaka hii mtanzania akimbilie China kwa nia ya kujificha wakati hafanani na wachina , ndio maana wayahudi wengi sana walikuwa wanakimbilia kusini mwa Israel ,Misri na Kush kujificha sababu walikuwa wanafanana na watu wa huko kuanzia rangi ya ngozi zao mpaka maumbo yao. Ukweli filamu za Nuhu, Yesu, Samsoni, Musa nk zinazoonyesha wayahudi ni wazungu ndio kitu kinachofanya wengi tumaini,tunaweza kujiuliza kama studio zote za Hollywood zlizorekodi filamu hizo kwa nini wasijipendelee muonekano na maumbile yao ?(English figure) watoto wa Abraham wasingeweza kutoa mateso kwa wapalestina wa sasa ambao kila siku watoto wao na wanawake wa kipalestina wanapoteza maisha na wengine kujeruhiwa ,utafiti wa mwaka 1980 uligundua kwamba wengi wa wayahudi waliopo Israel asili yao ni uturuki, karibu asilimia 98 ya wayahudi hao hawakuwa wayahudi halisia. Katika vitabu pia kwa kutaja vichache ili kupunguza urefu wa makala , kuna watu kama Henry Ford, ambaye sio myahudi Lakini alifanya utafiti kuhusu wayahudi akagundua hawa wanaojiita wayahudi sio wayahudi halisi akaandika kitabu chake cha "International Jews". Haitoshi nae John Beaty kaandika kitabu kinaitwa " The Iron Curtain over America" kuzungumzia uhalisia wa wayahudi ,Aidha naye Col. Curtis B. Dall kaandika kitabu chake ," Israel Five Trililion Dollar Secret " tukija kwa mwanazuoni mwingine ,Arthur Koestler kaandika kitabu, "Thirteen Tribes Book" huyu hapa anamaanisha wao ni kabila la 13 badala ya yale 12 ya wayahudi wa Israel, vinginevyo ni pamoja na kile cha;Freedman , na Shlomo Sands. Ushahidi mwingine ili kukazia hoja hii ni kwenye kitabu cha Walawi katika Agano la kale hii ni katika kuthibitisha kwamba Agano la kale wahusika walikuwa waafrika na sio filamu za Hollywood, ambapo tunaona Walawi sura ya 13, 1--10 ,Mungu anawapiga ukoma Waisrael walipoamua kumuasi, walipopigwa ukoma ngozi yao nyeusi ilibadilika kuwa nyeupe ,vinyweleo vyao vinabadilika toka weusi na kuwa vyeupe. Mtu mweupe akipata ukoma huwezi kumtambua sababu ngozi yake ya ndani na nje Zipo sawasawa, ( hakuna melanin) lakini mtu mweusi tu ana rangi tofauti ya nje na ya ndani ,ndio maana anaitwa " coloured people " yaani wengi ni watu wa rangi mbalimbali, Aidha mtu mweusi anaweza akabadili rangi yake nyeusi kuwa nyeupe hata kwa (mkorogo) lakini mweupe hawezi kujibadili rangi yake kuwa nyeusi. Ndio maana mweusi akiungua moto ngozi yake inakuwa nyeupe kama kapigwa ukoma ,Kwenye walawi 13:4 tunasoma " kama vinyweleo ( malaika) havigeuki rangi kutoka vyeusi kuwa nyeupe basi huo sio ukoma " hizi ni dalili mungu alikuwa anawaambia makuhani wa Israel jinsi ya kuutambua ukoma katika jamii zao, na jinsi ya kuutibu. Kwa Waisrael wa sasa hili andiko haliwahusu , Waisrael wa sasa wanavinyweleo na ngozi tofauti kabisa ndio maana wa sasa akijitokeza mtu na kuhoji au Kuchambua walipotokea wana kusema kuwa unaanza kuleta Ubaguzi. Samson kwenye kitabu cha Waamuzi 16:13 kinasema ,Mungu alimuibua Nabii aliyeitwa Samson baada ya kuwaweka wana wa Israel mikononi mwa wafilisti kwa miaka 40 , alimleta baada ya Waisrael kutubu dhambi zao, tukiangalia nywele za Samson zilikuwa ndefu na zenye vishungi ( Dreadlocks) kwa sasa tunaweza kumwita alikuwa ni Rastafari wa kipindi hicho, na ndio chimbuko la marastafari walianzia hapa, kwamba mtu mweusi akiacha nywele zake bila kuzikata zinatengeneza vishungi ,za mzungu haziwezi wala hazishikamani kama walivyo weusi, kuna utofauti kati ya Rastafari mweusi na yule wa kizungu katika nywele zao
    Like
    1
    ·287 Views
  • TAFADHALI KUWA NA HURUMA...

    Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe ni wa tofauti na wale wote ambao wamekwisha muumiza kihisia hapo mwanzo.

    Anakuamini na anakukabidhi moyo, mapenzi na mwili wake, anakutegemea wewe, anapanga kesho yake pamoja na wewe, ana sucrifice kile kidogo alicho nacho kwa ajili yako.

    Anajivunia kuwa na wewe kiasi cha kukutambulisha kwa familia yake na marafiki zake wote wa mbali na wa karibu, anabadilisha tabia yake kwa ajili yako, anaacha tabia zake fulani kwa ajili yako.

    Muda mwingine anapoteza kazi fulani kukufuata wewe huko unakoishi kwa ajili ya wewe, anakuwa na maadui kwa ajili yako na anatukanwa na watu kwa ajili yako.

    Wewe kwa ujinga wako au kwa ujinga juu ya jambo la kipumbavu, unamuacha yeye au unamtelekeza au unamuumiza kihisia, haumpendi tena. Unasahau ni yepi amepitia au mlipitia pamoja. Umesahau ahadi nono ulizomueleza hapo mwanzo, umesahau kila kitu kabisa

    Unaanza kumuona ni mpumbavu na ni mbaya kiasi gani, unaanza kumuita majina ya ajabu ajabu na kumtukana matusi ya nguoni, unakana mbele yake na kumwambia watoto si wako

    Sio sawa ndugu yangu, inaumiza mno, ni maumivu makali sana moyoni, moyo unavuja damu, maumivu hayaponi kirahisi. Unaweza kuwa umefanya hivyo kwa kuwa na wewe ulifanyiwa hivyo kipindi cha nyuma na watu wengine ila sio busara kumfanyia mwenzako ambae hana hatia.

    Unaweza ukachukulia kama ni mchezo fulani. Ila amini me nakwambia MUNGU hana furaha na hicho ulichokifanya na wewe pia.

    Tafadhali sana nimejifunza kamwe usimfanye mtu akupende katika mahusiano wakati unajua kwamba haumpendi na hautadumu nae siku zote. Kamwe usimpumbaze mtu au kumtumia kwa faida zako.

    Kuwa na huruma na huo moyo wa mpenzi wako uliojaa mapenzi na ambao hauna hatia masikini ya Mungu. Bila shaka unanisoma hapa, nenda ukamwambie ukweli kuhusu mustakabari wa mahusiano yenu. Nenda tafadhali, mueleze ukweli! Usimfiche, usiendelee kumdanganya na kumpa ahadi kedekede wakati unaona kabisa hilo jambo haliwzekani.!

    Onyesha hekima yako angalau mara moja tu sasa hivi na Mungu atakubariki. Natoa Pole kwa Wanawake na Wanaume wanaopitia wakati mgumu katika mahusiano yao...

    Dah inauma sana....!
    TAFADHALI KUWA NA HURUMA... Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe ni wa tofauti na wale wote ambao wamekwisha muumiza kihisia hapo mwanzo. Anakuamini na anakukabidhi moyo, mapenzi na mwili wake, anakutegemea wewe, anapanga kesho yake pamoja na wewe, ana sucrifice kile kidogo alicho nacho kwa ajili yako. Anajivunia kuwa na wewe kiasi cha kukutambulisha kwa familia yake na marafiki zake wote wa mbali na wa karibu, anabadilisha tabia yake kwa ajili yako, anaacha tabia zake fulani kwa ajili yako. Muda mwingine anapoteza kazi fulani kukufuata wewe huko unakoishi kwa ajili ya wewe, anakuwa na maadui kwa ajili yako na anatukanwa na watu kwa ajili yako. Wewe kwa ujinga wako au kwa ujinga juu ya jambo la kipumbavu, unamuacha yeye au unamtelekeza au unamuumiza kihisia, haumpendi tena. Unasahau ni yepi amepitia au mlipitia pamoja. Umesahau ahadi nono ulizomueleza hapo mwanzo, umesahau kila kitu kabisa Unaanza kumuona ni mpumbavu na ni mbaya kiasi gani, unaanza kumuita majina ya ajabu ajabu na kumtukana matusi ya nguoni, unakana mbele yake na kumwambia watoto si wako Sio sawa ndugu yangu, inaumiza mno, ni maumivu makali sana moyoni, moyo unavuja damu, maumivu hayaponi kirahisi. Unaweza kuwa umefanya hivyo kwa kuwa na wewe ulifanyiwa hivyo kipindi cha nyuma na watu wengine ila sio busara kumfanyia mwenzako ambae hana hatia. Unaweza ukachukulia kama ni mchezo fulani. Ila amini me nakwambia MUNGU hana furaha na hicho ulichokifanya na wewe pia. Tafadhali sana nimejifunza kamwe usimfanye mtu akupende katika mahusiano wakati unajua kwamba haumpendi na hautadumu nae siku zote. Kamwe usimpumbaze mtu au kumtumia kwa faida zako. Kuwa na huruma na huo moyo wa mpenzi wako uliojaa mapenzi na ambao hauna hatia masikini ya Mungu. Bila shaka unanisoma hapa, nenda ukamwambie ukweli kuhusu mustakabari wa mahusiano yenu. Nenda tafadhali, mueleze ukweli! Usimfiche, usiendelee kumdanganya na kumpa ahadi kedekede wakati unaona kabisa hilo jambo haliwzekani.! Onyesha hekima yako angalau mara moja tu sasa hivi na Mungu atakubariki. Natoa Pole kwa Wanawake na Wanaume wanaopitia wakati mgumu katika mahusiano yao... Dah inauma sana....!
    ·384 Views
  • Marafiki zako ndio wanakuwa wakwanza kuchukizwa na mafanikio Yako kuliko maadui zako
    😅Marafiki zako ndio wanakuwa wakwanza kuchukizwa na mafanikio Yako kuliko maadui zako
    ·312 Views
  • maadui .....wapo wengi...Wengine ni ndugu....
    Ishi nao kwa amani...usioneshe ata gubu....
    Awakupend ilo jua.... Watataka kukuua .....
    We kaa kia askali... Pia omba sana dua....
    Adui sio ndugu.... Ata awe ndugu...
    Adui sio rafiki .... Anaweza kukusulubu...
    Maadui awaishi ... Afu ni wagumu kufa
    wengio wao masnichi roho mbaya kama Lucifer....
    ish kwa tahadhali.... Mwanadam ana ng'ata...
    Watu wana sura mzuri.......kiroho awajatakata....
    Watakuchekea....mixer kukuimbia
    Uku nyuma ya pazia .... Kifo wana kuandalia....
    Maadui sio wana....Careful sana....
    Wafanyie kila kitu....... ila kwao huna maana....
    maadui .....wapo wengi...Wengine ni ndugu.... Ishi nao kwa amani...usioneshe ata gubu.... Awakupend ilo jua.... Watataka kukuua ..... We kaa kia askali... Pia omba sana dua.... Adui sio ndugu.... Ata awe ndugu... Adui sio rafiki .... Anaweza kukusulubu... Maadui awaishi ... Afu ni wagumu kufa wengio wao masnichi roho mbaya kama Lucifer.... ish kwa tahadhali.... Mwanadam ana ng'ata... Watu wana sura mzuri.......kiroho awajatakata.... Watakuchekea....mixer kukuimbia Uku nyuma ya pazia .... Kifo wana kuandalia.... Maadui sio wana....Careful sana.... Wafanyie kila kitu....... ila kwao huna maana....
    ·226 Views
  • Nashukuru Mungu Sina #maadui Ila Nina kundi dogo tu la #wapumbavu ambao hawanielewi!!
    #Mungu_Atosha
    Nashukuru Mungu Sina #maadui Ila Nina kundi dogo tu la #wapumbavu ambao hawanielewi!! #Mungu_Atosha🙏
    Like
    2
    ·599 Views
  • Watu Wakishindwa Kukusaidia
    Usiwageuze kuwa Maadui
    Katika Maisha Yako
    Watu Wakishindwa Kukusaidia Usiwageuze kuwa Maadui Katika Maisha Yako
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·264 Views
  • Kinyonga kujibadilisha rangi yake sio kufanya mbwembwe ni kukabiliana na maadui zake.
    Kinyonga kujibadilisha rangi yake sio kufanya mbwembwe ni kukabiliana na maadui zake.
    Like
    Love
    Haha
    8
    1 Comments ·288 Views
  • Ukijiona una maadui ujue wewe timamu chizi hachukiwi
    Ukijiona una maadui ujue wewe timamu chizi hachukiwi📌📌
    Like
    Love
    3
    ·261 Views
  • PAMBANA KUTAFUTA MAISHA MPAKA MAADUI WAULIZE KAMA UNA NAFASI ZA KAZI
    PAMBANA KUTAFUTA MAISHA MPAKA MAADUI WAULIZE KAMA UNA NAFASI ZA KAZI
    Love
    Like
    3
    ·229 Views
  • Mafinikio yapo kwenye maadui wengi
    Mafinikio yapo kwenye maadui wengi💪💪
    Like
    Love
    3
    ·253 Views